Mapenzi ya mama ni makubwa mnooo! Mama Mungu akupe uhai mrefu na akubariki uzee wako uwe na furaha! Nakuelewa sana!😭
@manasadunia34583 жыл бұрын
Wanamuonea donge bibi anawatoto wa kizungu bibi masha Allah unawatoto wazuri
@سعيدهعلي-ف5ك3 жыл бұрын
Umeona ee
@manasadunia34583 жыл бұрын
@@سعيدهعلي-ف5ك yah
@سعيدهعلي-ف5ك3 жыл бұрын
@@manasadunia3458 masha llah ana watoto wazuri
@lidyahaule53433 жыл бұрын
Amina
@manasadunia34583 жыл бұрын
@@سعيدهعلي-ف5ك Masha allah
@calvinloveambroce8423 жыл бұрын
Watanzania tuna shida kubwa sana ,,tunaacha kupambana na serikali inatuongezea makodi kila siku tunaanza kufuatilia maisha ya watu
@alinassor69562 жыл бұрын
Kwahakika ounayo yasema niukweli binadamu hafikiri yale yanayo mpasa afadhali washuhulikie nakazi zitakazo wasaidia maesha hata kazi ya mama nitile nikazi badala ya kukaa namawazo yakishetwani
@marthakibona11 ай бұрын
Kwelikabisa
@Ibuhkadugulu10 ай бұрын
Hahaha kukuta ww
@hamadiselemani11103 жыл бұрын
Pole Bibi sisi tulioachwa Na baba zetu wa nchi za nnje tunaishi Kwa shidaaa sana Kwa kukosa malezi ya baba,mungu atulinde tu Ameen,
@reginasawe33563 жыл бұрын
😔😔pole
@walaaabdallah32363 жыл бұрын
Pole sana bibi kwa changamoto na mitihani ya maisha 😭 Masikini ya mungu mpaka unaitwa mchawi, bora ahame iloeneo awezi kukaa kwa Amani
Bei I Think It Is aa and construction of a good aa
@wegorokibajiro90983 жыл бұрын
Pole bibi Mungu akusimamie na wananchi kabla ya kujaji ulizeni kwanza
@hassansaid26143 жыл бұрын
Wadau wenye uwezo msaidieni hyu mama na vijana wake, Mungu atawalipa Insha'Allah
@amosbigirimana54699 ай бұрын
Tunaliliya kuishi myaka mingi ayo ndiyo matokeyo yakuishi myaka mingi.ukiwa mzee utakutana na mithani mingi saana.mungu atupe mwisho mwema
@ramadhanimbwana17633 жыл бұрын
Mungu shahidi hii kitu kimeniuma huyu bibi namjua alishawahi kuishi kigamboni. Hana hatia. Mungu tusamehe ila sisi binadamu Daaahhh. Sema imeniuma sana sana tuuu
@İsrafilTuncer11 ай бұрын
Pore mama yangu kwamajukum yakiduniya yatapita mngu yupo pamoja na wewe atapona mwanao wanao sema nimusukure nawao siwao hawarijuwi waritedaro 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@zulfahamissi47253 жыл бұрын
Ila tusilaumu sana yy kuitwa mchawi pengine mungu alipanga iwe hivi ili aweze kupata msaada
@junaidybwanamkuu31753 жыл бұрын
Ni kweli Allah ndo mjuzi wa kilajambo na allh ndo mpangaji wa ridhiki atajua skupe vp ridhiki
@patrickherman19063 жыл бұрын
kweli kila jambo lina sababu ila nimeumia sana
@elinorahmwadime14543 жыл бұрын
Mipango ya Mungu soo Kama ya wanadamu
@choggyslyymrisho59313 жыл бұрын
ni kweli
@sharfahamiss81723 жыл бұрын
Bibi yuko vizur aachwe huru
@nusuranusura46883 жыл бұрын
Maashaallah , mama alipata wazungu wake mwenyewe. Kazaa wanae wazuri. Ila.mtihani ummkuta, kijana ana stress anamtaka baba yake
@michaelthobias99673 жыл бұрын
Awatafute mtt akitaka baba mpeleke
@leamajaliwa30763 жыл бұрын
Subhanaallah binadamu tunamambo iko siku nasisi umri ukisogea tutaitwa wachawi
@momatv20193 жыл бұрын
Ni kweli wajina
@aaa64sa133 жыл бұрын
Shida hino ipo huku bongo tuuu. Mithiani wallahi
@lidyahaule53433 жыл бұрын
Kabisa
@annastaziamichael63443 жыл бұрын
Yaan mpaka nimetoa machozi binadamu jamani kaah
@fridageorge28093 жыл бұрын
Yaani Mungu atusaidie wamama na watoto wetu!
@dottohamisi98443 жыл бұрын
SubhanAllh jamani watu tusipende kuongea vitu ambavyo hauna uhakika navyo sio vizuli kabisa yani pole sana bibi kwa changamoto unazo pitia
@aguerowakujidai65093 жыл бұрын
Dotto mambo
@winifridarichard10803 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/pHXVmpakZ9yhntU
@aminaibrahim41483 жыл бұрын
Subhhana Allah jamani tuacheni kuzua hiyo sio vizur masikini bibi bora uhame 😢😢
@goodhelpnolland67923 жыл бұрын
Pole sana Bibi watanzania tuache mihemko Jambo hamlijui kiundani mnakurupuka acheni Imani za kichawi fanyeni kazi
@mercypeter1623 жыл бұрын
Pole sana mama walimwengu wanapenda kuhukumu polee. Wasamehe hawajui walitendalo. MUNGU akufanyie wepesi na Mzungu wetu apone
@safariautoservice70323 жыл бұрын
Bibi usikate tamaa. Mungu yupo nanyi. Nasi tupo ili tusaidiane. MUNGU akinijalia mimi nitakuja kuwaona. Tutaongea mawili matatu. Na Baba Mtoto kama bado yupo mimi nakuwahidi. Nitamutafuta najuwa shida ya kutokuwa na Baba.
@leonjuly82423 жыл бұрын
Damn,story kama hii najiweka mwenyewe af nawaza nipate shida haki mamaangu hawez niacha kabisa.!Pole mama nimekuelewa vzur sana
@paschalntambiwe31202 жыл бұрын
Nisawa
@silyvya24083 жыл бұрын
Pole Bibi Mungu akupe nguvu pamoja na yote wewe NI mpambanaji
@davidmwombeki56333 жыл бұрын
Jamani mm mama huyo namjua sana siyo mchawi kabisa namjua alishi kigboni maeneo ya Tungi na huyo Dadaye mwenye Asili ya kizungu namjuwa ni Watu wema sana sana
@loveelooh19643 жыл бұрын
Huyo mzungu kabisa Hana mixed muangalie vizuri
@ameniameni6173 жыл бұрын
Waswahili kazi Yao kubwa uongo ndio tatizo tunakufa masikini kisa kufatilia maisha ya watu pasipo kujua chanzo cha matatizo aliweza kumlea tangu Mdogo akumuua pole mama nimapito Mungu atakusaidia
@circus25783 жыл бұрын
May Allah give you strength and longlife too,he's there for you he will protect your family Mama,Good luck Inshallah 🌹🤲♥️❤️♥️
@Miriam760ful3 жыл бұрын
Pole mama pole mama yangu..umeniliza ....mwenyeezi Mungu akusaidia ...nawapenda sana
@christopherkanyalakc89413 жыл бұрын
Mama bora God bless you 🙏
@rajabadriano97413 жыл бұрын
Daah polen xana wanafamilia yote ni chngmoto za maisha tuu pole Bibi mwnyezi mungu anajua nn lakkulipa
@hajikishuwa10783 жыл бұрын
Toto baya zuri kwa mama ye muheshimu sana mama ungali yupo hai 🙏
@bornifacecharles95553 жыл бұрын
Kweli jamaa hakika
@dainesszuber74049 ай бұрын
Pole sana mama hata mimi nikizeeka nitaambiwa mchawi kizazi cha sasahivi ukizeeka sana unaambiwa mchawi pole sana mama angu
@andulilemwakihabha20483 жыл бұрын
Mungu akubariki Bibi 🙏🏾
@RehemaMlila-yt8hd9 ай бұрын
Mwenyezi mungu amjaaliye na amjalie pia apate wajukuu wa kizungu insha allah
@ghatititus71363 жыл бұрын
Yaani wabongo wakiamka asubuhi badala awaze atapataje riziki anawaza wapi apate tukio asambaze umbea,ee Mungu tufundishe kunyamaza hasa kwa yasiyotuhusu.
@majidabas38433 жыл бұрын
MAJITU YA DAR ES SALAAM MAPUMBAVU PUMBAVU MALIMBUKENI HAYAFANYI KAZI UNAFIKI TUU HAYANA LOLOTE UONGO UONGO TUUUU. BIBI HUYO NI MPAMBANAJI(MTAFUTAJI) INSHALLAH ALLAH ATAMSAIDIA MAZUSHI ZUSHI
@kekiplus1andonly3 жыл бұрын
Duh bibi ana zali eeeeh,anipe namba ya mganga wake,watoto sita wa kizungu na kila mmoja na baba ake🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@masalakulwa76013 жыл бұрын
Bibi alidangaaa
@laurarose15213 жыл бұрын
Huyu bbi...nyakati zake alikua wa moto sana
@upendolema98093 жыл бұрын
Sasa zali wakati wote walimtelekeza???🤣🤣🤣
@yeyothegreat82773 жыл бұрын
Hahahahahahah
@aminasaidi70963 жыл бұрын
Keki plus umenifurahisha😁😁😁
@AdethaAdroph9 ай бұрын
Pole bibi mungu akupe maisha malef akuepushe na maneno wanadm
Majitu ambayo hayana kazi ndo kazi yao kuzushia watu uongo. Pole sana bibi
@alexandrinadomaino98683 жыл бұрын
Pole sana mama Mungu akufanyie wepesi
@annamapunda4313 жыл бұрын
Watanzania tunapenda umbea kuliko chakula hii yote ni kutokuwa na kazi na maisha magumu tunazushazusha tu
@abdirizakhtuke28823 жыл бұрын
Wabongo wana imani chafu, jamii ya kishenzi sana. Uchawi ndio mnawaza tu.
@hamidbhos82973 жыл бұрын
Omba yasikukute tu
@akibahshabani95893 жыл бұрын
Kabisaaa
@rehemahayongo41593 жыл бұрын
Ndio mana watazidi kua maskini
@jeniffermageto89523 жыл бұрын
Kudhiirisha ujinga ambao unaleta umaskini,,watu waende kazi
@joventmushwaimi36813 жыл бұрын
Ni akili ya mtu maskini ndo inawaza hivi
@julithamlay45583 жыл бұрын
Hongera Sana mama yangu. Endelea kumuomba Mungu atakusaidia
@sharinv88643 жыл бұрын
Huyu mama anaitaji kusaidiwa kwakweli bona binadamu tuko hivi bona wanamtia huyu mama aibu tu mungu anawaona.
@nyamwinukankwera37493 жыл бұрын
Mungu ni mwema wasamehe bule bibi Mungu atakulipia
@joycechunga4003 жыл бұрын
Muda mwingine mama zetu wanaaivishwa lengo tu kututetea sisi watoto,weka namba zako za simu tukuchangie wengine tumeguswa na haya yaliyo kukuta mama
@sarahmwaluko24803 жыл бұрын
Pole sana Mama yangu jamani Mungu azidi kukupigania Ubarikiwe sana nimejisikia uchungu sana
@zumbeshauri81143 жыл бұрын
Watanzania tunapenda sana kuzuliana mambo yahovyo
@alexandrinadomaino98683 жыл бұрын
My dear sema baadhi ya Watanzania hawana akili timamu.
@happynesbaemuhappynes88133 жыл бұрын
Walivyojazana na Corona hii
@turibamweali86613 жыл бұрын
Muzungu=muskule? Ni mtu kama wengine kama ni mzungu na wenu anaweza kuwa mugonjwa
@rechorichard61403 жыл бұрын
Kwelii kabisaa
@nyamwinukankwera37493 жыл бұрын
Yani Watanzania Mungu atukumbuke tumezidi kwa unafiki
@yusuphswai68513 жыл бұрын
Umasikin mbaya sana kila tatizo utapewa wew Ila niumasikini tu bibi pole sana mungu atakusaidia
@personcriticalthinking71623 жыл бұрын
Acheni umang'aa aki mtto wake. Angalieni mama mwenye mnamuuliza maswali jameni.
@reginaphillipo87587 ай бұрын
Mungu anapima imani ya binadam kumshusha ili ampandishe juu ubarikiwe sana bibi
@ashuramhando52853 жыл бұрын
Watamuharibia hata biashara watu waogope kula unga wake wa muhogo acheni wivu wabongo ndo maana mnachelewa kupata maendeleo 😭😭😭😭😭😭
@kangaieddie57972 жыл бұрын
The sister is right mama aende ubalozini watafte baba huyu kijana kasongwa na mawazo maisha ya Africa ukiwa mzungu ni ngumu mno
@younginspired38993 жыл бұрын
Omg, kama huyu bibi anayosema nikweli watu wamuombe huyo bibi msamaha haraka sana 😭
@polytarimo3243 жыл бұрын
Kweli mimi mwenyewe imeniuma
@shekhamohammed4163 жыл бұрын
Yeah maskini
@marianamontoedi23333 жыл бұрын
Nani kama mama
@mapenzikatana99903 жыл бұрын
Kweli kabisa
@okelloowino75773 жыл бұрын
Sana na ikiwezekana bibi akashtaki kwa kuzalilishwa ila sishangai manake ukimjuwa mchawi lazima unawanga nea this was so bad I wish ningekuwepo hapo karibu nimfinze huyu bibi hatua yakuchuwa kwa uzalilishaji huuu manake yangekuwa mengine kama srkali haingeingilia meneno hiii
@furahinidaudi78513 жыл бұрын
Pole Mama Mungu akufariji...
@drrelaxation69113 жыл бұрын
Mzungu alichukua rafiki wa bibi akasepa. Hao wote wanae. Na si mzee kihivyo. Ni maisha tu jamani.
@aishayahya18569 ай бұрын
Wabongo hatari
@eliaminishembazi68043 жыл бұрын
Daaah pole.sana bibi yangu MUNGU akulinde sana.hao wanao sema wewe mchawi wanaimani za kishilikina
@eliaminishembazi68043 жыл бұрын
Lutindi napafahau hospital ya vichaa ipo Tanga
@ukhutfatumah11543 жыл бұрын
Wabongo nimewavulia kofia wallah 🙌🙌
@vummymlay67653 жыл бұрын
Nyie mliokusanyika acheni udaku,mwacheni bibi wa watu apambane na maisha yake,kweli MUNGU atawahukumu kwa kumuonea huyo Bibi.bibi poleni Sana.
@mottomajidshipande82373 жыл бұрын
Pole bib!wananch tuache kutuhumu Mambo pasipo ku chunguza
@lulujumanne76233 жыл бұрын
Mm jamani msukule gani msafi hiv
@genovevakilawe30183 жыл бұрын
Hongera bibi Mungu akupe neema zaidi uweze kumtunza
@johnmalembo64643 жыл бұрын
Wa Mama mko wapi... Hongera kwa upendo wenu kwetu sisi Watoto... Bibi huyo Ni kielelezo... Vile vikindi vya umoja wa Amina mama, vya kijamii, kidini, n.k. Jitokezeni Sasa Ni wakati wa kumshika Bibi Mkono na mwanae kumfikishia baraka za Mwenyezi Mungu na kumsaidia kumpata baba wa mtoto... Sheria itungwa kwa wageni wanaowapa mama zetu mimba na kukwepa majukumu ya Jules Watoto... Kwa Sasa wimbi la Watoto wa kichina na wazungu waliotelekezwa Ni kubwa Sana... Eee Mwenyezi Mungu tubariki na kutuokoa Watoto wa Tz
@annastaziakingu-i6d4 ай бұрын
Bibi usikate tamaa mungu akutie nguvu tafadhali usichoke mpeleke Kwa mwamposa
@boniphacelusatoАй бұрын
Pole Mama. Mungu akusaidie
@Adeen.13 жыл бұрын
Daaaah masikini mshikaji handsome kabisa
@Maggie-yx8pw3 жыл бұрын
Yaani watanzania sisi kwa kupenda kuhukumu Uwiiii Bibi wa Watu hata angeuwawa bila hatia Jamani yaani nackiliza Mpaka nalia . Pole Mama yangu wewe kwa changamoto hizi. Za Maisha. Mwenyezi Mungu afanye wepesi uweze msaidia Mtoto wako.
@manuelarene26453 жыл бұрын
Aki watu wadaku 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 sasa hapo kukirushwa boom 💣💥... Pole bibi kwa majukumu 🙏🏾
@winifridakasibu29003 жыл бұрын
Ivi watu mkoje mnakosa kazi?
@doricelihumbo46963 жыл бұрын
Nimekosa uwezo wa Ela tu ningempa bbi jmn anajua kupambana Sana💪💪💪💪
@ashankusa15143 жыл бұрын
Dah mpaka tumbo limeniuma uyo sasa ndio mama mwenye uchungu na mwanae anatamani Angekua na uwezo angemlinda zaidi
@abramo083 жыл бұрын
Asante mchaga og kwakuwa karibu na jamii.
@alykhan90543 жыл бұрын
Kizzo all the way from Moro bibiii Hana shidaaa huyoooo kashasema mwanaeee
@winifridarichard10803 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/pHXVmpakZ9yhntU.
@dottocharles16363 жыл бұрын
Kabisa lazima mama amlinde mwanae .uchungu wa means aujuae mzazi
@AMI-ip1lx3 жыл бұрын
Tz Mnaamini Ushirikina Nyie Mpaka Mnakera Akheeeeeeeeh Kuwa na Imani Chafu Chafu
@aaa64sa133 жыл бұрын
Watanzani wakti mwengine tuna fanya mambo ya ajabu sana. Sasa Bibi maskini shida yake ipo wapi. Tuwache kumzulia mtu kabla ya Uhakika. Bibi nakuombea Allah atakusaidia InshaAllah. 🙏
@selector7283 жыл бұрын
🚮🚮
@beatricemboya57713 жыл бұрын
Mungu amtie nguvu, watu hata awakumbuki korona a
@shafimuhsin76853 жыл бұрын
Kama wanakusingizia Allah atakulipia bibi wala ucjali👏
@tullachaula15703 жыл бұрын
Best mom ever
@anyimikisyekibona67293 жыл бұрын
Dhambi Yao imetangulia mbele Yao,tulia TU bibi
@upendosalimu20503 жыл бұрын
Jaman😭😭😭mama ni mama tuu maskini ya Mungu huyu bibi Mungu ampe.maisha marefu enyi mliomzushia mtalaaniwa
@renildevenerand94733 жыл бұрын
Usihofu bibi inawezekana Mungu ametaka watu wakujue upate msada wa mtoto wako.
@glorymutalemwa2963 жыл бұрын
Kweli
@bahatisunga16423 жыл бұрын
Kweli kabisa
@upendoluv71973 жыл бұрын
Kabisa
@nipolive..27453 жыл бұрын
Pole sana mama masikini hana anacho milliki. Hata mwehu nae wanata wakupokonye
@jameskayanda17023 жыл бұрын
Daah mungu nisamehe, nishamuhisi huyu Bibi, mambo mabaya, napole Bibi yangu mungu atakusaidia, usichoke kwenda kwenye maombi
@kizitomichael61983 жыл бұрын
Mungu ni jibu Bibi Mungu atakuwa pamoja nanyi piga moyo konde nakuombea
@victoriasfamilytalkandcoun60163 жыл бұрын
This is shocking! Some people's mindsets are messed up! No empathy! What has gone wrong with today's society? This is wicked!this mother is trying big time she's old and worn out and she needs support but too bad the same people who should be helping out are the ones crucifying her. Shame on the society !
@elliottrahema3 жыл бұрын
Pole sana mama mwenyezi mungu atakulipa binadamu hawana we ma
@munaamohd22603 жыл бұрын
Mkaka mzuri jmny allah amponye Inshaallah
@binrashid86713 жыл бұрын
Amin Allah ampone ajalie àje awe mumeo kama hujaolewa
@josephsambaja14553 жыл бұрын
Uyo bibi namfaham kindaki ndaki,,,Uyo jamaa tunamuita zungu yupo Dada ake nimesoma nae kivukon sec school,,,Tulikua tunaishi nao kigambon Tungi stand,,,akuna asie wajua,,,,uyo bibi sio mchawi n watoto wake wa kuwazaa
@tangamedia47293 жыл бұрын
Daaaah Wakati Unamuita MAMA wa mwenzio MCHAWI Fikiria Wewe MAMA AKO akiitwa MCHAWI unajisikiaje ROHONI #Mama anauma Trust me 😥😥😥😥
@circus25783 жыл бұрын
Allah atawafanyia wepesi,atafungua njia zote,atazidisha kipato chako,nawaombeni Mashirika yakuhusika na kesi kama hizi, shughulikeni upaswavyo,huyu kijana ywahitaji huduma,arudi Hali zake za kawaida,wanamziki Mashirika na wadau wote,Kwa pamoja mwaeza kutimiza ndoto za huyu kijana,kila la heri nyote mliojitolea kumpa chochote huyu mama,anatuhitaji soteni Kwa pamoja, Inshallah 🤲✌️👍♥️
na swala la uchawi lina uchunguzi cha msingi wananchi msipende kujihusisha na hizi imani mtakuja kupata kesi ya mauaji pasipo sababu yoyote na serikari haijui uchawi hangaikeni tu na maisha ya watu
@younginspired38993 жыл бұрын
Hongera sana mchaga OG for this coverage..
@omariiddi12543 жыл бұрын
...
@charlesmakuri7923 жыл бұрын
Mama anakili Sana jamii hizi Zina amini uchawi Sana na nivizuri muwachukulie atua walio tia mauongo badala ya kusaidia mnafanya unafiki
@edwardphillipkimaro35983 жыл бұрын
Huyo sio msukule huyo ni Mama yake kweli na mshikaji anaitwa Robert tumesoma naye Mafinga Iringa 1999-2000 ndio akaondoka.
@annethmungure89363 жыл бұрын
Kumbe
@ebraniacosmosy20723 жыл бұрын
Wabongo tunakurupuka sn ndio mana tunadungwa sindano ovyo.
@tasokwamichael24333 жыл бұрын
Mafinga shule gani?
@hawahabibu6613 жыл бұрын
Maskini wee bibi wa watu wanamuonea kwan ni lazma mtu mtoto wako ufanane nae
@kibalabibisha67783 жыл бұрын
@@ebraniacosmosy2072😭🇰🇪
@mwashambakipanga45283 жыл бұрын
Ila inauma sana mtu anakuachia mtoto au mimba alaf baadae umemlea kwa tabu baba ht akumbuki likikuwa linamtaka baba ake duuuuuuh Bibi pole mungu atakusaidia sikieni tu ivyoivyo ukiwa single mother mtoto alikuwa umepitia mengi muache aende kwa baba ake kishakuwa
@samarigm3 жыл бұрын
Wabongo kwa kuzua mambo, washamnyima raha bibi wa watu.
@eliwangumria96393 жыл бұрын
Mungu akutie nguvu bibi. Dah! Pole sana nimesikitika kweli
Bibi pole Sana, mm pia nina ndugu Ana ugonjwa kama huo tumempungunzia dawa coz ya kuniona Sana sahii mwili uko sawa
@binthkhamisi10973 жыл бұрын
Masha Allah...ilaa pole bibi
@sayunicasmiry43653 жыл бұрын
Pole Sana mama,MUNGU akutie nguvu.
@lydianasambuwanjala88493 жыл бұрын
Surely, wee wa kuleta Habari ya uongo, pole bibi tu Sana,, wanaume waaaaa 😭😭😭😭😭
@mariamufungo96193 жыл бұрын
Jamani jamani tusiwalaum sana majirani kwani kukosa hao majirani hata sisi tusengejua kuwa bibi hapo zamani alikuwa akigawa jimbo kwa wazungu..na pia hayo yote tusingeyajua.
@zulfahalily60953 жыл бұрын
@@mariamufungo9619 usiseme ayo maneno monz ujui kesho yako .....mzee alikua anajarib pengine atapata wa kumtuza na familia yake ila wote wakawa mtihan n kumuomba Mungu tu
@muhammadkheir86963 жыл бұрын
Nanyinyi tafuteni msukule wenu yani wabongo washamba kinoma fatilieni maisha sio kufatilia mtu mmoja mmoja
@simionikengere39303 жыл бұрын
Pole kwa huyo mama , Mungu amsimamie.
@halimajamaniamekuwamndeme96173 жыл бұрын
Pole sana bibi wallah mpk nimelia, ila mama hongera unapambana na mwanao, ila wanadamu bhana
@captaindunga.58493 жыл бұрын
Wamepanga kumzalilisha bibi wa watu kisa tuu ni mzee kwanza inaonekana wengi wao hawajiu maana ya msukule... binafsi imeniuma kumzushia bibi wa watu ni mchawi hali ya kuwa yee mwenyewe inamuuma kumuona mwanae yuko hivo na anahangaika ili apone!! Pole bibi yangu uzee ndo chanzo bado watanzania tuko na imani kwamba wazee ndo wachawi kumbe nyakati zimebadilika mchawi hana umri kwenye DUNIA ya leo.
@samiaarimkonekonko50963 жыл бұрын
Pore sana mama yangu😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏
@righton193 жыл бұрын
Roho imeniuma huyu Bibi nahis anaonewa
@selector7283 жыл бұрын
Pole sio pore🚮
@wardasaid32693 жыл бұрын
Kakosea bb huo cyo utaratibu wa kumsaidia haki haijatendeka huwezi kumfungia binadam kwa miaka yoote
@zulfahalily60953 жыл бұрын
@@wardasaid3269 sasa ulitaka afanyeje na Ni mfanya biashara angekua anamuachia Nan naatatizo la akili
@kwilasacharles17473 жыл бұрын
Pole sana bibi hii mitihani ya Dunia Mungu atawalipa