Amen Amen mutoto Eunice Mungu amubariki, Azidi kusaidiea Watu 🙏🙏🙏🙏🙏wachting form 🇪🇺🇪🇺🇪🇺🇪🇺🇩🇪
@BMGOnlineTV4 ай бұрын
Amen
@wambuijoseph46104 ай бұрын
Blessed mother loves children . Thanks to our lady may we be more prayful through the holy rosary for peace spiritual and physical healing Amina
@BMGOnlineTV4 ай бұрын
Amen
@drnow15284 ай бұрын
Ongera BMG kwa kazi nzuri
@BMGOnlineTV4 ай бұрын
Amen
@justerkarimi12954 ай бұрын
Thanks lord,inua watu wako oh lord to great heights,happy those who believe yet they cant see.
@BMGOnlineTV4 ай бұрын
Thanks for watching
@marymuthoni15514 ай бұрын
Asante sana, barikiwa
@BMGOnlineTV4 ай бұрын
Amen
@AssumptaGinika3 ай бұрын
Eunice pray for Assumpta Uchenwa for divine healing more grace mama
@BMGOnlineTV3 ай бұрын
Amen
@SelinaAkhwaleameeeeen4 ай бұрын
Hi Moto yunis bado anamfanyia MUNGU kazi natamani Nike aniombee asante
@BMGOnlineTV3 ай бұрын
Bado anaendelea na maombi
@annewangui5474 ай бұрын
Watu wa Mombasa twendeni pamoja 👏
@BMGOnlineTV4 ай бұрын
Karibuni sana
@GiftChisombo-t3w4 ай бұрын
Amina ❤❤❤
@BMGOnlineTV4 ай бұрын
Barikiwa
@grecevitariss63634 ай бұрын
Amina, ubarikiwe sana
@BMGOnlineTV4 ай бұрын
Amen
@janeanet62094 ай бұрын
Amen 🙏🙏
@BMGOnlineTV4 ай бұрын
Barikiwa
@hamidmussa8384 ай бұрын
Mmmmm!
@BMGOnlineTV4 ай бұрын
Barikiwa pia
@EverlineOnyango-r2bАй бұрын
Mungu alisema Ufalme wake ni ya watoto wadogo
@BMGOnlineTVАй бұрын
Amen
@gracegesare53134 ай бұрын
Angel yunis great to GOD 🙏🙏🙏
@BMGOnlineTV4 ай бұрын
Amen
@MarithaObare3 ай бұрын
Mungu aendelee kuoneka kwa huyo motor yunis siku moja 2taonana mm n martha
@BMGOnlineTV3 ай бұрын
Amen
@nenolauzima52814 ай бұрын
Is that related to Marian apparitions?
@BMGOnlineTV4 ай бұрын
It's not apparitions!
@JosephMwala-v1z3 ай бұрын
Nipo mukoagan sehemu gan
@JosephMwala-v1z3 ай бұрын
Mupo mukoagan sehemu gan
@BMGOnlineTV3 ай бұрын
Ubarikiwe sana
@Muhumuza-jf3zs4 ай бұрын
Mungu awabariki Yani mtoto hu tunamtaka hapa Rwanda
@BMGOnlineTV4 ай бұрын
Amen, ni mtoto wenu karibu awahudumie
@justerkarimi12954 ай бұрын
Very good our baby Eunice,colour ya maria ni blue.mungu akuongezee kipaji.
@BMGOnlineTV4 ай бұрын
Amen
@VeredianaNicholas4 ай бұрын
AMINA
@BMGOnlineTV4 ай бұрын
Barikiwa
@rosamarieshukraft76644 ай бұрын
Hio nguo ya Pink yunis asivae nguo za yunis ni Blue 💙.samawati Blue dack na nyeupe na vitamba vifanane na nguo
@BMGOnlineTV4 ай бұрын
Zawadi ni zawadi, nadhani kwa budara asingeikataa!
@mercykariithi79194 ай бұрын
I pity all the people who come for the called healing it's demonic this girl is been used by the prince of the air shetani Hana chabure mutalipa tu
@BMGOnlineTV4 ай бұрын
Imani yako na ikuponye, barikiwa sana
@bathshebanyaboke71924 ай бұрын
Nakwambia my dear shenanigans hana vya bure akikuvuta n kusudi akuangamize
@JosephMtendeАй бұрын
Nataka nikuje bukama naomba namba niwasiliane na baba yunis Niko kenya
@BMGOnlineTVАй бұрын
@@JosephMtende unakaribishwa sana
@sedelaauma9066Ай бұрын
Jameni pesa niliyo tuma nipate maji mpaka Leo sijajibiwa.aki mungu aguse yule aliyepokea pesa yangu nijue Kwa Nini sijapata maji
@BMGOnlineTVАй бұрын
Bado tu mnatuma pesa? Kuweni makini jamani mtaendelea kulia
@AdolfnaAndrea4 ай бұрын
Mama Bikira Maria endelea kuwajali neema kupitia Mtoto Unice
@BMGOnlineTV4 ай бұрын
Amen
@mercykariithi79194 ай бұрын
This girl reminds us of acts 16 the girl who was using demons for divination (indirect hidden witchcraft)
@fridah60464 ай бұрын
Sanamu imewekwa hapo kwa kwa nini? Watu wafunguke macho wamtafute mungu wawache kutafuta miujiza.
@BMGOnlineTV4 ай бұрын
God bless you
@BMGOnlineTV4 ай бұрын
Roman hutumia hiyo picha ya Bikra Maria hadi makanisani
@nekesabwisa37353 ай бұрын
Namba ya simu
@BMGOnlineTV3 ай бұрын
Karibu 0757 43 26 94 BMG
@esthermwikali54034 ай бұрын
Bmg tupatie number tafadhali
@BMGOnlineTV4 ай бұрын
+255757432694
@Juliana-gd8ej4 ай бұрын
Heko kwako Mama Bikira Maria
@BMGOnlineTV4 ай бұрын
Barikiwa
@ADONAIPRAYERFULCHANNEL4 ай бұрын
Wafilipi 2:10 ili kwa jina la YESU Kila goti lipigwe la vitu vya MBINGUNI na vya duniani na vya chini ya nchi
@BMGOnlineTV4 ай бұрын
Barikiwa
@agnessima50324 ай бұрын
Duhh!! Mimba miaka 3!!!?? Duhh!! Mungu wa ajabu sana!
@BMGOnlineTV4 ай бұрын
Yaani
@antoinetteshivachi95624 ай бұрын
Eunice number sana Marsha tangy ni ngumu Dina kazi nimechukiwa na kila mtu
@BMGOnlineTV4 ай бұрын
Barikiwa
@bathshebanyaboke71924 ай бұрын
Mbona bado watu wamepumbazika style hii uuuuiii watu fungukeni macho tafadhali kila jambo lipimwe kwa mjibu wa bibilia Yesu Yesu rehemu watu wako. Shetani mwongo kweli
@BMGOnlineTV4 ай бұрын
Kila mtu anafuata imani yake
@syliviakente94604 ай бұрын
Huyu baba toka alivyojichanganya mhh nakuoa mke wapili ndio kabisaaaaa
@beatricenangale54394 ай бұрын
Niliwakuta wasabato wamekuja kwa Eunice
@LomayaniLukumayi16 күн бұрын
Unis. Niombea..ununwe.aka.40
@ClementineSteven4 ай бұрын
No za simu
@BMGOnlineTV3 ай бұрын
Tuwasiliane 0757432694
@Nana-x1d3 ай бұрын
Mtoto yunis anaweza ombea mtu Kwa simu?
@BMGOnlineTV3 ай бұрын
Tutakusaidia kuuliza
@ClementineSteven4 ай бұрын
Toeni no za simu
@BMGOnlineTV3 ай бұрын
Wasiliana na BMG
@virginiakibe18464 ай бұрын
Mika a ni kabila ya Luo kama kenya
@BMGOnlineTV4 ай бұрын
Ndiyo
@evambai4364 ай бұрын
Anaweza kuombea mtu anayekunywa pombe aache
@BMGOnlineTV4 ай бұрын
Ni suala la imani yako
@MariaAgustinou4 ай бұрын
Bukama ipo seem Gani?
@BMGOnlineTV3 ай бұрын
Umeona kabisa hadi picha imeandikwa Bukama Rorya
@ADONAIPRAYERFULCHANNEL4 ай бұрын
Jina lipitalo majina yote ni jina la YESU tu
@BMGOnlineTV4 ай бұрын
Amen
@MariaAgustinou4 ай бұрын
Nikitokea dareslam napanda Gali lawapi na linaitwaje basi ilo Ili nifike?
@BMGOnlineTV3 ай бұрын
Ulizia mabasi ya Tarime. Ukifika Tarime stendi watakuonyesha magari ya Bukama, Rorya
@esthermwikali54034 ай бұрын
Mimi niko msa nawesa kuja pibi
@BMGOnlineTV4 ай бұрын
msa ni wapi?
@annewangui5474 ай бұрын
@@BMGOnlineTVKenya....tupange twende sote Aki plzzz
@happinessmisanga49444 ай бұрын
Ths is idol worship
@bathshebanyaboke71924 ай бұрын
Pure demonic let's pray for those pple who have been blinded by satan