Kwanini Hong Kong Hawataki Kuwa Sehemu Ya China? Wana Mipaka, Pesa, Serikali Tofauti, Nini Chanzo?

  Рет қаралды 11,610

BONGO FASTA

BONGO FASTA

Күн бұрын

Пікірлер: 37
@Emmanuelmwangimwangi811-oi4wq
@Emmanuelmwangimwangi811-oi4wq Ай бұрын
asanti sana Justin shedi kwakutuelimisha Emmanuel mwangi kutoka Kenya
@ce-08
@ce-08 Ай бұрын
Hapo ni sawa na Zanzibar na Tanzania Bara
@EdwardSamson-uf1ee
@EdwardSamson-uf1ee Ай бұрын
Hapana. zanzibar sio sehemu ya tanzania ila ni nchi(visiwa) huru vilivyo amua kuungana na Tanganyika,kuzalisha taifa linalo itwa tanzania. ila Hong Kong ni sehemu ya china ilio kuwa inatawaliwa na mtu mwingine ambae ni uingereza. so HK Na China ni Tofauti sana na Tanganyika na Zanzibar
@thadeombani7869
@thadeombani7869 15 күн бұрын
Nimependa hii story tamuuuu sana
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz Ай бұрын
Ahsante kwa elimu nzuri
@IsanHomi
@IsanHomi Ай бұрын
Ndo kunatoka wasanii maarufu sana
@anoldjoseph2947
@anoldjoseph2947 Ай бұрын
Tunomba na historia ya mji wa Macou ulioko nchini China
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 Ай бұрын
Kaka asante kwa kutupatia video ambazo hatusioni kwingine❤
@Qqambaa
@Qqambaa Ай бұрын
Wachina aghalabu huko barani kwao ndio kuna shule kibao za kufunzwa martial art
@JajiZakayo-fw9mk
@JajiZakayo-fw9mk Ай бұрын
Hong-Kong ni wacha Mungu china ni mapagani hiyo ndiyo tofauti
@wamabalassbro-mo1fh
@wamabalassbro-mo1fh Ай бұрын
I say Justin unaweza simulizi kinoma noma ninakupata from Mozambiq,chapa khazi twende mbele
@PaulFrank-lw2jt
@PaulFrank-lw2jt Ай бұрын
Nakufatilia sana kaka songa mbele
@Qqambaa
@Qqambaa Ай бұрын
Na wote ni wachina cio ama kuna wachina na wahongkong😂😂
@YoungRommy
@YoungRommy Ай бұрын
We hujui si kila mtu ni mchina ila ni kama africa tu maana watu ni weusi ila ukienda asia utakutana na Mongolia yote ni jamii moja ila si wachina nadhani umeelewa
@geofreybakina6010
@geofreybakina6010 Ай бұрын
Aisee,na hapo pana viwanda vingi vya mitambo
@lopezbazenga9862
@lopezbazenga9862 Ай бұрын
Wa kwanza hapa nipeeni likes😂😂
@nasibuahmedy2438
@nasibuahmedy2438 Ай бұрын
SASA TWENDE KAZIIIIIIIII
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything Ай бұрын
👍👊✌️.
@ShafiiHungo
@ShafiiHungo Ай бұрын
Kwaiyo upi mji kuu wa china
@ElijahOwino-xe2cd
@ElijahOwino-xe2cd Ай бұрын
Beijing
@nicolauswandao8988
@nicolauswandao8988 Ай бұрын
Beijing
@RamoDee
@RamoDee Ай бұрын
Beijing
@liberatusjackson5045
@liberatusjackson5045 Ай бұрын
China haifaiiii niugaidiíiii ndooo maana wanaipinga USA
@PAULNYANDILE
@PAULNYANDILE Ай бұрын
wewe kweli taira la mwisho
@eliuskamwelwe1018
@eliuskamwelwe1018 Ай бұрын
Ipo siku HONG KONG itakuwa nchi
@saidiomar6642
@saidiomar6642 Ай бұрын
Haitotokea maisha
@PAULNYANDILE
@PAULNYANDILE Ай бұрын
sahau
@JohnCage-we6tp
@JohnCage-we6tp Ай бұрын
Ila hokong ni China ni kam Tanzania na Zanzibar t
@BarnabaBuhoma
@BarnabaBuhoma Ай бұрын
Ukishasema tu Tanzania na Zanzibari, tayari hizi ni nchi mbili… ondoa hii “ na”….huwezi kusema Juma na Amosi ni mtu mmoja.. ili awe mtu mmoja lazima useme Juma Amosi.
@JohnCage-we6tp
@JohnCage-we6tp Ай бұрын
@@BarnabaBuhoma Kwan ww unafikiri Zanzibar sio nchi au
@BarnabaBuhoma
@BarnabaBuhoma Ай бұрын
@@JohnCage-we6tp Kwa nini isiwe nchi wakati ina raisi wake??? Ukisema Tanzania na Zanzibar, hizi ni nchi mbili na kila moja ikiwa na Raisi wake. Unajua nchi mbili kuungana haijaanza leo. Kwenye Biblia kuna nchi ziliungana Umedi na Uwajemi zikaingusha dola ya Babeli. Lakini baadae ule muungano ulivunjika. Usishangae baadae huu muungano wa Tanzania na Zanzibar ukavunjika. Kwanza ukifuatilia utagundua kuna watu wengi kule Visiwani wanataka Zanzibar iwe kama ilivyokuwa Zamani.
@mariamdimosso621
@mariamdimosso621 Ай бұрын
Hivi ni muhungano wa Tanzania Na Zanzibar au Tanganyika na Zanzibar ndio wakapata Tanzania
@JohnCage-we6tp
@JohnCage-we6tp Ай бұрын
@@mariamdimosso621 Tanganyika na Zanzibar ila now day Tanganyika ni kam Imefutika hivi Jina lake mimefutwa na neno Tanzania coz Tanganyika ndio inawakila eneo kubwa kwenye Tanzania ndio Maan unakuta sio rahisi kutajwa
나랑 아빠가 아이스크림 먹을 때
00:15
진영민yeongmin
Рет қаралды 14 МЛН
What does Satoru Gojo have? #cosplay#joker#Harley Quinn
00:10
佐助与鸣人
Рет қаралды 7 МЛН
Фейковый воришка 😂
00:51
КАРЕНА МАКАРЕНА
Рет қаралды 6 МЛН
KWANINI KOREA ILIVUNJIKA NA KUWA NCHI MBILI? MAJIBU YOTE HAPA
10:13
KAMA UNAENDESHA TOYOTA NAKUAPIA, UNATAKIWA KUJUA UKWELI WA HILI.
9:57
SIR ISAC NEWTON GENIUS ALIEKUFA 'BIKlRA' HAKUTAKA KABISA WANAWAKE
11:10
KWA KISWAHILI HOTUBA YA IBRAHIM TRAORE' MBELE YA RAIS VLADIMIR PUTIN
5:35
Hiki ndicho kinachomfanya Marekani na Israel wamuogope Iran
35:23
나랑 아빠가 아이스크림 먹을 때
00:15
진영민yeongmin
Рет қаралды 14 МЛН