Maa Shaa Allah Sheikh Said Juma Kinyogoli, Namuomba Allah akuhifadhi na akupaambe kwa afya... Sijapata kuisikia hii naipata kwako sheik. Kwa kweli Allah hajakosea aliposema, Quran 17:81. "Na sema: Kweli imefika, na uwongo umetoweka. Hakika uwongo lazima utoweke!" Allah awaajalie wakristo wote watakao ona clip hii waifate haki Bi Idhni Llahi... Wabillahi Tawfiq...
@rashidmshindo15272 жыл бұрын
mkiristo kuwa makini msifuate ushabiki hii nidini si uwongo
@mwanakombaabbas933 жыл бұрын
Ma shaa Allah Ma shaa Allah Ma shaa Allah Namuomba Allah akuhifadhi shekh saidi juma kinyogoli Allah akuzidisjie ilmu wallahi nakupenda kwa ajili ya Allah wanakuelewa vizuri sana ila mazoea na tamaa za kidunia si vyenginevyo hingera sana pongezi ni zako shekh baraka llahu fiik
@professamuddy54073 жыл бұрын
Jembe la kazi saidi kinyogoli MAASHA ALLAH.
@Arishafa547 Жыл бұрын
Huyu USTADH kinyogoli balaa lake siyo dogo ni moto ukisogea unaungunzwa mazinge,Shafii,kinyogoli,bakozi ni moto ukilutana nao unalipuka mungu awape kila lenye kheri ma sheikhe wetu vipenzi
@fatumamwantumu40813 жыл бұрын
Mashalla Allah shukran jazira Allah awalipeni kher mashekh zetu
@ZainabuMwambashi Жыл бұрын
Allha awalinde Uislamu mzur
@shikivokochabunu80113 жыл бұрын
Hawo wakristo wakikuona umepewarusha ya kupanda juu ya jukwaa roho zishawapasuka maana unamakini pole pole yanikila sehemu unaikanyanga Allah akuhifadhi
@aishaaisha45493 жыл бұрын
Subhanallah kazi nzuri sana 👏👏👏👏
@LilyKangethe-hw2bw Жыл бұрын
Taakbir Allah Akbar....🎉
@sharifuhamiss83532 жыл бұрын
Allah Akbar
@mangeraalbert79823 жыл бұрын
💯 Kazi Safi, ALHAMDULILLAH masheikh wetu.
@ibnuomar94173 жыл бұрын
Mashaa Allah... Jazakallah kheir
@abokrarshamsan79633 жыл бұрын
Aiseeee uislamu rahaa♥️❤️penda San masheik wetu, mungu awalinde n awaepushie husda za waliowazunguka.
@SsAa-by2ty3 жыл бұрын
Nipo radhi kumsliza mb zangu kwa kusiliya mambo km haya nahis raha sana masha allah juma kinyogoli nakupenda dana kwa ajili ya Allah
@mohamedabubakar73973 жыл бұрын
shukran sana kwa muendelezo wa mada hii ya tamthilia muhimu wajazaaka Allahu kheyra
@maalimhamad12973 жыл бұрын
kama tamthilia utakuja kuiona siku ukiingia kaburini hio jeuriyako nikwasababu pumzi zinatoka na kuingia
@malikikalole76973 жыл бұрын
La illaha illa lah Muhammad rasulullah
@wakasomkangwa6983 жыл бұрын
Mashallah allhahu awakubari kwa juhud yenu
@leilabenta00933 жыл бұрын
Ma shaa Allah mashekhe wetu
@abibuniyonzima31323 жыл бұрын
Sheikh kinyogoli mkali . MaachaaAllah
@alllyrics48353 жыл бұрын
Jazzak Allahu khairan jazai
@mwanahamis54873 жыл бұрын
Baada ya mazinge ataridhi saidi Juma kinyogori Jamanii Nina laki 2 zawadi ya saidi Juma kinyogori
@hamisimtemi38033 жыл бұрын
mtumie inshallah
@mwanahamis54873 жыл бұрын
@@hamisimtemi3803 Inshaa Allah
@leilabenta00933 жыл бұрын
Ma shaa Allah Allah akujali kher zaid
@mwanahamis54873 жыл бұрын
@@leilabenta0093 Amiiiin
@abdulazizmwipi92953 жыл бұрын
Ni zaidi ya mazinge hyu
@alliabdallah2243 жыл бұрын
Said juma kinyogoli...mualimu wangu
@zenadadi17682 жыл бұрын
Mashallah
@athumanitanuke67953 жыл бұрын
Aiaee kweli wakristo ni mizigo kama hawajui kuaoma hata picha hawaoni
@ramadhankhamis4073 жыл бұрын
Kweli umekomaa maalim
@mafundahamad86652 жыл бұрын
Mim ningeliomba mashekh wetu kua muwawekee wazi pia wakristo kuhusu picha ya yesu ambayo wanaikadiria kua ni sura yake, maana kuna wengine wanaamin ndo picha ya yesu halisi wakati ni sanamu tu
@hafsaali79763 жыл бұрын
Takbirrrrrr🗣🗣🗣
@newttechog753 жыл бұрын
kinyogoli masha allah
@nordenconrad2 жыл бұрын
Imeisha hiyo ..izigo safi
@amuryhaji5613 жыл бұрын
Allahu aqibaru
@akbarmpemba69903 жыл бұрын
Daaah hadi soma hili wakristo bado awajaelewa.kweli mungu kaumba moto kuni zake watu na watu wenyewe ni wakristo.ndio maana hawaelewi
@adamhashim33523 жыл бұрын
Hadi raha
@fatumakimwaga86113 жыл бұрын
Kinyogoli ananikosha balaa
@abdulkarimmahmoud6683 жыл бұрын
Wakristo wamevurugwa ..
@musaomar37893 жыл бұрын
Kinyogole kiboko.mrithi wa shekh mazinge
@ZZz-np4ry3 жыл бұрын
Waah mimi.nasalimu sasa
@musaomar37893 жыл бұрын
@@ZZz-np4ry karibu katika njiya ya haki
@issmuking39873 жыл бұрын
Allah awalipe ujira usiokwisha waislamu woote
@mwamvuarashid2906 ай бұрын
Mazinge anacheka
@hasinauuwimana84053 жыл бұрын
Tunaomba irudiwe hiyo
@sabrysultansalum58643 жыл бұрын
Huyu shekhe hatari
@hamidaala28323 жыл бұрын
SUBHANALHA. 😭😭😭
@uislamutv25733 жыл бұрын
Mjitahidi kuandika part 1 mpaka mwisho sasa hapo tunajachanganyikiwa hatujui part 1 ipi na yapili ipi
@maalimhamad12973 жыл бұрын
part 1 na part 2 utakwenda kuiona kaburini au kwenye sanduku siku jicho likifumba
@alonealvin45343 жыл бұрын
@@maalimhamad1297 Acha dharau huku sio facebook
@uislamutv25733 жыл бұрын
@@maalimhamad1297 kijana الله يهديك يا أخي انت عندك احتقار ،هنا ليس ف فيسبوك كن مؤدبا
@uislamutv25733 жыл бұрын
@@alonealvin4534 ni hatari sana ananijibu vibaya sana Allah amuogoze
@mwanahamis54873 жыл бұрын
Ona mchugaji anavyomwagalia saidi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@hamidaala28323 жыл бұрын
😁😁😁
@mzeesalum44323 жыл бұрын
We mkali
@meeksson35893 жыл бұрын
Hili kweli balaaa
@arthurnuhu85703 жыл бұрын
Sheikh ngo tuingiye mpaka kaburini tumcunguze mpaka kaburini hhhhh yn mafundisho makali sana 👌💪
@khalfansharji97903 жыл бұрын
Kiukweli hawa majhal thumun bukmun um'yun fahum laaaaaa yarjiuwna....haki ipo mbele yao tena mikononi mwao lkn maksudi kabisa wanaikataaa.!!!
@shekiffu3 жыл бұрын
Hakuna mkiristo hata mmoja atacoment hapa
@jorammwakatobe50782 жыл бұрын
Hamna kitu hapo
@hassamaimun91033 жыл бұрын
MASHAALLA MASHAALLA shekh said 🤣
@thabitimkufi33023 жыл бұрын
Wagalatia wanakwama wapi hawaaaa!
@mwanaimaabdallah78253 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣kinyogoli
@nasmasandal943 жыл бұрын
Mda wote wananong'ona
@shifaazawadi44383 жыл бұрын
Takbriiiiii !!!!!
@hamishemed93963 жыл бұрын
Wakiristo acheni ubishi usio na faida
@ibrahimmohammed93613 жыл бұрын
John 20:11-18 here Jesus was not buried New International Version Jesus Appears to Mary Magdalene 11 Now Mary stood outside the tomb crying. As she wept, she bent over to look into the tomb(A) 12 and saw two angels in white,(B) seated where Jesus’ body had been, one at the head and the other at the foot. 13 They asked her, “Woman, why are you crying?”(C) “They have taken my Lord away,” she said, “and I don’t know where they have put him.”(D) 14 At this, she turned around and saw Jesus standing there,(E) but she did not realize that it was Jesus.(F) 15 He asked her, “Woman, why are you crying?(G) Who is it you are looking for?” Thinking he was the gardener, she said, “Sir, if you have carried him away, tell me where you have put him, and I will get him.” 16 Jesus said to her, “Mary.” She turned toward him and cried out in Aramaic,(H) “Rabboni!”(I) (which means “Teacher”). 17 Jesus said, “Do not hold on to me, for I have not yet ascended to the Father. Go instead to my brothers(J) and tell them, ‘I am ascending to my Father(K) and your Father, to my God and your God.’” 18 Mary Magdalene(L) went to the disciples(M) with the news: “I have seen the Lord!” And she told them that he had said these things to her.
@mongelamisoza78943 жыл бұрын
Alipaswa aanzie yohana 20:1 ila kaanza kusoma mstali wa 11 kuwapoteza watu
@moseselinisafi64253 жыл бұрын
Unajua waislamu hawana jipya wamebaki wabishi tu na takbir
@saidswalehe28073 жыл бұрын
Kama hujaelewa hutaelewa tena kiama mafundisho Bora kabsa
@husnaaliy61583 жыл бұрын
daaah nakuonea huruma sna kijna
@husnaaliy61583 жыл бұрын
@@saidswalehe2807 kchwa maji hiyo
@saidswalehe28073 жыл бұрын
@@husnaaliy6158 husna
@danielmatemu96983 жыл бұрын
18 Kwa maana ujumbe wa msalaba ni upuuzi kwa watu wanaopotea. Lakini kwetu sisi tunaookolewa ni nguvu ya Mungu. ( 1 Wakorintho 1:18)
@alkutibaadamu28923 жыл бұрын
Wakorintho hao ni watu kama ww ndug yang angalia Aya za mung kwanza
@danielmatemu96983 жыл бұрын
@@alkutibaadamu2892 sijaelewa unachomaanisha ndugu, nisaidie kuelewa. Au unamaanisha kwamba hilo neno ni la kupuuza?
@mohamedimohamedi89333 жыл бұрын
@@danielmatemu9698 mungu awezi kufa msalabani
@danielmatemu96983 жыл бұрын
@@mohamedimohamedi8933 wapi wameandika Mungu hawezi kufa msalabani au ni mtazamo wako tu?
@mohamedimohamedi89333 жыл бұрын
@@danielmatemu9698 kaka if God die who will control universe?
@josephsebe58572 жыл бұрын
KINYOGOLI hahahaha umekwama acha kuropoka. Kifungu kime Ku confuse hahahaha. Nacheka sana KICHWA CHA HABARI DUUU. Kinyogoli acha mbona WAKRISTU HAWASOMI 😂😂😂😂😂 duuu.UKIFUFUKA UWE UMELALA TENA hahahaha. UNAJITABIRIA OKAY