BALAA..!!Rais JPM Ampokonya Ardhi Mfanyabiashara Huyu Hadharani

  Рет қаралды 160,201

Global TV  Online

Global TV Online

5 жыл бұрын

BALAA..!!Rais JPM Ampokonya Ardhi Mfanyabiashara Huyu Hadharani
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Magufuli leo Juni 7 2019 amekutana na Wafanyabiashara kutoka kila mkoa Ikulu jijini Dar es salaam.
Miongoni mwa wafanyabiashara waliofika Ikulu ni Mohammed Kiluwa ambae amejikuta akinyang'anywa ardhi ya Heka 1000.
#JPM #WAFANYABIASHARA
/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers Instagram:
globalpublishers Twitter: GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: goo.gl/2jDyho

Пікірлер: 129
@moshimipene4101
@moshimipene4101 5 жыл бұрын
Nakukubari mzee wangu lukuvi upo vizuri auteteleki mzee kwenye haki
@islamsadiki2381
@islamsadiki2381 5 жыл бұрын
Moshi Mipene
@kingwatabata4230
@kingwatabata4230 5 жыл бұрын
Kama umesikia viwanda vipo kwenye makontena twende sawa gonga like zakutosha
@geraldbenjamin9302
@geraldbenjamin9302 5 жыл бұрын
Hahahahaha! Afukuzwe Mara moja
@willysamwel6091
@willysamwel6091 5 жыл бұрын
lukuvi uko vizuri sana mzee
@geraldbenjamin9302
@geraldbenjamin9302 5 жыл бұрын
Moja Kati ya Mawaziri Bora kuwahi kuwashuhudia Tangu nijitambue na kuanza kuyajua mambo ya nchi yangu. Live long Lukuvi
@bafastarseed479
@bafastarseed479 5 жыл бұрын
Safi sana , now days ufatiliaji unaonekana pongezi kwako waziri !
@hasaniwaziri9672
@hasaniwaziri9672 5 жыл бұрын
Mh.Rais hakika mungu amekujalia akili sana.Familia yako inajivunia kuwa na wewe sana akili mingi sna
@ngox100
@ngox100 5 жыл бұрын
Lukuvi is very smart amweza kujua Raisi anataka nini
@dinahnyagosaima1259
@dinahnyagosaima1259 5 жыл бұрын
Mungu akubariki Magufuli.Lukuvi Rais wa 2025
@rajabugoa5585
@rajabugoa5585 5 жыл бұрын
umetisha mh Rais upo vzr
@audaxbizimana8084
@audaxbizimana8084 5 жыл бұрын
Ee Mwenyezi Mungu tunakuomba umbariki rais wetu na Watanzania wote
@selemankishema5780
@selemankishema5780 5 жыл бұрын
unajishauwa kumbe tapeli mtakoma huyu mzee hataki mchezo
@audifasmassera1289
@audifasmassera1289 5 жыл бұрын
Huyu jamaa hajui zama zimebadilika!!! Bado anaishi enzi zileee!😁😁😁😁
@stellariwa2723
@stellariwa2723 5 жыл бұрын
magufuli oyeeee oyeeee
@generalkidola2155
@generalkidola2155 5 жыл бұрын
Moja Kati ya mawaziri ambao mheshimiwa Rais anapaswa kujivunia ni waziri wa ardhi mheshimiwa lukuvi safi sana
@gracegrace3087
@gracegrace3087 5 жыл бұрын
Mwangalie mwizi alifikiri Magufuli ni mujinga. Hawa ndiyo waliokuwa wakivuna bila shamba.
@brysonuronu5862
@brysonuronu5862 5 жыл бұрын
Aisee ila Waziri Lukuvi amenyooka mno...Hongera Mh Rais
@emilydavidmdoe3552
@emilydavidmdoe3552 5 жыл бұрын
Rais mwenyewe alikuwa ardhi halafu chezea wewe.!!!! Hongereni Waziri na mh Jpm,mna akili sana
@mswanawamswana3129
@mswanawamswana3129 5 жыл бұрын
Nyarubanja amekiona cha moto leo. Kajishauwa shauwa weee mwishowe kapigwa chini!!!!!!!
@afidhuhassan7117
@afidhuhassan7117 5 жыл бұрын
Gvj7piooo888833334 the same
@finiaselias6227
@finiaselias6227 5 жыл бұрын
Kama umeona mdomo wa lukuvi akiongea point unasonga mbele kama tarumbeta nyoosha mkono
@alphamtweve725
@alphamtweve725 5 жыл бұрын
Nimeonaaaa😂😂😂😂😂
@josephmateru8892
@josephmateru8892 5 жыл бұрын
Magu Nakukubali Cna Yan 2mepata Raisi Haswa 🙏👏🙏👏
@maria_mutondioriginal5
@maria_mutondioriginal5 5 жыл бұрын
Lakini kwani shida ipo wapi yeye kuwa na ubia na wawekezaji halafu akamiliki ardhi anayo taka bila kuvunja sheria!! Naona kuna figisu figisu ya kuona atafanikiwa cha msingi anunue ardhi kwa bei sahihi na alipe kodi Inavyo takiwa. Maana kama kutakuwa na shida yeye ndiyo atawajibika na si mwingine. Ikumbukwe amesafiri mabara kwenda kutafuta watu atakao fanya nao biashara.
@mufasamufas6023
@mufasamufas6023 5 жыл бұрын
Hujaelewa labda tatizo sio hilo tu ndio mana hata magu alisema yeye anachojali viwanda vifunguliwe watanzania wapate ajira sasa yeye anawatumia watu wenye vyeo serikalini akiwemo mkuu wa mkoa ili anunue heka 1000 kwa milioni moja halafu yeye kachukua bilioni nne sasa huoni kama alikua anaidhulumu serikali yetu kuendelea kuwa masikini pesa zote anakula yeye mambo haya ymefanywa sana ma viongozi waliopita ndio maana tanzania ina kila kitu lakini bado masikini sababu ya watu kama hawa
@msuredesigner1206
@msuredesigner1206 5 жыл бұрын
Kalua????¿?
@dicksonjohn4141
@dicksonjohn4141 5 жыл бұрын
Kazi kwelikweli
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 5 жыл бұрын
Duh majanga haya! Ila nakereka sana sana Watanzania kutumiwa na wachina na kusaliti nchi yao jamani kisa unapokea Cha juu. Hao wajukuu zako wataishi wapi? Watajenga wapi?
@chumizola1847
@chumizola1847 5 жыл бұрын
Umesema vyema ndugu! Tuwaunge mkono viongozi wetu wenye uchungu wa nchi hii
@clarakalepo1338
@clarakalepo1338 5 жыл бұрын
Mmm mungu atusaidie wanadamu tukumbuke hapa duniani maisha ni mafupi tuishi katika ukweli tuu
@godlovekasaka4166
@godlovekasaka4166 5 жыл бұрын
Dah!! unachowaza ni kama mimi huwa nawaza sana hawa watu wanawaza nn?? hebu pata picha spika wa bunge kiongozi wa muhimili mikuu ya serikali alikuwa anaenda kuuza nchi kwa manufaa yake binasfi.. kiukweli Mungu atusaidie sana awape macho yakuona jamani
@mawazomawazo959
@mawazomawazo959 5 жыл бұрын
Huyu mfanyabiashara uchwara,atakuwa Dalali wakimataifa. Mtaji Billion 1 faida billion 3.
@mamachris6811
@mamachris6811 5 жыл бұрын
Kweli kizazi hiki ubinafsi umezidi Mtu anafikiria leo tu bila kujua kuna kesho ya Watoto wako
@sadikidaudi1223
@sadikidaudi1223 5 жыл бұрын
Lukuviiiiiiiiiiiiiii Pambana Mzee nakuelewa saana watu wamaalifa wataisoma namba.
@mkongojoseph7886
@mkongojoseph7886 5 жыл бұрын
Cjaelewa
@magreth7981
@magreth7981 5 жыл бұрын
😂😂☝
@adenihalisi4218
@adenihalisi4218 5 жыл бұрын
Kumbe kiwanda huwa inasafirishwa kwenye kontena?
@matzvlog4364
@matzvlog4364 5 жыл бұрын
adeni Halisi 😂😂😂😂😂😂😂
@azizauledi4108
@azizauledi4108 5 жыл бұрын
Hata sheria ya dini hairuusu hivyo unahangamiza nchi yako kwa ajil ya tumbo lk kuw mzalendo kk
@suleimankhamis8298
@suleimankhamis8298 4 жыл бұрын
kwa kweli lukuvi hafanyi kazi kwa sifa afanya kwa kujua wajibu wake anafit vizuri sana kwenye hii position
@stevenmsaaada.msaada.389
@stevenmsaaada.msaada.389 5 жыл бұрын
Safi sana magufuli. Watakuelewatu taratibu.
@judamsaki5609
@judamsaki5609 11 ай бұрын
Wamrudishe kwenye wizara ya ardhi ...namheshimu sana abarikiwe
@rosemarymsulwa203
@rosemarymsulwa203 5 жыл бұрын
Ulipeleka utapeli ikulu. Leo umekomeshwa.
@ezradaniel4613
@ezradaniel4613 5 жыл бұрын
😂😂😂😂
@happybalama3591
@happybalama3591 5 жыл бұрын
Mweee angenyamaza tu
@sidinimwakajila3226
@sidinimwakajila3226 5 жыл бұрын
Hongera sana Raisi wetu mwenyezi mungua azidi kuku linda
@lukmanihamadi3617
@lukmanihamadi3617 5 жыл бұрын
Hakika mungu akubariki Sana mh rais uweze kutenda haki kira siku tunakuombea san mh rais
@mohdsalum3832
@mohdsalum3832 5 жыл бұрын
Mie nakuaminia mgufuli huwa hutafuni maneno
@islamsadiki2381
@islamsadiki2381 5 жыл бұрын
Mohd Salum
@islamsadiki2381
@islamsadiki2381 5 жыл бұрын
Mohd Salum.
@ticianmarando9027
@ticianmarando9027 5 жыл бұрын
very authoritative remarks from honourable lukuvi
@estargabriel8362
@estargabriel8362 5 жыл бұрын
kiwanda chakujengwa miezi mi4 mmm
@akimmbwego797
@akimmbwego797 5 жыл бұрын
Mimi pia ni TEAM LUKUVI JAMANI
@judamsaki5609
@judamsaki5609 11 ай бұрын
Gwiji Magufuli kweli tulimpoteza ...tumpate wapi tena Magufuli II???
@wahidawahida6675
@wahidawahida6675 5 жыл бұрын
Magufur ww sio fitina wala sio muongo.karua kapatwa na shetani😁😁😁magufuri ww ninoma
@judamsaki5609
@judamsaki5609 11 ай бұрын
Wazir making sana huyu....
@spkaprotas
@spkaprotas 5 жыл бұрын
Kwakweli Rais tunaye. Kwa mtu kama Lukuvi siku akiingia kwa skendo atanisikitisha sana. Ni waziri wa mfano katika mawaziri wa JPM.
@fredyndenga
@fredyndenga 5 жыл бұрын
👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿
@khadijamanzi670
@khadijamanzi670 5 жыл бұрын
Duuh karua angekaa kimya tu Lukuvi msema kweli Mungu wa awape maisha marefu
@yudatadei9303
@yudatadei9303 5 жыл бұрын
Asante sana Rais wetu haki zetu zilikuwa zimeshapotea tupo tunakuombea kila siku
@thobiasndichaye4861
@thobiasndichaye4861 5 жыл бұрын
Nampenda mh na wazili wake
@barakmazigo8945
@barakmazigo8945 5 жыл бұрын
Upon vzr magu
@kamalofanuel8120
@kamalofanuel8120 5 жыл бұрын
Hii jamaa mmmh ati itajenga viwanda......alisema kama ni uongo afukuzwe nchini.....timuaaaaa huyo
@streetview3045
@streetview3045 5 жыл бұрын
Fanuel Kanalo sasa aende wapi nakati ni mtanzania ? hakuna wa kuweza kumfukuza mtu nchinii
@MsAggie5
@MsAggie5 5 жыл бұрын
Trust channel Aliahidi kama hata janga viwanda afukuzwe. Kama viwanda viko kwenye makontena na sio vyake basi alichoomba apewe. Tatizo watanzania tumezoea maisha ya uongo uongo. Amechelewa angefanya utapeli huo huko nyuma wakati serikali ilipo kuwa imelala kila Mtu anajifanyia yake
@streetview3045
@streetview3045 5 жыл бұрын
Aggi Bibi Angel haahaha kweli
@nwntz
@nwntz 5 жыл бұрын
lukuvi anajiamini mno sio yule prof kabugi
@davidmahenge5511
@davidmahenge5511 5 жыл бұрын
Huyo lukuvi mnafiki tu
@omaruledijuma9293
@omaruledijuma9293 5 жыл бұрын
Hongera my president magufuli
@felisterapornary2612
@felisterapornary2612 5 жыл бұрын
Hahaha ungewaapisha Tu Hao wafanya biashara wawe wabunge maana kumenoga hatali
@reynjau5985
@reynjau5985 5 жыл бұрын
Viwanda vipo kwenye makontena vinaliwa na mapanya🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@JesseAkabwogi
@JesseAkabwogi 5 жыл бұрын
Hii inatwa Governance......
@adrianvandervalk6734
@adrianvandervalk6734 5 жыл бұрын
safi mzee magu
@jemahaonga727
@jemahaonga727 5 жыл бұрын
😂😂😂 jamaa alijiamini sana yaani kujitamba eti viwanda vipo kwenye kontena
@ErickMkinga
@ErickMkinga 5 жыл бұрын
Magufuli is smart!
@robertdaud9894
@robertdaud9894 5 жыл бұрын
God forgive me l know it is wrong to declare this: Jpm is a black Jesus
@theleo3899
@theleo3899 5 жыл бұрын
Blasphemy!!😥 please delete your comment
@uledihassan6065
@uledihassan6065 5 жыл бұрын
Likuvi anajikomba sana kwa raisi kwa sababu akipoteza uteuzi hana atakachofanya elimu yake darasa la saba
@tumainiellyimo5276
@tumainiellyimo5276 5 жыл бұрын
Huyu jamaa alidhani mkuu ni mwepesi kwa vijisifa alivyokuwa anampa mkuu.JPM the president hakuja kimchezomchezo watz tuliumizwa Sana na watu Kama Hawa wakina kiru...wa.
@seifmohamedseif9467
@seifmohamedseif9467 5 жыл бұрын
Duh kaumbuka jamaa
@peteramini6126
@peteramini6126 5 жыл бұрын
saf sana mh William Lukuvi na mh magufuli
@adenihalisi4218
@adenihalisi4218 5 жыл бұрын
Huyu mzee hajui hata anachoongea eti "alikuwa anazunguka kuiuza nchi" sasa sijui alikuwa anaenda kumuuzia nani nchi na sisi tupo wenye nchi! Pole sana mzee dili limeungua! Duh!
@erickzephania1030
@erickzephania1030 5 жыл бұрын
Hahaha! Dalali kaumbuka
@fredrickrugina7830
@fredrickrugina7830 5 жыл бұрын
lukuvi nomaaaaa
@thomasshimba4312
@thomasshimba4312 5 жыл бұрын
Safi sanaaaaaaaaaaaaaaa
@tozzaalexandar4905
@tozzaalexandar4905 5 жыл бұрын
Upo vyema mkuu safii
@designdesign4426
@designdesign4426 5 жыл бұрын
Ungekua rais miakajapo50 ndo raha sasa vimiaka10tu vichache ayupo atakaeiweza nchi hii. ilikua km dodoki liloochakaa
@elimishanyamoga1301
@elimishanyamoga1301 5 жыл бұрын
Huna akili ww
@designdesign4426
@designdesign4426 5 жыл бұрын
Elimisha Nyamoga .akili unazo ww
@eaglecrown3872
@eaglecrown3872 5 жыл бұрын
@@elimishanyamoga1301 ww ndio una hakili tahila mkubwa ww!
@susanraphael5894
@susanraphael5894 5 жыл бұрын
hakika nice comment
@mercyherbert8978
@mercyherbert8978 5 жыл бұрын
lukuvi uko vizur Hata mie nakuelewa
@aishasaidchekeche9262
@aishasaidchekeche9262 5 жыл бұрын
ALLAH akulinde Rais wetu ,he tumuulize hiyo jamaa akienda china atakuwa ardhi.. Asante the Lukuvi
@joemartin8246
@joemartin8246 5 жыл бұрын
Kalua Dalali aliejimix ktk ya watu makini wamemuumbua😀😀😀
@gracegrace3087
@gracegrace3087 5 жыл бұрын
Watu kama hawa ndiyo walikuwa wana sauti, na walikuwa wanachanuwa kwa wizi wao.kwenye serikali zilizopita. Smart men in suits wanaiuza nchi bila ya mutaji. Ukiwagusa wanahamia upinzani kwa kukwama kuendelea na uwongo na wizi wao. Takukuru ifanye kazi pesa alizopata kwa udanganyifu ziende kwa wazawa. Huu ni wizi kabisa wa udanganyifu.
@madaiincubationcenter4947
@madaiincubationcenter4947 5 жыл бұрын
Hawa wanaoendelea na njia panya wakishapatikanan amkono wa serikali utasikia wakiilaum serikali kwa kila jambo hata kama zuri ila tulio na utimamu tumeshajua kwanini watu wengine huwa hawaoni mema ila kuponda tu ndio kama huyu kalua baadae anaweza kuanza kuilaum serikali
@mwilesimbeye9486
@mwilesimbeye9486 5 жыл бұрын
Lukuvi na Magufuli hoyeee mdumu mdumu
@fredrickmsaki3042
@fredrickmsaki3042 5 жыл бұрын
Waziri wangu bora kabisa wa hii serikali ya sasa
@mohamedmatewele9185
@mohamedmatewele9185 5 жыл бұрын
Matapeli bado wapo wengi
@rashidmalilo3657
@rashidmalilo3657 5 жыл бұрын
Jpm tunaomba utawale mpaka uchoke mwenyewe mzee wetu
@elimishanyamoga1301
@elimishanyamoga1301 5 жыл бұрын
Una akili ww yaani huo mda ulizaliwa ww bora yangetikea hata mafuriko
@elimishanyamoga1301
@elimishanyamoga1301 5 жыл бұрын
Yaani wew jamaaa huna akili kaka
@zittotv9972
@zittotv9972 5 жыл бұрын
Rashid Malilo weeechizinn
@susanraphael5894
@susanraphael5894 5 жыл бұрын
elimisha monga usidwe kwa jina la Yesu nahuyo pepo mchafu akutoke haraka amen
@omarmuhammed9655
@omarmuhammed9655 5 жыл бұрын
Watanzania mujue km awamu hii ndio wanaoimba kuliko awamu zote
@godfreymbwambo4460
@godfreymbwambo4460 5 жыл бұрын
WEWE MWENDAWAZIMU SANA, SASA HIYO KODI ILIYOONGEZEKA ZAIDI YA MARA MBILI YA KIKWETE IMETOKEA WAPI?
@salimamri9488
@salimamri9488 5 жыл бұрын
@@godfreymbwambo4460 Achananae huyo jamaa jingasana
@omarmuhammed9655
@omarmuhammed9655 5 жыл бұрын
Tatizo la watanzania
@omarmuhammed9655
@omarmuhammed9655 5 жыл бұрын
Wajinga nyie munao itwa wanyonge.unyonge nilaana kubwa ndio tukafika hapa hakuna mradi hata moja awamu hii uliyofanya zaid ya kuweka majiwe ya msingi tu et viwanda munajua umeme ngani unaohitajika musiwe watu wakulishwa uongo wa kisiasa tu
@godlovekasaka4166
@godlovekasaka4166 5 жыл бұрын
Omar Muhammed nyie ndoo wale wale kila tra na karua kaeni na njia yenu... unataka kunambia ile flyover ya tazara jiwe uliweka wewe na ujenga wewe.. msitufanye watu kama hatuna akili kila kitu tunakiona kwa macho hakuna mtakachotushawishi tuone awamu zilizopita ni bora kuliko hii... hapo mmefeli
@Blessedhopefamily
@Blessedhopefamily 5 жыл бұрын
Tatizo kujipendekeza kumezidi. Masifa mengi hadi anamfanya kama Mungu, hata Mungu hajaeah kumsifu hivyo. Mh. Kamuonesha kuwa yy si wa misifa ya kijinga. piga chini.
@susanraphael5894
@susanraphael5894 5 жыл бұрын
mi sijaelewa
@mohamedmatewele9185
@mohamedmatewele9185 5 жыл бұрын
Uhujumu uchumi in anamsubiri pakashume mkubwa
@jeremiahsengasu6595
@jeremiahsengasu6595 5 жыл бұрын
Duuuuu
@salvatoryboniface1089
@salvatoryboniface1089 5 жыл бұрын
Kiluwa hvyo viwanda cyo vyako kama Ni vyako mbona hata kwenu mtwara haupeleki hata2 acha kuzingua kibaraka mtwara hata nyumba hauna hapo kwenu chikongola
@mohamedjasmin5749
@mohamedjasmin5749 5 жыл бұрын
Nawe umeonaa eeeeee.
@iddisheshambo9944
@iddisheshambo9944 5 жыл бұрын
Du! Aende kwao akawekeze kwenye korosho
@rizikisamwel9904
@rizikisamwel9904 5 жыл бұрын
Mzee wanyooshe
@faithphanuel9972
@faithphanuel9972 5 жыл бұрын
nishida mtanyoka 2 utawala wa magu
@azizauledi4108
@azizauledi4108 5 жыл бұрын
Aibu yaani bora ungenyaaza acheni utapeli unaamua kuwafanya watanzania wajinga magu sio mjinga njaa itakuweka pabaya na most matapeli ni waislam sijui kwa nn uwo ndio ukweli
@abuuhafsah9630
@abuuhafsah9630 5 жыл бұрын
Sijakuelewa hapo uislam unaingiaje ...?...jibu tafadhali
@alimakaba6170
@alimakaba6170 5 жыл бұрын
Ahaha hii inaitwa kumualika mgeni nyumbani kwako kisha unaanza kumwambia hili ndo jiko hapa ni toilet ya watoto wangu wakati huyo mgeni mwenyewe anajua mpk chumbani kuwa una kapeti la njano na pia mwenye mjengo halali yuko Zimbabwe😀😀
@mufasamufas6023
@mufasamufas6023 5 жыл бұрын
Ndio kumbe rais ana habari zake zoooote yeye hana habari😀😀😀😀
@mohamedmatewele9185
@mohamedmatewele9185 5 жыл бұрын
Mkuu wa mkoa kaingia mtegoni kijinga sana
@rizikibakar3186
@rizikibakar3186 5 жыл бұрын
Lukuvi c alikuwa na beef na Kiluwa au anamlipa? Maana alimsingizia kampa rushwa
@leopoldkaswezi9780
@leopoldkaswezi9780 5 жыл бұрын
Kiluwa mmwaga mpunga kinoma namfahamu ila mambo ya mahakamani lazima uthibishe. Wengi wanashindwa mahakamani si kwa sababu hawana haki Bali ushahidi ndo shughuli. Na hata kama ana bifu naye bado ni kweli Kiluwa analeta udalali kinyume na sheria za nchi.
Matukio MATANO YALIYOTIKISA Mkutano wa JPM na WAFANYABIASHARA
27:07
Global TV Online
Рет қаралды 1,2 МЛН
Sababu za madini kutoroshwa hizi hapa
16:08
Azam TV
Рет қаралды 106 М.
НРАВИТСЯ ЭТОТ ФОРМАТ??
00:37
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 6 МЛН
아이스크림으로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 62 МЛН
Summer shower by Secret Vlog
00:17
Secret Vlog
Рет қаралды 7 МЛН
ona MFANYABIASHARA HUYU Alivyomvunja JPM Mbavu
12:21
Global TV Online
Рет қаралды 241 М.
MZEE ALIVYOMKAANGA MKURUGENZI KWA MAGUFULI, NUSURA ATUMBULIWE!
11:12
Global TV Online
Рет қаралды 182 М.
Kisa Wasanii, Msukuma Awalipua TRA kwa JPM, Maagizo Mazito Yatolewa
12:08
Global TV Online
Рет қаралды 137 М.
DUH! MAGUFULI ASHTUKIA MCHEZO MCHAFU - AMBANA MEYA - "PESA ZIKO WAPI?"....
11:32
НРАВИТСЯ ЭТОТ ФОРМАТ??
00:37
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 6 МЛН