Duniyani kote umeme bei rahisi kabisa, zanzibar tumezowea kuwakandamiza wananchi hasa wanyonge .
@IddiKhamis-u6c3 күн бұрын
Wasenge wakubwa. Nchi imekaa kama vile uliyolaaniwa. Kila siku maisha munayafanya kua magumu viongozi. Sio bure laana hizo mlizonazo ndio zinawapelekea kufanya hivo.
@HarithAlyhamadi2 күн бұрын
Haf kuwa wengine wasoo jiyelewa et mitano tena washenz hawo 😢
@salehkhamis-ob8ln2 күн бұрын
Acha kutukana watakusaidia nini matusi
@salamialiabuu5515Күн бұрын
Bora nicheke t 😂
@HajiMohammed-w2w2 күн бұрын
Milioni mia moja za ushindi wa Zanzibar heroes huo ndio zinatutafuna pamoja na fujigaiya unit bure kwa watu wa zecco.ndio adhabu tutanayo patiwa.lkn 2025 October tutatambuana tu.
@shufaaibrahim14632 күн бұрын
Nyie washenz mshachosha hasa ccm imelaaniwa na mungu nchi hii maisha haiendelei kwa laaanaaa
@ISSAJR-f53 күн бұрын
Miaka 60 nchi haina maji, mibarabara mibovu mrundikano wa mitaka, njaa kali, magonjwa mmeshindwa ata kuzalisha umeme wenu wwnyew mmetufanya tegemezi kila kitu kitoke bara, wachawi wakubwa....
@alawighulam5450Күн бұрын
Kwa kweli ni mtihani ktk nchi yetu ya zanzibari wananchi wa chini tunazidi kuumizwa
@mohdseif24593 күн бұрын
Pandisheni tutaisoma sote namba pumbavu zetu
@NassoroHaji-i8kКүн бұрын
Daaah...khatari hiyoo...ila uku ukitaka kuunga umeme huulizwi mambo ya matumizi ww mwenyewe tu
@soudsoud3353 күн бұрын
Miaka yote serikali imeshindwa kutengeza umeme wake mwenyewe haya wale vibaraka wanaopiga kelele mitano tena tunataka tuwasikie hapa
Saiv sielewi Ntaanza kufahamu baada ya kununua umeme tarehe 20
@seifmohd53573 күн бұрын
Hii ni dhahiri kwamba ccm imeshindwa kuongoza nchi lakin ndo basi tu wao wana mabunduki sie hatuna
@mascutmascut19732 күн бұрын
MAAMUZI SAHIHI YANAHITAJIKA OCTOBER 2025. Usishawishike na kupewa bodaboda la kijani😅
@abassyakoub1464Күн бұрын
Hamna cha kutufahamisha tukakueleweni. Hem na sisi tugaieni units bure kwanza ndo mtupe darasa la kupandisha units
@saddiqsaddiq68802 күн бұрын
Muheshimiwa RAIS wa Wazanzibari Zeco na Zura wanakampeni ya kukuangusha mazuri umefanya lakini hapo ndipo penye maisha ya Wananchi wako wanao kutegemea unda management mpya kwa Zeco
@saddiqsaddiq68802 күн бұрын
Tunanalipa mabilioni ya pesa eti service charge, VAT na makato kwenye cm na bei inapandishwa dhulma ya wazi wazi
@salehkhamis-ob8ln2 күн бұрын
Tz Bara umeme rahisi ila kinachotoka bara kuletwa Zanzibar tunagharamia bei ya juu Zaidi sijui shida nin
@NassoroHaji-i8kКүн бұрын
Hahhahaha imeisha hiyoo
@awadhahmedsalim3769Күн бұрын
Tunaomba mutowe kwa maandishi, kwa maelezo yamdomo wengine hatuwelewi
@KassimHanga-xr7rb3 күн бұрын
Tunaomba na bei za boti zisipandishwe wageni wasijekupungua
@tumamohammed60193 күн бұрын
Mapinduzi ni mabadiliko w Mzee karume alifanya maji bure na umeme haukua ghali na ilimu bure
@muzmurtarik32773 күн бұрын
ngoja kwanza ncheke 😂😂😂😂
@mtulivu-ir1nq3 күн бұрын
Hii nchi haiwajali wananchi wake kabisa maisha magumu na ya Hali ya juu Kila kitu ni harama dah inalillahi mlaaniwe nyote viongozi mnaojali maslahi yenu tu
@Useri-bn6ye2 күн бұрын
Naogopa mungu akikubali dua hii madhara yataturudia sote
@nassornassor225Күн бұрын
haiwezekani kuturudia sote wakati dua imeombwa kwa wasiojali raia isipokuwa nafsi zao tu@@Useri-bn6ye
@AbdallaSuleiman-lf4zvКүн бұрын
Mhooo nashanga gesi tunayo maji tunayo lakin ndo faida ya kutawaliwa
@saddiqsaddiq68802 күн бұрын
Muhishimiwa RAIS MWINYI tumia mkasi wako kwa kuwakatakata hawa Zeco, macho na masikio ya Wazanzibari yapo wazi kukusikiliza kiongozi wetu Muadilifu
@IddiKhamis-u6c2 күн бұрын
Imegeuka ile yajayo neema tupu. Kusudio lake yajayo nakama tupu. Hakuweza kusema yajayo nakama tupu sababu wanziwe wangemwambia anaharibu.
@mohdseif25932 күн бұрын
Yaani Raha sana Bado maji
@saidali58422 күн бұрын
Sisi tulijuwa hayo yanakuja,mamilioni ya pesa yametumika ss wanataka kuyarejesha.Lakini inshaalah hayo yana mwisho watakuja wenye imani na wananchi na wanaojuwa hali za wananchi.
@BekaBakari-i9v3 күн бұрын
Mna maslah yenu wenyewe..mnatuendesha kama madudu..
@aliyabdullah16333 күн бұрын
Yajayo neema tupu ndio ayo
@AlbanSalum2 күн бұрын
Tununue na ambulance 🚑 za baharini maana kila siku tunazama tunakosa kuokolewa kwa haraka
@abdukherykhamis732 күн бұрын
Nchi ya ajabu sana hiii,hivi miaka 61 mpaka leo zeco mumeshindwa kuwapa umeme wa zanzibari,munachokijua nyie kujiipa unit za bure Kisha deni lenu mnalileta kwa wananchi,tuambieni units mnazojipaa zile za bure kila mfanyakazi wa zeco harama zile anazilipa nani?,kazi kudidimizaa mnyonge tuu sikuzote.
@issayurry70223 күн бұрын
Sasa na wale tuliopiga kura siku mbili bei yetu ya umeme sisi ni shilingi ngapi
@haroubhamoud87012 күн бұрын
Hakikisheni mkipata pesa za ongezeko hili jengo la ZECO Head office linapakwa rangi lipendeze
@HassanHassan-vh6pc2 күн бұрын
Hii nchi naona inawashinda
@NassorRashid-g9y2 күн бұрын
Mitano tena kwa nani na bado mpaka mseme mnaovaa fulana za ccm sisi act pesa tunazo wacha wapandishe kila kitu tutatumia pesa zetu.
@AliHaji-r5p3 күн бұрын
Mitano tena Dr Mwinyi oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
@laisamaujud11573 күн бұрын
Mitano tena ccm oyeeee😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 eheeeee zombi we zombi unalana uwo mbiti si utafanya watakanyagana weezombi we zombi haujui😂😂😂😂😂
@abdultour16472 күн бұрын
Dah kumbe lilideni walilosema kina Othumani ndio tutaaza hapa kulilipa,kwenye umeme ,kesho kutwa sijui wapi tena kama kwenye Mafuta au Saruji,au sijui tena Blue economy tushachoka na tabia zenu kutubebesha mizogo iliokua haikai kichani wala begani ila hukaa kwenyee akili mizigo hiyo na kutuachia stress ww Blue economy uliapa kwa Qur,an unakumbuka kiapo chako uliapaje .
@SbOm-b7k3 күн бұрын
Pandisheni lkn inn shaa Allah tutaishi na tutatumia ,lkn mambo yakizidi kwawagonga vyumaa mlandege tunaenda tengeneza vibatari😂😂😅 au Solar
@AlbanSalum2 күн бұрын
Mbona kidogo sibora tununue unit 1 kwa elf 1 ili tuweke flayover nungwi mpaka makunduchi na ile kodi ya mita isoisha tulipie elf 5 kwa kila mwezi ili tununue ndege za baharini na za nchi kavu ili tuwapite wachina kiuchumi
@movies_store012 күн бұрын
😂😂🤣🤣
@MuhammedHusein-e8v2 күн бұрын
Watu wa shirika la umeme wanapewa unit bure kwa nn wanazulumu mungu atawalipa
@HvhVvb-k3i2 күн бұрын
😂😂😂 hayo ndio maendeleo ccm oyeeee mapinduzi daima tuta uwa tutachinja potelea pote
@hatibbaraka39563 күн бұрын
Kwa kweli ipo haja ya kuiombea Dua kwanza Zanzibar,zeco leo wanapandisha bei ya umeme,huduma yenyewe haipatikani vyema. Kukitokezea ubovu kidogo tu mafundi wanasahau hata wajibu wao wanataka pesa ndio waje watoe huduma. Juzi Jambiani plazza kuna transformer pale watu wamekaa siku 3 hawana umeme zaidi ya nyumba 100,kuna wafanya biashara kibao waliokula hasara kwenye mafriza. Hio kukatikakatika na mgao wa masaa 4 hadi 6 ndio usiseme! Ni nani alieturoga?
@HassanHassan-vh6pc2 күн бұрын
Ongezeni pesa myingi hzo kdgo
@adamabubakar75692 күн бұрын
Mi naona nimwanzo tu huo nabado kumamake mpaka tufe sote wanyonge mwakahuu
@MsarakaNjara2 күн бұрын
Bei ya boti pia izidishe ili madaguro wanaotoka tanganyika wapungue
@UrassaPaschal2 күн бұрын
Akili yako finyu unaona wageni Zanzibar ni watanganyika tu 😂😂😂....kazi unayo na chuki yako kwamba nyie hamuendi bara au wewe ndio wa hapa hapa ndio maana huelewi hujui kwamba Kuna wazanzibari wajanja wako nje ya mipaka ya kwao wanachakalika na maisha sehem nyingine kutunza familia zao na kukuza kipato unaona Wazanzibar hawakai sehem nyingine nao wakitengwa huko utafurahi? Ama wewe uende Saudi ama kuhiji maca wakubague kuwa sio msaudi utatoboa??
@salehkhamis-ob8ln2 күн бұрын
Acha ubaguzi hata sisi Wazanzibar tunaenda bara kibiashara akili finyu ww hujatembea upo znz tu
@ShamCrowAbilityКүн бұрын
kuepuka hawa watu tafuteni umeme wa upepa na umeme wa solar 2
@mohdseif25932 күн бұрын
Eti kinchi kipo kati kati yamkondo bado unanyanyaswa nakitu umeme aah uongoz wawatu wasio naelimu nishida sana ata bei izidi tena shida bado zipo lkn poa mi5 tena
@HamedSalimAbdalla2 күн бұрын
Cjaelewa ndo imepungua ama imeongozeka naona ananichanganya tu
@hapapetu70182 күн бұрын
Nyie hamuna jipya tushawazoea
@biubwahassan4036Күн бұрын
Mimi naona nende kwa wapinzan nyinyi mshakua hamna huruma na wananchi mnatukandamiza tu ajira hamna haya maisha tunaishi vp?nyinyi yenu yapo rahis mnaishi kama mpo pepon
@shaameshaame97212 күн бұрын
Msisahau maji na mapembe pia na pandishen lkn mtu hatokufa mpka siku yake ifike !!!!
@omarkb67752 күн бұрын
Hii nchi sihami nitakufa hapa hapa hadi raha wallah 😂😂😂 ccm oyeeeeeeeeeeeeee mpaka chini ya mkunazi
@captainabdul49062 күн бұрын
Ni huu umeme unaozimwa kila dakika kazaa au mwengine??
@salamialiabuu5515Күн бұрын
Ndo huo huo mkuu
@HvhVvb-k3i2 күн бұрын
Mh anaongea maongezi ya kitapeli eti nitaje mahitaji yangu😂😂😂
@abrahmanhmd25572 күн бұрын
BABA MWINYI OYEEEEEE. KATUJENGEA MAJUMBA NA MASKULI NA DARAJA LA FLYNG HOZI.. CCM OYEEEEE
@salumsasua99062 күн бұрын
Yuniti 3 kwa 1000 sawa na uniti 1 ni333.33 inakuaje iwe hivyo
@saidali58422 күн бұрын
Ww unaumia kuhusishwa ccm kwani hii Nchi inaongozwa na CUF
@hapapetu70182 күн бұрын
Ccm. Wao wana bei zao. Za. Umeme. Nasikia. Unit 1. Watanunua. Kwa. Shilingi 2. Ccm. Oyeeee
@Ali93Ali-w6b2 күн бұрын
mm bado sijafaham asaa aliefaham naomba anifahamishe
@SuleimanAli-di3kk3 күн бұрын
Duh hatutoboi😅😅😅😅😅😅
@fakihdarusi43853 күн бұрын
😂😂🎉🎉 OYEEEE
@OmerSuley-gl7go2 күн бұрын
Tukutane October 2025 inshaallah
@shaameshaame97212 күн бұрын
Wew mwwnyewe mbumbumbu huna unalojua kwa Hilo shirika la nani? au la babako?
@RashidiHassani-in9rb3 күн бұрын
Hii nchi mmezid kukandamiza raia kwani yeyehaki mnajipangia tu maslah kwenu
@MwinyiYussuf2 күн бұрын
Mtuonee huruma hali ngumu jamani umeme bara haujapanda msiwe hivo
@Kareemog19973 күн бұрын
Vp kuhusu sisi tulopiga kura mara 10 tunanunua kwa bei iyo iyo au mumetufikiria? Kama tuna bei yetu tujuilisheni jamani sisi watu wenu ccm oyeee mitano tena
@abdulwahidhaji32452 күн бұрын
Haha😂 hahhhhhaahha 😂😂😂
@kassimomar75893 күн бұрын
Halfu unafurqhia miaka 61 ya mapinduz
@abdullahalhusaini18363 күн бұрын
CCM Chama cha matusi 😂 unategemea kheri gani kwao
@nassoromarelbajouny44623 күн бұрын
Mi 5 haitoshi aongezewe tena 15 ili atumalize na aifanye Zanzibar kua ni Mkoa tu km ilivyo Tanga na Dae Es Salaama
@KeidyVilla-z8fКүн бұрын
Umeme wenyewe mbovu kama discolight wajinga nyinyi Mimi mpaka leo mita inazingua
@BimdogoMohammed2 күн бұрын
Sola zipo tutanunua manake tumeaminishwa school za gorofa bara bara ndio maendeleo tukakubali sasa Zanzibr miaka 60 ya mapinduzi inashindwa na kua na vywanzo vya umeme nungwi mkondo unauw watu bado mnategemea unit Alf 50 za bara??
@hafidhsaid41663 күн бұрын
Anatoa taarifa uso mdogo Hata Haya hana
@youdya2 күн бұрын
😂😂😂😂
@BinshakbuHemed-gb2zi2 күн бұрын
Huyu. Minyiiiiii. Au. Nyinyiiiiiiiii
@CeoZan3 күн бұрын
kuna mijitu ukiiambia yanakaza fuvu kama mibumumda na bado uchumi mweusi si buluu😂😂😂
@shafiijuma-g3h3 күн бұрын
mtulie tunataka kulipa madeni
@fahadbabuy2 күн бұрын
Hehehehe my country people
@SbOm-b7k2 күн бұрын
@@fahadbabuy 😋😘😘🥰
@shamsahamdan32742 күн бұрын
Utapeli si kwa mitandao ya sm tu tuliya wewe porojo
@hawrajehan23983 күн бұрын
Nyie wezi mbwa wakubwa kw kuwapa mzigo mkubwa wananchi
Acheni usenge umeme wenyewe hamna hapo ndo munamuongezea mh rais kazi acheni utoto umeme Pemba Badoo kabisa
@ChainesBoufee3 күн бұрын
Tutazoeya tu kama tulivyozoeya boflo 😅.
@youdya2 күн бұрын
😂😂😂
@jumasaid32283 күн бұрын
We zombi we watakurogaaa 😂😂😂😂🎉🎉🎉kumekuchaaa
@haroubhbm57283 күн бұрын
Kumekucha
@ameirzapy13182 күн бұрын
Nimesoma comments nyingii sana kuhusisha na ccm! Hii ni kukosa uelewa ulio mzuriii, wengi tunahitaji elimu zaidi, Tanesco ina mamlaka yake tofauti na tunavyodhani
@mohdkombo33973 күн бұрын
Utatuelewa tuu Ubepari uliozaa mavi ya democracy ni shida Lol
@hudhaimaismail3 күн бұрын
Ccm oyeeee mitano tenaaaa😂
@w40583 күн бұрын
Are serious??
@hawrajehan23983 күн бұрын
Huu ni wezi usiomithilika,mamb ya kutaja vitu unavyotaka kutumia ni upumbav
@oparetionmaalum90302 күн бұрын
Yani Kuna watu wao hawajui chochote ispokua matusi na lawama inaonesha hadi wazazi wao pia wanawatukana na kuwalaumu Innalilahi wainnailayhi raajiuuun