WAKRISTO HAWANA UZALENDO WA NCHI YETU | UST. ILUNGA H. KAPUNGU

  Рет қаралды 32,886

Hudatz Tv

Hudatz Tv

11 ай бұрын

Kilicho na thamani Kwa WAKRISTO ni UKRISTO kwanza kuliko Utanzania.

Пікірлер: 395
@santonjosephmsadick3899
@santonjosephmsadick3899 Ай бұрын
Huyu ni mwalimu wa kweli ni moja ya binadamu ninao wapenda na kuwakubali ktk maisha yangu,
@hasbunakhamis487
@hasbunakhamis487 Ай бұрын
Mashallah Mashallah Mashallah Mashallah Mashallah
@user-lk4zc4gc5i
@user-lk4zc4gc5i 4 ай бұрын
Makafiri wanatokwa na mapovu baada ya ukweli kuwachoma Allah akurehemu sheikh
@MohamedKasalama
@MohamedKasalama 6 ай бұрын
Allah akurehem shekh wetu ujumbe umefika
@abasingaruka1872
@abasingaruka1872 22 күн бұрын
SawA, Ubarikiwe
@saidmasoud9004
@saidmasoud9004 10 ай бұрын
Mwenyezi mungu amrehemu alikua mwamba sana.
@mkwipunda2036
@mkwipunda2036 10 ай бұрын
Innaalillah wainnaa ilayhi rajiun Allah rahmet eylesin mekanı cennet olsun amin amin amin
@daudimwaitebele420
@daudimwaitebele420 10 ай бұрын
Innalillah wainnaillaih raaajiuun Hii khutba ni ya mda mrefu sanaaa so watu hamjui huyu aneongea kana kwambia kaongea jana watu wanamtusi tu Huyu jamaa alikua mwiba kwa serikali Alisha ondolewa mda mrefu tu so acheni kumtukana huyu
@Zainabnoor0087-ze
@Zainabnoor0087-ze 10 ай бұрын
Allah akulipe mema, shk ilunga maneno yako ni hazina ya Karne kwa waislam wa Tanzania
@martinmkoba361
@martinmkoba361 10 ай бұрын
Kweli mbumbumbu aisee
@Zainabnoor0087-ze
@Zainabnoor0087-ze 10 ай бұрын
@@martinmkoba361 jibu hoja za ust ilunga mgalatia usie na akili
@princeshahulo2174
@princeshahulo2174 10 ай бұрын
@@martinmkoba361 mbumbumbu ni wewe usiyejua wakati sahihi ni upi kichwa chako kinawaza ukafiri wako ata kama unapotoka na ukweli unaona, hakika kuna watu wanamacho na hawaoni wana masikio lakini hawasikii!!!!
@martinmkoba361
@martinmkoba361 10 ай бұрын
Hapo kaongea oja gani zaidi ya chuki makafiri wakubwa nyie
@presenterkabuma1646
@presenterkabuma1646 10 ай бұрын
@@martinmkoba361We mbwa kama huna la kusema kaa kimya,kenge wewe.
@munic6686
@munic6686 10 ай бұрын
Allahumaghfrillahu waskaana filjanna
@beduisanze
@beduisanze 10 ай бұрын
asiekuelewa nichizi sana
@camilomassao8971
@camilomassao8971 10 ай бұрын
Sasa aeleweka anasema nini cha kueleweka kwa mfano.😳
@camilomassao8971
@camilomassao8971 10 ай бұрын
Mipasho tu
@qasammamachinya4448
@qasammamachinya4448 10 ай бұрын
Safi dirunga,uko sawa
@tashone7884
@tashone7884 10 ай бұрын
Hoja za shekh alizoibua serikali ilishindwa kumjibu akatamani afikishwe mahakamani aombwe ushahidi haikuwahi kutokea alisema hoja na ushahidi anaoibua ni mdogo kuliko aliouhifadhi. Tulitamani sana open kesi tupate faida.
@babazungu3180
@babazungu3180 10 ай бұрын
History hiyo inawaingia makafir
@maryamos7663
@maryamos7663 10 ай бұрын
Usitukane bila sababu. Issue ni dini?
@godsondeo7539
@godsondeo7539 10 ай бұрын
Mimi ni mkristo nawapenda sana niwastarabu ..ingekuwa wanazungumza kama wewe 😊😊😊😊😊
@jamalkishangu
@jamalkishangu 10 ай бұрын
Hutuba hii ina miaka mingi lakini inatafsiri hali ya wanayoendea kuishi nayo Waislamu nchini Tanzania dhidi ya ndugu zao Wakristo. Rejea kuhusu sakata la bandari ya Dar, kwa kuwa aliyesimamia mkataba kati ya Dubai na Tanzania ni Rais Muislamu ameelezwa katika hali inayo tisha.
@geofreyndambo8635
@geofreyndambo8635 10 ай бұрын
Yule aliyefunga mkataba ya migodi kule mwanza ni muislamu?yule aliyepigwa risasi ni muislamu?wale waliomkimbia nchi ni waislamu? acheni mambo ya kipuuzi
@clarencehilary5588
@clarencehilary5588 7 ай бұрын
Namashaka na huyu mzee kama hakua mchawi basi ni mfuga majini
@hamisimlala4700
@hamisimlala4700 7 ай бұрын
Acha chuki zakijinga mbona anaongea ukweli mtupuuu?pamoja nachuki zako ukweli utabaki tuuu.
@clarencehilary5588
@clarencehilary5588 9 ай бұрын
Waislam ndio wazlendo wa nchi hii tunaona uzalendo wao wa kuuza nchi kwa waarabu huo ndio uzarendo
@camilomassao8971
@camilomassao8971 10 ай бұрын
Ndiyo naamini elimu ni Mkombozi wa fikra.
@sesicasi1364
@sesicasi1364 10 ай бұрын
Wewe uislamu huujui. Sasa ukristu umeufahamia wapi? Pumbavu mkubwa! Eti ule mkate wao!!! Zee puuzi sana hili!!
@adammj6258
@adammj6258 10 ай бұрын
Huwa hamjuagi kujibu hoja mnakimbilia matusi,,,kama mgeni ndio ujue hapo Kanisa lililetwa na Wakoloni kwa maslahi yao na ndio hayo,,,kuwagawa waTanzania,,, Anglican Church, UK na Lutheran German na ndio Wakoloni,,unabisha!!???
@saidmkwabi9460
@saidmkwabi9460 10 ай бұрын
Tuelimishe baba ila machoko hawapendi
@camilomassao8971
@camilomassao8971 10 ай бұрын
Sasa nyie wenye uzalendo mmetetea nini kama si upepo fuata bendera?
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 10 ай бұрын
Tunahitaji hospital za Kanda na wilaya zijengwe kila mahali tuachane na hospital za kanisa zilipe Kodi zinakwepaa Kodi kupitia partnership
@othmarluwawilo8308
@othmarluwawilo8308 10 ай бұрын
Ustaadhi Ilungu ovyoooo!
@songombingo108
@songombingo108 10 ай бұрын
Ovyo mama yako. Fala wewe. Kama humpendi usimsikilize. Nyambaffff
@ahmadmzoa74
@ahmadmzoa74 10 ай бұрын
Watu wenye busara hupambana na hoja za mtu na si mwenye hoja mwenyewe. Kuzipangua kielimu imma +au- .Na sio kupayuka.Lete hoja yenye ubainifu: ndio au siyo (Burhan).Matusi yana msaada gani kama sio dalili ya kufilisika utambuzi. Marehemu shekhe Ilunga (ALLAH SUBHANAHU WATAALA Amrehemu)Hakuwahi kujibiwa hizo hoja.
@reubenbushiri1753
@reubenbushiri1753 10 ай бұрын
Alijibiwa na Mwalimu Daniel Mwankemwa ipo hapa KZbin-Inajulikana Kama Mfumo kristo Ni Mfumo wa kifikirika tafuta hiyo ipo part 1 na part 2.Ebu jaribu kusikiliza hiyo
@ahmadmzoa74
@ahmadmzoa74 10 ай бұрын
@@reubenbushiri1753 Shukran Mr. Reuben ngoja niisikilize.
@user-hg6tn8du2h
@user-hg6tn8du2h 10 ай бұрын
Peleka ujinga mnajifanyaga wacha Mungu kweli.kazi kufuga majini tu,kwendraaa.mnatetewa raslimali zenu mnaleta udini hapa
@hamzaswaibu9470
@hamzaswaibu9470 10 ай бұрын
Kufuga majini ndo nini wewe mjinga nyinyi wakristo ndo mmejaa mapepo mnashinda mnaangukiana makanisani
@aminahkhuzwayo-iv1wl
@aminahkhuzwayo-iv1wl 10 ай бұрын
Wewe mgaratia PUNGUZA chuki,, ZIDISHA MAARIFA!huyu mzee anaongea ukweli! Nyie wakristo,, ukristo kwanza nchi baadae,,ila waislam wanavyofeli nchi kwanza dini baadae kwa ujinga huu wa waislamu ndio mmekuwa jeuri ya mpaka kuitumana serikali!
@user-tq5gl1qv2y
@user-tq5gl1qv2y 9 ай бұрын
We yahud ayakuhusu we endelea kuabudu masanam
@richardmakweta8875
@richardmakweta8875 10 ай бұрын
Haya Ni maajabu ya dunia kweli walio nauelewa wa Mambo niwachache😅😅
@husseinmwanjela8644
@husseinmwanjela8644 10 ай бұрын
Upo sahihi
@user-ux4rb8qo6t
@user-ux4rb8qo6t 10 ай бұрын
Aaaaalaaaah! Maamuma! Dubai chanzo!
@bonifacerobert2960
@bonifacerobert2960 10 ай бұрын
CCM Hii mbinu ni mbinu ovu. Swala hapa siyo Uislamu na Ukristo SAMIA SULUHU HASSAN. Swala ni limkataba la ajabu jamani.
@MaryamKudra-gf8zs
@MaryamKudra-gf8zs 10 ай бұрын
Huu ndio ukweli wakristo siwazalendo mpaka kesho wanajua wajiita waroman, waislail taifa teule niwadini sana ndio maana nchi hii inakwamishwa na hawa wadiini wenye kuinyonya nchii hii kwa maslahi ya mabwana zao.
@camilomassao8971
@camilomassao8971 10 ай бұрын
Elezea jinsi nchi inavyonyonywa, tetea hoja yako, bado ina hang!
@camilomassao8971
@camilomassao8971 10 ай бұрын
Wenye uelewe wasaidieni hawa
@williammwanganya550
@williammwanganya550 10 ай бұрын
Naomba niwaweke sawa kumbukumbu kutokana na baadhi ya comment hii clip ni ya muda sana shekh ilunga ashafariki zaidi ya miaka mitatu imepita
@robertphilip385
@robertphilip385 10 ай бұрын
Sante mkuu kwakutuweka sawa
@nassorsharifu9837
@nassorsharifu9837 10 ай бұрын
lakini maneno yake yako sawa.
@robertphilip385
@robertphilip385 10 ай бұрын
@@nassorsharifu9837 sawa Gani huyu mbwa sahivi anaungua huko jehanam
@zuberiathumani4287
@zuberiathumani4287 10 ай бұрын
Uukweli unauma kwa wenye fikra finyu na ubinafc
@richardmakweta8875
@richardmakweta8875 10 ай бұрын
Inashangaza Sana ebu fikiria kwamfano wanaoomba suala la bandari lkatika uwekezaji lifanyiwe marekebisho kwavipengele katika mkataba husika,swali hivi kijiografia Ninani walio wengi katika maeneo hayo ya bandari niwaislamu au niwakristo Kama niwaislamu je, wanaopinga mkataba wauwekezaji katika maeneo hayo yabandari ni wakristo au Ni waislamu,mbona viongozi wakiislamu hatuoni mkipinga badala yake kila kukicha udini kivipi, ama kweli wenye haki watakao iona pepo niwachache kwa hapo mlipofikia mnapotea sana.
@mhogomchungu7168
@mhogomchungu7168 10 ай бұрын
Tatizo kubwa viongozi wa chadema na viongozi wa kikristo ndio waliowafanya waislamu wautetee mkataba kwa kauli zao za kibaguzi, Kuna waloanza kusema wazanzibari wanauza bara , mara wanaleta waislamu waarabu kurudisha utumwa, mara DP world wakikusanya mapato watajenga msikiti mkubwa Mbeya , mawazo ya aina hiyo ni kuonesha uadui wazi kwa waislamu na ndipo mlipokosea. Naamini raia wengi hawajawahi hata kuuona huo mkataba ikiwemo mimi na wewe na kama ushausoma nitumie link nikauangalie
@starvista823
@starvista823 10 ай бұрын
Unatengeneza uongo tu
@OthmanKiroga
@OthmanKiroga 10 ай бұрын
May Allah grant him jaanat Firdausi.
@nassorsharifu9837
@nassorsharifu9837 10 ай бұрын
Aamin
@maftahmusa9513
@maftahmusa9513 10 ай бұрын
Amin
@hilmialiomar1983
@hilmialiomar1983 10 ай бұрын
Amin
@jamesbayo1910
@jamesbayo1910 10 ай бұрын
KWA MUNGU. HAKUNA. MADHEHEBU KUNA. IMANI. HIVYO. KILA. DHEHEBU IHESHIMU NYINGINE KINYUME. NA. HIVYO. NIDHAMBI. NA NI. UBATILI. MTUPU.
@imanimfuruki9040
@imanimfuruki9040 10 ай бұрын
Mashallah
@ahmadmzoa74
@ahmadmzoa74 10 ай бұрын
Hawa wenye tabia za kutukana na kubeza watu inawezekana walishatukana hata wazee wao huko makwao. Kila mtu akiwa na mtazamo tofauti na wao wanamtusi. Sisi Waislamu tunakatazwa kuwatusi watu, hata wasiokuwa Waislamu majumbani mwetu na Misikitini. Ukiona Muislaimu katukana huyo amepinda kwa kukosa malezi.
@sundaymsuya1433
@sundaymsuya1433 10 ай бұрын
Kuna wa2 wabaguzi km waislam hum tz
@ahmadmzoa74
@ahmadmzoa74 10 ай бұрын
@@sundaymsuya1433 Tamaa yetu sisi watu waielewe haki na kisha kuifuata. Sisi tunatambua vitabu vinne: 1.Zaburi, 2.Taurati,3.Injili na Quran. Na pia tunaviamini.
@godsondeo7539
@godsondeo7539 10 ай бұрын
Kumbuka mwalimu alifuta ukabila na kwa sasa tuna amani wewe unatoa wapi hayo? Alafu wewe ni mtu wa umri tumia elimu saidizi . Udini usitegemee kwetu ila hio ipo kwako na hutatoboa uchichezi ...uelewe hakuna mungu wa kikrito na wa kiislam mungu akusaidie
@peterbangari4273
@peterbangari4273 10 ай бұрын
Mzee anafanya uchochezi wa dini halafu serekali imwangalia tu .
@agnessangawe3844
@agnessangawe3844 10 ай бұрын
HAMWEZI KUHUBIRI MAFUNDISHO YA IMANI YAKO. BILA KUTUKANA AU KUKASHIFU UKIRISTO. MIDOMONI NA MIOYO YENU IMEJAA CHUKI NA FITINA. UNALETA UBAGUZI LIZEE LISILO NA HEKIMA.
@zeelamipango
@zeelamipango 10 ай бұрын
Msenge mmoja hv asiyejielewa
@MaryamKudra-gf8zs
@MaryamKudra-gf8zs 10 ай бұрын
mtukane ujue utakuja mlipa kwa gharama kubwa mbele ya Allah
@adammj6258
@adammj6258 10 ай бұрын
Ndio ushajibu hoja hapo!!?? Mbona Maaskofu wenu wanayajua na hawabishi!!? Anzia hapo kujifunza,,,nyie ni maAgent wa Wakoloni
@user-ux4rb8qo6t
@user-ux4rb8qo6t 10 ай бұрын
Wewe ndo mzalendo. Acha izo
@billgussy6099
@billgussy6099 10 ай бұрын
Huyu ni mjinga na mchochezi apuuzwe. Wakristo si kwelu kwamba wote Wana mawazo mamoja ndo maana unaona spika ni mkristo lakin anaunga mkono bandari ibinafaishwe. Kiufupi huyu Sheikh anaakili ndogo Sana ya kupambanua mambo 😂😂😂
@AshrafuJonny-sz4gs
@AshrafuJonny-sz4gs 10 ай бұрын
Upo sahihi ila jambo labandali likopalepele hatumtaki dpwold
@jakobongwara3038
@jakobongwara3038 10 ай бұрын
Waisiram niwazito wakuerewa wakijua tutapata misaada jitumeni fanyeni kaazi acheni uchonganisha
@MaryamKudra-gf8zs
@MaryamKudra-gf8zs 10 ай бұрын
wazito kuelewa ni wadini wakristo wanao inyonya nchii hii
@walidmgonja3644
@walidmgonja3644 10 ай бұрын
Kweli wewe taahira hata kiswahili hujui Eti waisram,kuerewa,ndio nini hii?
@wanguwangu34
@wanguwangu34 10 ай бұрын
Huyu marehemu amefufuka na kutoa wrong history asiyoijua.
@Asamtz360
@Asamtz360 10 ай бұрын
Daah ukiisoma dini ukaielewa kupitiliza haya ndo madhara yake ipo haja ya kutoa elimu ya kujitambua na kuyatambua mambo elim sifuri kabisa
@faustinbyendeye138
@faustinbyendeye138 10 ай бұрын
Hawa jamaa ni watu tuu walislimu Kama vile tuu wakristo na ukristo .
@othmarluwawilo8308
@othmarluwawilo8308 10 ай бұрын
Mnafikiliza taarifa za mwendawazimu.
@yassinhamza1969
@yassinhamza1969 10 ай бұрын
Ina maana ww hotuba ile ya nyerere hukuisikia
@salehkhamis-ob8ln
@salehkhamis-ob8ln 10 ай бұрын
ilunga wape vidonge vyao hawajielewi hao
@gulalakitinya7615
@gulalakitinya7615 10 ай бұрын
Kwahiyo Waarabu nao waliacha uzalendo katika nchi zao.
@richardmakweta8875
@richardmakweta8875 10 ай бұрын
Hivi nikwanini viongozi mnaendeleza mjadala wakidini kwani Hawa wanao ongea nakulalamika katika nchi hii wameutaja wapi uislaamu ,tunaomba kueni makini choko choko hizi zaudini hazina maana yoyote kwakuwa Jambo Hilo halipo,lakini inavyoonesha mnalazimisha watu waanze kuzungumzia Jambo Hilo ambalo halipo ili mpatate mahali pakuanzia kuleta chuki,hamtaweza kwakuwa hata wafuasi wenu wanawashangaa
@adammj6258
@adammj6258 10 ай бұрын
Ungeanza na wa makanisa maana wao kwanza hawaitakii mema nchi wanalinda maslahi ya Wakoloni,huyo anajibu hoja
@happinessmwaipopo7426
@happinessmwaipopo7426 10 ай бұрын
Pumbavu kabisa watu kwenye familia tumechanganyika waislam na wakristo wewe mzee unatuletea unazi. Hebu tutokee huko
@maftahmusa9513
@maftahmusa9513 10 ай бұрын
Kama ni upumbavu bila shaka utakua nao wewe nakama unabisha katizame katika kitabu alicho andika Padri wa kizungu missionary Dr Jhon Siyvalon KANISA KATOLIKI NA SERIKALI YA TANGANYIKA. hapo ndipo utafahamu mpumbavu ni nani kati ya wewe na yeye
@zuberiathumani4287
@zuberiathumani4287 10 ай бұрын
Ilunga katumia facts za marejeo ya vtabu ww unatumia mihemuko ya kiimani nan mpumbavu....?
@piuskanyampala4540
@piuskanyampala4540 10 ай бұрын
Hawa ndo wanaongoza Kwa upotoshajii,hawana na muda wa kuhubiri upendo au mambo yakoo
@ahmadmzoa74
@ahmadmzoa74 10 ай бұрын
Una hoja au matamanio ya nafsi kuwa muadilifu kijana.
@maftahmusa9513
@maftahmusa9513 10 ай бұрын
sawa kabisa shekh
@romanamassawe814
@romanamassawe814 10 ай бұрын
Kisha kufa huyo, hayupo duniani
@maftahmusa9513
@maftahmusa9513 10 ай бұрын
@@romanamassawe814 Maneno yake bado yako hai na yataendelea kua hai
@romanamassawe814
@romanamassawe814 10 ай бұрын
@@maftahmusa9513 hata maneno ya shetani Bado yapo hai, alimwambia Hawa siku mkila tunda la mti huu mtafanana na mungu, je maneno ya shetani hayaishi mpaka leo ?. Kufa wote tutakufa ila ukifa unaenda wapi ?. Hilo gaidi Sasa hivi lipo jehanamu ya milele,
@petermasanilo732
@petermasanilo732 10 ай бұрын
Serikali wachukue hatua Kwa hiyo mchonganishi
@jafumnyupe5250
@jafumnyupe5250 10 ай бұрын
Allah Akbar!
@nancyaloys8392
@nancyaloys8392 10 ай бұрын
MUNGU Yuko wapi apo? Unaubiri nn ushetan .
@zobakazizi7637
@zobakazizi7637 10 ай бұрын
Waarabu waliacha magofu ya Watumwa Zanzibar.
@camilomassao8971
@camilomassao8971 10 ай бұрын
Sio zanzibar tu, nenda kilwa uone magofu na ujifunze walivyowanyanyasa Watanzania na kuwadhalilisha, kuwatumikisha, ni wakoloni tu kama wakoloni wengine. Nafikiri kuna haja ya kuacha kuangalia udini, tujifunze kwa Traore na Tanzania haichukui muda, time will tell!
@tindatinda7330
@tindatinda7330 10 ай бұрын
Ilunga ulikotokea Rudi ukajitafakari maana ulileta machafuko kuhusu kuchinja ktk utawala WA Kikwete.
@princemahamba242
@princemahamba242 10 ай бұрын
Udini utaanzia kwenye utawala huu
@bonifacerobert2960
@bonifacerobert2960 10 ай бұрын
CCM MNAKOTUPELEKA, TUTAJUTA WATANZANIA. NAHISI MPO WACHACHE WAKUU WA JUU AMBAO MNAJUA MNAO USALAMA KAMILI NINYI NA FAMILIA ZENU.
@zaidyabdalah3691
@zaidyabdalah3691 10 ай бұрын
Msituletee mambo ya udini hapa, hatutaki kabisa mambo hayo
@dadihemedi2884
@dadihemedi2884 9 ай бұрын
Hujui jambo lolote kaa kimya
@camilomassao8971
@camilomassao8971 10 ай бұрын
Roho tu inawauma. Hata zikijengwa kila kijiji watu wanafuata huduma na si hospital hii ni ya nani. Acha kupoteza muda wako, zungumza ya msingi na si chuki na wivu. Eti kanisa😱
@castrocastro9615
@castrocastro9615 10 ай бұрын
Acha uchonganishi ustadhi. Tz sote ni ndo maana familia moja unakuta kuna waislam na wakristo. Lkn pia tumeona waislam kwa waktisto tens kwa upendo. Ondoa udini hapa ww
@georgechiwango7381
@georgechiwango7381 10 ай бұрын
Umesahau historia mzee. Tafuta kitabu kinaitwa uhuru wa watumwa. Uone jinsi waarabu walichowafanyia babu zetu na bibi zetu.
@user-km7xi4ev9j
@user-km7xi4ev9j Ай бұрын
Waarabu ndio waliojenga kanisa pale mkunazini zanziba. km kituo kikuu cha biashara ya utumwa? Cc tuna ushahidi wa athari za wakristo/wazungu kua wao ndio waliokua wakiwafanya watu watumwa
@frank01tz
@frank01tz 10 ай бұрын
Upimwe akili. Mtu mzima hovyo
@antonywilliama2868
@antonywilliama2868 10 ай бұрын
umepewa bahasha umezeka hadk akili
@mohdkhamis1031
@mohdkhamis1031 10 ай бұрын
Antony apewe bahasha kaburini nyny kwanza kila anaewaambia ukweli kapewa bahasha huyu shekh amefariki miaka mitano iliyopita na pia hajazungumzia bandar kazungumzia wakristo nchi hii hawana uzalendo na nchi yao zaidi ya kanisa kwanza sio kweli
@camilomassao8971
@camilomassao8971 10 ай бұрын
Wakristo mnaowasema ni waelewa hata serikali inawashangaa mnapoongea maneno na si kutoa hoja na kutetea hoja
@biddii1972
@biddii1972 10 ай бұрын
Hapo kunapambaniwa bandari iende na waaarabu mungu tusaidie
@youssefsanje8743
@youssefsanje8743 10 ай бұрын
Bandari ya babaako
@mkude
@mkude 10 ай бұрын
NYINYI MNAWACHUKIA WARABU KWASABABU YA CHUKI TU.Wangepewa wazungu mnge kaa kimya
@biddii1972
@biddii1972 10 ай бұрын
@@youssefsanje8743 😂😂😂😂
@biddii1972
@biddii1972 10 ай бұрын
@@mkude mm sichukiii waarabu tu ata wazungu na wachukia inchi yetu mpaka kesho ina nyonywa na wazungu siwezi kuwapenda ,na mm na simama kama chadema sio dini yoyote ile ,sisi kama chadema tulipiga kelele juu ya mikataba ilio kua ikifanywa na wazungu apa kwetu kama hukusikia pia sikulaumu Sasa amekuja muarabu tukikataa mnasema Ooooh mbona wazungu walichukua Kwaio mna lipiza sindio 😂😂😂kweli sisi watu weusi atuna akili 😂😂 ila so mbaya mungu alituumba ivo Ila nikuambie kitu mungu ndio muweza ya yote ngoja tuone mwisho ukoje na usicho kijua ni kwamba NAMPENDA SANA RAISI SAMIA kaaa ukili jua hilo na yeye ni binadamu tu kama mm akikosea ana rekebishwa😁😁
@hamzaswaibu9470
@hamzaswaibu9470 10 ай бұрын
Acha ubwege kumbuka waarabu ndo wanajenga bwawa la Nyerere na reli ya umeme au hujui😀😀
@awadhially
@awadhially 2 ай бұрын
Mtu wa maana kabisa huyu
@praygodmawalla7884
@praygodmawalla7884 10 ай бұрын
We are not Arabs and never can we. Tumerogwa dini imefumba watu macho.
@HildaPaul-hm4jk
@HildaPaul-hm4jk 3 ай бұрын
Tusamee shekhe inatosha
@Hudatztv
@Hudatztv 3 ай бұрын
Mko vizuri kwa kweli
@ismaelgadiye4488
@ismaelgadiye4488 10 ай бұрын
Huna akili
@ussiussi3413
@ussiussi3413 10 ай бұрын
Ww unazo lakini zina ulemavu katika ufahamu.
@ambitiousholyspirit395
@ambitiousholyspirit395 10 ай бұрын
waliosaini miataba huu ndio wanaoleta haya!
@gracemsalila7735
@gracemsalila7735 10 ай бұрын
Hovyoooo mtu mzima hovyoooooo
@uwezotv
@uwezotv 10 ай бұрын
Wanini wakeisto wanaficha majina yao mtandaoni hii ni dalili mbaya hawa ni watu wabaya sana ukiona mtu hataki kujulikana jinalake huyo atakua habisi ,nwizi jambazi ,muuwaji hawa ni tatizo kubwa na vita walionayo ninkwenye arizi ndio wanaongoza kuleta migogoro ya arizi na ni wauwaji wakubw
@judicatendengerio-ndossi1583
@judicatendengerio-ndossi1583 10 ай бұрын
Waarab wa UAE wana uzalendo na Tanzania kuliko Wamasai wa Ngorongoro na Tanganyika.
@YoshuaSeverino
@YoshuaSeverino 4 ай бұрын
Tuishukru Bakwata kwa kuwa na viongozi wa elewa sana,
@ritchiemuta1092
@ritchiemuta1092 10 ай бұрын
Duuuyuhhhh
@happyjeremiahmhuli4043
@happyjeremiahmhuli4043 10 ай бұрын
Uzalendo wa bandari haupo
@mwinjilistiaristidesmeja1834
@mwinjilistiaristidesmeja1834 10 ай бұрын
Hivi ni kweli kuwa hamwezi kuongelea dini yenu mpaka muutaje Ukristo? Na hii ni kuonyesha kuwa hoja za dini yenu ni dhaifu kwa hiyo hoja zenu zinakamilika kwa kuutaja Ukristo
@luchinguawadh3647
@luchinguawadh3647 10 ай бұрын
makafili hamna akili ndo maana mnauziwa hadi mchanga na mafuta ya alizeti na mwamposa
@machaggechacha243
@machaggechacha243 10 ай бұрын
Bwege huyo!!! Achana naye. Usipoteze muda wako.
@jumamasasikatuga2823
@jumamasasikatuga2823 10 ай бұрын
Huyu jamaa nilijua anamaneno mazuri kube hakuna kitu kabisa
@maftahmusa9513
@maftahmusa9513 10 ай бұрын
Kwa mazuzu hana kitu lakini kwa wenye akili kubwa kunaujumbe mkubwa na muhimu na maranyigi mahamnazo si rahisi kumaizi lulu.
@jesusislord9190
@jesusislord9190 10 ай бұрын
Mwehu pale kwenye kaaba huonagi ma raisi wanavyolindwa...hii nchi imeendelezwa na wakristo nchi zilizotawaliwa na waarabu kama maultinania mpaka leo ni watumwa wa waarabu Eritrea kadhalika somalia
@manrectorz
@manrectorz 10 ай бұрын
WEWE NI MPUMBAVU, MWARABU HAJAWAHI KUTAWALA NCHI YOYOTE AFRICA. BAADA YA UKOLONI KUTANGAZWA AFRICA, BAADA YA BERLIN CONFERENCE 1884.
@jesusislord9190
@jesusislord9190 10 ай бұрын
@@manrectorz sio kutawala tu amechukuwa kabisa amejimilikisha Egypt ni nchi ya kiarabu?? Libya Tunisia Morocco hizi ni nchi za kiarabu?? Alietawala znz na tanganyika kabla ya mjerumani alikuwa mchina?? Mbona history zenu mwaarabu aliuwa watu weusi Egypt ilikuichukuwa na sasa hiyo history hamuitaki na mwaarabu hataki muijuwe na mashekh hawezi kuwaambia.. kwasababu msimamo wao ni kuwa waarabu ni wema duniani hakuna
@presenterkabuma1646
@presenterkabuma1646 10 ай бұрын
Nyie kweli ndo wasenge mnaropoka tu wala hamjui lolote,kazi kudanganywa tu na wapumbavu wenu huko.
@jesusislord9190
@jesusislord9190 10 ай бұрын
@@presenterkabuma1646 wewe huyo hakudanganyi??
@user-rs4vz2vt9z
@user-rs4vz2vt9z 10 ай бұрын
Huyu mchawi katoka wapi?.
@presenterkabuma1646
@presenterkabuma1646 10 ай бұрын
Mchawi babaako
@user-rs4vz2vt9z
@user-rs4vz2vt9z 10 ай бұрын
@@presenterkabuma1646 mama yako.
@happinessmwaipopo7426
@happinessmwaipopo7426 10 ай бұрын
Nasikia alishadanja
@mlawayusuph8842
@mlawayusuph8842 10 ай бұрын
​@@happinessmwaipopo7426 eti nasikia alishadanja! na ww ipo cku utaelekea hko taka uctake
@presenterkabuma1646
@presenterkabuma1646 10 ай бұрын
@@user-rs4vz2vt9zMchawi wakubwa nyie.
@denisrukangula2227
@denisrukangula2227 10 ай бұрын
Aliyeko kwenye madaraka ni mkristo Huyu anae taka KUUZA bandari
@salehkhamis-ob8ln
@salehkhamis-ob8ln 10 ай бұрын
Bandari ni ya watu wa pwani. Watu wa nyanda za juu na kanda ya ziwa mtuache na mikataba yetu. Nyinyi kwenu huko ni mapori na wanyama tu watu wa pwani ndio wa kulalamika sio nyinyi mnaotoka maporini
@happyjeremiahmhuli4043
@happyjeremiahmhuli4043 10 ай бұрын
Hadidu rejea
@barazamwaja3868
@barazamwaja3868 10 ай бұрын
Y
@jesusislord9190
@jesusislord9190 10 ай бұрын
Sasa wameanza kujifichua Quran 5;51) Quran 9;29
@Donyo-rh8do
@Donyo-rh8do 10 ай бұрын
Huyu mzee alishakufa siku nyingi jamani
@josephzacharia3116
@josephzacharia3116 10 ай бұрын
Hiyo vita unayoianzisha ianzie kwako iishie kwako we vuruga tu
@kanoa645
@kanoa645 10 ай бұрын
Hudatv bravo
@samoskiyalo6095
@samoskiyalo6095 10 ай бұрын
Hawana uzalendo je nikweli au ni kupotosha kristo ataleta kiyama kwenu itakuwaje ?
@agnessangawe3844
@agnessangawe3844 10 ай бұрын
Yaani mwongo wewe. Ukiwa Kanisani ukishapokea mkate mtakatifu huwezi kusalimiana na mtu. ACHA CHUKI WEWE MNAFIKI MZEE.ROHO MBAYA SURA KAMA FENESI
@azizabdallah585
@azizabdallah585 10 ай бұрын
WAISLAMU WA TANZANIA TUNAONA AIBU KUWA NA SHEKH KAMA HUYU ANAETETEA UFISADI WA VIONGOZI WA JUU WA SERIKALI KWA KIVULI CHA DINI...!
@IbnuAlly-cg2gn
@IbnuAlly-cg2gn 10 ай бұрын
Nenda uko na upuuzi wako Ww muislamu au msanii tu
@mohdkhamis1031
@mohdkhamis1031 10 ай бұрын
Ametetea nini kaa usome dini yako huyu amewazungumza wakristo kuwa si wazalendo wa nchi yao zaidi ya kanisa kwa taarifa yako huyu shekh amefariki miaka mitano iliyopita
@slymsameer5415
@slymsameer5415 10 ай бұрын
Wewe huna akili kabisa hata chembe
@alimaulid9543
@alimaulid9543 10 ай бұрын
Sheikh huyu ameshakufa miaka mingi hii ni ya zamani kwa hiyo hatetei ufisadi na hajatumwa na ccm
@princeshahulo2174
@princeshahulo2174 10 ай бұрын
Cyo kosa lako shida akili yako na malezi yakwenu bila shaka hutambui unaloongea!!?
@alumonkisinda4574
@alumonkisinda4574 10 ай бұрын
tusiachiane mzigo huu ni wa kwetu sote jamani tusiachiane
@lemonadesoldier1377
@lemonadesoldier1377 10 ай бұрын
Marehemu aliyekufa amefufuka
@mzulwa2006
@mzulwa2006 10 ай бұрын
Hizo ndio fikra zinazoishi
@user-rs9ws1om8b
@user-rs9ws1om8b 10 ай бұрын
Sitaki kutoa comment yangu mpaka nitakapo fahamu academic CV yake huyo anaeongea. Simwelewi!
@AmosNicas
@AmosNicas 10 ай бұрын
Wewe mzee hujitambui kama ukristo uliletwa na wakoroni vp uisilamu uliletwa Kwa ajiri ya biashara yaani warabu
@user-gr9wc7bc2m
@user-gr9wc7bc2m 10 ай бұрын
Hawa jamaa tz msiangalia lwenu
@barnabasmsagamasi611
@barnabasmsagamasi611 10 ай бұрын
Umepewa kiasi gani na CCM?
@maftahmusa9513
@maftahmusa9513 10 ай бұрын
Unaropoka tu hii clips ina zaidi ya miaka 20 bilashaka wewe ulikua bado unachezea michanga. kipindi CCM wakidi CUF ni chama cha waislam
@user-cw2nj4io3v
@user-cw2nj4io3v 10 ай бұрын
Unaelewa unachokisema?, usipotoshe watu , unafahamu madhara ya kuyasema hayo nyakati hizi?,wewe kweli ni kiongozi mcha Mungu au kiongozi mcha dini?,
Ustadh Ilunga - Wazanzibari wamjitambua Part One 4/5
34:08
Abd Binm
Рет қаралды 304 М.
Sigma Kid Hair #funny #sigma #comedy
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 34 МЛН
Как бесплатно замутить iphone 15 pro max
00:59
ЖЕЛЕЗНЫЙ КОРОЛЬ
Рет қаралды 6 МЛН
Playing hide and seek with my dog 🐶
00:25
Zach King
Рет қаралды 33 МЛН
Clowns abuse children#Short #Officer Rabbit #angel
00:51
兔子警官
Рет қаралды 77 МЛН
WAJUE MAADUI WA UISLAMU: NASAHA ZA UST. #ILUNGA
18:25
Hudatz Tv
Рет қаралды 84 М.
WAKRISTO WANAMIPANGO IMARA || Ust. Ilunga
34:46
Hudatz Tv
Рет қаралды 45 М.
ACT Wazalendo waapa kushinda uchaguzi 2025
1:33:02
Weyani Tv
Рет қаралды 9 М.
Ustadh Ilunga - Wazanzibari wamjitambua Part One 1/5
34:25
Abd Binm
Рет қаралды 255 М.
ASILIMIA KUMI NDIO HUONGOZA JAMII | UST. ILUNGA H. KAPUNGU
36:01
VTS 01 2
40:41
Abd Binm
Рет қаралды 26 М.
VTS 01 3
40:40
Abd Binm
Рет қаралды 20 М.
Толстый солдат всем отомстил #shorts
1:00
ПРОВЕРЬ СВОЙ УРОВЕНЬ💪🏻
0:38
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 2,3 МЛН
МЫ ПОХОДУ ЧТО-ТО НАПУТАЛИ
0:20
МАКАРОН
Рет қаралды 8 МЛН