Mtume Mwingira Akisema Wanakuja Juu,Askofu Josephat Gwajima

  Рет қаралды 170,646

Chomoza Tv

Chomoza Tv

Күн бұрын

Mimi nashanga kuona watu wanaongea vibaya kwa habari ya Mitume na Manabii,Yani Mtume Mwingira akiongea watu wanakuja juu kana kwamba hawatambui huduma kubwa aliyonayo. Mpaka wasikie dini hii imetoka Ulaya ndio wanasikiliza....Askofu Gwajima.
#Chomoza2019 #Askofugwajima #Mtumemwingira

Пікірлер: 223
@HAAM670
@HAAM670 8 ай бұрын
Hii ilienda, penda sana mimi huyu Gwajima. Tanzania we're blessed to have you as part of the body of Christ
@anthonymwathi3116
@anthonymwathi3116 4 жыл бұрын
Nashangaa anafafanua kama nabii mmoja Efatha,Babangu Wilbert hongera sana kwa ufafanuzi mzuri huu askofu
@pastorjoshuajuma8016
@pastorjoshuajuma8016 5 жыл бұрын
Mtumishi wa MUNGU kuwa na bodigadi ni ki Biblia kabisa maana hata Eliya alikuwa na bodigani.Na Musa alikuwa na bodigadi Amina.
@mzeewavibedr.4032
@mzeewavibedr.4032 3 жыл бұрын
Ata Yesu Alikuwa akitembea na Wanafunz 12
@AloyceTz762
@AloyceTz762 5 жыл бұрын
Aiseeeee ,Bishop Gwajima Ana Nondo ,Yaan Ana Madini ,Mweee Mungu aendelee Kukutunza Bishop Yaan Ume ni Inspire Sana sana Bishop.
@pastor.frank.tmwaisemba7401
@pastor.frank.tmwaisemba7401 5 жыл бұрын
😂😂😂😂
@hebrew1214
@hebrew1214 5 жыл бұрын
Je kuna Yesu Kristo anahubiriwa na kupewa utukufu hapo??
@pastor.frank.tmwaisemba7401
@pastor.frank.tmwaisemba7401 5 жыл бұрын
Freddie Ronald Sijui mtazamo wako ukoje hivyo nashindwa kukujibu
@AloyceTz762
@AloyceTz762 5 жыл бұрын
uki hubiri wewe kwenye kihenge chako ina tosha hiyo ndo size Yako unayo weza kuivaa zingine waachie wengine haziwezi kukutosha.
@pastorjoshuajuma8016
@pastorjoshuajuma8016 5 жыл бұрын
Hata YESU alikuwa na bodigadi ambao ni kinapetro wengine wengi.
@marcodominico9503
@marcodominico9503 5 жыл бұрын
Pastor Joshua juma Petro hakuwahi bodyguard wa YESU. Na hata YESU aliwahi kusema hana haja na walinzi
@isakalumumba5817
@isakalumumba5817 4 жыл бұрын
Ooh haleluya nawapenda watumishi wa BWANA Umoja na upendano udumu kati yenu nasi tupo pamoja nanyi zaburi 133:1-3 Ezra 10:4 BARIKIWA BABA GWAJIMA,MWINGIRA NA WENGINE WOTE NAWAPENDA
@christophermgoli1236
@christophermgoli1236 5 жыл бұрын
Upo sahihi Bishop Gwajima MUNGU AKUPIGANIE
@magdalenamatiko9995
@magdalenamatiko9995 4 жыл бұрын
Minakukubali kujiamini kwako una uhakika na Mungu unaemtumikia
@ufalmewamungukwawatuwotetv3714
@ufalmewamungukwawatuwotetv3714 5 жыл бұрын
Maono na ufunuo vipo hii na waunga mkono ma baba zangu.Bwana asifiwe kwa kazi kubwa mnatuonyesha. P-FREDDY NSHIMIRIMANA kutoka Bujumbura
@KP-kn2no
@KP-kn2no 5 жыл бұрын
Hii nimeipenda sana ndio mkubali mwenzako tena muombee
@BarakaWaya
@BarakaWaya 5 жыл бұрын
Daaaah Madini yamohumuuu Barikiwa Bishop ."Kanisa limejengwa kwenye ufunuo "
@fubanjenjele521
@fubanjenjele521 5 жыл бұрын
Askofu Gwajima, unajua sn kuhubir na hauna jealous, unajua sn
@jimmymbwambo6731
@jimmymbwambo6731 5 жыл бұрын
Jambo jema sana! "Kuweni wamoja kama sisi tulivyo wamoja" inacutia sana ndugu wakikaa Pamoja kwa umoja
@sayunicasmiry4365
@sayunicasmiry4365 3 жыл бұрын
Asante baba unanitia moyo Askofu
@Andy_tz
@Andy_tz 5 жыл бұрын
wooooow. hapo baba JG Umeua sana . asiekubari hayo ni wivu tuu. mungu akubariki
@janethpaul5555
@janethpaul5555 5 жыл бұрын
Ameen Baba Askofu Gwajima Mungu Akubariki sana sana...
@antonyantonychristopha9845
@antonyantonychristopha9845 5 жыл бұрын
Na Makristo wengi wa uongo watatokea nao watawadanganya wengi yamkini hata wale walio wateule
@alfredbyangwamu9821
@alfredbyangwamu9821 5 жыл бұрын
Watumishi Wa Mungu WA JUKWAA LA KUMHUBIRI KRISTO tunawaomba endelea kumhubiri Kristo. Sisi tunapenda.
@alfredbyangwamu9821
@alfredbyangwamu9821 5 жыл бұрын
Gwajima watumishi hawakupinga Utume, Unabii, na Ufunuo! Bali matumizi ya Utume, na Unabii, na Ufunuo: kwamba sio kwa kuuza mpaka chupa za maji!.
@shadrackmpama2947
@shadrackmpama2947 4 жыл бұрын
Safi uko sahihi ishu ni matumizi ya unabinii wa sasa
@NaseebLugusha
@NaseebLugusha 3 жыл бұрын
Kwamba hujui kuna watu wanapinga uwepo wa mitume na manabii?
@omreuzex7109
@omreuzex7109 5 жыл бұрын
Sio siri Huyu mtu anajua kuongea ! 😀😀😀
@mbukumagiubukumagu406
@mbukumagiubukumagu406 5 жыл бұрын
Yesu alikuwa Mungu ni Mungu akatengezewa njia na Petro ?
@danielkntimba4565
@danielkntimba4565 3 жыл бұрын
Kweli Baba Askofu. Upon Ufunuo wa Jumla ( General Revelation) na Ufunuo Maalum (Special Revelation) . Wasiojua hawaelewi ukweli huo.
@lukhubeni8726
@lukhubeni8726 2 жыл бұрын
Asante kwa maneno ya Hekima 🙏
@godfreylyimo4177
@godfreylyimo4177 5 жыл бұрын
Watu wa Mungu tusipomtafuta Mungu kupitia kweli(logos) lkn kuhakikisha tunamjua Roho Mtakatifu na anakuwa mshirika wetu wa karibu. Kwa haya hautaangaishwa na manabii wa uongo sbb ni lazima wawepo sbb Yesu alisema watakuwepo na watafanya miujiza...Kuwa makini
@boniphasfesto4325
@boniphasfesto4325 3 жыл бұрын
Mungu Akubariki sana Askofu Gwajima
@stevelayda8555
@stevelayda8555 5 жыл бұрын
Amina baba Askofu Gwajima Ubarikiwe sana.
@pastorjoshuajuma8016
@pastorjoshuajuma8016 5 жыл бұрын
Napenda sana ufahamu wa Gwajima.
@marinemodest1798
@marinemodest1798 4 жыл бұрын
hivi huwa hawana vibali vya kujenga makanisa au maana naona ana uwezo mkubwa sana ila hawajaweza kujenga makanisa
@charlesjohn5792
@charlesjohn5792 3 жыл бұрын
Ufahamu wake ni wa juu
@jaredmutego6884
@jaredmutego6884 4 жыл бұрын
hapo ni kweli askof gwajima umeongea vizuri sana
@mpokianyitike7800
@mpokianyitike7800 5 жыл бұрын
Baba uko vizuri Asante kwa mafundisho haya be blessed you spoke the truth
@ndeletwaswai3530
@ndeletwaswai3530 5 жыл бұрын
Asante baba.
@barakamweta9958
@barakamweta9958 4 жыл бұрын
Umeongea Ukweli kaka.naakuamini were mkweli sana.Nakukubali Ni mkweli
@mossesmwambenja9635
@mossesmwambenja9635 5 жыл бұрын
ukovizuri sanaaa kwafikra yakumpendeza sana kristo umenifurasha sana kwakazi nzur askofu gwajima umekuwa mshauri wa ajabu love you bishop uinuliwe zaidiiiiiiiiiiiiii
@deusmauka9626
@deusmauka9626 5 жыл бұрын
Na walokole wanavyowadharau watu wa mataifa je,? wanajiona wao ni watakatifu sana.
@ferotial4659
@ferotial4659 3 жыл бұрын
Ndugu njoo kweny wokovu upate uzima wokovu ni laha sana
@frankjohn8706
@frankjohn8706 3 жыл бұрын
We huoni vinyago
@emmanueljohn8970
@emmanueljohn8970 5 жыл бұрын
Umeongea jambo kubwa Sana, ambalo Manabii wengine wameshindwa kusema, Hakuna Huduma Kubwa zaidi ya Nyingine.
@timboxlee919
@timboxlee919 3 жыл бұрын
Ameni mtumishi wa mungu
@boniphasfesto4325
@boniphasfesto4325 3 жыл бұрын
Mungu azidi kukubariki
@emilydavidmdoe3552
@emilydavidmdoe3552 5 жыл бұрын
nimewafurahia sana watumishi huo ndio umoja tunahitaji kuuona na baba zetu
@genovevakisawike-xo2wq
@genovevakisawike-xo2wq 7 ай бұрын
❤upo sawa Askofu
@bettynyandwi9591
@bettynyandwi9591 5 жыл бұрын
Nabii mzee na Nabii kijana 1Wafalme 13:1-20
@user-eh5tk1sn9h
@user-eh5tk1sn9h 11 ай бұрын
Nimekukubuli barikiwa
@simonimwaso9788
@simonimwaso9788 4 жыл бұрын
Kwamungu hakuna linaloshindikana hata uwe mdogo akiamua kukuinua atakuinua tu.
@desderymakoi6595
@desderymakoi6595 5 жыл бұрын
Majeshi Majeshi...Yakipiga Majeshi....Mwenye maskio na Asikie. Amen
@joycegeorge6576
@joycegeorge6576 5 жыл бұрын
Majeshi ya bwana
@user-eh5tk1sn9h
@user-eh5tk1sn9h 11 ай бұрын
Nidhamu ni hekima barikiwa
@rogersgeorge2920
@rogersgeorge2920 4 жыл бұрын
Be blessed
@sulemanmadahatv1691
@sulemanmadahatv1691 5 жыл бұрын
JKK nawaelewa sana naona wanalenga tu kumrudishia YESU nafasi yake ya utukufu ambayo kunawatu wanajitwalia nafasi hio,kwa kumbukumbu zangu KRISTO atahubiriwa tu na atarudi katika nafadi yake
@ministerebbyans73
@ministerebbyans73 4 жыл бұрын
Interpretation of revelation
@hebrew1214
@hebrew1214 5 жыл бұрын
Bali SISI TUNAMUHUBIRI KRISTO WALA SI MAJI WALA MAFUTA N.K
@festojohn1795
@festojohn1795 4 жыл бұрын
Mwingira na ujaguzi wa 2020
@petermwanyondo6459
@petermwanyondo6459 5 жыл бұрын
Mzee upo vizuri xanaaaa
@bonabonala5559
@bonabonala5559 7 ай бұрын
gwajima muongo unachanganya ya mungu na ya kaisari tumeshaga kukugundua zamani wewe ni lusekelo mzee wa upako ni ccm
@SamwelJoseph-yk3cw
@SamwelJoseph-yk3cw 2 ай бұрын
Hujui unacho ongea
@BarakaWaya
@BarakaWaya 5 жыл бұрын
Daaaah Barikiwa Bishop Gwajima
@beatricesamwel6858
@beatricesamwel6858 3 жыл бұрын
Amina upo vizuli
@paulmbilu4004
@paulmbilu4004 5 жыл бұрын
God bless you papaa!!!
@edwardmkwelele
@edwardmkwelele 5 жыл бұрын
Msamaha we vifaa vya kuabudia Hata Zamani vilikuwa avilipiwi kodi
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 жыл бұрын
🙉
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 3 жыл бұрын
🤔mmh what a revelation?! Nimeelewa kweli ilikuwa hand over aisee! Na kweli bila ufunuo hakuna kutoka
@sabinaboas6760
@sabinaboas6760 3 жыл бұрын
Amen Amen Amen
@charlesmsofe3055
@charlesmsofe3055 5 жыл бұрын
Mnajifariji sana nyie watumishi mliokuja kuharibu Injili ya uzima kwa vimaneno vyenu vya kuunga unga Lengo lenu hapo ni kupinga muungano wa Injili ya kweli hakuna Roho wa Mungu hapo Nani anayemjua Kristo wa kweli asiyemfahamu Maboya,Mwingira,Gwajima na the likes Acheni kutimiza unabii ninyi wajasiriamali wa dini
@alphasjoseph7542
@alphasjoseph7542 5 жыл бұрын
Watu hamuishiwi kukatisha watu tamaa.umoja ni muhimu kuliko utengano.
@charlesmsofe3055
@charlesmsofe3055 5 жыл бұрын
@@alphasjoseph7542lazima uyajue mapenzi ya Mungu ni nini ndipo utaona hapo kuna nini kinaendelea
@rosepallangyo1352
@rosepallangyo1352 11 ай бұрын
Mh! Apa sijawa na anani kbs jmn da kulindwa
@edwardmkwelele
@edwardmkwelele 5 жыл бұрын
Kwa Nyerere hakukuwa na kodi ya majengo
@elishampoki8751
@elishampoki8751 3 ай бұрын
Nikeweli ufunuo upo Ila namna ya kuutumia hapo ndio kazi
@poulwisdom8455
@poulwisdom8455 5 жыл бұрын
hauna jipya mzee inaonekana umekula maharage ya jana
@MjumbeAgano
@MjumbeAgano Ай бұрын
Vizuri kama hawaendi sawasawa na Neno la wakati, hapo inakuwaje? Je tusiwaambie?
@emanueljoshua6228
@emanueljoshua6228 5 жыл бұрын
Mimi sasaivi ni heri nifungue kanisa langu nymbani nisali na watoto wangu na mke wangu. Saivi hapaeleweki injili imepoteza maana yake tena.
@hamisimussa2228
@hamisimussa2228 5 жыл бұрын
Kama ipi
@gastonjoshua9326
@gastonjoshua9326 5 жыл бұрын
Soma (,Mika 7:5.Kila mtu ana mapungufu! Una onesha hauna misingi ya kiroho!! Kila kwenye Biblia Alikuwa na udhaifu wake.soma Pia zaburi 77:10.utashangaa!!!!! Yesu Alisema Kwenye ,(MATHAYO 23:3).FUATA ANACHO FUNDISHA,MADHAIFU ACHANA NAYO!!
@emanueljoshua6228
@emanueljoshua6228 5 жыл бұрын
Inawezekana nayo ni maono na mafunuo nimepata msinilaumu jamani
@vumiliahalimeshi3133
@vumiliahalimeshi3133 5 жыл бұрын
@@emanueljoshua6228 sio maono umekwama wewe
@subiradalabu6616
@subiradalabu6616 5 жыл бұрын
👍👍👍
@happinessmwenda2773
@happinessmwenda2773 3 жыл бұрын
GWAJIMA TUTAKUWA MEZA MOJA BUNGENI🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@gidionkadaraja1403
@gidionkadaraja1403 3 жыл бұрын
Uliongeaa unabii Dada yupo bungen
@mzeewavibedr.4032
@mzeewavibedr.4032 3 жыл бұрын
Duu ulitabiri
@mzeewavibedr.4032
@mzeewavibedr.4032 3 жыл бұрын
Duu ulitabiri
@elizabethsimbenga4773
@elizabethsimbenga4773 5 жыл бұрын
Amen amen 🙏🏾
@naftalimhemi4163
@naftalimhemi4163 Жыл бұрын
Nimepiga makofi Mtumishi
@matukiomedia191
@matukiomedia191 3 жыл бұрын
Ubarikiwe
@shaibupaulomalekela3546
@shaibupaulomalekela3546 3 жыл бұрын
Sawa
@uwezoseleman5530
@uwezoseleman5530 5 жыл бұрын
My qn is je JG umefunliwa hayo unayosema? au unajipigania mwenyewe Je unajua JKK imetoka kwa Mungu? Injili ya sasa kuna maziwa na tuwi la nazi. Unatakiwa kuonja ili kutofautisha. Soma neno hakuna njia mbadala yakwenda Mbinguni.
@sabinaboas6760
@sabinaboas6760 3 жыл бұрын
Very nice 👍
@pauljames201
@pauljames201 3 жыл бұрын
Aminaa
@gracenyangusi6230
@gracenyangusi6230 3 жыл бұрын
Ameeen dady Gwajima 👍
@MjumbeAgano
@MjumbeAgano Ай бұрын
Yeremia 23:23-29. Hapo unafasirije?
@richardboaz-mashagospel2346
@richardboaz-mashagospel2346 5 жыл бұрын
Mimi ni born again lakini hamjui mnachozungumzia....na kingine woote Hawa wachungaji na manabii Kama wangekua na hekima, busara, na uongozi wa Mungu wasingepoteza muda kubishana kwenye Mambo ya nyumba yao wenyewe....wako kujenga ufalme mmoja lakini wanainuka kutupiana maneno! Unadhani hawa wanajenga nyumba moja? Hapana....kuna falme mbili tofauti ndio maana unaona kuna kurushiana maneno. Kaeni mfundishane sio kutupiana maneno. Biblia inasema Kama mmoja wenu akikosa hekima na aombe....ombeni msije mkaingia majaribuni. Shetani anatumia vinywa vyenu...muwe makini...mnasema ukweli ambao hamjaufanya kuwa ukweli. Note: shika sana ulichonacho asije mwovu akakunyang'anya, mbili: adhaniye amesimama aangalie asianguke, tatu: Shetani huja Kama malaika wa Nuru.....na maandiko anayajua....sasa be careful maana shetani hatatoka nje ya Pentecostal churches atatokea ndani. The only enemy is coming from inside. Bye
@yonachaluma6329
@yonachaluma6329 4 жыл бұрын
Magu oyee
@sadickwalker2795
@sadickwalker2795 5 жыл бұрын
Amen
@saidnoumani7244
@saidnoumani7244 5 жыл бұрын
Askofu Gwajima ni mtu anaweza kusababisha mafarakano baina ya wakristo na watanzania kwa ujumla. Hapendi kukosolewa na ana ubinafsi saaaaaana! Ajifunze kutoka kwa Daniel Mgogo ni mtu safi.
@antonyantonychristopha9845
@antonyantonychristopha9845 5 жыл бұрын
Wapiga hela
@antonyantonychristopha9845
@antonyantonychristopha9845 5 жыл бұрын
SDA only church
@victorialubwaza1583
@victorialubwaza1583 9 күн бұрын
Yupo vizuri Askofu Gwajima
@ipyanapaul5223
@ipyanapaul5223 3 жыл бұрын
Apo nimekuelewa pastor
@markdiganyekatv
@markdiganyekatv 3 жыл бұрын
Yes
@yakobomwaijele7101
@yakobomwaijele7101 3 жыл бұрын
wewe askofo na kuelewa saana MUNGU akuinue zaidi tuna songa mbele zaidi kwani kuna maambo ukiongea unakuwa kama umeona ya yaliyo ndani yangu ambayo MUNGU aliyo nifundisha
@peterluhanda7632
@peterluhanda7632 5 жыл бұрын
Sijakuelewa kilamtu atwange kivyake!! Mmmmmh siokilamtu atwange kwakufuata maandiko yanasemanini? Mbona namashaka ?!
@officialjoyvem122
@officialjoyvem122 3 жыл бұрын
Ni kwel hujaelewa... sikiliza vizur amesema kila mtu atwange kivyake sawa na Mung anavyomuongoza na Mungu ndio neno lenyewe
@nyellasuwedisanga6929
@nyellasuwedisanga6929 2 жыл бұрын
Watumishi wa leo mbona hatuelewi. Badala ya kuhubili watu wache zambii na kuokoka. Tunapiga siasa mahali pa kuabidia
@rosepallangyo1352
@rosepallangyo1352 11 ай бұрын
Has! Sikuizi mpaka na body guard
@apostlescharlestobiasowino2141
@apostlescharlestobiasowino2141 4 жыл бұрын
Hii ndio KWELI maana kanisa linaenda na ufunuo.Shida ya Leo kwa wapendwa ni kujifanya wanajua kumbe hawajui
@hersenmichaeli1566
@hersenmichaeli1566 5 жыл бұрын
huyu mzee ni hatari sana kwa nondo
@AloyceTz762
@AloyceTz762 5 жыл бұрын
Mimi nime mwogopa ,Yaani Uki msikiliza Jamaa Ana Nondo ase unaweza jifunza Mambo Mengi sana sana .
@massawejacob
@massawejacob 4 жыл бұрын
Tatizo wanapouza hizo huduma
@mwajumahalinga1808
@mwajumahalinga1808 3 жыл бұрын
Amina
@filorammbaga5710
@filorammbaga5710 3 жыл бұрын
Watumishi kaeni katika magoti kwa maombi juu ya nchi.
@meryjohn7120
@meryjohn7120 3 жыл бұрын
Mwingila ndie
@hebrew1214
@hebrew1214 5 жыл бұрын
Je maono hayo na mafunuo hayo yanamuhubiri na kumuinua Kristo?
@pastormsafi8454
@pastormsafi8454 5 жыл бұрын
Mbona unahangaika sana
@isayachando6767
@isayachando6767 5 жыл бұрын
Hapa wanawaunganisha watumishi ili Kazi ya kristo iende mbele, jua kutofautisha!!!!
@prophetmlokozi4633
@prophetmlokozi4633 3 жыл бұрын
💪
@mihayoyabhupangachannel9909
@mihayoyabhupangachannel9909 5 жыл бұрын
Maona na ufunuo vipo na sio dhambi lakini ufunuo na maono yatokayo kwa Bwana twaujua kwa matokeo kusudiwa.
@robinchristian3125
@robinchristian3125 5 жыл бұрын
Muujiza mkuu wa nyakati hizi ni vipi watu wenye ufahamu wanawasikiliza na kuwaamini wapuuzi kama hawa. Shetani anafanya kazi yake na Biblia mkononi. Tulijue hilo kwa kuwa aliowatabiri Bwana na kututahadharisha hakika washafika. Wanahubiri kwa jina lake wakati hawaamini hata neno lake moja.
@elibarikimollel9629
@elibarikimollel9629 3 жыл бұрын
Baba ktk Utumishi wako wa injili,nakupa99% lkn kwenye siasa umepotoka na kuegemea upande kwa kutiwa hofuuu...!!!? Acha rudia kazi uliyoitiwa, utafika mbali....
@naftalimhemi4163
@naftalimhemi4163 Жыл бұрын
Ulongye mwemwene mvina
@bonabonala42
@bonabonala42 3 жыл бұрын
Gwajima. Ujapakwa Mafuta. Namungu. Umepakwa. Mafuta.. Na Jpm. Kwa kuungaa mkono. Juhudi. Kwasababu. Msukuma. Mwenzako. Jpm
@rev.musabalalarogersmusabalala
@rev.musabalalarogersmusabalala 5 жыл бұрын
MAONO,UFUNUO& NDOTO
@pastor.kanunikayombo7864
@pastor.kanunikayombo7864 5 жыл бұрын
Gospel machine
@fredernestonline6011
@fredernestonline6011 5 жыл бұрын
Ufunuo upo. Mi shaidi ya hili.
@landlord440illuminate8
@landlord440illuminate8 5 жыл бұрын
Mchungaji anabodigadi!? 😆😆😆😆
@myself4128
@myself4128 5 жыл бұрын
Halafu kujiita General wakati hujawahi hata kuhubiri Injili Somalia unaogopa kufa ni vichekesho tu, Paulo mtume wa Mungu akitokea hapa atalia machozi sababu ikiandikwa Biblia mpya leo kati yenu nani atakuwemo🙄🙄🙄🙄🙄🙄 Mmekutana wapigaji mnajipanga na wafuasi wenu wanasikilizia tu sema baba🗣🗣🗣🗣
@navlynnkanga7312
@navlynnkanga7312 4 жыл бұрын
Sio we aliyeko ndan yako ila MUNGU akusaidie na kukusamehe kwan hao pia watumishi wa mungu kama alivyokuwa mt. Paulo.
@myself4128
@myself4128 3 жыл бұрын
@@navlynnkanga7312 unachekesha sana,,Ikiandikwa Biblia mpya utawaweka hao mitume na manabii wako??yaani umlinganishe APPOSTLE aliyefundishwa Na YESU mwenyewe na hao wafanyabiashara?Nabii anakula chips🤣🤣🤣 kasome maandiko...Au ushapakwa mafuta yao?
@ashagamaha6886
@ashagamaha6886 5 жыл бұрын
Hata Goliath alijisifu mbele ya Daudi
@johnkomba2774
@johnkomba2774 5 жыл бұрын
Together
Neema ya Mungu - Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira
1:00:04
EFATHA CHURCH
Рет қаралды 34 М.
Or is Harriet Quinn good? #cosplay#joker #Harriet Quinn
00:20
佐助与鸣人
Рет қаралды 50 МЛН
When you discover a family secret
00:59
im_siowei
Рет қаралды 36 МЛН
KARAMA TANO ZA UTUMISHI TUHESHIMIANE. APOSTLE DASTAN MABOYA
15:29
USHUHUDA WA MAMA ERIAKUNDA MWINGIRA
2:51
Efatha Church Mtwara
Рет қаралды 10 М.
Mateso ya kimyakimya: Sheikh Ponda azungumzia kifo cha Ali Mohammed Kibao
44:53
NABII NA MTUME IJUE  TAFAUTI YA WITO NA UBABA - MTUME MWINGIRA
21:36
DR.GWAJIMA AWEKA WAZI NDOTO YA UKOMBOZI WA UCHUMI WA TANZANIA
59:18
huduma ya kristo
Рет қаралды 23 М.
Or is Harriet Quinn good? #cosplay#joker #Harriet Quinn
00:20
佐助与鸣人
Рет қаралды 50 МЛН