BACHU AANZISHA MSIKITI WA FITNA LAMU VISIWANI

  Рет қаралды 8,105

RAMIYA WETU TV

RAMIYA WETU TV

29 күн бұрын

Mtoaji mada ustadh muhsin bute Mtetezi wa Vijana wa kitwariqa

Пікірлер: 224
@abbakariathumani9141
@abbakariathumani9141 25 күн бұрын
Mohammadi bachu Mungu ampe nguvu kubwa katika. Daawa
@salehrashid-fx9rq
@salehrashid-fx9rq 15 күн бұрын
Allwah amlinde sheikh Muhammad na wanafiki kama hawa wasiojielewa.
@hakeemprince6868
@hakeemprince6868 26 күн бұрын
Waislamu ni ndugu ummah mmoja ni kama mwili mmoja kwahivyo tupendane tuhurumiane tuwe sote pamoja
@ABDULLAOALI
@ABDULLAOALI 26 күн бұрын
Eti msikiti wa kitwarika! Subhana Allah, Allah anasema! انالمساجدلله فللاتدع مع الله احدا Masheikh Muogopeni Allah hii dunia ni njia tu tunaenda mbele ya Allah yatawekwa wazi yote kwa Allah!
@abuualiyalbahsany8740
@abuualiyalbahsany8740 26 күн бұрын
Shukran kwa ukumbusho Lakini unapoandika aya za Quran hakiki vzr uwandishi wa maneno ya Allah. Allah akubariki
@AbdulMohamed-ox6id
@AbdulMohamed-ox6id 25 күн бұрын
Watu wa Shanga maisha yao wanaishi kwa udugu na amani, lakini s asa fitna ishaingia, inshaAllAH mungu atawastiri ndugu zetu wa shanga A
@HilalAlhabsi786
@HilalAlhabsi786 25 күн бұрын
عربى - التفسير الميسر : وأن المساجد لعبادة الله وحده، فلا تعبدوا فيها غيره، وأخلصوا له الدعاء والعبادة فيها؛ فإن المساجد لم تُبْنَ إلا ليُعبَدَ اللهُ وحده فيها، دون من سواه، وفي هذا وجوب تنزيه المساجد من كل ما يشوب الإخلاص لله، ومتابعة رسوله محمد صلى الله عليه وسلم.
@HilalAlhabsi786
@HilalAlhabsi786 25 күн бұрын
Hio aya inaanza kusema. MSIKITI NI WA ALLAH SW WALA USIOMBE MUNGU MWENGINE PAMOJA NA ALLAH SW. AU ULIFKIRI INAKQTAZWA KUOMBA MTU HAPO?. MAWAHABI VILAZA 😂😂😂
@user-xb6tr5vq4b
@user-xb6tr5vq4b 23 күн бұрын
Asalam aleykum warahmatullah wabarakatuh haomuwe munaangalia uwongowao
@AbdulwahidAli-md6re
@AbdulwahidAli-md6re 24 күн бұрын
Hiyo Aya waitumia kumkufurisha muislam mwenzio na Hali iyo Aya yawazungumzia wanafiki huoni kuwa umeitumia mahala sipo mm naona kuna mambo mumeyaficha kwenye vifua vyenu na Allah amekwisha sema katika aya zake " Na yakakusanywa yaliomo vifuani". Ikumbukeni sana hii siku msije mkajuta
@mohammedyusuf8031
@mohammedyusuf8031 26 күн бұрын
InshaAllah kupitia huo mskiti Allah ataleta nuru ya sunna na hizo shirki zenu zitaondoka
@ShamsaMohammad-v1b
@ShamsaMohammad-v1b 26 күн бұрын
Kabisaaa
@RamyGichero
@RamyGichero 25 күн бұрын
Hamna hekma ya eneza Imani yenu mnavuruga jamii na kuleta chuki mawahabi
@HappyBlackKitten-nt2lp
@HappyBlackKitten-nt2lp 25 күн бұрын
Bacho songa mbele
@AmirathumaniSori
@AmirathumaniSori 15 күн бұрын
Jama😅 mashekhe wengn ni mutihan 2 mbele ya mungu mutakuja kuzalilika san
@MohamediNdwata
@MohamediNdwata 15 күн бұрын
Unajenga unabomoa shikamana na waislam katika njia ya Allah
@AllyAme-h9e
@AllyAme-h9e 6 күн бұрын
Mashekhe mitihani hii
@user-xb6tr5vq4b
@user-xb6tr5vq4b 23 күн бұрын
Shekhe bachu hawawatuwamaneno utawaweza kwasababu aya walahadidhî hawajui
@NurudinYazid
@NurudinYazid 25 күн бұрын
Mashaa Allah kwa nasaha nzur yaa ustadhy zid ya fitna zinazo endelea kwa ulimwengu wa sas
@MohammedSalim-lz3bv
@MohammedSalim-lz3bv 21 күн бұрын
Ustadh huna hoja ya msingi, mlikuwa msimzuwie kutowa dawa, sasa Acha dawa ije kwa njia nyengine, huwezi kuzuwia maneno ya Mungu....
@AllyAme-h9e
@AllyAme-h9e 6 күн бұрын
Jamani cc tunao comment ni kharamu kumuita muislamu mwenzako kafiri tujirekebisheni jamani sote lengo letu JANNA
@WakaliFashionTz
@WakaliFashionTz 23 күн бұрын
Hii inaonyesha dawa imewaingia vzr sana
@JumaSalimin
@JumaSalimin 25 күн бұрын
Pole sana sheikh wangu, wenye msikiti wao hawataki dawa nihio tu kuepusha shari. Kujenga msikiti mwengine MASHALLAH.
@ShabaniKibwana-z7d
@ShabaniKibwana-z7d 22 күн бұрын
Subhanallah
@user-lp3gi5wd4e
@user-lp3gi5wd4e 25 күн бұрын
Kazi mnayo! Kama mlikua mnaswali eid moja siku moja mjue sasa mtaswali eid siku mbili tofauti.
@WakaliFashionTz
@WakaliFashionTz 23 күн бұрын
Masheikh wa kisuf akili ndo tatizo mnamisimamo ya kitetea matamanio ya nafsi zao
@IsmailIbrahim-go3dy
@IsmailIbrahim-go3dy 24 күн бұрын
Na je walio mfukuza sheikh Mohammed bachu wame Jenga ule wa kwao na kumfukuza sheikh asifanye da'awah ni msikiti aina gani brother, Tena eti huyu sheikh ni mtu wa Sunnah subhana Allah
@thamani5842
@thamani5842 26 күн бұрын
Jazakalkahu lkheir Sheikh
@shuaibabdullahi7544
@shuaibabdullahi7544 11 күн бұрын
Huyu shaikh ni mkuweli
@AbdillahSOthman
@AbdillahSOthman 20 күн бұрын
Mtu akimaliza kuujenga msikiti huo sio mskiti wake bali ni Nyumba ya Allah. Na waislam hupaswa kuutumia kwa ibada. Sasa mwenye chuki na hasad za kuwa alijenga fulani kwa kuwa yeye ana msimamo fulani hao watajipoteza. Kauli ni kumuabudu mola mpka mauti mmoja wenu yamkute huku ibada hakuziacha.
@saidjuma4547
@saidjuma4547 24 күн бұрын
shekh Muhammad bachu usirudi nyuma hawa watu wa twarika hawawezi izima nguvu ya Allah
@SeifSimba-qq8rk
@SeifSimba-qq8rk 16 күн бұрын
Em shekh toa kufru sita zinazofanywa katika miskiti ya masalafi
@user-qv9ep6wq1t
@user-qv9ep6wq1t 24 күн бұрын
Mawahabi wamekua kama wakiristo kwamba kila mtaa wenye msikiti kuwe na kanisa sasa wao moja ya mikakati yao ni kila penye msikiti wa Ahlu sunna kuwe na masjidu dhiraar
@swahabahusein23
@swahabahusein23 26 күн бұрын
Masha Allah wazushi mko na shida sana
@MAPETEE
@MAPETEE 26 күн бұрын
Bachu ni mfitinishaji sanaa
@MohammedSaid-tf5qc
@MohammedSaid-tf5qc 26 күн бұрын
Nyinyi watu wakenya mnamlea huyo huku Tanzania huyo kazuiliwa kusema walakutoa mawaidha yake ya kufitinisha watu mzuilieni huto
@hajikhatib9560
@hajikhatib9560 26 күн бұрын
Bidakweli
@hajikhatib9560
@hajikhatib9560 26 күн бұрын
​nenda ww kazuwiye
@hajikhatib9560
@hajikhatib9560 26 күн бұрын
Hayoni yakwenu
@saidimkwinzu9106
@saidimkwinzu9106 21 күн бұрын
Kama wewe ulivokua fitna
@mohamedswalehe4442
@mohamedswalehe4442 21 күн бұрын
Bachu hajielewi kama anajielewa angepambana barabara namjadala na Sheikh Said
@MohammedSalim-lz3bv
@MohammedSalim-lz3bv 21 күн бұрын
Kazi kuabudu makaburi, lazima muambie ukweli...
@husseinibrahim5470
@husseinibrahim5470 24 күн бұрын
Bado hamuwezi tafautisha kati ya chumvi na sukari hata kwa macho au kuonja. Haki na batil kawmwe havifanani. M Bachu Allah akuhifadhi.
@mikekhalifaali7510
@mikekhalifaali7510 25 күн бұрын
Bi Idhin Allah msikiti wa Sunna utajengwa na watu wa Maulid mtadhalilika hapa duniani na kesho akhera
@OsmanAli-zb3tu
@OsmanAli-zb3tu 26 күн бұрын
Hata mtumepiaalimbuwa agawanya watu haikuanza kwa sheikh muhammad bachu Allah amuhifadhi
@farishfarish258
@farishfarish258 21 күн бұрын
We xhekh ni mchochezi huna elimu unamponda bachu yupo kwenye haki
@ExcitedChefHat-ef5jt
@ExcitedChefHat-ef5jt 24 күн бұрын
Wewe ustadh nenda kalale tafadhali , fundisha ilmu ya matwari na kupiga zumari msikitini maulidi na hitima na kupiga ramli na . Wacha chuki zako mbovu za kikafiri kwa mwalimu wetu na shekhe wetu Muhammad Nassor bachu Allah amuhifadh.
@abdallahassan2080
@abdallahassan2080 19 күн бұрын
Si ajabu ukisema ni mwanafunzi wake sababu mwafanana
@FahadMasoud-io4mb
@FahadMasoud-io4mb 26 күн бұрын
Yaani masheikh wote hawajui wao ndio wajuzi,ukijikweza mungu atakushusha
@farishfarish258
@farishfarish258 21 күн бұрын
Bachu Allah akulipe khery
@SuolFat
@SuolFat 25 күн бұрын
Hongera sheikhe umesema ukweli
@sulehassanshall6140
@sulehassanshall6140 26 күн бұрын
Mimi nitatoka ushahidi mbele ya Allah yakua Watu wakiwahabi niwatu wafitna...nishawahi kuwaona mawahabi wawasaliti waislam wenzao kwaserikali ili waislam Hao wafungwe ..mawahabi niwatu wafitna Shetani Amewaingia kwanafci zao kufitinisha waislam.....
@saidimkwinzu9106
@saidimkwinzu9106 21 күн бұрын
Kumbe ishu ilikua nin au umeichukua habari jujuu kama mafadiqi hebu niambie tatizo la wao kupelekana mahakamani kufungwa
@drmahwa8166
@drmahwa8166 17 күн бұрын
Muogope Allaah achana na unafiqi.bidah ni mrango wa moto​@@saidimkwinzu9106
@IsmailGavara-y3t
@IsmailGavara-y3t 25 күн бұрын
Pigeni kelele tu mkiti utanengwa huu ni utangulizi tu zitajengwa misikiti zaki sunni kweli kweli inshallah
@saidimkwinzu9106
@saidimkwinzu9106 21 күн бұрын
Kichwa cha habari tu kinaonesha upumbavu wenu na akili ndogo kuna msikiti wa fitna dunian??? Kichwani hauko sawa
@OfficialAbdulrashedalhilaly
@OfficialAbdulrashedalhilaly 24 күн бұрын
ALHAMDULILLAAAH WATU WATWARIKA HAWAFAI KUWA HATA WAFANYA USAFI MSIKITINI UKIPATA UWEZO WA KUMTOA MTWARIQA KTK UIMAMU NI KHERI KUBWA IMEFANYA WEWE SABABU HAO NI WAPOTOSHAJI SIO WAONGOZAJI HONGERA SH BACHU LAMU SASA YAENDA PATA MSIKITI YA SUNNA ALHAMDULILLAAAH RABIL ALAMIIN
@saidjuma4547
@saidjuma4547 24 күн бұрын
hujasema kweli ww mtowa posti hii umefeli unatafuta kujibiwa ili upate kiki
@husseinibrahim5470
@husseinibrahim5470 24 күн бұрын
Bachu anaelimu mbembelezi afunze sunna ya RasulAllah
@TheMousser
@TheMousser 25 күн бұрын
kwa hio bachu anajenga mskiti wa makafiri, ndio mtume alivyo tufundisha
@SeifSimba-qq8rk
@SeifSimba-qq8rk 16 күн бұрын
Nyinyi ndio mwawagawanya watu kwasababu hanpendi haki isitumie aya kupotoa watu
@AbuuKhalid-h1i
@AbuuKhalid-h1i 23 күн бұрын
Ndugu anglia unacho kihadharisha utaenda kulipwa kwa kuzuia kuenea haki chuki zutakuingiza katika ghadhab za Allah kuwa makin ndugu yangu.
@YahyaYahya-vp2pp
@YahyaYahya-vp2pp 26 күн бұрын
Vip wengelimruhusu akafanya hiyo dawaa msikitini je muhammad angejenga huo msikiti mwengine lkn wameyanzaa wao kuwagawa waislam kwa kuwazuia kuinga ktk msikiti acha watu wajengee mwengine ambao watafanya harakat zao za dawa
@user-xb6tr5vq4b
@user-xb6tr5vq4b 23 күн бұрын
Wewe mtuwakitwarika kwakuzungumza bila aya walahadidhi ndomnajua Nahao manenoyako bilahadidhi wala aya hayatusumbuisisi
@SharrifCharo-mi1bn
@SharrifCharo-mi1bn 23 күн бұрын
Unaogopa waumini hawato ingia kwa misikitu ya maulidi
@hajikomora703
@hajikomora703 27 күн бұрын
Swali. Je ni ipi hukmu y mwnye kuswali kwenye huo msikiti w Ustadh. Bachu?
@user-ib7kx9dc5m
@user-ib7kx9dc5m 26 күн бұрын
Kweli huyo ni mfitinishaji ana wagawa waisilam Kwa msilahi ya wakatorck mpuuzi sana
@user-xb6tr5vq4b
@user-xb6tr5vq4b 23 күн бұрын
Na ulichokifundisha hakieleweki ilatu nichuki apo ndoo umeeleweka
@salehrashid-fx9rq
@salehrashid-fx9rq 15 күн бұрын
Ukiongea ongea kama mwanamme, usilegeze sauti
@SharrifCharo-mi1bn
@SharrifCharo-mi1bn 23 күн бұрын
Watu maulidi wanakazi
@abedkarume9088
@abedkarume9088 26 күн бұрын
Mashekh nanyie kama wasanii siku hizo tangu muwe mitandao hamna makongamano ya pamoja kuchanuwana na kukosoan nyingi kwa waislam muje na lengo moja
@al-aminbaruan6167
@al-aminbaruan6167 25 күн бұрын
KWELI UJINGA NI MZIGO. NGUVU NYINGI PUMBA TUPU.
@IsmailGavara-y3t
@IsmailGavara-y3t 25 күн бұрын
Masufi ni makafiri tu kama makafiri wengine sio jipya
@AllyAme-h9e
@AllyAme-h9e 6 күн бұрын
Hawa mashekhe ndo kioo chetu wanafanya haya cc tufanyeje
@AMADIEE
@AMADIEE 26 күн бұрын
Mwaipinga haki ila haki haipingiki wacha khofu mwenye macho haambiwi ona. Kisha ukiita watu makafiri basi kama wao simakafiri automatic wewe una kuwa kafiri kama yule mlengwa sio kafiri.
@pablooo4197
@pablooo4197 24 күн бұрын
Twarika na ahlul sunnah vinaambatana wapi na wapi?? Huyu jamaa vipi lakini!
@Khatib-xp6fp
@Khatib-xp6fp 27 күн бұрын
Ata bado kazi kumuandama kijana ambae ameamuamua kusema kwanza leteni ushahidi wapi wanyama walipeana tarifa ndipo mje na fitina
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 27 күн бұрын
😅😅 yeah kwanza wajibu majib 1- wapi wanyama waliongea 2- wapi kuimba ktk micbaa
@AshrafBunu
@AshrafBunu 27 күн бұрын
Please tusitafute view kwa kutumia dini msikiti niwamungu uwe niwamwatwari au uwe siwanwatwari please view zitafutwe kwa njia nyingine
@ramiyawetutv
@ramiyawetutv 27 күн бұрын
Sikiliza video upate ufahamu
@warshysaid8564
@warshysaid8564 26 күн бұрын
​@@ramiyawetutvkitu gan chenye faida hapo Ata kisikilizwe
@MAPETEE
@MAPETEE 26 күн бұрын
Watu bachu wot ni wapuuzi sanaa
@HamadaZubeirTahir
@HamadaZubeirTahir 21 күн бұрын
Nyinyi wa Kenya subirini kidoogo baada ya miaka kadhaa mutakuja kumfahamu huyo Muhammed Bachu ni nani maana hamujamjua bado. Fitna na migogoro ndio kazi anayolipwa kwayo hiyokamahamujuwi.
@nelson-cd7fr
@nelson-cd7fr 26 күн бұрын
Jamani muogopeni Allah acha kugawa waislamu
@abdishivo6764
@abdishivo6764 23 күн бұрын
we sheikh acha fitina na choyo sjui hata waongea nini hapo
@user-iu3me2sm2h
@user-iu3me2sm2h 27 күн бұрын
Kwani jmani msikiti ni kanisa,?
@Dr-ubaida965
@Dr-ubaida965 24 күн бұрын
Mashaallah
@SoudShuraim
@SoudShuraim 24 күн бұрын
Jenga Bachu,wewe hawakuwezi wanakuogopa,wacha wapige kelele piga kazi
@abdulkhalfan8586
@abdulkhalfan8586 26 күн бұрын
MASHAALLAH
@TheMousser
@TheMousser 25 күн бұрын
na pale lamu misikiti 6a shia na twarika na hatua ngapi kwa mfano
@ahmedmalau1791
@ahmedmalau1791 15 күн бұрын
Kiufupi hamutaki sunnah mwataka uzushi😅😅waabudu makaburi wana shida sana😂
@YahyaYahya-vp2pp
@YahyaYahya-vp2pp 26 күн бұрын
Haahaa cheki hili jinga
@imamually1926
@imamually1926 24 күн бұрын
Kwani sheikh haki na batir vinakaa pamoja siku zote? Watu wengi huswali ktk miskiti yenu kwa shida ikiwa hakuna mskiti wa kisunna karibu ndio twaswali ktk misikiti ya kibidaa
@SeifSimba-qq8rk
@SeifSimba-qq8rk 16 күн бұрын
Hakuna miskiti ya kuyagawa wa2
@MohamediNdwata
@MohamediNdwata 15 күн бұрын
Shekh unatuchanganya kwa kusema vibaya Mashekh usiseme wapotoshaji hayo ni maneno machafu na wewe ni nani?
@RamyGichero
@RamyGichero 25 күн бұрын
Mawahabi maubwa tuu
@drmahwa8166
@drmahwa8166 17 күн бұрын
Umejitengenezea dhambi kubwa kwa kauli yako.huo ni UKAFIRI unakunyemelea
@HamadaZubeirTahir
@HamadaZubeirTahir 21 күн бұрын
Kwani mushampa Uraia wa Kenya huyo Bachu huko?
@ShamsaMohammad-v1b
@ShamsaMohammad-v1b 26 күн бұрын
Munadhihirisha aibu zenu jisitirini madheikh wa shanga
@twahamkasi-gn1lo
@twahamkasi-gn1lo 24 күн бұрын
sasa kama hamtaki watu watoe daawa .kwenye misikiti yenu kwa nini wasienge msikiti
@TheMousser
@TheMousser 25 күн бұрын
😢huu wako ndio uzushi kweli kweli hamtakubali kua salafi na twarika ni njia mbili mbalimbali shida wewe pia hujielewi tena bachu yuko tu sawa tena kwa sana, ila unaeleta fitna ni wewe
@user-ib7kx9dc5m
@user-ib7kx9dc5m 26 күн бұрын
Hao mawa habi hupita na kusema watu wasi some vitabu vilivyo andikwa Tanga na lamu haya nime yasikia Kwa masikio yangu baada ya swala ya magharibi tuna hupita vijijini wakijuwa ufaham wao ni mdago huku wakigawa nyama baxawadi mbali
@saidjuma4547
@saidjuma4547 24 күн бұрын
watu wa twarika kazi munayo munazuia dini ya Allah isitangazwe
@TheMousser
@TheMousser 25 күн бұрын
ilikua sawa matwarika kusoma kwa mashia
@mohamedswalehe4442
@mohamedswalehe4442 21 күн бұрын
Haki gani huo ni Masjid dhiraru
@YahyaYahya-vp2pp
@YahyaYahya-vp2pp 26 күн бұрын
Huy jamaq hajielew sasa ww mtu umeshamzuia kuingia msikitini na akijenga wake unasema anawagawa waislam😅 sasa emu waruhusuni miskitin mwenu tuone kama watajenga hii miskiti hivy... Unachokitaka ww tuwe kama makafiri kila mmoja asali kwany kanisa lake... Kukosana ktk misimamo ety unamzuia mtu asingie msikitin na akijenga wa kwake ni kosaa 😅😅 utalia sana kijana
@BizimanaYahya-y4o
@BizimanaYahya-y4o 27 күн бұрын
Wewe unasema yakwako hausemi yawana zuoni
@salfatinvestments909
@salfatinvestments909 27 күн бұрын
acheni dhihaka na maneno ya Allah (Quran) chuki za kibinafsi zisipelekee uchochezi wa kuwafitini watu kwa kiwango hiki, tumcheni Allah (S.W). Kwa wenye akili wataelewa fitna ilipo, Allah atuongoze kwenye haki na kuifwata sunnah ya mtume wake (S.A.W)
@hasani-mq6ei
@hasani-mq6ei 24 күн бұрын
Huo sasa ndo unafki usadhi mnafki
@yunusramadhan2546
@yunusramadhan2546 25 күн бұрын
Tukaneni sana lakini mjue sku moja mtaulizwa kuhusu hizo kauli zenu
@AliAwadh-qc8wk
@AliAwadh-qc8wk 26 күн бұрын
Nyote waislamu kaeni muelewane
@HalimaSalym-jl2ui
@HalimaSalym-jl2ui 26 күн бұрын
Mungu Mmoja Dini Moja Mtume Mmoja Kitabu kimoja Kwanini madhehebi?
@AnwarAli-vs9mp
@AnwarAli-vs9mp 25 күн бұрын
Lol kila kizazi kina uzushi😅😅😅😅😅
@TheMousser
@TheMousser 25 күн бұрын
msikiti suna kisimani hauvunjwi hilo lifahamu
@BilaliIloko
@BilaliIloko 25 күн бұрын
Hahaaa watu wa bidaaa mnna kazi sana,hamna hojja mtaenndelea hivyoo hivyoo hhuku dawwa ikiendelea kupamba
@husseinibrahim5470
@husseinibrahim5470 24 күн бұрын
Wewe ndi fitna unaogopa ukweli
@MAPETEE
@MAPETEE 26 күн бұрын
Bora uwitwe madjid faraun bachu
@TheMousser
@TheMousser 25 күн бұрын
masajid za sunna hazina bid'a
@DiudaKozi-qu8sl
@DiudaKozi-qu8sl 26 күн бұрын
Wewe shia wa kisufi Acha uzushi
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 52 МЛН
Best Toilet Gadgets and #Hacks you must try!!💩💩
00:49
Poly Holy Yow
Рет қаралды 21 МЛН
Useful gadget for styling hair 🤩💖 #gadgets #hairstyle
00:20
FLIP FLOP Hacks
Рет қаралды 10 МЛН
SHEIKH SAID ATOA SOMO JIJINI DSM, MTOTO WA BACHU USIPOELEWA HAPA BASI
19:54
SHUHUDIA SHEIKH MUHAMMAD BACHU AKILA KENGE |AKIWA LAMU VISIWANI
8:09
Al Haajar TV Kenya
Рет қаралды 3 М.
TABLIGH TUSOMENI KWANZA NDO TUTOKE KUTANGAZA QURANI   SHEIKH MUHARRAM MZIWANDA
2:57
Masjid Riyadhwa - Kwa Mnyimaki
Рет қаралды 6 М.
MJADALA WA MASHIA NA MAWAHABI   HEMED JALALA
1:08:39
SHALBA OnlineTV
Рет қаралды 35 М.
KWA HEKMA KAMA HIZI NI DHAHABU TWAOMBA RAIS WETU ATUTUNZIE
29:07
RAMIYA WETU TV
Рет қаралды 643
KICHAPO  CHA MZIWANDA KWA MASHIA WAKIWEPO LIVE
15:15
RAMIYA WETU TV
Рет қаралды 3,5 М.
DR SULE - MAAJABU YA NABII MUSSA KWA FIRAUN- MUENDELEZO HUU
28:39
HAJI ONLINE TV
Рет қаралды 16 М.
Marhum shekh Muhammed Ayoub.Tanga.3gp
14:21
Nema Erick
Рет қаралды 51 М.
Waka waka 🤣 Which video is the best 1,2,3,4? 🤩
0:13
Adani Family
Рет қаралды 8 МЛН
♥️♥️♥️
0:20
Татьяна Дука
Рет қаралды 5 МЛН