Bilionea mtanzania katoa sababu za kwanini hajanunua ndege binafsi

  Рет қаралды 274,657

Millard Ayo

Millard Ayo

8 жыл бұрын

Пікірлер: 89
@elminamgimba6077
@elminamgimba6077 2 жыл бұрын
Tazama tofaut, dewj utajiri wake ni dollar billion 2, kule duniani watu wanamiliki adi dollar billion 100 na kuendelea, wao kulipipia iyo million 8 per hour ni kama Kama kununua pipi.
@salehsuleiman1218
@salehsuleiman1218 5 жыл бұрын
hawa ndio matajiri tunao wataka upo vzr kaka nakukubali Allah akupe maisha yenye kheri Na afya njema akuondoshee hasaad
@ndihenzegervas9582
@ndihenzegervas9582 7 жыл бұрын
Nakutakia maisha marefu Ndugu Dewji
@rashidiwaiti6686
@rashidiwaiti6686 2 жыл бұрын
Kununua ndege Ni maisha mengine hayo sio ufahalii mtu Ana pikix2 na baiskeli kila usafiri unaumuhimu wake
@miraclebullah9
@miraclebullah9 6 жыл бұрын
Ishi unavyoweza sio unavyopenda such is life big up huo nfo mfano mzuri wa kuiga
@mfalmewanyika2804
@mfalmewanyika2804 4 жыл бұрын
Hizo hela za kununua ndege bora ukawajengea maskini apartment wakae bure angalau kesho utazikuta amall zako kwa Allah. na tunakuombea Allah akuzidishie kwa njia ya kheri ammin.
@laynerngole2119
@laynerngole2119 7 жыл бұрын
nice,watu kama hawa ndio wanaohitajika ktk jamii
@elminamgimba6077
@elminamgimba6077 2 жыл бұрын
Uko uarabuni, ulaya watu wanamiliki maYatch na madege na wanazid kutajirika tu. Uyu pesa za familia that's why anajifanya mchumi, hakuna lolote Apo
@alinamakakyando3218
@alinamakakyando3218 8 жыл бұрын
huyu jamaa pasua kichwa anaishi kwa mahesabu sana hana tamaa ya kuiga matumiz big up sana
@bakariselemani9170
@bakariselemani9170 6 жыл бұрын
alinamaka kyando taarabu
@stanslausmteme8455
@stanslausmteme8455 4 жыл бұрын
Sio Hana tamaa hapana! Hana uwezo huo wa kutumia ndege binafsi kwani hujamsikia kasema kutumia ndege binafsi ni gharama na katoa mfano wa kwenda na private jet A.kusini.
@triplea3463
@triplea3463 3 жыл бұрын
@@stanslausmteme8455 utopolo mnashida Haya tuoneshe private jet ya GSM😆
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj 4 ай бұрын
@@stanslausmteme8455 Nani kakuambia hana uwezo.
@rashidiwaiti6686
@rashidiwaiti6686 2 жыл бұрын
Pesa zipo kwa akilii yamajitaji ya kila mtu anaehitaji kununua ndege nayo Ni hatua ya mahitaji kwa anaehitaji kwahiyo huyo hata chupi avai si Ana sulualii.
@petermgosi2111
@petermgosi2111 7 жыл бұрын
we mchumi nimekupenda kaka
@philysalum7344
@philysalum7344 7 жыл бұрын
hahaaa unatumia hakili ww hutak ujinga kbsa
@vendelinmassawemassawe3699
@vendelinmassawemassawe3699 7 жыл бұрын
yuko vizuri kwenye esabu usifanye kitu kwa kuwa fulani kafanya hingera sana kaka moo
@ashaakidotkidotlyova2881
@ashaakidotkidotlyova2881 7 жыл бұрын
Vendelin Massawe Massawe hio ndio akili bora ukatoe hio pesa ukawape watoto yatima
@ashaakidotkidotlyova2881
@ashaakidotkidotlyova2881 7 жыл бұрын
Vendelin Massawe Massawe huyo simba hana akili awape masikin haswa waremavu huko kwetu
@rosemarykaroli6703
@rosemarykaroli6703 7 жыл бұрын
safiiiii sana kaka Yangu ishi kama ndoto zinavyo kuerekeza na si kuiga hao maribuken barkiwa saana saana mungu you pamoja nawe
@aminayasni9031
@aminayasni9031 7 жыл бұрын
Ashaakidot Kidot Lyova ivi ww katika watu wanaojitolea misada huwex mwacha huyu kiumbe unatukana hata pesa Moja Kumpa tu kilema hujawahi unajuaje km huko kwnu hajawahi toa msaada mmeshazoea mtu akitoa msaada Mpk ajitangaze chefuuu mfyuuu zako
@djmikyexclusive3885
@djmikyexclusive3885 7 жыл бұрын
huyu jamaa sio bilionea no trillionea wa tanzania
@mr.rogers9238
@mr.rogers9238 7 жыл бұрын
MO you are The Man
@eliaskebero3350
@eliaskebero3350 8 жыл бұрын
Mo anaishi economically zaidi
@stanslausmteme8455
@stanslausmteme8455 4 жыл бұрын
Hana uwezo huo mbona kasema kua ni gharama kusafiri na ndege binafsi
@triplea3463
@triplea3463 3 жыл бұрын
@@stanslausmteme8455 Mtu mwenye utajiri wa 1.9 Billion dollars ashindwe kununua hivi vibombadia vya watu sita vya million 4 usd
@allymwilu8089
@allymwilu8089 Жыл бұрын
Tutegemee kukutana na mabilionea wengi vivuli kwa serikali hii ndugu zangu
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 7 жыл бұрын
Big up Brother uko powa tu
@anawa4326
@anawa4326 7 жыл бұрын
Very smart 👍🏼
@mtanzaniamzalendo7001
@mtanzaniamzalendo7001 7 жыл бұрын
hongera sanaa Dewji
@shaabanmasoud4827
@shaabanmasoud4827 8 жыл бұрын
unaakili sana MORE
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 5 жыл бұрын
Mashallah, unaakili sana.
@evodbaliremwa4146
@evodbaliremwa4146 7 жыл бұрын
kila la heri kaka dewji japo hatujuani
@peterchande957
@peterchande957 6 жыл бұрын
Thamani ya Simba ni kubwa mno kuliko mnavyofikiria wadau kuweni makini
@danielmwasongwe2150
@danielmwasongwe2150 4 жыл бұрын
Mo anaswali ndio maana anahekima ya matumizi,kweli atafika mbali,nakumbuka alipohojiwa BBC alisema anadeni kubwa na watanzani waliomuombea kipnd chote alichopoteaga na hvyo kutoa sehem ya utajiri kusaidia masikini.
@oscarkasalile3966
@oscarkasalile3966 9 ай бұрын
Ndiomaana anakuwa Tajiri
@tumainikyando8803
@tumainikyando8803 5 жыл бұрын
Tatizo ni hiyo timu uliyowekeza ni bora hiyo fedha ungeenda kununua korosho !
@bashaakumaarpandan9021
@bashaakumaarpandan9021 2 жыл бұрын
Huyu engekua muafrica nafkiri engenunua madege kibao kwa sifa ndio maana muafrica hasongi mbele
@elminamgimba6077
@elminamgimba6077 2 жыл бұрын
Mbona uarabuni waarab wanamiliki madege na Yatch zakutosha na wanazid kuwa matajiri, uyu muoga coz ni pesa za familia anaogopa
@BarakaSanane
@BarakaSanane 7 жыл бұрын
Hongeraa akili kubwa hyo.
@hassanihussein4479
@hassanihussein4479 7 жыл бұрын
hhhhh Abromovic ni m2 mwengine bana na ndio Tajir wa kwanza wa England
@handsamjerry
@handsamjerry 7 жыл бұрын
Hassani Hussein ni kweli Mo anayoyasema... Simba hamtaki kumuuzia atajunua ndege ya nn... matajiri wa ulaya km Abramovich anawabeba wachezaji kwenye ndege yake.... anafanyia bussiness kwny Yatch yake soo Mo. ameeleza vzr na ndio maana ameweza kua tajiri
@koradjulius6881
@koradjulius6881 6 жыл бұрын
creative focus
@nelsonnyizi9798
@nelsonnyizi9798 8 жыл бұрын
Jamaa anajitambua
@danielkagoma2824
@danielkagoma2824 3 жыл бұрын
Vizuri mkuu
@oyay2821
@oyay2821 7 жыл бұрын
simba hoyee
@totoladinda3028
@totoladinda3028 7 жыл бұрын
safi sana
@salcle9702
@salcle9702 6 жыл бұрын
we ni singida united
@tanzuaexpress
@tanzuaexpress 3 жыл бұрын
Sema uwezo wako haukuruhusu acha Maneno mengi
@triplea3463
@triplea3463 3 жыл бұрын
Utopolo mnamatatizo kweli Basi tuseme GSM anayo private jet 😆
@ommyblessed6609
@ommyblessed6609 2 жыл бұрын
💯💯💯💯💯
@doreenmalesi6039
@doreenmalesi6039 7 жыл бұрын
unajua mahesabu poa
@stanslausmteme8455
@stanslausmteme8455 4 жыл бұрын
Kwani hao matajiri wenye ndege zao c wachumi?!!!shida pesa sio zake yeye ni msimamizi kwani Nani hafahamu Baba yake Mzee Dewji alikua mdhamini wa Simba na ndo alikua mwenye Mali! Yeye ni muangalizi wa Mali ya familia isipotee Hana maamuzi binafsi ndo maana anatoa sababu za kushindwa kumiliki ndege na kuitumia kua mi gharama
@charlesmataba6931
@charlesmataba6931 6 жыл бұрын
DAHH ,,,,,HEBU UMESOMA VITABU GANI VYA UCHUMI MOH??????
@stanslausmteme8455
@stanslausmteme8455 4 жыл бұрын
Mmmh! Bado sio tajiri ulipambwa Tu na jarida la Fobes na shida hizo Mali huna maamuzi nazo kudhamini Simba ni matakwa ya familia coz tangu Baba yako alifanya
@samirarsan2024
@samirarsan2024 3 жыл бұрын
zako wew hizo mali zote
@benndei5099
@benndei5099 5 жыл бұрын
Heri utumie hela Ujikinge
@maigathomas2353
@maigathomas2353 3 жыл бұрын
Safi mo
@Togolay
@Togolay 7 жыл бұрын
too much brain
@hamedalsaadi7350
@hamedalsaadi7350 6 жыл бұрын
asante baba
@nassiralawi8799
@nassiralawi8799 3 жыл бұрын
Wacha ubaili
@abeidmayanga809
@abeidmayanga809 8 жыл бұрын
good
@haddgome4682
@haddgome4682 7 жыл бұрын
haswaaa
@mrtricks3742
@mrtricks3742 5 жыл бұрын
SIKILIZA SIMULIZI HII MPYA YA KUSISIMUA
@kingayo999
@kingayo999 6 жыл бұрын
wewe ni zaidi ya mabiliona
@fayeezomar2902
@fayeezomar2902 6 жыл бұрын
Mo maneno maxima lakn bad maskin mbele ya majir wa ulaya abrah ni billny was dunia wew Africa hugusi think hard before u make chocht
@jaxlim5420
@jaxlim5420 7 жыл бұрын
Anakielw anch kifany
@greysonsimba3251
@greysonsimba3251 8 жыл бұрын
aichukue tu simba
@fintaniferx9535
@fintaniferx9535 5 жыл бұрын
Kwa nini uwendi misibani?
@robertsimon9455
@robertsimon9455 7 жыл бұрын
kuna tajiri gn mwingine bongo ambaye ni free masonic
@triplea3463
@triplea3463 3 жыл бұрын
Bakhresa
@shuwehaharunaomariikwena233
@shuwehaharunaomariikwena233 7 жыл бұрын
yupo kwenye orodha ya Freemason wala simpapatikii sababu pesa za uchawi
@benbranco3688
@benbranco3688 7 жыл бұрын
Shuweha Haruna Omari Ikwena namm tafta za halali tuzione ha ha ha mbna ww hauna kitu kama mm tuu na wala ss sio freemason
@yusufujamali4577
@yusufujamali4577 7 жыл бұрын
Acha roho mbaya wewe una ushahidi na unachosema
@shuwehaharunaomariikwena233
@shuwehaharunaomariikwena233 7 жыл бұрын
+Yusufu Jamali nawewe ni mmoja wao ndio maana watetea ushetani
@shuwehaharunaomariikwena233
@shuwehaharunaomariikwena233 7 жыл бұрын
+Yusufu Jamali tatizo lako wewe ni mshamba wamitandao upo you tube tu mitandao mingine hupo mengi huyajui wewe
@yusufujamali4577
@yusufujamali4577 7 жыл бұрын
Unaongea bila data mkuu sio kila unachokiona kwenye mitandao ni chakuchukua tu jitahidi uwe mfuatiliaji wa mambo usiabudu mitandao kwani mangapi yamezushwa na mitandao mwisho wa siku niuongo mtupu Unaweza kutupa ushahidi wa wazi kuwa yeye ni mfuasu wa hiko unachosema
@abuibra
@abuibra 6 жыл бұрын
MWENYE KUFIKIA UWEZO WA KUNUNUA CHOMBO CHA NAMNA HIYO HUNUNUA BILA KUPIGA HESABU MCHWALO,HAKUNA AIBU KUSEMA SIJAFIKIA KIWANGO HICHO.
@seducerkapero7306
@seducerkapero7306 6 жыл бұрын
uko sawa kabisa Azeez huo ndio ukweli wenyewe hayo mengine anaongea ni story tu.kwa maana unaposema dewji ana akili kwa kuto nunua ndege then una maanisha john travolta,anyemiliki zaidi ya ndege moja,donard trump na wengine ni wajinga..?sio kweli HILI NI SWALA LA PESA NA UWEZO SIO AKILI.DEWJI BADO HAJAFIKIA UWEZO WA KUMILIKI NDEGE BINAFSI"PERIOD"
@lubavaclassic7048
@lubavaclassic7048 6 жыл бұрын
seducer kapero Haaaaaaa haaaa haaaa...Mnajisikiaje kwenye Komentii Buku nyie wawili tuu ndio mmejisapoti ujingaa....Amjajiisi Wachawii kweli uko mlikooo haaa haaaa haaaa...Mbona matajiri wengi awaishi kwenye nyumba zilizoezekwa kwa bati..ni kwamba awana uwezo wakuezekeaa Batii...Tumieni vichwa kuchambua kitu kilichotoka kichwani kwa mtu aliyekuzidi kimaendeleo...Sio mnachambuliaa makalioo Weuuuuuu nyieee alaaaaaaaaaaah...!!!
@triplea3463
@triplea3463 3 жыл бұрын
Private jet anayo bakhresa ambaye hata uzidishe mara mbili utajiri wake bado hajamfikia Mo Tulia kijana mali bila Daktari huisha bila habari
@chilolodenis2362
@chilolodenis2362 8 жыл бұрын
Upo sahihi
@paulswai1237
@paulswai1237 7 жыл бұрын
Duh! Jamaa yuko critical knoma ndo maana anazd kuwa tajir
@valcomangapie4520
@valcomangapie4520 6 жыл бұрын
Yes sir
@jaxlim5420
@jaxlim5420 7 жыл бұрын
Anakielw anch kifany
ЧУТЬ НЕ УТОНУЛ #shorts
00:27
Паша Осадчий
Рет қаралды 9 МЛН
What it feels like cleaning up after a toddler.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 78 МЛН
Alex hid in the closet #shorts
00:14
Mihdens
Рет қаралды 13 МЛН
BREAKING: ALLY KAMWE ATANGAZA KUJIUZULU YANGA SC
2:01
Millard Ayo
Рет қаралды 19 М.