Huyu wazirii Bashe anafanya kazi Sana ni tofauti kabisaa na mawazirii wengine anajituma mbunifuu akili kubwa Sana bashee mungu akubariki siku Moja tutakuvika tajii Kwa kazi zako nzurii piga kazi tunakuona wenye nchii
@eaglecrown11012 жыл бұрын
Amina 🙏🤔🇹🇿 No comment mheshimiwa Hussein Bashe
@evamwimike73552 жыл бұрын
Mungu awalinde watu wenye mapenzi ya dhati na Tanzania ikiwemo na huyu bashe🤗
@emmanueleliya62252 жыл бұрын
Asante sana mdogo wng.. Umesalimia vzr sana kaka. Mungu akutangulie. Sio hawa bendera fwata upepo wanaotumia jina la jamhuri kusalimia,salam ya ajabu sn ambayo hauendani kabisa na matakwa ya Mwenyenzi Mungu
@stanslauskipondya18612 жыл бұрын
Huyu ndo waziri mzalendo mungu akubariki sana arifaa nishati
@shabanseleman32572 жыл бұрын
Too much maneno
@azizabdallah5852 жыл бұрын
Mh. Bashe....Mambo makubwa kuhudu kilimo na viwanda vyake yalifanywa wakati wa hayati Baba wa Taifa Mwl. Nyerere....Marais wote waliofuata wakadharau na kukipa mgongo kilimo...kwa sasa Mh. Rais Samia anafuata nyayo za Mwalimu.
@infosolution13232 жыл бұрын
Mikoa mingine vipi kuhusu umwagiliaji, barabara vijijini Bashe kama waziri Amezungzia sana upande anakotoka na pembeni za mikoa ya jirani zake. Huku HIDA Morogoro, songea Pamba na Mikoa big Five
@marengopaul40582 жыл бұрын
Nakubali huyu jamaaa sana. Kaka Bashe piga kazi
@shabakahotep80952 жыл бұрын
Ilove the kid his gat it going son🔥🔥🔥🔥a leader with a vision is a leader indeed as to have many like him it’s a mare dream, majority are the stooges with nose like Pinocchio sniffing where the money is / this kind of Vission they won’t poses as the motive is the opposite bless you banshee💪🏾💪🏾As your name stands ‘BASH ‘them all be the light where’s the darkness prevail.
@saxannjo61732 жыл бұрын
Huyu apewe WIZARA YA NISHATI.... A true panAFRICAN💪💪
@plujorilugano94892 жыл бұрын
Yes akipewa wizara ya Nishati anaweza sana
@axmedcumar61962 жыл бұрын
Wacha kwanza aweke sawa kwenye kilimo maana kililmo Ndio UTI wa Mgongo wa Nchi
@mohamedhaji22002 жыл бұрын
@@axmedcumar6196 surw
@tracdiinstitute27022 жыл бұрын
Kilimo kwanza mkuu
@epafrangweshemi40142 жыл бұрын
Tunakuona, tunakusikia, tunapenda, tunakutegemea na tunakuombea. Dhamira yako ya kutumikia watanzania kwa DHATI tunaiona. Msaidie mama katika jitihada zake kwa watanzania.
Allah akujalie kazi njema jembe sana wewe Mashaallah
@knight67572 жыл бұрын
Our next President Mh. H. Bashe!
@yes26762 жыл бұрын
Labda Raisi wa nyumbani kwako
@knight67572 жыл бұрын
@@yes2676 jealous ?!!
@saidyramz52462 жыл бұрын
Huyu waziri namyelewa anaongeakwadhati hana sura yakinafki wengine wwnatuletea vilimo vyamapela sietunatakakilimo chakupanga biashara sio kuuza anavyotaka tajiri
@hancevalence49362 жыл бұрын
watu ka hawa hawadumu Tanzania,ngoja tuone,I pray God wl protect him ,the land doesn't lik thinkers,neither true African
@ibrahimabdi35592 жыл бұрын
Very brave, brilliant somali
@kasimkassam9565 Жыл бұрын
Huyo sio msomali ww
@sabaskasunzu3279 Жыл бұрын
Tunakuelewa mwamba tuko pamoja Sana kaka bashe
@zephaniazacharia5192 жыл бұрын
Bashe the great
@kainimkini16612 жыл бұрын
Waziri ikumbukwe Iringa nisehemu nzuri kwa kuwekeza kilimo cha umwagiliaji
@abdallaabeid42512 жыл бұрын
Mhe. Bashe ni Waziri wa mfano anayeonesha kuitendea haki Wizara yake. Kuna mengi ya kujifunza kwa viongozi wengine wanaopewa dhamana.
@plujorilugano94892 жыл бұрын
Kamanda mzalendo wa Tanzania kijana tunayejivunia kwa uwazi na mchapakazi, hongera sana Mh. Bashe na MUNGU akubariki na kukusaidia sana ktk ufanisi wa wizara hii
@jameskileo9552 жыл бұрын
Huyu ni waziri Makin mbunifu na msomi wa maarifa na siyo vyeti Tunakupenda na kukupongeza Mh Hussein Bashe Mb kwaajili ya kazi unazolifanyia Taifa letu TANZANIA
@Saruningidongiolobiis27972 жыл бұрын
Uko sawa kabisa mkuu
@saimonsonda50232 жыл бұрын
Nakukubali bashe
@mugema98132 жыл бұрын
Bashe ni rais wangu baada ya mama kumaliza muda wake.
@awatifalghanim11062 жыл бұрын
Asante lakini wengine wanamtaka Majaalowa..............
@bonosaugustine65452 жыл бұрын
Imeisha hiyo
@j.c.maxima8162 жыл бұрын
😇🤣🤣🤣
@geofrey25692 жыл бұрын
Kunawajinga wachache akitaka kugombea utaskia hatuna uhakika na uraia wake
@gastonealinda74942 жыл бұрын
Mama Samia raisi wetu tunakupenda sana mama yetu na tunakuombea
@denismugisha22 жыл бұрын
Mh Rais ikiwa Bashe ni mtekerezaji wa anayoyasema basi nenda naye kwenye uongozi wako usimwache
@binally1alkindy5112 жыл бұрын
It is a blessing for a country of United republic of Tanzania to have such minister like him.BASHE, he really has a vision ,he speeches makes a great sound ,may Almighty bless Tanzania ,I thank you MADAM PRESIDENT FOR UR EXCELLENT APPOINTED BASHE IN THIS MINISTRY.GOD BLESS YOU MADAM PRESIDENT
Mipango mizuri sana, ikitekelezwa vizuri tutafanikiwa kwa uwezo wa Mungu
@ibrahimkhamis97322 жыл бұрын
Tukpata Kama haoo jus 4 ...... 🔥🔥
@halimamasai22342 жыл бұрын
👍👍👍👍👍👍👍👍👏👏👏👏👏
@aminaabdallah77022 жыл бұрын
Mashallah mungu yayibariki TZ na mama Samia pamoja na sirikali yake yote
@oscarmkamba42342 жыл бұрын
Fantastic speach 💪
@Noelkitoi6 ай бұрын
Ccm wachani kuiba kura raundihi mtaenda nyumbani ccm😢
@jeranibanzi21272 жыл бұрын
Tengua kauli hiyo kuishi bila Kura ya Mungu
@dostovan51422 жыл бұрын
Kateleza
@KelvinConorard6 ай бұрын
Urais brother unakufaa sio maigizo ya makonda
@scopy0428 Жыл бұрын
Bashe ni Mwamba kwelikwel
@saidngwale4725 Жыл бұрын
Jamani sisi kweny korosho tunaumia sana mh. Wazir ebu tusaidieni jaman
@bensonfrancis55992 жыл бұрын
Namuona magufuli mwngne
@marianmartin74832 жыл бұрын
Bashe ni jembe, hapo ulipo katika wizara hiyo ya kiliomo upo sahihi. Wewe ni genius.
@brother_majesty2 жыл бұрын
KAROHO KA MAGUFULI KANAMUINGIA TARATIBU
@bonosaugustine65452 жыл бұрын
Alikuwa hivo tangu hajawa hata waziri mfatilie
@abuialmarjibi9792 жыл бұрын
Tumbaku Tabora imemaliza misitu mpaka mti ya barabarani imekatwa kwa kuchomea Tumbaku tafuteni na namna ya kukausha bila kutumia kuni
@j.c.maxima8162 жыл бұрын
Naunga mkono hoja,,, Lakini pia kuna hitaji la Kiwanda cha Tumbaku TABORA,,,
@wistonkapilipili48532 жыл бұрын
Yaaani free port iwekwe Tabora instead of kigoma?😥😥
@latiffseph60142 жыл бұрын
Bashe mi nakuelewa sana
@trio99112 жыл бұрын
Jamaa smart sana huyu
@NGABO-f3q2 жыл бұрын
Among the first
@suleimanmazrui2842 жыл бұрын
Allah bless you
@beatricedaudi82332 жыл бұрын
My president
@kanjelmloba2 жыл бұрын
This is Bashe bana
@saidngwale4725 Жыл бұрын
Mh.bashe ebuniambie ninikimetokea hapa kat kwenye zao la korosho kushuka bei kiasi hiki kutoka 4000 hadi kufika 1500 jamani kweli
@abilahyusufu90012 жыл бұрын
Safi sana na sisi tuotaka kusaoti kilimo cha mkakati kuondoa kuagiza sukari na mafuta tutapaje mashamba na rudhuku na sisi tupo dar
@famysalum6584 Жыл бұрын
huyu ndio kiongozi wangu bora tanzania
@mdidiomari73512 жыл бұрын
Huyu anafaa sana
@saeedqaseem12832 жыл бұрын
Kiongozi huwa anazaliwa......bashe ni kiongozi ata umpe wizara gani ngumu anatoboa tu ......hanaga unafik
@richardmichaelshekoloa83029 ай бұрын
Wazili bashe chapakazi mana unatugusa watanzania wahali ya chini
@evamwimike73552 жыл бұрын
Waziri naomba uangalie na zao la Iriki, sogwe kuna wakulima ila hawasaidiwi na serikali afu mbona mbunge wa ileje mbona sikuskii mweee.
@davidlaizerleyan52592 жыл бұрын
Bora mh Rais ameona tunu hii,tukimtumia Kama nchi Sina shaka tutafika mbali
@wandesaid17522 жыл бұрын
Mawazo mazuri sana simamieni utekelezaji wake
@orastomapunda85592 жыл бұрын
Sema Bashe yuko so simple
@sonialand26462 жыл бұрын
Mama samia! Huyu jamaa usimbadirishe maisha yake yote! Awe waziri wa kilimo tu ili tusife njaa!
@islamjarwan14762 жыл бұрын
Hahaha
@munirymbarouk89332 жыл бұрын
It's about time TANZANIA thinking about using their natural resources.....BRAVO....It's the ONLY country in Africa surrounded by water NORTH,WEST,SOUTH AND EAST but unfortunately they didn't realize that 😔 the country always 😢 waiting for RAIN instead of using the water which already there....IRRIGATION is the only solution.
@abedinegoraphael47742 жыл бұрын
fact
@godlovekamuntu9732 жыл бұрын
Punguza mhemuko wa ujana. Wenye uwezo wa kutafakari wanakutafakari kwa kila sentensi ya kinywa chako.Kilimo Ni zaidi ya Sanaa. Na Ni zaidi sekta zinazofunika kilimo kwa namna ya upendeleo wa mtawala.
@j.c.maxima8162 жыл бұрын
Sijaelewa hata unaongea nini?! Waziri yuko vizuri tu! Kilimo kimepewa kipaumbele, fedha nyingi zimeelekezwa huko... Hili jambo tulikuwa tunalisubiri kwa muda mrefu! Hongera Mama na Serikali unayoiongoza, Kazi iendelee...
@minskbelarus72552 жыл бұрын
Godlove...... Hebu funguka nikuelewe , wengine HATUJASOMA ,mbona Mh BASHE anajieleza na tunamuelewa!!!!!!
@awatifalghanim11062 жыл бұрын
@@j.c.maxima816 👏
@AhmedAli-ns6ws2 жыл бұрын
Bro vipi hauna tumbo?
@aminaabdallah77022 жыл бұрын
Mh bashe nimfanya kazi kweli nauzalendo namahaba ya watz anao
@benedictmrisho59472 жыл бұрын
Mazao mseto ni.vizuri.
@BennyMwantona8 ай бұрын
Unafaa sana kakayangu
@salimmauly13072 жыл бұрын
Maneno mengiiiiiii kila anaekuja ndio hivo hivo si mageni kwetu
@husseinkarim76632 жыл бұрын
Miradi hiyo ni mikoa ya kaskazini hatujisikia chochote kuhusu mikoa ya kusini, Mtwara na Lindi ,tupelekeni Msumbiji pengine tutafanikiwa.
@j.c.maxima8162 жыл бұрын
Mikoa ya Magharibi imesahaulika pia (Kigoma, Rukwa, Katavi, Kagera)😏🥴
@mwinyikadhi28702 жыл бұрын
Mdogo mdogo atafika kote huko Tanzania co kijiji
@reubenhizza2 жыл бұрын
Katika watu nawaamini ni pamoja na Hussein.
@victoriammari71592 жыл бұрын
Kijana ukovizuri
@twahirabasi97652 жыл бұрын
Hili jembe la mama Samia hili
@TheSalimMash2 жыл бұрын
swadakta kaka Gamba la nyoka
@naturelle10972 жыл бұрын
It is time for action. It speaks better than words.
@oyay28212 жыл бұрын
Hapa kwa Bashe Tz imepata waziri jembe
@emmanueleliya62252 жыл бұрын
Ccm 2025 tuleteeni huyu dogo acheni mambo yenu ya kiujumbe jumbe. Leteni watu wenye material ya aina ya Bashe,Kalemani,Majaliwa nao wengine. Sio virusi vya kizungu
@kibateyebhutukuru45722 жыл бұрын
Kigoma mbona sija sikia yani nyie kigoma mnatuacha tuu.wa buge wa kigoma wamelala sana kigoma kuna furusa ya kigoma 🙏🙏🙏🙏🙏
@MrNdanguza2 жыл бұрын
Nyie waburundi tu
@frankkalibwami67802 жыл бұрын
@@MrNdanguza we ni Mbwa
@matukutajuma1562 жыл бұрын
RAIS AJAE!
@davidsimbeye15482 жыл бұрын
Siyo majaliwa au Gwajima tena? Nchi ni moja kila kiongozi anayeonekana kufanya vizuri Basi ni rais ajaye 😲😲😲😲😲
@petersilas42342 жыл бұрын
Hizo blocks ndio mpango wa kisasa. Wale wafugaji wa ngorongoro walijengewa nyumba, huko vijana wajengeenu chumba kimija, tena kwa mkopo.
@chumawambula9542 жыл бұрын
ndugu bashe unamaanisha hicho kiwanda kitawaajili vijana wote watanzania maana hawana ajira bira viwanda boda boda zina tumaliza na kutuacha virema
@davidsimbeye15482 жыл бұрын
Kiwanda kimoja hakuwezi kuajiri vijana wote kinachotakiwa ni kujikita kwenye kilimo
@malakigerald85862 жыл бұрын
Waziri hajui wametangaza tenda toka juzi....
@abilahyusufu90012 жыл бұрын
Kila mkoa tungetaka mashamba ya karanga na alizeti na miwa ili tuondoe matatizo ya sukari , ngano na mafuta tupo vijana
@mohamedhaji22002 жыл бұрын
Umeongea
@kamanzicrouch38812 жыл бұрын
Mask za nini sasa?
@keffasleo70672 жыл бұрын
Ila jana kuna mbunge amedai kiwanda kijengwe hapo hapo Tabora na sio kutegemea cha morogoro.
@juhudiacademy21702 жыл бұрын
Wacha mie niendelee kuwa mchawi kwa hili
@priestparishpetro96412 жыл бұрын
Mama Raisi SAMIA SULUHU nakuomba fatilia Jambo hili kutokomeza vikundi vichache vya watu wenye Tamaa zao binafsi na kutaka kuichafua serikali yetu Makini jionee mama mwenyewe.kzbin.info/www/bejne/ZpS5ZIyLoNunors
@zuenahamoud15322 жыл бұрын
Basheew mfuziii
@kwisa48992 жыл бұрын
Kilimo kwanza imefikia wapi?
@fathiyasalim39462 жыл бұрын
Hayo maamkizi ni fashion au?
@moviesgreatdirectors31932 жыл бұрын
HIVI HUYU NI WAZIRI WA TABORA AU WA TAIFA ZIMA!? INAONEKANA HII NI HOTUBA TANGULIZI YA KAMPEINI YA UCHAGUZI WA 2025. HAYO NI MANENO YA MBINU MKAKATI ZA JUKUANI YA WAPIGA DEBE WA SERIKALI YA MPITO INAYOJIITA SERIKALI YA AWAMU YA "SITA".
@victoriammari71592 жыл бұрын
Kia
@josephinalubanguka18842 жыл бұрын
Angombee urais tutampa sio wewe samia
@yudatadeimdoe92152 жыл бұрын
ACHENI siasa wananchi wanapata tabu mtaan uku
@HusseinRj2 жыл бұрын
Fanya Kazi mtoto wakiume
@yudatadeimdoe92152 жыл бұрын
@@HusseinRj we FALA kama huyo ni ndugu yako endelea kumsapot....Kaz nafanya tena Nina miradi yangu kwa siku sikosi kuingiza faida ya 70,000...lakn tunaongelea kiujumla watu wanalalamika mtaan, kwenye mabiashara yetu wateja wetu wanalia Kila kukicha alaf wewe unaropoka apa
@HusseinRj2 жыл бұрын
Kuna mwaka Watanzania waliacha kulalamika? Suala la Kuleta maendeleo sio suala la usiku Mmoja.
@yudatadeimdoe92152 жыл бұрын
@@HusseinRj tunajua Hilo swala kwamba development haifanyiki kwa siku moja....lakn kinachoendelea si kufanya maendeleo tena Bali ni kitu tunaita (oppression) Yaan ukandamizaji.... economic development without improvement of well being of the citizens is nothing..and that is not economic development rather it is economic growth....kwaiyo upandaji wa Bei za vitu, Kodi, tozo za miamara, Bei za umeme ndio ukandamizaji wenyewe..izo ela zifanyieni maendeleo Sasa, lakn hamna kitu zinaishia kuliwa na mafisadi, kina waziri mtoto wa kikwete muuza madawa ya kulevya, na majipu yote yaliyoludishwa serikarin ambayo mzee magu aliyafukuza mapema... where our country is going??????🤷🤷🤷🤷🤷
Na maji masafi ya kunywa yatabatikana wapi? Acheni uwongo wenu
@wish4goals4ndm0ney92 жыл бұрын
Acha kuwadanganya wananchi kwani sio wajinga. Msemaukweli ni mpezi wa mungu. Njinsi unavyo ongea tu. Mtu anakuona wewe ni mwongo. Soma kitabu cho korper sprache.