BILIONI 286 kujenga Uwanja wa mpira wa Kisasa ARUSHA, ni maandalizi ya AFCON 2027, unabeba watu 30K

  Рет қаралды 4,819

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Пікірлер: 24
@jumashedafa
@jumashedafa 4 ай бұрын
Tunaomba huu uwanja ufunikwe juu i mean uweze kufunga na kufungua kama uke wa mercedes benz cz afa raman unaend kwa kias flan waongeze hiyo roof kuufanya uwe na muonekan na wakisas zaid
@abdulhamis9825
@abdulhamis9825 6 ай бұрын
Kwann Pesa Hzi Zote Zisingewekezwa Katika Ukarabat Mkubwa Wa Viwanja Vyetu Vya Mikoan Kwa Lengo La Kkuza Zaid Michezo Na Miundombinu? Je Hzo Pesa Ni Zetu Au Ndio Mnaenda Kukopa Tena Mje Kuanza Kutupandishia Bei Ya Vyakula Na Mahitaj Muhimu
@husseinhemedi9314
@husseinhemedi9314 6 ай бұрын
Mama anaupiga mwingi Chuga tumebakiza kupandisha tem ligi kuu na itawezekana2 INSHAALLAH 🙏🇹🇿
@emmanuelde555
@emmanuelde555 6 ай бұрын
Kabisa ikishndkana Tunanunua
@williamsenkoro2210
@williamsenkoro2210 6 ай бұрын
Pesa za AFC hutolewa kwa nchi ambazo zitafanyika mashindano Sasa mashindano yatafanyika nchi tatu za Africa mashariki. Tanzania , Kenya na nyingine. Sasa pesa za FIFA zinajenga utasilia CCM watapita na upepo. Mama anaupiga meingi😅
@princekim99
@princekim99 6 ай бұрын
Mama anaupiga mwingi kuhusu nini sasa
@Ramambena
@Ramambena 5 ай бұрын
Ok
@user-tx1dg4wp9c
@user-tx1dg4wp9c 6 ай бұрын
Fire 🔥
@AngelaSamwel
@AngelaSamwel 4 ай бұрын
Arusha sehemu gan
@bishweko
@bishweko 6 ай бұрын
Na kile ilisemekana kitajengwa Dodoma kiliishia wapi?
@slayseyfer7749
@slayseyfer7749 6 ай бұрын
kwann wa dodoma hauishi??
@abdulhamis9825
@abdulhamis9825 6 ай бұрын
Ule Wa Dodoma Hauwez Kujengwa Kwa Kasi Jwa Sababu Ni Msaada Ambao Aliomba JPM kutoka Serikal Ya Morroco Huu Wa Arusha Ni Mkopo Kutoka China Kwahyo Kuna Faida Ya Watu Hapo Lazma Upigiwe Promotion
@princekim99
@princekim99 6 ай бұрын
​@@abdulhamis9825 kaka mkopo wa china au hela za fifa acheni kudanganyana manina nyie
@zainabramadhani9838
@zainabramadhani9838 11 күн бұрын
Tunataka na stend kubwa ya kisasa na soko
@user-tx1dg4wp9c
@user-tx1dg4wp9c 6 ай бұрын
Wakwanza mimi jamani like
@EmanuelBenedictoJonh
@EmanuelBenedictoJonh 5 ай бұрын
😅ss ln mtaendeleza soka katika level ya kimataifa unataka ukarabati viwanja vya sodo na unaacha maeneo yanayolenga Maeneo ya kulipwa viwanja Bora vinachochea soka bora😅😅😅
@arnoldlyimo4291
@arnoldlyimo4291 4 ай бұрын
Dodom ni jangwa uko jamani
@trendings1293
@trendings1293 6 ай бұрын
Yani Kwetu kabisa na Sisi tunakuwa na uwanja
@karimjuma4019
@karimjuma4019 6 ай бұрын
Mngejenga mwanza
@slayseyfer7749
@slayseyfer7749 6 ай бұрын
nataka nijibiwe chap kabla cjafanya maamzi magumu
@abdulhamis9825
@abdulhamis9825 6 ай бұрын
Hutopata Jbu Ambalo Litakufurahisha Sema Nikwambie Tu Ule Uwanja Wa Dom Ulikuwa Ni Msaada Kutoka Serikal Ya Kifalme Ya Morroco Ambao JPM aliomba Kwa Mfalme Wao Ila Huu Ni Mkopo Kutoka Serikal Ya China Kwahyo Kuna Maslahi Ya Waliokuwepo Madarakan Ndio Maana Unapigwa Promo
@kwisa4899
@kwisa4899 6 ай бұрын
walitakiwa wamalizane kwanza na Dodoma,pia Dodoma ni center, arafu huyu mtoa Jina apunguze uchawa wa kijinga kwene mambo ya kitaifa
@samirsaid2087
@samirsaid2087 6 ай бұрын
Kabisa nakuunga mkono.dodoma ndo capital city lazima kuwe na uwanja mkubwa
@AlvinKhim-lc1jo
@AlvinKhim-lc1jo 6 ай бұрын
Arusha ndo Geneva of Africa so lazima wajenge
He bought this so I can drive too🥹😭 #tiktok #elsarca
00:22
Elsa Arca
Рет қаралды 54 МЛН
Modus males sekolah
00:14
fitrop
Рет қаралды 20 МЛН
나랑 아빠가 아이스크림 먹을 때
00:15
진영민yeongmin
Рет қаралды 18 МЛН
UWANJA WA KISASA KUJENGWA ARUSHA KWAAJILI YA AFCON 2027
4:28
Habari Maalum Fm
Рет қаралды 19 М.
Historia ya Uwanja Mpya wa mpira Arusha ,Samia Stadium
4:10
banyaleotv
Рет қаралды 1,1 М.
He bought this so I can drive too🥹😭 #tiktok #elsarca
00:22
Elsa Arca
Рет қаралды 54 МЛН