Huu ni umbea, sijaona dalili zozote za Zuchu kumdate Diamond lakini iwepo kuna ukweli, wawili hao n watu wazima sioni tatizo
@nasriabdi90462 жыл бұрын
asante muandishi kwa kichwa cha habari ambayo akifanani na yaliyomo
@zalhathasaid20602 жыл бұрын
😁😂😂😂
@tatuadammweibondo88862 жыл бұрын
🤣🤣🤣tunasema Asante sana
@shamimurajabu28972 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@firstlady98482 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣wewe
@safarijoseph49272 жыл бұрын
😂😂😂😂
@dianahasagi10222 жыл бұрын
Simba ako vizuri a naenjoy but sad since she is young she will be used and dumbed at tye end of the day 🤭🤭🤭😜
@ahmedmohammed-oc8op2 жыл бұрын
Mimi mwenyewe nampenda
@mshamally12102 жыл бұрын
zuchu A.K.A ZUHURA sio mtabiri bali najiuliza walelembo alie washit uyo jamaa wamekuzidi kwa ulembo akuna unae mfikia sasa weww una nini mpaka akakuoa uyo brooo lakini aina noma yote maisha
@munaahmed84992 жыл бұрын
Upo sahihi bhna hana uzur wowote tuwenu wa kweli tu na saut pia hanaaa tena hanaaa hata chembe
@mwanaidimuhamed65402 жыл бұрын
Mbona mwanaume hazungumzi chochote ila mwanamke ndio Kila Mara anaolewa si ndio huyuzuchu alisema ameondoka wasafi na kuanza kutoa Siri za Dimond Mara kuolewa siju
@munaahmed84992 жыл бұрын
@@mwanaidimuhamed6540 wacha akachewe kwanza akionekana bwabwa atamwagwa wenzie walijiona keki leo waonekana kiporo cha ugali tena wa mihogo yeye aendevtu maan diamond ajulikana haoi anazalisha na kupitaa Na huyo muolewsji mjinga mama mtu pia maan mtu mwamuina akili ilivyo bado mwajikimba haya huku kampea Alliyah mimba sasa huku ndoa kuke mimba mwenye akili hapo hawez kubali mwanae eende olewa na diamond jmn pesaaa zinatafutwa tu wasione ndio pepo hiyo ohhhh tupo jmn tupo mm nasema tu wenzie anawaona walivyo warembo na wamezalishwa wapo na malezi sasa mhhh na diamond anatakiwa aoe mtu asokuw maarufu na wala si mwana music swe mama wa nyumban angojee kuletewa sasa wte alozaa nao wanamzik na huyo mkubwa kutwa mitandaon japo ana pesa unadhan anaezana nao mhhhhh mie langu jichooo
@salistineshilungu35192 жыл бұрын
Interview ya kitambo
@michaelmahatara45562 жыл бұрын
Ni shidaaaaahh
@rayaali75512 жыл бұрын
Miee munanichekesha wabongo kuvaa mi sun glass mukiwa ndani sasa humo ndani muna juwaa maana hiyo ni sun glass hahahahaaaa
@toxhervangaspaltz41092 жыл бұрын
Ila wanawake nyie hamkomi tu wenzako wameachwa ngoja, humjui diamond eeh muulize tanasha
@nemabaya1382 жыл бұрын
Utaachwanpia ww
@michelinemapendo66522 жыл бұрын
kabisa
@safarisafari73882 жыл бұрын
Hizi ndoa zenu naona zinalaana ndani hazina baraka kabisa......hazina maisha
@ramadhanmohamed17122 жыл бұрын
Kuma wew laana yako mwenyew
@safarisafari73882 жыл бұрын
@@ramadhanmohamed1712 kuma sina nipelengine ndugu yangu
@antonywilliama2868 Жыл бұрын
@@ramadhanmohamed1712 ww ni mpuuzi matusi ya nn
@justerick10742 жыл бұрын
In Tanzania, Diamond platinumz is bigger than the president
@ramarauhkhan28472 жыл бұрын
Hello Bw. Vipi? Si kwamba namtafuta Zuchu eti kisa ni star, eti kisa Ana hela, eti kisa yupo single hapana. Ni kwa sabu nampenda Zuchu
@musiclyrics11312 жыл бұрын
Kiki tu hawana jipya mwanaume Ni Ali Kiba tu
@saumuabdi18022 жыл бұрын
@@zulhajjj2276 mwambie kabisaa ajitambue
@pillymcharo9855 Жыл бұрын
Ana tabia kama ya mamaake ndo mana anasema ataeza uke wenza sbb na mamaake alikua nyumba ndogo Ina mana nyimbo yake ya nyumba ndogo alikua anaimanisha kitu...acha ulafi wa mapenzi humzid zari uzuri wema,hamisa Wala tanasha mavi ww
@amirmohamed27292 жыл бұрын
Zuchu wako ni kigwendu iko kwa Al jazira
@yassindegela55802 жыл бұрын
Iyo shida apo kudumu kwenye mahusiano sio kwa simba
@zainadinemanuel88842 жыл бұрын
Zuchu wewe nzuri Sana fanya mamuzi uholewe na daimond zuchu wewe
@samwelkisaka87472 жыл бұрын
Mondi na zuchu wanaendana sana
@hawahamis2232 Жыл бұрын
Napenda kapu ya zuchu na daimond mnapendaza
@uuuuiiii39172 жыл бұрын
Ww zuchu km kweli Una mausiano na Daimondi ndugu utaachwatuu huyo Daimondi anawanawake wangap kawazalisha nakawaacha utachekwa
@salimmohamed64342 жыл бұрын
Hio ndo njia yakutoka WCB
@duncanouma20452 жыл бұрын
Hyoooo penziii taooo haiwezii fikaaa mbali at kidogoo zuchu ajuiii simbaa n nanii
@danielmgonamashagona46542 жыл бұрын
That's good
@beatricemaina58782 жыл бұрын
Mind how you write your title
@freadyjackson315 Жыл бұрын
ZuChu na ravnny pigakasi ngo ma mpy
@zumemooha65042 жыл бұрын
Wanachezeana na kula bata hakuna ndoa
@isayacharles74112 жыл бұрын
isaya charles Ao nikama wanatafut kiktu
@samwelkisaka87472 жыл бұрын
Waooo zuchu mrembo cn
@edwardokumu84532 жыл бұрын
This fake captions have made me to loose trust in this media..I will never open any of its contents..
@edwardokumu84532 жыл бұрын
I even forgot to unsubscribe..I will stick to Sns who are more credible in there reporting..
@amanimapenzi5712 жыл бұрын
Hawa watu fake kabisa
@andreahujaa61262 жыл бұрын
Wish dem all best
@sniper939992 жыл бұрын
Zuchu umeanz kuongea kizungu 😂tayar eee😂
@nassoroyusuph2496 Жыл бұрын
Zuchu anaanza kuwa na stake nae axv 🤣🤣🤣
@fatemazanzibar877 Жыл бұрын
Zuchu mzur snaaaa lap u ❤️💯
@ashurahaji91152 жыл бұрын
Wasafi kwa kutengeneza kiki wanaongoza hivi mchumba wa lokole yule Yuko wapi
@damarismusyoka46092 жыл бұрын
Wonderful
@bienvenuchingawsnl35122 жыл бұрын
Ni vizuri
@faizamohamed69932 жыл бұрын
Mi naona ni Kiki tu, si mwawajuwa wasafi kwa kupenda Kiki ama scandal
@jawahirkahinmadar14592 жыл бұрын
Ukiona ya mussa usishangae ya firauni
@sweetbertsigisbertus44552 жыл бұрын
It's fine
@everever28072 жыл бұрын
Nae asijishaue wenzake walikuaje kitoto chenyewe mi hatasigaelewagi
@cabylake2320 Жыл бұрын
Nakupend saaaan zuchu
@echwazadock28902 жыл бұрын
Kila la heri🔥🔥🔥🔥🙌
@janetmuli46382 жыл бұрын
Let's wait and seee
@alantonio8552 жыл бұрын
Why napataga notifications zenu?
@eunicemwangi59612 жыл бұрын
Tunapenda zuchu but yeah na diamond apana👎👎👎👎
@MohammedMohammed-uo5sk2 жыл бұрын
pliz jamani wacheni zenu hizo ,Zuchu she is beautiful and she deserves best of the best .Let her enjoy her music world na pliz let her choose the man of her choice and don't fuck around with her feelings.plil bwana Diamond sipoa kudate na zuchu cause Diamond ashakula happy na different women's na AME enjoy na amesha invest in different ways na amejijenga so let zuchu atengeze future yake na atengeze Manisha yake then yy mwenyewe akiamuwa kuwa na mahusiano basi poa but mm naona jamani hebu tumuacheni Zuchu afanye musiki when the right time comes nasema hivi zuchu olewa Acha hii mambo ya zina yatakutia keenye ukorofi dada ok.ilove you and Ur music too.#Keep on doing straight way and will make it to the top of the top.ok
@pilimwanza81172 жыл бұрын
Zuchu ni part ya KIKI inayoendelea na sijui kwa nini amekubali hivyo. Uko kwenye lebo kwa madhumuni mengine unaburuzwa tuuu. Hata hizi interview ni za kupanga all scripted nani aseme nini. Ujinga tuuuuu unawasumbua. Kwa nini kina Ray na Rommy Jones wana comment shemeji kwenye picha za Zuchu huko social media. Hapa wa kumlaumu ni Zuchu na sio mtu mwengine pengine anakuwa involved kwa sababu tu kasainiwa ila hii ni against mikataba. Kuburuzana WCB way
@latifasasha53262 жыл бұрын
We don't complain sema apo Kwa mondi wanamuonea tu uwongo mondi anapenda Vitoto vimewaka na vishape kalikali apa Kwa zuchu wanamuonea TU ila zuchu Ana mwanaume wake TU pembeni inshallah atatutambulisha very soon.
@naicekawambwa4473 Жыл бұрын
Hongera
@plugtv81972 жыл бұрын
Waswahili bana😂😂
@ummutaswaufi39802 жыл бұрын
Kichwa cha habar tofaut na maongez
@thureyaseif71432 жыл бұрын
Jamani mbona mtoto huyu anaonesha ako na mdomo mchafu wala hana haya hata kidogo, huyu itakua shida sana kuishi na mume
@habbyhalawa52662 жыл бұрын
Kwakweli😎
@whimsymaverick30572 жыл бұрын
Jifunze Kiswahili. Mmoja ni WIMBO. Nyingi ni NYIMBO. Nisisikie tena mtu anasema nimeimba NYIMBO moja safi. TUMEELEWANA? YOU UNDERSTAND?😆😆😆
@thureyaseif71432 жыл бұрын
@@whimsymaverick3057 to hell with your nyimbo
@whimsymaverick30572 жыл бұрын
@@thureyaseif7143 You want to go to hell go ahead. Who's stopping you? Think you are good enough to hurl insults try me.😈😈
@hf03472 жыл бұрын
Jamani nawatakia maisha marefu
@blacklaus7989 Жыл бұрын
Nawapenda sanaa uaneni
@somandamwenyemvutotz84952 жыл бұрын
Tamu sana
@davidijames12462 жыл бұрын
Ni sahihi sana
@namongamunyama43282 жыл бұрын
Mbona ana rafuzi ya diamond kwa mbali. Kwenye kuongea
@mrmgalamgalatia84682 жыл бұрын
Ndoa kaz jamn karibu kwenye chama cha wajanja
@anitaanifa-oj4iy Жыл бұрын
Kwakwel zuchu anampe diamond xn
@lovecute84172 жыл бұрын
Mbona hii inter view ya mda jmn sio ten days
@fatmamohd75692 жыл бұрын
Zuchu apa afanana na dora
@isayatv13612 жыл бұрын
Achana na vitu vya dunia niyamda
@baimarrajahbuayan62372 жыл бұрын
Mmmmmmmm, Sijui yetu macho
@hf03472 жыл бұрын
Jamani nimeipenda xana
@angelakaranja66522 жыл бұрын
Why put the wrong headline
@nyiramanastephanie78602 жыл бұрын
Hata hapa Kigali anapendwa Sana. Mimi namuaminia ni mstarabu. Tena mrembo.
@evermoris27942 жыл бұрын
Asante karb tz
@AbdulKadir-pb1xm2 жыл бұрын
hongera
@Kwazulu12 жыл бұрын
Aliyemushauri Zuchu kuvaa hiyo miwani Mungu anamuona.