BAADA YA KUSIKIA HII UTAAMUA KUSHEREHEKEA AMA KUTOSHEREHEKEA

  Рет қаралды 17,044

PROMOVER TV

PROMOVER TV

Күн бұрын

Пікірлер: 172
@happyalbert5089
@happyalbert5089 3 жыл бұрын
Ukweli unaouma, yanayovuma na kupendwa na watu wengi mengi huwa ni dhambi. Tukubali tu kuwa si mapenzi ya Mungu.
@valentinandukuvalentinandu4779
@valentinandukuvalentinandu4779 3 жыл бұрын
kabisa
@joshuanjiuka2870
@joshuanjiuka2870 3 жыл бұрын
Sio kweli. Kusheherekea sio dhambi kbs.
@magrethnjovi5972
@magrethnjovi5972 3 жыл бұрын
Oooops!!! Watu Wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa ..Je?Bado hata leo? hujalifahamu Neno hili ? yakuwa kabla yakukombolewa tuliitwa kizazi cha Nyoka?lakini baada tu ya Ukombozi sasa tunaitwa.. wana wa Mungu.kwa sababu hiyo yoooote yaliyokuwa ya kipagani yamekomeshwa kwa ukombozi huo. Yaani kwa Yesu Kristo.
@dokasa9176
@dokasa9176 3 жыл бұрын
Asante sana Mtumishi Jacktan kwa kweli hii tarehe imeongelewa katika kitabu cha Jeremiah 52:31 inaelezea ni nini ilifanyika tarehe ishirini na tano,mwezi wa kumi na mbili bali si kuzaliwa kwa Yesu kristo
@tatumluv6054
@tatumluv6054 3 жыл бұрын
Asante kaka kwa ufafanuzi zaidi na mwenye sikio asikie
@jolemerci2155
@jolemerci2155 3 жыл бұрын
Asanteni baba mungu mungu mungu zidi kumuelimisha kijana huyu hekima yakuzidi kujuwa kweli yako ili tupone ee mungu muumba wa mwanadamu n'a dunia usituwache tukupoteye ila tuokowe nauyu mpotevu chwetwani jaza ujasiri ndani ya kijana huyu ili sikumoja apate taji ya ushindi kutoka kwake
@florencendatila9183
@florencendatila9183 3 жыл бұрын
Jamani jamani Kila mwenye daut afunge amuulize Mungu atepewa majibu
@damas5665
@damas5665 3 жыл бұрын
Kwa kweli haya mafundisho mazuri sana🙏AMEN
@aminaally4163
@aminaally4163 3 жыл бұрын
Kwanza tunamshukuru BWANA YESU KRISTO Kwakutufunulia hili Wengi tungeenda Jehanamu kwa ajili ya sikukuu ya Christmas.
@ivonaevarista4654
@ivonaevarista4654 3 жыл бұрын
Kabisaaa,ukiona kitu kinapaza sauti kisikilize kina maana watu wanapinga bure tu kwakua wanapenda kuserebuka,ubarikiwe
@joshuanjiuka2870
@joshuanjiuka2870 3 жыл бұрын
Sio kweli
@lydiahnabwire128
@lydiahnabwire128 10 ай бұрын
​@@joshuanjiuka2870 Ufunuo 2:11 Yeye aliye na sikio, na alisikie neno hili ambalo Roho ayaambia makanisa. Yeye ashindaye hatapatikana na madhara ya mauti ya pili.
@PauloDoringiWilisoni
@PauloDoringiWilisoni Күн бұрын
Amina Sana Jackitan umejitaidi kufundisha vizuli nimesikiliza hadimwisho
@sophiamakani6133
@sophiamakani6133 2 жыл бұрын
Amen umeeleza vizuri sana uaamuzi kwa mtu sasa bora habari tumeipata
@ivonaevarista4654
@ivonaevarista4654 3 жыл бұрын
Hvyo vtu nilikua navsherekea nikiwa roman,lakini sasa siyasherekei baada ya kuokolewa na Yesu Mfalme,sherehe yangu nikuliweka neno LA Mungu ndan ya moyo wangu nisimtemde dhambi Mungu Wangu.
@annkim2690
@annkim2690 3 жыл бұрын
Kimoja dadangu hebu tungangane tusimutende Mungu wetu dhambi
@abduelselemani4667
@abduelselemani4667 2 жыл бұрын
Amen
@eliabuelinafassam6127
@eliabuelinafassam6127 3 жыл бұрын
Kweli kabisaaa nimeelewa hata sis kusherekea ni dhamb
@Alina-sl6hj
@Alina-sl6hj 3 жыл бұрын
Tumshkuru Mungu kutupa ufahamu wa kutambua ukweli Mungu ni mwenye Rehema na Huruma hawezi kutuacha tupotee
@hosseawillam9313
@hosseawillam9313 3 жыл бұрын
Mungu anachoitaji niwatu kutubu zambi mambo yashelee sijui kazaliwa hiyo nistori zawatu mwenye loho mtakatifu atambiwa hiyo Sheree nizambi au sizambi
@edwiniluther3263
@edwiniluther3263 3 жыл бұрын
Hoseah Ingekuwa hivyo Mungu asingewatoa Waisrael Misri rejea hiyo history na akawaambia nini??? Tukubali tusikie na kutafakari kisha fanya Maamuzi, Mke wa Mtu na Kahaba utofautishwa kwanza kwa Muonekano.... Sasa wewe utasemaje siku ni siku basi Mungu asingepumzika Siku ya Sita kama zote ni sikuuu
@edwiniluther3263
@edwiniluther3263 3 жыл бұрын
Tusijindanie kulishika vizuriii koleo huku wote tunajenga Msingi wa Nyumba Moja....Hatusaidiii zaidi tunadidimia kiwazo na Koroho
@lydiahnabwire128
@lydiahnabwire128 10 ай бұрын
JEREMIAH 52:31 Hata ikawa, katika mwaka wa thelathini na saba wa kuhamishwa kwake Yehoyakini, mfalme wa Yuda, katika mwezi wa kumi na mbili, siku ya ishirini na tano ya mwezi, Evil-merodaki, mfalme wa Babeli, katika mwaka wa kwanza wa kumiliki kwake, akamwinua kichwa chake Yehoyakini, mfalme wa Yuda, akamtoa gerezani. Tangu nisome hiki kifungo cha bibilia hivo ndo nilikoma na Christmas.nitamsherehekea Bwana Yesu kila siku na kila saa
@joshuanjiuka2870
@joshuanjiuka2870 3 жыл бұрын
Wanaosheherekea Krismas/Christmas wako vzr kbs. Excellent.
@annachachage4931
@annachachage4931 6 күн бұрын
Joshua kijana,kwa nini unasema wako excellent wanaosherehekea x-mass,ikiwa hatuoni kwenye maandiko, popote YESU KRISTO mwenyewe alifanya hivo,ktk maisha yake mpaka anaondoka,anapaa mbinguni,agizo aliloacha ni 1 Corinthians 11:24-25 hakuna agizo jingine YESU aliacha kwa kumbukizi ya kuzaliwa kwake,yeye tangu kuumbwa ulimwengu alikuwepo unawezaje kushereheka,huku yeye hana mwanzo wala mwisho,? Biblia iko wazi kabisa,usiongeze neno wala usipunguze,haya ya krismas sijui x-mass yametoka wapi na kwa andiko gani? Wewe ni mtoto wa pastor muulize vizuri mzee ni vizuri kufuata maagizo ya wanadamu au ya MUNGU,?me huwa sishughuliki na hivi vitu kabisa
@joshuanjiuka2870
@joshuanjiuka2870 6 күн бұрын
@annachachage4931 Kwanza Mungu akubariki kwa kusoma ujumbe nilioutuma, ni muda kiukweli. Sisi ni binadamu, Mungu ametupa akili lakini pia zaidi sana Roho Mtakatifu yupo. Kama utataka kila kitu tunachokifanya kiwe kilisemwa au kilifanywa na Yesu basi mambo mengi tutayaacha. Mfano Yesu hakusema tuabudu jpili, lakini tunaabudu na hakuna shida. Suala la kusheherekea krismas ni sahihi kwasababu Mungu aliuvaa mwili akazaliwa kama mtu akakaa kwetu. Kwahiyo Yesu alizaliwa kama mtu hilo halina ubishi. Sasa alizaliwa lini mabaaba/babu zetu wa imani wakapendekeza 25 Dec. Haimaanishi ndo siku yenyewe, hapana, bali walitamadunisha hiyo siku ndiyo iwe kumbukumbu badala ya mungu jua iwe Mungu-Yesu wa kweli, wako sahihi, nawapongeza. Kusheherekea sio lazima, kama wewe unaona shida acha. Lkn usishawishi wengine kwa kutokujua kwako. Na wewe unaweza kuwa na siku yako ambayo unaiona iko sawa ukasheherekea. Mfn, Orthodoxy wanasheherekea 06 January, wako sawa. Maana YESU alizaliwa.
@queenesther2639
@queenesther2639 2 жыл бұрын
Yaan tuliamini ushetani tukidhani tunaenda Mbinguni kumbe kuzimu asante BW.YESU sikufa nyakati hizo Barikiwa PROMOVER TV
@zipporahmibei9007
@zipporahmibei9007 2 жыл бұрын
Amen amen well explained
@ellychacha2417
@ellychacha2417 Жыл бұрын
Ubarikiwe
@navongelysrlynsozsye8494
@navongelysrlynsozsye8494 3 жыл бұрын
Hakika huu ndiyo ukweli thabiti kwa asiye mkusudiwa ni ngumu kuelewa ila kama ni mkristo wa kweli unaye mjua Bwana Yesu Kristo,hupaswi na haitakiwi kuiadhimisha siku hiyo
@FlavianaLitimba-to6qj
@FlavianaLitimba-to6qj Жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi
@fafampawenimana9436
@fafampawenimana9436 3 жыл бұрын
Mimi nimeelewa sana
@micamathew2595
@micamathew2595 3 жыл бұрын
Mi nakwambia hivi: mamilioni ya watu watamezwa na kuzimu!!! Sababu ya hizo sherehe za ajabuajabu. Nawapa pole sana kwa wanaoshiriki kuadhimisha siku hiyo.
@joshuanjiuka2870
@joshuanjiuka2870 3 жыл бұрын
Sio kweli.
@annachachage4931
@annachachage4931 6 күн бұрын
Ukweli ni upi, Joshua ​@@joshuanjiuka2870
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 5 күн бұрын
Mtu asikuhukumu kwA akili ya siku misherekea siku ya kuzaliwa hakuna hukumu
@irenewilfred7767
@irenewilfred7767 3 жыл бұрын
Jmn eee mungu wang
@MtumishiLoveness
@MtumishiLoveness Жыл бұрын
Mbarikiwe promover
@ywydhhd7941
@ywydhhd7941 3 жыл бұрын
Big Ameen na Mungu akubariki
@chantalmavandu4950
@chantalmavandu4950 3 жыл бұрын
Amen amen 🙏
@annkim2690
@annkim2690 3 жыл бұрын
Mwenye masikio na asikie
@aminaally4163
@aminaally4163 3 жыл бұрын
Mimi nimeelewa sana Siitaki jehanamu kwa Ajili ya Christmas
@baya7067
@baya7067 3 жыл бұрын
Kabisa
@joshuanjiuka2870
@joshuanjiuka2870 3 жыл бұрын
Pole sana
@baya7067
@baya7067 3 жыл бұрын
@@joshuanjiuka2870 kila mtu atachagua mwenyewe ww umechagua kusherehekea Sawa lakn siku inakuja ya bwana
@joshuanjiuka2870
@joshuanjiuka2870 3 жыл бұрын
Sawa, lkn wengi mnashindwa kusherehekea kwasabb ya kutofwatilia mambo haya ninyi wenyewe kwa undani, mfn kusima biblia na kuielewa. Wengi mnangoja msimuliwe na mtu. Lkn ukweli ni kwamba Christmas haina shida kbs. Sio kwamba nakushawishi la! Jip mda sima then connect mambo utaona iko sawa. Japo sio trh hyo 25/12 lkn point ni kwamba Yesu alizaliwa.
@sarahjacobs8814
@sarahjacobs8814 3 жыл бұрын
I kuwa utasherkea Kwa Nia ya kumtukunza Yesu basi sioni shida .Ila Tu ningepanda wale waliopinga siku hiyo bas watupe siku maalum ya kuzaliwa kwa Yesu ili tuwe tunashrekea
@millicentayangokunting3728
@millicentayangokunting3728 3 жыл бұрын
Sherekea moyo wako ukiwa kwa mungu ni sawa
@baya7067
@baya7067 3 жыл бұрын
Hakuna sherehe ya kuzaliwa katika bibilia kama unataka kusherehekea pasaka ipo sherehekea mama
@marykilila8786
@marykilila8786 3 жыл бұрын
Yesu mwenyewe katika mwaka yake hapa duniani hakusherekeya siku ya kuzaliwa kwake , sababu yeye ni Mungu hana mwanzo wala mwisho ,alipenda kuvaa mwili wa mwanadamu tuu ili aje kutuokowa .Ukiamini kama ni Mungu basi utaelewa na huwezi kutafuta siku ya kuzaliwa kwake. Soma Wagalatia 4:8-11 Rudi kwenye msingi wa mitume na manabii ,barikiwa.
@ivonaevarista4654
@ivonaevarista4654 3 жыл бұрын
Sherehe nzur ya kumsherekea Mungu n kuliweka neno lake moyoni mwako ili usimtende dhambiii,
@williammwaipaja1223
@williammwaipaja1223 3 жыл бұрын
Hivi wewe Sarah dada au binti yangu, ulazima wa kuwepo tarehe hiyo ya kusherehekea unautoa wapi? kama Mungu mwenye hekima na ufahamu kuliko sisi amenyamaza, sisi ni akina nani hata tumwone kwamba amekosea kutoweka sikukuu ya Mwanawe mpendwa. hebu tujue kuwa sherehe za kuzaliwa hazijawahi kusherehekewa na watu wa taifa la Mungu yaani waisraeli. bali wapagani ndio tunaowasoma kwenye biblia wakisherehekea sikukuu hizo. hebu tunyamaze pale Mungu aliponyamaza. hii ndio unyenyekevu wa kupisha mapenzi ya Mungu
@magdalenapeter6106
@magdalenapeter6106 3 жыл бұрын
HAKIKA KAMA YESU ALIVYOSEMA HAKUNA JAMBO LA SIRINI AMBALO HALITAKUJA KUFICHUKA KWAKWELI NDO KIPINDI HIKI CHA NYAKATI ZA MWISHO
@eliabuelinafassam6127
@eliabuelinafassam6127 3 жыл бұрын
Hakika nimeamua2 mim mwenyew
@NduguEzekiel
@NduguEzekiel 2 жыл бұрын
Haya mambo ni magumu sana hatujui wapi sahihi maana hata waongo wanadanganya kwa kukuangalia usoni, Mungu atuoneshe kama anavyo waonesha wengine ili na sisi tusipotee
@angelanikalenga4757
@angelanikalenga4757 3 жыл бұрын
Someni watesalonike sura ya 2 ..16 mpatejibu kuusu sikuku hacheni upige kristu bila kujihelwa
@victoriamazula5592
@victoriamazula5592 3 жыл бұрын
Antichrist ndiyo wakati wake
@Lih-l3f
@Lih-l3f 7 күн бұрын
Kwa bibilia ya leo tumeanzischwa na Abraham but hatujui kwenye ametoka but kitabu cha Enoch , Jubilee imetuambia kila kitu . Kuna huyu mumama alizaa na mwanawe semiramis akazaa katoto Nimrod ndio kalizaliwa on 25. Dec
@fideleemmanuel3035
@fideleemmanuel3035 2 жыл бұрын
Chrismass ni sherehe ya kipagani ,ata Bwana yesu ameshafunulia watumishi, kwamba iyo sherehe siyo
@benjaminkatore3532
@benjaminkatore3532 3 жыл бұрын
Tunapaswa kujiuliza maswali mengi zaidi kuhusu sababu ya kuadhimisha, mfano Ibada tunayofanya tunamwabudu Mungu wa kwelikweli? Kwa nini watangulizi hawakufanya sherehe hizo? Kwanini tunaweka miti kanisani? Tukiadhimisha bila zawadi na mapambo badala yake tukafundishana NENO na kutiana moyo itakuwa bado tunaadhimisha miungu?
@anitasamson7850
@anitasamson7850 3 жыл бұрын
Hii ni kweli 100% ni sikukuu ya wapagani.
@daudijacob7377
@daudijacob7377 2 жыл бұрын
Mimi sitaki hat kusikia yangu nimepat uo ufunuo
@myself4128
@myself4128 3 жыл бұрын
Xmas ni sherehe ya kipagani iliyoanzishwa nankanisa katoliki....wameharibu sana hawa jamaa
@joshuanjiuka2870
@joshuanjiuka2870 3 жыл бұрын
Sio kweli. Unaushahd gani?
@moshantoj
@moshantoj 3 жыл бұрын
Uwongo
@joshuanjiuka2870
@joshuanjiuka2870 3 жыл бұрын
Ndio walianzisha wao lkn haina tatizo kbs. Wanaosherehekea wako sawa. Nyie msiosherehekea mnasababu zenu ambazo hazina mashiko sababu kubwa mliyonayo et ni ya kipagani. Sio kweli.
@annachachage4765
@annachachage4765 2 жыл бұрын
Joshua hii ni sahihi kabisa,hata mimi huwa sisherehekei cku hii,wapentecoste wanajitahidi kukwepa wkt mwingene ujumbe huwa hauhusu kabisa kuzaliwa kwa Yesu ,lakini bado wanaungana kwenda ibadani kuungana na wanaoshehekea kufuata wakuu wa dunia walionzisha sikukuu hii,BWANA YESU atusaidie.
@joshuanjiuka2870
@joshuanjiuka2870 2 жыл бұрын
@@annachachage4765 Bado mm nakupinga kbs. Wanaosherehekea Christmas wako sahihi. Tatizo la watu wanapenda kupata habari za kuambiwa na si kufanya utaft kiundani kujua kwann. Watu wanaongea tu kuwa ni vibaya kusherehekea na wengi wanaamini. Lkn ukweli ni kwamba walioweka hii siku walikuwa wako sahihi na mimi nawaunga mkono 100%.
@valentinandukuvalentinandu4779
@valentinandukuvalentinandu4779 3 жыл бұрын
kweli nimejua mengi bibilia usipopata mtu makini wa kufafanua huwezi elewa
@RabbitsFarmer
@RabbitsFarmer 7 күн бұрын
Hakuna birthday party in bible wapendwa "be wise as serpent and harmless as dove
@aprilking8250
@aprilking8250 3 жыл бұрын
Christmas siyo siku ya kuzaliwa kwa yesu bali ni siku ya ukumbusho wa kuzaliwa Mfalme wa wafalme wote ulimwenguni shetani alijaribu kuzuwiya Christmas tangu zamani maana inalitangaza Jina la Yesu. Katika wakati huu ambao aduwi anajaribu kulifuta jina la Yesu ulimwenguni wewe sherekea Christmas sio vibaya maana Christmas ya kwanza ilisherekewa na kundi la malaika kutoka mbinguni pamoja na wachungaji wa kondoo na wa majusi.
@myself4128
@myself4128 3 жыл бұрын
NI SIKUKUU YA KIPAGANI MKRISTO HATAKIWI KUSHEREKEA!¡ KUZALIWA KWA YESU SIO MWANZO WAKE SABABU ALIKUJA TU DUNIANI KW AKUZALIWA LAKNI HAUKUA MWANZO WAKE!! YEYE MI ALFA NA OMEGA HANA MWANZO NDIYE MWANZO NA HANA MWISHO
@wilsonlameck4046
@wilsonlameck4046 3 жыл бұрын
@@myself4128 Huo ni mtazamo wako! Kwa mawazo yako unakanusha kuzali kwake! Naomba utoe mifano ya wapagani wanaoendeleza upagani wao rmMi asmi! Maana Leo mahali pa upagani pamesambaratishwa na Nguvu ya Mungu kupitia Kristo yaani Krismasi(makusanyiko ya kristo). Mafarisayo na waandishi walikuwa na mtazamo kama wako, walopo mwambia Yesu anakula na watoza ushuru na wenyenye dhambi, walipomletea mwanamke mzinzi,alipoongea na mwanamke msamaria,wanfunzi wake walipokula bila kutawadha,Yesu alipoponya siku ya sabato,walisema yeye so Wa Mungu kama unavyowasukumia jehanamu wanaosherehekea Krisimasi!
@marykilila8786
@marykilila8786 3 жыл бұрын
Wagalatia 4:8-11 Lakini wakati ule musipojua Mungu, mumetumikia wao wasio miungu kwa asili, 9 ) lakini sasa mukikwisha kujua Mungu,, ama afazali mukijuliwa na Mungu, sababu gani mumegeuka tena kwa maneno ya uzaifu na masikini ,muliyotaka muyatumikie tena? 10) MUNASHIKA SIKU NA MIEZI, NA NYAKATI NA MIAKA . 11 Ninawaogopa ninyi ,isiwe hakose ninajitaabisha kwenu bure.
@albertinamichael6123
@albertinamichael6123 3 жыл бұрын
Bible inasema ni heri siku ya kufa kuliko siku ya kuzaliwa watu wote wanao sherehekea beth day ni wapagani.
@sarahjacobs8814
@sarahjacobs8814 3 жыл бұрын
Wale wanasema wamefunuliwa wangejua Ila katika ulimwengu wa rohoni Yesu alizalwa 9/9/20.ama mwaka wa 21
@myself4128
@myself4128 3 жыл бұрын
Uongo mtupu¡! hakuna anaejua muda wa kuzaliwa kwa Yesu
@ivonaevarista4654
@ivonaevarista4654 3 жыл бұрын
Mpotoshaji wew,apo alizaliwa n kabichi huwa mnatoa wapii maandiko yakijinga hvo, Yesu atusamehe
@williammwaipaja1223
@williammwaipaja1223 3 жыл бұрын
Sasa nashukuru KZbin kwamba wanaruhusu ukweli uwekwe wazi. Endeleeni hivyo ili watu waokolewe ambao walikuwa wakijifurahisha kwenye udharimu wakidhani wanamtukuza Mungu
@barnaba3037
@barnaba3037 3 жыл бұрын
Kwani hapo shida ni nini? Shida ni siku au shida ni kusherekea? Kama wao walimwabudu Mungu jua siku hiyo na sisi tunamwabudu Mungu wa kweli shida ni ipi apo? Mtu anasherekea kwa kwenda kanisani kumwabudu na kumshukuru Mungu shida iko wapi apo? Kama shida ni siku baasi siku zote ni za miungu maana siku zilipewa majina kutokana na miungu wa kirumi.mfano sunday ilikuwa ni sun day siku ya kuabudu mungu jua kwa hiyo mnataka kumaanisha kuwa wanaoabudu jumapili wanaabudu Mungu jua ? Na Saturday ilikuwa ni siku ya Mungu Saturn kwa hiyo wanaoabudu jumamosi nao wanaabudu Mungu Saturn? Amani ya Kristo iamue mioyoni mwenu.
@ivonaevarista4654
@ivonaevarista4654 3 жыл бұрын
Endelea tu kusherekea ukifa utajua km ulikua sahihi au hapana kwan kila mtu hubeba furushi lake na kazi ya injili sikukaa kimya at kwakua wote hawamuamini Yesu,watakaosikia nakuamua kumfuata Yesu watapata kile kilichoahidiwa,mnapindua mambo tu at mkiulizwa huo mti umetoka wap hamna majibu naamn watu wataelewa kupitia clip hii wanaotak kuelewa
@marykilila8786
@marykilila8786 3 жыл бұрын
Shida ni hii : Yesu mwenyewe alishi duniani mwaka 33 hakusherekeya sikukuu ya kuzaliwa kwake. Mitume na manabii na wao hawakupewa ruhusa kuisherekeya na sisi wakristo tumejengwa juu ya msingi ya Mitume na Manabii .Tena tusisahau biblia inasema tusiongeze wala kupunguza mu maandiko, Watu wanaongeza neno chrismas na Noeli hayakuandikwa.. jee huoni hasara ??? Neno limejuice tayari.
@barnaba3037
@barnaba3037 3 жыл бұрын
@@marykilila8786 kwani mtu kusherekea sikukuu yake ya kuzaliwa ni dhambi au siyo dhambi? Nijibu kwa maandiko
@marykilila8786
@marykilila8786 3 жыл бұрын
@@barnaba3037 Mimi kwanza sisherekee wala kufanya sherehe ya kuzaliwa ni upuuzi mtupu. Ila nakushauri kwa kuwa unapenda sherehe ,sherekea siku ambayo ulizaliwa mara ya pili siku ya ukumbusho wa wokovu wako .Usherekeye kwa kuabudu na kusifu Mungu ,sio kwa kula na kunywa.Hapo na Mungu atakuinua Aminaaaaaaa
@marykilila8786
@marykilila8786 3 жыл бұрын
@@barnaba3037 Angalia Waroma 8 : 7 - 8 Kwa sababu ni ya mwili ni uadui juu ya Mungu kwa maana haitii sheria ya Mungu wala haiwezi 8 basi hivi walio wa mwili hawawezi kumpendeza Mungu. Sherehe sherehe ni vya kufuraisha mwili tuu . Jinajaa makelele na fujo. Asante
@gaudenceharerimana7743
@gaudenceharerimana7743 3 жыл бұрын
Ni business ya Matajili wapate wateja au castoma wakununua biashara vyao
@eliabuelinafassam6127
@eliabuelinafassam6127 3 жыл бұрын
Kuwa makini kaka
@baya7067
@baya7067 3 жыл бұрын
Hahaha!
@williammwaipaja1223
@williammwaipaja1223 3 жыл бұрын
kumbe hawa youtube hawataki ukweli uwekwe wazi, mbona meseji za kina kimaandiko kuweka wazi upotofu wanazifuta?
@barakashamba5811
@barakashamba5811 3 жыл бұрын
Rekebisha kichwa cha habari sio 'KUSHEHEREKEA' bali ni ' KUSHEREHEKEA'
@PromovertvTz
@PromovertvTz 3 жыл бұрын
Asante sana kwa kuliona hilo,tunarekebisha
@theresiamasawe4792
@theresiamasawe4792 3 жыл бұрын
Jua linazaliwa??? Hebu nipeni jibu.
@williammwaipaja1223
@williammwaipaja1223 3 жыл бұрын
NINYI PROMOVER MBONA NIKICOMMENNT HUWA SIZIONI COMMENTS ZANGU BAADAE. NAKOSEA WAPI MAANA ZA WENGINE ZIPO
@saumusally
@saumusally 3 жыл бұрын
Me naiona usijali kaka
@PromovertvTz
@PromovertvTz 3 жыл бұрын
Ni matatizo tu ya kimfumo,wanafuta KZbin wenyewe iwapo umetumia mameno makali
@saumusally
@saumusally 3 жыл бұрын
Nishaelewa
@williammwaipaja1223
@williammwaipaja1223 3 жыл бұрын
@@saumusally ASANTE KUNIJULISHA HILO JAPO SIJAJUA UMEIONA KIVIPI NA NI IPI, AU NIPE NAMBA YAKO NIJUE KIURAHISI
@marykilila8786
@marykilila8786 3 жыл бұрын
Jacktan kwa nini andiko ya kitabu cha UFUNUO 19 : 16 hamuna neno chrismas?? hata biblia nzima hamuna hilo chrismas ao Noeli Biblia takatifu hamna hayo maneno mawili.
@esthermawazo9490
@esthermawazo9490 3 жыл бұрын
Kwenye biblia ziko sikukuu lakini si ya kuzaliwa
@williammwaipaja1223
@williammwaipaja1223 3 жыл бұрын
Watumishi wa uongo huja kwa jina la Kristo kwa nje, lakini hutumia jina la Yesu kuliingiza neno la adui ili kuwapoteza wanaolipokea -Mathayo 7:15 na 2Petro 2:1-3. Je, tudai watumishi wa uongo ni watumishi wa Kristo kwa vile eti wanatumia jina la Yesu? Kiroho, ukishindwa na uongo basi umekuwa mtumwa wa mtu yule aliyeutunga uongo huo ingawaje bado utajiita mtumwa wa Kristo 2Pet 2:19. Kujitungia sikukuu za ibada za kujibunia sisi wenyewe ni kosa kubwa -1Falme12:26-33 na 2Falme 14:19-23.
@benjaminbatano698
@benjaminbatano698 3 жыл бұрын
Hivi jamani jua lilizaliwa kweli?
@eliabuelinafassam6127
@eliabuelinafassam6127 3 жыл бұрын
Ndiooo
@hosseawillam9313
@hosseawillam9313 3 жыл бұрын
Haya mambo uliyoyaongea hapa niabali zahuongo hakuna uwakika wowote nisitori zakutunga hayo mambo yamungu jua nimambo yaibilisi acheni kubabaisha watu ikiwa malaika walisherekea kuzaliwa kwa yesu weweninani usisherekee
@happynesslucas7388
@happynesslucas7388 3 жыл бұрын
Usijal maana ata kuzimu pia utakumbushwa kuwa uliambiwa na utakuwa umekwisha Chelewa MUNGU atuepushe na mabaya
@ivonaevarista4654
@ivonaevarista4654 3 жыл бұрын
@@happynesslucas7388 kabisa wacha wabishe maam wana macho lakin hawaoni wana maskio lakini n viziwi
@evelinelema3395
@evelinelema3395 3 жыл бұрын
Hata jina Yesu limetengenezwa na wazungu. Kristo wa kweli hakuwa mzungu Wala hakuzaliwa miaka 2000 iliyopita alikuja miaka mingi Sana ya nyuma iliyopita kwa Haya na ukweli wote uliofichwa ungana na Imani Mcimbwa KZbin utaijua kweli.Yeremia 8:8 inonyesha jinsi biblia imefanywa kuwa uongo kwa mkono wa waandishi biblia imechakachuliwa Sana .Sisi watu weusi ndio wana wa Israel taifa teule la Mungu ufunua 9:2 naijua dhiki yako na umasikini wako.nayajua na matukano ya hao wasemao ya kuwa ni wayahudi nao sio Bali ji ainagogi la shetani pia mwanzo 6:1 -------- inaonesha namna rangi nyingine Ilivyokuja duniani
@babumrisha
@babumrisha 3 жыл бұрын
Duh! kazi kwelikweli, tutaskia mengi sana! kuna mwingine naye kasema Edeni iko Tanzania, kha!
@ivonaevarista4654
@ivonaevarista4654 3 жыл бұрын
@@babumrisha hahahaa hatariiu
@janegeogre3234
@janegeogre3234 3 жыл бұрын
una kiherehere weee
@williammwaipaja1223
@williammwaipaja1223 3 жыл бұрын
EH dada Evelina yaani ukisema Biblia imechakachuliwa, ni sawa na kusema Mungu alilala usingizi, ni sawa na kusema Mungu hayajui ya mbele au kama anajua, basi hana uwezo wa kuzuia. Tunaona unabii ulionenwa kwenye Biblia ukitimia kila leo. Yesu Bwana alisema watakuja watu kwa jina lake watadanganya wengi. Sasa ndio wakati ambapo kila mtu anasema kadri ya alivyodanganywa. 25 desemba ni ya wapagani walioiingiza kwenye uitwao ukristo, lakini hawajaiingiza kwenye biblia ila kwenye fahamu za waitwao wakristo. udanganyifu uko kwa watu, lakini hauko ndani ya Biblia. Dada hebu jifunze upya kwa moyo mweupe wa kufundishika kama unahitaji kuujua ukweli ambao ni kama hazina iliyositirika. Dada kama biblia imebadilishwa Mungu atawahukumu vipi watu maana hakuna sheria zake soma Yohana 12:48. Hebu niambie atawahukumu vipi huku ya kwake hayapo? Mungu ametudhihirishia kwenye Biblia hata tusiwe na visingizio wakati wa hukumu - Uf 16:7. Ujue Mungu hawezi kuruhusu shetani avuke mpaka hata kubadilisha maagizo yake ila shetani atawadanganya watu wasifuate aliyoyaagiza Mungu kwenye Maandiko Matakatifu Biblia. Neno lake kwenye Biblia watalibadilisha kwenye mafundisho yao makanisani na kufuata kinyume na andiko lake. na kama biblia itabadilishwa, basi ya kwao hao wadanganyaji, lakini Biblia origino itabakia kama shahidi mwaminifu hata siku ya hukumu. Hivi unajua maana ya myahudi?
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
Wewe nafikiri unaleta Dini mpya huko KZbin,Watu wanafunuliwa Kila kukicha na Hakuna aliyekwisha sema Yesu tunayemuona Vitabuni akiandikwa siyo Yeye,tabu saana
@williammwaipaja1223
@williammwaipaja1223 3 жыл бұрын
Hebu tusidhani Mungu alipitiwa kutojua umuhimu wa kuweka tarehe ya kuzaliwa Yesu. Biblia haijapungua neno, neno lake amelipima milele na kuliona limekamilika. Hivyo kutafuta neno la mawazo yetu pungufu kuliongezea ni ishara ya sisi kupungua kumfahamu yeye kuwa ni mkamilifu mwenye hekima ipitayo akili zote -Mithali 30:5,6. Je, tunaona Mungu amekosea kutoweka kwenye Biblia tarehe ya kuzaliwa Yesu kiasi kwamba sasa tunamrekebisha kwa kumpachikia tarehe ya kimizimu kumpambia Yesu? Yesu amekuwa mtoto yatima mwenye kuhitaji msaada wa kuvishwa nguo zilizookotwa huko kwenye ibada za kimizimu? Ni Mungu mwenye wivu kumletea mapotofu ya kumpambia - Kumb 4:23,24; Kut 34:14.
@willymwaipaja6783
@willymwaipaja6783 3 жыл бұрын
NINYI PROMOVER MBONA COMMENTS ZANGU ZINAFUTWA MAANA SIZIONI TENA BAADAE
@PromovertvTz
@PromovertvTz 3 жыл бұрын
Ni matatizo tu ya kimfumo,wanafuta KZbin wenyewe iwapo umetumia mameno makali
@williammwaipaja1223
@williammwaipaja1223 3 жыл бұрын
@@PromovertvTz nadhani si ukali wa maneno bali ni ukweli mwangavu unaowauma wasiotaka kusikia
@jayjay4313
@jayjay4313 3 жыл бұрын
Jipange wewe tafuta pesa za zawadi za wanao kwa watoto ndugu na jamaa zako. Kweli wapinga Kristo hawaishi kutapa tapa.
@justinesteven1036
@justinesteven1036 3 жыл бұрын
kwani watu wanaposhehelekea siku zao za kuzaliwa ni dhambi?malaika waliwatokea wachungaji wao ndo walikua wakwanza kushehelekea siku yakuzaliwa Yesu.pia hivi wewe unaposheherekea siku yako yakuzaliwa inamaana mwaka huo ndo umezaliwa?acha ujinga kwa tafsiri zako.
@happynesslucas7388
@happynesslucas7388 3 жыл бұрын
Wew unaweza sherehekea Siku na tareh ambayo hujazaliwa? Soma luka 1:26 utaelewa MUNGU akusaidie uwez kuelewa
@marybee6124
@marybee6124 3 жыл бұрын
Umefungwa ufahamu
@sophiamakani6133
@sophiamakani6133 2 жыл бұрын
Sio lazima kusherekea siku yako ya kuzaliwa inafaa kuitakasa jina lako na kusoma neno
So Cute 🥰 who is better?
00:15
dednahype
Рет қаралды 19 МЛН
Сестра обхитрила!
00:17
Victoria Portfolio
Рет қаралды 958 М.
How to treat Acne💉
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 108 МЛН
Quando A Diferença De Altura É Muito Grande 😲😂
00:12
Mari Maria
Рет қаралды 45 МЛН
MAJINA YAO YAMEONDOLEWA KWENYE KITABU CHA UZIMA
32:00
Ukweli Ministries
Рет қаралды 48 М.
MAMBO YA AJABU USIYOYAJUA AMBAYO YATATOKEA HIVI KARIBUNI | ASKOFU GWAJIMA
56:45
Josephat Gwajima RudishaTv
Рет қаралды 94 М.
JINSI YA KUJUA MAKANISA YENYE IMANI POTOVU NA MCH. ABIUD MISHOL
1:42:52
Mch. Abiud Misholi
Рет қаралды 10 М.
UOZO WAWAIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI
13:50
SHUHUDA ZA KWELI
Рет қаралды 16 М.
NILIONA RAISI  WA TANZANIA AKIPINDULIWA: PART-2 SANAMU YA TANZANIA
25:33
So Cute 🥰 who is better?
00:15
dednahype
Рет қаралды 19 МЛН