# BADILISHENI IBADA ZENU MAKANISANI-ASKOFU

  Рет қаралды 18,571

NY TV

NY TV

Күн бұрын

Katika sherehe za uwekaji wa jiwe la Msingi katika Kanisa la Tag Mivumoni Askofu agiza wachungaji kubadilisha utaratibu wa ibada Makanisani mwao

Пікірлер: 29
@winePaul-v2j
@winePaul-v2j 3 ай бұрын
Amena ubarikiwe na Mungu na uzidi kuja na maono zaidi Tuweze Kukua kirohoo Kipitia Maandiko😢
@FikilinMyunga
@FikilinMyunga Ай бұрын
Amen baba ubarikiwe
@mlungujackson3415
@mlungujackson3415 Жыл бұрын
Tunashukuru baba askofu wetu Mungu aendelee kukupa maono
@EzbonGodrack
@EzbonGodrack 5 күн бұрын
Ubarikiwe sanaa Asikofo
@joycemshana4028
@joycemshana4028 2 жыл бұрын
Ameen na ameen...Jina la Bwana libarikiwe..nashukuru kwa ujumbe huu..nang'ng"ana na Bwana kama Yakobo!!
@salmahassan3521
@salmahassan3521 4 жыл бұрын
Hayo unayosema ni kweli askofu, hila uku chini kama hawakuelewi kbs
@NURuMANGA-p7s
@NURuMANGA-p7s 4 күн бұрын
Amina
@EzekielCharles-j8x
@EzekielCharles-j8x 4 ай бұрын
Amina mzee tukuko nyuma yako
@juliusmbuba8008
@juliusmbuba8008 2 жыл бұрын
Ubarikiwe asikofu wangu mkuu songs mbele usiogope
@reginaldikimario4278
@reginaldikimario4278 2 жыл бұрын
Ubarikiwe Baba Askofu kweli tunahitaji uhai mpya
@kostamhogofela6335
@kostamhogofela6335 2 жыл бұрын
Tunashukuru askofu mkuu ubarikiwe sanaa
@EzekieliJanuari
@EzekieliJanuari Жыл бұрын
Amina ,imeeleweka hiyoooo!!!
@mwanyongamama4407
@mwanyongamama4407 2 жыл бұрын
Mungu Mwema wakati wa Bwana kuliandaa kanisa
@daisonipambalaga1891
@daisonipambalaga1891 4 жыл бұрын
Ujumbe wenye Nguvu Mungu akubariki Bishop
@PhilipoMwandry-zw1gb
@PhilipoMwandry-zw1gb Жыл бұрын
Ubarikiwe sana baba
@PauloMaona-in4qh
@PauloMaona-in4qh Жыл бұрын
amen baba
@jacksonsimon4453
@jacksonsimon4453 3 жыл бұрын
Amina kanisa liludi ktk viwango vyake
@alfakiyaulilo9508
@alfakiyaulilo9508 2 жыл бұрын
Amen Askofu wangu
@albertbizoza335
@albertbizoza335 7 ай бұрын
Shalom wazee wetu, moja ya mambo yasiogusa moyo wa Mungu tunakosea kitaja sana majiana ya taaisi zetu , Tuondoe hisia kuwa tasisi yetu itayaona haya tuyahisio kibinfsi Tag, ...., ...., niubinfsi usiompa nafasi Roho mt,
@andrewkalyambeju2397
@andrewkalyambeju2397 4 жыл бұрын
Asante baba
@asherymianga6294
@asherymianga6294 3 жыл бұрын
Baba huwaga nakukubali Sana.
@richardkaula6847
@richardkaula6847 4 жыл бұрын
Amen Baba yangu
@pastorjamesmajaliwa7843
@pastorjamesmajaliwa7843 4 жыл бұрын
Ubalikiwe Sana Baba
@jacobmsokwa5678
@jacobmsokwa5678 4 жыл бұрын
Ubarikiwe sana askofu
@m.m.tvmbebamaono
@m.m.tvmbebamaono Жыл бұрын
😂 Baba waanike hao wapone maana Leo wachungaji huku makanisa wanafukuza washirika kisa hawatoi, Leo macho kwenye hela
@benjaminlijongwa3715
@benjaminlijongwa3715 2 жыл бұрын
MIMI NAMPENDA YESU ROHO MTAKATIFU. NA. ASKOFU MTOKAMBALI PIA NAMPENDA
@stanleysamuel906
@stanleysamuel906 3 жыл бұрын
Huku chini askofu kuna tatizo moto uwake
@godfridmbele5719
@godfridmbele5719 3 жыл бұрын
Ili ndio kanisa lenye misingi imara
Planting 40,000 Churches | Dr. Barnabas Mtokambali
44:47
Talking Church Podcast
Рет қаралды 1,8 М.
Mch Moses Magembe - UJUMBE WA MAMAJUSI KWA MASIHI | IBADA YA KRISMASI
2:40:17
Rev Moses MagembeTv
Рет қаралды 30 М.
UFC 310 : Рахмонов VS Мачадо Гэрри
05:00
Setanta Sports UFC
Рет қаралды 1,2 МЛН
Мен атып көрмегенмін ! | Qalam | 5 серия
25:41
PART 1 MCH.OBED KATUNZI AMJIBU MCH MOSES MAGEMBE
56:21
SHUHUDA ZA KWELI
Рет қаралды 44 М.
Baba Askofu Immanuel Lazaro-Hukumu ya kwa Tanzania-Marangu
17:46
Kilimanjaro Revival
Рет қаралды 35 М.
MAJUMBA SITA YATIKISWA!!!!!!!!!!
17:26
NY TV
Рет қаралды 73 М.
Mch Moses Magembe - HOTUBA MAALUMU
1:04:54
Rev Moses MagembeTv
Рет қаралды 57 М.
KANISA TAG KUPOTOKA CASSIAN ALIONYA NA ASIKOFU MTOKA MBALI EV PASCHAL CASSIAN
1:27:19
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 76 М.