THE CLASSIC JAY MOE : MAISHA YA JAY MOE KABLA YA WATEULE/WABAKIAJI/MWANZO WA WATEULE/USHINDANI/PFUNK

  Рет қаралды 23,364

KuviFacts

KuviFacts

3 ай бұрын

Jay Moe anatajwa kama moja ya MC wa Hiphop bora kabisa wa muda wote sio tu Tanzania bali Africa ya Mashariki,uwezo wake wa kiuandishi na mitambao umemfanya abaki kwenye chart kwa zaidi ya miaka 24 sasa,hii ni sehemu ya kwanzaya maongezi yetu ambayo anabainisha safari yake katika hatua za awali kabisa.

Пікірлер: 105
@amoskagika8884
@amoskagika8884 2 ай бұрын
Zamani wazazi wengi walikuwa wanawaleta watoto wao kusoma Mbeya kutoka mikoa mbalimbali kwa sababu miaka hiyo kulikuwa na shule nyingi nzuri na walimu wazuri sana kuanzia private Mpaka government schools. Hapo unaongelea shule Kama Sangu, Meta, Irambo, Iyunga, Rungwe, Lutengano, nk. Huko kote vimepita Vichwa kibao akina Jay Moe, Jaffarai, Marehemu Cpwaa, Mchizi Mox, Prof Jay, Edo Kumwembe, Joseph Kabila na wengine wengi. Mbeya the Green City🔥🔥🔥
@Yegon254
@Yegon254 3 ай бұрын
Huyu naweza msikiliza siku nzima, story teller
@qserick7799
@qserick7799 3 ай бұрын
Daaaah jay Moe ada madini sana and he is the best story teller,big up brother
@makantaafrika
@makantaafrika 2 ай бұрын
Hii ndiyo tunaamisha tunaposema MADE IN GREEN CITY 💪🏿
@simas.a1003
@simas.a1003 2 ай бұрын
Asanteni the classic, huyu jamaa nlikua namsubiri kwa Ham sana. R.I.P albart mangwear mchizi wake daa!
@thomasshello8138
@thomasshello8138 2 ай бұрын
Bonge moja la show, Mo is the best
@Don_mountana
@Don_mountana 2 ай бұрын
Unaleta akili mkubwa sana kwenye show big up sana na jay moe ni moja ya msanii wangu pendwa sana i wish to sit one table with legend mo
@eddiemohamed9003
@eddiemohamed9003 Ай бұрын
BEST INTERVIEW, BIG UP SO FAMOUS JAY MOE
@obbymweucy4424
@obbymweucy4424 3 ай бұрын
Mchopanga ni bonge Moja la story teller....salute sana moe✌️✌️
@CoachHafidh
@CoachHafidh 2 ай бұрын
Agreed 💯%
@arafuminpetro9625
@arafuminpetro9625 Ай бұрын
Hakika...utamsikiliza penda usipende
@JamesPaulo-oz7tb
@JamesPaulo-oz7tb 3 ай бұрын
Hiii show napishana nayo sana ikiwa live kwa radio mara nyingi naikuta huku
@KuviFacts
@KuviFacts 3 ай бұрын
Jumamosi inaanza saa 8 mchana mkuu hadi 11 jioni
@DicksonBiseko-mx9mx
@DicksonBiseko-mx9mx 2 ай бұрын
mr kuvi
@BebaKulwa
@BebaKulwa 3 ай бұрын
Kuvichaka ......nakubali sana mzee....tutafutie Mr.Sahani D knob.....
@jumazahoro3537
@jumazahoro3537 3 ай бұрын
Nenda show ya bongo project katoka d knob last week ,next week anahojiwa biz man
@joelasu2984
@joelasu2984 2 ай бұрын
D knob kaokokaa, sidhan kama atakubali😢
@amandusmark3060
@amandusmark3060 2 ай бұрын
D tayari.
@zaharamlau8817
@zaharamlau8817 3 ай бұрын
J mo kumbe ni fun 😂😂😂😂😂😂 Nime enjoy sana hii kitu ya leooo. Mbakiajii😅😅😅😅
@MackameHassani
@MackameHassani 3 ай бұрын
Interview ilikuwa tamu sanaaa tamu mnoo, acha arudi tuu next weak. Darasa tosha hilii.
@Eustacengweshemi
@Eustacengweshemi 2 ай бұрын
Nimependa appearannce ya Jaymoe ,kiheshima sanaa sanaa. Safi sanaa. Hii story vijana wajifunze music ulipotoka kwa kupambaniwa na watu. Heshima kwao.
@ambokileasheengai1140
@ambokileasheengai1140 2 ай бұрын
Duh Karl Luis,,,Longtime aise mtaa wa samora avenue,,,,Sugu Alikuwa anakuja sana kwa bro Heri,,Shekhe,,,,enzi hizo nauza simu na vinyago pale,,,wajanja wote leo tuko abroad.......kumbukumbu hiyo
@godfreykiama1930
@godfreykiama1930 3 ай бұрын
return of supermen..!!
@josephlyakurwa
@josephlyakurwa 2 ай бұрын
More technics, more flavour, hatari fire 🔥
@sadiqadam7971
@sadiqadam7971 3 ай бұрын
My brother my cousin Jay Moe ✊🏾
@trendingfootshorts
@trendingfootshorts 3 ай бұрын
Super Men.... Hii nimeisubir sana
@martinmwambembe6943
@martinmwambembe6943 2 ай бұрын
Kuvichaka yani umemleta mtu sahii sana❤❤
@barakamwansele5040
@barakamwansele5040 3 ай бұрын
My best story teller
@SalimSalim-bv3wb
@SalimSalim-bv3wb 2 ай бұрын
Eh Jay moe ni story teller mzuri sana
@amoskagika8884
@amoskagika8884 2 ай бұрын
Sasa Jabir next time muulize Jay Moe kuhusu shule ya Irambo maana aliisagia sana kunguni kwenye ule wimbo wa maisha ya boarding. Kwanini alisema ukimpeleka mtoto shule Kama Irambo lazima tu atafeli? Na je haikumletea shida kwa walimu wake na viongozi wake wa shule aliyosoma kwamba jamaa kasoma hapa Afu anaikandia shule yetu? NB toka alivyoimba vile ile shule haijawahi tena kurudi kwenye track😂😂😂😂😂
@johnrichard5482
@johnrichard5482 2 ай бұрын
#Jamoe Ni Miongoni mwa wa Simuliaji Wazuri Sana🙌🙌🙌
@Manyesha6290
@Manyesha6290 2 ай бұрын
Appreciation Kwa jay more
@makantaafrika
@makantaafrika 2 ай бұрын
Kudadekiiii 😂😂 Sheiza na Jay Moe 🔥🔥🔥🔥
@MichaelAnthonyGuni
@MichaelAnthonyGuni 3 ай бұрын
one of the best MC in this industry
@evanceburton4364
@evanceburton4364 2 ай бұрын
Ukimsikiliza Jay moe kuna namna wanaongea sawa na p funk
@johnmwandu2116
@johnmwandu2116 2 ай бұрын
Kumbe na ww umelionaaa, sema nilikuwa naitafuta, kwamba anaongea km nani vile huyuuu, umenisaidia
@johnrichard5482
@johnrichard5482 2 ай бұрын
Kweli Kabisa.. P funk na Jamoe Wakiongea Wana sound the Same...✍️
@gnmbi
@gnmbi 3 ай бұрын
Mchopanga azeeki
@barakamwansele5040
@barakamwansele5040 3 ай бұрын
My role model mbakiaji
@amoskagika8884
@amoskagika8884 2 ай бұрын
Kuna namna hawa wasanii wa HipHop wanakuonesha ni namna gani hawa jamaa wana IQ kubwa sana, unamsikiliza mwanzo mwisho huchoki, kuanzia watazamaji mpaka watangazaji wanainjoi. Ni mwendo wa kuburudika, kujifunza, na kuongeza maarifa❤
@edsonniwagira9569
@edsonniwagira9569 2 ай бұрын
Yaap man ✌
@abuubaqr5808
@abuubaqr5808 2 ай бұрын
Top 5 dead or alive, mo technix
@godlistenmuro9313
@godlistenmuro9313 2 ай бұрын
One of my best story teller rappers ever n ever 🎉🎉🎉🎉
@hiphopoldschoolkalama1405
@hiphopoldschoolkalama1405 2 ай бұрын
Dah, bado narudia, artists wa Bongo wa zamani walikua wamesoma. Wa sasa ni ziii.
@shithyomar3828
@shithyomar3828 2 ай бұрын
Juma big up nimefurahi huyu jamaa nilimkubali tangu tupo makumbusho primary salute where is jafari jafarai
@mabudaissere2295
@mabudaissere2295 2 ай бұрын
Jafarai yupo mikocheni Tmj kuna kituo cha oil com,yeye ana car wash.
@drisakamwakitalima1937
@drisakamwakitalima1937 3 ай бұрын
Juma mchopanga, nakukubali brother
@yayananajota5838
@yayananajota5838 2 ай бұрын
Always best👊 jy more🇫🇯🇹🇿
@husseinwemmar6217
@husseinwemmar6217 2 ай бұрын
Jay Mo mbona unaongea kama P Funk majani au kwasababu mmekaa sana pale Bongo records
@kenanimwakanemela483
@kenanimwakanemela483 2 ай бұрын
J mo brain in the house
@beatusmajumbi7125
@beatusmajumbi7125 3 ай бұрын
J MORE,MORE FLAVER, jamaa uwa anakaa kimya akirudi anakaa kwenye nafasi yake na anaenea,
@josephlyakurwa
@josephlyakurwa 2 ай бұрын
Umeiweka kikubwa sana hii 😊
@Kitaautange
@Kitaautange 2 ай бұрын
Bonge la interview Jabir🔥🔥Mchopanga ma story kali kali
@makantaafrika
@makantaafrika 2 ай бұрын
Mchopanga 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@gambajunior138
@gambajunior138 2 ай бұрын
One of my idol
@MaryamRajab-vb6sx
@MaryamRajab-vb6sx 2 ай бұрын
The story teller himself mo the classic
@thomasgunje7640
@thomasgunje7640 3 ай бұрын
SO FAMOUS
@BoNoBo_Tlm
@BoNoBo_Tlm 2 ай бұрын
Best interview,hongereni sana
@KuviFacts
@KuviFacts 2 ай бұрын
Shukran sana
@shithyomar3828
@shithyomar3828 2 ай бұрын
Tuwekeeni namba ya mchopangà nipo nje ya tz tumepoteana tangu makumbusho primary
@alexmsigara4329
@alexmsigara4329 2 ай бұрын
Daaah amenikumbusha way back hiyo rehearsal ya Pool side na talent show ya Mambo Club.
@KuviFacts
@KuviFacts 2 ай бұрын
Haha mzee umepambana sana 🙌🏾
@Eustacengweshemi
@Eustacengweshemi 2 ай бұрын
Kwenye talk kama hizi za bongo flavour nammis sana Gardner G Habash. RIP bro, mchango wako mkubwa sana.Mike Mhagama kumbe ndio alitambulisha jina la bongo flavour? nimejifunza, kipindi kizuri sana.
@nicksoncharles-kx3gr
@nicksoncharles-kx3gr 3 ай бұрын
Damme pind liko moto Sana
@KuviFacts
@KuviFacts 3 ай бұрын
Mzuka sana kaka
@ronaldissack3338
@ronaldissack3338 2 ай бұрын
Mo technics🔥🔥🔥🔥🔥 Story 3
@JacksonOchieng-dt7xo
@JacksonOchieng-dt7xo 2 ай бұрын
Big up sana Jay
@fazeelshomary8743
@fazeelshomary8743 2 ай бұрын
Best Interview 2024
@miltonemusumbah2544
@miltonemusumbah2544 2 ай бұрын
Tumemsubiri sana hyu
@alloycemillinga1673
@alloycemillinga1673 3 ай бұрын
Natamani kumjua Uyo Shalonz namsikia mala YA pili Leo, mwenye anamjua
@KuviFacts
@KuviFacts 2 ай бұрын
Shyrose Bhanji andika hivyo instagram utamfahamu ni mwanasaisa kwa sasa
@marcowelano2245
@marcowelano2245 2 ай бұрын
aisee sina deni
@MrishoMussa-bx8ws
@MrishoMussa-bx8ws 3 ай бұрын
Mo saluti xana kk
@Abuukhatibu
@Abuukhatibu 3 ай бұрын
🔥🔥🔥👊
@edsonniwagira9569
@edsonniwagira9569 2 ай бұрын
Noma
@salumjumah5648
@salumjumah5648 3 ай бұрын
Anko MO
@yvesyveldinhomzee.5682
@yvesyveldinhomzee.5682 2 ай бұрын
LEGEND 🤟
@astonchiba5037
@astonchiba5037 3 ай бұрын
Moho mbakiaji🔥🔥💪
@daddyarfaksadi
@daddyarfaksadi 3 ай бұрын
moe mbakiaji😊😊
@Jabali_Media
@Jabali_Media 2 ай бұрын
Naaam 😅 moo technic
@Jabali_Media
@Jabali_Media 2 ай бұрын
Superman
@patrickmwakasungu7121
@patrickmwakasungu7121 3 ай бұрын
💪
@Chemba67
@Chemba67 2 ай бұрын
Kuvi bwana eti Inspector anaonekana kama msomali kipindi hicho ......alafu umekauka kau hata kucheka.....🤣🤣
@KuviFacts
@KuviFacts 2 ай бұрын
Hahaha noma bro
@sokastreet
@sokastreet 2 ай бұрын
So famous
@ngomenyikani8475
@ngomenyikani8475 2 ай бұрын
Moe 🙏
@dostovan5142
@dostovan5142 2 ай бұрын
Top 3 dead or alive
@allysudi4429
@allysudi4429 3 ай бұрын
Bro unaongea kama unarap... HIP HOP 4LIFE.
@johnmwandu2116
@johnmwandu2116 2 ай бұрын
Oyaaaa, hii kuubwa sana, tupange sasa top3, ni ipi kali ya ya interview ya MASANJA, MWANA FALSAFA, JAY TO THE MOE😂
@wilbroadgrarcian1259
@wilbroadgrarcian1259 2 ай бұрын
Inabidi tupige kura ipi ni the classic bora 😅
@iddbahati5245
@iddbahati5245 3 ай бұрын
Guys who is evid??
@frankmtukananje2136
@frankmtukananje2136 2 ай бұрын
Ni Heavy D
@nyemondagalla608
@nyemondagalla608 2 ай бұрын
Mchopange nakupongeza kwa ukweli wako.
@ndogoroedson199
@ndogoroedson199 3 ай бұрын
Tambulisheni lugha yetu! Achaneni na kiswanglishi cha kuunga unga ninyi
@KuviFacts
@KuviFacts 3 ай бұрын
Sawa mkubwa tusamehe sana tumekosea mkubwa 😀
@elinamilyatuu7337
@elinamilyatuu7337 3 ай бұрын
English haiepukiki punguza ushauri
@lusungumkolla6672
@lusungumkolla6672 3 ай бұрын
Pop corn zije
@user-dj5wb1lc1q
@user-dj5wb1lc1q 2 ай бұрын
Ekeni maji wakuuu!! Vp studio 🎙 mnakosa ata mji??
@KuviFacts
@KuviFacts 2 ай бұрын
Maji yanakua nje hiyo studio haitakiwa kuna na chakula,maji ama kimimimika chocchote na ukiingia navyo ni uvunjifu wa sheria za studio
@johnmwandu2116
@johnmwandu2116 2 ай бұрын
​@@KuviFactsAhsanteeee Leo umenipa jibu
@goodlucktemu3149
@goodlucktemu3149 2 ай бұрын
interview ina thamani kubwa zaidi za dhahabu.
@KuviFacts
@KuviFacts 2 ай бұрын
🙏🏾
@lucaskomba7125
@lucaskomba7125 3 ай бұрын
Bonge ya madini
@user-rc6ww6rx7n
@user-rc6ww6rx7n 2 ай бұрын
Msanii wng bora wa mda wt namkubali sn hy jamaa ukimpa collaboration ujipange
ПРОВЕРИЛ АРБУЗЫ #shorts
00:34
Паша Осадчий
Рет қаралды 6 МЛН
БАБУШКИН КОМПОТ В СОЛО
00:23
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 14 МЛН
Как бесплатно замутить iphone 15 pro max
00:59
ЖЕЛЕЗНЫЙ КОРОЛЬ
Рет қаралды 6 МЛН
STORY ZA LINEX NA BABA LEVO, KUISHI GETO MOJA, KUUZA STILI WAYA
12:07
Charles Magari Aja na Mpya / No Parking Tv.
24:34
NO PARKING Tv.
Рет қаралды 133 М.
Mkasi | S13E06 with Jay Mo Extended version
1:03:37
MkasiTV
Рет қаралды 70 М.
ПРОВЕРИЛ АРБУЗЫ #shorts
00:34
Паша Осадчий
Рет қаралды 6 МЛН