Mama anapoint huyu , anafaa kuwa mjumbe au mwenyekiti maana anakumbukumbu nzur , yaan nimempenda wallah, wanawake woyeeee, yaani mwanamke yupo smart hongera sana dada
@arafatharoub31344 жыл бұрын
Like nigongee km unaungan na mimi kua huy mama ni super woman
@ramadhanisuru18224 жыл бұрын
Huyu mama kaleta hoja nzuri sana kwenye hiki kikao ally hapi mungu yupamoja nawe
@salumkarim694 жыл бұрын
At zenjibar ...napenda sana vikao vya huyu kiongoz kiukwel ALLAH ampe maisha yenye manufaa hapa dunian na kesho akhera yanikumbusha maisha ya mtume muhammad swalla llahu alayhi wassalam ...hivi ndivo anavotakiwa kuwa kiongozi juu ya anaowaongoza wajazaakumu llahu khaira.
@marthadachi67314 жыл бұрын
Mama ana akili sana kajieleza point za maana na alijiandaaa vizur safiiii.Mama katisha sana wanawake oyeeeeeeee super women✌😂😂💞💞💞
@elifansiakwesso61044 жыл бұрын
Rc happy hongera sana kazi nzuri sana, mm huwa sichoki vipindi vyako kabisa.
@zeddybass66724 жыл бұрын
Huyu hakufanikiwa kuendelea na shule .Ila Yuko vizuri sana
@noonelike63824 жыл бұрын
Wabunge wetu akina Fulani wangekuwa Wana fanya program Kama hzi walahi majimbo yangekuwa yana noga.... Dizaini natamani Hawa waakuu wa mikoa na baadhi ya wakuu wa wilaya wangekuwa na majukum ya ubunge pia ingekuwa smart Sana...🙌🙌🙌🙌🙌
@vero574 жыл бұрын
MAMA LAO , KWAKELI, HUYU MAMA AWE MBUNGE JAMANI
@hadijalukasmdeg99874 жыл бұрын
😁😁😁😁🤣🤣🤣🤣😭😭😭😭😭
@nurudovino2884 жыл бұрын
Hawezi kupewa kwakuwa hajulikani 🙄
@hadijalukasmdeg99874 жыл бұрын
@@nurudovino288 hivi watu wanafikili kuwa ubunge vigezo vyake ni vichekesho mitandaoni, kaongea point sana ila hawezi kupewa wazifa wowote rabda ujumbe wa mtaani kwao, hiyo ni rahisi kupewa
@mwasoprince34594 жыл бұрын
Yaani 2020 achukue form agombee ubunge na atapita huyo, yaani point juu ya point anaongea. Alafu vigezo , anajua kusoma na kuandika Imani ya la saba kafika , ko sifa anayo ya ubunge
@godlovemrosso59734 жыл бұрын
RC Hapi huwa nakuelewa sana bro Nakuona kuwa kiongozi mkubwa wa siku za baadae
@mercykitundu99864 жыл бұрын
Mama kaongea vzr sana tena kwa kujiamin 🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝
@hadijamasanja40684 жыл бұрын
Hongera mkuu wa mkoa.Napenda unavyofanya kazi na hata vile hautumii hasira katika kuongea na hiyo imewafanya watu kuwa wawazi zaidi kwako kwa sababu unazungumza nao kama rafiki.
@gabrielisack77864 жыл бұрын
Mama ameongea point sana tena sana.
@comrademlewaisavile3364 жыл бұрын
Overconfidence
@robertmbisse84854 жыл бұрын
Wamama oyeeee safi.. mfano wa kuigwa umesema yaliyo faida ya Kijiji kizima.... sio kwa masilay yake peke yake
@likwetasharadi79244 жыл бұрын
Sahihi
@josephmakau73224 жыл бұрын
Huyoo mama kichwa anajua sanaa kutoka taarifaa na,anongea point
@glorysimon7754 жыл бұрын
Huyu mama akiwa diwani atawasaidia sana
@estheradriel98294 жыл бұрын
Kabisa yani😂😂😂
@missmoona44973 жыл бұрын
True
@ashritaabdallah64744 жыл бұрын
Mpeni uongozi uyo mama japo udiwani atawasaidia hapo kijijini kwenu
@samiramadenge9534 жыл бұрын
Ni kweli kabisa
@mwasoprince34594 жыл бұрын
Yaani kweli kbxaaa
@saidaljufaili9154 жыл бұрын
Sawa kabisa oni lako
@aboubacarkillo51404 жыл бұрын
Mh ww ni master,uko very friendly na wananchi wako I like that,big up keep your head
Mama katuzidi mpaka wanafunzi wa udsm tumekalia kubet tu kujieleza atujui mbel ya viongozi
@samiramadenge9534 жыл бұрын
🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝
@emmanuelmhamed30434 жыл бұрын
mam katisha sna so kidg kaeleza kelo za jamiii kiujumla
@ndhindilomachibya55144 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂
@radhiaoman24544 жыл бұрын
Mama kero zote ulizotoa zina uzito big up Sana ukipata mama kama hawa 10 mambo yanakuwa mstari
@sulaimanafrican81344 жыл бұрын
Anachangamoto .mama anafaa kiongozi wa kijiji
@aisharamadhan52574 жыл бұрын
Mama oyeeeee nimempenda sana anajiamini
@samiramadenge9534 жыл бұрын
🤝🤝🤝🤝🤝🤝
@fatemaligalawa41514 жыл бұрын
Wanawake wakihehe uwa kwenye kuongea wako vizuri
@samiramadenge9534 жыл бұрын
@@fatemaligalawa4151 🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝
@najmaomari81274 жыл бұрын
Oyeeeeeeeee
@edsonmganyiz95204 жыл бұрын
Sana
@bimaisarankamia41534 жыл бұрын
Milady.kila mkutano wa ally jmn tuuone napenda anavyosikiliza shida za watu walla viongozi wote wangekuwa hivi nchi yetu ingefika mbali walllh mungu akulinde na husda za watu
@samiramadenge9534 жыл бұрын
Amin 🤝🤝🤝🤝🤝
@rowdyrondarouseyfire94764 жыл бұрын
Hakuna kama MAMA...hyu ni mtetezi anasifa ya kua Kiongozi.
@samweliandrea78023 жыл бұрын
Daaa mama yuko vzr sana mungu akusaidie uwe na ujasiri huohuo
@fatmapanaguiton97834 жыл бұрын
Wanawake tunaweza mama huyu shujaa ameongea bila woga
@ismailmajala28024 жыл бұрын
Mama Hongera Sana 🙏
@dazuujuma12114 жыл бұрын
MAMA LAO SUPER WOMAN WA NGUVU NIMEKUPENDA BURE
@mwasoprince34594 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😀 Iringa oyeeeee! Nafurahi TU mm
@neyjoseph8134 жыл бұрын
😂😂😂😂nimekupenda sana wewe mama
@nzeyimanamwavita19044 жыл бұрын
😂😂😂😂😂 👌👌👌
@mwanajumaomahundumla65044 жыл бұрын
Kamwene dada umenena kwa faida ya wote
@mahamedabdi18814 жыл бұрын
🤣 🤣 🤣 🤣
@agustinopaul74884 жыл бұрын
😂😂😂😂
@emmanuelmhamed30434 жыл бұрын
God sna mama amejieleza vzr mbk mkuu amesikiliza kwa makini
@neemakaluwa20894 жыл бұрын
Yaan nahis kwanza kapata ulanz ndo kamwendea mkuu wa mkoa
@neemakirenga52984 жыл бұрын
Kweli furaha Kama jina lako,Mungu akubariki kwa kazi nzurii
@dicksonsanga46964 жыл бұрын
Yes yes mamy
@pendobaharia69224 жыл бұрын
Watu wa iringa bhna 😂😂😂
@florenciakapanda99424 жыл бұрын
Kamweneeeeeee moja nzitoo✊🏾✊🏾✊🏾✊🏾tunataka vtu vnoge be😅
@bulugubujashi63784 жыл бұрын
Safi sana mhandisi unajuwa kujieleza na unaijuwa kazi yako
@ezramassawe6394 жыл бұрын
Mkuu wa mkoa uko vema zaidi kwa kutetea haki za watu mungu akutunze
@jabiraxmed78984 жыл бұрын
Ally hapi the next president of Tanzania
@kadogoomushadi54094 жыл бұрын
Hongera dada sahihi kabisaa ulioyasemaa
@esterelias81894 жыл бұрын
Bado sijamaliza yatatu ngoja niangalie kikaratas
@khamisrashidy10794 жыл бұрын
Aty kimalaika kinapata shida
@yohanamoleli96833 жыл бұрын
Wilaya ya hai tungempata mkuu Wa mkoa kama huyu maendeleo yangeonekana namkubali sana RC hapi
@errydeo88654 жыл бұрын
impressive..mama gombea udiwani...
@norahnkanabo52834 жыл бұрын
Huyu Ally Hapi anaongea kirafiki na wananchi wake hadi raha sio wengine maswali hawataki, hoja hawataki wanakuja kuamlisha tu wananchi na kuondoka, lakn huyu nimempenda anaelekezana vizuri na kuwaelewa wanachi wake
@hadijahmwajombe95884 жыл бұрын
😁😁😁😀😀😁😁😀😀😁😁😁😀😁mama umeongea poindi
@hadijaateya76234 жыл бұрын
Point
@omreuzex71094 жыл бұрын
Be huyu sio mama ni Bindi 😀😀
@dickensimlwafu31064 жыл бұрын
@@omreuzex7109 😂😂😂😂😂
@aloycemasele72364 жыл бұрын
@@omreuzex7109 😀😀😀😀 bindi au poindi?
@amanijolam41404 жыл бұрын
hahahah mwaka huu tutaona mengi mama alijipanga,alipigilia hadi skuna hatari
@shamimlugoya7564 жыл бұрын
😂😂😂huyu mama bila shaka atakua mana muinjilisti
@mbotwambotwa21862 жыл бұрын
Mama uko vizuri sana mzazi
@elizabethsalaho23444 жыл бұрын
uwiiii mama oyeeeee😂😂😂😂😂
@aminakasim11982 жыл бұрын
Angalia wa babaa walivyo nyamazaa hahahahaaa
@herimallya33854 жыл бұрын
Kioongozi wa mfano..Hongera Ndgu Hapi
@hadijalukasmdeg99874 жыл бұрын
yani nimecheka na kulia kwa sauti wamama oyeeeeeee🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿
Umoja wa Uraya tena? sindio hao Mabeberu hao uraya
@thomaslaurent19363 жыл бұрын
Safi mama we unafaa kutusemea sisi watanzania
@mwasoprince34594 жыл бұрын
Huyu mama tumpe utetezi wa wanawake taifa , Hana aibu ya kusema
@komumbughuni83012 жыл бұрын
Hii kampeni ya nn, he is no more a RC, that's the facts, asubiri kama wengine
@agustinolugusi96714 жыл бұрын
hongera mkuu wa mkoa...
@berthamakortha83872 жыл бұрын
Mnawachagua. WANAOKAAA OFISINI TU NA KUVAA SUTI KYNYWA CHAI. KAZIII HATUZIONI BWANA. WAAMBIE WAFANYE KAZIIIII TUWAONE. SIO UREMBOOO WA OFISI NO TUNATAKA MAENDELEO YA NCHI YETU
@japhetisraelsmafie9974 жыл бұрын
Mimi nimeona mahindi mazuri sanaaaaaa
@raphaelmrisho15204 жыл бұрын
Wanahitajika watu majasiri na wenye uelewa na mambo kama huyu mama
Kaka Alli sasa unakazi huyu mama wananchi mpeni udiwani
@musokedios81623 жыл бұрын
Watu kama hawa hawapewi uongozi badala yake anapewa mwenye pesa anayetoa rushwa
@stephenwakunyala40043 жыл бұрын
Safi mama
@lucyommy22564 жыл бұрын
Nani hajacheka kwenye anatikisa ad kimalaika
@peterchristopher52164 жыл бұрын
Meneja wa barabara kaeleza vizuri sana, ya kitaalamu na siyo ya kukurupuka tu
@benedictashirima91134 жыл бұрын
Asante Mama 🙏🙏🙏🏼
@mariamjackobo62194 жыл бұрын
safi mama mwanamke umejiamini
@nuruchikoe19593 жыл бұрын
Super woman
@hermanmkobalo37554 жыл бұрын
Shkamooo mamaaa
@mwaramimwarami14792 жыл бұрын
Anajua kuhoji na kuuliza maswali
@lucyommy22564 жыл бұрын
Mama oyeeeeeee nimekupenda
@marymabubakar16464 жыл бұрын
Kamwenee,mama,jasiri
@fardoshnassor78473 жыл бұрын
👍🏽
@sekelajohn53384 жыл бұрын
Jamani wengine igeni tuna kero sana wananchi huu mfumo ni mzuri
@raheemamkambha60134 жыл бұрын
Mama kaongea vyema
@olivamnyawami82944 жыл бұрын
Woooow ibumu yetu
@mtakamaonline77484 жыл бұрын
Offer offer nunua au kopa solar ya watt 40,80,120,200 ikiwa pamoja na TV inch 21-43 na taa zake tukuletee hadi nyumbani pamoja na ufungaji ni bureeeeeeh wahi sasa offer hii ipo jirani kuisha.piga simu 0764325083/0654362426.
@mwasoprince34594 жыл бұрын
😀😀😀😀😀kamwene
@hawakiza60674 жыл бұрын
Huyu mama agombee ubunge unamfaa sana
@LucyDeus-yg4pm7 ай бұрын
Mama apewe mauwa yake
@naamohamed99644 жыл бұрын
Safi sana mama
@teddymwageni17634 жыл бұрын
Mnamuachaje kwenye uongozi?
@maxesh51354 жыл бұрын
Pesaa mnazonunulia wapinzan si mungenunua hata hizo ambulance