HISTORIA YA KWELI YA GENIUS GINIMBI, TAJIRI MLA BATA, ALIYEZIKWA KIBILIONEA

  Рет қаралды 143,783

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 110
@devisshirima6780
@devisshirima6780 Жыл бұрын
Zipo siri nyingi sana nyuma mafanikio ya kila mtu !! Jitahidi sana nyuma ya mafanikio yako awepo Mungu !!
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 Жыл бұрын
Amen.
@lucasmhagama8166
@lucasmhagama8166 Жыл бұрын
Amen
@neemasamwel9545
@neemasamwel9545 Жыл бұрын
Kabisa
@happinesskitali164
@happinesskitali164 Жыл бұрын
Ameeen
@nelsonjonathan7660
@nelsonjonathan7660 Жыл бұрын
Yes
@Supershopdubai-ck8td
@Supershopdubai-ck8td Жыл бұрын
Millard ayo gonga👊 kwaiyi historia yaginimbi mzibwabwe nilikuanampenda Sanaa umenikumbusha mbalisan from 🇧🇮🇧🇮 penda san 👊👊👊👊
@laurenciamsheleja1873
@laurenciamsheleja1873 Жыл бұрын
Ila Mungu Acha aitwe Mungu Ginimbi na mali zake bd alikufa na akaziacha tumtegemee Mungu sana haya yote ni ubatili tu
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 Жыл бұрын
Nimetoka kuongea kimoyo moyo haya maneno.
@epicart3351
@epicart3351 11 ай бұрын
Acha roho ya kimasikini wewe
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 Жыл бұрын
Subhannallah, lakini utajiri wake haukuweza kuokoa uhai wake 😢
@saradaniel4579
@saradaniel4579 6 ай бұрын
na katika maisha tunayoishi hakuna ambae amewahi kusema ukweli pesa anapataje..... .. R.I.P hero,mic him,man of vibe....!#ginimbiforafrica
@OfficialTeacherTz
@OfficialTeacherTz Жыл бұрын
Kiingereza ni dili jiongeze ingia youtube yangu kasome BUREEEEEE utapata kazi ❤❤❤
@amanimanase8798
@amanimanase8798 Жыл бұрын
Daah dunia hii kuna watu wana maamuzi magumu atari kwa sababu wanajua duniani tunapita kwahiyo wanaamua kula maisha kwanza duniani
@albertkatuga2434
@albertkatuga2434 Жыл бұрын
Kula dunia alafu kwa Mungu ukaneemeka pia ni vizuri, kuliko iwe kinyume chake ni majuto 🥲
@FatumaIssa-kw3vv
@FatumaIssa-kw3vv 11 ай бұрын
Subhana'Allah
@joozeycraft2361
@joozeycraft2361 Жыл бұрын
Alijua atakufa mapema,alijua nini anafanya,alijua Bata zilikuwa dakika za mwisho,alijua hatma ya na maumivu ya ufanisi wake. Tunapenda Maisha ya ufahari,tena tuyapate kwa muda mfupi,hivyo basi Tamaa zetu,Mauti
@albertkatuga2434
@albertkatuga2434 Жыл бұрын
Laiti tungekuwa tunajua Dunia ni pinje ya mchanga, tusingelipoteza muda na hii Dunia🥲🥲🥲🥲
@user-bl3rq8fj9u
@user-bl3rq8fj9u 11 ай бұрын
Yule boya anajiita amina chifu good love
@mrambadiana9678
@mrambadiana9678 Жыл бұрын
We live Once bora ame enjoy ela zake May His Soul RIP
@HansBwoi
@HansBwoi Жыл бұрын
We live everyday but we die once 😂
@shcraightup
@shcraightup Жыл бұрын
No We live twice, The second Phase of life is Optional Ni wewe sasa kuchagua kumcha Mungu na kwenda Mbinguni au kumtukuza Ibilisi na kwenda naye Jehanum 🤷🏿‍♂️✊🏿✊🏿 UBARIKIWE 🦾🦾
@visusajonas4354
@visusajonas4354 Жыл бұрын
Dunia tunapita, tukia pamoja na Mungu baba inatosha
@SilivestaTesha-xg1si
@SilivestaTesha-xg1si Жыл бұрын
Kwani kupita ckawaida
@josephineminanisalma3792
@josephineminanisalma3792 Жыл бұрын
​@@SilivestaTesha-xg1sini kawaida ila mwisho mwema nibora zaidi
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 Жыл бұрын
Mungu na pesa yakufurahi laa sivyo itapita ukiwa umechoka😂😂😂
@lilianfrancis7987
@lilianfrancis7987 Жыл бұрын
Hakika, MUNGU kwanza
@frankngoloka5416
@frankngoloka5416 Жыл бұрын
@@josephineminanisalma3792 mwisho mwema unajua unakokwenda?maisha ni hapahapa Duniani
@ShomaryGango-db4rv
@ShomaryGango-db4rv Жыл бұрын
Dunia bhana utaleta jeuri lakini mwisho wake kifo
@flackomasterbaddest4155
@flackomasterbaddest4155 Жыл бұрын
Jeuri gani hela alikua nayo?
@Fgldesigns
@Fgldesigns Жыл бұрын
Hata usipoleta jeuri bado utakufa so, ishi utakavyo usisingizie kifo
@anethteodos6208
@anethteodos6208 11 ай бұрын
Yesu anatosha
@vivianavivy3656
@vivianavivy3656 Жыл бұрын
Ginimbii R.I.P
@davidlukumay11
@davidlukumay11 Жыл бұрын
Tupolev
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 Жыл бұрын
Tajiri wa dola 50 milion ame kufa akiwa miaka 36 daah kifo kiacheni
@lutenganolukali2122
@lutenganolukali2122 Жыл бұрын
Kavu, kwahyo hyo ndo historia ya kweli au umesilimlia matukio yake?
@Allykoroshotv
@Allykoroshotv Жыл бұрын
Ha ha kwan history nn na kusimulia nn
@flackomasterbaddest4155
@flackomasterbaddest4155 Жыл бұрын
Huyu jamaa aliishi 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
@adaboychibu1659
@adaboychibu1659 Жыл бұрын
Na akaishia!
@flackomasterbaddest4155
@flackomasterbaddest4155 Жыл бұрын
@@adaboychibu1659 kila mtu atakufa acha makasiriko
@jasminimussa6214
@jasminimussa6214 Жыл бұрын
Mbona walikiuka mashaliti yake sasa maana WATU hawakuvaa nguo nyeupe ila na yy angeondoka mwenyewe kwa nn aondoke na WATU wasio husika au walishiriki sanaaa katika kula naye ndiyo maana mmmh….🙌🏽
@methodmwenda1373
@methodmwenda1373 Жыл бұрын
wait a minute@ founder
@geeva99
@geeva99 Жыл бұрын
Kwamujibu wa hii video hakuwa tajiri, alikuwa mtu ambaye bado anaexperience hela, tajiri hawezi kuwa na historia kama hii, tajiri anazungumziwa kama kampuni au kipande fulani muhimu cha jamii na sio kama bar au night club
@lybuboyka1986
@lybuboyka1986 Жыл бұрын
Exactly mamen
@jostamzxkaole3113
@jostamzxkaole3113 3 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣:we bhana kipind unaandika hii koment ulikua umeshika vitabu❓..#kwanza hii story aipate jamali april(profesa) ili tuifaidi vizuriii.. yaezakua alisaidia jamii namna frani
@geeva99
@geeva99 3 ай бұрын
@@jostamzxkaole3113 😂😂😂😂
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 Жыл бұрын
Mmekumbuka nini leo hadi mnaleta habari za kadungule qma mnatabiri kitu😢😢
@frankdanford8245
@frankdanford8245 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂 Utabiri nilazima utimie
@faidhamyovela179
@faidhamyovela179 Жыл бұрын
Mbwembw kibao saiv yup kaburin🙄🙄
@michaeljames3480
@michaeljames3480 11 ай бұрын
Freemason
@Mr_smart.code_10
@Mr_smart.code_10 Жыл бұрын
Brother una sauti nzuri ila hujui kutupa content.. content yako nyepesi mno halafu hakuna point uliyo iweka hapo.. Millard ayo ni brand kubwa so jitahidi kutupa content heavy.. nimesikiliza hata ya muamari gadafi hamna kitu
@muhammad_alhinai
@muhammad_alhinai Жыл бұрын
Sawa mwambie huyo Millard Ayo akuajiri wewe mwenye content nzuri basi 😂 unatupigia kelele tu unafoka foka.. Jifunze kukaa kimya kwenye mambo mengine.
@musers9699
@musers9699 Жыл бұрын
@@muhammad_alhinai ana haki ya kumkosoa kwa sababu yeye ni subscriber wake
@chrisswaller960
@chrisswaller960 Жыл бұрын
Fanya yakwako sasa mjomba 😂😂😂😂 alafu tafuta ela ,,,
@user-ct3pq1lh1m
@user-ct3pq1lh1m Жыл бұрын
Nyumbu ww fany ww
@Yussuf3145
@Yussuf3145 Жыл бұрын
kweli hakutueleza alichokiandika
@helpmerunaway2651
@helpmerunaway2651 Жыл бұрын
Eti gari aina ya whaaat .?😂😂😂
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 11 ай бұрын
Umaarufu, udanganyifu wa mali vimefanya vijana wengi kuuza nafsi zao kwa lucifer. Ginimbi pamoja na kila alichokuwa amevuna amenufaika na nini?. What shall it profit a man to gain the whole world and get lost of his own soul?. Yesu yu karibu malangoni.
@DottoManzi-nj5lj
@DottoManzi-nj5lj 11 ай бұрын
Kama kuna masikini na matajiri wapo pia
@lameckmagunya7013
@lameckmagunya7013 Жыл бұрын
Du huyu jamaa alikuw tajir san
@donaldkiza2493
@donaldkiza2493 Жыл бұрын
Sasa wewe umesema historia ya Kweli mbona unatuchanganya . Wewe umeongea kuhusu Kula Bata tu duh kweli umenimalizia MB zangu. Kwani story hiyo ya Kula Bata Kila mtu anaijua, nilifikiri una jipya 😂😂😂 umetuingiza cha kike
@alphamedia8624
@alphamedia8624 Жыл бұрын
Kabisa mb zetu zimeenda bure mbona maisha yake mengine hajasema Mbona hajasema magari yake yalivyowaka Moto na mengine kuzima ghafla siku ya mazishi
@janeongala6684
@janeongala6684 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂 ww unawaza mb zako tu umenichekesha sana😂😂😂😂😂
@justinembatta1785
@justinembatta1785 Жыл бұрын
😂😂😂
@eliyamgaya6860
@eliyamgaya6860 11 ай бұрын
R I P king 👑 of south: poverty die
@gadesbaba
@gadesbaba Жыл бұрын
Mema Alio yafanya ndiyo yatakayo muokoa alipo
@witneskilinda5034
@witneskilinda5034 Жыл бұрын
huyo alikuwa mwabudu shetwani
@seiflugendo7141
@seiflugendo7141 Жыл бұрын
Leo analiwa na wadudu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
@therealgg5050
@therealgg5050 Жыл бұрын
Why are you so hateful?
@hamadmohamed3056
@hamadmohamed3056 Жыл бұрын
Unaweza zikwa kibilionea unakokwenda ukapokelewa Kwa Adhabu kali
@colletatesha5265
@colletatesha5265 Жыл бұрын
Sio msafi maganda ya champaigne anatupatupa ovyo
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 Жыл бұрын
Ukiwa na ela huwazi huyo ana wafanya kazi kibao
@colletatesha5265
@colletatesha5265 Жыл бұрын
@@ilynpayne7491 ushamba tu
@mussakimaro5588
@mussakimaro5588 Жыл бұрын
Alikua atakufa kutokana na masharti na baba yake alikua anakaa nae mbali anamjua mwanae ni zombie
@SilivestaTesha-xg1si
@SilivestaTesha-xg1si Жыл бұрын
Tutakutana huko kuzimu
@samwelmushi6162
@samwelmushi6162 Жыл бұрын
Ushetani mtupu
@bakariomari8758
@bakariomari8758 Жыл бұрын
Wakati zimbabwe mafukara, kibao yy abachezea hela
@flackomasterbaddest4155
@flackomasterbaddest4155 Жыл бұрын
Kazitafuta kwa jasho
@flackomasterbaddest4155
@flackomasterbaddest4155 Жыл бұрын
Hv kwann watu maskini wanafikiri wana haki ya kusaidiwa?😂😂😂sjawah elewa
@allyjumaally8353
@allyjumaally8353 Жыл бұрын
Hapo ndy utaskia acha wewe walikuepo
@josephk90
@josephk90 Жыл бұрын
Post ya ovyo kabisa, ndo historia gani hii tena miaka mitatu baada ya kifo😮
@renatusmahombwe3093
@renatusmahombwe3093 Жыл бұрын
Mzee vipi Ginimbi shusha madini acha hizo
@mpingeally923
@mpingeally923 Жыл бұрын
Siyo ajari wewe achane utapeli wa strori uyu jamaaa shemeji yake ndio vice president afu alikuwa mkuu wa majeshi uyo shemeji yake , kwasababu shemeji yake ndo mkuu wa majeshi viongozi wa serikari walimtumia ginimbi kuiba hela za serikari na kuwekeza kwa ginimbi,ginimbi aliuawa kwa kupigwa bomu na gari stori zimefichwa fichwa
@samchabwas3712
@samchabwas3712 Жыл бұрын
Sio kwamba alikuwa anamiliki mali za kishetani.? au inakuaje hapo tena?
@AbdulGermany210
@AbdulGermany210 Жыл бұрын
Iligonga mti sio mtu
@SilivestaTesha-xg1si
@SilivestaTesha-xg1si Жыл бұрын
Tutakukuta huko kuzimu mkuu
@maryandason1815
@maryandason1815 Жыл бұрын
Binadam bhna wakipata umaarufu tu na vipesaa bas wanasahau kma kuna kifoo.MUNGU
Beautiful gymnastics 😍☺️
00:15
Lexa_Merin
Рет қаралды 15 МЛН
39kgのガリガリが踊る絵文字ダンス/39kg boney emoji dance#dance #ダンス #にんげんっていいな
00:16
💀Skeleton Ninja🥷【にんげんっていいなチャンネル】
Рет қаралды 8 МЛН
A little girl was shy at her first ballet lesson #shorts
00:35
Fabiosa Animated
Рет қаралды 10 МЛН
Now THIS is entertainment! 🤣
00:59
America's Got Talent
Рет қаралды 40 МЛН
If you Want to Become Rich, Become Invisible
5:37
GRIM HUSTLE
Рет қаралды 439 М.
HII NDIO SABABU CHIEF HANA MKE INATISHA SANA TIZAMA HII
5:08
Chief_Godlove
Рет қаралды 44 М.
Beautiful gymnastics 😍☺️
00:15
Lexa_Merin
Рет қаралды 15 МЛН