MAAJABU: DUKA LISILO NA MLANGO WA MBAO WALA CHUMA NA HAKUNA ANAEJARIBU KUIBA "USIKU NAZIBA NA PAZIA"

  Рет қаралды 437,751

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

#Ripotizamillardayo #AyoTV

Пікірлер: 1 200
@fitnesslifestyle.7859
@fitnesslifestyle.7859 4 жыл бұрын
Jamaa ana imani kubwa sana ndani yake afu ni mkweli, hope wengi wetu tutajifunza kuhusu imani kupitia interview hii. Big up Bro. Millard
@mbotwambotwa2186
@mbotwambotwa2186 2 жыл бұрын
Majibu mazari barikiwa sana
@Queen-be1uf
@Queen-be1uf 4 жыл бұрын
Mashaallah. Allah atakujaalia utaswali pia. Jitahidi uswali sala tano.
@jihadabdi7754
@jihadabdi7754 4 жыл бұрын
Nampenda sana huyu msela Millard ayo big up bro unamaswali yakueleweka
@giovannygracious3434
@giovannygracious3434 4 жыл бұрын
Bwana asipolinda Mji waulindao wafanya kazi bure!! Unaweza ukawa na mageti makubwa na kufuli za alam na bado wez wakavunja na kuiba!! Unaweka turubai unafunga Duka lako unaenda nyumban unalala usingiz mtammmmm kabisaaa Bwana analinda!! Barikiwa mnoooo kaka kikubwa Iman yako na Mungu wako!! Mungu akuinue mnooo katika viwango vya juu.
@KA-yz2ld
@KA-yz2ld 4 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu na mimi nakuomba unizidishie imani kwako yakumpita huyu kaka by your grace🙏🏿... Kaka Nakuombea M/Mungu azidi kukuendeleza kwa kila namna 🙏🏿...
@winnermariah
@winnermariah 4 жыл бұрын
Huyu Kaka 🙌🙌Imani yake Kali sana na MUNGU anampenda mnoo..ila Aanze Kusali Abarikiwe Zaidi
@hannansdeliciousfood4261
@hannansdeliciousfood4261 2 жыл бұрын
Hamim sasa uswali bila swala unamuuzi Mungu...Allah hapendi mtu asiependa ibada....lengo tuliloumbiwa ni kumuabudu Allah...S.W....
@harounali9057
@harounali9057 4 жыл бұрын
Kijana chapa kazi uko mbali sana kidunia na Allaah aku ongoze zaidi katika twaa yake uapate kumsujudia.
@mutheekigwaci4871
@mutheekigwaci4871 4 жыл бұрын
Huyu Ni mtunguyaz budaboss Mungu akubariki njaro zako zakubarika👊👊👊👊🙏💪
@nalyismail9915
@nalyismail9915 4 жыл бұрын
Jamaa uko vizuri Ana jiamini Sanaa,kubwa kulikoo sio muongo anaongea ukweliii wenginee wanacheka halii ya kuwa hata msikitin ama kanisani hawajawahii fikaa miaka mingi zaidi yakee,imanii tuu kuamini kwa kila jamboo kuwa mungu yupoo na sio kila anae swalii ndio msafii Sana kuliko wenginee mungu tuu ndio anajuaa
@thobiasmwambeta6990
@thobiasmwambeta6990 4 жыл бұрын
Acheni Iman mbaya, Nampa big up jamaa anaiman Kali Sana kumuamin Mungu .
@seifchembela4346
@seifchembela4346 4 жыл бұрын
Kwaiyo wanao weka milango awa Amin mungu
@farajakasikile8846
@farajakasikile8846 4 жыл бұрын
Sio kwamba awaamini ila imani yake pia ni kubwa
@happyjohn5882
@happyjohn5882 4 жыл бұрын
@@seifchembela4346 kuna tofauti kati ya imanii na kumwomba Mungu, ukiwa na imanii yaan hata kumwabudi Mungu nikitu simple coz maandiko matakatifu ynasema "" Tukiwa na imanii kama punje ya diliani basi tutauwambia mlima ng'ooka na unang'ooka tuu.so hongera sana kwakee brother
@sidratybinkhamis2837
@sidratybinkhamis2837 4 жыл бұрын
Kwel
@shamilanunu4045
@shamilanunu4045 4 жыл бұрын
Ana lolote.....Mzee wa Miba huyu
@adremapanya1759
@adremapanya1759 4 жыл бұрын
Respect kwako Braza Millard Ayo
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 4 жыл бұрын
Subhan Allah, interview nzuri sanaa, Mmmh Yuatisha Jamaa.Millard Mfayie Suprise Ya Mlango wa duka.
@bahatsamson7220
@bahatsamson7220 4 жыл бұрын
Daah, kweli MUNGU mkuu
@alexmoses7645
@alexmoses7645 4 жыл бұрын
@@bahatsamson7220 y7y
@eliuthamangula1791
@eliuthamangula1791 4 жыл бұрын
Millard uko vizuri utangazaji: nice questions flow. Mtangazaji mwingine apate mtu anajibu kimkato hivi interview Haizidi dakika moja.
@kulwamartin295
@kulwamartin295 4 жыл бұрын
Ana Flows nzuri za Maswali...Nampongeza sana @Millardayo
@sebanyalusi6493
@sebanyalusi6493 4 жыл бұрын
Millard uko good mzee
@msetikebwasi6895
@msetikebwasi6895 4 жыл бұрын
mjibuji ndo balaa
@arushijuma6056
@arushijuma6056 4 жыл бұрын
Genius Allah akujaliee uanzwe swalaaa brother
@prudencecharles8980
@prudencecharles8980 4 жыл бұрын
Hata Mimi naamini sane mungu he can move mountains...i just love his faith mungu na amubariki
@mwanahamisisaidihamisi6239
@mwanahamisisaidihamisi6239 3 жыл бұрын
Mashaallah mungu akuzidishie imani
@eriqemarson2362
@eriqemarson2362 4 жыл бұрын
Kuna kitu kaongea huyu jamaaa...."Hatua ya kesho huijui na kikubwa kumuamini sana Mungu" aseee hili swala ni kubwa sana maana huyu mjuba kaelewa kwamba Mwenyezi Mungu ndie mlizi wetu sana wa kila siku.... may our almight one God bless this Guy truly! maana kama kweli amekiri kwa ndimi zake kwamba Mungu yupo na ndiye mlinzi wetu sisi wanaadam basi Namuombea sana azidi kumfanikisha. Inshallah!!!
@mussaabdiel9797
@mussaabdiel9797 4 жыл бұрын
Jaribu na ww dukan kwako
@fredducaunt1724
@fredducaunt1724 4 жыл бұрын
@@mussaabdiel9797 Hapo ni kumjaribu Mungu wewe
@wanderenyeura9011
@wanderenyeura9011 4 жыл бұрын
Amina
@Intertainment-z1x
@Intertainment-z1x Жыл бұрын
Kweli mungu ana nguvu sana bro
@Mjingafaki
@Mjingafaki 4 жыл бұрын
Jamaaa kanichekesha sanaa majibu yake
@ayubujohn7621
@ayubujohn7621 4 жыл бұрын
Nimependa sana interview yako mungu akubaliki kazi yako
@hassanmkungile6021
@hassanmkungile6021 4 жыл бұрын
Uyu Jamaa anaailkili Sana na wamekutana wote Akil mingi 😂😂😂
@abasisabuni3883
@abasisabuni3883 4 жыл бұрын
Ma Shaa Allah Best interview Kuna kitu cha kujifunza kwa huyu jamaa tuchukue mazuri yake especially vile anaamin katika Mungu naamin atakuja kua Muumin mzuri Big Millard Ayo Leo umepatikana brother
@maidasaid9449
@maidasaid9449 4 жыл бұрын
"Sauti y mke wangu uisikie ww...iyo haipo" hata dini inakataz...safi kijana hapa umejali thamani y mke na mwanamke
@sospetermathias4253
@sospetermathias4253 4 жыл бұрын
Noma sana Millard sijawahi kuzichoka habari zako
@jamalmohamed4058
@jamalmohamed4058 4 жыл бұрын
MASHA ALLAH... AMEMTANGULIZA ALLAH
@djsumahassan2623
@djsumahassan2623 4 жыл бұрын
juu ya yote ALLAH ndie muweza wa kila jambo brother uko vizuri ALLAH akupe maisha marefu
@hannansdeliciousfood4261
@hannansdeliciousfood4261 2 жыл бұрын
Allahumma Amiin Allah anatosha
@estatekisombola9251
@estatekisombola9251 4 жыл бұрын
Jamaa ana akili nyingi sana love from Australia 🇦🇺🇦🇺
@MauFundiElectronics
@MauFundiElectronics Жыл бұрын
Interview za Millard ayo TV ni mzuri sana yaani anajua kuuliza maswali yale ya muhimu ni mzuri sana interview
@lizburton9833
@lizburton9833 3 жыл бұрын
Wow! This is God an God is every where , every one believe Tanzania their tough on witch craft but u cant imagine how believe he is
@ml-elisante-kwayayavijanai6570
@ml-elisante-kwayayavijanai6570 4 жыл бұрын
Kweli Kama anamwamini Mungu itakuwa anaiman kubwa Sana. Big up bro
@mbarakabdallah4631
@mbarakabdallah4631 4 жыл бұрын
Hyu jamaa anajielewa..ila kwenye ibada ndio mtihani...Allah swt amuongoze ktk hili.
@gangmore9091
@gangmore9091 4 жыл бұрын
Karibu zanzibar wapo wanao fanya ibada lkni ktk biashara zao hawamuamini Mungu wanafanya ushirikina wapo wanaofnya ibada maisha yao hawamwamini Mungu wenye imani mbovu watakuchukulia vingine ila mlizi wa anaefanya ibada na asiefanya ibada Mungu peke yke
@idreamfoto
@idreamfoto 4 жыл бұрын
God First!
@mbarakabdallah4631
@mbarakabdallah4631 4 жыл бұрын
Daah milad blog yako inapendwa kichizi..hadi laki zako one m na zidi ...hongera kwanza
@marywillium7471
@marywillium7471 4 жыл бұрын
Nakupenda Millardayo kwa Kaz Zako..GOD BLESS YOU KTK KAZI ZAKO...♥️♥️♥️😍😍
@stellashore3104
@stellashore3104 4 жыл бұрын
Mmh,kuswali haswali,labda kama ni mtoaji mzuri wa sadaka na kusaidia wasiojiweza ,Mungu analinda kweli.
@Chinewlaroi
@Chinewlaroi Жыл бұрын
iyo Noma sana
@jobaisyrainer711
@jobaisyrainer711 4 жыл бұрын
km unaamin uyu jamaaa ni mafyaaa wa ndumba gonga like twende sw
@mtukwaomedia
@mtukwaomedia 4 жыл бұрын
Milad ayo unamaswali mazuri sana
@suncheofficial5827
@suncheofficial5827 4 жыл бұрын
Huyu jamaa toka dk 1 ya interview kamtaja mungu zaidi mara 20 imani kubwa san
@rukiamsomi6869
@rukiamsomi6869 4 жыл бұрын
Ila kuswali haswali
@tumtumkhan3115
@tumtumkhan3115 4 жыл бұрын
Jamaa amenifurahisha kweli. Nilikuwa na tafash zangu nimezisahau
@hawabilali4837
@hawabilali4837 4 жыл бұрын
Hakika Mungu anaangalia moyo wa mtu, kumuamini Mungu kupo ndani ya mtu sio watu wanavyokutazama.
@tricemollel6739
@tricemollel6739 Жыл бұрын
Jmn millard hilo ni bonge la interview ♥️🙏💪
@dumelatembo6802
@dumelatembo6802 4 жыл бұрын
HII IMANI NI KALI SANA NAAMINI MUNGU YU MWEMA NA anapotajwa na anaye mwamini humbariki mara dufu.
@neemamosha2327
@neemamosha2327 4 жыл бұрын
DUME LA TEMBO amen
@winnermariah
@winnermariah 4 жыл бұрын
Ameeen
@godfreypeter3474
@godfreypeter3474 4 жыл бұрын
Safi
@serahmwanja8688
@serahmwanja8688 4 жыл бұрын
Asante. How are you doing fine
@fatmakhanii1676
@fatmakhanii1676 4 жыл бұрын
Hongera sana kwa kweli maongezi yako Yana hekma sana ila hapo kwenye ibada ndio katuangusha ila mungu atamfanyia wepesi inshaAllah
@katibatanzania3089
@katibatanzania3089 4 жыл бұрын
Uyu jamaa yy amemuamini sana mungu ndiyo mana amejiyamini na wa tnzna awajawahi kuona mayisha ya namna hiyo ndiyo mana wanashindwa kuiba
@mcctz3672
@mcctz3672 4 жыл бұрын
Mmmh ametisha
@titusmayala4658
@titusmayala4658 4 жыл бұрын
Hahaha, ana confidence sana na anajibu kwa kujiamini, nachojiuliza haendi kuswali kuna nn hapooo?
@rahmahersi6584
@rahmahersi6584 4 жыл бұрын
Ishi uone mengi ya dunia. Millard Ayo.
@ismailmajala2802
@ismailmajala2802 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤦🏽‍♂️ mlinzi ninaye Mwenyezi Mungu 🙏 Allah akupe nguvu na iman thabit
@brobabuu3973
@brobabuu3973 4 жыл бұрын
Kwa yeyote anayesoma hii.. nakuombea Baraka na maisha marefu yenye mafanikio tele. siku njema iwe kwako na kwa familia yako YOTE.! Ikikupendeza waweza pita kwenye channel yangu napost mada mbali mbali za biashara na mafanikio uweze kujifunza jambo siku ya leo. Kwa pamoja tutafanikiwa!!
@erickevarist8738
@erickevarist8738 3 жыл бұрын
Hata mungu anasema usimruhusu ibilisi nafasi wewe
@mussafoum6562
@mussafoum6562 2 жыл бұрын
Safi sana
@saidabdullah7273
@saidabdullah7273 4 жыл бұрын
Mungu ndio kila kitu jamani... ukimuamini kikweli haswa utashangaa ulinzi wake hakuna mlinzi zaidi ya mungu...maneno yake sahihi kabisaa
@baltzrluus3287
@baltzrluus3287 4 жыл бұрын
nawewe amini halafu usifunge mlango
@allthingdranabeauty
@allthingdranabeauty 4 жыл бұрын
Sometimes sio uchawi sababu anajiamini na hao walimzunguka hawawezi sababu wameshajiwekea kuwa ni uchawi sio hawawezi kuiba kwa kuogopa
@hajihassan5433
@hajihassan5433 4 жыл бұрын
Angefungua huku kwetu huyo Mungu ndio angemtwika Mwizi mzigo.
@gloryjulius1108
@gloryjulius1108 4 жыл бұрын
Hakika hakuna kinachomshinda Mungu aminini tu
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 4 жыл бұрын
Hakuna imani ya mtu kumuamini Mungu halafu uikate miaka 7 hujasujudu. Kwawaida ya imani ya kumuamini Allah/Mungu inakupeleka kwenye khofu ya kutokutenda aliyoyaamrisha na kukupa mapenzi ya Mola wako. Ssa yy imani yake iwe inampeleka wapi miaka yote hiyo? Na anaimani kubwa ya kuacha duka lisiguswe. Allah anajua yaliyokwenye nafs yake lkn ndugu zangu tofauti ya muisilam na asiekua muisilam ni swala. Na alipojiwa Nabii Mussa (A.S) na mwanamke aliyezini na kuua mtoto akamfukuza kwa kukhofia adhabu za Allah zisishuke naye yupo pamoja na yule mama. ALLAH alimtaka amrejeshe yule mama na akamuuliza Nabii Mussa kwani hakuona mtu mwenye makosa zaidi kuliko huyo mama na akaambiwa ni twariqu swalaa ambaye kinaingia kipindi cha swala na yy anaamua kwa makusudi kua haswali. Swala ni mkoba wa kutia amali zako bila ya swala ni sawa na kwenda kuokota maembe halafu ukawa huna cha kutilia. Kama kweli anamuamini Mungu na anajua Mungu anamlindia mali yake imani ingekwenda kwenye kurejesha shukurani/swala na ingemtengeneza hadi akaingia masjid kujumuika na wanaume wenziwe na pengine adhana ya sala anaisikia na anaipuuza imani gani hio kubwa? Allah amuongoze yy na sie, Amiin.
@violetpaulsen1741
@violetpaulsen1741 3 жыл бұрын
Tumuamin sana Mungu ndugu zangu
@breackychangwe7326
@breackychangwe7326 4 жыл бұрын
Daaaaah Jamaa Akili nyingi sana
@fatmastawbry6090
@fatmastawbry6090 4 жыл бұрын
angeswali mungu angebariki biashara yake.imani bila kuswali haina barka
@kibonaamenye6878
@kibonaamenye6878 4 жыл бұрын
ebwanae Mungu yupo na anaishi na watu wake, amini Mungu yupo na nguvu zake na miujiza yake inatembea nasi., Amim kunakitu umenifunza
@asiajuma8330
@asiajuma8330 4 жыл бұрын
Mungu ndio kila kitu kaka uko vizuri alafu ni mtafutaji sana
@bmpondamussa3624
@bmpondamussa3624 4 жыл бұрын
Maa sha llah kama unamuamini Allah kweli nikila kitu ila namshauli aswali.
@epafrangweshemi4014
@epafrangweshemi4014 4 жыл бұрын
Kama anayosema ni kweli, Ndio imani tunayopaswa kuwa nayo yani mahusiano ya moja kwa moja na Mungu. Kanisa, misikiti na mahekalu yanasaidia tu kutufundisha na kutukumbusha juu ya kumjua Mungu na uwezo wake. Kuna la kujifunza kuhusu Imani hapa kuwa Mungu anaweza kila kitu isipokuwa sisi wenyewe tunamwekea mipaka na kujitia unajisi ndio tunapotetereka.
@kijonalusay
@kijonalusay 4 жыл бұрын
Nimempenda jamaa jinsi anavojibu maswali Allah azidi kumsimamia ila kazingua kua ana zaidi ya miaka 7 hajaswali hakika huu ni mtihani kwake Allah amjalie na imani yake izidi na aanze kusali
@aminafesali5817
@aminafesali5817 4 жыл бұрын
Amin insha allah atamjalia na atasali insha allah
@lawrencerichline4671
@lawrencerichline4671 4 жыл бұрын
Imani ni bora kuliko dini
@pickmaxtv7689
@pickmaxtv7689 4 жыл бұрын
Kikubwa kumuamini mungu anayosema yanawezekana
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 4 жыл бұрын
Kumbuka mwenyezi Mungu aliyetuumba ndiye alietuamrisha tuchukue tahadhari.Uinzi muhimu
@soudmeena
@soudmeena 4 жыл бұрын
Bhi
@abdujuma1439
@abdujuma1439 4 жыл бұрын
Daah blaza we niatali xn
@iddyshabani5942
@iddyshabani5942 4 жыл бұрын
KAMA UMEGUNDUA MILARD AYO ANA WASI WASI /KITETE /MTERO GONGA LIKE
@venerandamdede9376
@venerandamdede9376 4 жыл бұрын
Hahahahaa kabisa anaogopa
@mrsjj8804
@mrsjj8804 4 жыл бұрын
Hhhhh basi haaya
@robertchugu7932
@robertchugu7932 4 жыл бұрын
Anamtero kama wote
@husnamahadhi7437
@husnamahadhi7437 4 жыл бұрын
Hahaaa
@tawfiqahmadbakari4314
@tawfiqahmadbakari4314 4 жыл бұрын
Jamaa ana maconfidence hatr
@d.m453
@d.m453 4 жыл бұрын
Ujasiri wake umewafanya watu kuwa waoga wanahisi kunanguvu ya ziada,wanashindwa kuiba.
@lizzydiy4590
@lizzydiy4590 4 жыл бұрын
Mmmh sio rahis kua na ujasir huo pengne Kuna kityuu
@mustaphyassin9743
@mustaphyassin9743 4 жыл бұрын
Debora nicheki kwa no 0629908339
@d.m453
@d.m453 4 жыл бұрын
@@mustaphyassin9743 Kuna nini?
@hannansdeliciousfood4261
@hannansdeliciousfood4261 2 жыл бұрын
Karib znz Hamim tunakukaribisha
@allyhussein6363
@allyhussein6363 4 жыл бұрын
Angekuja kufungua uku mtaan kwetu. Nadhani akil ingemkaa xawa tu. Wangap wanakubal kuwa mtaan kwao amnaga uzembe kama uwo? Like hapa na ku comment
@rehemaally7520
@rehemaally7520 4 жыл бұрын
twende saw boc
@jasmineshechambo3401
@jasmineshechambo3401 4 жыл бұрын
Iba wibiwe
@monicanyefwe4808
@monicanyefwe4808 4 жыл бұрын
😂😂😂
@binbarwan7401
@binbarwan7401 4 жыл бұрын
km kwnu hkuna uzembe nenda kamuibie uone km hujatembea uchi😀😀😀
@zenadaudzena2849
@zenadaudzena2849 4 жыл бұрын
😂🤣🤣
@favourkind3746
@favourkind3746 4 жыл бұрын
Imani ya kumwamini Mungu tu
@khadhoujjojo338
@khadhoujjojo338 4 жыл бұрын
Astaghfirullah muislamu na huswali na wamuamini mungu..."kumuamini Allah(M. Mungu) ni misingi ya dini zote.
@rukiamussa9509
@rukiamussa9509 4 жыл бұрын
Unaweza usali na matendo yako ya ovyo ndio mana unaambiwa UISLAM UNAANZA IMANI MASHALLAH KAK MUNGU AKUONGEZEE IMANI ZAID SIKU MUJA UTASWALI INSHAALLAH
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 4 жыл бұрын
@@rukiamussa9509, Tofauti ya kafiri/asiemuisilam na muisilam ni swala
@mariammuscat4300
@mariammuscat4300 4 жыл бұрын
Aallah amjaliye aswali
@khadhoujjojo338
@khadhoujjojo338 4 жыл бұрын
@@mariammuscat4300 Allahumma Ameen
@mwinyicostantino9862
@mwinyicostantino9862 4 жыл бұрын
Hahaha! mr milard apa uligonga mwamba broo ulikifata sicho ulichokipata;pole ila unapambana 4sure broo,kip it up
@silakweya5981
@silakweya5981 3 жыл бұрын
Kakutana na jiwe kavu aseee
@angeljasson4376
@angeljasson4376 4 жыл бұрын
Hyu jamaa inawezekana hana lolote ila kwakua sio kawaida watu wanaogopa2 alf ana akili nyingi sana
@jumandutu2275
@jumandutu2275 4 жыл бұрын
Ndo ivoo masikini
@dotosalim5090
@dotosalim5090 4 жыл бұрын
Umeonaee
@hadijalukas5959
@hadijalukas5959 4 жыл бұрын
yani huyu mjanja sana hana rorote wala chochote ila kawashika nyota wezi
@ZaharadaffaZaharadaff
@ZaharadaffaZaharadaff 4 жыл бұрын
Nakubaliana na wewe
@7limonuh271
@7limonuh271 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@grecioussilas9885
@grecioussilas9885 4 жыл бұрын
milard kweli unatupasha habari sina cha kukupa ila ...# mungu atakupandisha viwangoooooo
@allisonmadii7620
@allisonmadii7620 4 жыл бұрын
Ntwara Njini kwa Nkuu wa Nkoa..hahaha nimekubali.
@frankg.heavenly2475
@frankg.heavenly2475 4 жыл бұрын
Hahahahahaaaa
@mrsochu-hv7bm
@mrsochu-hv7bm 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣mbavu zangu mie
@healthchoicewithluciebern8741
@healthchoicewithluciebern8741 4 жыл бұрын
Anamfanana na Mama Diamond bien Sandra
@mwinukafundibombanjombe
@mwinukafundibombanjombe 4 жыл бұрын
Wezi lazima wanamjua uyu jamaa ivyo wanaogopa kuingia kwenye 18 zake
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 4 жыл бұрын
Kweli,watu waone njia ipo wazi washindwe kupita kufanya yao
@biharucussi8130
@biharucussi8130 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@marymagdalinengala1567
@marymagdalinengala1567 4 жыл бұрын
😂😂😂😂kabxaa
@eliajuma9012
@eliajuma9012 4 жыл бұрын
Et duka unaacha waz arafu unamwachia mungu ukulindie! Mungu humsaidia yule anaejisadia mwenyew
@rachelhozza7047
@rachelhozza7047 4 жыл бұрын
haaah shikamoo mzee wa mungu
@justinjoshua1059
@justinjoshua1059 4 жыл бұрын
Nskukubali sana Millard ayo
@husnamahadhi7437
@husnamahadhi7437 4 жыл бұрын
Hakujiombea nafsi yake ameiombea jamii huyu kaka Mungu amsahidie in sha Allah
@gracetiampati2170
@gracetiampati2170 4 жыл бұрын
Millard Ayo. Nakupongeza kwa kazi nzuri unayo fanya. But ningomba uweze kua unawesa simu ya mwanchi maskini Kama huyu kwenye habari zake unapo zizimua, ili walinwengu wapenda wema na wanao sikia Kama wamependezwa na juhudi na Imani ya mtu Kama huyu na kutaka kumchangia kitu kidogo pengine akaweza kuongeza biashara yake au kununua matunda akala na familia yake Basi anawesa kuwapatia. Please
@sharifukalanje4597
@sharifukalanje4597 2 жыл бұрын
Dah nouna sana
@swahibsinjo8439
@swahibsinjo8439 4 жыл бұрын
Kuna kitu ya pazia huyu jamaa anatudanganya, hata Mungu anataka ujisaidie kwanza ili akusaidie sasa wewe jaribu kuacha milango wazi halafu useme Mungu atakulindia, kama ndo hivyo tusingekuwa tunaenda makazini Mungu anatudondoshea tu biriani gheto!!!
@habakukihabakkuk7568
@habakukihabakkuk7568 4 жыл бұрын
Noma sana
@Waytozanzibar
@Waytozanzibar 4 жыл бұрын
Huyu kuna siku atakuta magazeti2 ktk hicho kichochoro, mwache ajifanye anaimani ya Mungu. Mungu anasema kwanza anza kujilinda namimi ndio nitakulinda, sasa wewe una-acha uchochoro wako wazi then unasema unamtegemea Mungu.
@rickyfyne7795
@rickyfyne7795 4 жыл бұрын
Dah!! Imetisha sana hii
@upendohalisi80
@upendohalisi80 4 жыл бұрын
Millard upo vizuri ktk tasnia hii
@abuusalim4233
@abuusalim4233 4 жыл бұрын
Asante millad
@bintiiddy7043
@bintiiddy7043 4 жыл бұрын
Kijana yuko vzr mjengo wake wamaona insha Allah kijana utamalizia😍👌
@humphreydaimon7028
@humphreydaimon7028 4 жыл бұрын
Mjengo noma isee
@iddijumbe1816
@iddijumbe1816 4 жыл бұрын
@@humphreydaimon7028 0
@jamii_yetu
@jamii_yetu 4 жыл бұрын
Big up broo na pole kwa safari
@zabibumunis673
@zabibumunis673 4 жыл бұрын
Baada ya interview baadae hao Majamaa wanaotizama hapo watakujakujaribu kuiba
@mshindinewtvshow705
@mshindinewtvshow705 4 жыл бұрын
Safi sana huyu jamaa
@sharifakhamis2461
@sharifakhamis2461 4 жыл бұрын
Siri yangu siri yangu
@lydiamuli3328
@lydiamuli3328 4 жыл бұрын
Mpaka kuacha duka bila.mlango ni siri yangu 😁😁
@nsesheyemwasote6248
@nsesheyemwasote6248 4 жыл бұрын
😂😂😂kwa kweli
@fadhilsanga2847
@fadhilsanga2847 4 жыл бұрын
Millard ayo uko vizuri. Kwa kaZi yako Naququbali. ..,...
@ediboutros5464
@ediboutros5464 4 жыл бұрын
Mtu anamuigopa mungu miaka 7 hajaswali Allah amsaidie mzee wetu
@fatmaahamadabass8080
@fatmaahamadabass8080 Жыл бұрын
Nitakuja Nalingu nikuone kakangu Inshallah si mchezo salut kwako.
@amaniamani1129
@amaniamani1129 4 жыл бұрын
Nimependa hekima ya majibu yake yupo vizurii Sana'a Na katika maisha ujasirii ni dawa toshaaa
@abumoyo5341
@abumoyo5341 4 жыл бұрын
Nimekuelewaa sanaa baharia
@kingwatabata4230
@kingwatabata4230 4 жыл бұрын
Kama umesikia SISWARI twende sawa😂
@mwanzomwisho1217
@mwanzomwisho1217 4 жыл бұрын
Nimesikia ''SISWALI'' ila sio ''SISWARI''.
@moonfmoontv
@moonfmoontv 4 жыл бұрын
Am from German.. I don't understand Swahili... But huyu jamaa katisha sana
@erickdonick6485
@erickdonick6485 4 жыл бұрын
Kuma makoo unakaa buza
@adamally6
@adamally6 2 жыл бұрын
hhhhhhh ss umemfahamuje na huelewi kiswahil
@husnahassan6289
@husnahassan6289 4 жыл бұрын
Muhojiwa yupo seriously mpka anatisha kha hahahahah
@rosenelima8618
@rosenelima8618 4 жыл бұрын
😂😂😂😂
Mlima kitonga mkoani Iringa
15:25
James Justine
Рет қаралды 974 М.
规则,在门里生存,出来~死亡
00:33
落魄的王子
Рет қаралды 27 МЛН
Крутой фокус + секрет! #shorts
00:10
Роман Magic
Рет қаралды 27 МЛН
How Strong is Tin Foil? 💪
00:26
Preston
Рет қаралды 146 МЛН
MSIBA: MTANGAZAJI WA WASAFI FM DIDA SHAIBU AFARIKI DUNIA
2:05
Millard Ayo
Рет қаралды 40 М.
MREMBO AMESOMA MASTERS MAREKANI ILA ANAUZA MAKANDE MWANZA
18:47
Millard Ayo
Рет қаралды 596 М.
BREAKING: MTANGAZAJI DIDA SHAIBU WA WASAFI  AFARIKI DUNIA
1:07
Millard Ayo
Рет қаралды 35 М.
规则,在门里生存,出来~死亡
00:33
落魄的王子
Рет қаралды 27 МЛН