Wazanzibari hata mteteane kiasi gani hamtafanikiwa MUNGU yupo pamoja nasi ndoomana mkataba ukavuja
@hafidhisaidi6550 Жыл бұрын
Kwa sasa hii ndio nyimbo kubwa tz saf
@davidmalogo7100 Жыл бұрын
Ndugu mbarikiwe naomba mungu akusimamie sana mungu usimwache huyu mana amejitoa kwelikweli muumba mlinde
@sifawayesu7079 Жыл бұрын
Ameeeeeen Bandari ni shamba la bibi na wasipewe wageni. Wachungaji,mitume na manabii wa sasa wanakuwa tayari kushiriki uovu na wakiusindikiza kwa maombi. Ubarikiwe mzeee!!!
@denisjoel2833 Жыл бұрын
Zalisha mwimbo huu wa ukombozi kwenye CD na Flash kisha sambaza nchi nzima
@hamadimziraymziray-ry4vi Жыл бұрын
Saf sn nyimbo nzur ya kizalendo
@alphoncehanura3255 Жыл бұрын
Wape vidonge vyao wameze, wateme ni shauri yao.! Hongera mtungaji wa wimbo huu.
@leahmgata-cm4xo Жыл бұрын
Nyimbo nzuri sana hii ubarikiwe mwakipesile Kwa ujasiri ulio nao mungu aendelee kukulinda
@nicholaussteven3188 Жыл бұрын
Ndio bandari ni shamba la urithi hawatakiwi kupewa wageni ...Amen Baba
@juhuditete Жыл бұрын
Ameen Mungu Atusaidie ktk hili Jambo Badali Ni MOYO WA NCHI.
@ngendakuriyotriphose8109 Жыл бұрын
Kabisa mtumishi ubarikiwe na Mungu
@denisjoel2833 Жыл бұрын
Mungu akuzidishie maisha marefu utuvushe ktk vita hii ya mashetani wanaogawa urithi wetu huruma
@abelmwebraniammennonite Жыл бұрын
Afe kipa afe beki, jua liwake ama mvua inyeshe, kwa udi ama uvumba, Lugha Ni moja na sauti Ni moja, "@BANDARI NI SHAMBA LA URITHI, Hawatakiwi kupewa wageni(wazungu)" 🎤📢
@davidmpiluka5224 Жыл бұрын
Kilio cha haki cha Watanzania kikifika kwa Mwenyezi Mungu, hata yule aliyetakiwa kuwa mlinzi wako namba 1 hugeuka kuwa adui yako namba 1.
@Byondorujulika17 Жыл бұрын
Safi sana mutumishi wa Bwana, ujumbe umeeleweka, from Cedar Rapids Iowa state USA 🇺🇸.
@titonsimbazi5532 Жыл бұрын
Ameeeni kweli kabisa. Heli watuue tu kuliko tuje tutukanwe na watoto wetu.
@tumainmwamatenge4575 Жыл бұрын
Kwa kweli Kabisa
@PastorsTz Жыл бұрын
Wimbo wa kishujaa sana kwa taifa hili
@mwakilulelefrancis280 Жыл бұрын
SAFI SANA ughubhatile ingubho
@juliusjohnii7823 Жыл бұрын
Waache bandari zetu ,wastuchezeee.
@seikopensulo2594 Жыл бұрын
Ubarikiwe baba Mungu azidi kuwa pamoja nawe, Tutapata watu mtu mweny roho ya ukombozii kama huyu @Kikosi_kazi_cha_injili @mbarikiwa_mwakipesile
@leahmgata-cm4xo Жыл бұрын
Mwenye Haki ataishi kwa Imani ubarikiwe sana bandari ni shamba la urithi haitakiwi kupewa wageni
@yamungumbarikiwamwakipesil401 Жыл бұрын
Kweli kabisa tutaonekana wote kuanzia Rais wote ni nyani, wakati sio nyani maana tunakuwa tunaonekana hatuna akili tumebarikiwa na Mungu kwa kutupa nchi ambayo ingekuwa nyepesi kustawi na kuiendesha nakuishi Kama vile tuko mbinguni Ila wanapoona tunazidi kukopakopa mikopo isiyoleta tija mwisho kuamua kuuza/kurasimisha mipaka / kuuza nchi maana mipaka ndio nchi, kweli Uridhi huo patachimbika wasituone sisi mazuzu wakati watanzania tunajielewa,
@paulsibu5770 Жыл бұрын
Ni kweli watoto wetu watatuona MAMBUMBUMBU Tukiwapa hawa jamaa, Wenyewe wajichanganye tu, baadae WATACHANGANYIKANA.
@hatibuexauty4024 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana maana unapinga maovu waziwazi.
@michaelmagwaza-bc6mk Жыл бұрын
😮😮ndagha fiyo Mputi usayiwege
@emmanuelseleman2937 Жыл бұрын
Amen napenda sana kwa uimbaji wako Mungu azidi kukubariki na kukuongezea ulinzi wake
@zamdamalango9816 Жыл бұрын
Kwel ww ni simba mtunishi hauangalii vita walio weka juu yko bd ukwel unasemwa pale pale Mungu azd kukutunza
@emilkabitina8731 Жыл бұрын
Bandari ni uti wa taifa ongera sana mwimbaji vijana ni juu yenu kulinda bandari kwa urithi wenu wa taifa.
@hollojuma9538 Жыл бұрын
Hakika tukopamoja good 🙏👌👌👌💪
@mvunge7108 Жыл бұрын
Huu wimbo upigwe kwenye daladala zote mjini na bajaji kwa sauti kubwa mno....
@sayunimkongwa9830 Жыл бұрын
Ameeeeeeeni ndio bandari ni urithi wetu haitakiwi kupewa wa geni
@hellenngwilla550 Жыл бұрын
Ukweli mtupu wimbo unaujumbe mzuri sana Mungu akubariki sana
@samwelimwalindu3735 Жыл бұрын
Uko sahihi nyakyusa tutakukumbuka hufi Bali utaishi
@DottoMartin-m3w Жыл бұрын
Amina saaaaaaana
@luckymsomba4818 Жыл бұрын
jasiri kutoka heman. nlikuwa sijui et kumbe ulivuja daa
@MWAHALENDE-t3v Жыл бұрын
Ni kweli ni urithi wetu
@lucasmugoma2870 Жыл бұрын
Tuko pamoja mtu wa mungu
@sidodeni3468 Жыл бұрын
Nimeuelewa huu wimbo
@Peaceman-S Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂huuu wimbo mtaan kwangu watanikoma nitaupiga week nzima mpaka barozi aniandikie notes nihame
Nikiusikiliza huu wimbo nabubujika na machozi😭😭 Watanzania tuamke kama kutuua na kutufunga wafanye watakavyo.. Serikali la Hovyo,Bunge la Hovyo..
@Christvoicechannel Жыл бұрын
ameeen kubwa
@philipokazungu9995 Жыл бұрын
Wimbo wa maana sana hata wafanyaje ukweli siku zote ni ukweli hata MUNGU anasimami ukweli
@ngoni7944 Жыл бұрын
Umetisha sana pia pole kwa kufiwa na mtoto Download clubhouse umsikilize vizuri pia umsilize mwamba abihudi, mjahid, TL na wengine wengi kutoka diaspora ujifunze mengi ya kukufungua kuchwa na ujue hii serikali ya ccm inavyoindesha vibaya hii nchi,
@bibletv9818 Жыл бұрын
Toa elimu ya namna ya kujiunga, mimi nami nataka kujiunga
@nsajigwamwasyeba1931 Жыл бұрын
👏👏👏👏👏👏👏👏
@KedmonWaya-mt9vp Жыл бұрын
Mtumishi tuko nyumba yako kukusapot maneno yako niamina
@anosiata8242 Жыл бұрын
Ameni
@GabrielPetro-qj2mk Жыл бұрын
Kweli baba huu ndio urithi wetu
@ff.ndeamu3066 Жыл бұрын
Amina, 100%✓
@MussaPaul-yv3kk Жыл бұрын
IVI BANDARI GWAJIMA HAIMHUSU!!!!???? MBONA KWENYE CORONA ALIPIGANA VITA SANA!!!!??? KIMEMPATA NINI...!!! samahani najaribu kuwaza tu kama Mwl!
@isaacsanga9707 Жыл бұрын
Asali italika kwa shida sana kipindi hiki 😅😅😅
@janethpallangyo3855 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤
@majigedioniz8049 Жыл бұрын
Kuna ujumbe umefikishwa ndani ya huu wimbo abot JPM
@ramadhanimakange9766 Жыл бұрын
Dah hawa kweli machoko kweli
@mashannapapaaa9582 Жыл бұрын
Safi
@Magufuli. Жыл бұрын
Wimbo wa onyo kali.
@jacksoncharles5411 Жыл бұрын
Mmmmh,ila mtumishi!!
@sifawayesu7079 Жыл бұрын
Nini??? Sijakuelewa vizuri
@MikaSteven-gd6pm Жыл бұрын
Ameen
@shukranimpomwa7460 Жыл бұрын
Afe kipa hata mkikaba mpaka penati BANDARI NI SHAMBA LA ULITHI.
@ryobanchagwa2499 Жыл бұрын
100%
@yustoerioth2756 Жыл бұрын
👏
@mkambamaulid447 Жыл бұрын
Soon Mapyano Inakuja🙏🏼
@ramadhanmahongole9293 Жыл бұрын
nyimbo nzuri ila kwa basata wasivyopenda kusikia ukweli wataifungia kama nyimbo ya ney wa mitego
@jofreymbembela7810 Жыл бұрын
AMEEEEEEEEEN
@Elizabeth-em3bp Жыл бұрын
Ha ha ha ha dah jamani
@abdullahalkindi9673 Жыл бұрын
Sishangai kuona kikosi cha Injili sasa wamejitikeza wazi kosa sio bandari ila siasa kristo inania ya kutawala nchi.
@elishaobadia7212 Жыл бұрын
😄😄🙏🙏🤜
@estermwangoma6891 Жыл бұрын
💯💃💃💃🎺🎺🎺🎺🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@wirangamochemba7063 Жыл бұрын
Mbona hifadhi na migod imebinafisishwa na kanisa lina mfadhili hamsemi mama usirudi nyuma watakudharau wewe ni mkombozi wa democrasia ya nchi yetu,,
@denismlwati3285 Жыл бұрын
Hivyo ukivyo SEMA vyote havitakiwi kubinafsishwa hata kidgo maana Ni vitu vyeti vya ichi nakusahangaa unashanglia kabisa utaku a sio mtu wewe ,,😭👹👹👹
@AyoubKhatib-p4k Жыл бұрын
Zanzibar tumeibiwa mambo mengi na Tananyika mapaka ikaitwa Tanzania kwa wizi mkuki kwa nguruwe imbeni nyimbo Tanganyika wizi kwa Zanzibar
@MACHOYATAI-jk6fu Жыл бұрын
Aaah Sasa nimejuwa ndoomana kila kripu unatetea Samia mwovu
@jovinlupia9337 Жыл бұрын
Ebu tutajie vilivyo ibiwa na watanganyika na sisi tufahamu.
@StevenTambi Жыл бұрын
Ujinga unakusumbuwa
@sifawayesu7079 Жыл бұрын
Kwa hiyo mnalipa kisasi?? Sawa endeleeni na sisi tunazidi kuinua macho kwa Mungu yamkini ataingilia kati mateso haya!!!
@amashapatrick211 Жыл бұрын
Elimu ya wazungu ni.mavi kabisa rais,waziri na wabunge mmeshindwa kuendesha bandari? Sasa elimu mliyonayo ni.yakazi gani? Ikiwezekana hata hiyo.serikali.mwakabizi dp.wold hata
@estermamadee8021 Жыл бұрын
😂😂,,,,,
@petermuganda7322 Жыл бұрын
😂
@VuaiUssy Жыл бұрын
Acheni ufala hivi mnajua bamdari YA DAR KAMA NI MALI YA ZANZIBAR AU HISTORIA HAMUILEWI VIZURI?
@Mbarikiwa_Mwakipesile Жыл бұрын
Kwa hiyo ndio mnaichukua
@ayoubmtumishi50 Жыл бұрын
😂😂😂😂,🤣🤣🤣😭😭😭😭✍️✍️✍️
@ErastoChilanza Жыл бұрын
Kwahiyo unataka upewe wewe au apewe nani
@sifawayesu7079 Жыл бұрын
Chawa wewe Hata kufafanua nahisi napoteza mda wangu tuu!! Ila nimefuatilia komenti zako unazotoa kwenye account hii nimejua wewe ni chawa tu,na kwa haupendi mafundisho yake si achana na crip zake
@OmariShaweji-v9y Жыл бұрын
MJINGA MMOJA HAKUNA DINI HAPO
@caljersilverhabor464 Жыл бұрын
Umeamua kutengeneza accounti feki si ukuje tu uomnyeshe sura