BURIANI MAALIM: Nisalimieni Kipenzi (Ushairi)

  Рет қаралды 7,857

Gumzo la Ghassani

Gumzo la Ghassani

3 жыл бұрын

Muendao Nyali, mahabuba wetu, kumtembelea
Mwambieni hali, maishani mwetu, alotuwachia
Ngumu kwelikweli, hatuwezi kattu, kuja izowea
Bali twashukuru
Hatumkufuru
Ilahi Ghafuru, aliyemuita, akamwitikia!

Пікірлер: 24
@mamyabui437
@mamyabui437 Жыл бұрын
Allah amsameh madhambi yake na wazee wetu wote waliotangulia na kila mja wa,kiislamu
@chamritaabdul1592
@chamritaabdul1592 3 жыл бұрын
Alhamis ilopita SAA kma izi kipenzi chetu maalim seif,kashatuachisha😭😭😭😭M. Mungu amjaalie makazi mema.
@Itzurfavpetpo
@Itzurfavpetpo 3 жыл бұрын
Ameen
@fatmasaid9765
@fatmasaid9765 3 жыл бұрын
Allah a msamehe madhambi yake na wazee wetu wote waliotangulia mbele ya haki Allah awasamehe
@Itzurfavpetpo
@Itzurfavpetpo 3 жыл бұрын
Ameen
@hajjism
@hajjism Жыл бұрын
Shukran na dua kwa marehemu wetu kwa ujumla.
@MohamedMohamed-fz5qh
@MohamedMohamed-fz5qh 3 жыл бұрын
Allah amjaalie pepo ya juu kabisa mzee wetu!
@ahmedkhamis9539
@ahmedkhamis9539 3 жыл бұрын
Allah akupe pepo ya firdaus
@rayurayan543
@rayurayan543 3 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭 mpk leo tunalia Allah tupe subra
@fatmas7338
@fatmas7338 3 жыл бұрын
Allah akupe qaul thabit kiongozi wetu na akuswameh makosa yako
@alimsabah4921
@alimsabah4921 3 жыл бұрын
Hakika tumeondokewa zanzbar wkt ambao bdo tulikua tunamhitaji Màalim Alla amsameh dhm zke aaamiin
@mwajumashauri9674
@mwajumashauri9674 3 жыл бұрын
Wallah litiee nuru kabri yake
@a.856
@a.856 3 жыл бұрын
Allah amrehem amsameh na amlaze pema na wema amin
@saidfabiano9588
@saidfabiano9588 3 жыл бұрын
Allahummaghfirlahu warhamhu waskinahu fil jannah Allah akubariki uliyetunga hii na akuzidishie ujuzi maradufu maneno mafupi lakina matamu snaaaaaa
@ahmadgharib9886
@ahmadgharib9886 3 жыл бұрын
Asalam aleykum Akhiy nimekuwa nafatilia Sana Gumzo ni nzuri sna na zinatungua macho na tunafaidika nazo.ombi langu kwako Ile music Bora ungeindowa Ukaweka chengine Bora zaidi .hayo nimaoni yangu.
@abdullahomarabdullah322
@abdullahomarabdullah322 3 жыл бұрын
Shukrn Mohd Khelef Ghassan kwa faraja yko allah atuzidishie subra na amraham kipenz chetu...
@salimsuweid1499
@salimsuweid1499 3 жыл бұрын
Twabugujika kaka ghassani
@burhantvtzonline5417
@burhantvtzonline5417 3 жыл бұрын
Allahumma ighfirlahuu waskanahu fil JANNATUL firdaus a'alaaa minal jannat
@ahmedmarhaba6336
@ahmedmarhaba6336 3 жыл бұрын
Huu msiba hausahauliki
@fatmas7338
@fatmas7338 3 жыл бұрын
Kaka ushauri wangu usiweke hivi vinanda
@fatmasalumu5004
@fatmasalumu5004 3 жыл бұрын
Subhanallah
@masoudyrashidy9041
@masoudyrashidy9041 3 жыл бұрын
Allah ampe shifaa ktk malazi yake
@dullahmihuri
@dullahmihuri 3 жыл бұрын
Kaka Muhammad assalam allaikum. Kuna ushauri natumai utaufanyia kazi. Hongera sana, MashaAllah, Allah akubarik, kazi zako ni nzuri sanaaa. Ila kuna jambo binafsi nashindwa ku share ninaposkia IZO ALA ZA MUSIC. Naomba kama kuna mbadala wake ujaribu hwenda ikatokea kilichobora zaid ya izo ala. Asante sana kaka angu. Nakupemda kwa ajili ya Allah.
@salmaabdulla7797
@salmaabdulla7797 3 жыл бұрын
Subhanallah
BURIANI MAALIM: Huzuni Zimetuvamia (Free Verse)
5:05
Gumzo la Ghassani
Рет қаралды 1,6 М.
Inside Out 2: Who is the strongest? Joy vs Envy vs Anger #shorts #animation
00:22
Double Stacked Pizza @Lionfield @ChefRush
00:33
albert_cancook
Рет қаралды 85 МЛН
UWAPE wamtafuta mlezi wao kwa udi na uvumba
8:34
Gumzo la Ghassani
Рет қаралды 128
Historia ya  Kumbukumbu za  Mapinduzi ya Zanzibar
10:24
Iddi Mtumweni
Рет қаралды 300
Je, Wairaqw wa Tanzania wana asili ya Kiarabu? | GUMZO NA WALIMU WETU
13:49
Ida Hadjiyavanis adhamiria kuzirejesha kazi za Gurnah  nyumbani
15:32
Gumzo la Ghassani
Рет қаралды 972
Bi Mariam Hamdani, kichwa kilichojaaliwa mengi | GUMZO NA WALIMU
1:13:35
Gumzo la Ghassani
Рет қаралды 4,3 М.
Ali Karume Ccm Wamesahau Mema Yangu
7:56
Anania Junior
Рет қаралды 6 М.
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
0:26
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 20 МЛН
LEVITATING MAGIC REVEALED 😱😳
0:18
Milaad K
Рет қаралды 33 МЛН
Mother Cat Drinks Lots of Coffee to Get By #funny #catlover #cuteanimals #cartoon
0:21
Super Emotional Stories
Рет қаралды 13 МЛН