Hakika twamwitaji Bwana nanguvu zake ili tusonge mbele; mbarikiwe sana
@elinemakundi50112 жыл бұрын
Naungana pamoja na kanisa langu na Mchungaji wangu Moses magembe Yesu hoyeee shetani utaomba cha moto utakiona naungana nanyi nikiwa Tanga mjini new nguvumali 🔥🔥🔥🙏
@peterabdallahaji327827 күн бұрын
Kila mtumishi yupo sahihi kwenye eneo lake kosa kubwa ni mwinjilisti kuwa mchungaji Magembe ni mwinjisti na anachokihubiri ndo wito wake mwinjilisti siku zote hawezi kutunza kondoo nampenda sana Mwinjilisti Magembe
@PastorafauluBenard27 күн бұрын
Point
@innosentmolel805714 күн бұрын
V@@PastorafauluBenardkanisa la sasa alitaji mchungaji mpole mbona Yesu alikuwa mchungaji pia alikuwa Rabi Yani mwalimu pia Kuna uduma ya kiunjilist ndani yake Kuna kipindi aliwambia watu kisasi Cha nyoka. Na Kuna kipindi alifatwa na mwanamke ambaye anaitaji maombi ya uponyaji akamwambia siwezi kutoa chakula Cha watoto na kuwapa kubwa so kwa ufupi magembe ni mchungaji aliyekamilika akuna kumbelezwa unataka njoo utaki sepa.yesu aliwauliza wanafunzi nanyinyi mnataka kuondoka so atubembelezani hapa
@eliudmwamahonje76143 жыл бұрын
Hongereni sana wapendwa,mpo vizuri
@salomessmart98144 жыл бұрын
Magembe baba nakupenda sana baba angu wa kiroho
@FlavianapauloPaulo24 күн бұрын
Nime amini kunawakati ufalume utapigana nauflume mwingine ikumbukwe mungu nim moja 2simame jamani wakati tulio nao siyo mzuri jamani wakati umekwisha pesa namali zitapita neno ndolitakalo back mungu a2kumbuke sana atuondolee lohoo ya kujiesabia aki sisi sote niwaitaji jamani nimejsikia vibaya sana kwakweli
@anithafrank55332 жыл бұрын
Mubalikiwe mababa t a g mnapendeza na kamanda wetu mtoka mbali
@godfreysudi726426 күн бұрын
Nyamaza ujuwi kitu Mungu atusaidie sana namkumbuka mchungaji walivyo mfanya hawa viongozi Acha tu TAG usingizi kuna haja Mungu afanye kitu
@mboya4jc3 жыл бұрын
Eh, Mungu uturehemu - tukurudie na tukutumikie kwa nguvu zako
@judithmwamakula6535Ай бұрын
Inaiumiza sana. Mzee maghembe hasa nikikumbuka jinsi alivyolisimamisha kanisa la TAG Majumbasita. Mungu atakulipa baba yangu. Mungu yupo.
@newbornhaule16355 жыл бұрын
Nampenda sana Mzee magembe na hiki nikilio chake miaka mingi Yesu anajibu tujinyenyekeze kwa Roho Mtakatifu
@tunaheriMhema26 күн бұрын
Sisi t,a,g,tunamtaka bwana na nguvu zake na moto wa uamsho unakuja mtashuhudia tulieni hili ni daraja kwetu na viongozi wetu pia
@sophiajonas86184 жыл бұрын
Mbarikiwe watumishi wa Mungu
@aaronmwaifwani978422 күн бұрын
MAGEMBE YUPO NA YESU HALLELUJAH , YEYE LENGO LAKE SIYO KUTIKISA MAJUMBASITA ILA NIKUWAANDA WATU KWA AJILI YA BWANA, TENGENEZENI JIA YA BWANA TUBUNI NANYI MTAKUWA SALAMA
@laurentraphael547028 күн бұрын
Hapo machawa kama yote, poleni sana.. Mtokambali tangu aingie hapo kanisa limeoza
@DamasjoachimPetro14 күн бұрын
😂😂😂😂
@henricomuhoja336828 күн бұрын
Magembe ni mtumishi sahihi,Shida kwenye mafanikio shetani anainuka,Asikofu acha kiingilia roho wa Mungu anapozungumza na watumishi,Hakuna mantiki ya kumshambulia mtumishi aliyetumika vizuri kiasi hiki.
@solomonilukumai88565 жыл бұрын
askofu ananifundisha mambo mengi pamoja na UTHUBUTU na UONGOZI!Mungu azidi kukubariki na kukulinda
@MartinSambaa28 күн бұрын
Namkubali Sana Askofu Mtokambali kanisa la TAG litaendelea kusimama imara Mimi ni Mkatholic huyo Mzee namjua miaka 10 iliyopita hao wengine Shetani anawatumia kuvuruga kanisa Imara.
@MisheckNgapulila27 күн бұрын
Sema tanzania yatikiswa mimi niko nyasa
@paulrhema178228 күн бұрын
Bless u Mtokambali, moto wa uamsho uendelee
@basilisamsaka846921 күн бұрын
Moto wa uamsho ni km kauli ya Mungu ndani ya mtumishi wa Mungu aliye hai Magembe
@haningtonkabuta93875 жыл бұрын
Hii ibada ilikuwa ya aina yake kwa kweli. Uwepo wa Mungu ulikuwa mwingi sanaaa!!! Bado lipo tumaini kwa Kanisa na uamsho unalijia taifa hili. Wana-TAG na makanisa mengine ya kipentekoste tukae vzr.
@sophiajonas86184 жыл бұрын
Amen
@graceshayo576323 күн бұрын
@@sophiajonas8618wewe kaka mnafiki San alfu una hekima za usoni ila wewe agent wa shetan ilikuwa na nguvu gan wamebebaa matumbo km mitubwi mtu anayefunga kumwomba Mungu anakuwa kam nyie mbwa nyie wazulumaji wakubwa na Mungu atampa zaidi ya ivyo mmejibebea laana tuuu
@graceshayo576323 күн бұрын
Mafalisayo hao wamevaa suti kubwa km watakatifu kumbe mbwa mwitu
@EricTrillzАй бұрын
Hongera sana sana Mzee Maghembe kwa kazi kubwa uliyoifanya ktk uongozi wako ktk eneo hili.Kila mmoja anajua ulivyoanza kazi ya Bwana.Ulimtumikia Mungu kwa unyenyekevu na si kwa mbwembwe za kibinadamu.Endelea baba kumtangaza YESU na mwenye masikio asikie.Tunaona matunda ya kazi ya mikono yako pia.
@RANKMANTANZANIACOLTD28 күн бұрын
Kanisa kutikiswa kawaida sana najua mliokoka na wokovu wa nibebe nibebe mnaona ajabu hilo kanisa litarejea na litazidi awali haiwezekani kipindi hiki kanisa lijae haipo hiyo.
@TimotheoAlbart28 күн бұрын
Magembe motoooo
@RANKMANTANZANIACOLTD28 күн бұрын
T.A.G SONGA MBELE HAKUNA KURUDI NYUMA
@JastiniKaijage17 күн бұрын
Acha uchanga nawewe yesu akuwa na kwaya lakini tunaimba
@EmanuelNyirabu9 ай бұрын
Barikiwa sana baba yetu Kwa kazi nzuri unayoifanya sisi wainjilisti huku vijijini tutazidi kufanya kusudi hakika mungu akutie nguvu
@upendomahenge530723 күн бұрын
Nasikia kulia mwenzenu😭😭😭😭
@RashidMwasiposya-ck6pyАй бұрын
Mh mungu mkumbuke huyo mzee namini huyu mzee mungu amkumbuke ana hekima kuacha vyote kabaki namungu
@NeemaGabriel-d8eАй бұрын
Sàfisana kazi mzuri
@yusufumwanawadaudi46704 жыл бұрын
Yesu alirudia kanisa lake
@peterabdallahaji327827 күн бұрын
Mwinjisti kuwaita fisi waumini wasiotii magizo ya Mungu ni sawa kabisa tofauti na mwenye wito wa kichungaji shida siku hiz hawajui wito wa mtu wanafikiri kila mhubiri aliyeitwa ni lazima awe mchungaji Magembe wito wake ni Mwinjilist
Naipenda TAG kwa taratibu zake, kwenye kuonya inaonya kwenye kufukuza inafukuza, zaidi ya yote kusimamia fudisho mpo imala
@jitabojilala616228 күн бұрын
Hahahhaaaaaaa imemfukuza nani? Mpende Yesu wewe
@ericaerasto2192 Жыл бұрын
Mi natamani wachungaji wa Tag wajifunze kwa Baba Askofu kutembea na wake zao anguko halitakuwepo kwa sehemu kubwa.Hongera Askofu kwa kufanya kazi na maua wako.
@OdiloMwemeziАй бұрын
Mimi sitembei na mke wangu kwa uchanga wa huduma yetu lakini sianguki dhambini.kuanguka ni maamuzi
@basilisamsaka846921 күн бұрын
Magembe Yesu Yuko ndani yake
@FellaMbogelaАй бұрын
MAGEMBE ATATOKA NA KUNDI KUBWA SANA MAANA NENO LAKE NI KUFUFUA KAZI YA MUNGU ILIYO KUFA KTK KABISA UAMUSHO
@JustineJohn-J726 күн бұрын
Wanakondoo wamegawanyika kwa kukosa hekima maarifa na ufahamu
@mihayo_tzАй бұрын
😅😅😅😅😅😅kwaya kwaya mmeimba kweli, sijuti kuwa tag.
@emmanuelsamwel76153 жыл бұрын
Haleluyaaa
@salomessmart98144 жыл бұрын
Wapendw hapo mahali moto unawaka nimeipenda bureeeee mungu awabariki sana
@stellafaraja294229 күн бұрын
Kwa nia njema kabisa naomba tusaidiane kuwakumbusha wavaa suti wote, kwamba kanuni ya suti ni kwamba ukiwa umekaa tu ndo kifungo kinatakiwa kiwe kimefunguliwa, ukisimama tu kifungo kinatakiwa kiwe kimefungwa.
@RoseMayige-gn9qbАй бұрын
Baada ya baba yetu kuifanya kz ya kutaabisha namna hii ila sasa haionekani tena kisa kusema ' kanisa limeoza!' Ila Yesu anawaona!!
@baegtcomedia679827 күн бұрын
Ritafahamika na litajulikana hatima yake😊
@emmanuelrweikiza6117Ай бұрын
Miaka mimne iliyopita viongozi wa T.A.G . waliungana na mch magembe kusema kanisa limekufa ila leo mzee katoka T.A.G. Wanasema ilikuwa in misimamo ya magembe
@MadilishaSimon-sb9kk7 ай бұрын
Kanisa langu pendwa 😢😢😢❤❤❤
@Ikupakanemile28 күн бұрын
Yesu mwenyewe hakuwa na ulinzi wao wametoa wapi hayo maandiko hahahaha watu wangu wanangamia Kwa kukosa malifa
@dismassendeu804216 күн бұрын
Wewe ndo umekosa MAARIFA na ni mchanga sana endelea kujifunza
@issacklyandala702329 күн бұрын
Mtoka mbali anaharibu kanisa hafai, amekua kama mwanasiasa tu
@jitabojilala616228 күн бұрын
Maghembe ni jasusi la mbinguni
@evaristkobelo39368 ай бұрын
Pamoja na Bwana tutatenda makuu
@josephsokhia27 күн бұрын
Miongoni mwa wachungaji nao waamini na akisimama naiona taswira halisi ya Mungu mwenye nguvu ni mchungaji magembe tuko pamoja baba
@alfakayanda846726 күн бұрын
Fahar za dunia ukizitaka na ukataka kuwa mkubwa duniani lazima uipetipeti dhambi ila wale wasanii wa wokovu tuonane siku ya hukumu hakuta kuwa na taasisi kubwa Wala ndogo Wala watoto walio soma kwasadaka wala cha Nini ni haki2 itasimama
@alfakayanda846726 күн бұрын
Fahar za dunia ukizitaka na ukataka kuwa mkubwa duniani lazima uipetipeti dhambi ila wale wasanii wa wokovu tuonane siku ya hukumu hakuta kuwa na taasisi kubwa Wala ndogo Wala watoto walio soma kwasadaka wala cha Nini ni haki2 itasimama
@alfakayanda846726 күн бұрын
Fahar za dunia ukizitaka na ukataka kuwa mkubwa duniani lazima uipetipeti dhambi ila wale wasanii wa wokovu tuonane siku ya hukumu hakuta kuwa na taasisi kubwa Wala ndogo Wala watoto walio soma kwasadaka wala cha Nini ni haki2 itasimama
@mkomayonah69994 күн бұрын
Hili ni dasa kwa kanisa la TAG wajifunze,wamekuwa wakijisifu kuwa wao hana Migogoro sasa wajifunze kuwa hata wao wako Duniani imani yao inaweza kutikiswa kama ilivyotokea, Watubu.
@JacksonMbites29 күн бұрын
TAG Mmeharibu sana ila siyo shida ni mlikosana na Roho mtakatifu miaka mingi iliyopita Sasa mmebaki na maneno matupu.. Rudisheni uamsho ndani ya kanisa na Muache kiburi cha uzima
@gibrilmongi564626 күн бұрын
NAJARIBU KUELEWA LKN SIELEWI. LKN KANISA LA TAG LIENDEE JAMBO HILI KWA HEKIMA YA MUNGU, HAKUNA YA HAYA YOTE, SOTE TUNA JENGA NYUMBA MOJA. MWINJILISTI MAGEMBE ASIKILIZWE NA HOJA ZAKE CHANYA ZIFANYIWE KAZI,
@BlandinaLukole27 күн бұрын
Binafsi naona huruma, najihurumia hata mimi tunavyokuwa na umoja tunapotaka kumkandamiza mwenzetu na kumuona hafai. Magembe anastahili haya?, nini kibaya alichowakosea wana wa Israel ukwel? Msimamo wake. Tujitafakari tunatia huruma sana sana tena sana. Binafsi nalia kwa kuangamia kwetu mbona tunayoyafanya yanafanana kabisa na Mboye kwa Tundulisu, inawezekana mlimtengenezea mazingira mpaka akanyoosha mikono, akufukuzae hakuambii toka. Ukiwasikiliza wachokonozi utaichukia dini jinsi tunavyotendeana. Kama haya si maigizo Mwenyezi Mungu awabariki
@DamasjoachimPetro14 күн бұрын
Roho Mtakatifu anahitajika
@pastorlazarosamwelkilala57952 күн бұрын
KAJENGA JENGO KUBWA
@IsayaNgeresaiАй бұрын
Mzee wetu magembe mungu akubariki sana na kanisa la tag pia libarikiwe kweli huyu mzee alikuwa anafanya kazi
@MaikoRashku27 күн бұрын
Mafarisayo na masadukayo yamejaa tele
@anselmigregory666829 күн бұрын
Mnahangaika bure mchungaji Maghembe yuko sahihi na tunasimama naye.
@mossesmziba849610 ай бұрын
Nimependa utaratibu wa Mapoke ya Askofu mkuu
@robertlubhungira116018 күн бұрын
Inahitaji akili isiyo na uwezo wa kutambua jema wala baya kushabikia vitu hivi vinavyofanywa PhD! TAG mko kisomi zaidi siyo kiroho.
@GODWINCosmas-tu9ev26 күн бұрын
Ametoka Maghembe T.A.G kwisha habari.!!!!
@dismassendeu804216 күн бұрын
YESU hayuko hivyo na hana mawazo kama yako, mtafute haswaaaa..
@basilisamsaka846921 күн бұрын
Sasa hz mbwembwe za nini?
@basilisamsaka846921 күн бұрын
Ni munkari tu sasa kinachowakusanya Kwa mbwembwe ni nini? Mungu tusaidie
@IsakaNikolausi-pd3dz20 күн бұрын
tukisema din n biashala mnakataa sasa mtumishi wa mingu had msafala wa polis
@advelatandika631328 күн бұрын
NI BWANA NA NGUVU ZAKE TUU
@advelatandika631328 күн бұрын
TUNAMHITAJI BWANA WALA SI DINI
@dismassendeu804216 күн бұрын
Dini ni nini ndugu?
@josephsokhia27 күн бұрын
Kiukwel sikubaliani nanyi kumuondoa mch magembe " kwahiyo sasa kukemea dhambi ni kosa! Siku zote mti wenye matunda ndiyo upigwa mawe
@DatiusExavely28 күн бұрын
Mliwahi ona wapi Yesu Petro au manabii wanalindwa na Gari la police hawa ni maafisa wanaenda mbinguni na kufutwa machozi na Bwana Yesu Kristo kwa kukosa nini.Wacha kuwa vipofu.Hawa hapa ulimwenguni ndio kwao siyo wa huko juu.
@BlandinaLukole27 күн бұрын
Hamuoni aibu mlivyojikusanya wote dhidi ya mtu mmoja jamani, inasikitisha mnamuogopa kiasi hicho?
@yacobolushingula1104 жыл бұрын
Kwa pamoja tutatenda makuu
@makejamaduhu761828 күн бұрын
Mkubwa wenu ni yupi Sasa hapo wote mmepigabtai za MAMLAKA na suti na bado mnachafuana mitandaoni
@WenelaMwasenga-hc2gfАй бұрын
Innate ideas are comprehensive
@SmilingCityMap-xb9md29 күн бұрын
Naikumbuka hiyo siku nilikuwepo jamani mimi sio mshilika wa kanisa hilo ila mlichomfanyia magembe imenishangaza na kunivunja moyo kabisa mnyonge mnyongeni haki yake mpeni
@benjaminlijongwa37154 жыл бұрын
Tag majumba sita Kuna Mchungaji haswaa
@mathewnemes54693 жыл бұрын
Naomba mnisaidie jina la wimbo huu tafadhari.
@jasonheriwewejoas52824 жыл бұрын
Mungu awabarik
@WilliamSiria-s7r7 күн бұрын
Kwann kuisema tag tag makanisa mengine vip kote 000
@Bilioneabichwa33129 күн бұрын
Natamani nikufahamu alikohamia dokta maghembe nikaabudu japo siku moja tu
@elibarikinkya973823 күн бұрын
LAKINI POLISI, MMEMSINDIKIZA NANI SASA, NA MBONA WACHUNGAJI MMEJIPANGA, MNAMPOKEA RAISI AU NANI SASA, ACHENI UJINGA HUYO NIMTU WAKAWAIDA SANA, NDO MAANA MNAAMBIWA T.A.G IMEKUFA JA IMEKUFA KWELI
@dismassendeu804216 күн бұрын
Kama hujui protocol kaa kimya
@aristidisamba15732 күн бұрын
Naomba kuuliza hivi kwa nini hawa wachungaji na askofu wao hawavaagi mavazi yale ya kichungaji kwa maana ya kanzu, Je ni kwamba yale mavazi hayana maana kibiblia? au tafsiri yao hawa Wa T.A.G juu hayo mavazi ni ipi kwa nia njema nimeuliza tu
@MethodchijaYahaya25 күн бұрын
TAG ata wangeruka juu, moyoni imenitoka kabisa. Nikikutana na MTU akisema Mimi nasali TAG naskia kumuingoza sala ya toba. Nikikutana na mchungaji anasema yeye in mch wa tag naona nimekutana na tapeli wa kiroho na mwili
@RebecaMagoho-cy8yz Жыл бұрын
🥰🥰🥰
@marycharles26094 жыл бұрын
Mungu atusaidie katika mwaka huu wa uhamsho.... nawatakia mfungo mwema Wana TAG
@paulomasesa1785Ай бұрын
Tukutane mbinguni maadam hajaachana na BWANA
@elisantemrita98943 жыл бұрын
Hakika hii kwaya siwa wasanii wanyimbo zainjili Bali niwahubiri waneno la Mungu waviwango vya Mbinguni