BIASHARA 13 KWA AJILI YA MAMA WA NYUMBANI//13 BUSSINESS IDEAS FOR STAY AT HOME MOMS

  Рет қаралды 47,368

keki plus

keki plus

Күн бұрын

biashara 13 kwa ajili ya mama wa nyumbani.
zote zinawezekana na ni za uhalisia kabisa. unachohotaji ni UTHUBUTU PEKEE
FUNGUA CHANNEL YA KZbin KWENYE SIMU YAKO NA ULIPWE
• JINSI YA KUFUNGUA CHAN...
BISKUTI ZA BIASHARA
• Video
BIASHARA 5 ZA KUKUINGIZIA 10,000/=KILA SIKU KIRAHISI
• BIASHARA 5 ZA KUKUINGI...
MWONGOZO BIASHARA YA JUICE BONYEZA LINK HII
• MWONGOZO WA JUICE//A G...

Пікірлер: 234
@bettyshoo8574
@bettyshoo8574 Жыл бұрын
Asante dear,,tupe vigezo vya kuwa na channel ya KZbin
@lesthermulagha6687
@lesthermulagha6687 3 жыл бұрын
Asante Sana dada nimekupenda ghafla.
@lindamlaki8103
@lindamlaki8103 3 жыл бұрын
Dear moyo wako mwema unatushirikisha mambo mazuri keep it up strong lady
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 3 жыл бұрын
Asante dear,ata wewe moyo wakp ni mwema sana,kuangalia video,mpaka kucoment...asante sana
@MUSTAPHASHABAN-n1f
@MUSTAPHASHABAN-n1f 8 күн бұрын
Nimekuelewa sana dada
@AgnessKisoli
@AgnessKisoli 25 күн бұрын
Uko vzr hongera my dear
@kayy9337
@kayy9337 2 жыл бұрын
❤❤❤ Nashukuru kwa video yako imenimotivate sana, nimeanza kujifunza kufuma na kudalizi watu wananishangaa lakini mimi nina malengo ya kuanza kufanya hii kazi kwenye muda wangu wa ziada ili kupata extra cash nisitegemee mshahara tu.
@helenamusa432
@helenamusa432 3 жыл бұрын
Masha Allah dada kweli leo umeniongeza marifa ntakufatilia kila wakat Namuomba Allah akulinde uzidi kutupa elimu na mis niwe na channel yangu Insha Allah
@TatuSalim-nk8ee
@TatuSalim-nk8ee 4 ай бұрын
Naitaji mafundisho
@jackyluns8224
@jackyluns8224 3 жыл бұрын
Keki plus unajua kuinspire wanawake big up sana nazani hakuna atakae kata tamas
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 3 жыл бұрын
Wamama hatutakiwi kukata tamaa hata kidogo..
@jackyluns8224
@jackyluns8224 3 жыл бұрын
@@kekiplus1andonly kabisaa
@hamidaabdallah9686
@hamidaabdallah9686 2 жыл бұрын
Habar my dada upo vizurii mnoo ongera sana
@LennyMutabazi
@LennyMutabazi Ай бұрын
Mimi nataka kujua
@gloriamunishi2871
@gloriamunishi2871 3 жыл бұрын
Mm nataka kujua jinsi kutengeza blog
@cookwithmsoo
@cookwithmsoo 3 жыл бұрын
This new series is great sis. Women empowerment ❤️
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 3 жыл бұрын
Yez dear,women empowerment 💪
@mariashadrack9443
@mariashadrack9443 2 жыл бұрын
Ukovzur sana dada Mungu akuzidishie baraka
@halimaayoub7898
@halimaayoub7898 2 жыл бұрын
Jinsi ya kufungua you tube best
@jackyluns8224
@jackyluns8224 3 жыл бұрын
Keki plus tupee muongozo wa kufungua KZbin channel ama utupee namba ili tukufuate mmoja badala ya mwingine japo wengine si vile sio mpaka mama wa nyumbani
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 3 жыл бұрын
😂😂😂😂jamani iyo namba kila mtu atapiga dear.. Muongozo wa kuanzisha channel nitatoa dear..hahaha..ila wewe
@siakiwelu3007
@siakiwelu3007 3 жыл бұрын
Na mm naomba mwongoz wa kufungua You Tube channel plzzzz
@jackyluns8224
@jackyluns8224 3 жыл бұрын
@@kekiplus1andonly oooh mbavu zangu mie umenifanya nitafute nozzle ya 1M nimeiweza sasa tunangoja vile vi Nozzle vingine ninavyotu kama pambo sasa maana unaniinspire mpaka nimeenda tafuta nozzle japo nimeuziwa vifuko feki yanapasuka
@mariashadrack9443
@mariashadrack9443 2 жыл бұрын
Plz dada tunaombaaaaa plz
@pinoyjuicybites5955
@pinoyjuicybites5955 3 жыл бұрын
Beautiful cake design and looks delicious❤️
@safiasaleh669
@safiasaleh669 3 жыл бұрын
Ahsante Kwa kunielimisha pia unaelimisha vizuuur Sana 😘😘😘😘
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 3 жыл бұрын
Asante sana😍😘😘
@vailethkinabo7961
@vailethkinabo7961 3 жыл бұрын
Asante kpz
@stellahsanga3124
@stellahsanga3124 2 жыл бұрын
Asante kwa elimu ya biashara ..
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 3 жыл бұрын
Ni kwel kabisa nalijuwa hilo keki, mandazi na hivyo vingine Kuna mama mzanzibar alikuwa anapikaga hafukeki nilikuwa nazipendaga
@rosemarymlaki2270
@rosemarymlaki2270 3 жыл бұрын
Yes nahitaji
@annakadamanja2196
@annakadamanja2196 2 жыл бұрын
Naomba kujua ,nahitaji kujifunza zaidi
@fauziaabdullah3733
@fauziaabdullah3733 3 жыл бұрын
wauuuh MashaAllah dda naomba unielezee niaze vipi ilinijua kufungua you utube
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 3 жыл бұрын
Video ipo hapa kwenye comment,soma comment ya kwanza kabisa,lakini hata kwa description box ipo
@JoyceBernard-vp1gp
@JoyceBernard-vp1gp 5 ай бұрын
Dada asante kwa mafunzo.nataman kujua jinsi ya kufungua account you tube
@mwanaishamahmoud6719
@mwanaishamahmoud6719 3 жыл бұрын
Allah akupe kheri akuondoshee husda na akupe afya
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 3 жыл бұрын
AMIN AMIN AMIN dear.. Shukran sana,Allah akutunze pia.
@fraumazula
@fraumazula 11 ай бұрын
Mm nimefungua but hakuna views kabisa😢😢
@maggiemosses1306
@maggiemosses1306 3 жыл бұрын
Naomba mwongozo dear you tube chanel
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 3 жыл бұрын
Angalia kwny chanel video ipo
@floramkwizu6964
@floramkwizu6964 3 жыл бұрын
Nataka kufungua KZbin channel
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 3 жыл бұрын
Utafungua tu
@fatumakassim8298
@fatumakassim8298 3 жыл бұрын
Dah!!asnt dada nim3jifunza kitu ,,,,,,naanza sasa
@marywambua6445
@marywambua6445 4 ай бұрын
Nmejaribu izo cakes pka nmechoka
@alisaid3251
@alisaid3251 3 жыл бұрын
Huna roho ya uchoyo be blessed thank u. Ss you tube hua wanalipa kupitia njia gani? Na je ukichukua video vipande vipande hua una edit VP mpaka iwe moja KZbin?
@nazminrashid9124
@nazminrashid9124 2 жыл бұрын
Tanx dad umenifumbua macho sas nafunguaje account yang ya biashar
@mariethamatikila5055
@mariethamatikila5055 3 жыл бұрын
Ahsante dada...ubarikiwe
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 3 жыл бұрын
Amen,barikiwa pia
@neemaelsante3410
@neemaelsante3410 3 жыл бұрын
Big up strong woman keep it up
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 3 жыл бұрын
Ahaa nilikuwa nafananisha kumbe ndo wee nilikuonaga kwa video nyingine
@neemazacharia7076
@neemazacharia7076 3 жыл бұрын
Nifundishe jinsi yakufungua KZbin chanel
@nuratkapola3709
@nuratkapola3709 2 жыл бұрын
Asante kwa darasa zuri
@maryambakar9438
@maryambakar9438 3 жыл бұрын
Kweli umenifungua akili asante
@nyangetanyerere8291
@nyangetanyerere8291 3 жыл бұрын
Muongozo wa kufungua you tube my dr
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 3 жыл бұрын
Nitaweka dear
@neemakimaro3470
@neemakimaro3470 3 жыл бұрын
Mm pia nasubirii
@rahmasalim631
@rahmasalim631 3 жыл бұрын
mm pia nasubiriii inshaAllah
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 3 жыл бұрын
MWONGOZO WA BIASHARA YA JUICE BONYEZA LINK HII kzbin.info/www/bejne/b2e5q3-Xl7dnmq8
@mathaclement3273
@mathaclement3273 3 жыл бұрын
Thanks, Dada nahtaj kujifunza
@anjealoyce6006
@anjealoyce6006 2 жыл бұрын
Asante dada, nmependa maelezo yako, upo vizuri naomba nielekeze naweza fanyeje biashara ya mtandao plz!!
@deborathomas4704
@deborathomas4704 Жыл бұрын
Haya
@mwanakombosirleem867
@mwanakombosirleem867 3 жыл бұрын
Naomba maelekezo ya kuingia uko youtube
@mkwandasaid4063
@mkwandasaid4063 3 жыл бұрын
Jamani nimependa ida yako ,naomba muongozo wa kujiunga
@rosepaul4734
@rosepaul4734 3 жыл бұрын
Nimeipenda hiyo..
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 3 жыл бұрын
Kujiunga na nini dear?
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 3 жыл бұрын
Au unamaanisha youtube? Tengeneza account na uanze kuupload video au tumia hii uliyonayo kama ni salama...utaupload video yoyote unayotaka wewe..jiwekee malengo na utie bidii ili acount yako ikue na uanze kuingiza pesa.
@rosepaul4734
@rosepaul4734 3 жыл бұрын
Mimi natamani nijifunze kupika keki jmni ndokazi ninayoweza lakini sijui kuposti kitu chochote yutobe ..alfu itaingiza vipi hiyo pesa kwakupost video??
@YustaBayaga-jj2di
@YustaBayaga-jj2di Жыл бұрын
Asante
@halimaayoub7898
@halimaayoub7898 2 жыл бұрын
Shukran
@stellahedson3958
@stellahedson3958 3 жыл бұрын
Naomba unifundishe nakufungua blog
@17arcdec29
@17arcdec29 3 жыл бұрын
Msaada kwenye kufungua blog na jinsi ya kulipwa through that please
@mercyxbarakaakon1577
@mercyxbarakaakon1577 3 жыл бұрын
Woow
@halimatoba8957
@halimatoba8957 2 жыл бұрын
Dada sijui hata jinsi yakuanzisha nafanyaje
@mariammpangalala8423
@mariammpangalala8423 3 жыл бұрын
Naomba maelekezo namna ya kuwa na youtube channels mpendwa
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/nGjaZ3V3j7GAmKc
@kqempire734
@kqempire734 Жыл бұрын
Hellow nawezaje kulipwa KZbin???
@tamranadiya2962
@tamranadiya2962 3 жыл бұрын
Kweli kabsa
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 3 жыл бұрын
👌
@aloydahumba2920
@aloydahumba2920 Жыл бұрын
Mama Asante Kwa elimu ,lkn nauliza malipo yakuwa na channel yanakuwaje
@lindamlaki8103
@lindamlaki8103 3 жыл бұрын
Hata mimi pia nasubiri mwongozo wa youtube
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 3 жыл бұрын
Utapata dear,InshaAllah
@baudouinecikwanine4690
@baudouinecikwanine4690 3 жыл бұрын
Ubarikiwe mamy kutufungula akili.uko mutu mwenye utu kabisa. Ninakuombeya kwa Mungu akuzidishiye leo unanifungula memoire. Akili yani. Nilikuwa sijuwi ili najiuliza nifanye nini. Yani. Uzikiyetu
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 3 жыл бұрын
Amen dear,Mungu akuzidishie pia,aendelee kukufungulia mambo makubwa zaidi ya haya na akufungulie rizk🙏🙏🙏 Asante sana kwa sapoti yako
@khadijahali4837
@khadijahali4837 3 жыл бұрын
Tunasubiri ❤💜
@rehemaedward5588
@rehemaedward5588 Жыл бұрын
Nanzaje kufungua
@mwitamatonge
@mwitamatonge 7 ай бұрын
KZbin nafunguaje dadangu
@witnesssabato5457
@witnesssabato5457 3 жыл бұрын
Naomba tuelekeze hiyo utube
@MeryBamu-ze4eo
@MeryBamu-ze4eo 5 ай бұрын
nahitaji kujua namuna ya kufungua
@aminaomari8845
@aminaomari8845 3 жыл бұрын
Asante kwa ushauri Dada
@evalineemmanuel8178
@evalineemmanuel8178 Жыл бұрын
nakupend wewe madam
@stellahedson3958
@stellahedson3958 3 жыл бұрын
Utupe utaratibu wakufungua day care dear vile nakupenda
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 3 жыл бұрын
InshaAllah
@nancynkya4462
@nancynkya4462 2 жыл бұрын
Na unalipwaje na you tube
@shakilarajabu8059
@shakilarajabu8059 3 жыл бұрын
Tunasubir maelekezo ya youtube
@asiaminja2099
@asiaminja2099 Жыл бұрын
Kweli tembea uone
@INFANI-SPORT-TV
@INFANI-SPORT-TV 2 жыл бұрын
Good
@monicafredrick5440
@monicafredrick5440 3 жыл бұрын
Mm nahitaji
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 3 жыл бұрын
🥰
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 3 жыл бұрын
Aaaaaw thanks for watching my dada👑 Allah akutunze.
@safiasaleh669
@safiasaleh669 3 жыл бұрын
Habari yako , Mimi nataka nijiunge KZbin lkn sijui nianzie wapi nakuomba nifahamishe
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 3 жыл бұрын
Link ya video IPO kwenye comments bonyeza
@jackyluns8224
@jackyluns8224 3 жыл бұрын
Vile unavyotu inspire
@judithymshani4045
@judithymshani4045 3 жыл бұрын
Habari! Vigezo gani vinahitajika ili kuanzisha you-tube channel
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 3 жыл бұрын
Huitaji vigezo kuanza,kulipwa ndo kunahitaji vigezo..we anza hata leo dear..upllad tu km unavyoupload status..lol
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 3 жыл бұрын
Yaaani acha kabisa...hakuna kulala
@judithymshani4045
@judithymshani4045 3 жыл бұрын
@@kekiplus1andonly naanzia wapi maana cjui chochote
@salomenyalifa8105
@salomenyalifa8105 2 жыл бұрын
Naomba no zako
@paulnehemia8661
@paulnehemia8661 3 жыл бұрын
Nisaidie hiyo video
@paskaziaalphonce2485
@paskaziaalphonce2485 3 жыл бұрын
Minaitwa pasy natamani kufungua youtube lakini sijui naanzaje vigezo sivijui natamani nijuwe mwongozo
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 3 жыл бұрын
Video inakuja soonest dear..pole imechelewa,kuna vitu naeka sawa.
@magrethnicodemus5425
@magrethnicodemus5425 3 жыл бұрын
Kunabiashara zingine hazifai Kwenye nyumba zakupanga
@RoseKilangiro-ob4yx
@RoseKilangiro-ob4yx 6 ай бұрын
Nahitaji youtube
@meditationanddepressionfre6814
@meditationanddepressionfre6814 3 жыл бұрын
Thank you 😊
@agapejoel7822
@agapejoel7822 3 жыл бұрын
Nataka kujua mtu anaanzaje
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 3 жыл бұрын
Vyakula nilionaga vya Watoto wadogo Wa kimo chote
@user-dw6pg3il7d
@user-dw6pg3il7d Жыл бұрын
Natamani kujua jmn
@nancynkya4462
@nancynkya4462 2 жыл бұрын
Nawezaje kuanzisha channel you tube
@saumusunday363
@saumusunday363 3 жыл бұрын
Nisaidie
@marthajoseph6853
@marthajoseph6853 2 жыл бұрын
Nisaidie jinsi ya kufunga yotube chanel
@mariamusadala5460
@mariamusadala5460 3 жыл бұрын
Naomba unipe namba ili unielekeze vizuri jinsi ya kutuma picha na wanavyo nilipa
@priscaubarikiwesanakakawil900
@priscaubarikiwesanakakawil900 3 жыл бұрын
Dada naomba namba yako nimeelewa sna hongera na Mungu akujalie zaidi.
@tatujuma3936
@tatujuma3936 3 жыл бұрын
Mm nahitaji sana
@sophymaro6757
@sophymaro6757 Жыл бұрын
Dada wengine ni mama wa nyumbani na wanatamani kujishughulisha but waume zao hawako tayar je unawashaulije ili na wao wapate akiba kwajili ya kesho
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly Жыл бұрын
Fanya bajeti kali. Pesa ya matumizi unayopata,jaribu kuibana ili upate angalau kidogo kitu kila siku unajiwekea kama ni kwenye simu,au benki km unayo unaweka kwa kutumia wakala na wala kadi ya benki usikae nayo ndani kama italeta migogoro ,au sajili line ingine ,au tumia familia yako kama unawaamini.. Haba na haba hujaza kibaba
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly Жыл бұрын
Anza kumuomba mume wako pesa kila wiki au kila baada ya siku kadhaa kwajili ya kitu ambayo utakuwa unajiwekea,so ukiongeza na iyo ya matumizi unayojibana..utakuwa na akiba yako nzuri tu.
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly Жыл бұрын
Anzisha bustani ya mboga mboga na hoho na nyanya nyumbani kwako,carrot,panda hata kwenye makopo.. na kila siku pesa ya ivo vitu utakuwa unajilipa wewe sababu ww ndo muuzaji.
@luganogodfrey7949
@luganogodfrey7949 3 жыл бұрын
Nitafunguaje KZbin akaunt
@secheanderson9829
@secheanderson9829 3 жыл бұрын
Dear naomba nielekeze namna ya kuandika machapisho kwenye mtandao.
@salomekibinga6080
@salomekibinga6080 3 жыл бұрын
Naomba kufahamu namna ya kulipwa na u tube
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 3 жыл бұрын
Link ipo kwenye comments,ibonyeze
@franciswekesa6168
@franciswekesa6168 2 жыл бұрын
Nifundishe jinsi yakufungua You Tube chanel please my sister
@sarahiddi2390
@sarahiddi2390 3 жыл бұрын
Nasubilia muongozo wa kufungua
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 3 жыл бұрын
Utapata dear...InshaAllah
@ukhtysuuvlog470
@ukhtysuuvlog470 3 жыл бұрын
Mie nataka kuanzisha Chanel KZbin ila cwez naanzaje nielekez
@mamiyama5817
@mamiyama5817 3 жыл бұрын
Nmekukubali dada
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 3 жыл бұрын
Alhamdullillah, asante sana
@mariashadrack9443
@mariashadrack9443 2 жыл бұрын
Dada naomba unifundishe namna ya kufanya ili niweze kulipwa
@mariachazy6413
@mariachazy6413 2 жыл бұрын
Nataka kujua jins ya kulipwa tuelezee plz
@Mamy_mai
@Mamy_mai Жыл бұрын
Nisaidie nipate hii biashala ya 13 wakala wa bidhaa za achakula na nk
@shadyaismail4615
@shadyaismail4615 3 жыл бұрын
Nataka kufungua KZbin yng nafanyaje
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 3 жыл бұрын
Nitakujulisha wewe na wengine wote dear
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 3 жыл бұрын
Nitakujulisha wewe na wengine wote dear
@anithajoseph2751
@anithajoseph2751 3 жыл бұрын
Njinsi ya kufungua you tube, unatumia njia gani?
@carollugora5543
@carollugora5543 3 жыл бұрын
assist
@pastorglorygod4497
@pastorglorygod4497 3 жыл бұрын
Nataka
@simonmseng3489
@simonmseng3489 3 жыл бұрын
Tunalipwaje
@marthajoseph6853
@marthajoseph6853 2 жыл бұрын
nataka kufanya biashara mtandaoni,naanzaje dear
@Cathyfrey93
@Cathyfrey93 3 жыл бұрын
Natamani kujua zaidi
@joycepeterwilliam2143
@joycepeterwilliam2143 Жыл бұрын
Naomba namba yako dada nipate mwongozo
1ОШБ Да Вінчі навчання
00:14
AIRSOFT BALAN
Рет қаралды 6 МЛН
GTA 5 vs GTA San Andreas Doctors🥼🚑
00:57
Xzit Thamer
Рет қаралды 28 МЛН
MKATE MTAMU WA MAZIWA KWENYE JIKO LA GESI
8:28
keki plus
Рет қаралды 1,3 МЛН
How To Make Make The Authentic Ghana Agushi Stew Egusi Stew
6:41
Sweet Adjeley
Рет қаралды 7 М.
SNAKE BOY | ep 36 | SEASON TWO
31:41
CLAM VEVO
Рет қаралды 162 М.
Jinsi Ya Kutengeneza Icecream Lita 20 Rahisi Sana
7:22
Mziwanda Bakers
Рет қаралды 691 М.
NJIA MPYA KABISA YA KUPIKA KEKI KWENYE JIKO LA GESI
9:09
keki plus
Рет қаралды 1,3 МЛН
MWONGOZO WA JUICE//A GUIDE TO A SUCCESSFUL JUICE BUSSINESS
14:23
1ОШБ Да Вінчі навчання
00:14
AIRSOFT BALAN
Рет қаралды 6 МЛН