BIBLIA IMEFICHA SIRI HII,WATOTO WA ADAMU NA HAWA WALIZAA NA WANAWAKE KUTOKA WAPI?

  Рет қаралды 102,254

BONGO FASTA

BONGO FASTA

Күн бұрын

Пікірлер: 174
@jesempinga7724
@jesempinga7724 Жыл бұрын
Mungu aliumba wanadamu wengi tu, Adam na hawa walikua ni viongozi ktk man kind! Mfano baada ya kaini kumuua Abel akapewa alama ili atakayemuona asimuue, akatoka na kwende mbele ya eden nchi inaitwa nodi akaoa na kuzaa ukoo ambao ni mrefu sana nuhu ibrahim mpk daud na suleiman.iko hv Mungu alipand bustani masharki mwa eden kisha akamuweka mtu alomuumba, ila ikumbukwe kua hadithi ya mwanzo ilizungumza tu masharik mwa eden na mbele ya eden hivyo inawezekena kabisa kusin,magharib na nyuma ya eden palikua na watu wengine.
@devotherbeyanga7066
@devotherbeyanga7066 8 күн бұрын
0:49 0:49 0:50 0:50 0:50 0:51 0:52 0:52 0:54 0:54 0:54 0:54 0:54 😅 0:56 0:57 0:57 0:59 0:59 0:59
@devotherbeyanga7066
@devotherbeyanga7066 8 күн бұрын
0:49 0:49 0:50 0:50 0:50 0:51 0:52 0:52 0:54 0:54 0:54 0:54 0:54 😅 0:56 0:57 0:57 0:59 0:59 0:59
@devotherbeyanga7066
@devotherbeyanga7066 8 күн бұрын
0:49 0:49 0:50 0:50 0:50 0:51 0:52 0:52 0:54 0:54 0:54 0:54 0:54 😅 0:56 0:57 0:57 0:59 0:59 0:59
@devotherbeyanga7066
@devotherbeyanga7066 8 күн бұрын
0:49 0:49 0:50 0:50 0:50 0:51 0:52 0:52 0:54 0:54 0:54 0:54 0:54 😅 0:56 0:57 0:57 0:59 0:59 0:59
@devotherbeyanga7066
@devotherbeyanga7066 8 күн бұрын
0:49 0:49 0:50 0:50 0:50 0:51 0:52 0:52 0:54 0:54 0:54 0:54 0:54 😅 0:56 0:57 0:57 0:59 0:59 0:59
@j.a.l.l.y
@j.a.l.l.y Жыл бұрын
kijana mwenye kipawa zaidi.Twende kazi.Shukran sana Justin Sheddy liki nyingi apa
@danielnoah1457
@danielnoah1457 Ай бұрын
Asante sana Kwa majibu mazuri, ni kweli kwamba kabla ya Sheria katazo la nd. Kuoana hakuwepo mf: Ibrahimu anamtuma mtu kumtwali Isaka mke katka jamaa yake, kwenye nadharia kuwa walikuwepo watu kabla ya Adamu siyo kweli, Mungu haogopi kusema ukweli, Hes 23:19, Mungu husema kweli tu
@nenolauzima5281
@nenolauzima5281 Жыл бұрын
Mungu huutangaza mwisho tangu mwanzo, ukitumia mantiki utaona mengi hayaekeweki Broh! Biblia siyo kitabu cha fasihi hata kidogo. ............................... Omba Mungu akufunulie kuyaelewa maneno yake. Ni kazi sana kutumia mkabala unaoutumia kuielewa Biblia. Biblia unavyioichukulia ndivyo inavyokuchukulia. Mkuu omba Mungu akusaidie
@user-sv9xm9jo1o
@user-sv9xm9jo1o 7 ай бұрын
Wanadamu wanachichanga mambo ya mungu yamenyooka,uweza wa bwana hauchunguziki Kwa akili za kawaida,tukumbuke Kila kitu ukitaka kujua uweza wa bwana ni mkuu sana ,acha ya adamu hata sauti zetu zinapoanzia ni kitendawili mawazo yetu wanadamu ni madogo sana acheni mungu aitwe mungu,mungu ni mkamilifu Wala haitaji elimu zetu mambo yake hayachunguziki amen
@geofreynkuba5952
@geofreynkuba5952 21 күн бұрын
Ukweli kabisa mambo ya mungu hayachunguziki ndoo maana tumeumba na uwezo mdogo wa kutotambua hata kifo chetu ni siku gani, tarehe ngapi na muda gani. Muache Mungu aitwe Mungu
@ammielnzala344
@ammielnzala344 Жыл бұрын
Ni kweli kaini alioa dada yake hilo ndio jibu sahihi kabisa
@arafatnasser
@arafatnasser Жыл бұрын
هذا كذاب واحد
@rabiokama6910
@rabiokama6910 Ай бұрын
Lazima Mungu abaki kuwa Mungu
@emmanuelmwakibolwa735
@emmanuelmwakibolwa735 5 ай бұрын
Walizaa na wadogo zao waliozaliwa tumbo moja. MWANZO 5: 4 Siku za Adamu baada ya kumzaa Sethi zilikuwa miaka mia nane, akazaa wana, waume na wake.
@faizamohamed6993
@faizamohamed6993 Жыл бұрын
Asante kwa kutuelimisha
@davidlusambya1631
@davidlusambya1631 Жыл бұрын
Iyo ni kweli bro
@pierretjunior7393
@pierretjunior7393 Жыл бұрын
tumepigwa ❤
@bible_quiz_world
@bible_quiz_world 9 ай бұрын
God bless you 🙏
@Keddyboom
@Keddyboom Жыл бұрын
Wayahudi hawakuwa wanataja wanawake,Adam alizaa watoto wengi tu ila wamehesabiwa wanaume tu kwasababu kwenye mhira za kiyahudi wanawake hawakuwa wanatajwa
@kelvin_Songea2023
@kelvin_Songea2023 Жыл бұрын
👏👏👏👏 Akili kubwa sana
@alexmwakasape3452
@alexmwakasape3452 Жыл бұрын
Lakini Hawa ni mwanamke katajwa😅
@hamzamussa8487
@hamzamussa8487 27 күн бұрын
Huyo Hawa mbona katajwa mi mwanaume?
@raiszongo4136
@raiszongo4136 Жыл бұрын
Sasa nimekuelewa ... thanks Sana br🙏
@francisnjagi3478
@francisnjagi3478 Жыл бұрын
Good 👍 question, tell us
@ramadhanitwahili6837
@ramadhanitwahili6837 Жыл бұрын
Kwaimani yetu sisi waislam Adam alikua anazaa watoto mpacha mapacha wakike na wakiume na kipindi icho ndugu walikua wanalukusa ya kuowana kwaiyo walikua wanaona wenyewe kwa wenyewe kabda ijashuka Shelia.
@benezeti6331
@benezeti6331 Жыл бұрын
Ukiwa hujalewa hunaongea fact sana
@muranisalim3572
@muranisalim3572 Жыл бұрын
Hmm seti jina baya
@obadiahmadeje7016
@obadiahmadeje7016 Жыл бұрын
Tupe aya ya Quran inayosema hivyo?
@cuthibetgerald
@cuthibetgerald Жыл бұрын
Kaini alipata wapi make akazaanae mapacha?
@Yeshuatv729
@Yeshuatv729 Жыл бұрын
Hii Ni kweli..watu wasome kitabu kinachozungumzia historia ya adamu na hawa
@danielnoah1457
@danielnoah1457 Ай бұрын
Mi.i NOAH MOLLEL
@user-bp1wz4tx8u
@user-bp1wz4tx8u 5 ай бұрын
Nafikiri mungu aliumba watu wengine tofauti na Adam na hawa, Adam na hawa waliumbwa kwa ajili ya kupewa maagizo na mamlaka katka kumtumikia mungu, ndoo maana biblia inasema wailime na kuitunza bustan ya edeni, ndio maana mungu alimuwekea alama Kain ili mtu yeyote asimuue, kwahiyo mungu kuanza kuwapa mamlaka watu aliowaumba yalianzia kwa Adam na hawa, na hata kabla ya kuifikia mistar inayozungumzia maisha ya Adam na hawa, mungu mwanzo kabsa alisema nenden mkazaliane na kuitawala dunia na vitu vyote, na hata baada ya uumbaji wa Adam kukamilika ndiye alieletewa wanyama na ndege kuwapa majina kwa mamlaka kutoka kwa mungu
@ruzindazajonas8506
@ruzindazajonas8506 Жыл бұрын
Adamu na Eva walipofukuzwa Eden, walizaa watoto kati ya 27 na 29 wakiwume na wa keke. Waliwoana wenyewe kwa wenyewe. Tu Biblia inazidi kuzungumuzia yule Mungu alikua na lengo nae kibiblia.
@user-sd6gz1dy9y
@user-sd6gz1dy9y 4 ай бұрын
mungu aliumba Adam na akaumba mke wake wa kwanza lilith, huyu mwanamke baadaye mungu akamlaani ndipo mungu akaumba Eva, so kulingana na mimi hawa wake walikua wa yule mwanamke wa kwanza
@user-ub1xk6yz6l
@user-ub1xk6yz6l 27 күн бұрын
Miaka alioishi adamu ni mingi sn. Hivyo alizaa Wana na mabinti. Na biblia haimtaji sana mtu ambaye hahusiki katika fundisho fulani ndio maana mabinti wa adamu hawakutajwa. Kama ilivyo Kwa watoto wa YAKOBO walikuwa zaidi ya 12.alikuwa na Binti aliyeitwa DINA. Hivyo ni wazi kaka walioa dada zao. Ona pia ilivyokuwa Kwa lutu na Binti zake.(Mungu aliruhusu Waoane japo baadaye alikataza baada ya watu kuwa wengi) Wangekuwepo watu wengine Mungu angetuambia.
@henrylugendo280
@henrylugendo280 Жыл бұрын
Safi sana jastin
@fressoj-mova8640
@fressoj-mova8640 Жыл бұрын
Mbona iko wazi wakina kaini na haber walizaa na dada zao, ipo hivi walikua wanazaliwa mapacha kila mzao sasa ikawa kila pacha wa mwezie anaolewa na huyu pacha wa mwngine, kuna kisa pacha mmoja alikataa kuoa pacha wa mwenzie kisa hakua mzur kama pacha wake
@veronicamahenge7256
@veronicamahenge7256 3 ай бұрын
Heeeeeee ndo naskia leo
@salamaally7363
@salamaally7363 11 ай бұрын
🎉
@rabiokama6910
@rabiokama6910 Ай бұрын
Tukumbuke ndio Mungu alikuwa anaweka msingi wa Kila kitu
@polycarptarimo5141
@polycarptarimo5141 Жыл бұрын
Umejibu vema sana
@fathimamct232
@fathimamct232 Жыл бұрын
Nabil na Habil na kahil walizaliwa wawili wawili Yani walizaliwa mke na mume ugovmi wao ulitokea pale walipoambiwa wabadikishane madada Yani Kila mmoja aoe Dada wa mwenzie lakini mmoja wake kahin akakataa akasema yy Dada yake ni mzuri hatompa mwenzie atamuowa mwenyewe
@messaabbas739
@messaabbas739 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤❤
@jamilmwinge3695
@jamilmwinge3695 Жыл бұрын
Swali muhimu sana...
@travelwithme14
@travelwithme14 Жыл бұрын
Together 👍
@joycepatofondo
@joycepatofondo Жыл бұрын
Mwanadamu wa kwanza kuumbwa n adam shetani ndio alikua n akatupwa dunia ju alitaka kumutawala Mungu
@salomeobungu8250
@salomeobungu8250 Жыл бұрын
Thanks bro we need more and more from u 🙏
@abdulahijuma541
@abdulahijuma541 Жыл бұрын
Haiwezekani ndugu wa damu kuoana. Pia mnafaa kujua kuwa Biblia ilishachafuliwa na mikono ya waandishi. Hivyo kuna maengezo na mageuzi chungu nzima. Hivyo usahihi wa maandiko ya Bibilia tulizonazo hivi sasa sio neno la Mungu. Sio ile Taurati wala Injili ya Yesu Kristo.
@BernardMwaipopo
@BernardMwaipopo Жыл бұрын
Umefundisha vyema
@DeogratiasLekariro-gq3gk
@DeogratiasLekariro-gq3gk 9 ай бұрын
Cha msingi hapa ni kuelewa kuwa Mungu ndio chanzo cha ulimwengu. Adam na Eva ni stori ya kuuelezea uumbaji; Ada na Eva hakuexist Per se.
@micamathew2595
@micamathew2595 Жыл бұрын
Safi sana ndugu Justin!! Safi sana!!
@kingranda1055
@kingranda1055 Жыл бұрын
Kiufup biblia hasa iliangalia wanaume Na hata hao wanawake walio andikwa katika biblia ni kwa sababi walifanya tukio fulani
@husseinmassawa7186
@husseinmassawa7186 Жыл бұрын
Justin shed utuletee na kisa cha noah, wale wanyama waliingiaje wote mule, nahisi iyo meli haikuwa ya kawaida, ilikuwa ina ukubwa gani kimaandiko
@adamkivale-wi4vg
@adamkivale-wi4vg Жыл бұрын
Nazni hio meli itakua moja Kati ya melinkubwa duniani
@jumbeojaso5767
@jumbeojaso5767 Жыл бұрын
Soma biblia ukiwa mtulivu,ukubwa wa Safina ya Nuhu imeanishwa vizuri humo
@macsam
@macsam Жыл бұрын
MATRIX hiyo
@blessedove931
@blessedove931 Жыл бұрын
Kazinya Mungu haikosolewi wala haistaili maswali kumbuka alikuwepo tangia mwanzo ndiye muumba wa mbingu na nchi na vyote vilivyomo
@dennismaiko1540
@dennismaiko1540 Жыл бұрын
Bibilia inaposema "na tumuumbe mwanadamu kwa mfano wetu" inamaanisha kulikua na watu wengine ambao hawakua mfano wa Mungu. Mtu akisema "nichenge gari kama Toyota" inamaanisha kumekua na toyota kwanza.
@user-ob2ik5gy1b
@user-ob2ik5gy1b Жыл бұрын
Bado elim yako ni ndogo some vitabu vya mungu na si vitabu vya akili za watu.
@tabiakandonga854
@tabiakandonga854 Жыл бұрын
Kiujumla sisi sote ni ndugu
@Life10061
@Life10061 Жыл бұрын
Hapo jibu kamili ..walioa dada zao
@BenMula36925
@BenMula36925 Жыл бұрын
Kwahiyo Kain alivyo muua Abeli walikua tayari nao wana watoto
@benjaminandebe386
@benjaminandebe386 Жыл бұрын
Sidhani
@charan_jackson
@charan_jackson 9 ай бұрын
Hivi basi mungu aliumba watu weupe sisi weusi ulitoka wapi?
@annafrank5288
@annafrank5288 Жыл бұрын
Kwahiyo na sisi tumeoana ndugu
@nuhukasebele9758
@nuhukasebele9758 Жыл бұрын
Adm na Hawa waliza watoto wengine waume kwa wake kwaiyo kain alizaaa na ndugu yake seth
@abdulahijuma541
@abdulahijuma541 Жыл бұрын
Kaini alioa huko Nodi. Watu walikuweko. Adamu na Hawa hawakuwa peke yao. Mti waliokatazwa kuukaribia haukuwa mti bali ni jamii ya wanadamu ambao walikuwa waovu.
@ramadhanitwahili6837
@ramadhanitwahili6837 Жыл бұрын
Adamu na hawa walikua wanazaa watoto mapacha mapacha wakike nawakiume sasa katika watoto wawili wa Adam wakiume Kila mtoto alitakiwa amuoe dada wa mwezake ila dada wa kaka mkubwa alikua mzuri sana na dada wa mdogo alikua wakawaida Adam alitoa amli mdogo ndio amuoe yule dadazuri kaka mtu aligoma akasema nitamuoa mwenyewe alimkataa yule mbaya basi Adam akasema tumuombe mungu kwa kutoa kafara la kondoo asie nakilema wala njaa Kila mtoto na kondoo wake wapeleke mahali pamaombi kondoo atakaechukuliwa basi uyo ndio ataka paswa kuoa mmoja wadada wamwezake kwa bahati mzuri kondoo aliekubaliwa ni wayule mdogo kwaiyo yule mdogo akamuoa yule dada ake mzuri kaka akukubali akamua mwezake hapo ndipo palipo azia kifo Cha mwanadam adithi ndifu kidogo.
@aysherkitoi5507
@aysherkitoi5507 Жыл бұрын
Wow👏👏
@mwassamwassa7264
@mwassamwassa7264 Жыл бұрын
Acha uongo,
@Yeshuatv729
@Yeshuatv729 Жыл бұрын
And God looked at His maid-servant Eve, and delivered her, and she brought forth her first-born son, and with him a daughter 6 Then Adam rejoiced at Eve's deliverance, and also over the children she had borne him. And Adam ministered unto Eve in the cave, until the end of eight days; when they named the son Cain, and the daughter Luluwa 7 The meaning of Cain is "hater," because he hated his sister in their mother's womb; ere they came out of it. Therefore did Adam name him Cain.
@williamdetkvant1313
@williamdetkvant1313 Жыл бұрын
Shukrani
@elijahnjagi158
@elijahnjagi158 Жыл бұрын
Mambo mazito haya
@gideonmlewa9819
@gideonmlewa9819 Жыл бұрын
Cain alipomuua Abel,Mungu aliweka alama kwenye kipaji cha Cain ili MTU YEYOTE akimuona asije akamuua. Je ni watu gani hao ambao wangemdhuru Cain ikichukuliwa ni yeye na babake na mamake ndio walikuwa wamebakia? Nani tena angemdhuru Cain? Hii inaonyesha kulikuwa na watu wengine besides Adam na Hawa
@abdulkabila787
@abdulkabila787 Жыл бұрын
Ungeoanisha na Quran
@raymondkiwale-tu1iy
@raymondkiwale-tu1iy Жыл бұрын
Historian mzuri sana
@kassimali9413
@kassimali9413 Жыл бұрын
Wasingebisha Adam na hawa walikuwa wakizaa watoto. Mpacha
@immahlovergt
@immahlovergt Жыл бұрын
Tatzo justin hua anaongea sana story inaznguka sana yn🙌👋👋
@tbwoy216
@tbwoy216 Жыл бұрын
Wewe wasoma vipi BIBILIA?? Baada Abeli kuawa miaka mingi kupita Adamu alipata uzao mwingine Sethi na akazaa watoto wengine wakike na kiume hapo basi wakapata mabibi ni lazima wangeoa madada manake UZAO ulikua unaanza.
@geoffreykibogora1819
@geoffreykibogora1819 Жыл бұрын
Walioa wadada zao
@magrethadrian6130
@magrethadrian6130 Жыл бұрын
Tupe Hadithi ya nabii Musa, familia na chimbuko lake
@nikitalucas2323
@nikitalucas2323 Жыл бұрын
Kipind kain anamuua Abel kizazi cha hawa kilikuwa kimeshaenea kumbuka kain alimuua ndg yake wakiwa wakubwa na sio wadogo
@Yeshuatv729
@Yeshuatv729 Жыл бұрын
And God looked at His maid-servant Eve, and delivered her, and she brought forth her first-born son, and with him a daughter 6 Then Adam rejoiced at Eve's deliverance, and also over the children she had borne him. And Adam ministered unto Eve in the cave, until the end of eight days; when they named the son Cain, and the daughter Luluwa 7 The meaning of Cain is "hater," because he hated his sister in their mother's womb; ere they came out of it. Therefore did Adam name him Cain.
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything Жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️👍.
@absalommiseda6053
@absalommiseda6053 Жыл бұрын
Naitaji maombi kwa passporty yangu ifanye kazi kabla ija expires 2025
@dullahmihuri
@dullahmihuri Жыл бұрын
Quran haina mashaka ndani yake... ishamaliza kila kitu kitambo sana. 2023 ndio mnajiuliza?????
@davidmnyela2459
@davidmnyela2459 Жыл бұрын
Nani kakudanganya???
@ericmkami7578
@ericmkami7578 Жыл бұрын
@@davidmnyela2459 kadanganywa na imamu wake huyo
@user-hw7ce8gf6v
@user-hw7ce8gf6v 11 ай бұрын
Acha kujidanganya mwenyewe kwanza unakijuwa kiarabu?? Unajuwa nini kimeandikwa mu Quran
@GEORGEOBED-pd9ye
@GEORGEOBED-pd9ye Жыл бұрын
Hongera kwa kazi nzuri mr justine! Ukipata muda soma The book of Adam and Eve I & II hapo kuna maarifa mengi sana juu ya jamii za mwanzo
@captainkastua4830
@captainkastua4830 Жыл бұрын
Hapo nimebaki kwa mataa sijaelewa
@Ndayikengurukiyeclaude-cl3jq
@Ndayikengurukiyeclaude-cl3jq Жыл бұрын
Nivizur rakin kuwa makin nodi Nay alikua mtu sasa sijuwi kama nae alikua ndugu yao.
@anyosisyenjobelo5442
@anyosisyenjobelo5442 Жыл бұрын
Kulikuwa na manefili walitoka wapi?
@marwawambura2880
@marwawambura2880 Жыл бұрын
Walioana dada na kaka.
@mckobatz5861
@mckobatz5861 Жыл бұрын
Hawa wanaoitwa wa mataifa ni watu gani brother Justin? Hope unafahamu kwamba Kain alilaaniwa na it's said akaenda kwa wamataifa who are these?
@AbihudKaale-vt6hn
@AbihudKaale-vt6hn Жыл бұрын
Wa mataifa ni watu wasiomjua Mungu mfano Wapagani
@belyseirakoze5371
@belyseirakoze5371 Жыл бұрын
Ili swali nilikuwa nikijiulizaga siku nyingi sana 😂😂😂😂😂😂 kumb nilikuwaga sahihi 😂😂😂😂😂
@barakadavidmakome6353
@barakadavidmakome6353 Жыл бұрын
Sio kweli, soma comment yangu apo juu utajua ukweli.
@annangowi-om1gk
@annangowi-om1gk Жыл бұрын
Pambana kufichua mambo kk,tu nyuma yako
@jacksonngusi4122
@jacksonngusi4122 Жыл бұрын
Leo umetoa ukweli kabisa isee
@eltabusenzia765
@eltabusenzia765 Жыл бұрын
Huyu jamaa kakurupuka hajui kitu chochote unafikiri biblia ni kama vitabu vya hadithi
@tonymwalanya3027
@tonymwalanya3027 26 күн бұрын
Siyo tu wanawake jembe nazo walipata wapi
@saadaperec2706
@saadaperec2706 Жыл бұрын
wanaposema binaadam ni ndugu wanamaanisha jmn..
@mpingashilla9877
@mpingashilla9877 Жыл бұрын
Jastini Binadamu wengine walikuwepo hata biblia imesema.
@kokomsanii4439
@kokomsanii4439 Жыл бұрын
bibilia imesema aje
@mohamedhalake5983
@mohamedhalake5983 Жыл бұрын
Huwezi pata jibu kupitia bibilia ndugu yangu Wacha tuwape elimu hi unapata kwa Quran pekee mama hawa alikwa akizaa watoto wanne Kila siku mbili wasichana mbili wavulana msichana wa Asubuhi ataoana mvulana wa jioni hata ungomvi ilitokea mpaka wakauana kwa sababu moja atakakuoa Dadake waliotoka kwa wakati moja
@belafontesteven5144
@belafontesteven5144 Жыл бұрын
Huu ni ukichaa
@bettymabalangu8906
@bettymabalangu8906 Жыл бұрын
😀😀 kweli ukistaajabu ya musa utayaona ya filauni azae asubui na jioni yeye kawa kuku huyo kuku mwenyewe hawezi kutaga asubui na jioni duuu! Umeuwaa
@johnjoseph9596
@johnjoseph9596 Жыл бұрын
We ndo mwongo usiyekuwa na aibu. Unapinga tafiti kwa mawazo ya kufikirika?????
@gatekanene5753
@gatekanene5753 Жыл бұрын
Daah kweli ukistaajab ya Mussa utayaona ya Farao kama Quran inamajibu tuambiye Adam alikufa akiwa na miaka mingapi? Tuambiye kwenye Quran mke wa Adam aliitwa nani? Tuambiye kwenye Quran baba yake Ibrahim jina lake nani na alikufa akiwa na miaka mingapi? Tuambiye kwenye Quran Ibrahim alikufa akiwa na miaka mingapi? Tuambiye piya Adam alizaa wa toto wengine wangapi na waliishi miaka mingapi? Hizo swali zote huwezi pata majibu kwenye Quran mpaka kiama kupata mujibu ni lazima utafute majibu kwenye BIBLE ndomana Quran haiwezi kuwa majibu ya maswali mengi kwa hiyo Quran nikitabu kilico kuja nyuma kabisa na kime copy mengi sana kwenye BIBLE na kimekuja kupinga maandiko matakatifu yaliyo tanguliya.
@davidmnyela2459
@davidmnyela2459 Жыл бұрын
Sasa ni wewe ndio nini kwanza quraan nzima hakuna jina la mke wa adamu,hawa sasa mengine itajulia wapi???
@twahamdoe5730
@twahamdoe5730 Жыл бұрын
Brother nitamuoa binamu yangu
@felixmuzambele9031
@felixmuzambele9031 Жыл бұрын
Umejibu vema mtumwa usie na hatia
@magrethadrian6130
@magrethadrian6130 Жыл бұрын
Na pia ni mwafrika au muisrael
@josephdeodatus2893
@josephdeodatus2893 Жыл бұрын
Sasa na lile fuvu la olduvai gorgi lilivyogundulika umri wake ulikua ata kabla ya adam kuwepo dunian
@johnjackson1507
@johnjackson1507 Жыл бұрын
Ety ilikukwaje watuamby
@nawandafamito500
@nawandafamito500 Жыл бұрын
Hao wakanza walikua ni majini hata shetani sio malaika ni jini, yani lúcifer sio malaika ni jini 100%
@nyamburafrank9782
@nyamburafrank9782 Жыл бұрын
Kama kuna kaukweli flani iv maana ukisoma biblia inasema kulikuepo na wana wa mungu na wana wa wanadamu na mwishowe wakaoana na ndo maasi yalizidi sasa hapo chacha
@michaeleustach3989
@michaeleustach3989 Жыл бұрын
Yaaah upo sahihi
@salomeobungu8250
@salomeobungu8250 Жыл бұрын
Na maswali mengine pamoja na majibu yake tumeyaweka ad siku ya mwizo tuende kuhulisia mbinguni
@wanguwangu34
@wanguwangu34 7 ай бұрын
MKE wa Caini na watoto wa Adam inafaida Gani katika Imani, useless teachings and argument.
@adamzakaria5860
@adamzakaria5860 Жыл бұрын
shed vp historia ya giants
@suleimansiasa9800
@suleimansiasa9800 Жыл бұрын
Qur_an inajibu bila ya utata suali lako.
@trutharchaeologist
@trutharchaeologist Жыл бұрын
Read books removed from scriptures to understand the truth Jasher 1:12-13 [12]And the Lord God drove them that day from the garden of Eden, to till the ground from which they were taken, and they went and dwelt at the east of the garden of Eden; and Adam knew his wife Eve and she bore two sons and three daughters. [13]And she called the name of the first born Cain, saying, I have obtained a man from the Lord, and the name of the other she called Abel, for she said, In vanity we came into the earth, and in vanity we shall be taken from it.
@jumakhalid5554
@jumakhalid5554 Жыл бұрын
ACHA ukafiri wako acha kudanganya watu
@arafatnasser
@arafatnasser Жыл бұрын
Sikweli unadangaya wewe kwaleo ume danganya
@zaburi2386
@zaburi2386 Жыл бұрын
Lete ukwel Sasa
@melanialeonard4031
@melanialeonard4031 Жыл бұрын
Tusimulie ww unaeujua ukweli
@voicejoachim1370
@voicejoachim1370 Жыл бұрын
Lakin walioana kwa kutofautisha aliye zaliwa mchana atamuoa au kuolewa na aliye zaliwa usiku.
@kassimali9413
@kassimali9413 Жыл бұрын
Wasingebisha Adam na hawa walikuwa wakizaa watoto. Mpacha
SIRI NZITO ZILIZOFANYA KITABU CHA HENOKO KUONDOLEWA KWENYE BIBLIA
9:44
Underwater Challenge 😱
00:37
Topper Guild
Рет қаралды 48 МЛН
Cute
00:16
Oyuncak Avı
Рет қаралды 3,6 МЛН
Nastya and balloon challenge
00:23
Nastya
Рет қаралды 15 МЛН
UKWELI WA MUNGU NI NANI NA USHAHIDI USIOPINGIKA KUA ALIKUUMBA
11:21
Maisha na vifo vya mitume wa yesu
13:28
Shane Tv
Рет қаралды 97 М.
THE STORY BOOK : MFALME SULEIMAN, NABII ALIYEPENDELEWA KILA KITU NA MUNGU
44:18
The Story Book:Ukweli Wote Kuhusu PEPONI.
48:39
Wasafi Media
Рет қаралды 656 М.
SIRI nzito zilizofichwa kwenye MICHORO maarufu DUNIANI
13:17
BONGO FASTA
Рет қаралды 445 М.
SISI NI WAFUPI LAKINI... +255 755 265 290
8:13
Mwandete Film
Рет қаралды 2,5 МЛН
Underwater Challenge 😱
00:37
Topper Guild
Рет қаралды 48 МЛН