Ma sha Allah ,Allah akulipe khery nying nimekusikiliza mpaka Raha hakika mda mchache umeongea vizuri umegusa Kila Kona ,Allah akuzidishie Elim
@eshasalim5496 Жыл бұрын
Maa Shaa ALLAH, Tabaaraka ALLAH! SWADAQTA ❤
@chimilasaid447 Жыл бұрын
ukty uko n busra Allah akupe umri mrefu inshallah ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@MuhmediJuma Жыл бұрын
❤❤❤❤ mashaaalah jazakallahu lkheri mamaaa🎉🎉🎉🎉🎉
@ZaitunShaban-vr2vi6 ай бұрын
Allah akulipe Fatma, nakupenda kwa ajili ya Allah
@dottohami Жыл бұрын
Mashaallh ukhuty umeongea ponti ❤️
@rahmahasan325 ай бұрын
Masha Allah ❤
@halimamfaume1925 Жыл бұрын
MashaAllah ❤❤❤
@aminamwinyi4189 Жыл бұрын
Mashallah
@bigboys0166 ай бұрын
Huyu dada namkubali hutuba zake,japo mimi si mwislam ila huwa nampenda na na mwelewa sana ,she speak very friendly
@LydiaIsangi3 ай бұрын
Hongera sana
@sadamabdulally1979 Жыл бұрын
إذا أسند الأمر إلى غير أهله فانتصر الساعة Majukum yakielekezwa Kwa wasio sitahili subirini qiyama
@rect5590 Жыл бұрын
MashaAllah uislamu haukuacha kitu
@ummusalim1991 Жыл бұрын
Asante sanaaa Ukhty😊
@yazidbafunda5092 Жыл бұрын
7:12 lakini ukhty si ALLAH kawambia mkae majumbani kwenu??? Suratu al Ahzab aya ya 33
@saidtembele3070 Жыл бұрын
Labda hiyo aya haijambainikia 😢😢😢😢 mtihani saana
@yazidbafunda5092 Жыл бұрын
Wanaiona ila hawaielewi tafsir yake nahisi
@ummumuuminsalim4330 Жыл бұрын
Ma shaa Allah
@AbdulNassir-e2l6 ай бұрын
Best speech ever
@aishaswidiq Жыл бұрын
Elimu inayokusudiwa hapo ni elimu ya kisheria nasi yakidunia
@saidtembele3070 Жыл бұрын
Mtihani saana
@saumkisira9328 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤
@fatmanaila Жыл бұрын
❤a
@JumaHory-nl6lb Жыл бұрын
Ukhti umeonge vizuri sans maneno pwenti tupu
@metrom8009 Жыл бұрын
Tuonyesheni kazi ya bunge mubashara ya africa ya mashariki wakizungumzia maswala yawainchi wanainchi walo ishi ndani ya hzi inchi
@haliyashauri4906 Жыл бұрын
Najiskia faraja nikiona uislam unavyotikisa media nyng
@hajjiomary2383 Жыл бұрын
Yanaohusu dini utarudishwa nyuma tu.ama yale ya haki yako utapata sasa kuna wanawake wengine wanataka nusu kwa nusu na wakipewa katika mfumo wa dini wanakwambia uwislam unawazurumu
@salminimwaipopo2349 Жыл бұрын
Mbona wanapiga makofi tena😅.nimeshtuka hapo kuna mchanganyiko waislam hatupigi makofi Abadan
@sadamabdulally1979 Жыл бұрын
Huyu dada naona kunakitu anakitafuta Lakini anatafuta chansi kwajina la dini Inaweza kuona unajua kumbe ni jaahil
@Badrumchekwa Жыл бұрын
umeona ee dada anazingua
@IbnuAlly-cg2gn Жыл бұрын
Itifaki ndo salamu au pana makafiri apo
@IbnuAlly-cg2gn Жыл бұрын
Musitafute sababu za kuzurura mitaani kaeni majumbani mwenu mulee watoto
@sygtamks1643 Жыл бұрын
😅😅😅msilalamike sasa kuwa hali ngumu kipato hakitoshi
@IbnuAlly-cg2gn Жыл бұрын
@@sygtamks1643 kwan hali ngumu na kipato kuwa kidogo ni wanawake kutokufanya kaz au ni kutokana na maendeleo madogo ya nchi? Na hata wawe tayari kufanya kaz ziko wap?
@husseinhumudy1463 Жыл бұрын
Swadkta
@maulidmloto Жыл бұрын
@@husseinhumudy1463 bishaykhayt umy umetoa wp hayo tupe dalili nje ya dini kama ndani qur-an kama wanwume wanakosea