Mtangazaji jifunze etiquette ya jinsi ya kukaa wakati wa interview. It adds a lot. Watching from Holland 🇳🇱
@neemakalugila767425 күн бұрын
Pastor 🎉🎉🎉🎉❤❤❤
@josephatbwakome57115 ай бұрын
Safi sana mzee wangu kwa mahubiri yako mazuri.
@user-sx9wp3zx9p6 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa mungu
@heritier51197 ай бұрын
Mungu anaangalia roho ni funzo la shetqni
@SigifridiTarimo-tw3bl4 ай бұрын
Mchungaj ubarikiwe Sana
@josephatbwakome57115 ай бұрын
Mchungaji namuelewa sana aisee.
@tinnahagustinolyelu42478 ай бұрын
Jamani natuma teena Nina mauwa yako
@heronimomsefya31905 ай бұрын
Nimecheka sana Leo 😂😂, unasema ukweli mtupu mchungaji
@tinnahagustinolyelu42478 ай бұрын
Mchungaji nakuelewa saana abarikiwe
@moussoda79015 ай бұрын
Mchungaji naye mkubali; natowa salamu. sasa mimi Nina swali umesema kuwa Mungu ameshindwa kuishi na shetani; sijaelewa vizuri shetani mwenyewe kaumbwa na Mungu ; na Mungu hashindwi nakitu chochote sasa inakuwaje Mungu (ashindwe) kuishi na shetani ; nafikiri hajashindwa maana neno kushindwa kwa Mungu kuishi na shetani sijaelewa .Asante!
@user-jq5ys8ek3c5 ай бұрын
Katika uislamu shetani alifukuzwa katika ufalme wa allah baada ya kuto tii amri ya kumsujudia adamu
@user-zt3ug9wv7f5 ай бұрын
Eti hata panyalodi huwez muuwa kwa maji 😂😂,huyu mchungaji kiboko
@newlightmoviesproduction35984 ай бұрын
Mzee huyo angetokea kipindi cha magu akifanyiwa ulinzi wa serikali.
@nickolatharwelamila7767 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@user-sx9wp3zx9p6 ай бұрын
Hakia!
@margarethpolepole74387 ай бұрын
Wewe ndiyo mchungaji unaesema ukweli wengi wao ni matapeli wanaokula za ajinga ndiyo waliwao
@benjaminreternyau305 ай бұрын
ukomboz wa fikira na maarifa, watu wanaangamia kwa kukosa maarifa na uchaji
@user-dp6wu3gl3w5 ай бұрын
❤🎉🎉🎉
@engelbertkiondo40145 ай бұрын
mch. mungu akupe ufunuo zaidi ....watu hawasomi kabisa biblia. wanasoma vimistari 2/3 wanahubiri sokoni na kujiita askofu...mtume...