Asnte ubarikiwe mno mmi huwa naongeza sana kitu kwa safari yangu ya mbinguni kwa hizi shuhuda,Amen
@barnabasmboya76884 жыл бұрын
Mtumishi Jacktan Msafiri Huduma yako ni njema mno. Mungu azidi kukutumia
@PromovertvTz4 жыл бұрын
Ameen
@queenesther8505 Жыл бұрын
Asante mtumishi kila kitu anayosema ni 💯%Mwenyezi Mungu akufiche chini ya uvuli wake.❤🎉
@RachelEmid-jq6eoАй бұрын
Jmn mgogo myangu yesu azidi kukutunza Mtumishi wa Mungu 🙏
@sadikimtega41354 жыл бұрын
Ushuda mzuri ila tunaomba muenaangalia mda amabao no tulivu. Hizo kelele zinasumbua masikio
@miltonjohn14023 жыл бұрын
Tanzania kuna wachawi Sana sijui KWA nn! Hawa ni wachache wanaoamuwa kuja Kwa yesu, lkn wapo maelfu ambao hawataki kuokoka wakiwemo ile dini nyingine ambao wanaamini wapo sahihi kumbe wao ndio wamepotea kupita maelezo.
@trophywilson72112 жыл бұрын
Bado nguvu ya giza inawavuta
@kennedynjoroge87423 жыл бұрын
Awesome message but hiyo kelele ya back ground inachukiza
@horemow98324 жыл бұрын
Amen napenda sana jinzi anavyo quote scriptures barikiwa sana i say hapo kuna makelele sana
@trophywilson72112 жыл бұрын
Ni karibu na msikiti ,mjini unajua tena,pole
@tulibumisalu88124 жыл бұрын
Mungu atusaidie sana tusiwe walokole wa asilimia arobaini
@davidmatthew17154 жыл бұрын
Wakamshinda shetani kwa nguvu ya damu ya Yesu na ushuhuda wao.
@nizaelluka6274 жыл бұрын
Mtumishi
@tigerchristmas54914 жыл бұрын
Kweli Mungu Roho mtakatifu anazungumza nasi kuptia ushuhuda huu" Nanyi mtaifahamu kweli nayo kweli itawaweka huru" Lipo kusudi kubwa sana la Mungu juu ya huyu mtumishi
@barakamanu15144 жыл бұрын
Baba yetu aliyeumba vyote akubariki na akulinde, nabarikiwa sana na shuhuda zako. Nipo Mombasa, Kenya
@ahmedyally30884 жыл бұрын
Dah ushuhuda mzuri ila iyo adhana imeharibu
@gloriamichael79352 жыл бұрын
Uzuri wake huwa mnatuambia ukweli tupu asante. Mwenye masikio na asikie
@bettynino73544 жыл бұрын
God bless you presenter, you are doing a great job
@hamisiali84944 жыл бұрын
Mimi huwa nafurahia ushuhuda na nko Kenya Mombasa mungu akubariki
@LOGOSNew4 жыл бұрын
Mungu asaidie watu wake! Huwa wanafurika kwenye miujiza bila kufikiria.
@mamanchuchu79692 жыл бұрын
MUNGU nimwema sanakwetu ubarikiwe sana baba
@rahabnkya82762 жыл бұрын
JACTAN UKO VIZURI KUKUSANYA SHUHUDA ZA UKWELI NA UWAZI SEMA MB HAZITOSHI HADI MWISHO TENGEZA BASI VITABU TUSOME WAKATI WOTE. UNAYO NGUVU NA FEDHA ZITUMIE HIVYO JACKTAN. ASANTE SAAAANA MTUMISHI
@hashimuchambuso97414 жыл бұрын
Dah.... iko haja ya kurudia kurekodi hii. Msikiti umeharibu usikivu.
@millicentayangokunting37284 жыл бұрын
Ufunuo nzuri sana👏👏👏👏👏
@anethynyirenda92314 жыл бұрын
Ninainuliwa kiroho kupitia huu ushuhuda.mungu baba nnakshkr
@f.alovely64194 жыл бұрын
From Kenya🇰🇪
@FamousBerry1394 жыл бұрын
Watching from Kenya
@mackynicky58324 жыл бұрын
Kweli Mungu akikusudia anakuokoa hata uwe umefanya mambo mengi mabaya kiasi gani
@trophywilson72112 жыл бұрын
Ila ni Kwa Neema
@tevercaretv24793 жыл бұрын
Jamani wakati mwingine jaribu kuboresha tukio LA kurekodo....tafuta mahali tulivu
@sarahmichael75384 жыл бұрын
Tunashukuru Mungu kwa yote anayoyaruhusu ili sisi tulio wafuasi wa Kristo tupate kitu cha kujifunza na kupata kuwa na maarifa ya rohoni
@allandonna_26404 жыл бұрын
mtumishi mimi nashauri siku moja uwatafte watu kama hawa watatu au zaidi tulinganishe nawatwambie wakati mwingine walikuwaga wanakutana...?
@costacarlosgomes13874 жыл бұрын
Asante kwa hushunda
@millicentayangokunting37284 жыл бұрын
Barikiwa sana
@tevercaretv24793 жыл бұрын
Surely makelele ya msikiti hamngetafuta maeneo fasaha jamani
@PromovertvTz3 жыл бұрын
Asante, ndio maana tukaomba radhi kwa maandishi, kama haujaona tunaomba radhi kwa hilo🙏.Unaweza kufuata link hii ili utazame toleo ambalo halina tatizo hilo kzbin.info/aero/PLhesxBGiXy1_TP6_tY7GSowYnWRY1n-7q
@thehopetv62994 жыл бұрын
Aiseee
@diphinahnanjala75844 жыл бұрын
Mtumishi wangu ihiyo ni ulimwengu wa Visa ama wa shetani sio wakiroho kabisa.
@dicksondavid98974 жыл бұрын
Barikiwa san
@neemamwalende3044 жыл бұрын
Doctor wa roho tupe mwendelezo.
@patricklochoto-bx1sr Жыл бұрын
Ushuhuda wako umenijuza mengi
@Star-qf7ls2 жыл бұрын
Too much noise at the background
@josphatfondo64993 жыл бұрын
Jina la bwana lipewe sifa
@giftielinganga31284 жыл бұрын
YESU ATUSAIDINAHILA ZASHETANI.
@PastorPhilipMbaabu.10 ай бұрын
Ask important questions. Example, anachukua damu za watu aje??
@susansenga7544 жыл бұрын
Vp mbona azana ???????
@brigithadidas51284 жыл бұрын
Vinafsi sipendagi kuona hizi picha za kutisha unazozitumiaga kwa nn usiache kutumia yan adi unastuka ukiwa umeshka sm
@PromovertvTz4 жыл бұрын
Tunaomba radhi kwa hilo,tutaziondoa
@paulinas.36314 жыл бұрын
Kweli usiweke hizo picha aisee, ila huduma yenu ni njema sana, kwa Yesu kuna uhakika
@andrewmajita64374 жыл бұрын
Jacktan ushuhuda mzuri tena unafundisha ila hizo sauti za msikiti
@salehfarid10034 жыл бұрын
Subhanallah jina la ALLAH NA QUR AN INASIKIKA
@PeninahMwendwa Жыл бұрын
Ni marundio?
@rafaelolemoono68304 жыл бұрын
Damu ya wanawake inachukuliwaje? Na wachukua au wavuna damu unajikingaje dhidi yao?
@charleschisawillo4644 жыл бұрын
SAUTI YA AZANA IMEHARIBU USIKIVU UWE UNAREKODIA SEHEMU YENYE UTULIVU
@estasage55064 жыл бұрын
Thanks, I was soo disappointed too.
@allyawadh84924 жыл бұрын
Harafu wakristo wengi wanaonekana wanapenda sana mambo ya majini na mambo ya kichawi sababu kila anaetoa shuhuda zake utamkuta baada ya kufundisha mambo ya mungu atakuwa anafundisha uchawi au habari za majini,Sasa mnapataga nafasi yakujifunza mambo ya mungu na uwezo wake kweli?tena kwa hadith hiyo anayoeleza hapo wakisto wanamuona anaelimu kubwa ataakiamua kujiita yeye ni mtume au nabii watamuamini huyo ni msanii tu hana lolote ni hadithi tu anazozitoa kichwani kwake na sio mafundisho ya mungu,huyo ni wakala wa shetani anatafuta kujiaminisha kwa wakristo ili apige hela.
@forjesus13824 жыл бұрын
Hio kelele ya msikiti ishindwe
@estasage55064 жыл бұрын
Oh no. Ushuhuda Safi lakini hiyo background za pepo za ki islam katukwaza. Kwa nini ulichagua mazingira hayo?
@shenjamamzingi79504 жыл бұрын
"Wewe ndio Shetani na Pepo Mkubwa,chunga ulimi wako usije ukalaaniwa"
@estasage55064 жыл бұрын
@@shenjamamzingi7950 ikurudiliye laana wewe kwa jina la yesu kristo wa Nazarethi. Mimi Si pepo wala shetani. Nafichwa na damu takatifu ya Yesu Kristu wa Nazarethi. Sikutaja mtu, nilitaja mazingira. Kwa hiyo, laana hiyo irudi kwako 100%
@isakahissa41304 жыл бұрын
Naiman mbingun tutakuwa wote motoni, maana yesu halikua hamdhiaki mtu na Iman yake..ila halikua anatumia busara watu kumuamin...kwahio sidhan Kama hutakuwa kondoo wa kwer wa yesu maana mwenye damu ya yesu lazma afate nyayo zake sio Kama wwe una ngozi ya kondoo lkn sikondoo wa bwana, esta🙏
@monicabh16683 жыл бұрын
Kweli yaudhi kelele tuu na hizo nyimbo zao za kishetani wa kuzimu .
@WillyWhiskey-hw7qy8 ай бұрын
Akili kid 1:05
@bwikondefockas37262 жыл бұрын
usiludi huko Ni hatar
@samuelmnada5878 Жыл бұрын
Kuzimu hiyo alikua anaimanisha Wafu yaani walioko kabulini
@ellyitete9384 жыл бұрын
Hiyo saut km mashambuliz ili tusisikie vzr
@robinsonsweetbert60634 жыл бұрын
h hhh kawaida
@angelmtisi46114 жыл бұрын
Alikuwa akichukua damu kwa njia gani kwa kuwauwa watu au?
@trophywilson72112 жыл бұрын
Amesema zipo njia nyingi
@hassankombo44754 жыл бұрын
Uyu mtumishi naisi kama namjua anatokea simike mbeya
@nizaelluka6274 жыл бұрын
Ko nihai huku dam yako inatumika kuzimu
@godisgreat18454 жыл бұрын
Duuh!! Unapewa kazi usingizini
@paschalpaul50224 жыл бұрын
Naonba kuuliza kwanini watakatifu wanatofauitiana nguvu mwingine ndogo mwingine nyingi kwa nini na wote wameokoka
@kibalikikubwa8044 жыл бұрын
Kinacholeta Nguvu zaidi za kiungu kwa mtu ni uhusiano kati ya mtu na Yesu. Kadiri unavyo tafuta kuwa karibu zaidi na Yesu ndivyo Nguvu zake zinavyo ongezeka ndani yako.
@paulmzamy33204 жыл бұрын
@@kibalikikubwa804 barikiwa na mungu
@hassankombo44754 жыл бұрын
Kumtafuta mungu ni pamoja na kufunga na kuomba mutumishi anaefunga sana na kuomba anakua na nguvu sana
@joylynenalija47954 жыл бұрын
Kadiri unavyoishi na kutenda sawa sawa na Neno,kufunga na kuomba,kufuata na kutii maagizo,sheria na amri za Mungu na kufanyazile kazi Yesu alifanya pamoja na kuishi maisha matakatifu yaan kukaa mbali na dhambi,hivi vyote ndivyo vinavyokupelekea kuwa na nguvu kubwa kiroho. Sasa unakuta mtu ameokoka lkn kwny uzinzi yumo, pombe anakunywa,kwny masengenyo yumo,anakopa halipi, kwa ujumla haishi maisha matakatifu huyu hawezi kuwa na nguvu kiroho,wachawi watamtesa tu maana ameokoka kimwili kiroho hajaokoka.
@joylynenalija47954 жыл бұрын
Mtu anasema ameokoka fungu la kumi hatoi, au km anatoa hatoi kwa ukamilifu anamwibia Mungu,na ibilis anawapenda sn hawa unakuta matatizo hayaishi magonjwa nk ukiingia rohon unakuta source ni 10%. Kaokoka anavaa nywele za bandia, kucha za bandia n other fake stufs,hafanyi maombi ya ucku. Kwa hyo lazima awe tofauti na yule aliyeamua kuwa mwaminifu kwa Mungu na kutimiza mapenzi ya Mungu. Shetan haogopi ww kuokoka,anaogopa maisha unayoishi baada ya kuokoka,maisha matakatifu,kujitenga mbali na dhambi. Neno linasema iweni watakatifu km mimi nilivyo mtakatifu. Afu Yesu akasema itakufaa nin kuupata ulimwengu huu wte kisha uukose uzima wa milele?. Ukitaka kumkomesha ibilis jitenge na mambo ya ulimwengu huu ndivyo unavyokuwa mtakatifu na ndivyo utakavyojitofautisha na walokole wengine walioamua kuuzoelea wokovu. Hope umepata mwanga kdgo🙏
@josephinemumbua1594 жыл бұрын
Maelezo mazuri lakini sauti io usiweke kipindi kingine
@nizaelluka6274 жыл бұрын
Usemage ulimwengu wa kuzimu, sio wa kiroho,
@queenesther8505 Жыл бұрын
Ulimwengu wa kuzimu ni wa kiroho
@rahabnkya82762 жыл бұрын
Hizo kelele sauti za islamic why. Meaning what.
@hamisiismail25773 жыл бұрын
Mbn awa watu japo wameshatoka uko lkn utagunduwa kuwa kuna bahaz ya maneno awasemi..utasikia sehem frahn awatoe maekezo kwa kina
@trophywilson72112 жыл бұрын
Si kila kitiuu uweke wazi hata hivyo wanajitahidi,zamani nikimsikia hivyo siwezi kusikiliza mahubiri yake,nilikuwa siamini kama kaokoka kweli
@ChancyLuhasa4 жыл бұрын
Kelele ni nyingi sana za nyimbo za kiarabu.
@PromovertvTz4 жыл бұрын
Bonyeza link hii kusikiliza iliyo safi ALIYEKUWA WAKALA WA SHETANI KITENGO CHA DAMU: kzbin.info/aero/PLhesxBGiXy1_TP6_tY7GSowYnWRY1n-7q
@harunigaitani25904 жыл бұрын
Aa
@mwamvuamkovizuriahsantenih83584 жыл бұрын
Quran inanogesha uo ndoukweli ata mkichukia 🤣🤣
@جانيتكينيا4 жыл бұрын
They are is the same building don't worry tumemsikia