WAKILI MWABUKUSI BALAA, ACHAMBUA VIFUNGU TATA MBELE YA WANANCHI, APEWA BARAKA, SAKATA LA BANDARI

  Рет қаралды 37,667

Mwanzo TV Plus

Mwanzo TV Plus

Күн бұрын

#TANZANIA: #Wakili #Mwabukusi ni balaa, achambua #vifungu tata vilivyopo kwenye #Mkataba wa #bandari na #DPW mbele ya #Wananchi, apewa #baraka, sakata la bandari

Пікірлер: 136
@emmanuelwilson8766
@emmanuelwilson8766 Жыл бұрын
Hongereni wasomi wetu wapigania haki mungu nimwema tutafauru
@alphoncelondo6586
@alphoncelondo6586 Жыл бұрын
Hon. Mwambukusi wewe ni shujaaa mpya ktk majira mapya. God bless you
@user-cz3gk2op9r
@user-cz3gk2op9r 3 ай бұрын
Dr.Mwabukusi you really have an incredible sense of bravery on tying telling the truth no matter what Will happen.
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 Жыл бұрын
Has big point mwabukusi on dp agreement vary siries explaination on tanzania Constuetion
@richkinji2583
@richkinji2583 Жыл бұрын
Big up Mwabukusi👊🇹🇿
@DeusiSetivin-ls9uz
@DeusiSetivin-ls9uz Жыл бұрын
Tunashukuru sana ndugu!
@richkinji2583
@richkinji2583 Жыл бұрын
🤣🤣🤣vilaza wakaupeleka bungeni 👊
@aloycegasper5188
@aloycegasper5188 Жыл бұрын
Mungu yupo ndani ya watu
@hamadimziraymziray-ry4vi
@hamadimziraymziray-ry4vi Жыл бұрын
Kz nzur wakili
@deogratiuswambura7597
@deogratiuswambura7597 Жыл бұрын
Ungozi sio usomi ni karama ya mungu tu
@thomaskiponda6079
@thomaskiponda6079 Жыл бұрын
❤❤😂😂Vilas wakaupelekà😂😂❤❤ bungeni.
@TanaMidundo
@TanaMidundo Жыл бұрын
Big up sanaa
@tumainimwaifunga3884
@tumainimwaifunga3884 Жыл бұрын
Safi sana
@JennyAndrewAmnaay
@JennyAndrewAmnaay Жыл бұрын
Usikate tamaa kamanda huenda tutaelewa
@pidiusDominick-qi7nl
@pidiusDominick-qi7nl 4 ай бұрын
Sahihi kabisa
@ME-kb8rk
@ME-kb8rk Жыл бұрын
MMEKWISHA!!!!!! .......Deal la matumbo KWISHNE!!!!🤔
@MrLemunge
@MrLemunge Жыл бұрын
Very fact
@davidkawesa3594
@davidkawesa3594 2 ай бұрын
Lissu kapata msaidizi Mungu bariki hawa watu
@ShedrackFchirstian
@ShedrackFchirstian Жыл бұрын
tutaunga mkono jitiada mnazozifanya ili kuepuka ukoroni mambo leo
@ME-kb8rk
@ME-kb8rk Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃💨💨💨💨💨💨💨💨💨💨💨💨💨
@ME-kb8rk
@ME-kb8rk Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😁😁😁😁😁🏃🏃🏃🏃🏃🏃
@phakundigervas1360
@phakundigervas1360 Жыл бұрын
Sio ukoloni mamboleo,kumiliki ardhi ya nchi nyingine ni ukoloni kamili.
@allyomary4230
@allyomary4230 Жыл бұрын
Kumbe lengo ni SIASA!!!!
@EdwinMjuni
@EdwinMjuni Жыл бұрын
Inaonekana uerewa wako mdog xana
@user-tp1qv6ss6i
@user-tp1qv6ss6i 11 ай бұрын
Me kikubwa nawaombea Mungu awafunike
@josephgomalo41
@josephgomalo41 Жыл бұрын
Watanganyika waondoke Zanzibar nas Wazanzibari waondoke Tanganyika.. MUUNGANO UVUNJIKE! Samia aende kwao akabaki kuwa mke wa nne.. hana maana!
@begukulemosobe9685
@begukulemosobe9685 Жыл бұрын
Nimecheka
@daudimchileg307
@daudimchileg307 Жыл бұрын
Tusome vifungu, nawaelewa vizur hawa mawakili wasomi, CCM wanapiga porojo hawasomi vifungu,
@user-fr2pf5eg2g
@user-fr2pf5eg2g Жыл бұрын
@anselmoonolius
@anselmoonolius Жыл бұрын
I love this bamdogo kwakwel❤
@IsayaSosolo-nx8zk
@IsayaSosolo-nx8zk 11 ай бұрын
​❤❤❤q❤❤❤❤q❤❤
@VailettyShigerla-fw2sg
@VailettyShigerla-fw2sg 7 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@binfahmi8637
@binfahmi8637 Жыл бұрын
Huna jipyaaaaaaaaaaaa hayo kwa hayoo
@binfahmi8637
@binfahmi8637 Жыл бұрын
Njaaa
@kitomariKitomari-ge9pr
@kitomariKitomari-ge9pr Жыл бұрын
Hakika mnatupa seminar yakutosha
@user-yw1rq3xj1q
@user-yw1rq3xj1q 6 ай бұрын
Wezenu wakiwa wanafanya jukwaa wanakuja na diamond iliwajaze nyomii la watuu
@SostenesMabala-tt8pt
@SostenesMabala-tt8pt Жыл бұрын
Mwabukusi nakukubar sana
@AngleChanda-gs8xg
@AngleChanda-gs8xg Жыл бұрын
Chezea watu wairinga wewe hatutaki ujinga wanaongoza nchi kama mtuambae haja soma takataka lao hatutaki mishahara haiwatoshi 😂
@binfahmi8637
@binfahmi8637 Жыл бұрын
Sio mwanasheriaaaa
@binfahmi8637
@binfahmi8637 Жыл бұрын
Makafiri itakuaaa tu
@alphoncelondo6586
@alphoncelondo6586 Жыл бұрын
Sorry Hon . Mwabukusi ...Jambo hili la bandari limetuibulia watu makini wapya tusiowajua lkn ndio wakati uliofaa Kwa MUNGU kutuonyesha. MUNGU inua akina Tundu Lissu wengi ; Mwabukusi wengi ; P. Kibatala wengi ; Hon . E. MBOWE wengi ; J. Ulimwengu ; Prof. Shivji; Jaji WARIOBA ; Mzee BUTIKU; Hon Godbless LEMA wengi na wengine ambao tukuwataja . GOD Bless You ALL
@begukulemosobe9685
@begukulemosobe9685 Жыл бұрын
Shikamoo mwanasheria
@user-mt9yr3rh1z
@user-mt9yr3rh1z Жыл бұрын
Wew ndio wa kwanza utaliwa tako na hao MABASHA zenu wa DUBAI
@binfahmi8637
@binfahmi8637 Жыл бұрын
Umekwishaaaaa
@binfahmi8637
@binfahmi8637 Жыл бұрын
Utawapata hao haoo wetu wenzakoo
@samsonkusupa6809
@samsonkusupa6809 Жыл бұрын
Sauti
@clevermgedzi4708
@clevermgedzi4708 Жыл бұрын
Sawa tumewakubali twende
@jalaryababilasi1562
@jalaryababilasi1562 Жыл бұрын
Saf kaka tuko pamoja
@deogratiuswambura7597
@deogratiuswambura7597 Жыл бұрын
Hawajui kingereza
@binfahmi8637
@binfahmi8637 Жыл бұрын
Kumbe Weee mwanasiasaaaaa
@davidkawesa3594
@davidkawesa3594 2 ай бұрын
Hapo ulipo umepangiwa na mwanasiasa ndugu kama unakilakitu kwako sawa wewe huusiki ila huna kila kitu jinga tu
@aivekidai5200
@aivekidai5200 Жыл бұрын
Ndagaa ujowile ujewile
@kelvinhaule470
@kelvinhaule470 Жыл бұрын
Richmond type
@binfahmi8637
@binfahmi8637 Жыл бұрын
Kidude kimewabanaaaaaa
@jailosefelix6324
@jailosefelix6324 Жыл бұрын
Ndiyo tujue kuwa watanzania wenye uzalendo na wasomi tunao, huyu rank yake sio ubunge bali ni urais , waziri mkuu, mwanasheria mkuu wa serikali, hapa tungekuwa salama , huyu ni JPM ,nasukuru roho ya JPM kumbe bado ipo , tupo pamoja Mwabukusi ,
@AngleChanda-gs8xg
@AngleChanda-gs8xg Жыл бұрын
Wanaongoza nchi kama choo chabarh😂😂😂😂
@zegelibilishanga6047
@zegelibilishanga6047 Жыл бұрын
Ili uheshimiwe achana na siasa tetea haki hapo utachemsha ni ushauli tu
@abelianraphili5150
@abelianraphili5150 Жыл бұрын
Hapo yuko kwenye jukwaa la siasa
@makobamasawemangu4122
@makobamasawemangu4122 Жыл бұрын
We uunazani angeliwafikia vp hao wananchi bila kupitia mlango wa siasa
@allyomary4230
@allyomary4230 Жыл бұрын
Hakuna kitu hapa ni kuchumia tumbo tu!!
@solomonjackson3827
@solomonjackson3827 Жыл бұрын
Pore
@hadimznz
@hadimznz Жыл бұрын
Siasa tu inafanya kazi, kwenye kesi aliofungua, husikii kusemwa bandari kuuzwa, mkataba miaka 100 au hauna ukomo, au tutafanya sijui wenyewe, au uzanzibar, unaona wanajadili tafsiri ya shall kwa waarabu na kwa waengereza. naona hapa inatafutwa kick ya ubunge 2025, na yule slaa nae, alipopigwa Tundu lissu risasi akapewa ubalozi, hata hospitali hajenda kumjulia hali yake, pesa za matibabu na safari katoa Salum Turkey, mzanzibar na CCM, hawa akina Ndugai kwa unyama uliopitiliza wakapeleka hoja afukuzwe bungeni, na asilipwe hata senti moja, maana alijifanya hata hajui kilichomkuta Tundu Lissu, mama Samia kaenda huko huko kumjulia hali yake, na alipokuwa rais, kaamuru haki yake yote arejeshewe, na kumta arejee Tanzania, leo anamwita akili matope: Cheefuuu😂😂😂,hata hivyo namkubali Lissu kama mwanasiasa, na msomi, ila Dr Slaa ni msaliti, Msaliti wa kanisa,msaliti wa Chadema, msaliti wa serikali. ni zaidi ya YUDA
@user-rn9og1rk3l
@user-rn9og1rk3l Жыл бұрын
Huyu mwamba nikiwa raisi mimi ni lazima nimpe cheo
@zawadichalale4047
@zawadichalale4047 Жыл бұрын
😀😀😀😀😀😀😀😀
@ME-kb8rk
@ME-kb8rk Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃💨💨💨💨💨💨💨
@RamadhaniRamadhani-yd4hq
@RamadhaniRamadhani-yd4hq Жыл бұрын
Mimi sina chama ila kwa hili nitawaunga mkono siyo kuingia chamani
@binfahmi8637
@binfahmi8637 Жыл бұрын
Hahahaahaahahaa
@allymuhammad8956
@allymuhammad8956 Жыл бұрын
Mnauchokoza muungano mtakuja kujuta hilo ni shimooo
@mzanzibariwakweli1312
@mzanzibariwakweli1312 Жыл бұрын
😂😂😂😂sisi wazanzibar tunataka ata kesho uvunjike😅
@SaidAlly-uh4qw
@SaidAlly-uh4qw Жыл бұрын
Chama cha chadema kinakufa masikini.. Ndo anguko lao nawaonea huruma!
@ShedrackFchirstian
@ShedrackFchirstian Жыл бұрын
wekalia uarabu wako ii na tanzania sio dubai
@ME-kb8rk
@ME-kb8rk Жыл бұрын
Wanakufa kifo cha MENDE!!!!!!😂😂😂😂🤣🤣🤣
@josephzitto4857
@josephzitto4857 Жыл бұрын
Kinakufaje?
@thomaskiponda6079
@thomaskiponda6079 Жыл бұрын
MNAAMBIWA MKATABA MBAVU NYIE MNASEMA DP WORD WANAWEZA NDIO MAANA MNAFERI MITIHANI😊😊😊😊😊
@SostenesMabala-tt8pt
@SostenesMabala-tt8pt Жыл бұрын
Nikwer hawafai kwa chochote
@adamsanga062
@adamsanga062 Жыл бұрын
Napita tu nasikiza
@binfahmi8637
@binfahmi8637 Жыл бұрын
Hahaaahah
@RamadhaniRamadhani-yd4hq
@RamadhaniRamadhani-yd4hq Жыл бұрын
Jamaa kakosea kidogo anaonekana anauchama asinge ingia huko
@davidkawesa3594
@davidkawesa3594 2 ай бұрын
Udini umekukaba koo
@binfahmi8637
@binfahmi8637 Жыл бұрын
Huna sanaaàaaa Weeweee blablaaaaaa
@abelianraphili5150
@abelianraphili5150 Жыл бұрын
CHADEMA tumchukue huyu... Tumpe jimbo agombee
@binfahmi8637
@binfahmi8637 Жыл бұрын
Blabla tu
@shukrancharles4085
@shukrancharles4085 Жыл бұрын
Polisi inatakiwa wajue hawa ndio wazalendo ambao wanatiniza wajibu wao kikatiba
@petermwacha9909
@petermwacha9909 Жыл бұрын
Wazalendo gani sasa wewe unawaona hapa!!
@hajiali-cd6sz
@hajiali-cd6sz Жыл бұрын
Ubaguzi na udini ndio unaokusumbueni mikutano yenu imejaa maskofu na mapadr
@rosekajuki1787
@rosekajuki1787 Жыл бұрын
Jamani Nini ubaguzi?kwani wewe umekatazwa?kama wewe umeridhika si jiunge na hao waarabu na wewe uwe mwarabu?
@pascalkingu9570
@pascalkingu9570 Жыл бұрын
Si kesi iko mahakamani babu tusubiri hukumu babu
@petermwacha9909
@petermwacha9909 Жыл бұрын
Huyu ni wakili gani asiyeelewa hata namna ya kuzungumza kwa staha!? Kesi kapeleka mahakamani lakini anazungumzia kesi hiyohiyo? Kumbe ni mambo ya kisiasa!!!
@George-jz3jg
@George-jz3jg Жыл бұрын
Mahakama inatafri Sheria kinachoendelea hapo ni siasa mama Samia ameruhu watu waongee acha amwambie tu
@George-jz3jg
@George-jz3jg Жыл бұрын
​@@petermwacha9909wewe peter huyo jamaa kasha kwambia kuwa mahakamani kinachoendelea ni kutafusiri Sheria hapo anachokifanya yeye ni siasa
@pascalkingu9570
@pascalkingu9570 Жыл бұрын
Ninachokiona hapo mbeleni pesa ya mwarabu tutalipishwa wananchi mana wakubwa wamesha kula hela ya watu,yale ya trab na trat yanarudi
@rainesmulokozi543
@rainesmulokozi543 Жыл бұрын
Mwabukusi popote anapewa ubunge akigombea....maana akili nyingi sana.
@aloycegasper5188
@aloycegasper5188 Жыл бұрын
Huyu asiwe mbunge bali akae nje hivi hivi asukume hili jahazi
@josephlukumay299
@josephlukumay299 Жыл бұрын
Mchochezi mkuu amesoma kwa Kodi ya wananchi masikini.
@josephgomalo41
@josephgomalo41 Жыл бұрын
Ukweli sio uchochezi.. ! Nchi inauzwa nyie mmebaki wapumbavu tu..!
@rosekajuki1787
@rosekajuki1787 Жыл бұрын
Si mchochezi anatuelimisha ambao tulikuwa hatuki kama ni muongo si waseme ukweli tuusikie wananchi turidhie
@peterkibwe120
@peterkibwe120 Жыл бұрын
00
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji Жыл бұрын
WAGALATIA HILI BANDARI MBONA MMEPATA KICHAA HIVI 🇹🇿🇹🇿🇹🇿NI KWELI BANDARI YA DAR ILIKUWA INAJENGA MAKANISA YA KIKATOLIKI🇹🇿🇹🇿MAANA NAONA WACHUNGAJI MPAKA TUKUYU WANALIA SANA 😢😢😢😢KWANI SADAKA MAKANISANI IMEPUNGUA YALE MAPAPAI MLIOSEMA YANATOKA MBINGUNI MKIUZA MILION HAYANUNULIKI 🥵🥵🥵🥵🥵
@abelianraphili5150
@abelianraphili5150 Жыл бұрын
Wewe pengine ni shog
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji Жыл бұрын
@@abelianraphili5150 UNA MAPEPO HALELUYA
@geraldgedi4657
@geraldgedi4657 Жыл бұрын
Acha ukilaza ommy james , darasa lako ni dhaifu sana.
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji Жыл бұрын
@@geraldgedi4657 WAGALATIA MPAKA MNAKODISHA WACHUNGAJI KWELI SADAKA ZIMEPUNGUA 🥵🥵🥵
@seifhemed2972
@seifhemed2972 Жыл бұрын
Chadema kwisha
@josephgomalo41
@josephgomalo41 Жыл бұрын
Wewe ndio umekwisha .. kama huwezi tambua kuwa nchi yako iko hatarini..!
@sasha-ri7tf
@sasha-ri7tf Жыл бұрын
MHE RAIS WETU KIPENZI CHA WA WA TANZANIA MHE HANA ULAZIMU WA KUSHAURIANA NA MA NYANI KTK SHAMBA LA MAHINDI ANAJUWA HAMTOKUBALI TUWEKE WAKIZI WA KUKINDA MAHINDI.AWEKWE MLINZI NYANI AKALE WAPI. WEWE JARIBU KUMSHIKA SIMBA SHARUBU NDIO UTAHUWA NI SIMA AU PAKA.
@ShedrackFchirstian
@ShedrackFchirstian Жыл бұрын
we ni mbwa sisi hatutski ukoroni tena, walabu walibaka bibizetu ndo wakatokea ao machotara ndo maana yamemfukuza mtoto wakarume ccm
@josephgomalo41
@josephgomalo41 Жыл бұрын
Endela kujidanganya.. huna raisi wewe bali una mwanachama wa One Global Government ambayo nia yao ni kuhodhi maliasili za dunia nzima ili ziwe mikonono mwa watu binafsi wachache!
@ME-kb8rk
@ME-kb8rk Жыл бұрын
Simba au Nyau!😁😁😁😁😁😂😂😂😂😂😂
@ME-kb8rk
@ME-kb8rk Жыл бұрын
@@ShedrackFchirstian Si mnawalilia mashombe nyie....? Mnataka weupe na nywele laini! Bibi yako ashukuru alibakwa amepata mtoto shombe au ulitaka abakie na vipilipili kama mkutano wa nzi?
@rosekajuki1787
@rosekajuki1787 Жыл бұрын
Nchi ni ya watanzania wote
@omaryramdhani9823
@omaryramdhani9823 Жыл бұрын
MATAAHIRA WAKIWADANGANYA MATAAHIRA WENZIWAO ,SISI TUSHAMALIZA KUWAPA JAMAA ZETU BANDARI FEREEEEEESHI ,NINYI MKIMALIZA KAKOJOWENI MKALALE
@josephgomalo41
@josephgomalo41 Жыл бұрын
Muarabu ni jamaa yako tangu lini..?
@ME-kb8rk
@ME-kb8rk Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣
@ME-kb8rk
@ME-kb8rk Жыл бұрын
@@josephgomalo41 KAKOJOE UKALALEEEE.....😂😂😂😂🤣🤣🤣
@makobamasawemangu4122
@makobamasawemangu4122 Жыл бұрын
Aise wew ni lijinga sana tena sana
@EdwinMjuni
@EdwinMjuni Жыл бұрын
Wewe mdo utaanza kukojoa nawaarab
@SaidAlly-uh4qw
@SaidAlly-uh4qw Жыл бұрын
Wazee wa kanisa wanatetea kanisa lao wanajua akichukua mwarabu hawapati kitu
@josephlorri431
@josephlorri431 Жыл бұрын
Mjibu hoja, hata huko majukwaa ya ccm wanaotetea mkataba sio dini ya waarabu.. tumia hoja kupinga hoja..acheni kichaka cha dini
@ShedrackFchirstian
@ShedrackFchirstian Жыл бұрын
elimu hana uyu
@danielkanso
@danielkanso Жыл бұрын
Huyu jamaa sijui kama hata darasa la nne amesoma anazungumzia kanisa kwa hiyo huo mkataba wenye vipengele vya ajabu umeletwa na kina nani au na hao unaowajua wew siyo usitake kuhamisha mada usiri umekwesha umbuliwa
@Byme6434
@Byme6434 Жыл бұрын
Hili libaba lizuri MaashaAllah Na hivi Anavyoipigania Bandari yetu Mungu Akusimamie
@Byme6434
@Byme6434 Жыл бұрын
Kwa usicho kijuwa Huku Arabuni kwenyewe Makanisa yapo
@solomonjackson3827
@solomonjackson3827 Жыл бұрын
Uwepo wako ni bora kwa watanganyika kongole Sana
@binfahmi8637
@binfahmi8637 Жыл бұрын
Hahahaaha
@masoudtwalib6413
@masoudtwalib6413 Жыл бұрын
Huyu jamaa mjivuni hana jipya.
@josephgomalo41
@josephgomalo41 Жыл бұрын
Wewe ni mpumbavu..!
@silayojudith4387
@silayojudith4387 Жыл бұрын
Wew nimtanzania wahaina Gani una mpinga uyujamaa kwel
@petermwacha9909
@petermwacha9909 Жыл бұрын
Anajiona sana huyu mtu!!
@davidkawesa3594
@davidkawesa3594 2 ай бұрын
Chizi wewe
Mbowe Asisitiza Umoja wa Kitaifa Sakata la Bandari
34:41
The Chanzo
Рет қаралды 52 М.
Sigma Kid Hair #funny #sigma #comedy
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 35 МЛН
Опасность фирменной зарядки Apple
00:57
SuperCrastan
Рет қаралды 9 МЛН
Best Toilet Gadgets and #Hacks you must try!!💩💩
00:49
Poly Holy Yow
Рет қаралды 14 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:26
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 21 МЛН
Mfahamu Wakili Mwabukusi/Aeleza Historia Yake - Part 1
20:59
Busokelo TV
Рет қаралды 45 М.
JUSSA AFICHUA SIRI NZITO YA MUUNGANO
34:06
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 56 М.
Mwabukusi: Sikuzaliwa Kuwa Wakili, Sitatishwa
4:17
The Chanzo
Рет қаралды 4,8 М.
Sigma Kid Hair #funny #sigma #comedy
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 35 МЛН