Mama Bikira Maria utuombee unijarie kusari rozari.
@AilenrinusEdward11 ай бұрын
Mama maria nakupenda sana mnooooooo wewe ni mfariji wangu
@lucimwica6472 жыл бұрын
Mimi pia nilibahatika kwenda Kibeho mwaka huu 2022 mwezi wa nane mvua ilitunyeshea, Asante sana Mama Bikira Maria kwa Neema zako.
@TheresiaCharles-ys9iy Жыл бұрын
Mama Bikira Maria Utuombee sisi wakosefu
@blandinakimbe8910 Жыл бұрын
Mama Maria nakupenda saana,mfariji wangu
@juliethndomba639Ай бұрын
Mwaka huu 2024 nilifanikiwa kwenda kibeho🙏 hakika kuna Neema ya ajabu ,namshukuru Mungu nimeona na kupata baraka nyingi nimehaishwa mengi katika imani yangu 🙏🙏🙏 #nyina wa jambo udusabire 🙏
@esterkomba40723 жыл бұрын
Nampenda sana mama Maria amenitendea Mambo mengi sana sana
@happinessmlewa65353 жыл бұрын
Huu ndio utajiri wa Bikira Maria, Utajiri wa Kanisa Katoliki Baba Mavula Ubarikiweeeee
@AilenrinusEdward8 ай бұрын
Naomba kujua mama maria aliwatokea kibeho mwaka Gani???? Kwa mara ya kwanza
@lenganteminyanda741010 ай бұрын
Atukuzwe Mungu milele AMINAAA 🙏
@alistidiabaguma21423 жыл бұрын
Kristo....Asante Sana Padre Dominic Mavula, asante dada Happinesses, hakika mbarikiwe Kwa kipindi kizuri kinachozidi kutujuza mengi kuhusu utajiri wa mama mwombezi wetu, mama Bikira Maria. Niwatakie Utume mwema.
@margaretkahurananga85443 жыл бұрын
Mama wa Africa utuombee
@sabinaleonce82432 жыл бұрын
Asante sana baba na dada yetu hakika binafsi nimefarijika
@margaretkahurananga85443 жыл бұрын
Asante sana
@agnesshayo93713 жыл бұрын
Asanteni sana sana Padre Dominic Mavula na Happiness Mlewa Mtangazaji wetu.🤝ama kwa hakika nimejifunza mengi, kipindi kizuri na nikweli kabisaaaaaaa Mama Maria ni Tajiri katika muonekano wake🤝🤝🙏🙏🙏Asante Camera Man Daniel Lingwe'ntu picha nzuri hazichoshi kutazamaa.🙏
@zuricakes68173 жыл бұрын
Asante sana. Mungu awabariki sana. Nimejifunza mapya just ya Mama wa Kibeho. Mother Mary of Kibeho, pray for us. Amen🙌
@scholasticavenance4387 Жыл бұрын
⁰
@chrisdeoglatias8665 Жыл бұрын
Wapendwa MUNGU NI ROHO NA WANAOMWABUDU HUYO MUNGU WA KWELI (Yn4:22-23). Hbr za kujenga vihekaru vya sanam mapango ya sanam na kujdngny n mama maria na n kuabudu sanam,hkuna sanam ambayo mungu anapatana nayo wala sifa zake hazipitii kw sanam yyte( Isay44:8) Ole wko unayepiga got mbele ya sanam na kutoa sadaka na kuimba halafu bado unajidhania kuw n mkristo la! Mkristo wa kweli humuabudu Mungu Kiroho bila kutumia kinyago chochote. Usipoamini ukweli huu leo na kukimbia ibada za sanam na kumuamini Yesu ktk kweli usihofu sik ile utakutana na mkono wa Mungu ndpo Mt7:21 itatimia huu yko. Hkuna nayeoiga goto mbele ya sanam anayeingia mbnguni
@BartholomewNehata Жыл бұрын
Wewe ss hatuabudu sanamu
@chrisdeoglatias8665 Жыл бұрын
@@BartholomewNehata kwaheri
@SmilingMonarchButterfly-kh4ve2 ай бұрын
@@chrisdeoglatias8665 kwendaaaa..Wale wale ambao mnajifanya mnasoma sana Biblia na kuielewa sana kumbe Hamuelewi ndio maana mna haha kulikosoa kanisa katoliki.. Endeleeni kuhangaika huko sisi tuko tunasonga mpaka ukamilifu wa Dahali👌🏽
@mariahkikuli84483 жыл бұрын
Nimebarikiwa
@Unceasing-prayers Жыл бұрын
Anaeuliza hajui anaejibu ndo hajui kabisa uongo uongo
Wewe achaupuuzi aliyejudanganya kuwa sisi wakatoliki tuna abudu sanamu ni nani lete uthibitisho wa yale unayo yabwabwaja hapo bila mpangilio
@josephmusagasa11 ай бұрын
Baba ni mmoja aliye Mungu. Huyo unayemuita baba ni nani sasa? Hakuna Mungu mwana wala Mungu roho mtakatifu. Sahihisha hilo,soma biblia vema. Bikra maria hasaidii chochote isipokuwa mnafuata mafundisho yaliyo ya wanadamu na si kutoka katika neno la Mungu
@SmilingMonarchButterfly-kh4ve2 ай бұрын
Pole sana 😢😢
@josephmusagasa2 ай бұрын
@SmilingMonarchButterfly-kh4ve utakuja kuelewa,bahati mbaya inaweza kuwa too late. Pole.
@josephmusagasa2 ай бұрын
@SmilingMonarchButterfly-kh4ve jipe moyo badala ya kusoma na kuelewa neno. One day utajua then utakuwa umechekewa. Hata mimi nilikuwa huko,ila Mungu humwokoa yule amtakaye
@josephmusagasa11 ай бұрын
Mbinguni hakuna bibi,kwakuwa mbinguni hakuna kuzeeka. Huyo anayejitambulisha kuwa bibi muulizeni anaishi mbingu ipi. Mbingu ni zaidi ya moja
@SmilingMonarchButterfly-kh4ve2 ай бұрын
Kwendaaaa.. kazi Yako kukosoa tu humu.. mbona kwenye kitabu Cha ufunuo wa Yohana wanatajwa wazee wanne, Mzee mmoja.. n.k sasa kwahyo Mama Bikira Maria akijitambulisha kama Bibi kosa liko wapi.. au we unalingana nae umri??
@josephmusagasa2 ай бұрын
@SmilingMonarchButterfly-kh4ve siku ukielewa ndiyo utakuwa umeelewa
@josephmusagasa2 ай бұрын
@SmilingMonarchButterfly-kh4ve muwe mnaleta story zenye mashiko. Tujadili mambo yanayo tusaidia kuifikia mbingu
@josephmusagasa2 ай бұрын
@SmilingMonarchButterfly-kh4ve huyo maria anakuja kusisitiza watu kusali rozali huku katika Biblia hakuna rozali. Biblia inakataza kuchonga,kutumikia na kuabudu vitu hivyo yeye anasema tumieni rozali. Swali la msingi; je yeye anapingana na amri za Mungu au mnamchomekea tu? Pili,huyo ndiye mama wa Yesu au ni mtu tu,huchikua sura yake na kujifanya ndiye? Naomba majibu my friend. Ni katika kuyajua maandiko vema
@josephmusagasa11 ай бұрын
Mbinguni hakuna bibi,kwakuwa mbinguni hakuna kuzeeka. Huyo anayejitambulisha kuwa bibi muulizeni anaishi mbingu ipi. Mbingu ni zaidi ya moja