Wa kwanza kucomment ni mm naomba likes zangu jamaniii
@Jonathangodhana10 ай бұрын
Wewe ni mkenya kwani...shida tu😢
@faithchalalika10 ай бұрын
😂😂😂 Noel khaa
@medardshao445710 ай бұрын
😂😂😂
@naomnyanduko10 ай бұрын
🎉
@druthjohn762210 ай бұрын
🎉Tamani ufalme wa Mungu kuliko likez zetu wanadamu.
@ishmaelnyongesa167810 ай бұрын
Kama kazi mtumishi wa Mungu Boaz Danken ina-impact huduma yako tafadhali piga like, subscribe and share pia wengine wabarikiwe, Amina 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@margaretgitau587310 ай бұрын
Wakenya si Mungu atufikishe kiwango kama hiki cha kubudu .😭😭😭😭😭God of Kenya take your place in our nation.
@mercymweru401910 ай бұрын
😭😭😭😭😭nimefikiria hivo Inahitaji kujiwachilia sana kwa mungu😢😢
@erickjanelleogaja45510 ай бұрын
There are too many hurdles that stand against heart of worship in Kenya, some are cultural, general attitudes, social, some are spiritual and many others..in short Kenya is not sanctified to host God through worship.
@JulieOgweno10 ай бұрын
I am here sister I know God is raising me🎉
@zrcontentwriters209110 ай бұрын
I have notices that everyone is involved,from Instrumentalists to the backups to the crowd,what an amazing move of spirit.That is what we call worshiping in truth and in spirit.But here in kenya the instrumentalists are just spectators they do not even pray nor sing.
@mrsrosemanmamaagnes256110 ай бұрын
haki mpaka nalia 😢😢😢 oooh Adonai ,Jehova ,my Elshadai who can stand to look unto your fire storm eyes 😢😢 oooh my Mighty one sometimes I do ask Him if i can buy him a suit to wear ......but again how because your bigger than this world oooh.... and where will i get your measurements ..... nothing can fit you oooh Lord ❤ you are big and higher than even the mountains Thank you Lord !!!
@branesore36710 ай бұрын
Mungu azidi kukuinua Mtumishi. This is powerful ,this is powerful. Mungu ainuliwe🙌🏿🙌🏿. Wakenya tuko wapi 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@boazdanken10 ай бұрын
Glory and Honor to Jesus please share to many ukiweza.
@abbierichard384710 ай бұрын
Òo@@boazdanken
@BRWONMWANDUMBYA-oh4cn10 ай бұрын
P@@boazdanken
@InnocentAbraham-cl7pj6 ай бұрын
Baba wewe HUDUMA YAKO INAGUSA SANA MOYO WANGU BABA
@erickjuma25623 ай бұрын
Mungu mtakatifu wa mbinguni ni wa wote wamjao na hàna kabila
One thing about Boaz Dunken's ministration is that the song directly addresses God and this is what is called worship,,,,from Kenya I'm blessed ,my fellow East African worshippers we are proud of this voice from ..❤
@violetakinyi86710 ай бұрын
Mtumishi wa mungu safari na huduma yako nchini Kenya (Kisumu)ilinibariki sana,mungu azidi kukuinua katika huduma
@JosphatChare10 ай бұрын
Boaz boaz nakupenda ndugu mpendwa YESU KRISTO akubariki huduma yako ifike duniani mwote I'm from Kenya
@FelisterMwashilindi10 ай бұрын
😭😭🙌🙌 mungu awainue zaidi kaka Boazi ,ninaskia kupiga kelelee
@juliusprince524110 ай бұрын
This song has blessed my heart. Imenifanya Nikazama kilindini Kwa maombi. May God lift up this ministry in Jesus Christ.
@bonifacekanina50610 ай бұрын
Wapi likes za Min Boaz from +254🇰🇪🇰🇪🇰🇪The Revival Hub God am so much grateful for this Mountain you're lifted up Reign Lord Reign. Ongezeka Ndani yangu pamoja na kizazi changu twakuhitaji Baba.😢😢😢😢😢
@boazdanken10 ай бұрын
Glory and Honor to Jesus please share to many ukiweza
@HannaSanga-h3w10 ай бұрын
Yesu naomba azidi kukuinua tujinyekeshe kwake tutapata vyote
@kombe4me10 ай бұрын
Waefeso 3:20-21 SRUV [20] Basi atukuzwe yeye awezaye kufanya mambo ya ajabu mno kuliko yote tuyaombayo au tuyawazayo, kwa kadiri ya nguvu itendayo kazi ndani yetu; [21] naam, atukuzwe katika kanisa na katika Kristo Yesu hata vizazi vyote vya milele na milele. Amina.
@boazdanken10 ай бұрын
Glory and Honor to Jesus please share to many ukiweza.
@darckayitesi8110 ай бұрын
Aminaaaaaaaaaaaa mileleeeee
@MillicentAkinyi-y1n10 ай бұрын
So much inspired for kingdom assignment..God bless Tz.
@Regnard99910 ай бұрын
Napenda sana hii Bible Verse. Stay blessed🎉🎉
@neemamsanga2535 ай бұрын
🙇🙇🙇😭😭😭🙏Amina 😫
@chrisblessedson10 ай бұрын
Pokea Utukufu ewe Mungu Wangu🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌 Neema iongezeke Watu Wa Mungu 🙏
@YHWH-v3u10 ай бұрын
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 completion and new beginnings....this is not the time of looking for someone to intercede....on your behalf .... thank you Boaz for this message... LET'S LIFT OUR FAITH ON HIGH TO YESHUA HAMASHIACH ...HE IS THE WAY
@hellenrichard18710 ай бұрын
Hakuna Mungu muondoa aibu zangu majongwa yangu na fedheha zote kama wewe Mungu wa Bwana wetu Yesu Kristo
@boazdanken10 ай бұрын
Glory and Honor to Jesus please share to many
@LucyMwakyoma-et5od7 ай бұрын
Hallelujah 🔥🔥
@UpendoMbise-ht1cs10 ай бұрын
Mungu kama wewe hayupo,,Kupitia wimbo huu nimemuona Mungu nimemiminiwa nguvu za Roho mtakatifu,, Mungu awatunze.
@LucyMwakyoma-et5od7 ай бұрын
Pokea mara dufuuu🔥🔥
@willygidion340410 ай бұрын
Mungu wa mbinguni ameitika kwa kuwa mjoli wake Boaz Amemuita kwa kumaanisha
@martinetimotheoofficial330410 ай бұрын
Sijachelewa hata like 5
@boazdanken10 ай бұрын
Utukufu na heshima kwa Yesu asante sana please share to many
@martinetimotheoofficial330410 ай бұрын
@@boazdanken Amen sana lazima nishare ili watu wahudumiwe
@Reality-Kenya4510 ай бұрын
Hallelujah...Hayupo kama Wewe uponyaye magonjwa Hayupo kama Wewe Yesu Natambua ukuu wako Hayupo kama Wewe 🙏😭😭😭
@mordekaingeze_minister10 ай бұрын
This song is being sang in heaven. Glorious God we serve.
@eliaikangui65439 ай бұрын
Napokea neema ya Kristo Yesu Aliye Hai iheha kwa Moho wa Mwumaiyo Mweele Amen
@Esthermgani110 ай бұрын
Fahari yangu niwewe MUNGU kama weww hayupo
@estherlimo541910 ай бұрын
He is God, He is Worthy 🙌🙌🙌🙌🙌.. Hallelujah to the King of Glory, He is clothed with strength and might.. 🙏🙏🙏 Justice and righteousness are the foundation of His throne...
@boazdanken10 ай бұрын
Glory and Honor to Jesus please share to many
@estherlimo541910 ай бұрын
@@boazdanken Amen
@neema811010 ай бұрын
😢🙏🙏🧎♀️🧎♀️Ayupo kama wewe Mungu wakuniondolea uvimbe ayupo 😢😢
@balmofgileadexperience209310 ай бұрын
Trust in God He,s so powerful to heal all types of tumours 🙏🙏🙏
@voiceofimpact99886 ай бұрын
Tunakuazimisha Bwana Mungu mwenye Enzi wewe peke yako Yesu Kristo Mungu wa kila mwenye mwili, na kila kilichopo duniani na Mbinguni kote.😭😭😭 Hakuna Mungu Kama wewe Yesu
@favourite110 ай бұрын
The day i will be among your backup team i will rejoice.Your songs encourages my family.We love Hakuna jambo ...lililo ngumu
@arjonjoseph31547 ай бұрын
I know you're reading this...hear me.I am a testament and a living episode of God's Grace...Never lose hope in life.Your tomorrow is already planned in the spiritual realm,is your work to claim it and make it real in physical realm...pass to someone can be of good help.🙏
@puritykazirasogoni929910 ай бұрын
Nimebarikiwa nikiwa Kenya barikiwa mtumishi wamungu🙏🙏🙌🙌
@Omg2000mychanel6 ай бұрын
Mungu azidi Ku wabariki nyinyi watu wa Mungu, musi ache Ku liinuwa jina la bwana na Ku leta watu kwa Mungu nafsi moja kwa Mungu ni sherehe kubwa sana mbinguni Sasa ni wakati waku fanya injili katika mataifa wali juwe jina lake Mungu pia na wajuwe Mungu waukweli ni ipi Mu barikiwe na Mungu amen 🙏🙏❤❤
@praygodtumsifu542810 ай бұрын
Glory to God 🙌🙌 Be blessed minister Boaz Danken Neema ya kuongezeka iwe kwako
@ciddya170110 ай бұрын
Na hii ni kweli kabisa Mungu kama yeye hayuko.
@rachaeltilas714710 ай бұрын
This is Heaven on Earth🙏🙏😭😭 My goodness!!!,,,Servant of the Lord Boaz you are a true Custodian of His Shekinah Presence, I can feel it, I can sense it, while here in Kenya!!
This is so spiritual song..... May the Lord continue using you and uplifting you servant of God in a special way to bless the world.
@boazdanken10 ай бұрын
Glory and Honor to Jesus please share to many ukiweza.
@EmmaItwika10 ай бұрын
You always touch my heart dunken Boaz I love the way you surrender God gives grace to the humble but the proud the Lord despises keep soaring for God's glory🙏
@GIANT13B8 ай бұрын
Mtumish umefurika ...upako wako kizazi hiki hakunaaaaaa.... Alikuwepo fanuel sedekia sasa ni zamu yako...upako wako ni tofauti sana na wengine woteeeeeee
@willygidion340410 ай бұрын
Hakika mtumishi umefinyangwa ukafinyangika na Mungu wa mbinguni. Mungu huyu wa mbinguni aifinyange nafsi yangu
@godfreyezekiel644810 ай бұрын
🙌🏽🙌🏽🙌🏽 Nibadilishe Mungu unayejibu kwa moto
@anjelagicheru90610 ай бұрын
Watching what i love,,, may God bless mtumishi, ainue huduma yako, your such a blessing to many🙏🙏🙏
@NeemaShibu5 ай бұрын
Oooh my God this song 😭😭😭😭 alieniokoa na upofu hayuko kma wewe,aliyeniokoa na uwete hayuko kama wewe 😭😭😭😭😭 jamani Mungu ni mwaminifu kwa kila anayemwamini😭😭😭🧎🧎🧎🙌🙌🙌
@marykalunda221710 ай бұрын
Indeed there's no other God than our God,he so caring n loving,more grace brother 🙏🏽
@mwangirollah67910 ай бұрын
Mungu akakubariki Mtumishi wa Mungu. Huu wimbo ni wa baraka sana. You are a blessing in our generation. May the Lord continue to increase His anointing on you.
@boazdanken10 ай бұрын
Amina utukufu na heshima kwa Yesu
@allanprince323210 ай бұрын
Powerful
@mikechisale820910 ай бұрын
God bless you with long health life to continue impacting our generation
@WendyGakii-um6xs9 ай бұрын
More grace ...Boaz...may God continue to use you in this generation and praying that more Boaz will be raised in this generation..I really desire such grace of a worshipper🥹
@Jibu-cheka10 ай бұрын
Wakwanza naomba like 7
@boazdanken10 ай бұрын
Ubarikiwe utukufu na heshima kwa Yesu please share to many
@Jibu-cheka10 ай бұрын
Amina
@joanrufus14 күн бұрын
This worship Mungu abariki Mtumishi wake I feel fire 🔥 when listening to this song
@samuelmasoud10 ай бұрын
Hayuko Mungu kama wewe. A timely declaration. God bless you Minister Boaz.
@emmanuelchimera66072 ай бұрын
Huduma yako ni kubwa sana Mtumishi wa Mungu,endelea kumtumikia Mungu katika unyenyekevu huu🙏
@baenimuhimafabriceАй бұрын
Amen Amen Amen Mungu kama wewe hayuko ambae amefunguwa maisha yangu naku mponya mama yangu mzazi hayupo isingi kuwa wewe kama sijuwi ningekuwa wapi leo
@JulianaHezron-gj4vk10 ай бұрын
Hakuna Mungu kama yeye wakati wa kipindi kigumu kwangu nakutegemea wewe tu wewe ni baba sitakuacha kamwe yesu wangu Mungu akubariki mpakwa mafuta wake
@DeophineMoraa10 ай бұрын
🫂
@nathangeor10 ай бұрын
Huu n wimbo wa kristo Yesu na special kwa ajili ya kuliinua jina lake takatifu
@TupokigweKabuka17 күн бұрын
Huwa nabarikiwa mno na nyimbo zako mungu akutunze sana Kwa ajili ya kuponya roho zetu👏
@AliceWanjiru-rm8sf10 ай бұрын
Hayupo kabisa Mungu kama wewe,Yesu🎉🎉🎉🎉
@FaithOndara10 ай бұрын
Wooow you Boaz continue minstering to our hearts
@ManOfGod27510 ай бұрын
Kuna mambo Mungu hufanya kwa wakati..... Kwa uwezo wetu tusingeweza 🙌🙌
@glorymusa486910 ай бұрын
Sijaona MUngu kama wewe unayeponya,na kuuhisha vilivyo kufa,unaimarisha vidhaifu❤
@DavidyFungafunga10 ай бұрын
Kazi nzuri kaka🎉
@mwakachimwaga457610 ай бұрын
Kweli kabisa Baba Boaz hata Mimi sijawahi kuona kama Yeye wa kuponya magonjwa
@joshuaabell20334 ай бұрын
Yaani Huwa naipenda sana hii nyimbo haswa worshipping sasa naaaimba sikujua ameimba mtumishi Boaz danke siku nzima ya Leo naiimba TU nimesearch mpaka nimeipata this is spiritually very spiritual song
@IsayaNgwilizi6 ай бұрын
Boaz ni mm from tanga tz twabalikiwa sana
@mariammpale65423 ай бұрын
Maneno yamenishia niseme nini hata YESU HAKIKA HAYUPO KAMA WEWE MFALME WA WAFALME 💯🙏🙏🙏
@NicodemusBaha5 ай бұрын
Wimbo wangu bora san katika maish yangu eeh mwenyezi mungu mlinde kaka boaz aendlee katika hudum nzuri kam hii
@mathewluther479610 ай бұрын
Amina ubarikiwe sana mtumishi asant kwa nyimbo yenye nguvu na utufuku
@margaretgitau587310 ай бұрын
Nashukuru Mungu amekuchagua wakati kama huu wa kizazi chetu ukamuabudu.All glory to God.🇰🇪
@boazdanken10 ай бұрын
Glory and Honor to Jesus please share to many ukiweza
@everlyneshivachi150910 ай бұрын
What a powerful worship song..Hakika hakuna Mungu kama wewe..
@NgongoJonsson28 күн бұрын
Atmosphere of jesus yan ukiwepo eneo hill lazima Kuna kitu ukifeel❤❤
@EuniceAnyangu3 ай бұрын
Mungu azidi kuwajaza watumishi wa Mungu. Jinsi mnajipeana kwa baba wacha sifa na utukufu zi mrudie mwenye mumba mbingu na nchi, katika jina la yesu
@winfredhenry445510 ай бұрын
Halleluyah Halleluyah Mungu anayefanya miujiza kama wewe hayupo,anayeponya magonjwa kama wewe hayupo 😭😭
@robinsonrugano10 ай бұрын
HAYUPO KABISA. HALLELUJAH
@boazdanken10 ай бұрын
Glory and Honor to Jesus please share to many ukiweza.
Maana nzima ya kumwabudu Mungu katika roho na kweli... Thank you Holy spirit ❤❤
@boazdanken10 ай бұрын
Glory and Honor to Jesus please share to many ukiweza.
@Zaxfei10 ай бұрын
@@boazdanken Ameen Ameen Mtumishi wa Mungu
@bettyprosper89119 ай бұрын
This worship song uplifts my soul so much,wherever i feel down i come here crying and worship with this song,God bless you man of God ,so powerful and annointing and soul uplifting this song
@lwiticomwalukumba41489 ай бұрын
this thrill is 👌🏿👌🏿👌🏿🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@njugzkeith19 сағат бұрын
There's no God like you my Lord, The God who answers by fire.
@stellamuriithi666910 ай бұрын
There is no God like you Almighty father ❤
@fenihasomwaka122210 ай бұрын
Mungu kama wewe hayupo kabisa,nimedhibitisha na macho yangu hayupo kama yeye,anayeponya wagonjwa,anaewapa tasa watoto ni yeye pekee🙏
@boazdanken10 ай бұрын
Glory and Honor to Jesus please share to many ukiweza
@cleopatramansa62288 ай бұрын
Amen
@adakacollins52993 ай бұрын
wale tuko apa MWEZI HUU WA KUMI WAPI HALLELUHYA ZENU
@ambindwilehosea683710 ай бұрын
Hayupo hayupo na hata kuwepo hallelujah glory to God
@boazdanken10 ай бұрын
Ahsante utukufu na heshima kwa Yesu
@boazdanken10 ай бұрын
Glory and Honor be to God
@elineemamartin43804 ай бұрын
Raha ya kufurika haielezeki,haina mfano. Mzee mwenyewe akitembelea mahali mfuriko wake si watoto si wazee,si vijana hata viti hutikisika Danken anatuonyesha huhitaji kuimba matatzo ya watu ili machozi yatoke anampa nafasi ROHO aseme na kila mtu kwa kadri alivyojiandaaa Aishie katika sifa ndo maeneo yake ya kujidai haya acha MZEE wa siku aoenyeshe alivyo 😢😢😢
@PerisChari10 ай бұрын
Hallelujah Hallelujah Hallelujah 🙌 🙏 👏...You are worthy to be worshiped Yeshua Lamb of God who takes away our sins....Be blessed 🙌 Man of God
@boazdanken10 ай бұрын
Glory and Honor to Jesus please share to many ukiweza.
@SamweliMuhabwa-dr7bd10 ай бұрын
Bwana Yesu ni Mkuu sana
@tulibakobellon123510 ай бұрын
Amen, Amen, Amen. Ni nani aliye kama Mungu? HAYUPO MUNGU akubariki Mtumishi wake kwa wimbo huu wenye Nguvu za Mungu.
@paulmwangi42764 ай бұрын
From the abudance of the heart Boaz Danken sings his heart our truly his ministry is of another level ❤❤.
@MaryKiarie-nd9li10 ай бұрын
Hallelujah Mungu kama wewe hayupo...
@BarakaNdonyiАй бұрын
AMEN KAKA BOAZ UNANIBARIKI SANA KUPITIA HUDUMA YAKO MUNGU WA MBINGU NA NCHI AZIDI KUKUTUMIA KATIKA UTUKUFU WAKE MWENYEWE✅✅✅
@markxgitonga278010 ай бұрын
Celebrating my birthday today with this song, kweli hayupo mungu kama wewe 🙌
@boazdanken10 ай бұрын
Utukufu kwa Yesu please share to many
@HannaSanga-h3w10 ай бұрын
MUNGU atupe zaid ROHO ya unyekevu nasi kujiweza
@PastorSteveHozeny10 ай бұрын
MUNGU kama wewe HAYUPO.🙌
@boazdanken10 ай бұрын
Utukufu na heshima kwa Yesu asante please share to many
@AngelMngete3 ай бұрын
MUNGU kama wewe hayupo🙏🙏🙏
@Gaitagrace10 ай бұрын
Oh my God ..this is heavenly 😢..Thank you so much minister for allowing God to use you ..we bless the Lord 🙏
@boazdanken10 ай бұрын
Glory and Honor to Jesus please share to many ukiweza.
@boazdanken10 ай бұрын
Glory and Honor to Jesus please share to many ukiweza.
@annritamiti66272 ай бұрын
This is so pure! Hakuna Mungu kama wewe Yeshua Messiah
@alexlusaka131510 ай бұрын
Hongera kwa mtumishi Boaz lkn pia mtumishi Sephone
@abigaelmkamburi96910 ай бұрын
Powerful powerful ilove this ministration ❤❤❤❤
@PaulinaSemindu-ob3de7 ай бұрын
Nabarikiwa Sana na nyimbo zako Mtumishi wa Mungu ubarikiwe Sana na uwe wa viwango vya juu sana🙏
@naomifungo48402 ай бұрын
HAKIKA MUNGU KAMA WEWE HAYUPO KABISA,,,NAKUTUKUZA BWANA YESU KWA UAMINIFU WAKO BABA.
@stevenndalahwa14462 ай бұрын
Amen ubarikiwe mungu akutunze😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋🙌🙌🙌❤🇦🇺🇦🇺🇦🇺🇦🇺🇦🇺🇦🇺🇦🇺🇦🇺🇦🇺
@thadeomajebe359510 ай бұрын
Hapa ndo tunapata bubujiko la kweli, nguvu za Mungu zinapita ndani yangu pindi dada Dorcus ameanza kuimba ubarikiwe Mungu wangu.
@boazdanken10 ай бұрын
Glory and Honor to Jesus please share to many ukiweza.
@gospelmusictoop77610 ай бұрын
Ça me touche vraiment. Que Dieu soi glorifie 😢😢😢😢😢😢😢😢
@Eva_Kuppa10 ай бұрын
#Jesus is real . Jesus I honor you,thank you for your servants Lord,as they minister unto you and also a blessing unto is,do not pass them by,grant them the desires of their heart according to Your will Yeshua. More grace. Neema iwazidiye,waheshimeshe Baba,..hakuna Mungu kama wewe hatupo ❤
@boazdanken10 ай бұрын
Glory and Honor to Jesus please share to many ukiweza.
@TitoRwelamira10 ай бұрын
Mungu akuinue zaidi mtumishi wa Mungu utumike katika kusudi lake
@alex_vincent9 ай бұрын
Hallelujah
@EmmanuellaAnyango-pz1pq10 ай бұрын
Spirit lifting and energizing worship wow my heart is lifted even more the Lord lift u even more sir.
@beatricemashashi140310 ай бұрын
Yesu nakutukuza kwa ajili ya watumishi wako hawa uliowaamini ❤
@jacklinegabriel-lq4xs4 ай бұрын
Hakika,hakuna Mungu kama wewe.Ndani ya ulimwengu huu.maana ana upendeleo anatulisha na kutuwezesha. Thank your Road❤❤❤