JENGO la pili kwa urefu AFRIKA kujengwa ZANZIBAR, litagharimu dola Bilioni 1.3

  Рет қаралды 47,794

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

2 жыл бұрын

Miaka michache ijayo, Zanzibar itakuwa nyumbani kwa jengo la biashara refu lenye thamani ya dola bilioni 1.3, gazeti la The Citizen limeandika Jumatano hii

Пікірлер: 156
@mwatumsaidi5104
@mwatumsaidi5104 2 жыл бұрын
Angalau nasie tuwe na majengo mungu ibariki zanzibar yetu ishallah
@jumahaji4964
@jumahaji4964 2 жыл бұрын
Allah ajalie japo lenye kutimia inshallah
@shebe2573
@shebe2573 2 жыл бұрын
Burundi tungali kweny gorofa 10😢😢😢 Inshaallah sikumoja tutavunja rikodi🤲
@davidcurtis8556
@davidcurtis8556 2 жыл бұрын
Amiin jirani.
@khadijaabdallamasoud7690
@khadijaabdallamasoud7690 2 жыл бұрын
Hongera my Boss Mudrick kazi ziendelee
@sheilamjune1233
@sheilamjune1233 2 жыл бұрын
Masha Allah God is good ❤❤❤😘😘😘🙏🙏☝️☝️🇰🇪
@ahmedmussa8231
@ahmedmussa8231 2 жыл бұрын
Ni Zanzibar kwetu au Zanzibar nyengine asnt mwinyi asnt mama samia mungu awape afya njema sio rahic hivi vitu
@kreamagdfsa1697
@kreamagdfsa1697 2 жыл бұрын
Amin
@ahmedmussa8231
@ahmedmussa8231 2 жыл бұрын
Mwinyi aongezewe ulinzi jamani
@hafidhothman4588
@hafidhothman4588 2 жыл бұрын
Hahahaaa
@zikirination6769
@zikirination6769 2 жыл бұрын
Sio wa mkuranga Tena😄 dah Kuna watu wanafki Sana hii dunia
@peterirungu2904
@peterirungu2904 2 жыл бұрын
Kenya namba mmoja
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 2 жыл бұрын
Inshaallh iwe kali
@amourflamini7963
@amourflamini7963 2 жыл бұрын
Sijawahi fika uko zanzibar nasikia kuzuri atarii😄💯👍
@mohamnedsalum2150
@mohamnedsalum2150 2 жыл бұрын
Wlcm
@murattywamuratty9778
@murattywamuratty9778 2 жыл бұрын
Hakuna uzuri wowote sie tunokaa tunapajua barabara ovyoo kabisaa
@shamsahaji6202
@shamsahaji6202 2 жыл бұрын
@@murattywamuratty9778 itakua huna maisha tu ila mtu kidog alichonacho hushukuru ikiwa unakosa kuona neema zilizoko zenji basi pole acha tuenjoy mbona kuziri tu..hebu tembea basi around zenji ..zenji kuzuri banaaa tena sanaaaa
@jumamohamed3168
@jumamohamed3168 2 жыл бұрын
@@shamsahaji6202 Ni kweli Zanzibar sio pazuri kama mnavyosikia kwenye vyombo vya habari ,ukifika na kuona mandhari yake sio pazuri hata mji wake hauna mvuto yaani hakupendezi .
@tamimtours6934
@tamimtours6934 2 жыл бұрын
""Safi Sanaa"
@hakimalen712
@hakimalen712 2 жыл бұрын
Mola a tujalie lshallaha
@ramadhaniamour4834
@ramadhaniamour4834 2 жыл бұрын
Yakheee darajani,magomeni,nungwi,bumbwini,kizimkazi,unguja ukuu,fumba,bububu,paje,mahonda Kwa nyanya,michezani,mwanakwerekwe, tujuane kidogo wazaziberi wenzangu😂😂😂😂
@hafidhothman4588
@hafidhothman4588 2 жыл бұрын
Hahahahaaaa
@omarissa4373
@omarissa4373 2 жыл бұрын
Nipo kutoka unguja ukuu hapa
@ramadhaniamour4834
@ramadhaniamour4834 2 жыл бұрын
Naaaaaaaam nipo MANGA PWANI amiiiiiiiiiiiii
@shamsahaji6202
@shamsahaji6202 2 жыл бұрын
Tupoooo hahaha paje ndio nyumbani..
@triplea3463
@triplea3463 2 жыл бұрын
Kitope kinyasini mgambo Kilombero uzini Kibondeni Jumbi fuoni Tunguu binguni
@aminaadam3636
@aminaadam3636 2 жыл бұрын
My home zanzibar 🇹🇿💞❤️💞❤️
@kreamagdfsa1697
@kreamagdfsa1697 2 жыл бұрын
Pamoja ✍
@issanaseeb7699
@issanaseeb7699 2 жыл бұрын
Amina unakaa wapi?
@aminaadam3636
@aminaadam3636 2 жыл бұрын
@@issanaseeb7699 now oman
@issanaseeb7699
@issanaseeb7699 2 жыл бұрын
@@aminaadam3636 ooohh Woow nimefurah kukufaham sema ningepend now yako tuw tunawasiliana
@aminaadam3636
@aminaadam3636 2 жыл бұрын
@@issanaseeb7699 🙄🙄🙄🙄
@isaachayes9783
@isaachayes9783 2 жыл бұрын
Go zanzibar go💥💥!
@alibinali_
@alibinali_ 2 жыл бұрын
Shinda ni African tumekaliwa sana jengo kama hilo hapo nimzungu ndio amewekeza kila kitu
@sleifikhajjir262
@sleifikhajjir262 2 жыл бұрын
Hahahahah zanzibar tena basi kuna watu wataona chuki vooo cjui kwann hahahahah.😄😃😀
@zikirination6769
@zikirination6769 2 жыл бұрын
Chuki ya nn wakat yote Tz ukichoka zenji unaenda bongo hakuna wakikuuliza msipende ubaguz wakat jengo hata bado kujengwa ebu tembeeni kdg bc
@gangmore9091
@gangmore9091 2 жыл бұрын
Kuna Zanzibar kuna Tanzania one day kutakua n Zanzibar na Tanganyika zikiwepo chini y Tanzania
@user-cy1od5xr8x
@user-cy1od5xr8x Ай бұрын
Siamini kuna siasa mara kidudu mtu anaingia labda mama Samia aingilie kati
@braystuskibassa3077
@braystuskibassa3077 2 жыл бұрын
Aaah aaahaaa! Noma sana
@allykiukala3693
@allykiukala3693 2 жыл бұрын
Waooooo it will be gudi.
@shakylahamad8326
@shakylahamad8326 2 жыл бұрын
Wow! good
@saidsalim851
@saidsalim851 2 жыл бұрын
Dalili za kiyama ni hizo watu kushindana kujenga majengo marefu
@trendingnews4960
@trendingnews4960 2 жыл бұрын
Safi saana Tanzania to the world
@abdulrahmanrajab4369
@abdulrahmanrajab4369 2 жыл бұрын
hohooooo oyoooooo wachalia majirani mchana kweupeeeh
@gibbs1320
@gibbs1320 2 жыл бұрын
Hapa wakenya wanaumia sana yani maana tayari wamenyang'anywa taji 👑 juu ya wapi lipo ghorofa refu kuliko in East Africa.
@khamismaulid6839
@khamismaulid6839 2 жыл бұрын
Aah wapi tunaumia na nini na ni ndugu sie
@kassimomar7589
@kassimomar7589 2 жыл бұрын
Sasa ni zmu ya Zanzibar
@jumambarouk
@jumambarouk 2 жыл бұрын
Home sweet home 💘
@maryamseif766
@maryamseif766 2 жыл бұрын
Wajengewe wenye nyumba mbovu mji mkongwe
@babamiracle9221
@babamiracle9221 2 жыл бұрын
Wow good 🔥🔥🔥🔥💪💪💪💪
@sidrasidra8616
@sidrasidra8616 2 жыл бұрын
🔥🔥🔥👌
@SA-xj8hc
@SA-xj8hc 2 жыл бұрын
“Build and they will come “
@mosaidi2633
@mosaidi2633 2 жыл бұрын
Miaka 15 Tanganyika walishindwa towa Kibali hadi Mwamba Husein Mwinyi ndio wameruhusu
@justinecleophas2950
@justinecleophas2950 2 жыл бұрын
Fool peleka ujinga wako mbali
@moussaalast4950
@moussaalast4950 2 жыл бұрын
kidogo kidogo mpaka watatuwachiya hadi nchi yetu,,maana wale waliokuwa chinja, uwa, hatotowi nchi wanamalizika tena...(wote wapo chini ya ardhi uko)😖😖😖
@zikirination6769
@zikirination6769 2 жыл бұрын
Ulivyo kilaza sasa na unasahau kuwa kweny kampeni mlikuwa mnamkataa kuwa ni mtanganyika mzaramo wa mkuranga hah Leo hii mnajisahaulisha ubaguz wenu ndomaan mnastack hah
@welcometoeat165
@welcometoeat165 2 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@mudybaaroo4540
@mudybaaroo4540 2 жыл бұрын
Tupo juuuuu sanaaaaaa🤣🤣🤣🤣
@zenaal-baalawy1953
@zenaal-baalawy1953 2 жыл бұрын
👍
@ramlajuma1598
@ramlajuma1598 2 жыл бұрын
Tozo kama tozo 🙌🙌🙌🙌
@roycerolls9641
@roycerolls9641 2 жыл бұрын
Zimehusikaje hapo
@salimusalim3610
@salimusalim3610 2 жыл бұрын
Mchawi wa mchana wenzako wanafanya uchawi usiku
@tamimtours6934
@tamimtours6934 2 жыл бұрын
Hujambo Wee Ramla?🇩🇪
@safiaabubakar1120
@safiaabubakar1120 2 жыл бұрын
Zanzibar ni njema atakae aje mwinyi voice
@kesslytravelzanzibar5567
@kesslytravelzanzibar5567 2 жыл бұрын
Angalau muungano ufanyanye kazi maana dah atar
@FadhilikadegheFadhili999-og2vz
@FadhilikadegheFadhili999-og2vz Жыл бұрын
Itakua poa sana
@mussaabobakar7537
@mussaabobakar7537 2 жыл бұрын
Nan mwengine hatona linajengwa mpk tutakufa mirad ya zenj tunaijua vzr badar tu kule gulion watu wameishia kuchukua mshaga mpk leo hawajarud
@fettyabiola1389
@fettyabiola1389 2 жыл бұрын
Inawezekana kwa vile serikali lao jicho
@hassanhajj6804
@hassanhajj6804 2 жыл бұрын
Basi haya
@amosmahona433
@amosmahona433 2 жыл бұрын
Jamaa anajua kutangaza Hadi raha
@gangmore9091
@gangmore9091 2 жыл бұрын
Wapo wawekezaji wengi walikua wanataka kuwekeza zanzibar but tanganyika kuitawala zanzibar hawajakubali kutia saini kwenye miradi ila kwenye ugumu kuna wepesi one free zanzibar
@justinecleophas2950
@justinecleophas2950 2 жыл бұрын
Foool....who care about what you wana construct....stop your ignorance at once
@gangmore9091
@gangmore9091 2 жыл бұрын
@@justinecleophas2950 you know what???
@jamesmwita2995
@jamesmwita2995 2 жыл бұрын
Mwenzangu yamekuwa hayo,, kwanini usisubili lijengwe kwanza likisha kamilika ndo uanze kuraumu hivyo
@gangmore9091
@gangmore9091 2 жыл бұрын
@@jamesmwita2995 🤣🤣🤣 walokataa kutia sain yanafaida kuliko hilo tanganyika washazowea lawama kutoka zanzibar
@nevestjunior619
@nevestjunior619 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂 mnatutia nuksi tuuu
@kreamagdfsa1697
@kreamagdfsa1697 2 жыл бұрын
ZANZIBARINO nyente problema bravo
@unclepwechnov1381
@unclepwechnov1381 2 жыл бұрын
😆😆😆😆😆😆😆 Umepigia ugoko.
@eddechriss2664
@eddechriss2664 2 жыл бұрын
Britam tower ndio jengo refu zaidi ukanda wa EA na wala sio GTC
@carlosford4384
@carlosford4384 2 жыл бұрын
Ndyo.kitu pekee kimebakiwa na viongozi wetu Hawa wasiojijua
@ebrahimosman5477
@ebrahimosman5477 2 жыл бұрын
🙏🙏🙏
@amourflamini7963
@amourflamini7963 2 жыл бұрын
Hii zanzibar ninchi yautalii muekezaji yeyote hatokataa kukeza pale
@sabrinasab2910
@sabrinasab2910 2 жыл бұрын
Nyumban ni nyumban
@kreamagdfsa1697
@kreamagdfsa1697 2 жыл бұрын
Japo kichakani
@scenepoint6317
@scenepoint6317 2 жыл бұрын
Sns kweli kweli
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 2 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌👍
@zanzibarspice8686
@zanzibarspice8686 2 жыл бұрын
Bora Tumgejengewa viwanda Tupate ajira tuweze kutumia Pesa na Familia zetu tuzalishe Pesa Kwa wingi za kigeni ili Nchi iwe na pesa nyngi.....Amerika Imekuwa nchi ya kwanza kuwa na uchumi mkubwa sbb ya Viwanda.... Tuna mall imetushinda hilo itakuaje
@shamsahaji6202
@shamsahaji6202 2 жыл бұрын
Mall ni yenu wenyewe.. ilo jengo la wawekezaji watu washajipanga so usitegemee kuwashinda .
@sharkbinaally3381
@sharkbinaally3381 2 жыл бұрын
Kwahiyo itakuwa hospital dawa zipo zote
@micamathew2595
@micamathew2595 2 жыл бұрын
Ni Tanzania.
@salehkhamis8653
@salehkhamis8653 2 жыл бұрын
tunasubir vitendo hatutaki porojo lako maneno mengi kama mpiga debe
@pendomarco8928
@pendomarco8928 2 жыл бұрын
Pesa za tozo izo ata za kwangu zimechangia
@mussammanga7791
@mussammanga7791 2 жыл бұрын
Watu hawana shida ya pesa zako. Izo zao mnazichukuwa nyinyi au uwongo? Ingalikuwa sio husda jamaa walikuwa washapiga hatua kubwa wala wasingalifikiwa kwa nchi za hapa Africa Mashariki na Kati.
@jambo3751
@jambo3751 2 жыл бұрын
Kwahiyo huyo billionea muwekezaji wa kifaransa ndio anatumia hizo pesa zenu za tozo? Au ulifikiri jengo la serikali? Kabla hujaandika utumbo wako ujue kwanza kinachoendelea...Au ndio nyinyi msiopenda kusikia chochote kuhusu maendeleo kwa upande wa Zanzibar? Bahati nzuri Zanzibar inajengwa na watu binafsi sio serikali na mfano mzuri ni mji wa FUMBA na yatakuja mambo mengi tu ya kimaendeleo.
@biddii1972
@biddii1972 2 жыл бұрын
😂😂😂😂zamu ya Zanzibar sasa ngoja tuongezewe makato 😂😂😂lazima tuombe poo😂😂😂😂😂
@kacherosimba5762
@kacherosimba5762 2 жыл бұрын
Maneno tu hana lolote🤣🤣
@maisarirajab4846
@maisarirajab4846 2 жыл бұрын
Hamna lolote stori tu ndo zenu mkiahashiba
@khadijambuya794
@khadijambuya794 2 жыл бұрын
Wow
@chagogegereka2889
@chagogegereka2889 2 жыл бұрын
Dalili za kiama hizo
@chagogegereka2889
@chagogegereka2889 2 жыл бұрын
@@CapybaraStories-f7w kwenye vitabu imeandikwa utakapo fika wakati nchi zinazo itwa maskini zikaanza kujengewa majengo marefu kabisi basi hizo pia nidalili za kiama
@shamsahaji6202
@shamsahaji6202 2 жыл бұрын
Ni kweli kabisa
@maryamaliy8509
@maryamaliy8509 2 жыл бұрын
ndio na ndo kisiwa kitakacho zama kwa ufisadi
@silakizee2781
@silakizee2781 2 жыл бұрын
Nyinyi wapumbavu mkiachiwa kakiswa kenu mtatosha mnavyo zaliana Kama panya kwani mnazani sisi watanganyika mungano tuna utaka kila mtu aludi kwao tuvunje mungano sisi wenyewe atupendiiiiiii mungano hauna faida yoyote kwetu tujimwage
@aproxaprox
@aproxaprox 2 жыл бұрын
Tulieni sindano iingie vzr mukijitingisha sindano itakatika! povu lote hilo la nn? yani mara hii wabongo mumepatikan kwel mnaongozw na mzanzibar halaf Demu sasa😅😅 sasa cjui nani mpumbav apo!!??? 😆😆😀😅
@silakizee2781
@silakizee2781 2 жыл бұрын
Mbona nyinyi anawaongoza mdengeleko wa rufiji mnalitambua hiro bumbavu kila kinacho kinahusu uongozi mahamuzi yanatoka dodoma wabala tunatumia akili nyingi kuwatawala kenge nyie
@silakizee2781
@silakizee2781 2 жыл бұрын
Ile Kama picha nyuma Kuna watu wanao litawala taifa kubwa Kama Tanganyika najivunia kuwa mtanganyika milere
@fatmasalima3847
@fatmasalima3847 2 жыл бұрын
👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏💯
@andrewmsalali4395
@andrewmsalali4395 2 жыл бұрын
MKimaliza hilo ongezeni tena tozo za ada zashule kwenye umeme ili tujenge jengo la pili kwa urefu duniani...Tanzani mpya
@jambo3751
@jambo3751 2 жыл бұрын
Ni private project hiyo hauhisiani kabisa na tozo zenu watanganyika.
@Mastermind25491
@Mastermind25491 2 жыл бұрын
Billion 1.3 au trillion 1.3!?
@SimuliziNaSauti
@SimuliziNaSauti 2 жыл бұрын
$1.3b
@nassoralawi2722
@nassoralawi2722 2 жыл бұрын
nahisi anazan n tsh ni usd
@mudighurayra
@mudighurayra 2 жыл бұрын
@@nassoralawi2722 😀😀😀ndio alivo dhani
@deborahdeogratius4447
@deborahdeogratius4447 2 жыл бұрын
@@SimuliziNaSauti mm mwenyew nilizani tsh.. Nkasema bei ya rollysroyce ya mondi
@holimpohvd5796
@holimpohvd5796 2 жыл бұрын
uwongo uwongo kkkkkk😀😀😀
@mudighurayra
@mudighurayra 2 жыл бұрын
Muongo ww
@holimpohvd5796
@holimpohvd5796 2 жыл бұрын
@@mudighurayra una sema nini wewe ume ona wap
@sabrinasab2910
@sabrinasab2910 2 жыл бұрын
Ata hujielew wew uongo nn
@holimpohvd5796
@holimpohvd5796 2 жыл бұрын
@@sabrinasab2910 wewe ume ona wapi
@holimpohvd5796
@holimpohvd5796 2 жыл бұрын
@@mudighurayra wewe ume ona wapi
@holimpohvd5796
@holimpohvd5796 2 жыл бұрын
não verdade brada vc ta a mentir son.
@babaluxe8626
@babaluxe8626 2 жыл бұрын
Xhitombo xa n'gwakwa
@barakabahati6600
@barakabahati6600 2 жыл бұрын
Mji mkuu wa Zanzibar ni gani?
@moussaalast4950
@moussaalast4950 2 жыл бұрын
ukiwa popote ndani ya dunia hii.. wewe tumia neno hili(ZANZIBAR) basi utaletwa hata na colombian mpaka hapa🤐🤐🤐🤐🤐🤐
@fahmiwaummy4293
@fahmiwaummy4293 2 жыл бұрын
Stone town au mji mkongwe
@zikirination6769
@zikirination6769 2 жыл бұрын
😄mjin kati darajan
@jumamohamed3168
@jumamohamed3168 2 жыл бұрын
Hakuna mji mkuu Zanzibar wapo wapo tu wao hawana mbele wala nyuma ,hawajui kushoto wala kulia .
@moussaalast4950
@moussaalast4950 2 жыл бұрын
@@jumamohamed3168 poeple need good life not good town...🤐🤐🤐🤐
@modestwenceslaus9
@modestwenceslaus9 2 жыл бұрын
Safi sana, naiona Zanzibar Kama Singapore ya Africa, Ee mwenyezi Mungu wajaalie maono ya mbali kimaendeleo viongozi wote SMZ.
@mzenj72
@mzenj72 2 жыл бұрын
kwanza tungejengewa kituo cha maana cha daladala hapa mjini, sio mbali na darajani, ili kila mtu atambue usafiri wake unapatikana wapi. huo mjengo sijui utamsaidia nini mwananchi wa kawaida. wekeni mbele mambo ya msingi kwanza.
@shamsahaji6202
@shamsahaji6202 2 жыл бұрын
@@mzenj72 huo mjengo hauhusiani na serekali kabisaaa...maana hawa uo ..si ndo unaona usafiri pia tabu??basi huo ujenzi ni just kupendezesha nch tu na kwa atakaekuwa na uwezo.. haujengwi kuwafaidisha wananchi elewa hilo.
@mzenj72
@mzenj72 2 жыл бұрын
@@shamsahaji6202 yeah. Huo ndio ukweli. Wananchi hawatendewi haki na waliowachagua.
@julianaharrison4356
@julianaharrison4356 2 жыл бұрын
Wakimaliza Zanzibar mama Samia tunaomba utujengee na Arusha gorofa refu no 1 Africa mama nakuaminia utajenga
@kreamagdfsa1697
@kreamagdfsa1697 2 жыл бұрын
Inshaa allah
@aishaaisharagp9381
@aishaaisharagp9381 2 жыл бұрын
Choyo hicho mlichonacho wenzetu watanganyika dhidi ya wazanzibari nyinyi mmefanyiwa mangapi mmejengewa mpaka barabara zajuu kwajuu mbonacv hatujatia kidomo jamani acheni vijicho
@julianaharrison4356
@julianaharrison4356 2 жыл бұрын
@@aishaaisharagp9381 sijaamanisha hivyo mpenzi barabara za juu zimejengwa kaja na Zanzibar nikasema akimaliza Zanzibar ajenge na Arusha gorofa refu no 1 Africa akimaliza Arusha anarudi na Zanzibar ni kwa zamu tu
@jambo3751
@jambo3751 2 жыл бұрын
Kwani hilo anajenga MAMA SAMIA? Hilo linajengwa na muwekezaji billionea wa kifaransa halijengwi na serikali wala hawatoi hata senti moja yao hapo.
@shamsahaji6202
@shamsahaji6202 2 жыл бұрын
Ni vizuri inshaallah ..lkn hilo jengo haliusiani na serekali yetu hainaga uwezo huo...hayo ni mambo ya uekezaji tu.ila tunapenda tz yetu ipendeze kwa kila unapotembea tuombe kheri tu.
@janetlamb9018
@janetlamb9018 2 жыл бұрын
Hela zetu zinapelekwa zanzibar 😭😭😭😭 JPM baba tunaibiwa
@kreamagdfsa1697
@kreamagdfsa1697 2 жыл бұрын
Unaushahidi?
@abdulrahimayub2984
@abdulrahimayub2984 2 жыл бұрын
Acha ufala ww, una uhakika ww na unachokisema.
@mussamati7994
@mussamati7994 2 жыл бұрын
Nyinyi mnapesakama zanzibar au mmezoea kuinyonya zanzibar ili mle
@aishaaisharagp9381
@aishaaisharagp9381 2 жыл бұрын
Fisadi ww hiohela haitoki Tanganyika nihela yawafadhili shwain ww fumba mdomowako huo
@ulipoulipotupo7564
@ulipoulipotupo7564 2 жыл бұрын
Ndugu yangu mtanganyika acha ujinga au ujui kila sa 12 jioni inakuja ndege kuchukua pesa zanzibar na kuleta tanganyika yan kitu kinatuima sana wazanzibar kama icho yan tanganyika mnajenga kupitia pesa zetu wazanzibar lkn me naomba bola muungano ukavunjila ili tujue katika izi nchi 2 ipi itakua kimaendeleo sisi wazanzibar tumekubali tuvunje muungano tufe na njaa lkn mbn tanganyika amntaki andamaneni muvunje mungano pesa zenu zinakika zanzibar kama kweli mna uchungu na tanganyila yenu apo ndo pakipambana mungano mkauvunja watanganyika amkeni kila sku mnalala ty ebu tuvunjeni muungano basi
Cool Items! New Gadgets, Smart Appliances 🌟 By 123 GO! House
00:18
123 GO! HOUSE
Рет қаралды 17 МЛН
Beautiful gymnastics 😍☺️
00:15
Lexa_Merin
Рет қаралды 15 МЛН
아이스크림으로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 62 МЛН
WATANZANIA WANAZIDI KUZIPAMBANIA FURSA WAKIWA CHINA
17:01
Millard Ayo
Рет қаралды 50 М.
Visiting the Divorced Women's Market in Mauritania 🇲🇷
9:40
Joe HaTTab
Рет қаралды 19 МЛН
NHC Kuanza Ujenzi wa  Jengo kama la Mlimani City Dodoma.
4:20
Shirika la Nyumba la Taifa
Рет қаралды 15 М.
#YALIYOMO NDANI YA SOKO LA KWEREKWE ZANZIBAR
29:19
IsleBlogTv
Рет қаралды 27 М.
When A Gang Leader Confronted Muhammad Ali
11:43
Boxing After Dark
Рет қаралды 4 МЛН
Mapping the Trump Shooting
6:12
fern
Рет қаралды 14 МЛН
Cool Items! New Gadgets, Smart Appliances 🌟 By 123 GO! House
00:18
123 GO! HOUSE
Рет қаралды 17 МЛН