BOAZ DANKEN-MWANGALIE SHUJAA

  Рет қаралды 312,166

BOAZ DANKEN

BOAZ DANKEN

2 жыл бұрын

#GloryandHonortoJESUS
Karibu Tumwabudu MUNGU wetu Pamoja
Ninaamini Kuna uponyaji na Kuinuliwa sana katika Kumtaja YESU na Kazi alizozifanya Duniani kwajili Yetu
MUNGU awabaliki Sana Watu wote waliosimama kwa Sadaka zao kufanikisha Maandalizi ya Ibada Hii Kila sehemu Mungu akiwahudumia watu kupitia Wimbo Huu; Baraka nyingi ziwafikie wote waliomuandalia Bwana kwa Sadaka ya Muda, Fedha na Maombi.
MWANGALIE SHUJAA Recorded at Rock City Mall parking Area, Mwanza, TANZANIA.
Music Arranged & Directed by Apostle Sephone Sospeter
Vocal Arranged by Sir Jimmy Kimutuo
First keys: Sephone Sospeter
Second keys: Samwel Sospeter
Third Keys: John Ntete
Fourth keys: Augustino Batista
Drums: Shalom V. Mbuke
Percussion: Pastor David Silwimba
Bass guitar: Amani Victor
Lead guitar 1: Haggai Makuzo
Lead guitar 2: Erick Chitungo
Saxophone: Dickson Maige
Back Vocals From BMCC PRAISE TEAM
Event Coordinated by Kelvin Mbeveta
Translated to English by Mr&Mrs Pst.James Kalekwa
*Audio Captured and Mastered by Chosen Records Int’l #SamMboya
*Video Captured and Mastered by Cyber Pic #Sylvester
*Sound By #SoundSolution Moses Edard
*Sound Engineer: Gad Mwanga
*LED screen: Elly Jo
*Lights By Nyakalo Stage and Lighting Com. #DavidSengati

Пікірлер: 671
@ambweneobadiamwasongwe
@ambweneobadiamwasongwe 2 жыл бұрын
Mungu akubariki Sana mtumishi wa Mungu... wewe ni Baraka sana kwa taifa
@boazdanken
@boazdanken 2 жыл бұрын
Kaka Utukufu na Heshima Kwa YESU Asante sana kusimama na Mimi kwenye Kazi Hii
@petromwakabengatz7435
@petromwakabengatz7435 2 жыл бұрын
Naona Kitu Kikubwa Sana Ndani Ya Mtumishi Huyu Wa MUNGU Tena Sana Si Chakawaida
@emmejo80
@emmejo80 Жыл бұрын
Natamani kuonana ana kwa ana na Boaz Danken my roll model
@kzmtv4249
@kzmtv4249 2 жыл бұрын
Kaka Boaz Mungu AKUTUNZE sana endelea kunyenyekea chini ya mikono yake huduma Mungu aliyo kupa ina gusa watu wengi wewe ni zawadi ya taifa Barikiwa sana..... Na ss ni kanisa matokeo ya msalaba oooh our almighty God bless you
@boazdanken
@boazdanken 2 жыл бұрын
Utukufu na Heshima Kwa YESU Asante sana please share kwa Wengi
@Ace_Home
@Ace_Home Жыл бұрын
Nngekuwa na uwezo wa kukusubcribia hadi watu milioni ningefanya hivyo hima.. Unanibariki sana na huduma yako.. Mungu azidi kukukumbuka❤️
@joynerwesonga7507
@joynerwesonga7507 7 ай бұрын
When prayers cannot be said because the pain stings so much and the tears flow freely...I remember the lyrics of this song and they become my prayer..indeed HE is the lamb of GOD...be blessed Boaz❤
@kennethbuluma8552
@kennethbuluma8552 Жыл бұрын
Nimeusikiliza huuwimbo nikiurudia maranyingi kwakweli yesu ni shujaa. Mtume wamungu twakuombea uzidishiwe nehema unapo pungua aongezee ndani Yako kama sisi tumebarikiwa hi vi jee wewe. Nitaziimba hizitenzi pia. Ubarikiwe sana
@boazdanken
@boazdanken Жыл бұрын
Glory and Honor to Jesus please if your Blessed this ministry kindly subscribe our channel
@phoebeanyoso7005
@phoebeanyoso7005 2 жыл бұрын
Wow l like the song.may God bless you.na azidi kuachilia anointing Na neema juu yako together with your team
@boazdanken
@boazdanken 2 жыл бұрын
Glory and Honor to Jesus
@katepetals
@katepetals Жыл бұрын
I love Boaz. You can tell he truly loves Jesus, Its beautiful to watch.
@debbiekimeli5213
@debbiekimeli5213 2 жыл бұрын
[7/5, 9:18 PM] faith🕊️: Mwangalie shujaa Ametoka mbinguni akakuja duniani Kuokoa wanadamu Yesu Amebeba dhambi zote za ulimwengu Begani mwake Mfalme Alidharau aibu Kaendea msalaba Mwangalie shujaa Nani kama wewe Bwana bwana Nani kama wewe Bwana wa majeshi [7/5, 9:40 PM] faith🕊️: Mwangalie shujaa Ameshuka kuzimu Kanyanganya ufunguo Wa mauti na uzima Yesu Amevuta hasi zote ata mashtaka Zilizo tuhukumu Mfalme Katufanya makuhani Watoto wa mfalme Tunatawala milele Mwanakondoo wa Mungu uuuu Uliyechinjwaa aaa Wastahili..... Ukamnunulia aaaa Mungu watu wake eee Kwa damu Na sisi ni kanisa aaaa Matokeo ya msalaba. Aaaaa Twakwabudu
@boazdanken
@boazdanken 2 жыл бұрын
Amen Asante sana Utukufu na Heshima Kwa YESU usiache kushare Kwa Wengi
@Filopolazalo
@Filopolazalo 2 жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu Bwana atunze Neema hii aliyo iweka ndani yako hakika Unafanya kazi kubwa kwaajili ya Utukufu wa Bwana
@boazdanken
@boazdanken 2 жыл бұрын
Utukufu na Heshima Kwa YESU Asante sana please share kwa Wengi
@Filopolazalo
@Filopolazalo Жыл бұрын
amina
@happyshitindi3870
@happyshitindi3870 2 жыл бұрын
Katufanya makuhani, wototo wa kifalme tunatawala milele... This verse is just powerful🔥🔥 God bless you man of God🙏🙏
@priestkingagrey
@priestkingagrey 2 жыл бұрын
Atukuzwe Bwana Yesu amebeba dhambi zetu zote🙏🙏🙏 Hakuna kama yeye...yeye pekee ndiye Mungu.. Ametufanya makuhani na wafalme... Taifa takatifu la Bwana👏👏👏
@boazdanken
@boazdanken 2 жыл бұрын
Utukufu na Heshima Kwa YESU Asante sana please share kwa Wengi
@noahkayofficial2963
@noahkayofficial2963 2 жыл бұрын
Jina la Bwana libarikiwe milele kwa kazi hii nzuri mtumishi Boaz
@boazdanken
@boazdanken 2 жыл бұрын
Utukufu na Heshima Kwa YESU Asante sana Please share kwa Wengi ukiweza
@fille3991
@fille3991 2 жыл бұрын
🇰🇪 Yesu asifiwe siku zote, masaa yote
@emmanuelmtonyole9958
@emmanuelmtonyole9958 2 жыл бұрын
Mungu akubariki Big brother kwa KAZI njemaaa
@boazdanken
@boazdanken 2 жыл бұрын
Amen Asante sana Utukufu na Heshima Kwa YESU usiache kushare Kwa Wengi
@mfalmegideon3987
@mfalmegideon3987 2 жыл бұрын
Maneno Ya Huu Wimbo Yana Nguvu Sana Ubarikiwe Sana Pastor Boaz
@boazdanken
@boazdanken 2 жыл бұрын
Amen Asante sana Utukufu na Heshima Kwa YESU usiache kushare Kwa Wengi
@joshuakabasi170
@joshuakabasi170 2 жыл бұрын
Kaka MUNGU anakutumia kwa viwango vya juu sana usije ukabadilika tunabalikiwa sana na kazi zako yani kaka boaz danken
@boazdanken
@boazdanken 2 жыл бұрын
Amen Asante sana Utukufu na Heshima Kwa YESU usiache kushare Kwa Wengi
@philipomwampamba9301
@philipomwampamba9301 Жыл бұрын
so wonderful kuna wakati dunia inapokuwa kinyume na ibada za kweli Mungu anatupa nafasi nyingine yakuabudu katika Roho na kweli mtumishi Mungu akubariki sana na awatunze na wanaokuzunguka Ili iwe amani na furaha kwako katika utumishi wako ,,,,,hakika usadaka njema ya sifa
@amosnamu717
@amosnamu717 Жыл бұрын
Glory to our Lord Jesus Christ,who died on the cross coz of our sins,thank you Our King of kings🙏🙏
@madlynenyambu9698
@madlynenyambu9698 Жыл бұрын
Heeeee.....shujaa wangu Yesu amenifanya kuhani , mtoto wa mfalme aliponifutia hati ya mashtaka yangu. Hakika mashtaka yetu ni mengi .....saaanaa... Damu ya Yesu tu yaweza kufuta.... Glory to Jesus forever... God bless you man of God. Huu wimbo una ufunuo mkuu mno.
@madlynenyambu9698
@madlynenyambu9698 Жыл бұрын
Kanisa ni matokeo ya msalaba....... Ooooh the slain Lamb of God 😭😭😭😭 Glory glory glory to God.
@wycliffejuma894
@wycliffejuma894 Жыл бұрын
Kwa Hali zote namwangalia Yesu shujaa wangu,napenda utunzi wako upako tupu.
@geraldmnyone9340
@geraldmnyone9340 2 жыл бұрын
Utukufu anao yeye shujaa anayekutumia namna hii kuinua sifa zake kuu katika Taifa letu. Mungu akutunze sana Mtumishi wa Mungu.
@boazdanken
@boazdanken 2 жыл бұрын
Amen Asante sana Utukufu na Heshima Kwa YESU usiache kushare Kwa Wengi
@joashfangeli5576
@joashfangeli5576 Жыл бұрын
Asante kwa kuniguza tafadhali naeza kuwa na maongezi na wewe kuhusu huduma mimi ni muhudumu pia ila nahitaji wa kunishika mkono
@NDISA1
@NDISA1 2 жыл бұрын
Kaka @Boaz Dunken ubarikiwe kwa wimbo mzuri. Mungu akuinue katika utukufu wake
@boazdanken
@boazdanken 2 жыл бұрын
Utukufu na Heshima Kwa YESU Asante sana please share kwa Wengi
@edwinelias8554
@edwinelias8554 2 жыл бұрын
Amen ni zamu ya Tz kuinuliwa na utukufu wa Mungu
@boazdanken
@boazdanken 2 жыл бұрын
Utukufu na Heshima Kwa YESU Asante sana Please share kwa Wengi ukiweza
@vincentheme6464
@vincentheme6464 10 ай бұрын
Yeye ni Shujaa na Amiri Jeshi wa Mataifa yote,Sifa na shukurani ni kwake ...tumtazamee kwa makini.
@amosmlalu8193
@amosmlalu8193 Жыл бұрын
Very wonderful anointing songs be blessed servants of God i wish u could visit mwanza for the service
@jamesnyaga7331
@jamesnyaga7331 2 жыл бұрын
Wow!!! Beautiful done Worship, the back up, the band,the lyrics and the Holy Spirit inspiration. God bless you Boaz. 🇰🇪
@boazdanken
@boazdanken 2 жыл бұрын
Glory and Honor to Jesus Asante sana please share kwa Wengi
@daudimollel7143
@daudimollel7143 2 жыл бұрын
Namuona Shujaa wetu kila siku maishani ❤️😭 God bless you brother Danken
@boazdanken
@boazdanken 2 жыл бұрын
Amen Asante sana Utukufu na Heshima Kwa YESU usiache kushare Kwa Wengi
@emanuelandronicus2574
@emanuelandronicus2574 2 жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu boaz kwa staili ya utunzi wako najua unakuja kuwa muhubiri mda si mrefu
@JulianaHezron-gj4vk
@JulianaHezron-gj4vk Жыл бұрын
Hakuna kama yeye MUNGU wa mbingun akubariki mtumishi
@edwinmosha
@edwinmosha 2 жыл бұрын
Am glad to be the first to like and watch. BLESSING
@boazdanken
@boazdanken 2 жыл бұрын
Ubalikiwe sana Pastor Utukufu na Heshima Kwa YESU
@vainesmwacharo6484
@vainesmwacharo6484 Жыл бұрын
There is no one like Jesus. Uimbaji wako unanibariki , na kuniongoza kwa maombi....ooh hallelujah .
@nyawaminzamabusi8757
@nyawaminzamabusi8757 Жыл бұрын
Huu wimbo unanibariki sana, Yesu Kristo akuongeze Boaz Danken
@fiddymimera164
@fiddymimera164 2 жыл бұрын
My favorite minister🥰 Neema izidi kutosha mtumishi🙏 Much love from Kenya
@boazdanken
@boazdanken 2 жыл бұрын
Utukufu na Heshima Kwa YESU Asante sana Please share kwa Wengi ukiweza
@realscholarships-bolde.2344
@realscholarships-bolde.2344 Жыл бұрын
Mwangalie shujaa Yesu...thank you, lord. Mungu akuvariki zAidi mtumishi.
@Josh-mr8fp
@Josh-mr8fp 2 жыл бұрын
Uongezeke sana Boaz danken katika huduma yako
@boazdanken
@boazdanken 2 жыл бұрын
Glory and Honor to Jesus
@humphreymakori
@humphreymakori 2 жыл бұрын
Kile ambacho mungu amekiweka moyoni mwako sasa ni baraka kwetu. Mungu akubariki na akuzidishie
@boazdanken
@boazdanken 2 жыл бұрын
Glory and Honor to Jesus
@eliabwile5247
@eliabwile5247 Жыл бұрын
Nabarikiwa nanyimbozako nikiwa zambia fadhili mwakasege
@doreenmkwamila1229
@doreenmkwamila1229 2 жыл бұрын
Nyimbo zako zmebeba amani ya moyo wangu maranyingi zinanipa faraja, Mungu asikupungukie mtumishi
@boazdanken
@boazdanken 2 жыл бұрын
Utukufu na Heshima Kwa YESU Asante sana Please share kwa Wengi ukiweza
@kamaulukasblessedofficial786
@kamaulukasblessedofficial786 2 жыл бұрын
Nani kama wewe BWANA WA MAJESHI😥😥😢😢🙌🏿🙌🏿🙌🏿NANI KAMA WEWE BWANA WA MAJESHI HAKUNA‼️‼️ ASANTE PAPAAA BOAZ
@boazdanken
@boazdanken 2 жыл бұрын
Utukufu na Heshima Kwa YESU Asante sana Please share kwa Wengi ukiweza
@julianalameck9045
@julianalameck9045 2 жыл бұрын
MUNGU azidi kukupa MAHARIFA na HEKIMA nyingi uzidi kuitenda kazi yake kikamilifu unanibariki sana, ufichwe Zaidi.
@boazdanken
@boazdanken 2 жыл бұрын
Utukufu na Heshima Kwa YESU Asante sana Please share kwa Wengi ukiweza
@marykago5426
@marykago5426 2 жыл бұрын
My spirit flows with the flow of the holy spirit as you sing I don't get tired of your song I play it day in day out am much blessed may God increase you 🙏🙏🙏🙏
@boazdanken
@boazdanken 2 жыл бұрын
Utukufu na Heshima Kwa YESU Asante sana Please share kwa Wengi ukiweza
@richardchidzao1292
@richardchidzao1292 2 жыл бұрын
Wow a lot of love from Kenya brother Boaz.....I love your music 🔥🔥🔥
@boazdanken
@boazdanken 2 жыл бұрын
Utukufu na Heshima Kwa YESU Asante sana Please share kwa Wengi ukiweza
@winmoi7620
@winmoi7620 2 жыл бұрын
Amebeba dhambi zetu zote Begani mwake, Mwangalie Shujaa, Mimi ni kuhani mtoto wa MFALME MPO???!!!!
@boazdanken
@boazdanken 2 жыл бұрын
Amen Asante sana Utukufu na Heshima Kwa YESU usiache kushare Kwa Wengi
@felisterkisendi835
@felisterkisendi835 2 жыл бұрын
Hakika hakuna Mungu kama wewe,ubarikiwe mtumishi wa Mungu
@hannahirungu4527
@hannahirungu4527 2 ай бұрын
Hallelujah what a powerful song more blessings man of God can't get enough of your songs every morning i wake up I must listen to your songs and i get blessed
@ednawilliam7759
@ednawilliam7759 2 жыл бұрын
Mungu akubariki sana sana sana! Mungu akubariki mtumishi wa Mungu, Kupitia nyimbo zako ninabarikiwa kwa viwango vya juu hasa kiimani..... Keep it up!! Mwangalie shujaa ameshuka kuzimu, kanyang’anya funguo.... Watoto wa mfalme tunatawala milele.... Ninatembea Kifua mbele kumpokea Yesu! jamani Yesu Nakupenda sana nyieeeeeeee Yesu huyu❤️🙏
@boazdanken
@boazdanken 2 жыл бұрын
Utukufu na Heshima Kwa YESU Asante sana please share kwa Wengi
@josiacharles2778
@josiacharles2778 10 ай бұрын
Mungu awe nawe unatufundisha kizazi kipya kumwabudu Mungu
@emmymatigula4870
@emmymatigula4870 2 жыл бұрын
Sifa na utukufu umrudie YEYE aliyeshinda. Barikiwa mtumishi Boaz na kundi zima 🙏🏾🙏🏾❤.
@boazdanken
@boazdanken 2 жыл бұрын
Utukufu na Heshima Kwa YESU Asante sana Please share kwa Wengi ukiweza
@stephenmakau4410
@stephenmakau4410 2 жыл бұрын
Mtumishi Boaz ndugu yangu katika Kristo Mungu Baba azidi kukujaza ,umekuwa wa baraka katika huduma yangu changa unanifunza mengi,ukimuona Ambwene mtumishi wa Mungu na ndugu yako wa karibu ,msalimie sana ,jina langu ni Stephen,niko Kenya 🇰🇪, Mombasa
@boazdanken
@boazdanken 2 жыл бұрын
Glory and Honor to Jesus Asante sana please share kwa Wengi
@happinesseliabi3569
@happinesseliabi3569 Жыл бұрын
Worthy is the Lamb seated on the throne.
@sarahwawuda5164
@sarahwawuda5164 2 жыл бұрын
Shujaa YESU amefuta hati zote za mashtaka. Asante YESU 👏 👏 👏
@boazdanken
@boazdanken 2 жыл бұрын
Amen Asante sana Utukufu na Heshima Kwa YESU usiache kushare Kwa Wengi
@joshuahassanmwamsangu9542
@joshuahassanmwamsangu9542 2 жыл бұрын
Ume summarize Biblia🙌. Laiti watu wasiopenda kusoma Biblia wakaupata huu wimbo na kuutendea kazi, basi watamtambua na kumuamini Kristo. Hakika HII NDO INJILI. Be blessed the man of gospel. This is what Gospel means.
@georgeburchard4872
@georgeburchard4872 2 жыл бұрын
Hakika!
@peresmaige4464
@peresmaige4464 2 жыл бұрын
Kweli kabisaa kaka
@boazdanken
@boazdanken 2 жыл бұрын
Amen Asante sana Utukufu na Heshima Kwa YESU usiache kushare Kwa Wengi
@joshuahassanmwamsangu9542
@joshuahassanmwamsangu9542 2 жыл бұрын
Amen kaka barikiwa
@kenanjaphet7667
@kenanjaphet7667 Жыл бұрын
Mungu akubaliki sana mtumishi kweli Mungu anatukuzwa kupitia wewe
@AdventinaAnthony
@AdventinaAnthony 2 жыл бұрын
So, haijalishi ni nyakati zipi, NAMWANGALIA na NITAMWANGALIA SHUJAA (YESU)😭🙌🏾. Thank you Boaz🙏🏾
@boazdanken
@boazdanken 2 жыл бұрын
Utukufu na Heshima Kwa YESU Asante sana please share kwa Wengi
@zipporahmutheu3577
@zipporahmutheu3577 2 жыл бұрын
Always a blessing,,, thank you minister boaz and your team.. 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@boazdanken
@boazdanken 2 жыл бұрын
Amen Asante sana Utukufu na Heshima Kwa YESU usiache kushare Kwa Wengi
@bigthemadness4779
@bigthemadness4779 Жыл бұрын
Nabarikiwa sana mungu azidi kukupa kipawa zaidi na zaidi Boazi
@vicentcosta7924
@vicentcosta7924 2 жыл бұрын
HAKIKA MUNGU AKUPE MAISHA MALEFU MAANA NAJIFUNZA NENO LA MUNGU KUPITIA NYIMBO ZAKO .🙏🙏
@boazdanken
@boazdanken 2 жыл бұрын
Amen Asante sana Utukufu na Heshima Kwa YESU usiache kushare Kwa Wengi
@f.nyewan2027
@f.nyewan2027 2 жыл бұрын
I'm so blessed by this song🙌🙌 who is like unto Him? No one
@boazdanken
@boazdanken 2 жыл бұрын
Amen Asante sana Utukufu na Heshima Kwa YESU usiache kushare Kwa Wengi
@user-qu8uh5iz3g
@user-qu8uh5iz3g 8 ай бұрын
Amina Mtumishi umetufanya tupime, Mungu akubariki sana.
@paulwaru7665
@paulwaru7665 2 жыл бұрын
Yesu Ni Shujaaa...Huu wimbo unabariki Moyo wangu sana,Niko na amani nikijua Shujaa kabeba Dhambi zangu zote.
@boazdanken
@boazdanken 2 жыл бұрын
Amen Asante sana Utukufu na Heshima Kwa YESU usiache kushare Kwa Wengi
@benjaminkimbwerezamagonda7151
@benjaminkimbwerezamagonda7151 Жыл бұрын
Amen, Yesu Kristo ni shujaa kweli kweli.
@jofreybenjamini8805
@jofreybenjamini8805 2 жыл бұрын
Amen Nasikia kubarikiwa sana ninaposikiliza ii uu ujumbe#Mwangalie Shujaa# Ubarikiwe Mtumishi Wa Mungu Boaz danken
@boazdanken
@boazdanken 2 жыл бұрын
Utukufu na heshima kwa Yesu
@agnesmathew5446
@agnesmathew5446 Жыл бұрын
Yesu ni shujaa.
@damienguelor3329
@damienguelor3329 2 жыл бұрын
Mon frère BOAZ Tu es une bénédiction pour l'humanité entière et pour le corps du Christ. Soit béni , soit ferme dans la marche de la foi afin de voir le Roi de gloire et contempler sa magnificence.
@boazdanken
@boazdanken 2 жыл бұрын
Utukufu na Heshima Kwa YESU Asante sana Please share kwa Wengi ukiweza
@angelvidekis3883
@angelvidekis3883 Жыл бұрын
Mungu Akubariki sana Mtumisha , ,wimbo huu umefanyika Baraka sana kwangu, ,
@user-pt4xd7eh9v
@user-pt4xd7eh9v 9 ай бұрын
​@@boazdankennaomba namba zako mtumishi
@user-pt4xd7eh9v
@user-pt4xd7eh9v 9 ай бұрын
​@@boazdanken ninashida kubwa na wewe
@olgarhona8272
@olgarhona8272 2 жыл бұрын
God bless you,you are a blessing to me when I hear you sing I feel so blessed
@boazdanken
@boazdanken 2 жыл бұрын
Utukufu na Heshima Kwa YESU Asante sana please share kwa Wengi
@mwemezifrance4225
@mwemezifrance4225 2 жыл бұрын
Namuona YESU KRISTO WA NAZARETH ndani ya huu wimbo.
@boazdanken
@boazdanken 2 жыл бұрын
Amen Asante sana Utukufu na Heshima Kwa YESU usiache kushare Kwa Wengi
@bedykedy3428
@bedykedy3428 2 жыл бұрын
Uuuuwii huu wimbo unanikonga moyo haki boaz saut yako inamamlaka frani yani cjui nielezeaje bt Mungu azidi kukuinua
@boazdanken
@boazdanken 2 жыл бұрын
Amen Asante sana Utukufu na Heshima Kwa YESU usiache kushare Kwa Wengi
@bethelomewmzajila7006
@bethelomewmzajila7006 Жыл бұрын
Amen Mungu akubariki na kukutumia kama chombo chake
@HemedyJoseph-ek9jc
@HemedyJoseph-ek9jc Жыл бұрын
Nabalikiwa na utumishi wako mungu akubaliki
@nathanielmwakyusa4821
@nathanielmwakyusa4821 2 жыл бұрын
Jambo tulilolisubiri 👏👏👏 Glory to God 🙌🙌
@boazdanken
@boazdanken 2 жыл бұрын
Amen Asante sana Utukufu na Heshima Kwa YESU usiache kushare Kwa Wengi
@chrispingibson7200
@chrispingibson7200 2 жыл бұрын
You're the King of Kings, Alfa and the Omega, Elohim is your name. Power over power, authority over Authority in Jesus Christ.
@boazdanken
@boazdanken 2 жыл бұрын
Amen Asante sana Utukufu na Heshima Kwa YESU usiache kushare Kwa Wengi
@irenejulius8263
@irenejulius8263 2 жыл бұрын
Holy is who you're
@kelvinmosongo5527
@kelvinmosongo5527 2 жыл бұрын
Kila ukiimba ninakombolewa.. Boaz mungu akubariki. Hakika nimeuona mkono wa bwana kila nikikuskiza. Natamani nikuone jamani. 🙏
@boazdanken
@boazdanken 2 жыл бұрын
Utukufu na Heshima Kwa YESU Asante sana please share kwa Wengi
@dianachepkemoi5623
@dianachepkemoi5623 2 жыл бұрын
Forever let your name be praised Champion of Calvary...God bless you mtumishi Danken❤️
@vicentcosta7924
@vicentcosta7924 2 жыл бұрын
KAKA KATIKA VIJANA WARIO GUSWA NA NYIMBO ZAKO MIMI NI MOJA WAPO ,HAKIKA NIMEKUA NIKIOKOKA KUPITIA HIZO NYIMBO ZAKO ,MUNGU AKUZIDISHIE KIPAJI ,UENDEREE KUNIGUSA MOYONI.
@sylivesterjosephati1155
@sylivesterjosephati1155 2 жыл бұрын
Barikiwa kwa Kazi njema Saana Iliyotukuka mbele zake yeye Aliye juu.
@boazdanken
@boazdanken 2 жыл бұрын
Glory and Honor to Jesus
@vicentkakinda-cv5ut
@vicentkakinda-cv5ut 11 ай бұрын
Uko vizur Mungu aendelee kukupaka mafuta yake 3:38
@alfredkevin2792
@alfredkevin2792 6 ай бұрын
Pastors Boaz I always love u.....God bless u and give u more of your desire , Amen
@isaacmola5639
@isaacmola5639 2 жыл бұрын
Asante sana ndugu Danken huduma nzuri unaifanya katika Mwili wa Yesu Kristo. Mungu anatukuka kupitia kazi yako.
@boazdanken
@boazdanken 2 жыл бұрын
Utukufu na Heshima Kwa YESU Asante sana please share kwa Wengi
@solomonmuchangi6286
@solomonmuchangi6286 Жыл бұрын
Amen, much love from kenya so inspiring song....
@donatagraced9907
@donatagraced9907 2 жыл бұрын
Mwangalie shujaa,,,,, such a powerful song. Kwa ukweli YESU ni shujaa.
@boazdanken
@boazdanken 2 жыл бұрын
Utukufu na Heshima Kwa YESU Asante sana Please share kwa Wengi ukiweza
@bundalakomba9037
@bundalakomba9037 2 жыл бұрын
MUNGU akubariki mwana wa MUNGU, na akupe kunyenyekea kwake na wanadamu
@boazdanken
@boazdanken 2 жыл бұрын
Utukufu na Heshima Kwa YESU Asante sana Please share kwa Wengi ukiweza
@eunicewanjiru5817
@eunicewanjiru5817 Жыл бұрын
.Asante Yesu kwa kazi ya msalaba. Wewe ni shujaa Yesu.
@paulpk3189
@paulpk3189 2 жыл бұрын
Yesu ni shujaa,,,,,,,, Mungu abariki kazi yako njema mtumishi
@boazdanken
@boazdanken 2 жыл бұрын
Amen Asante sana Utukufu na Heshima Kwa YESU usiache kushare Kwa Wengi
@micheleliakimeliakimmihale8820
@micheleliakimeliakimmihale8820 2 жыл бұрын
Yesu aendelee kukubarik huku katavi tunakufatilia Sana by Michael Eliakim
@boazdanken
@boazdanken 2 жыл бұрын
Glory and Honor to Jesus
@anniegrisham2201
@anniegrisham2201 2 жыл бұрын
Wow,what a revelation in this song.Upako mpya na mafuta mabichi juu yako mtumishi wa Mungu Boaz.
@boazdanken
@boazdanken 2 жыл бұрын
Utukufu na Heshima Kwa YESU Asante sana Please share kwa Wengi ukiweza
@Fredshujaa
@Fredshujaa 2 жыл бұрын
Naomba mungu aniinue viwango hivi na zaidi kumtukuza.
@boazdanken
@boazdanken 2 жыл бұрын
Amen Asante sana Utukufu na Heshima Kwa YESU usiache kushare Kwa Wengi
@sarahchege1674
@sarahchege1674 2 жыл бұрын
Amen. Kweli hii ni injili. Nazidi kumtazama shujaa Yesu Kristo.
@boazdanken
@boazdanken 2 жыл бұрын
Utukufu na Heshima Kwa YESU Asante sana Please share kwa Wengi ukiweza
@georgekabugi8358
@georgekabugi8358 2 жыл бұрын
This song overwhelmed my spirit 😭😭😭😭🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙏🙏nakuabudu.mwana kondoo wa Mungu ..waastahili
@boazdanken
@boazdanken 2 жыл бұрын
Glory and Honor to Jesus Asante sana Mtu wa MUNGU
@georgekabugi8358
@georgekabugi8358 2 жыл бұрын
Thnk you my brother..
@albertkivinge7996
@albertkivinge7996 2 жыл бұрын
Ooooh barikiwa sana mtu wa Mungu,Mungu akutumie zaidi na zaidi
@sarahkahia83
@sarahkahia83 2 жыл бұрын
Servant of God you are blessed..stay blessed
@boazdanken
@boazdanken 2 жыл бұрын
Amen Asante sana Utukufu na Heshima Kwa YESU usiache kushare Kwa Wengi
@elvisamiri8966
@elvisamiri8966 2 жыл бұрын
feels like the praise came from the deepest part of your heart. JESUS my Hero forever.
@boazdanken
@boazdanken 2 жыл бұрын
Glory and Honor to Jesus
@ornellabaraka2461
@ornellabaraka2461 Жыл бұрын
Nyimbo zako zime ni bariki sana baba
@samacha1987
@samacha1987 2 жыл бұрын
Keep going man of God...you ready bless my heart when I hear about your songs.....much loves. 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💯
@boazdanken
@boazdanken 2 жыл бұрын
Glory and Honor to Jesus
@yosephyoseph5731
@yosephyoseph5731 2 жыл бұрын
Mungu azidi kukuinua kaka azidi kukupa nyimbo unatukumbusha neema ya msalaba
@boazdanken
@boazdanken 2 жыл бұрын
Utukufu na Heshima Kwa YESU Asante sana Please share kwa Wengi ukiweza
@monicalukambuzi8240
@monicalukambuzi8240 2 жыл бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu aliye. Kazi yako ni njema, endelea kuchuchumilia.
@boazdanken
@boazdanken 2 жыл бұрын
Utukufu na Heshima Kwa YESU Asante sana
@nelsonkuya9513
@nelsonkuya9513 2 жыл бұрын
Amen. Shujaa ni Yesu Kristo.
@boazdanken
@boazdanken 2 жыл бұрын
Amen Asante sana Utukufu na Heshima Kwa YESU usiache kushare Kwa Wengi
@_lewwy_876
@_lewwy_876 2 жыл бұрын
Looking forward to seeing you minister through this song on Saturday and Sunday10th at KINGDOM SEEKERS thika road. Wakenya tumekungoja sana❤️💯
@boazdanken
@boazdanken 2 жыл бұрын
Amen Asante sana Utukufu na Heshima Kwa YESU usiache kushare Kwa Wengi
@mtumishisammymwita1566
@mtumishisammymwita1566 2 жыл бұрын
naipenda sana mtumishi wa mungu naomba mungu anitumie pia kwa viwango
@boazdanken
@boazdanken 2 жыл бұрын
Glory and Honor to Jesus
@mvuko3989
@mvuko3989 2 жыл бұрын
Aki you bless me man sijui ni wimbo gani wako sijasikiza🙏🙏🙏 God bless you
@boazdanken
@boazdanken 2 жыл бұрын
Utukufu na Heshima Kwa YESU Asante sana Please share kwa Wengi ukiweza
Inside Out Babies (Inside Out Animation)
00:21
FASH
Рет қаралды 15 МЛН
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 46 МЛН
Sigma girl and soap bubbles by Secret Vlog
00:37
Secret Vlog
Рет қаралды 14 МЛН
DEFINITELY NOT HAPPENING ON MY WATCH! 😒
00:12
Laro Benz
Рет қаралды 64 МЛН
Nimesogea
14:13
Paul Mwangosi - Topic
Рет қаралды 38 М.
Hakuna Gumu Kwako
10:32
John Lisu
Рет қаралды 19 М.
Worship Atmosphere - Anaweza (Official video)
9:30
Patrick Kubuya
Рет қаралды 632 М.
Dr. IPYANA  Suprise visit to Tuesday worship Moments
30:26
Worship Moments with Dr Sarah K
Рет қаралды 447 М.
Boaz Danken  -Haufananishwi/Unafanya Mambo (Official video) #GodisReal
14:58
Worship, Praying, Seeking the Face of God.
2:21:28
BOAZ DANKEN
Рет қаралды 15 М.
Essence Of Worship - Sitaona Haya ( Official Live Music Video )
11:25
Essence Of Worship Ministries
Рет қаралды 425 М.
지민 (Jimin) 'Who' Official MV
3:28
HYBE LABELS
Рет қаралды 27 МЛН
Taxi
3:06
Sadraddin - Topic
Рет қаралды 152 М.
Dj Jack SpaRRow - Akbar Ghalta Bahiati ( Slap Remix Arabic ) #TIKTOK
2:21
Dj Jack SpaRRow
Рет қаралды 1,3 МЛН
BYTANAT - ҚЫЗҒАЛДАҒЫМ
2:24
BYTANAT
Рет қаралды 58 М.
Erkesh Khasen -  Bir qyz bar M|V
2:43
Еркеш Хасен
Рет қаралды 976 М.
Malohat
3:35
Xamdam Sobirov - Topic
Рет қаралды 1,2 МЛН