#ESMA #JUMALOKOLE Channel hii ipo kwaajili ya kukupa updates zote TANZANIA. Tu follow instagram @bingoonlinetz Official number 0674777784 0716671648
Пікірлер: 53
@videlialabeka48995 жыл бұрын
Esma nakupenda bure Big sister to Diamond
@Noah-se3ni5 жыл бұрын
Kweli kabisa Juma hunachokisema hongerasana kwenu nyote wasafi for life👏👏🐯 well done ESMA Kahongeya vizuri sana hukweli husemwa💑💑💯👏🐯
@junemuchiri6095 жыл бұрын
Mi nimkenya lakini hiki kimtu lokole nakipenda Sana😂😂😂😂,Yuda Escariot pia kidame kisupu na udaku number one😂😂😂😂😂
@landrinebagalwa59195 жыл бұрын
Nakupenda kabisa dada Sasa kwa nn ma wifi zako hawa fate tabia yako Yani na furaiya sana unavyo ongea Big up my dear 💖💖💖💖💖
@nassirmasoud60975 жыл бұрын
Familia nzima ya Diamond mna macfa.punguzeni cfa mumllekee Mungu wenu dunia hi iko ukingoni
@ladymashaallahilikeuaadvis9975 жыл бұрын
Lakini nyinyi watangazaji wa Tanzania muwanafiki, Yani wachonganishi sana lakini esmaa napenda majibu yako Masha Allah
@zabibunduwimana46125 жыл бұрын
Esma ameongeya vizuri sana
@mwanahalimamwachili96795 жыл бұрын
Safiiii sanaaaa Esma.
@nassirmasoud60975 жыл бұрын
Natamani Diamond ungeiga mfano mwema wa Mzee Yusuff/Swabaha Salum/Rukia Ramadhan na wengine km hao
@youngshiner1725 жыл бұрын
mbn "kwahiyo" zipo nying xn😃😃😃 , km umegundua esma hajaelewek wek like apa
@patricepajo56235 жыл бұрын
Esma nakupenda sana, yuda
@khadijaamour76545 жыл бұрын
Mbona baba hapewi uyo mama anamshikia tu izo nyumba
@zulekhasaidi84965 жыл бұрын
Ok
@raziambwana21455 жыл бұрын
Unaakili sana Esima
@sadiaabed66875 жыл бұрын
Esma wasema kweli lazima umchunguze ww muoga kama mm
@ROSEROBERTROBART5 жыл бұрын
Now you are talking madam esma ni kweli kabisa
@nimky14225 жыл бұрын
Eeeh jamani esma future gani we mwenyewe bi kizee
@user-xi1pi4zr3b5 жыл бұрын
Esma umeongea sana mpka umemsema jackln wolper ilo gari la kwako we na range wp na wp akiiona hii itamkata sana sio poa.
@louxonmedia5 жыл бұрын
kama umesikia Maradhi badala ya Malazi gonga like 😂😂😂
@mariammichael97735 жыл бұрын
Mbona kaka yako anachezea tu watoto wa watu kila kukicha? ? hata wew bas ukubali kuchezewa
@zeyanahmuhammad48975 жыл бұрын
Tatizo hao wanaochezewa wamekubali au diamond aliwateka eee sasa esma kosa lk nn wkt wanatongozana aliwepo 🙄
@nassirmasoud60975 жыл бұрын
Diamond tumeona Birthday ya mamako na zawadi zake tumeziona tunasubiri Birthday ya Babako na zawadi gani utampa?
@bongoslavnzurimic29835 жыл бұрын
Nassir Masoud wewe babako umemfanyia?
@fatmanahay99805 жыл бұрын
@@bongoslavnzurimic2983 😂😂😂point
@stevemwakisimba59865 жыл бұрын
Wewe ya baba yako tutaona lini?achani kumpangia mtu!hata asipotoa kwani we unaumwa?mko bize na diamond du!
@biashaallyally37015 жыл бұрын
Walah esma simuelew kabisa mfyuuuu
@susymuganda63265 жыл бұрын
This lady is beautiful and intelligent
@videlialabeka48995 жыл бұрын
Shida sio Diamond.shida ni wanawake A man dates a woman and so it is ul to you to decide whether you will accept or refuse The problem is us women in that tukitongozwa mara hiyo twaingia na kichwa na miguu yote just because of money then later we regret We also saw texts za yule msichana alimkatia Mond na labda kuna wengi So let's blame him and us as ladies also
@JanetRosesB5 жыл бұрын
Kwanza ule wa eldoret mwenye Ana mtoto wake msmart but dem amechapa woyee
@videlialabeka48995 жыл бұрын
@@JanetRosesB hiyo story ni kweli?wah
@leatitiamirimba45465 жыл бұрын
Nakupenaka esma vile unaongeyaka siyo kilakitu mutu aweke inje
Usishangae Lokole anakula vitu hapa dadeki. Halafu Esma ana ny*ge balaa
@diahemed94715 жыл бұрын
Mbona kakako anabadir km nguo mshaur na mond
@saidali22355 жыл бұрын
Kwanini usiwe wewe juma lokole unawaja wanaume wewe vp mzima
@priscamasanga21005 жыл бұрын
Anaongea ila akili yake haipo hapo anamambo mengi huyo
@janethjustin52565 жыл бұрын
Umeona eeeh 😁😁😁
@abuuthurayyaaazzaramiyyu96955 жыл бұрын
Huna lolote
@helenkambi39185 жыл бұрын
Mwali mwali huyu huna lolote kujidai tuuu
@abdulhamidmshana46185 жыл бұрын
Dangote? Acheni ujinga nyie
@mussadeo84165 жыл бұрын
Sw
@louxonmedia5 жыл бұрын
kama umesikia Maradhi badala ya Malazi gonga like 😂😂😂
@videlialabeka48995 жыл бұрын
Shida sio Diamond.shida ni wanawake A man dates a woman and so it is ul to you to decide whether you will accept or refuse The problem is us women in that tukitongozwa mara hiyo twaingia na kichwa na miguu yote just because of money then later we regret We also saw texts za yule msichana alimkatia Mond na labda kuna wengi So let's blame him and us as ladies also
@louxonmedia5 жыл бұрын
kama umesikia Maradhi badala ya Malazi gonga like 😂😂😂
@louxonmedia5 жыл бұрын
kama umesikia Maradhi badala ya Malazi gonga like 😂😂😂