MCH HANANJA Awalipua WACHUNGAJI kutokea MAREKANI ule sio Uvaaji MALISA AMEWAKOSEA WATANZANIA..!

  Рет қаралды 79,552

Bongo Plus

Bongo Plus

7 ай бұрын

CONTACT US +255 749 889 039
East African number one KZbin channel for Gossips,Sports as well as Politics News owned By BONGO PLUS
KANUNI NA MUONGOZO
Tunaripoti Matukio ya watu mashuhuri katika nyanja ya burudani, Michezo Filamu na mitindo ya maisha kwa kuzingatia misingi ya uandishi wa habari hapa nchini. Kufuata misingi kwa kuripoti habari zenye uwiano na usawa ndani yake,kutokuingilia faragha ya mtu,Kujiepusha na mambo yote yanayoweza kuleta sinto fahamu katika jamii yanayoweza kusababisha uchochezi.
NB:Tuna uhuru wa kufuta maoni yasiyokuwa na maadili au yenye matusi makali.
WeAreEverywhere
#entertainment #exclusive #trending #diamondplatnumz #wasafi #ayotv #update #updatenews #udaku #gossip #mwijaku #babalevo #tanzania #kenya #manara #hajimanara #bongo #habari #justinbieber #bieber #rap #hiphop #hiphopmusic #pop #rnb #rnbmusic #exclusivenews #tmz #tmztrends #arianagrande

Пікірлер: 293
@ngarathecomedian5743
@ngarathecomedian5743 7 ай бұрын
Vitu vya Manaa kama Hivi havipati Viewers wengi na Comments nyingi kwasababu ni ukweli unauma ata hii comment haipati likes ila zingekua story zikina Mondi Mangi. Konde 😢😢
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 7 ай бұрын
Ni taifa lililoamua kufata njia ya ujinga na umbumbuu , ndio maana leo hata uyo diamond ndio anaonekana yeye ni tajiri kushinda bakharesa leo kina baba levo wanaskika kuliko wataalam na kuna watu wako huko kyambankumbe wanawaona wao ndio viigizo fake inamaana kuliko genuine, ukiaongea ya msingi huna nafasi ila ushubwada iyo ndio tz ya leo
@alphadreammedia
@alphadreammedia 7 ай бұрын
Kweli 😅😅
@azaransari7307
@azaransari7307 7 ай бұрын
Mungu atupe macho ya rohoni Wakati huu wa mwisho. Kila mtu sjifunze kusoma Biblia mwenyewe na aombe mwongozo wa Roho Mtakatifu
@azaransari7307
@azaransari7307 7 ай бұрын
“Na manabii wengi wa uongo watatokea, na kudanganya wengi. ” - Mathayo 24:11 (Biblia Takatifu)
@egidiusmagoma3334
@egidiusmagoma3334 7 ай бұрын
😂😂😂
@igusakapesa2711
@igusakapesa2711 7 ай бұрын
Am a Muslim, but MCH. Hananga is truly man of God, he has spoken the truth in a most simple way ...he will go to heaven I pray ❤
@TheNdaki
@TheNdaki 7 ай бұрын
He is smart, he spoke honestly and spoke well abt culture
@hajikhamis3288
@hajikhamis3288 7 ай бұрын
You are no longer a Muslim ....
@kiondosaimon6149
@kiondosaimon6149 7 ай бұрын
Inshallah He always speaks the white truth
@siasia5469
@siasia5469 7 ай бұрын
Which God?
@EuphrasiaNtawatawa
@EuphrasiaNtawatawa 7 ай бұрын
Amen
@hamiduibrahim8232
@hamiduibrahim8232 7 ай бұрын
Mm ni muslim lakini huyu mchungaji namuelewa sanaa..
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 7 ай бұрын
Hunishindi mm wallah 😂
@JumaJuma-fu7ji
@JumaJuma-fu7ji 7 ай бұрын
Uyu Hana uislamu Wala ukristo ni mkweli sana
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 7 ай бұрын
@@JumaJuma-fu7ji kabisa
@user-tt1nm9xs4n
@user-tt1nm9xs4n 7 ай бұрын
Wanawafadhili was hela
@kingdullah7843
@kingdullah7843 7 ай бұрын
wala hunishind
@user-yf6ws8uz2p
@user-yf6ws8uz2p 7 ай бұрын
Mimi ni muislam lakini nafuatilia wakristo Sana mc hananja NI mkweli na muazi mungu akuweke na akuonyeshe haki uifuate inshallah
@allyseba172
@allyseba172 7 ай бұрын
Daaah m muislam ila huyu mwamba nam kubal sana sana
@rosehaule6765
@rosehaule6765 7 ай бұрын
Barikiwa mchungaji iahi miaka.mingi tunamuomba Mungu akupe umri wenye afya njema na mafanikio hili tuzidi kujifunza❤
@rehemakaijage1364
@rehemakaijage1364 7 ай бұрын
Hekima hizi za wazee kama Mchungaji Ananja ni muhimu sana, tuzizingatie. Asante baba
@yahomeshopllc5950
@yahomeshopllc5950 7 ай бұрын
Mzee ume sema mambo yetu yote kweli. I love you again from KY USA 🇺🇸 🇨🇩💪🏻
@augustfive5279
@augustfive5279 7 ай бұрын
Mungu akubariki sana mchungaji na aendelee kukuongoza kwenye hekma alizokupa.
@naturelle1097
@naturelle1097 7 ай бұрын
Simple Pastor..and speaks straight forward
@fredanunda7719
@fredanunda7719 6 ай бұрын
Wow!! Wow!! Eh!! Mafundisho mazuri kweli. Asante mchungaji. Ubarikiwe
@Keyjop
@Keyjop 7 ай бұрын
Watu wakweli kama hananja wanakubarika na watu wachache sana 😅😅😅 ila ukimfuatilia unapata madini ya kukusaidia maisha ....📌 🥰🥰🥰
@halisimedia200
@halisimedia200 7 ай бұрын
Nakupenda sana mch na umekuwa kiongozi wangu siku zote japo ni mtandaoni tu
@user-jt9kz7kl5q
@user-jt9kz7kl5q 7 ай бұрын
Mch hananja mungu akubariki na hazidi kukupa hekima katika kazi yako ,,,,,naongeza kukuita mwalimu na mchungaji hananja,,,,,,,simple way of delivering a good message to the community
@godefroidm741
@godefroidm741 7 ай бұрын
Kwani hizi akili umepewa umushukuru Mungu,nakutakiya maisha mema.nipeni like pls.
@frankfelix3876
@frankfelix3876 7 ай бұрын
Kiukweli hizi ni nyakati za mwisho kila dalili zipo wazi mungu atunusuru Amen
@godlovemanase3423
@godlovemanase3423 7 ай бұрын
And the Truth shall set us free.
@foundationforcommunityhope7327
@foundationforcommunityhope7327 7 ай бұрын
Kweli kabisaa... Hongera Sana Mchungaji wangu Wazo Hill zamani,hajambo Wachungaji Andrea Mwalilino, mchungaji Ipyana Mwakabonga huko USA
@katembenduto9560
@katembenduto9560 7 ай бұрын
Jambo la kweli halina umati wa watu,ila hili ndilo neno halisi.Mungu akupe maisha malefu uzidi kutufunza mambo ya Mungu.
@heritier5119
@heritier5119 7 ай бұрын
Mungu anaangalia roho ni funzo la shetani
@fatumaminyeko1875
@fatumaminyeko1875 7 ай бұрын
Nakuhewa sana mtumishi
@RubenMtuwaMungu-bz8ee
@RubenMtuwaMungu-bz8ee 7 ай бұрын
Kila utamaduni una spirit nyuma yake so kuna utamaduni wa ki Mungu na wa ki Shetani.
@joslinchuwa1298
@joslinchuwa1298 7 ай бұрын
Baba ubarikiwe sana umesimamia ukweli na haki.
@preciouspeter6126
@preciouspeter6126 7 ай бұрын
He is right. Hata marais wakienda nchi za nje huwa wanauliza huko wanakoenda tamaduni zao zikoje, uvaaji, salam nk.
@ASALABOY
@ASALABOY 7 ай бұрын
Brow usimuache uyu baba Mimi uwa nainjoy sana nadifunza vítu vingi kadha w Kadha. Napendaga sana.
@user-vb7tu5zs9d
@user-vb7tu5zs9d 7 ай бұрын
Mzee nakukubali sana huwa unanibariki kwa mafundisho yako
@FatumaIssa-kw3vv
@FatumaIssa-kw3vv 7 ай бұрын
Pastor avaa hereni puwani Subhana'Allah
@adkajisi4536
@adkajisi4536 7 ай бұрын
Et utamaduni
@mchoppertz26
@mchoppertz26 7 ай бұрын
Mzee unanyooosha hauna Kona respect sana🙌🙌
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 7 ай бұрын
Ndugu yangu pastor ninakuheshimu sana Huko ulikoenda nimeshafika ndugu yangu.Ninakuelewa sana kaka❤
@laurentkayega2863
@laurentkayega2863 7 ай бұрын
Mi nakuelewa Sana blessing speak
@user-ef8pn2ut1y
@user-ef8pn2ut1y 7 ай бұрын
Mungu haabudiwi kwa kufuata tamaduni au mila za watu mtu akiamua kumfuata Mungu lazima afuate kanuni zake bila kuchanganya damaduni na kanuni zake.
@jacksonmsendo3478
@jacksonmsendo3478 7 ай бұрын
Mchungaji anaongea point sana
@sholavalencemgimwamgimwa2812
@sholavalencemgimwamgimwa2812 6 ай бұрын
Ni kweli mtumishi wa mungu hananja
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 7 ай бұрын
Kakakuona! Daa kanisani kuombwa baraka, SIJUI hawa wanyama tafsiri zao Mungu alizoziachia. Imani potofu naona.
@ngayaimkwe5175
@ngayaimkwe5175 7 ай бұрын
Dah anatukosha sana huyu mzee
@chrisjacob4057
@chrisjacob4057 7 ай бұрын
Huyu baba. Bana huwa na mwelewa sana
@yeslord2276
@yeslord2276 7 ай бұрын
Mzee huwa n mkweli kabisa😂😂😂 Big up papa
@ismailgumbo289
@ismailgumbo289 7 ай бұрын
Uko sahiii sanasana yanini wewe nimuislam kabsaa ulibaki kusilim tu ,mungu akuongoze kwakeli, ww namini ndio mtu wakitabu haswa uliozungumziwa ktk Qur'an
@habibaally3
@habibaally3 7 ай бұрын
Amiin
@naslee1010
@naslee1010 7 ай бұрын
Mzee wangu allah akupe kheri ya dunia na akhera una nifurahisha sana 😂😂😂😂😂😂
@benjathekingofficialshows
@benjathekingofficialshows 7 ай бұрын
Kuokoka hakuombi utamaduni huo ni uongo mkubwa , ukiwa umeokoka huwezi vaa vile kama wale majamaa au kusuka au kuweka vipini au kuweka matattoos huo ni ujinga na ushetani , mimi naishi texas marekani na kuna wazungu wanaishi maisha ya wokovu kabisa , meanwhile ukiingia youtube andika pastor jennings , uone maubiri yake ya kuponda uvalio mbovu , matattoos na ujinga ujinga kama huo , sasa usidanganywe eti mazingira ni uongo , hananja hapo kaongea point sana . Shetani ni mbaya sana
@emmyshantiwa6121
@emmyshantiwa6121 7 ай бұрын
Point. Mungu awasamehe
@remmyalfred6736
@remmyalfred6736 7 ай бұрын
Safi sana 💯
@NeemaMmeli
@NeemaMmeli 7 ай бұрын
Wazungu wanakuja kuhubir injit eanavaa vizur na hawajasuka nywele Leo wanakuja waafrica et wanaume alafu wamesuka alafu Wana tatuu hai biwahuni 4:50
@benjathekingofficialshows
@benjathekingofficialshows 7 ай бұрын
@@NeemaMmeli 😂😂😂
@trophywilson7211
@trophywilson7211 7 ай бұрын
@@NeemaMmeliMarekani Weusi wote wanasuka Ni shida saana
@pastormwanjatv1000
@pastormwanjatv1000 7 ай бұрын
Hongera baba kwa kutenga maji na mafuta
@kabhikachambala3392
@kabhikachambala3392 7 ай бұрын
Hananja ni miongoni mwa wachungaji wenye akili sana na wapenda ukweli mchungu
@gjlisa
@gjlisa 7 ай бұрын
True, Pastor
@remmyalfred6736
@remmyalfred6736 7 ай бұрын
Safi sana 💯🔥🔥🔥
@EzekielMsigwa
@EzekielMsigwa 7 ай бұрын
Asante baba binafsi nakuelewa
@edwardmkwelele
@edwardmkwelele 7 ай бұрын
KWANI HAO WAMERIKANI WAMELETA UTAMADUNI KWETU HUO NI UTAMADUNI WAO HAWAJASEMA WATANZANIA WAVAE KAMA WAO KAMA VILE WAMASAI HAWATULAZIMISHI SISI KUVAA SHUKA NI UTAMADUNI WAO TUSIWALAZIMISHE WAMERIKANI WAVAE KAMA SISI
@abdullahabdull3172
@abdullahabdull3172 7 ай бұрын
Nakukubali Mch.Endelea kusimamia ukweli japo wapo wanao umia.umenikumbusha serikali inayokusanya kodi.rest in peace Magu....rest in peace Gov of Tanganyika
@mfirimassawe9023
@mfirimassawe9023 7 ай бұрын
Baba nakuelewa Sana ubarikiwe
@viceboss7229
@viceboss7229 7 ай бұрын
Namkubali sanaaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@niyiitunvirakamwaga3683
@niyiitunvirakamwaga3683 7 ай бұрын
Huyu ni mbegu kutoka Kwa Mungu. Ukimsia kwanza anajua biblia lakini anaujua wokovu🙏
@JumaJuma-fu7ji
@JumaJuma-fu7ji 7 ай бұрын
Uyu jamaa nimkweli sana aisee safi kweli watu muda wote kanisani misikitini munafanya nn madini zawatu zauwizi natamaduni za ajabu mmezikumbatia
@benedictinelusambo069
@benedictinelusambo069 7 ай бұрын
Roho muachie mungu sisi tunaangalia mapaja😂😂😂😂
@mabondolawrence1812
@mabondolawrence1812 7 ай бұрын
Malisa tuletee hayo mapepo uliyoyatoa marekani tuyakemee yatoke na wewe mwenyewe tukuapishe use mwaminifu Kwa Mungu. Kwani unafungamana na mapepo toka kuzimu na kuyafanya manabii Yako?
@alanmwijarubi
@alanmwijarubi 7 ай бұрын
Umesema kweli
@josephgalandu128
@josephgalandu128 6 ай бұрын
Tutawatambuaje? Kea matendo yao....Mti mabaya ....mtimzuri.....
@npslady7429
@npslady7429 7 ай бұрын
Hiiii nzurii
@nwntz
@nwntz 7 ай бұрын
hawatuwezi background..cool
@faidhacute
@faidhacute 7 ай бұрын
Kwakwel wale wachungaji hata kama sio muumin lakn ile appearance hapana kwakwel sijawah kuona mchungaji Rasta
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 7 ай бұрын
Wale manabii wamekuja kufundisha USHOGA bongo
@eggysulle7988
@eggysulle7988 7 ай бұрын
Thank you mchungaj 🙏
@BongoPlus
@BongoPlus 7 ай бұрын
Always welcome
@yohanamichaelmaganga
@yohanamichaelmaganga 7 ай бұрын
Amen!
@limo_7
@limo_7 7 ай бұрын
Safi sana mchungaji
@eliaspeter4017
@eliaspeter4017 7 ай бұрын
Mch Hananja tunapata elimu kubwa Sana ya kiroho na kimwili
@ramseyngwejela499
@ramseyngwejela499 7 ай бұрын
Labda kwa kifupi niseme hivi: watu hupenda utambulisho wao, yaani wa kimwili (carnality), kiroho hawajui identity yao. Kwa hiyo wanachojitetea ni kusema Mungu haangalii mwili bali roho ya mtu. Hawajui kuwa roho zao zinapaswa kuvikwa na kupambwa vitu vya kiungu wakiwa bado wako duniani. Revelation 3 :17-18 ; Isaya 61:10 n.k, zina mafunzo makubwa sana kitu ambacho hakihubiriwi ktk makanisa mengi duniani. Mwisho wa yote wanaishia kwenye tamaduni zao za kimwili na kuzitetea hizo. Spiritual nakedness imepatiwa mbadala ndo hivyo vipuri puani, tattoos, kusuka wanaume n.k.
@user-sd3ch5ff5s
@user-sd3ch5ff5s 7 ай бұрын
Director Muulize pastor jina la ile kanisa ambao Mtumishi wa Bwana alienda HOUSTON TEXAS ili nami niende kumwaabudu Mungu huko
@imhotepheru436
@imhotepheru436 7 ай бұрын
Leviticus 19:28 Tattoo is totally prohibited in the Bible ☺☺☺ Corinthians 11:14 Dreads, Long hair for men is prohibited ☺☺☺
@BongoPlus
@BongoPlus 7 ай бұрын
oooh okay
@annonmnzava728
@annonmnzava728 7 ай бұрын
Akili kubwa sanaa
@barrynzeyimana6270
@barrynzeyimana6270 7 ай бұрын
Wamevamia chakula cha kuku. Hizi dini zingekua 1 ningezielewa. Nakukumbusha mwandishi wa Habari kua ukisikia kua mchungaji amealikwa hapa Marekani, ujue sio wazungu ni watu wahuko ambao wanataka kukusanya pesa. Hawa wachungaji wanakubaliana pesa na mimi Nina ushahidi.
@benjaminmiselya2622
@benjaminmiselya2622 7 ай бұрын
Hahaha Mwaposa na keki na maji udongo na mafuta utapeli mtupu🤣🤣🤣😄🤣
@MaikoSinyinza
@MaikoSinyinza 7 ай бұрын
Munguawe nawe mchungaji
@thelonewolf4429
@thelonewolf4429 7 ай бұрын
Maana halisi ya Mchungaji ndio huyu
@seifdecent-tec5954
@seifdecent-tec5954 7 ай бұрын
Ameni Baba ❤❤❤
@lucywilson5875
@lucywilson5875 7 ай бұрын
Mchungaji lets meet in heaven!
@GorbaChev-yn2tb
@GorbaChev-yn2tb 7 ай бұрын
Huko Ata mm napapenda maana uku bongo wabongo hawafwati Sheria kwa kila mmoja
@leonardmakwela5551
@leonardmakwela5551 7 ай бұрын
Dhambi isipakwe rangi ! Dhambi , dhambi tuu! Hamna kitu pale ! Haw ni wa ule upande wa pili wasitudanganye😢
@bilikwijavalentino5392
@bilikwijavalentino5392 7 ай бұрын
Daaaaaukweli kabsa
@ramseyngwejela499
@ramseyngwejela499 7 ай бұрын
Injili ya kile kiitwacho kwa kiingereza To be clothed with Holy ghost light of life glory body of the NOW CHRIST. Hii injili haihubiriwi kabisa sababu haijulikani hata huko america kwenyewe.
@WorshippersofGodarmy-ot1mk
@WorshippersofGodarmy-ot1mk 7 ай бұрын
Kwa utamaduni nimekuelewa sana
@jurakijuraki8870
@jurakijuraki8870 7 ай бұрын
Hivi wale waliletwa na diamond au
@ambaadamson7109
@ambaadamson7109 7 ай бұрын
Briant pastor
@ericmungai2885
@ericmungai2885 5 ай бұрын
Kweli kabisa mashahidi haya ni mazur
@jastinarts
@jastinarts 7 ай бұрын
This is fact man
@valerianmtowe7822
@valerianmtowe7822 7 ай бұрын
Tz oyeeeee
@ezekelmabesa4324
@ezekelmabesa4324 7 ай бұрын
Huyu baba anamjuaa snaa Mungu
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 7 ай бұрын
Ni kweli mchungaji❤
@samsonhamery3809
@samsonhamery3809 7 ай бұрын
Mtumishi mwenye busara na hekima nyingi.Mungu akupe umri mrefu, ili tuendelee kujifunza kutoka busara zako.
@chrispinboniface3329
@chrispinboniface3329 7 ай бұрын
Wale huenda hata ni mashoga ukifuatilia kwa umakin sana
@adkajisi4536
@adkajisi4536 7 ай бұрын
Kabisaaa
@abibumbota5160
@abibumbota5160 7 ай бұрын
❤❤
@gjlisa
@gjlisa 7 ай бұрын
Who is their spiritual father?
@MusaShabani-pq3ic
@MusaShabani-pq3ic 7 ай бұрын
Siyo marekan wanatokea kenya na mikochen
@safarivahocha8077
@safarivahocha8077 7 ай бұрын
Hongera sana kwa American Tour yako mtumishi wa Bwana. Ila hizo ni States 9. sio kumi (10) 1. Minnessota; 2. Illinois (Chicago); 3. Ohio ( Columbus); 4. Iowa (Iowa City) ; 5. Missouri (Kansas City); 6. Kentucky; 7. Nevada (Las-Vegas); 8. Geogia (Boston); 9. Texas ( Dallas, Huston).
@TozzyMay
@TozzyMay 7 ай бұрын
We jau.. Kwan kasema kataja zote apo Think behind 😮
@mozeslyricstz720
@mozeslyricstz720 7 ай бұрын
@YTozzy_tz achana nae akili mgando huyo
@mohdabdalla7070
@mohdabdalla7070 7 ай бұрын
Sasa ww kuna ulazima gn wa kutj maeneo yote kumi kwn hata Hayo Tisa aliyo ytaja BDO ametja miji ming maan dhumun kubw ni kusimulia Safar yke tu na mambo mengn sio kutja miji yote aliyokwend
@musajackson3289
@musajackson3289 7 ай бұрын
Mambo ya walawi 19:28 Leviticus 9:28
@amanimlengwa9202
@amanimlengwa9202 7 ай бұрын
We Ananja hiyo tai ya kichungaji ni utamaduni wa kitanzania? Je, ulipokea hizo styles za kuvaa suits kutoka Kwa mwenyekiti wa kijiji chako? Injili imetufikia wote ikiambatana na utamaduni wa kigeni. Acha UNAFIKI bwana weeee...
@adkajisi4536
@adkajisi4536 7 ай бұрын
Hatujakatazwa kuiga mazuri, maovu tuna tupa kule
@nobledangote7854
@nobledangote7854 7 ай бұрын
Sis tunalipa kodi wanavimbisha matumbo yao 😂😂😂😂
@christianmwabukusi8132
@christianmwabukusi8132 7 ай бұрын
Ni kweli utamaduni unatakiwa uzingatiwe katika Injili! Lengo ni kumpeleka Bwana Yesu akubalike na jamii husika... Wewe mpelekaji ni muhimu ukawasoma hao watu. Paulo anasema nilipoenda kwa watu fulani nikawa kama wao ili niwapate kwa KRISTO
@buruanisaidi2411
@buruanisaidi2411 7 ай бұрын
Kwann waite KITIMOTO wasiite NGURUWE!?
@ericsamuel2217
@ericsamuel2217 7 ай бұрын
amenena
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 7 ай бұрын
MCHUNGAJI NAKULIZA MWISHO WA MWAKA KAMA HUU WAPO MANABII WANAOTUMIA NGUVU ZA GIZA UTOA KAFALA??????
@fayverenah
@fayverenah 7 ай бұрын
Lakini duh😮hapa kuna point😂😂😂😂😂
@Maaworldwide
@Maaworldwide 7 ай бұрын
WAMEKOSA WATUMISHI WA MUNGU NI VIONGOzi WANAFUNDISHA UVAAJI
Best Toilet Gadgets and #Hacks you must try!!💩💩
00:49
Poly Holy Yow
Рет қаралды 18 МЛН
Best KFC Homemade For My Son #cooking #shorts
00:58
BANKII
Рет қаралды 65 МЛН
Clown takes blame for missing candy 🍬🤣 #shorts
00:49
Yoeslan
Рет қаралды 43 МЛН
Женская драка в Кызылорде
00:53
AIRAN
Рет қаралды 486 М.
MCHUNGAJI HANANJA AMPA ONYO MASANJA KUISHI NA MWANAMKE MSALITI
16:56
SIMULIZI ZONE
Рет қаралды 108 М.
UTOTO UTUMWA, UJANA MASWALI, UZEE MASWALI
46:42
CLOUDSMEDIA
Рет қаралды 255 М.
LEONARDO ALIVYOWAVUNJA MBAVU WAFANYAKAZI WA CRDB!
17:39
Visit Tanzania
Рет қаралды 279 М.
He Used All The Sauce On 1 Slice Of Pizza🤪😂
0:12
BorisKateFamily
Рет қаралды 38 МЛН
Принципы...
0:23
Это точно смешно
Рет қаралды 2,4 МЛН
Приостановили веселуху😨 #симпсоны
0:59
Gymrat CAT is a CHEATER?! 🙀 #kitten #cat #cute #aicat
0:45
Stunning Cat Stories
Рет қаралды 30 МЛН