Juma Lokole amtetea Harmonize kulala na Kajala na Paula/Zuchu bila kalio amteka Diamond wako South

  Рет қаралды 54,766

BINGO ONLINE TZ

BINGO ONLINE TZ

Күн бұрын

Пікірлер: 187
@dionesebutoyi7256
@dionesebutoyi7256 2 жыл бұрын
😃😃😃 nimecheka kwa sauti,huyu Juma tumwache kbs
@eflansiangailo1444
@eflansiangailo1444 2 жыл бұрын
Machawa. Wanasapotiana
@gracemsalila7735
@gracemsalila7735 Жыл бұрын
Mimi nimecheka kama wewe
@aminanimbona1861
@aminanimbona1861 2 жыл бұрын
Wallah Juma😂😂😂😂😂who is kajala🤣🤣🤣🤣umeniacha hoyi 🤣🤣🤣
@walizanasiri4963
@walizanasiri4963 2 жыл бұрын
Juma unanikoshaga sana eti simfaam nakupenda juma
@scollantandu6278
@scollantandu6278 2 жыл бұрын
Yaan juma leo umenifurahisha kweli kweli safi sana
@kijallytv716
@kijallytv716 2 жыл бұрын
Juma lolole unazeeka bana hebu oa basi au mnjooo unioe mimi hapa maan nakupenda ile mbaya mnoo sipitwi na masham sham yani nikisikia sauti yako tuuu najisikia vzr sana naitwa daazuu nakupenda lokole ❤❤❤❤❤
@popstar5004
@popstar5004 2 жыл бұрын
😕😏
@OfficialA83640
@OfficialA83640 2 жыл бұрын
Ningekuwa Paula ningeacha mawasiliano na Juma maana anapofika sio yaani mtu anakunangia mama yako mzazi kiasi hiki na bado unaurafiki nae aah hapana siwezi dharau mama yangu mzazi kwa watu wa mitandaoni
@hamisaadamu8099
@hamisaadamu8099 2 жыл бұрын
Mama mwenye hana akili
@madawamchuwa8253
@madawamchuwa8253 2 жыл бұрын
Huwa namshangaa sana Yule mtoto kajala na pau walikosea sana kujiweka karibu na huyu MTU baada ya kukosana na konde lkn nahisi wamejifunza kitu
@mayrose9772
@mayrose9772 2 жыл бұрын
@@madawamchuwa8253 afu hawa ndo walitengeneza Ile inshuu
@leiratykisura6718
@leiratykisura6718 2 жыл бұрын
Juma mwanangu humeongea hukweri kbsaaa sisi wanawake hatupendan ni wanafki sana wenyewe kwa wenyewe hatupendan😘
@fatmareshed9975
@fatmareshed9975 2 жыл бұрын
Huyu sio mzima juma wallahy
@rahmaarrington9019
@rahmaarrington9019 Жыл бұрын
😅😅ahahahahaaaaa Jumaaaaa!! Nakupendaaaa wallahi nimechekaa Who’s Kajalaaa!!
@johnobiang461
@johnobiang461 2 жыл бұрын
Kila kitu kinaenda bien naipenda hiyo😂🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩❤
@emmanuelthomas385
@emmanuelthomas385 2 жыл бұрын
Wasafi inatumia nguvu kubwa sana kumshusha harmonize
@aishatest4451
@aishatest4451 2 жыл бұрын
hampana
@tahiyasaeed
@tahiyasaeed 2 жыл бұрын
Na wee nawe, kwani huyo interviewer ni wa wasafi? Bingo online ni wasafi? Wacha makasiriko, wamshushe kwani kapanda wapi?
@mwinyihajjsalim4405
@mwinyihajjsalim4405 2 жыл бұрын
Dah yani nimecheka sana ety jumalokole amjui kaja dah😂😂😂
@beatricekilas6670
@beatricekilas6670 2 жыл бұрын
Ila juma mtu mzima sana umekomaa uso Kwa sababu ya umbeya 🤣🤣🤣🤣
@rodageoffrey8556
@rodageoffrey8556 2 жыл бұрын
Kazeeka
@samiaarimkonekonko5096
@samiaarimkonekonko5096 2 жыл бұрын
Juma nyoko kweri😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣
@khadijasaleh898
@khadijasaleh898 2 жыл бұрын
Juma ww una vituko🤣🤣🤣🤣
@king-size8114
@king-size8114 2 жыл бұрын
Nakubali sana kazi zako bro 🤠🤠🤠 pamoja sana
@muhammadamir2901
@muhammadamir2901 2 жыл бұрын
WCBforlife Wengine wapo tu
@magnibrondi3152
@magnibrondi3152 Жыл бұрын
Jamani juma, kweli humujuwi kajala😀😀
@elizabethsakina2306
@elizabethsakina2306 2 жыл бұрын
FaceTime or first time? Lakini Juma🤣🤣🤣😂😂😂🤣🤣🤣😂😂
@mwajumalubunga1534
@mwajumalubunga1534 2 жыл бұрын
kingereza kigumu jmn 😂🤣🤣🤣🤣🤣
@hubbatlauzi1380
@hubbatlauzi1380 2 жыл бұрын
Juma kichefu chefu kweli wewe. 😆😆😆😆
@sarahissa5796
@sarahissa5796 2 жыл бұрын
Ila nyie Jumaaa🙌🙌😂 kwahiyo kamkana kajala hvhv
@ashayusuf8381
@ashayusuf8381 2 жыл бұрын
Ume ongee kweli ka bisa❤🇰🇪
@officialrashrayz4140
@officialrashrayz4140 2 жыл бұрын
Who's kajala, this man ni boya sana😂😂🤣🤣
@ashurajengela3926
@ashurajengela3926 2 жыл бұрын
ila juma ni mbea hadi raha et huyu si mcheza show wa akudo 😂😂😂🙌🏻
@rosemarymunyi5035
@rosemarymunyi5035 2 жыл бұрын
Wow Awesome 👌
@jonathankasembi9217
@jonathankasembi9217 2 жыл бұрын
Huyu Juma Lokole Jamanj,yani humjui Kajala na ulilizungumzia hilo swala awali kwamba Harmonize anajaribu kumchukua Paula kupitia mamake Kajala...and then you are like "who is Kajala"😏😆😆🤭
@babanadia3201
@babanadia3201 2 жыл бұрын
Juma wewe ndio ulisema msemaji wa familia 🤣🤣🤣🤣
@baruanikalenga2246
@baruanikalenga2246 2 жыл бұрын
Hakulipwa vizuri ndio maana kajivua
@asaadalbusaidi1870
@asaadalbusaidi1870 2 жыл бұрын
Juma dah! 😂😂😂👍
@bonifacejuma2701
@bonifacejuma2701 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂et hamfaham kajara juma😂😂🙌
@aishamnamba1064
@aishamnamba1064 2 жыл бұрын
Jmn we juma mungu anakuona we
@estherminnahboaz6956
@estherminnahboaz6956 2 жыл бұрын
Ni Air Hostess Juma Sio Hair hostel 🤣🤣
@nai7876
@nai7876 2 жыл бұрын
nimecheka hata sijafika hapo 🤣🤣🤣
@timaosthman2304
@timaosthman2304 2 жыл бұрын
Juma mm diyo nakupenda hujuwe kusima kusima urongo
@mariamkibindo1741
@mariamkibindo1741 2 жыл бұрын
Pole 👋
@gurugang6484
@gurugang6484 2 жыл бұрын
Yemwenywe sinimke juma..sahii amesema amjui kajala mara amerudi anasema paula anaishi nyumba ya kajala..huyu chakula tuu
@زيتونتنزانيا
@زيتونتنزانيا 2 жыл бұрын
🤣🤣😜😜😜😅😅Akakae ukweni
@iradukundamike5370
@iradukundamike5370 2 жыл бұрын
😂😂😂😂juma umetushinda tabia wallah eti humujui kajala😂😂
@suzanamwangingo2995
@suzanamwangingo2995 2 жыл бұрын
Safi juma mshenzi sana kajala majibu mazuri .hata mimi ningesema simjui
@hendrycomonsiwenga1128
@hendrycomonsiwenga1128 2 жыл бұрын
Sasa kama umjui kajala, umejuaje kama amekuzidi umri! 😄😀😆🤣
@jonathankasembi9217
@jonathankasembi9217 2 жыл бұрын
Sababu anamjua Paula mwanae ndo was Rika moja
@stellah3844
@stellah3844 2 жыл бұрын
Ila Juma🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@agwalubifaridah7079
@agwalubifaridah7079 2 жыл бұрын
Juma hamjui K ..🤣🤣🤣🤣🤣
@sifatherese494
@sifatherese494 2 жыл бұрын
Mpumbafu mukubwa,ulisha wai kuzungumuzia mwenyi hujui???? Wivu😄😄😄
@julietanubi365
@julietanubi365 2 жыл бұрын
Yani juma.. Ati pia wewe unaeza kumlipia ada 😂😂😂
@J.G7088
@J.G7088 2 жыл бұрын
Kwa hivyo Juma hutudanganya mambo mengi😅. Ati who is Kajala🤣🤣🤣.
@yarahstaste104
@yarahstaste104 2 жыл бұрын
Khaaaa😂😂😂 juma weee🤣 eti hamfahamu mama mtoto ila mtoto anamjua🤣… we mnafki sanaa😂
@mwasity2348
@mwasity2348 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣Juma hamjui kajala etii 🤣🤣🤣
@Chekibob
@Chekibob Жыл бұрын
Haki nmechekaa eti meno ya Kajala ya mbele yote yameng'ooka😂😂
@salmaathman7634
@salmaathman7634 2 жыл бұрын
Huyu juma jaman kah c kwamineno hyo 😀😀😀
@nai7876
@nai7876 2 жыл бұрын
Juma tuache kidogo who is kajala 🤣🤣🤣
@abdallaabdalla998
@abdallaabdalla998 2 жыл бұрын
Kajala simfahamu lakini mwanawe namfahamu😂😂😂
@bellatemba1331
@bellatemba1331 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@timaosthman2304
@timaosthman2304 2 жыл бұрын
Juma wangu mm sijuwe kuwadika jiswahili vizuri
@mariamkibindo1741
@mariamkibindo1741 2 жыл бұрын
Pole my
@yustayusuph9101
@yustayusuph9101 2 жыл бұрын
Hapo kwenye lilia bahati sio uzuri ni ukweli kabisa, tena tasmini ya dini wanawake wembamba wasio na matako makubwa ya uturuki ndio wanaongoza kwa kuolewa na wanaume matajiri kupita maelezo, lakin hapo kwenye kajala humjui 😀😀😀 mmmm! juma lokole utafika mbinguni umechoka sana walai 🤣 🤣 🤣🤣
@suzanamwangingo2995
@suzanamwangingo2995 2 жыл бұрын
Asante juma
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 2 жыл бұрын
Basi Diamond atachelewa mke huyo awaheshimu Wote siyo haki ya mke wote hayo Awaheshimu mkwe OK na Mashemengi pia waweke heshima kwa mke wa ndugu yao..na mawifi pia hapo kutakuwa ni kuheshimiyana... ndio inavyo takiwa....
@barakatabdul3212
@barakatabdul3212 2 жыл бұрын
Mtangazaji Ataitwa Chibabu" akiwa na Wema sepetu 🤣🤣🤣🤣🤣
@muzzoonlinetv7446
@muzzoonlinetv7446 2 жыл бұрын
Tajiri juma huyo
@estheroyondi4908
@estheroyondi4908 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣aki wewe juma,,, Ati who is kajala,for real u are not serious 🤣
@salmaabdallah1362
@salmaabdallah1362 2 жыл бұрын
Waacheni watu na maisha yaooo
@teedullah5708
@teedullah5708 2 жыл бұрын
Juma jamani 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🇰🇪
@sanurahaji5194
@sanurahaji5194 2 жыл бұрын
Sasa kuolewa kwa uganga si sawa na kubaka jamani?!!
@thisboyisgreat
@thisboyisgreat 2 жыл бұрын
Bro mtangazaj unauliza kwaku nyooka nimeku kubali
@sky-wz5zi
@sky-wz5zi 2 жыл бұрын
Juma huna akili 😃 zuchu anaparamia friji 😃😃😃
@aaasaassw4922
@aaasaassw4922 2 жыл бұрын
Hhhhh juma bna
@happynescostat7420
@happynescostat7420 Жыл бұрын
Mungu wangu eti amfaamu kajala
@sallyadam683
@sallyadam683 2 жыл бұрын
ila juma🤣🤣
@saidamusinya4350
@saidamusinya4350 2 жыл бұрын
Halafu Paula na hilo shepu awe air hostess ??? 🤣🤣🤣Heri arudi Kwa udaktari ataweza,,,halafu Juma sio AIR HOSTEL ni AIR HOSTESS 🤣🤣🤣
@bellatemba1331
@bellatemba1331 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@rahmaarrington9019
@rahmaarrington9019 Жыл бұрын
Juma utatuuwaaaa hata kwenye picha?? Eti huyu mcheza shoo… nimechekaa leoo
@abdulab6202
@abdulab6202 2 жыл бұрын
Nyie ndo mnochocheya zinaa
@ashaghali8714
@ashaghali8714 2 жыл бұрын
Mtangazaji una kucha nzuri 😅
@wilfridarianda2829
@wilfridarianda2829 2 жыл бұрын
haha eti bwana comando kikofia🤣🤣🤣
@icemaryaura268
@icemaryaura268 2 жыл бұрын
Ila juma🤣🤣🤣
@marialemi2177
@marialemi2177 2 жыл бұрын
Jumaaaaa😂😂😂😂😂😂
@victormartin1696
@victormartin1696 2 жыл бұрын
Jumaaa amesahau yeye alikua mcheza show wa FM Academia
@marynderunderu4091
@marynderunderu4091 2 жыл бұрын
Juma are you serious? As aty who is kajala😁😁
@aishanassor8041
@aishanassor8041 2 жыл бұрын
Juma mjingaaa
@jacintaitumo5571
@jacintaitumo5571 2 жыл бұрын
Juma kazi ya air hostess hailipi pesa ya maana. Jameni waulize wanaokaa majuu. Pia training unapata as you work kama kondakta wa basi. Weee
@estherminnahboaz6956
@estherminnahboaz6956 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣 Jumaa
@zulphaadam4671
@zulphaadam4671 2 жыл бұрын
Kabisaaaa weww😂
@sharlharl5890
@sharlharl5890 2 жыл бұрын
Lakini juma tu 😁😁who is kajala
@Kobe_254
@Kobe_254 2 жыл бұрын
pesa ni maua... huyu sahii anayanusa... lakini!! Macho ya dunia mabaya sana!!
@kimah9461
@kimah9461 2 жыл бұрын
Juma humjue Kajala🤣🤣
@beatricegilbert4334
@beatricegilbert4334 2 жыл бұрын
Juma acha undezi unafanya watu watoto. Mpuuzi si umesema humjui wewe mbona unamwagika sasa.
@peterdavid4230
@peterdavid4230 2 жыл бұрын
shoga pro max naionea huruma sana familia yako daah kama watu wenyewe ndo hawa mataira lokole
@rodgersmusikoyo940
@rodgersmusikoyo940 2 жыл бұрын
Mwanaume na ice cream, Mwanaume bwege tuuu
@storytime1204
@storytime1204 2 жыл бұрын
Juma bana ahhha "Camon" ahhhahha
@aimemasuku613
@aimemasuku613 2 жыл бұрын
Who's kajala
@wazirmlogi7532
@wazirmlogi7532 2 жыл бұрын
Aah shostito jumalokole a.k.a angel baby😁
@lehhassan5853
@lehhassan5853 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂YAANI JUMA LOKOLE SIJAWAHI KUCHEKA KAMA LEO MAANA HUPINDISHI YAANII DUUUUUH UTASEMA UMEYAPAGILIA
@CKMO
@CKMO 2 жыл бұрын
Jamani me nauliza huyu Juma mtoto yaani naona anangea kama sio mzima eti hanfamu kajala ndio mana wantazania hatuendi mbali kwa jealous na uongo juma huna haya usema uongo mbele ya television tena unahisi kawaida me naona me niko Uk pia namjua kajala wacha ujinga ongea kweli.
@leiratykisura6718
@leiratykisura6718 2 жыл бұрын
Eti reo hi juma hamfamu kajara aisee mji hunamambo huu yupo siriasi
@carinamatt1031
@carinamatt1031 2 жыл бұрын
Kwa iyo asioe kisa kupeperusha bendera ya Tanzania hapo umetudanganya juma
@kwizeraimani6057
@kwizeraimani6057 2 жыл бұрын
Ok
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 2 жыл бұрын
Akitaka kusema uongo atasema na akiwa hataki loooh atarusha hukoo... Anaogopa wavamiwa na Tembo...
@zaituneadremaneadremane5698
@zaituneadremaneadremane5698 2 жыл бұрын
👌👌👌👌
@mariampius1394
@mariampius1394 2 жыл бұрын
Juma chizi 🤣 🤣🤣🤣
@aisharamadan3620
@aisharamadan3620 2 жыл бұрын
Umeumbika juma roho yako chafu ulilolikusudia hukulipata unaona haya leo unasema humjui kajala
@renatusdeogratias2108
@renatusdeogratias2108 2 жыл бұрын
unalamba juma
@timaosthman2304
@timaosthman2304 2 жыл бұрын
Juma hamijuee huyo ajusa
@wardadodo3848
@wardadodo3848 2 жыл бұрын
Awa waandishi awjasomea hatakidogo yani wamekaa kuchonganishatu
@trudakwai9374
@trudakwai9374 2 жыл бұрын
Kweli juma nimeamini ni shogaa
@mustafatsomba6178
@mustafatsomba6178 2 жыл бұрын
Eti who is kajala 😂😁😂😁😂
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 2 жыл бұрын
Kujifanya mtoto kila siku kenge wee, kajala hamjapishana sana na wewe unaonekana umekomaaa
@julianamushi3392
@julianamushi3392 2 жыл бұрын
Mataira ni wengi nchi hii duh
@muhigirwadenise484
@muhigirwadenise484 2 жыл бұрын
kwakweli unanichekesha mvi za puwa
@kalmaarufuofficial74
@kalmaarufuofficial74 2 жыл бұрын
Kizungu😂😂😂💔💔
Un coup venu de l’espace 😂😂😂
00:19
Nicocapone
Рет қаралды 11 МЛН
Who’s the Real Dad Doll Squid? Can You Guess in 60 Seconds? | Roblox 3D
00:34
JUMA LOKOLE :WANAJUA MIMI SHOGA/VANESSA MDEE KATUDHALILISHA SANA
28:31
GOD doesn't answer BLACK people's prayers | Nathi Mankayi
3:26:03
King David Studio
Рет қаралды 1 МЛН
CHINO ASHTAKIWA NA FEROUZ
22:56
b boy rama
Рет қаралды 52
Jua Kali Leo Jumamosi Usiku 19-10-2024
22:15
KASKAZINI - Tv
Рет қаралды 15 М.