Endelea kubarikiwa Mulokozi,unatufundisha jambo hapa..barikiwa Sana
@FatumaMwage8 күн бұрын
kunakuishi nakuishia ❤❤
@MRPRESIDENT-w4l11 ай бұрын
Ukiona VYAELEA UJUE VIMEUNDWA. HARD WORK PAYS
@FatumaMwage8 күн бұрын
allah kareem akubariki
@franciscalutauga-vs7kf9 ай бұрын
nimefurahia sana historia yako,na pia huwa natamani kufanya biashara hii ya pombe jumla na rejareja. naomba. ahasante
@ndukulusudikucho_11 ай бұрын
Mwenyezi Mungu azid kumpa tena na tena
@JaneNtagaye10 ай бұрын
Mungu azidi kukuzidishia riziki kila kukicha kama vile nakuona enzi zile ukiwa Kibondo msalimie sana shangazi
@franciscalutauga-vs7kf9 ай бұрын
HONGERA SAANA NKURUGENZI,KWA BIDII YAKO tangu ulipoanzia,umepambana sana na n8 mfano wakuigwa na wanzania wote,watoto wetu,na dunia nzma kwa ujumla. HONGERA KUBWA SANA.
@franciscalutauga-vs7kf9 ай бұрын
pia mm ni mama mjasiliamali mdgo sana,ninaishi Dar es salaam,ni mzaliwa wa Kagera ,kw dar niko mbezi beach,ningependa sana niwe mmojawapo wa kuuza vnywaji vyako,japo cjui nianzie wapi,au nikupateje,labda contact zako binafsi, yaan sijui hata nifanyeje,lakin niko tayar hata kwa kuanza kidg kdgo,natamani kuuza jumla na rejareja. NISAIDIE NDGU YANGU