BILA WOGA SHEIKH MUHAMMAD BACHU AMTAJA ADUI MKUBWA ZAIDI JIJINI TANGA

  Рет қаралды 7,645

AL MUBAJJAL TV

AL MUBAJJAL TV

Күн бұрын

#Usiache_kugusa_SUBSCRIBE_ilikupata_mazuri_yajayo.

Пікірлер: 26
@mussakhamis-g8c
@mussakhamis-g8c 7 ай бұрын
Vituko vya Mawahabi.....!! Mawahabi wamegawika sehemu 3 1. Tabligh hawa wanaonekana wajinga hawana elimu wanatumia Hadithi za uongo na visa vya kutunga 2. Majadide hawa nao ni Mawahabi wanaojiona wanajua na wanaelimu kuliko waislam wote 3. Hizbia pia nao ni Mawahabi wanaowazarau Mawahabi wenzao na kujiona wao wapo sahihi zaidi na wanachokijua wao ndio kipo sahihi zaidi NB: Mawahabi woote hao wanawadharau Masufi wanawaona wamepotea ila wao kwa wao wenyewe kwa wenyewe pia wanadharauliana Tabligh wanawadharau Hizbia na Jadide na hao wengine kadhalika wanawadharau wasiokuwa wao. Hawa jamaa wanavituko hasaa wazee wa kujua kila kitu 8:07
@ilyaaswambi1622
@ilyaaswambi1622 2 жыл бұрын
Kwa maoni haya,inadhihirisha wazi kuwa waislam tuna matatizo makubwa, wale mashalla, wale si shehe, wale unatafuta umaarufu, NINI Waislam, uislamu ni nuru, tushindane kwa mema, anaekosea mwite umfahishe, ndio FADHAKIR, Vyenginevyo hatufiki, Mola atubariki
@abbaspaziaog2188
@abbaspaziaog2188 Жыл бұрын
Qassimu. Ni mhuni katika dini na ni jadidah kubwa Tanzania akifuatiwa na imamu Hamisi wote hawajielewi
@Abuuabdillah259
@Abuuabdillah259 Жыл бұрын
Baba Ako ndo muhuni namba moja
@abynduwimana81
@abynduwimana81 2 жыл бұрын
Salaam aleykum Allah akulipe kheri kwakuwaelimisha wanadamu nakuwapa nasaha tunakuomba uje ukuburundi bujumbura tunapenda darsazako
@mansourhubby7398
@mansourhubby7398 2 жыл бұрын
C mliambiwa msiwasikilize
@nusratyasir8418
@nusratyasir8418 2 жыл бұрын
Na nani?
@allymahaba3425
@allymahaba3425 Жыл бұрын
Hawa jamaa wanatuharibia dini. Hivi kweli hayo majibizano yao ndio tuite da'waa au wao wanatambiana? Sisi tunafaidika nini hapo? Waislam amkeni
@abuusufiyanjamada3775
@abuusufiyanjamada3775 Жыл бұрын
Huyu kijana mwenye kutia kinyaa kwenye manhaji yake isiyoeleweka siku hizi kadumbukia shimo lipi ? Make hatumsikii kelele zake
@lilianmakwati5228
@lilianmakwati5228 2 жыл бұрын
Kwa sasa adui wa muislamu ni muislamu mwenyewe
@mahmoudmahsein1277
@mahmoudmahsein1277 2 жыл бұрын
kwanini mnaacha kulingania na mnakesha kujibizana nyie kwa nyie, Huu sio uislam aliotuachia mtume Muhammad s.a.w. kila kukicha vijembe
@salafnungwi5723
@salafnungwi5723 2 жыл бұрын
Wasema kuwa hujafikia kuitwa SHEIKH ilhaali Description zako zimeandikwa SHEIKH MUHAMMAD! Tanga umeenda kutafuta kiki ya kupata umaarufu. NAMUOMBA ALLAH UJIBIWE NA AL AKHY ABUL ABASS OR ABUU UMEYR Na wengine katika Masheikh wakuangalie tu namna ya ubwekaji wako
@islamyussuf8135
@islamyussuf8135 2 жыл бұрын
Assalamu Aleykum
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 2 жыл бұрын
ALLAH akuondoe huko kwenye ujadiida, maana ujinga umekuzidi sana
@salafnungwi5723
@salafnungwi5723 2 жыл бұрын
@@mohdkhatib223 Unaelewa unachokiongea? Pameandika kitu gani na wewe unaandk kt gn?
@mansourhubby7398
@mansourhubby7398 2 жыл бұрын
Dhana ni mbaya we jadida
@salafnungwi5723
@salafnungwi5723 2 жыл бұрын
@@mansourhubby7398 Jadida ni nini? Kushanya audio zote za masheikh wako uniletee maana halisi ya JADIDA!
MASWALI NA MAJIBU || FITNA ZA UJADIDA || SHEIKH MUHAMMAD BACHU
25:29
ПРИКОЛЫ НАД БРАТОМ #shorts
00:23
Паша Осадчий
Рет қаралды 5 МЛН
The CUTEST flower girl on YouTube (2019-2024)
00:10
Hungry FAM
Рет қаралды 48 МЛН
Самое неинтересное видео
00:32
Miracle
Рет қаралды 2,5 МЛН
Raddi juu ya Uongo wa Muhammad mafuta kwa Sheikh Nassor Bachu||Muhammad Bachu.
41:39
Lengo  la Ibaada ya Niyah na Aina 2 za Rizq. Sheykh; Hassan Ahmed
59:24
Al-hidayah online tv
Рет қаралды 2,5 М.
TOFAUTI YA MASHIA NA AHLUSUNNA KUHUSU ASHURAA
1:36:47
AL MUBAJJAL TV
Рет қаралды 496
ПРИКОЛЫ НАД БРАТОМ #shorts
00:23
Паша Осадчий
Рет қаралды 5 МЛН