Yaani nampenda huyu mwanamke Masha'Allah mzuri na anaongea bila kilele
@tatubadi90103 жыл бұрын
Humjui ibrah Leo we diva au kujishauatu.. Mfyuuu
@stanleyeddo24463 жыл бұрын
Sema uyu dem anaonekana ana zalau sana hamueshim mumewe alafu kuna kitu chakujifunza kwa wanawake wa sasa 😢
@amourdelicieuse29613 жыл бұрын
Duuuuh Diva miwani 😎 mambo habari ya weeg
@josephmoseti51433 жыл бұрын
Am a Kenyan but am addicted to wasafi fm
@fihiliseijiru3 жыл бұрын
Good
@ilovejesus93033 жыл бұрын
Very beautiful
@simbafuns785kviews3 жыл бұрын
Sana kzbin.info/www/bejne/noHJeHeDhtqbaa8
@maryemmanuel57353 жыл бұрын
New video by Jux, sina. kzbin.info/www/bejne/qIHWnHqppNqMoZY
@Mwarobaini3 жыл бұрын
Nimetoa wimbo wangu mpya ninaomba Ushauri wako bofya hapa kzbin.info/www/bejne/g6nWdZKIjtqha5I
@radicalljinari38632 жыл бұрын
Beka mstaraabu sana
@ramayasly45843 жыл бұрын
Hi lulu diva uko sawa katika mahojiano. safi sana
@ruthkasumba77393 жыл бұрын
Hawa walikuwa wamesha chokana tyr Coz hawakupendana walitamanian tyu akukuwa na yeye love happy alimpenda beka kwa sababu ni star beka alimpenda happy kwa sababu ni mzuri kwahiyo kila mtu alivyopt alichotk kaona bora tu nilikuwaw nxbr hii cku ndiomn haonyesh kujuta ht kdg😵any way mapnz ya kutamanian huwa haya dumu😸
@ayushjhay19793 жыл бұрын
Umeona
@piusphilip3073 жыл бұрын
Dada yangu pole kwa kupoteza Lulu. Ulikuwa na mume anayejielewa, Kwa bahati mbaya sana hukutambua.
@salamaseif41832 жыл бұрын
Kweli huyu anajutia
@chidymswti36043 жыл бұрын
She didn't show any effort to fight for their love....Dem alikua ashachoka anangoja fursa kama hio asepe...
@maryemmanuel57353 жыл бұрын
New video by Jux, sina. kzbin.info/www/bejne/qIHWnHqppNqMoZY
@bennyasseralfred71393 жыл бұрын
Nikweli kabisa uko sahihi
@effienyange12543 жыл бұрын
Mbona alitaka ndoaa
@rajimoonsima79843 жыл бұрын
Kweli kabisa
@christinachriss92313 жыл бұрын
Na usiombe demu akikuchoka
@jeffkonki82793 жыл бұрын
Mwanamke mzuri akiwa kwa mwenzio kaa nae uone balaa lake
@simbafuns785kviews3 жыл бұрын
Sana kzbin.info/www/bejne/noHJeHeDhtqbaa8
@maryemmanuel57353 жыл бұрын
New video by Jux, sina. kzbin.info/www/bejne/qIHWnHqppNqMoZY
@lucylucy36783 жыл бұрын
Umekosea san dada sana tu utaendaje kwenda kufnya kitu bila mwenza wako kweli acha tabia hata ukiajiliwa ofsn unaomba lukusa nje mwenzako wajiaondokea ivoivo jinga kweli.
@nastyb74053 жыл бұрын
Eti hata sikumuuliza,aka kasenge kalishapanga kakimbie tu,na anayehoji wala hajawai kulala kwa mume kama kaolewa ila kwa kudanga tu😓😓
@PedroEstevao-y1s Жыл бұрын
Kabla yá kufanya iyo video, ulimtaarifu mumero..?
@ashatybella86413 жыл бұрын
Jamani she’soo cute 🌝🌝
@IAmDramaBoy3 жыл бұрын
Unapenda drama sana na mimi ni drama boy .... Jiongeze
@maryemmanuel57353 жыл бұрын
New video by Jux, sina. kzbin.info/www/bejne/qIHWnHqppNqMoZY
@nahyialetomia92843 жыл бұрын
Extremely beautiful then ana akili pia
@mahembajulius70363 жыл бұрын
Akili gani?
@vanessalaizer43633 жыл бұрын
Cute with no brain
@salimduggah12283 жыл бұрын
The best interview from an x mother... am a big fan of Beka Flavor but I don't support him on this
@Ndiminijunior3 жыл бұрын
Huwezi kuwa mshabiki wa beka wewe zaid umeandika mavi tu hapa tafakari kabla ya kuja kuandika upumbavu huu yaani ningekujua ningetoa na mwanamke wako safari Moja tu ya mikumi kuangalia wanyama akarudi siku ya tatu na picha tumepiga pamoja
@Mwarobaini3 жыл бұрын
Nimetoa wimbo wangu mpya ninaomba Ushauri wako bofya hapa kzbin.info/www/bejne/g6nWdZKIjtqha5I
@hollymore49043 жыл бұрын
Still mnaigiza
@saffannatz44723 жыл бұрын
Niwarahisishie tuu ndugu watazamaji.. Hiyo nyimbo niya Ibra inaitwa *Nimpende* Sio happy kama wanavyo sema
@michaelrambo62073 жыл бұрын
Soma vzr caption iyo HAPPY ni jina la uyo demu
@lwasamabalelukiza20373 жыл бұрын
We dem malaya unaendaje kufanya kazin bila kumwambia mwenzioo
@maryemmanuel57353 жыл бұрын
New video by Jux, sina. kzbin.info/www/bejne/qIHWnHqppNqMoZY
@hatari95913 жыл бұрын
Video gani ya Ibra?
@saffannatz44723 жыл бұрын
Video ya ibra inaitwa nimpende Haiitwi happy kama wanavyo sema
@Ndawoo3 жыл бұрын
fala uyo unamwachaje mtoto mzuri ka uyo mama karib la mtaa
@jorgettemwajuma54283 жыл бұрын
Nihatari kweli duniya iyi
@jorampeter61313 жыл бұрын
Wanawake wa siku hiz bn,,,unafany vit bila kumshilikisha mmeo halaf unachukulia poa 2,,unaonekana hat samahn huijui wala hukuwa na upendo nae ooooh my God
@Ashelymhangazo3 жыл бұрын
Siku zote wasichana wanajiona wao wazur hawaolewi ,au hawatulii na mtu m1
@mishwanwanmish88033 жыл бұрын
Hivi navyo,kila siku mambo na mapenzi tuu,
@bonifacehassan13093 жыл бұрын
Bora alivo kuacha maana unaoneka hukuona umuhim wake Kama mme ndio maana hata msamaha hukuwazia kabsa
@msafirisalum84363 жыл бұрын
1.Ibra pia ana makosa ilitakiwa amuombe mume wa huyu demu wafanye kazi kama kweli ilikuwa nia yao nzuri 2.ukiona manyoya ujue kuku kaliwa 3.maelezo ya mwanamke anaonekana anapenda dramma 4.huwezi kumiliki namba za mastaa kumzunguka mzazi mwenzio maana yake kabla ya video kuna mengi mnayafanya bila jamaa kuyajua 5.kumbuka mwanaume huwa hachuji mapema ila leeni mtoto amchukue ili udange vzr utayaona matokeo yake baadae umri ukisogea
@ramazubery26413 жыл бұрын
Umeona mbali sana na ukweli mwanamke kakosea sana mbaya zaidi hajijui, hajui kuakakosea.
@radicalljinari38632 жыл бұрын
Braza hizi points zako zipo kamili sana
@dianasago92143 жыл бұрын
Hapa hamna mwanamke kusema ukweli na hajitambui
@salamaseif41832 жыл бұрын
Ulikuwa unamzalau Sana Munro Dada mwanaume akichoka basi
@priscahandherfamily4753 жыл бұрын
Happy kama happy
@ShubiraCostac6 ай бұрын
Akuna HAPPY anachezewaga,waiteni majina ya happy watoto wenu,ninaowajua happy wote wanavmisimamo miziri na maisha poa sana,naomba maoni yenu akina HAPPY wote,
@abdhillahiabeid99613 жыл бұрын
Kwa nn na ww ukafanye video bila kushauriana na mwenzako
@Olivier133343 жыл бұрын
💕💕💕
@derimkongwa59653 жыл бұрын
Umesahau beka alikutoa arusha daaah
@princeboy43113 жыл бұрын
Ujue wewe Kuma kwel diva so aumjui ibrah
@youngsimbawcb18143 жыл бұрын
Manina Wanawake siwapendi kabisaaa na wataisoma namba
@humbleshoal19 күн бұрын
We mgonjwa kweli, usipopenda wanawake ndio tutakufa!?
@ommimg24673 жыл бұрын
Huyu dem yuko sahih bhn maan Kuna interview 1 akiwa na mshkaj alilalamika jamaa hamuoi ye anataka awe mke wa ndoa so naona hata atakuw ameitumia hiyo nafac asepe... Sio suala dem mkali San hela tu sina😢
@hajimilowe53723 жыл бұрын
Ukiona mtu anaoa ameridhika na tabia ya mpenzi wake, huyu anaonesha sio mke mwema kiburi kimemjaa na ukithubutu kuoa mke kama huyu utajuta.
@zarabati17503 жыл бұрын
I really love her
@auntiemylee315711 ай бұрын
Nimerudi kutizama nimetoka kwa ngoma yake mpya jmn rudi anakumiss
@hawa-luumiwrty31443 жыл бұрын
Huyu Dada Muwongo, Baada Yaile Video Ya IBRA Mlituonyesha Kuwa Mmerudiana. Sahivi Unatuambia Video Ya IBRA IMESABABOSA
@eddyevarist25933 жыл бұрын
angalia interview beka aliyofanya na sns kipind cha chill na sky, ameeleza pale ilikua sio kurudiana ilikua uongo tu bado walipotoka pale ugomvi wao uliendelea
@hawa-luumiwrty31443 жыл бұрын
@@eddyevarist2593 Kumbe Ilikua- Hivyo
@adamsaga67003 жыл бұрын
Hawakurudiana Zaid ya beka alipewa tickets ya kwenda sijui show gani akalazimishwa na clouds waende pamoja huyu dem aliongea had akalia beka ni fala sana
@ommywhity16653 жыл бұрын
Uyu mdada anabusara Sana Ila uyo jamaa nimsengeeeeeeee kumaninaaaa oya chinga boy mchukue mtoto uyooooo
@nyumbumawazo74053 жыл бұрын
Wanawake wazuri wanamatatizo yao uyo hawezi kuhishi kwa mume ata kuolewa hawezi olewa kwa kibuli alafu anajisikia
@vannyjuliusjulius14563 жыл бұрын
Unawezaje kwenda kufanya kazi bila kumshilikisha mtu mnae ishi nae kama mmeo, mpaka anakuja kuiona ikiwa tayari iyo ni dhalau kubwa sana iv nyinyi mabinti wa stahili ii mnamatatizi gani mnazani mtaishi milele?
@prettyh75093 жыл бұрын
Kama mumewe 😅😅😅 ila si mumewe
@daudmtange80053 жыл бұрын
Sema daah bonge lá dem sema ndo ivyoo tu
@saffannatz44723 жыл бұрын
Wasafi bhanaaa kwani mkisema tu ni Video ya ibraa nimpende mtakuwa mmempa credit sanaaa ... mpaka mnaamua kudanganya eti nyimbo ya ibra happy😄😄
@lovvy8543 жыл бұрын
Mtoto mzurii kamaivi unaanazaje kumuacha kiholelaholela ama ulikua na mpango mwengine wakando ilahukua na sababuya maana
@maryemmanuel57353 жыл бұрын
New video by Jux, sina. kzbin.info/www/bejne/qIHWnHqppNqMoZY
@kennix64573 жыл бұрын
Kazi to .beka mjinga sana no mwanaume nyapara yule dictator mbo madogo to .wote wasanii yete hafanyi video na madame wengine nkt
@perpsgiovanna19333 жыл бұрын
Beka is an insecure man alikuwa anashangaa msichana mrembo kama Happy Reuter anampenda vipi
@lilianhumphrey83993 жыл бұрын
Dada nmekupenda mno mwanamke unatakiwa kuwa hivyo upo kama Mimi yan haina kubembeleza mapenz
@kasangaone3 жыл бұрын
Hahaha utaishia kuchezewa
@lilianhumphrey83993 жыл бұрын
Awaap
@saumuimeda51813 жыл бұрын
Jaman nitajieni hiyo hiyo video ya Ibrah nikaiangalie
@adamyasin40893 жыл бұрын
Guys jaman suala la mapenzi tuliache Kama lilivyo actually unaweza kuona fulan ndo anashida lakn kumbe sio wanaume tunaonakagana tunamatatizo Sana kiukweli Ila Kuna wakati hata hawa wanawake wanashida jaman Ila ni hvyo
@asheripius16573 жыл бұрын
Hatari Sana, mapenzi ya mastaa Ni hatari Sana yani kila kukicha mapichapicha 2
@franckjumanne66263 жыл бұрын
Huo ukurasa wakumuacha mama na mtoto iwekwe sheria
@Ndiminijunior3 жыл бұрын
Hakunaga Demu wa kimbulu wa maana kabisa beka hakujua mademu wa Kimbulu wakoje
@edwinjabez83523 жыл бұрын
,wairaq magumash mengi
@josephkaishe40453 жыл бұрын
Usiseme hivo kaka, wapo walotulia sana tuu, sema siku hizi ni kila kabila hata ukifanya statistics unaeza kuta hayo makabila mengine wengin pasua kichwa tuu
@JimmySirya3 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥💯💯💯
@africanqueen9563 жыл бұрын
Kama si beka tusingekujua
@maryemmanuel57353 жыл бұрын
New video by Jux, sina. kzbin.info/www/bejne/qIHWnHqppNqMoZY
@aliyshemweta97533 жыл бұрын
Nikweli bila beka asingejulikana
@africanqueen9563 жыл бұрын
@@aliyshemweta9753 ndio hivyo Sahii iwajiona yeye kama yy
@africanqueen9563 жыл бұрын
Ww dada una dharau
@faridaissa25883 жыл бұрын
Tena sana
@georgemhalla88533 жыл бұрын
Wewe nanajifanya Kama mzuri Sana! Kumbe wa kawaida Sana tena sana
@maryemmanuel57353 жыл бұрын
New video by Jux, sina. kzbin.info/www/bejne/qIHWnHqppNqMoZY
@mwanamvuajumanne75153 жыл бұрын
Dharau mbay mno tena sana huwez kuwa na mtyu tena mnaishi nae ni mzaz mwenxio uende kufanya kitu bila kumshirikisha na unaambiwa ubaki huko na ww ukabaki kwel dharau we jifanye na huo uzur hat sis waxur lionee
@vanessalaizer43633 жыл бұрын
Mnoo ameshapewa umaarufu na Beka now anamuona kinyes kisa anajiona mzuri. Ataishia kutumika ka wenzie tu hapo jijini dalisalama
@mathewben68333 жыл бұрын
Kama hakumuaga alikosea,nilichopenda hujamwongelea vibaya baba wa mwanao
@edwardnatharyblessed70673 жыл бұрын
Diva hiyo ni Madharau kabisa
@claranewaho12513 жыл бұрын
Lakin da Happy ungesubir wakat wa Mungu angejikuta anakutamkia kukuoa ulikua haraka sasa umeenda utachezewa na industry zote za sanaa cz washajua unapenda ndoa
@kabaisamsuketv32013 жыл бұрын
Mhhhhh
@kaykay97223 жыл бұрын
Mm na suui
@activestudios.3 жыл бұрын
Shida dada zetu mkishashika mkwanja na fame kidogo ndio basi tena mnasahau mtu alikutoa wapi SEMA FRESH TU MWANETU KASHAPATA MANZI mwengine wewe endelea na kazi zako.
@malota21383 жыл бұрын
Watu washakula apa
@achouraachoura57633 жыл бұрын
Uyu dada hajiskii
@derimkongwa59653 жыл бұрын
Huyu mwanamke ni mchuga ndio maana ...hana adabu
@tonnykenga94683 жыл бұрын
Hawa nao ni vikiki vya kishamba tu..mwaka mzima mnaongelea mapenzi mliopitia
@hamisihasan28653 жыл бұрын
Hakuna msanii mwenye mke ambae ni vixen
@maryemmanuel57353 жыл бұрын
New video by Jux, sina. kzbin.info/www/bejne/qIHWnHqppNqMoZY
@rajabusalim60883 жыл бұрын
Huyo dada mala
@vanessalaizer43633 жыл бұрын
Kumbe kana kiburi aka inaonekana alishamchoka mwenzie. Ndio tatizo la kupenda picha badala ya mtu mwenyewe. Beka aliwekewa sura ya uyu akati aliekuwa anatongozana nae ni mwingine 😳
@parfaitkalemela67493 жыл бұрын
She’s strong
@hafidhchoi31863 жыл бұрын
hawana mampya hawa kila siku wao tafran
@kassimually42423 жыл бұрын
Ndo tatizo la kuishi na Malaya,wakishakuwa video Queen tu nyimbo Fulani basi anajiona bonge LA demu
@omaryally55553 жыл бұрын
Hana lolote huyo dada inaonekana alishamchoka beka na ndio maana SMS ilivyompata Tu akaona achukue sababu ya kuondoka bila kukaa kufikilia mahusiano yake au malezi sahihi ya mtoto wao. Yani kwa ufupi ni mtu aliyekua anatafuta sababu ya aina yeyote ili aondoke.
@maryemmanuel57353 жыл бұрын
New video by Jux, sina. kzbin.info/www/bejne/qIHWnHqppNqMoZY
@rich.kizza103 жыл бұрын
Sure kbs
@KoreanDramaMoviesKiswahili3 жыл бұрын
😂😂😂
@simbafuns785kviews3 жыл бұрын
Nouma kzbin.info/www/bejne/noHJeHeDhtqbaa8
@maryemmanuel57353 жыл бұрын
New video by Jux, sina. kzbin.info/www/bejne/qIHWnHqppNqMoZY
@charlesmyamba85313 жыл бұрын
Wwe kidada unadharau video ya pili unataka akuelewe tu Kam so dharau ni Nini achaga izo Bila beka tusingekujua jua iloo..
@maryemmanuel57353 жыл бұрын
New video by Jux, sina, kzbin.info/www/bejne/qIHWnHqppNqMoZY
@goldprocessplant58933 жыл бұрын
hili jini pumbavuuu
@thomasaugust2253 жыл бұрын
ila huyu mwana mke bado ana mpenda Sana huyo jamaa
@fortunatasilipigni16323 жыл бұрын
konde gang 4 every bad
@imaramc68023 жыл бұрын
Duuuh
@lulanjamd38863 жыл бұрын
Huyu demu anazalau ataishia kuliwa tu na kuachwa just imagine unashuti video bila kumpa taarifa mtu unayeishi naye fala wewe bila beka tusingekujuwa
@salminejuma67433 жыл бұрын
Wew ni chizi na usijione umeshinda huwezi fanya kitu pasina kumshirikisha mwenzio hujataka hata kujua chanzo cha maamuzi wala hata kupambania mahusiano yenu jinsi ulivyo na kiburi, na mmi nakuhakikishia bila kurudi kwake utaisha kama huamini twende tunza hii comment utakua tambara la deki utadekiwa sana "time will tell". Tumewaona wengi kama wewe huku mtaani.
@julienjohn65003 жыл бұрын
Sasa utaanzaje kushoot video bila kumshirikisha mmeo. Hata ingekuwa mimi ningechukuwa ayo maamuzi. Nenda kadange umekuwa huru sasa
@sharriffcharo19153 жыл бұрын
hata mimi nakuacha
@effienyange12543 жыл бұрын
Mrembooo
@amojrtv91863 жыл бұрын
JUX SINA NENO OFFICIAL VIDEO ATOA MACHOZI TAZAMA 👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇 kzbin.info/www/bejne/r6TSiYONfdGcq5Y
@simbafuns785kviews3 жыл бұрын
Kwel kabsa kzbin.info/www/bejne/noHJeHeDhtqbaa8
@nanangendakumana56323 жыл бұрын
😷😷
@rwebangirarutta55583 жыл бұрын
Unapaswa kuwa na makubaliano kwanza
@ben.breaker3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/mYXMZamFqZmKr9U FAHYVANNY vs PAULA KAJALA 🔥🔥🐉
@makiwilson23223 жыл бұрын
Sepa
@ezekielmugeta24273 жыл бұрын
Dah an hapa hkna kitu wanawake bhna anaefnya mahojiano nae kaz udangaj tu
@mustafaosman18383 жыл бұрын
Huyu demu anadharau ati kirais ivyo
@mwasoprince34593 жыл бұрын
Nyau harufu ya umalaya hovyo kabisa.kishatombwa huko ndio maana hakikuona ulazima wa kumuomba mume wake.
@janewanjiku56733 жыл бұрын
When you see a woman accepting a quit it didn't start now maybe she was already tired
@eliyazacharia33923 жыл бұрын
mi naamin kakuacha kwa meng tu mana nyie cjui mungu aliwaumba kwa vumbi LA kongo
@maryemmanuel57353 жыл бұрын
New video by Jux, sina. kzbin.info/www/bejne/qIHWnHqppNqMoZY
@luganomwakyusa76973 жыл бұрын
😃😃😃
@zarabati17503 жыл бұрын
Don't force issues happy
@mosakaraideniiraidenii90693 жыл бұрын
Uyu malaya2 Hana jpya etii haumii utajutia mbna
@maryemmanuel57353 жыл бұрын
New video by Jux, sina. kzbin.info/www/bejne/qIHWnHqppNqMoZY
@ayoubmakori86803 жыл бұрын
Ulifanya kosa kubwa Sana ikionyesha dharau why usingeomba ruhusa kwa mumeo "na inaonekana uliamua kuchana na unamjua anamaamuzi ndomaana ukaamua kusema wacha uamue ivo
@odenlwila83903 жыл бұрын
Huyu kama sio m mbulu anapakuliwa pale konde gang anajishaua tu haya pambana sasa huyu ni aina au jamii ileile ya mke wa marehemu firikunjombe
@maryemmanuel57353 жыл бұрын
New video by Jux, sina. kzbin.info/www/bejne/qIHWnHqppNqMoZY
@hellenpaul21492 жыл бұрын
Ulishakua na mtu pia mlishazaa mtoto ulipaswa kumuliza yeye kwanza kabla ya kufanyaa video ungemheshimu ulikosea kujiamulia mwenyewe
@mrmrs74483 жыл бұрын
Kisa kulipwa ela mbuzi ndio ukasality halfu maskin hujijui kama ulikosea kwa bwana wako apo lkn ndio utajua kama wanawake baadhi tamaa wakiachwa wanateseka interview