BREAKING: Mahakama ya Kisutu imemuachia huru Yusuf Manji

  Рет қаралды 206,155

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeamuachia huru Mfanyabiashara Yusuf Manji katika kesi ya uhujumu uchumi baada ya Mkurugenzi Mkuu wa Mashtaka (DPP) kuwasilisha hati akionyesha kutokuwa na nia ya kuendelea na mashtaka dhidi ya Manji na wenzake.

Пікірлер: 300
@juliusfrancis6586
@juliusfrancis6586 7 жыл бұрын
Jaman anae mkubali manji,hembu like hapo jaman
@rosemaryjoseph8001
@rosemaryjoseph8001 7 жыл бұрын
Am happy so Happy nothing to say nilikuwa naumia sana thanks God pole Sana manji
@zaudatmakula3454
@zaudatmakula3454 7 жыл бұрын
rosemary joseph Ameen hata mimi nilikuwa nikimtizama nalia MUNGU NI MKUBWA
@kissatuagusto2246
@kissatuagusto2246 7 жыл бұрын
.......daaaaah,tulikumic wanayanga Manji, you are back now,plz karibu mwanayanga...!tunakupenda Sana...plz mkwasa give him a special respect.. We love you Manji....!!
@daybrelimite6126
@daybrelimite6126 7 жыл бұрын
Mungu ni mwema, atimae huko huru Mr. asante Mungu kwa kuwa mtu huyu amekuwa huru
@francisngole5171
@francisngole5171 7 жыл бұрын
Daybre Limite pole manji
@zaudatmakula3454
@zaudatmakula3454 7 жыл бұрын
Daybre Limite Ameen kwa kweli kateseka 😭😢😢
@hongerakkachawasemewwkzbut4996
@hongerakkachawasemewwkzbut4996 7 жыл бұрын
Alihamdulillah mungu nimwema manji nimekuombea dua sana naimani hata mungu ameyasikia maombi yetu.
@bakariomary320
@bakariomary320 7 жыл бұрын
Hongera manji,,,,pole pia kwa kupitia wakati mgumu
@mamatuishi-mamatuondoke8822
@mamatuishi-mamatuondoke8822 7 жыл бұрын
Uhimidiwe mfalme wa amani kwa mingi miujiza kwetu sisi wanadamu
@aishanaringa2059
@aishanaringa2059 7 жыл бұрын
Mungu mkubwa daaaahhhhhh aiseeee
@victorkaaya7154
@victorkaaya7154 7 жыл бұрын
Ya Mungu makubwa...Hongereni mawakili wetu kwa kazi nzuri
@geofreybernard7313
@geofreybernard7313 7 жыл бұрын
Pole Manji,mungu mkubwa
@gracegolden5595
@gracegolden5595 7 жыл бұрын
pole sana baba...Mungu amekusikia kilio chako na maombi Yetu tukupendae. haikuwa raisi ila ni Mungu tu amekusaidia. Mapito uliyopitia ni makubwa sana. asante Mungu kwa kutenda haki.
@zaudatmakula3454
@zaudatmakula3454 7 жыл бұрын
Grace Golden AMEEEN MUNGU WETU NI MWENYE HURUMA
@hosearwechungura7164
@hosearwechungura7164 7 жыл бұрын
Pole sana Manji, Mungu ni mwema, we luv you!
@godbthebigsimba-television1537
@godbthebigsimba-television1537 7 жыл бұрын
Woyoooooooooooooooooooooookoo manji yupo huruuuuuuuuuuuuuuuuuuh wozaaaaaaaaaaa...###wakwanza ku-ComenT
@ziadaalute3159
@ziadaalute3159 7 жыл бұрын
Pole Manji,Mungu katenda,jama mkumbuke ktk maisha yakilasiku nafasi ya Mungu IPO.
@kassimufakihi2532
@kassimufakihi2532 7 жыл бұрын
Allah Akbar
@janekimaro7952
@janekimaro7952 7 жыл бұрын
Asante muumba wa mbingu na nchi kwa kuwa umetenda. Hongera sana kaka Manji na pole. Jitahidi sana Kumshukuru Muumba wako na jamii ilotoa maoni mazuri juu yako hatimae umekuwa huru sasa. Naipongeza serikali kwakuonyesha uzalendo kwa mgeni huyu. Tanzania yetu ya Amani sasa tunaweza kuwakaribisha wageni japokuwa bado baadhi ya maeneo demokrasia haitumiki vzr.
@estherkhotencia2232
@estherkhotencia2232 7 жыл бұрын
Oooooh sitaki kuamini jmn...am happy kwa kweli baba wa watu is free now.
@jamily_.99
@jamily_.99 7 жыл бұрын
Mungu Ni Mwema God Is Good all the times
@umydaddy4697
@umydaddy4697 7 жыл бұрын
Alhamdulillah. Next mashekhe pia watolewe in sha Allah. Na wote walofungwa kwa kuonewa
@omarychediel1307
@omarychediel1307 7 жыл бұрын
Asante sn nwenyezi mungu manji wetu natoka kikowap mlikua mking,'ang'ania
@zaudatmakula3454
@zaudatmakula3454 7 жыл бұрын
Alihamdulillah Twashukuru mola wetu kupokea dua zetu hatimaye uko huru MUNGU NI MKUBWA JAPO HUNA UDIWAN WALA MASHAMBA UTAPATA TU USIJALI MADHALI ROHO ISALAMA UTAPATA TU
@hawaamanzi4263
@hawaamanzi4263 7 жыл бұрын
Hongera kwa mawakili wote waliompigania hadi Manji kuwa huru
@mariamfaki1166
@mariamfaki1166 7 жыл бұрын
dah pole sana
@francisngole5171
@francisngole5171 7 жыл бұрын
haki imepatikana leo manji huru
@omarymazingara7510
@omarymazingara7510 7 жыл бұрын
Mariam Faki nimefurai sana
@Himdat-wg1ut
@Himdat-wg1ut 7 жыл бұрын
Pole baba Mungu amekupigania uswali umshikilie Mungu wako kazana kuomba usiche ibada Mungu ndokilakitu.
@tectzlive6048
@tectzlive6048 7 жыл бұрын
Keep it up: Millard Ayo... Your doing Great things!!
@jadenmsafi
@jadenmsafi 7 жыл бұрын
asantee mungu
@andreamagoma8578
@andreamagoma8578 7 жыл бұрын
Maffa Hhaway asante alla
@eddyeddy6071
@eddyeddy6071 7 жыл бұрын
Alhamdulilah Allah atakulipia
@hadijabakari2563
@hadijabakari2563 7 жыл бұрын
asante mwenyezi mungu kwa hili manji bola uende kwenu maana umeteseka mno
@clarencemnenuka8269
@clarencemnenuka8269 7 жыл бұрын
Dhuuuu pole Sana. Mkuuuuu
@sweetmama3242
@sweetmama3242 7 жыл бұрын
Yesu asante kwa wema wako.
@sweetmama3242
@sweetmama3242 7 жыл бұрын
Tatrino Antony Amina.
@taharayassin6528
@taharayassin6528 7 жыл бұрын
Alhamdullillah Alhamdullillah Alhamdullillah Allah akuhifadhi
@swaumutaki9871
@swaumutaki9871 7 жыл бұрын
Alhmudillah nimefurah Manji kutoka Mungu mkubwa
@khadijambuta4360
@khadijambuta4360 7 жыл бұрын
Allah kareem
@ahmedalshammari9372
@ahmedalshammari9372 7 жыл бұрын
mungu mwema jaman pole kwa kusota manji
@mirajicharles503
@mirajicharles503 7 жыл бұрын
Ashukuliwe mungu sana kwa kuonekana mtu uyu yusuph Manji kuachiwa huru na mahakama kataabika sana kwa kweli.
@aishanaringa2059
@aishanaringa2059 7 жыл бұрын
Daaaaahhhh mungu mkubwa
@abuukilanga2249
@abuukilanga2249 7 жыл бұрын
ALHAMDULILLAH ALLAH AKUNUSURU NA MENGINEO yusuf manji YEYE PEKEE NDIO MUWEZA AMEFANYA MAKUBWA ZAIDI YA HAYO, ALLAHUMMA AAMYN
@finahmalove3597
@finahmalove3597 7 жыл бұрын
KAMA WW NI SHABIKI WA SIMBA KAMA MIMI LAKINI UMEFURAHI SANA KUONA YUSUPH MANJI YUPO HURU LIKE COMMENT HII😊🙌🙌🙌🙌🙌😘
@wemakalam9415
@wemakalam9415 7 жыл бұрын
Pole sana manji mwenyeezi ndie hakimu 👃 👃 👃
@sifasanga7866
@sifasanga7866 7 жыл бұрын
Hatatamani tena Tz pole zake sana
@mariamsuleiman3795
@mariamsuleiman3795 7 жыл бұрын
Kusema kweli nilimsomea Sana dua huyu mtu japo simjui mungu akubaliki sana
@zaudatmakula3454
@zaudatmakula3454 7 жыл бұрын
Mariam Suleiman Ameen hakika ni sote tumshukuru Allah
@sarahlithoqueen1661
@sarahlithoqueen1661 7 жыл бұрын
daah mungu mkubwa yani mpaka huku kuzimu wanamshangilia manji kwa kutoka ...Asante Mungu
@stewartmillanzi7198
@stewartmillanzi7198 7 жыл бұрын
Mungu ashukuriwe sana kwa hilo. Wasiwasi wangu ni kwamba isije ikawa ni njama za hawa wanaojiita WATU WASIOJULIKANA. ili wamletee Majanga. Ni vizuri akakaa Chonjo.
@shaabanmakki6676
@shaabanmakki6676 7 жыл бұрын
kila la kheri Manji
@makuustar3078
@makuustar3078 7 жыл бұрын
daah pole
@devothavenanti6143
@devothavenanti6143 7 жыл бұрын
hongera sana na pole sana tupo pamoja
@athonyfrancis8889
@athonyfrancis8889 7 жыл бұрын
Soma albadri Manji watambue Mungu si wa wachache
@mohamedabdallah8321
@mohamedabdallah8321 7 жыл бұрын
Dah aisee mungu mwema na huyo mkurugenzi mungu ampe maisha marefu
@hildakaaya6924
@hildakaaya6924 7 жыл бұрын
ewaaaaaaaaaaaaaaaaaaa......ahsante MUNGU
@farajakigula4715
@farajakigula4715 7 жыл бұрын
oyooooooo!!!! mungu ni mungu tu na atabaki kuwa mungu asante yesu
@bimoza9084
@bimoza9084 7 жыл бұрын
dada umewajibu vizuri sana nimekupenda
@fatmachambotanzania9379
@fatmachambotanzania9379 7 жыл бұрын
Mungu hamtupi mja wake nimefurahi sana pole sana manji
@beegee1894
@beegee1894 7 жыл бұрын
Akina dada walikuemo kwenye team yake ya mawakili? Woww safi sana hongera sana manji Allaahu akbar
@aminaally93
@aminaally93 7 жыл бұрын
Alhamdulillah pole sana jmn upumzike naww
@saidkasuwi1649
@saidkasuwi1649 7 жыл бұрын
pole manji tulikuwa tunaomba sana kwamungu hatimae Amejibu(kila jambo ni mungu
@adelinaprinters578
@adelinaprinters578 7 жыл бұрын
pole na hongera sikufahamu ila nilikuombea.
@majaliwayusuph3801
@majaliwayusuph3801 7 жыл бұрын
Allah amekubali dua zetu"HAKUNA MAREFU YASIYO NA MWISHO". At last uko huru. Allah ashukuriwe.
@vinozamhone1110
@vinozamhone1110 7 жыл бұрын
Mahakimu waliokua wanasikiliza kesi ya Mr Yusuf Manji wametenda haki
@rahmashaban8693
@rahmashaban8693 7 жыл бұрын
Vinoza Mhone... usiwatangulize mahakimu kwanza sema Mwenyeezi Mungu.
@vinozamhone1110
@vinozamhone1110 7 жыл бұрын
Rahma Shaban hilo nisawa unalosema ila naomgelea waliokua wanatoa hukumu yamahakamani that's why I say so kweli ndugu yangu
@rahmashaban8693
@rahmashaban8693 7 жыл бұрын
Vinoza Mhone.. usijali
@merynyankena3012
@merynyankena3012 7 жыл бұрын
Asante mungu wetu kama unampenda maji sema oyoooooooooo
@prettyshemsanelly4374
@prettyshemsanelly4374 7 жыл бұрын
ALLAH AKBAR ALHAMUNDULILLAH YA RABBA'LAALAMIN USHUKURIWE MUUMBA WA ARDHI NA MBINGU TUNAIMANI NAWENGINE WATAFIKILIWA SIKU YAO IPO IN SHAA ALLAH
@thadeipeter2592
@thadeipeter2592 7 жыл бұрын
Ahsante Mungu uliye hai.
@sweetnasra3613
@sweetnasra3613 7 жыл бұрын
mungu amekubali dua zetu alhamdulilah
@selinarubeni7881
@selinarubeni7881 7 жыл бұрын
Mungu akutie nguvu manji hakika palipopungua mungu atapajazia kubwa kuomba uzima2
@patriciaalphonce5767
@patriciaalphonce5767 7 жыл бұрын
pole Sana muheshimiwa maji ila mungu wetu ni mwema nime furahi kuona uko huru
@ntopangonyani6964
@ntopangonyani6964 7 жыл бұрын
Alhamdulillah hatimaye amekanyaga ardhi ya wilayani.
@jenipherayo5299
@jenipherayo5299 7 жыл бұрын
Mungu ni mwema pole sana .
@hamisindoki885
@hamisindoki885 7 жыл бұрын
Pole mh manji mungu atawalipa
@matitu_jr5035
@matitu_jr5035 7 жыл бұрын
poa sana, kaka. Mungu yu mwema!
@officialsaimonandrewmachiy5159
@officialsaimonandrewmachiy5159 7 жыл бұрын
boss pole sana mungu pekee ndio anajua karibu uraiani hata wana yanga tumekumiss sana
@fareesabdul6849
@fareesabdul6849 7 жыл бұрын
may allah bless u 4 evere..2day legend ur out..
@lilyrose7983
@lilyrose7983 7 жыл бұрын
May God be with you Manji.All the best!
@nzomukundafatuma5364
@nzomukundafatuma5364 7 жыл бұрын
Mungu asifie kweli
@mwaminindayishimiye4434
@mwaminindayishimiye4434 7 жыл бұрын
Pole sana mungu ni mwema
@kulthumually6104
@kulthumually6104 7 жыл бұрын
Mungu ni mwema hongera manji
@MrSoftBrains
@MrSoftBrains 7 жыл бұрын
Pole na Hongera
@farajampombo1981
@farajampombo1981 7 жыл бұрын
Mungu hujibu kwa wakat wake.
@bahatidan4751
@bahatidan4751 7 жыл бұрын
God doesn't sleep Manji ...muachie Mungu jasho LA MTU haliliwiii malipo hapa hapa duniani.It is well
@ibrahimsimime9189
@ibrahimsimime9189 7 жыл бұрын
Haki inapatika Kwa Mungu tuu Binadamu vichaka Mungu amsaidie ase
@athonyfrancis8889
@athonyfrancis8889 7 жыл бұрын
nimebubujikwa na machozi natamani visa iniambie kesho ndo safari ya nyumbani.Acheni Mungu aitwe Mungu . Falme na mamlaka ya dunia yatapita.GLORY B TO GOD!!!
@ods_zauakikskipenga4476
@ods_zauakikskipenga4476 7 жыл бұрын
Eti mnamwambia hongera Sana baada yakumwambia pole sana
@عايشهسعيد-ض5ذ
@عايشهسعيد-ض5ذ 7 жыл бұрын
walikua wanata mali tu manji rudi kwenu ucje ukapewa kesi ya ugaidi allah akubarik
@aishah3186
@aishah3186 7 жыл бұрын
Mungu ni mwema kila wakati usiache kuomba mungu siku zote maji
@monicasalminwangu5305
@monicasalminwangu5305 7 жыл бұрын
mungu ni mwema asante mungu kwa hili
@sabrirorbert5055
@sabrirorbert5055 7 жыл бұрын
mung ni mwena maombi yetu yamenenaa asant mung kwa wepes wako pole sana na mung atakupa zaid ya hich
@hudhud2022
@hudhud2022 7 жыл бұрын
Sabri Rorbert Naam baada ya kumnyang'anya kila chake
@hudhud2022
@hudhud2022 7 жыл бұрын
Sabri Rorbert Naam asubuhi hii ya leo tumemuombea MMungu awahizi wote walio dhidi yake aaaa Tanzania yetu dhulma zimezidi kila pembe MMungu awape ujasiri ma dpp wote wawe na mioyo ya kumuogopa MMungu na wawe waafilif katika kusimama pamoja na wadhulumiwa na tunamuomba tena na tena MMungu awape uadilifu kwenye kesi ya viongozi wa Uamsho pia walione hili haraka
@sylviamoisso7132
@sylviamoisso7132 7 жыл бұрын
Asante mungu baba wa mbinguni
@juliusfesto6232
@juliusfesto6232 7 жыл бұрын
Pole sana manji🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@witenessrichard2116
@witenessrichard2116 7 жыл бұрын
safi sana mungu amekupigania
@nadeerkhamisabdallah2849
@nadeerkhamisabdallah2849 7 жыл бұрын
wawooo manji huru wamemuachia japo kuwa washamzulum ila mungu yupo wawowooooooi
@winnifridahdaudi9680
@winnifridahdaudi9680 7 жыл бұрын
Nadeer Khamis Abdallah mungu mkubwaa na mungu ndo msemaji wa mwisho
@zeinabsalehe8937
@zeinabsalehe8937 7 жыл бұрын
daaah mungu nimwema sn nimefurahi mnoooo manji kutoka
@ishimweaisha4032
@ishimweaisha4032 7 жыл бұрын
Mungu nimukubwa
@dissmeddy3117
@dissmeddy3117 7 жыл бұрын
God bless yuh
@joyeemollel2092
@joyeemollel2092 7 жыл бұрын
Thanks God
@natashaally192
@natashaally192 7 жыл бұрын
nimelia kwa furaha.....alhamdullilah
@sabrirorbert5055
@sabrirorbert5055 7 жыл бұрын
amina rehana
@wemakalam9415
@wemakalam9415 7 жыл бұрын
Said rashid ammeen
@maggiemwambapa900
@maggiemwambapa900 7 жыл бұрын
Mungu si mwanadamu hatimae uko huru kaka.
@zubedazubeda2041
@zubedazubeda2041 7 жыл бұрын
Pore
@denistz1530
@denistz1530 7 жыл бұрын
pole sana
@kingmasambu6423
@kingmasambu6423 7 жыл бұрын
Daah bora aisee
@rehemajoseph1352
@rehemajoseph1352 7 жыл бұрын
ashukuriwe Mungu aliye juuu
@khalifaomari8102
@khalifaomari8102 7 жыл бұрын
alhamdulillah, Allah Kareem hatimae yametimia manji kuwa huru. mwisho wa ubaya ni aibu!! karibu uraiani na YANGA bado inaitaji mchango wako. swali swala ya sunnat shukru kwa kuwa huru
@superwomanmwenyeheri.1367
@superwomanmwenyeheri.1367 7 жыл бұрын
God is great!!!!
@nicolauszabron8283
@nicolauszabron8283 7 жыл бұрын
IKO SIKU MALIPO NI HAPA HAPA DUNIANI AMEN
SPIKA TULIA AFOKEA WAZUNGU ULAYA “NIHESHIMUNI MIMI SIYO MUNGU”
8:51
Kluster Duo #настольныеигры #boardgames #игры #games #настолки #настольные_игры
00:47
Это было очень близко...
00:10
Аришнев
Рет қаралды 2,8 МЛН
Dakika 30 za Mtanzania Hallen aliyetajwa FORBES kuwa Bilionea ajae
32:50