Wewe ni shujaa, Asante sana baba mchungaji, umesimama katika haki ya Mungu. Sema ukweli ili watu wa Mungu waokolewe, kwa kauli yako maelfu ya watu wataokolewa, na mimi nakuhakikishia kwamba lazima Mungu akulipe kwasababu ya wema huu mkubwa. Mchungaji hongera,. Mungu aendelee kutupa nguvu ili tuendelee kulifukuza giza katika maisha ya watu wake ili siku moja tuvikwe ile taji ya uzima wa milele. Wewe ni kiongozi wa watu wa Mungu.
@monicamollel2899 Жыл бұрын
Kwa kweli Ni shujaa!. Mungu akutunze akupe Manisha marefu ili uendelee kunisaidia jamii yetu ya kiafrika ijitambue na kujikwamua ktk janga hili la aibu, fedheha na uvunjifu wa maadili yetu!. Kupitia mafundisho yako wengi watazinduka na kumgeukia Mungu kwa kufuata maagizo yake!.Thanks slot, be blessed Mchng. Hananja!.
@MaryMethusela Жыл бұрын
Assante sana Mchungaj vipige vile vita vizr vya Iman
@tinapius1865 Жыл бұрын
hakika baba umesema ukweli mtupu mungu azidi kukuinua zaidi
@mildredachimpota5877 Жыл бұрын
Barikiwa baba na Mungu akutunze Kwa kusimamia ukweli
@saidimnyani3330 Жыл бұрын
Uchafu
@halemmmbarak16 Жыл бұрын
Intelligent Hananja ur no 1 in a million nobody should make u feel otherwise. Keep going Hanaja ur the best.
@AdelinaMethod7 ай бұрын
🎉😢🎉🎉😢🎉🎉😢f
@OliverMalongo Жыл бұрын
Napenda tu kukusikiliza baba mchungaji, Mungu akutunze sana.
@jacksonkatana5152 Жыл бұрын
Mchungaji Hananja mungu akuzidishie miaka ya kuishi ili ulimwengu uelimike kupitia wewe,,i appreciate you daddy
@TimotheoBulimwengu11 ай бұрын
Aminaaaaaaaah Aminaaaaaaah Aminaaaaah na Ubarikiwe sana na hakika Mungu akuongezee maarifa na uwepo wa nguvu na uweza wake maradufu ,kwajili ya ushujaa mkubwa huo
@YusufMsumi-gx4ih Жыл бұрын
Mmimi ni muislamu nkupongeza sana mzee wangu mungu na atuongoze sote somo ni zuri sana na linaendana na mafundisho yoote ya mungu na maumbile ya mwanadamu
@hijazhija316 Жыл бұрын
Acha kujikomba
@micahloudcry5613 Жыл бұрын
Nimependa point yako....kuliko wale wanaodai watu wahamie uislam....cjui ikitokea shehe maarufu akajitambulisha kuwa ni shoga au ikafahamika kuwa ni shoga sasa cjui hapo napo ashauri watu wahame uislam.....maana dhambi haina dhehebu wa dini....uzinzi unafanywa na dini zote...ushoga pia wanafanya kwenye dini ukristo na uislam maana watu wanakuwa wameamua kumwasi Mungu....mfano pwani michezo hii ya kufira ippo sana
@YusufMsumi-gx4ih Жыл бұрын
Kasome tena uislamu utanielewa nilichoongea na sio dhana unayonijengea ان بعض الظن اثم hivo ndivo Allah anavosema
@shifaaal-baity4503 Жыл бұрын
Wewe una roho chafffu mno jitakasae na jik😂😂@@hijazhija316
@betrackjasson6698 Жыл бұрын
Kweli kaka
@RebeccaMgana Жыл бұрын
Nimebarikiwa na hekima zako umenena ukweli kabisa mafundisho ni muhimu kuliko sadaka zaidi sadaka zinanguvu lakini mafundisho kwanza watu wamjue Mungu washike imani kweli kweli, baba mchungaji barikiwa kwa ushauri mzuri 🙌
@Uwezawako Жыл бұрын
Safi sana mchungaji Hananja wewe ni baraka sana katika kizazi hiki.Wewe ni sauti ya Mngu katika kizazi hiki
@EzekiaMichael-jn5np Жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu baba yangu Hananja Mungu akubariki na akuongeze maarifa na na maisha marefu ya kuishi ili Mungu azidi kupokewa mioyoni mwetu Mungu akutie nguvu
@kennix6457 Жыл бұрын
Siku izi ni kutoa to kanisani ndo Cha muhimu watu wanatoa na Bado wanaendelea kuwa maskini mpaka mwisho maana hamfuzwi mambo ya maisha ,kazi mapenzi .watu wataendelea kuteseka .Asante sana mchungaji
@AzAz-sy6zp11 ай бұрын
Hongereni sana baba kwa uvumbuzi ulio na haki ubarikiwe san mtumishi
@JumaMnyonge-js7db Жыл бұрын
Unadanganya yesu si mwaanzilishi wa ukristu muanzilishi uyu hapa Matendoe ya mtume 11:28 Wakorintho WA Kwanzaa 4:15 Mathayo 22:26 Paul ni Mrumi wakuzaliwa Usimsemeye Yesu uongo tafadhali
@PeterKetozo Жыл бұрын
"Tupate wapi tena mtu kama huyu, ambaye Mungu anakaa ndani yake! Mungu akutunze Mchungaji Hananja.
@bekabakari7394 Жыл бұрын
Ubarikiwe Hananja Wapo watu hata kama Kuna jambo la haki Lakini kwa sababu ya imani yake Anageuza haki kua batil
@ammaherman3391 Жыл бұрын
Kama uliskiliza vizuri kwenye dakika ya 7:52 gonga like😁😆😂🤣😄😃barikiwa sana Mch. Hananja.
@sofetybilali349 Жыл бұрын
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😂😂😂
@nyansilujoseph-pm8im Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@SmilingJellyFish-vf6xy Жыл бұрын
Bwana yesu. asifiwe. Kuomba Mungunibidii yeye papa Anataka Kudupotez Sisitunaelewa mungu Haduhamgaliye papa Atoke hapo mujinga Bwana yesu Asifiwe
@nyansilujoseph-pm8im Жыл бұрын
Kama umesikia vizuri dakika ya 7:52 gonga like 😂😂😂
@Poly-v6c11 ай бұрын
Watumishi wa Mungu wafundishe ukweli waache kueba kitabu cha mambo ya walawi 20:13 na hicho cha walawi 16:1-34,17:1-16,18:1-30,19:1-37&20:1-27
@AloyceCheti2 ай бұрын
Hongera sana mchungaji hananja huja pepesa macho kwa jambo hili watu wanaoneana aibu na kuogopa kulizungumzia na kulikemea
@BM_Smart2-6 Жыл бұрын
Umenena vyema ukweli wote hongera sana Mchungaji. Hii dunia imeporomoka vibaya sana. Hata kama amesema nani mbona nature tu haipo hivyo, hapo ndipo ule ukweli wa imani utakapokuja kubaki suala la mtu binafsi na Mungu. Dunia inaenda wapi kutetea ushoga live!!
@damiankilyenyi5367 Жыл бұрын
Yesu hakuleta dini alileta wokovu na hata waliomuua walikuwa ni viongozi wa dini ya kiyahudi. Kwa watu wengi kuabudu dini na kufuata mapokeo ya wanadamu dini zimekuwa magereza ya kufungia watu wasiujue ukweli wa neno la Mungu na wote watakwenda motoni.
@ConfusedDaisies-rb5 Жыл бұрын
Binafsi napenda sana mahubiri ya mchungaji R. Hananja, Mungu akubariki sana mtumishi
@yusuphwella9651 Жыл бұрын
Mi ni muislam ila haya ni maneno ambayo hata mungu mwenyewe anafurahi kuyasikia... mungu ni mmoja tuu na wote tumetokana na adam na hawa au adam wapili Nuhu.
@kitonkamanase2529 Жыл бұрын
Mungu yupo kazini Wote mnaunga mkono mambo ya ovyo ambayo biblia imeshasema ni dhambi Mungu anawaona sana ipo siku mtamjua tu Mungu baba wape nguvu watu wako wote wanaokuamini na kukutumikia kwa roho na kweli Mchungaji uliyefukuzwa kazi simamia haki ya neno la Mungu. Mungu yupo upande wako usihofu Kaza macho yako kwa Bwana atakupigania !!
@sarambise Жыл бұрын
Thanks,it is fact.. tumrudie Mungu hakika
@beatricejoseph2347 Жыл бұрын
Mungu akuinue mtumishi wa Mungu ,kweli cha Mungu kibaki kuwa cha Mungu na cha binadamu kibaki kuwa cha binadamu ,mm pia sikubaliani na suala la ndoa ya jinsia moja.
@denisoruru-yv3fk Жыл бұрын
I like the fact that he quotes scriptures to support his arguments. It's our responsibility to speak against any practice that goes against the word of God and our values as a community.
@WingoAsake4 ай бұрын
Mwenyezi mungu akupe maisha marefu mzee
@cyprianmgogo7625 Жыл бұрын
UBARIKIWE SANA BABA MCHUNGANI UMEKEMEA KWELI KWELI ,UPO SAHIHI KOMALIA KAULI ZAKO,HULE MZEE AMEZEEKA VIBAYA HATA AMESAHAU KAMA SIKU SI NYINGI ITABIDI ATOE MAHESABU, KATIKA HILI MZEE AMEFULIA CHOONI.
@nassorally8139 Жыл бұрын
Mchungaji nakukubali Sanaa japo mimi ni muislamu tena no Ustadh kabisaa lakini unauelewa mzuri na ufafanuzi mzuri wa mambo yenye kutatiza natamani wakristo wapate ufahamu na kujitambua kwa maneno yako ya hikma
@rungweradio Жыл бұрын
Tumia neno baadhi,usijumuishe wakristo wote
@nashonkibayayu3776 Жыл бұрын
Mungu akuzidishie ujasiri na kujiamini zaidi. Wachungaji wengi WAOGA. Ee Mungu inua na wengine waweze kujiamini. Siyo kila jambo ". OH! HESHIMUNI WENYE MAMLAKA, KILA MAMLA IMETOKANA KWA MUNGU"
@suratibrahim6417 Жыл бұрын
Pastor Hananja...naomba uheshimiwe🙏
@LovenesyMhame6 ай бұрын
Amina mchungaji wew n kioo ch jamii unafaa kuingwa n jamii kwa mafundish yak n elim uliy nayo
@ustadhsaidi38015 ай бұрын
Vijana Wanaopandana wao kwa wao, Wanataraji Nini Baada ya Maisha ya DUNIANI? Ubarikiwe Mch. HANANJA
@Williammatinde-o9w2 ай бұрын
Asante mchungaji Kwa msimamo wako wa kimungu
@LEONARDINARUGAIMUKAMU Жыл бұрын
Nashukuru sana kwa kumea uchafuo kwakweli tuungane sote wenye kuelewa SoMo la mchungaji kukataa kwa maneno na kwa Sala atuondolee janga hili nashauri mtu atakayefanya ushoga ktk jamii atengwe Kila aina ya kijamii ya msingi maana mtu kama huyo ni shetani kabisa mchungaji mungu akitunze
@daudinyello4033 Жыл бұрын
UKO SAHIHI MCHUNGAJI ILA TATIZO BIBLIA IMECHAPISHWA NA WAZUNGU NA HATA WAKIAMUA KUIBADIRISHA KWA MARA NYINGINE HUWEZI KUBISHA NA SASA INAITWA new edition holy bible YAANI toleo jipya la biblia takatifu/agano jipya.
@MaryAmaiza-th2fo Жыл бұрын
Napenda huyu pastor,jasiri naungana na ww huo ni ushetani tu 🇰🇪🙏.
@ZaycargoMovers-vx6lf Жыл бұрын
Mchungaji uko vizuri. Ubarikiwe
@rosendubi5207 Жыл бұрын
Amina , Mungu akubariki sana kwa kusema ukweli, endelea kusambaza ujumbe kwa nchi yote.
Misinterpretation! Kubaruki alikozungumzia papa siotafsiri Hiyo.! Alisema waombewe kwa maana hiyo! Haujamwelewa papa. Acha povu!!!
@odilomwemeziernest646 Жыл бұрын
@@petsmore9955 kuwabari ni kuwatambua,wewe ni mbumbumbu,utakwenda jehanamu
@petsmore9955 Жыл бұрын
@@odilomwemeziernest646 wewe na chungaji wako wapumbavu sana. Kwa akili na elimu yenu ndogo mnafikiri Mungu ni babu yenu na tayari mko mbinguni na mnapanga was kuingia mbinguni na wale was jehenamu. Pumbavu tena wanafiki wakubwa! Kile kisa cha mwanamke aliyefumaniwa kwa uzinzi Yesu alimfanyaje Kama hakumbariki? Someni biblia vizuri na muombe kueleweshwa pale ambapo mnapelea hamna kitu mnachoelewa nyie! The Catholic church is not a mushroom church like that of the pastor you claim to have spoken sensibly. In fact he is just speaking emotionally out of his little biblical knowledge.
@LovenesyMhame6 ай бұрын
Kwel mtumish yan saiz wap watumish mbk wanachangany mtu huelew lip l kwee n lip l uong kam hujui biblia bc watumish n kukosoan n kutukananan tu hawaelimishani kam mung wao wanao mwabudu n mmja❤❤❤❤
@tuponearon7368 Жыл бұрын
Ninachojua Yesu hakuleta dini duniani, alileta wokovu kwa kila amwaminie, dini ni mpango wa mwanadamu kumtafuta Mungu, mpango wa Mungu ni kumwamini Yesu apate ondoleo la dhambi (kuokoka)
@yusuphsitta2400 Жыл бұрын
Isa 58:1-4 SUV Piga kelele, usiache, Paza sauti yako kama tarumbeta; Uwahubiri watu wangu kosa lao, Na nyumba ya Yakobo dhambi zao. Walakini wanitafuta kila siku; hupenda kujua njia zangu; kama vile taifa waliotenda haki, wasioacha sheria ya Mungu wao
@robertevarist1595 Жыл бұрын
Baba mchungaji Hananja unasema ukweli Mwenyezi akubariki sana, japo si wakamilifu kwa kila kitu lkn kwa hili la ndoa za jinsia moja halijubariki kamwe.
@masoudymichael Жыл бұрын
Mwaka umeisha vizuri kwa kuwa na watu ambao wanaweza kumchallenge kiongozi wa dini❤
@abdallahmtula9467 Жыл бұрын
Tunashukuru sana kwa maneno yako mazuri na yenye baraka tele ndani yake.
@rosemwangi-yp9ol Жыл бұрын
Nataka kuwaelezea ukweli kwamba watu wengi na media wamyongea vibaya lakini kama hujaelewa usiongee vitu usivyovijua. Utajikosea mwenye na wengine wasiolewa. Katika mafunzo ya katoliki yatuelezea vizuri Mungu kaumba mke na mume waishi pamoja kama familia yake Kikristu. Papa kasema hawa watu wapo kanisa mtu akija abarikiwe ili Mungu amusaidie kujielewa na kuishi maisha inayofaa kama kama
@JosephMoses-y5p Жыл бұрын
We pia ni shoga
@donjb3178 Жыл бұрын
Tatizo una udini mwingi ndio mana hata kama jambo la hovyoo likisemwa huwezi fanya maamuzi kwasababu akili yako ishachukuliwa mateka fata njia ya Yesu ndio uzima pekee uliobakia ulimwenguni mana dini zimekuwa njia za kuruhusu mambo ya hovyoo kuwa ya heshima kitu ambacho sio sawa
@veeJesus Жыл бұрын
Acha udini wewe papa atakupeleka kuzimu. Acha kumtetea shetani. Mfate Mungu Soma bible papa wenu hayupo na nyie tena
@foroforoy2554 Жыл бұрын
Wanagapi wamebarikiwa wakaacha ushoga?
@veeJesus Жыл бұрын
@@foroforoy2554 swali zuri
@lordorcas9344 Жыл бұрын
acsente Mutu wa Mugu Ubarikiwe Kamwe 🙏🙏🙏
@jfnat1891 Жыл бұрын
Kasema maneno ya Busara Sana,AllahuAkbar ...Mchungaji Mwenyezi Mungu akujaaliye afya njema,siha, hekma ,busara na rahma zake Muumbaji Wetu Al Haqim Mjuzi wa elmu za Ghaib na Mfalme wa siku ya hisabu. Asante sana kwa kuwapenda wanafunzi wako kama Mchungaji
@Ali-nl2du11 ай бұрын
Mimi kama muislamu nakuunga mkono sana mchungaji. Wazungu wamepotea njia, wasikupotezeni ndugu zetu wakristo wa Africa.
@sixberthcostantini9290 Жыл бұрын
Mchungaji tunakuombea Mungu akuwekee ulinzi katika maisha yako mimi niliroma lakn nimehama kwasababu kuna ushetan umejificha ndan yake Kilichonisikitisha zaid ni papa kuruhusu ndoa za jinsia moja inasikitisha sana kuwa maamuz ya aajabu sana kiongoz mkubwa wa din anaruhusu ushetan
@audifansisafari5587 Жыл бұрын
Roma hauna kama wewe
@audifansisafari5587 Жыл бұрын
Alikufungisha wewe hiyo ndoa
@micahloudcry5613 Жыл бұрын
Kimsingi wakristo na waumini wengi ni bendera fuata upepo...wengi huwa hatuchunguzi imani zetu tunabugia tu kisa tumezaliwa tukakuta wazazi au ndugu ni waumini...we don't take time to study the history behind....ikitokea mtu mmoja anajaribu kututoa matongotongo ya imani fake tunakuwa wakali na hata kutukana matusi...sasa huwa najiuliza kama kweli mtu unaufaham ukristo wa kweli unatoa wapi mashiko ya kuanza kumtukana mtu kisa kapingana na mtazamo wako au na kile unachokiamini...kwann usichukue muda kuchunguza madai yake.kwa roho ya upole na maombi ili Mungu akufunulie....tujifunze kunyenyekea...Ukristi na imani sio vita
@mayungakisinza6090 Жыл бұрын
Padri, askofu wote wapo lkn hakuna anae simama kukemea wanawaza sadaka na matoleo na kuacha ujinga kama huu uendelee
@tawiso_online_tv. Жыл бұрын
Acha useeeee
@audifansisafari5587 Жыл бұрын
Akili zako wewe una dhambi kuliko hizo
@Bitlontravels555 Жыл бұрын
Asante Mtumishi. Ubarikiwe sana
@festinamwakipale3919 Жыл бұрын
Kweli baba hananja.tunae.kuhuni mkuu mmoja ni yesu wachungaji wanakufa.huwa hawadumu anaedumu ni kristo
@danielthomasmsigwa31 Жыл бұрын
Amri Za Mungu zipo 10 wakristo wengi kwa maslahi binafsi tumekuwa tukikwepa kuzifundisha moja ya amri mathayo 5:17-20; Sabato siku ya Saba ya juma (Luka 23:56-24:1) imedharauliwa na wakristo na mapepo yataondoa heshima kwa Mungu siku ya kwanza ya juma (jumapili) itakapoinuliwa Kisheria na mataifa yote ikianza USA maana ni taasisi mapacha toka Edeni. Tujiandae kwa mavuno ya kuikataa sheria ya Mungu duniani! Yakobo 2. Damu damu damu damu itatapakaa duniani roho wa Mungu akiondoka ni heri kufia dini kuliko kushuhudia ulimwengu pasipo sheria ya Mungu kuchinjana ndiyo mavuno yake ufunuo 14:12-20!
@damianmbunda9310 Жыл бұрын
Na wewe muabudu siku kaa kimya Unaongelea sabato nadala ya Yesu
@celestinshayo7295 Жыл бұрын
Wasabato ni mburura wanachojua ni jumamosi tu ndiye mungu wao
@NeemaSulle Жыл бұрын
Acha wakae na siku waone kama watashinda wataburuzwa na mpinga Kristo
@moseskisingi7696 Жыл бұрын
Mungu wa mbinguni awafungue macho na masikio mpate kuona na kusikia kweli ya Mungu.
@danielthomasmsigwa31 Жыл бұрын
Pambano la kumaliza dunia litahusu sabato mathayo 24:20 :1st day of the week (vs) 7th day of the week!
@andreamayengo966 Жыл бұрын
Mungu aendelee kukupatia maisha marefu uzidi kutoa na kufundisha elimu na neno la Mungu Biblia Iko wazi na tunashukuru kwa kuelezea baadhi ya vifungu,,,maana alichokiongea huyu mtu ni ushetani.
@enoszaka-tx8qw Жыл бұрын
huwa nakuelewa sana mchungaji hananja mwenyezi mungu anakuona atatenda muujiza kwako ili sauti yako ikawaguse watu wote na waache
@Patience763 Жыл бұрын
Mafundisho mema mchungaji MUNGU akubariki ❤❤
@JohnmasesalutandaguraJohnmases9 ай бұрын
Kwer tuchane pastor kwer nimekubali
@NicomedShishimbi2 ай бұрын
Nakupa hongera baba yng mungu hatim njem
@bravesilubonde4350 Жыл бұрын
Shusha namba pasteri sadaka inakuhusu
@Prosperkisama Жыл бұрын
Amina uko sawa maama watu wanakubali kumheshimu Binadamu kuliko Mungu.... HII NDIO SAWA NA KUKUBALI CHAPA 666
Hata Hananja hajaelewa maana ya baraka na sakramenti kwa kuwa si kiongozi wa dini kwa hiyo asipotoshe barua ya PAPA FRANCIS. Kiongozi Mkuu wa Wakatoliki hawezi kubariki ushoga.Mgonjwa akienda kwa daktari kutibiwa daktari hamuulizi kwa nini umeugua. Anamtibu kisha anamshauri na kumuonya kuepukana na chanzo cha huo ugonjwa.
@Obia-t9d10 ай бұрын
Mimi ni mkatholic lakini kwa imani yake hiyo mimi nitabaki kuwa mkatholic kupitia imani yangu ya biblia Amen
@victoriamumwi1769 Жыл бұрын
Unapotoa comment ufikirie mara mbili, uelewe zaidi mwenzako alikuwa anamaanisha Nini, nampenda sana kumsikiliza Ananja, lakini katika hili kakurupuka kumkashifu mwenzake, arudie kusoma au kumsikiliza mara mbili hakuna sehemu Papa amekubaliana na ushoga Wala usagaji, anakemea vyote na kanisa linakemea
@IssaThomas-q2u Жыл бұрын
Watanzania simameni kidete mkikuli tu kurusu ushoga huyi ngie Tanzania mumerusu lahana maana hiyo nilana kubwa, tangu lini mwanaume kwa mwanaume wakaowana, huo papa mjinga sana tena sana
@wemamanikana9791 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi, hawa maajent tuwapinge kabisa
@shifaaal-baity4503 Жыл бұрын
Shukran sana mchungaji hananja
@aliabdallah8456 Жыл бұрын
Mimi ni muislamu lakini kwa kweli mzee uménena maneno mazuri sana ndugu zangu wakristo msipende kufata maneno ya wachungaji ambayo hayako katika kitabu chenu cha biblia na pia ulizeni maswali kwa wachungaji hachani kuburuzwa kama mkokoteni hacheni ujinga Mungu atawachoma moto fateni dini ya yesu.ni dini ipi msifuate dini ambazo Mungu haja ilita zindukeni hacheni hujinga someni biblia hacha kuimba sana mnapenda kuimba kuliko kupenfa Mungu
@micahloudcry5613 Жыл бұрын
Mungu akubariki ww jamaa umenena vyema hujataka kupalilia udini kama wengine....maana dhambi ni dhambi tu haina dini nq inapaswa kukemewa
@DeoUrio-k6f10 ай бұрын
True ,waambie ukweli mchungaji,viongozi wengine wa dini wanaona aibu kukemea ,wamekaa kimya
@LucasIgombe Жыл бұрын
Tena afe mapema huyo pop. Mungu amusdhibu mapema POP FRANCIS
Hananja ukweli daima usihofu nani anasema nini hapa ukweli tu Hadi mwisho wa Dunia
@AgreyYona Жыл бұрын
Ibada ya jumapili pia aliweka papa.
@kasigababa8596 Жыл бұрын
Asante sana Mzee wangu, Mungu akutunze
@JaphetBigirimana-hp8ir Жыл бұрын
napenda huyu baba wetu hongera sana
@pacsnomventures8016 Жыл бұрын
Mungu akubariki mchungaji
@hilarybenedicto3621 Жыл бұрын
Nzuri sana huyu papa ni mtu atakufa tu.... Biblia haisapoti ushoga na usagaji kabisa papa kachanganyikiwaaaa anakwenda kupata pigo kutoka kwa MUNGU.
@elizabethmaleo8339 Жыл бұрын
Mungu atupe hekima jamani hilo kanisa linafamanishwa na lile la Wagalatia wameacha mafundisho ya Mungu wakafuata sheria zao Yesu tusaidie
@JohnmasesalutandaguraJohnmases9 ай бұрын
Kwer tuchane pastor vijana tumekuwa washenzi no 1
@leahdaniel1117 Жыл бұрын
Amen neno la Mungu lipo pale pale na kwa hilo tutahukumiwa kwalo
@rosetreffert4179 Жыл бұрын
Kiongozi Hananja Mungu akutunze ❤❤❤
@maggiehiza5884 Жыл бұрын
Hamkumwelewa papa. Someni vizuri waraka wake. Habariki hizo ndo. Watu wamechukulia juu juu na kukurupuka. Anachomaanisha ni kwamba kama wanahitaji baraka, ambayo itawatoa huko walipo hawazuiwi kupata msaada huo.. wao ni wadhambi kama walivyo wengine
@HildaPaul-hm4jk Жыл бұрын
Baraka zipi fafanua
@wokovumwazembe3505 Жыл бұрын
Anakubali kubaliki mashoga unaseama hawakuelewa shetani wewe na yeye usikubali ushetani wake ametenda dhambi
@elephant141182 Жыл бұрын
Yesu mwenyewe hakubariki Dhabi bali alikemea na kutangaza msamaha kwa anaetubu
@MiriamAziz-z5t Жыл бұрын
INAFIKIRISHA SANA...HIVI KWELI HAO MAASKOFU WOTE NA WAKRISTU WANAOPINGA HILO TAMKO WA NCHI MBALIMBALI DUNIANI 'HAWAKUMUELEWA' HUYO PAPA!
@DeoUrio-k6f10 ай бұрын
Kutoa baraka ni kuhalalisha kitu kiendelee ,baada ya kukemea dhambi ww unahalalisha dhambi iendelee, Yesu alikaa na wanadhambi kwa lengo la kuwapa neno la Mungu ili waache dhambi na kumjua Mungu vitu vipi hapendi ,vitu gani anapenda sio alikaa nao kwa lengo la kubariki uovu wao .Achen kutetea mambo ya kipumbavu ,Mungu hapend
@zuberkasim7150 Жыл бұрын
Unashindwa kujiuliza makaomakuu ya yesu ulikua Israeli kwanini sasaivi makaomakuu iwe vatikan dini ya nabii Musa nuhu daudi yesu muhammadi ilikua dini mojatu ukitambua Hilo huwezi kupata ttabu
@SAM_163 Жыл бұрын
HUNA SHULE TULIA .
@fahadrashid9754 Жыл бұрын
Atlist umewapa cha kujifajiri wakristo wenzio...ndo mjue dini yenu ipo kimaslahi n inaendeshwa kutokana n matakwa ya watu fulani.kwnn musibak n maneno tu ya yesu adi mumueke papa..kama ni dini ya mungu mungeacha tu maneno ya biblia yakafanya kazi.saiv ndo mnajua kama papa n mungu bora mungu wakt yeye ndo mnafata kila analosema...im proud to muslim wallah tena
@ElishaMwangabisya9 ай бұрын
Sema kweli baba na Mungu akubariki
@G.S985 Жыл бұрын
Nakupenda Baba Mchungaji Hananja, unasemaga ukweli❤
@DavalsonMarlony Жыл бұрын
ndo maana nchi ya uganda ilweka sheria kali saiv ukiche kwenye mpra wanavaa kabsa vtambaa vya ucapten vnavyo sapoti ushoga uko ulaya imeingia saiv ad kwenye din
@DeborahRaphael-h3i Жыл бұрын
Mnakwepa Ali za Mungu ,mnashika ysliyo mafundisho ya katoliki mamayenu
@MichaelMathew-j3f Жыл бұрын
Hivi lini wokovu iko kwenye kanisa la katoliki!! Kule hamna wokovu.
@angelsulle7177 Жыл бұрын
Wewe ni mbwa mbwekaji hakuna anaye kuhitaji Wakatoliki ni wengi mnooooo!!!! Ukabweke huko Barabarani
@MichaelMathew-j3f Жыл бұрын
@@angelsulle7177 sawa naweza kuwa mbwa!! Sina mbaya!! Sijazangumzia uwingi, hilo sio sababu. Nazungumzia wokovu. Haipo kwenye hili kanisa la katoliki. Endelea kunitukana, ila ukweli ndo hivohivo!! Cheki ulivyo, mtu wa Mungu hawezi kumtukana mtu!! Bado hujaokoka. Ww+katoliki hamna wokovu. Oky?
@KandidoLuvanga8 ай бұрын
Ananja ukosawa munguakubariki sana
@SteveMilinga Жыл бұрын
nakukubali sana hananja wekiboko mimwenyew mkatolk lkn sifat mamboyao ykjng watu waabudu watu naviongozwtu wataka waabudiwe wao nawaumin wajing wanafany mimwenyew awnipend kutokan naukwel nnaouongea kutokan kweny baibo awtak wtaka wanvyotaka wao
@JackobGalish-ky3no11 ай бұрын
Mzee yuko vizuri. Japo huwa anaongea kama masihara. Tunakataaa!'😂
@carlsonshoo3859 Жыл бұрын
Mchungaji hongera sana kumjulisha papa nakumpa ukweli kusu ushoga
@Obia-t9d10 ай бұрын
Roho matakatifu na imani ndo muongozo wa mwanadamu katika ulimwenguu huu, ubarikiwe sana mchungaji Mungu akutie nguvu zaidi Ameni kwa hakika umenena sikuweza kuamini kama kiongozi mkubwa vile angeweza kusema kauli ya vile Kuna mikoa kama mara hatujui kabisa kama mambo hayo yapo kwa hakika MUNGU ATUONGEZEE IMANI,AMEN🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@maryaugustor6983 Жыл бұрын
Asante sana nimepata faraja MUNGU akutie nguvu AMEN
@MAKOMBORATV Жыл бұрын
Mtakubali tu alishatabiri NABII KACOU PHILLIPE mtafuteni nabii wa kizazi chetu....,.. akisema kiongozi wenu mtakubali tu