BARAKA YA MBINGU WAZI || PASTOR GEORGE MUKABWA|| 28/07/2024

  Рет қаралды 18,414

Pastor George Mukabwa (JRC Church)

Pastor George Mukabwa (JRC Church)

Күн бұрын

PASTOR GEORGE MUKABWA - SENIOR PASTOR - JESUS RESTORATION CENTER (JRC), MWANZA, TANZANIA.
Unaweza Tuma Sadaka yako kwenda ;
M-Pesa Lipa Namba : 5252176
MPESA number : +255 753 333 008 (Jina : George Stephen Mukabwa)
KCB Bank Acc : 3300692938 (Jina : JESUS RESTORATION CENTER)
-Safari Com : +254 722 578 776 (Jina : George Stephen Mukabwa)
Gospel Teachings for soul winning Purpose.

Пікірлер: 98
@darlingqueendee3822
@darlingqueendee3822 2 ай бұрын
Amen. Asante kwa mafunzo yako. Wakati mwingine nahisi kama wayaona maisha yangu maana kila unacho kiongea kina ukuu katika maisha yangu. Be blessed.
@ahiamtamubano4442
@ahiamtamubano4442 2 ай бұрын
Shalom. Asante sana Mtumishi nabarikiwa sana na mafundisho yako. Jina la Bwana Lisifiwe kwa kipawa alichokubariki, Amen.
@ElvisOchielo
@ElvisOchielo 2 ай бұрын
Asante pastor nilipoanza kufuatilia haya mafunzo sikua na KAZI but as am completing nimepokea simu zaidi ya tatu za KAZI,kweli Mungu anatenda
@winnersillayo1668
@winnersillayo1668 2 ай бұрын
Mpendwa si unipatie kazi moja basi
@naseeralbishi4726
@naseeralbishi4726 2 ай бұрын
Asante mtumish wa Mungu nmejua mengi kuhusu maisha yangu sai....Nmekua naww tangu aanze hii ibada naaaamini pia mbingu zangu zimefunguka leo in jesus name watching from kenya.....karbu kwetu mtumish wa Mungu be blessed umenitoa mbali na uduma hii yako🙏🙏🙏🙏❤❤
@marrypeter5636
@marrypeter5636 2 ай бұрын
Ubarikiwe 🙏🙏 Sana mtumish umenitoa mahali pakubwa Sana
@mercynafula6905
@mercynafula6905 2 ай бұрын
Asante sana mtumishi wa mungu kwa mafunzo hii mazuri naona mkono wa mungu nitainuka kwa mafunzo haya Amen 🙏🙏🙌🙌
@CatherineMakokha-dg6ws
@CatherineMakokha-dg6ws 2 ай бұрын
Amen and amen, thank you lord for protecting me with my family 🙏🏼🙏🏼
@Wiltermaiyo
@Wiltermaiyo 2 ай бұрын
Amen .. Mungu nifunze kutunza mbingu yangu .. meaning every blessings that come across my way I should maintain it
@jerubetjoan20
@jerubetjoan20 2 ай бұрын
Thanks be to God for this Altar, wengi tumebadilika
@lucyurasa5805
@lucyurasa5805 2 ай бұрын
Mtumishi Mungu akubariki sana sana akupe Haja ya Moyo Wako na pia azidi kukupa Mafunuo. Unabariki Wengi mnoooo hata kama hawasemi.❤
@PurMer-lx4qf
@PurMer-lx4qf 2 ай бұрын
❤❤❤❤❤nakushukuru Mungu sababu umenitoa Bali asante kwakufanya Nikujue Zaidi umeziba Shimo za adui umetegua mitego.mungu baba mbariki huyu pastor amabaye alifanya Ni kujue mlinde ❤❤❤katika.jina la yesu
@HendricaAjiambo
@HendricaAjiambo 2 ай бұрын
Umeninuwa kwa imani sana mungu akutie nguvu zake kwa jina la yesu krito mkombozi wetu Emen emen 🙏🙏🙏🙏🙏
@bisneth3507
@bisneth3507 2 ай бұрын
Lihimidiwe jina la Mungu kwa ajili ya mafundisho yenye kutuvushaa🎉🎉🎉❤
@Gastonkami
@Gastonkami 2 ай бұрын
asant sana pasta mungu azidi kukutia nguvu akika mavundisho yako yanakuwaka yananikomalisha KiR ubarikiwe
@everinemasoka6923
@everinemasoka6923 2 ай бұрын
Amen Amen ubarikiwe mtumishi wa Mungu
@lucyngugi9071
@lucyngugi9071 2 ай бұрын
Asante mchungaji kwa ujumbe Mungu akubariki, nimefuatilia ujumbe nikiwa namanga boda
@janekanyonyo4768
@janekanyonyo4768 2 ай бұрын
Nimembarikiwa kabisaa neno LA Mungu kweli ni tamu ,Amen
@Daniella249
@Daniella249 2 ай бұрын
Mungu Akutunze Zaidi Pastor George Unafundisha vizuri sana
@AmbroseMwanganyi
@AmbroseMwanganyi 2 ай бұрын
Pastor Bwana Yesu asifiwe, pastor umekua wabara sana,Mungu apanue mipaka ya huduma yako,jee unakanisa Voi?
@cerecere5758
@cerecere5758 2 ай бұрын
Barikiwa Sana pastor wengine wetu hatukua tunamjua Mungu umeokoa nafsi nyingi kupitia mafunzo yako, Mungu axidi kukutia nguvu
@BeatriceTajari
@BeatriceTajari 2 ай бұрын
Pastor mungu azidi kukutumia kwa viwango vya juu
@PeninachiziChete
@PeninachiziChete 2 ай бұрын
Mungu nisaidie nikujue nizijue njia zako amen 🙏
@lilianshivinah-w1n
@lilianshivinah-w1n 2 ай бұрын
Live long pastor to fulfill Gods purpose here on earth
@CatherineMwangi-m5e
@CatherineMwangi-m5e 2 ай бұрын
Amen 🙏🏻
@SamantherLubanga-ir9ir
@SamantherLubanga-ir9ir 2 ай бұрын
Asanti sana paster unanisaidia kuomba na neno lake ,niko saudi maali penye hakuna kanisa ,niko hapa unanipeleka mbali barikiwa
@GuFg-d1y
@GuFg-d1y 2 ай бұрын
2ko pamoja dear saudii place gan mm nmebarikiwa kabsaa
@annahmutune4866
@annahmutune4866 2 ай бұрын
Pia Mimi Niko riadhi 🙏🙏Bora uko na WiFi unasikia online preaching...hatuna wao ki mwili lakini ki Roho tuko pamoja🙏🙏
@GuFg-d1y
@GuFg-d1y 2 ай бұрын
@@annahmutune4866 nice sister
@LydiaNasimiyu-h1n
@LydiaNasimiyu-h1n 2 ай бұрын
Damu Ya Yesu Kristo kwenye mbingu zaku damaraki Yesu Kristo wanasareti alelluyah alelluyah blessed barikiwa sanaaaana mutumishi wa Mungu
@LydiaNasimiyu-h1n
@LydiaNasimiyu-h1n 2 ай бұрын
Nasimama Kwa nguvu na mumlaka Yesu Kristo nahalipu Kwa jina la Yesu Kristo bomoa nguvu zote za nguzimu Kwa maisha yangu Mimi Kwa jina la Yesu Kristo
@GraceKivolwe
@GraceKivolwe 2 ай бұрын
Mungu akuinue akuneemeshe azidi kutumie kwa njia iliyo kuu zaidi wacha uwe mabaki wa mungu
@odethierpaschal
@odethierpaschal 2 ай бұрын
Mungu nakushukuru sana kwa kila kitu ulichotenda kwenye Maisha yangu
@Wiltermaiyo
@Wiltermaiyo 2 ай бұрын
Amen… I thank God for everything about this month of July
@Judith-mw4ys
@Judith-mw4ys 2 ай бұрын
Naomba mbingu zangu ziwe wazi kwa Jina la yesu Kristo 🙏
@FurahaMwasila
@FurahaMwasila 2 ай бұрын
amina ubarikiwe kwa neno
@HendricaAjiambo
@HendricaAjiambo 2 ай бұрын
Emen emen 🙏🙏🙏 mungu akulinde ufike siku ya kufunga
@Migosi-ke5xd
@Migosi-ke5xd 2 ай бұрын
Nimebarikiwa Sana mjungaji
@MASESAMWIKAJOHN
@MASESAMWIKAJOHN 2 ай бұрын
😢ahsante San pastor nabarikiwa na mahubiri yako
@LucasGara-r5x
@LucasGara-r5x 2 ай бұрын
Pastor mungu akubariki sana unatubariki I wengi na mafundisho yko MUNGU akupe umri mlefu💕
@MichaelKangeta-lt2gh
@MichaelKangeta-lt2gh 2 ай бұрын
Asantee MUNGU
@violethnyangasa9495
@violethnyangasa9495 2 ай бұрын
Amina pastor ninanarikiwa ninafunguliwa nakubali kuuliza moyo wangu sasa nikafungukiwe na mbingu zangu . Ila Omni tukumbuke basi basi b
@mariamwidete4265
@mariamwidete4265 2 ай бұрын
Malango yangu hayatafungwa daima!Bw. Yesu ndio kiongozi wangu Sitaogopa!!!
@CharitySimanka
@CharitySimanka 2 ай бұрын
God bless you pastor
@gone9170
@gone9170 2 ай бұрын
Nabarikiwa sana mtumishi ila napataga mkanganyiko kwenye kupata maana sahihi ya fafanuzi ya hizi sadaka sanjali na majina yao. 1:Zaka 2: Malimbuko 3: Zabihu 4: Sadaka 5: Shukrani. Naombaa maana zake ila pia nifundishe namna ya utoaji wake yaani tukisema ni muda wa zabihu nijue najielekeza kwenye nini tukisema ni muda wa kutoa zaka nijue natoa nini halikadhalika zikitajwa sadaka nyingine kwa majina yake nijue najielekeza katika muhimili gani. Ni hayo pastor natamani sana kujua mchanganuo huu ili unisaidie katika maisha yangu ya kiroho.
@StellaMkhodya
@StellaMkhodya 2 ай бұрын
Amen mchugaji unanifunza hakika
@LydiaNasimiyu-h1n
@LydiaNasimiyu-h1n 2 ай бұрын
Aminaaaaa aminaaaaa ❤❤
@AnnaWaYesu
@AnnaWaYesu 2 ай бұрын
Nimebarikiwa sana
@GraceNdinda-g3l
@GraceNdinda-g3l 2 ай бұрын
Asante kwa neno
@JosephineOkaya
@JosephineOkaya 2 ай бұрын
AMEN AND AMEN 🙌🙏🙏🙏🙏
@petersafari2154
@petersafari2154 2 ай бұрын
Blessed Blessed
@susanwanyoni249
@susanwanyoni249 2 ай бұрын
Amen and Amen
@DavidBahatiMutinda
@DavidBahatiMutinda 2 ай бұрын
Paster ubalikiwe kwa mafundisho yako mazuri
@esthernjoroge1124
@esthernjoroge1124 2 ай бұрын
asante kwa mahubiri
@prisca4612
@prisca4612 2 ай бұрын
Amen!!!!
@افلينافلين-ي9ك
@افلينافلين-ي9ك 2 ай бұрын
Amennnn. Mungu akoengezee mafuta.
@NduwimanaElie-n3o
@NduwimanaElie-n3o 2 ай бұрын
ASANTE SANA KWA MAHUBIRI SAHIHI YANI NINACHO KIPITIA BASI NICHAKAWAIDA SANA KULIKO NILIVYO FIKIRIA . UMENISAIDIA SANA MUTUMISHI WA MUNGU. MUNGU AZIDI KUKUBARIKI KATIKA KAZI YAKO. AMEN.
@LydiaNasimiyu-h1n
@LydiaNasimiyu-h1n 2 ай бұрын
Mungu tusaindie tukujue saidi
@AndersonWale
@AndersonWale 2 ай бұрын
Sante kwa ajili ya ndoa yangu iliokua ikiyumbayumba bwana asante
@DorryMnande
@DorryMnande 2 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤woooow wooow...Nosrme Nini Baba Bali Namshukuru Mungu Baba weeh..Greatest man Of God❤❤❤❤❤❤😂Asante Ssanteeeeeee...oye Niederösterreich ❤❤❤❤❤❤❤l love you Great Man of God George Mukabwa.....Naja kukushukuru... Niederösterreich.my NR....+436641978272 Mnande..... Waldviertel ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@BethuelKipngetich
@BethuelKipngetich 2 ай бұрын
Nimebarikiwa in the house God Christ
@jeremiaisowe4443
@jeremiaisowe4443 2 ай бұрын
Asante Mungu wetu kwawema wako🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@CatherineMwangi-m5e
@CatherineMwangi-m5e 2 ай бұрын
Hakika pastor umekua msaada kwangu. May God bless you 🙏🏻
@aminahakeem897
@aminahakeem897 2 ай бұрын
Ameen!
@mlishohadija6923
@mlishohadija6923 2 ай бұрын
Ameeeen🙏🙏🙏🙏Glory to God
@EstherOmosa-bx1kt
@EstherOmosa-bx1kt 2 ай бұрын
Amina
@happyidza7091
@happyidza7091 2 ай бұрын
Amen hallelujah 🙏🏾
@kombolivingstone617
@kombolivingstone617 2 ай бұрын
MAISHA MAREFU PASTOR UNATUFUNZA MAMBO MENGI MAZURI
@SarahKimori
@SarahKimori 2 ай бұрын
🙏🙏
@TravisMuhindi
@TravisMuhindi 2 ай бұрын
Glory to God
@محمدمم-م8ي
@محمدمم-م8ي 2 ай бұрын
Jamani hayo mavaz sio mazuri ni fupi sana nheshimunu MUNGU
@violethnyangasa9495
@violethnyangasa9495 2 ай бұрын
Tunaiyomba huduuma Kilimanjaro kuwepo na tawi tunaomba najua INAWEZEKANA kwenye mtandao haitoshi baba Mungu akusemeshe
@naseeralbishi4726
@naseeralbishi4726 2 ай бұрын
Pastor no ziandilkwe kwa maandishi makubwa plz
@aminahakeem897
@aminahakeem897 2 ай бұрын
Hakika mchungaji umekuwa msaada mkubwa kwangu! Kupitia neno la Mungu!
@CatherineMwangi-m5e
@CatherineMwangi-m5e 2 ай бұрын
I wish you could be my baba wa kiroho ninamengi ningegawa kwako.
@jeremiaisowe4443
@jeremiaisowe4443 2 ай бұрын
Wafilipi 4:8
@annaSiwale-e6p
@annaSiwale-e6p 2 ай бұрын
Nimepona kwa kusikia neno lako mtumishi ndo biblia inasema watu wangu wanaangamiA kwa kukosa maarifa
@jeremiaisowe4443
@jeremiaisowe4443 2 ай бұрын
Zaburi 78:23-25
@GraceKivolwe
@GraceKivolwe 2 ай бұрын
Nashukuru kukutana na madhabao haya si eti sina madhabao lakini haya yamenijenga nikiwa 🇸🇦 maana bila kanisa huku lakini tangu nikutane na hii alter Nimesongaa kiwango kingine
@MaryMwihaki-if7ry
@MaryMwihaki-if7ry 2 ай бұрын
Asanti MUNGU kwakutubakisia watumisi watakatifu kama huyu na wengine
@jeremiaisowe4443
@jeremiaisowe4443 2 ай бұрын
1samweli 15:23
@jeremiaisowe4443
@jeremiaisowe4443 2 ай бұрын
Kumbukumbu latorati 28:12
@salomemrembo7482
@salomemrembo7482 2 ай бұрын
Nikweli mungu ni mwema Hasanti kwa mungu.😂🙏🙏
@LeticiaShoka-me2wq
@LeticiaShoka-me2wq 2 ай бұрын
Amen 🙏🙏🙏
@WINNERBOYKE
@WINNERBOYKE 2 ай бұрын
Amen Amen
@prisca4612
@prisca4612 2 ай бұрын
Amen!!!!
@Goodmeggy
@Goodmeggy 2 ай бұрын
Hallelujah 🙏
@lostanguvila7761
@lostanguvila7761 2 ай бұрын
ameen
@MercyKinya-c5r
@MercyKinya-c5r 2 ай бұрын
🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼amen
@AnnaWaYesu
@AnnaWaYesu 2 ай бұрын
Amina🙏
@GuFg-d1y
@GuFg-d1y 2 ай бұрын
Amen
@rosengulwa9405
@rosengulwa9405 2 ай бұрын
Amina 🙏
@FRANCISKINYANJUI-gi8tl
@FRANCISKINYANJUI-gi8tl 2 ай бұрын
Amen
@hopebuliga6831
@hopebuliga6831 2 ай бұрын
Amen
@GetrudaAbdallah-cv6dd
@GetrudaAbdallah-cv6dd 2 ай бұрын
Amen Amen
@VailethJimmy-v7u
@VailethJimmy-v7u Ай бұрын
Asante MUNGU kwa kumuinua mtumishi wako pastor George anatulisha na kutuneemesha neno la uzima.
NEEMA YA KUPIGA HATUA | PASTOR GEORGE MUKABWA || 20/10/2024
2:53:03
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 2,4 М.
JINSI YA KUTUMIA DAMU YA YESU KATIKA MAOMBI || PASTOR GEORGE MUKABWA - JRC || 13-10-2022
1:09:20
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 106 М.
My Daughter's Dumplings Are Filled With Coins #funny #cute #comedy
00:18
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 33 МЛН
didn't manage to catch the ball #tiktok
00:19
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 33 МЛН
This mother's baby is too unreliable.
00:13
FUNNY XIAOTING 666
Рет қаралды 40 МЛН
JE! UNASHAUKU YA KUSIKIA SAUTI YA MUNGU? ZINGATIA HAYA
8:54
Rev. Pascal Linus Mjili
Рет қаралды 511
ISHARA SABA (7) ZA KUKUONYESHA MUNGU AMEJIBU MAOMBI || PASTOR GEORGE MUKABWA  || 15/02/2024
1:33:38
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 33 М.
TENGENEZA URAFIKI NA WATU WENYE AKILI WATAKUJA KUKUSAIDIA BAADAE "PASTOR MGOGO
50:27
JINSI YA KUCHOCHEA MKONO WA BWANA  || PASTOR GEORGE MUKABWA || 17/10/2024
1:34:17
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 7 М.
MUNGU WA YOTE YANAWEZEKANA  || PASTOR GEORGE MUKABWA || 25/08/2024
2:43:29
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 23 М.
Kuwa Makini Nani Unamuoa | Kuuweza Wakati Ujao | Pastor Tony Kapola
17:02
Pastor Tony Kapola
Рет қаралды 105 М.
JINSI YA KUTAKASA LANGO LAKO LA NDOTO || PASTOR GEORGE MUKABWA | 03/10 /2024
1:30:45
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 32 М.
My Daughter's Dumplings Are Filled With Coins #funny #cute #comedy
00:18
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 33 МЛН