Amina mungu akuinue zaind sana akupe moyo wa ujasiri
@justicemwakikung8768 ай бұрын
Amen mtumishi Bwana nikweli Hawa nima agent washetani.Kwanamuna nyingine nima devil worshipers, false prophets, false teachers, false apostles and false pastors.
@HAPPYSULE8 ай бұрын
Tamaaa ya mafanikio inatesa wengi,ila mtumishi usikate tamaa yesu anawakomboa wengi kupitia mahubili yako, barikiwa sana na Mungu.
@Ruthkavutha037 ай бұрын
Bwana yesu akulinde na akuzidishie
@Glo-k4x20 сағат бұрын
Tama ya pessa yatatereka wengi motoni
@ManotiMabanza8 ай бұрын
Mungu. Atawanyosha. Acha. Mungu akupe ujasiri. Nakesho. Toboa. Siri. Zagiza. Tuokorewe. Mungu jifunue🙏
@Neemajolamokataly2 ай бұрын
Mtumishi mi naka dr es aram je m naka kuw nasari kwko m nimtumikie mungukwenye madhambahu yako je iko wap kwauku dr es aramu
@JanetMachuma7 ай бұрын
Amen lord mtumishi wa mungu ubarikiwe kwa kuongea ukweli wewe ntuwe tunaendana nawe endelea kuhubiria tuelewe hati tamati AMEN LORD
@MeshackDaniely6 ай бұрын
Mungu mulinde mtumishi wako aendelee kunena nakuhubilii injili mungu mpiganie ameeen
@suzan47123 ай бұрын
May God bless you mtumishi , na akulinde Kwa kila Jambo mbaya 🙏
@ShedrackbwanaafyacomShed-ph9zf7 ай бұрын
Kaka yangu pascal nakuombea sana mm niko nawe katika kukemea zambi nawimbo kuonyesha niko nawe
@Rashid-vm1fk8 ай бұрын
Macho yetu yako wazi lakini hatuoni,tuna masikio lakini hatusikii,tunahakiri lakini hatufikiri Ee Mungu tusaidie, barikiwa sana Mtumishi wa Bwana
@alexsanga86027 ай бұрын
❤
@EngamoSadiki8 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa BWANA WA MAJESHI, hakika watu hawatambuwi nyakati
@MGALILAYABillionaire8 ай бұрын
Ubarikiwe sana Mtumishi na Mungu azidi kukufunulia siri za mbinguni ili kuwafungua wengi walio gizani.
@paschalcassianoriginal94118 ай бұрын
KWA WALE AMBAO HAMKUTAZAMA MASOMO YALIO PITA MIEZI 6 ILIO PITA YANAENDA YANAPANDA UPYA KWA LENGO LA KUKOMBOA ROHO ZILIZO POTEA AMBAZO HAZIKUFANIKIWA KUSIKIA PAMOJA NA HILO KWA WALE BADO WANA TAKA CHANGIA MADHABAHU MSICHANGIE TUSHA FUNGA CHANGIZO NA MADHAHABAHU ITAKUWA TAYARI MDA SIO MLEFU LABDA MTU AKIWA ANATAKA KUMTUMIKIA MUNGU KWA MACHANGIZO YAHUDUMA KWA SABBU NYUMBANI MWA BWANA KWAHIGAJIKA VITU VINGI HIVYO UNAWEZA UKATUMIA NO HIZO HIZO BWANA AWABARIKI MLIO WAHI KUSIIKIA MASOMO HAYA NA WALE NDO KWANZA MNAAZA KUTAZAMA MUNGU AWABARIKI SNA MOJA YA SOMO MHIM LILILO JIRUDIA NDIO HILI MUNGU AAWABARIKI
@elbaricktv16328 ай бұрын
Fanyia kaz ilo suala la saut za background hazipo sawa saut ya mafundisho haitok vzuri
@PanAfricanistmawesa7 ай бұрын
Fanya kazi ako,acha wivuuuuuuuu
@jewelmabhenga47427 ай бұрын
Wewe ni taira tu kutukana watumishi wenzio nilikua nakuheshimu kumbe ni taira acha kutafuta sifa Kwa mademu, unatafuta umaarufu tu na sifa Kwa mademu.
@geitandelwa2998 ай бұрын
Yaani ww MUNGU AKULINDE MOOYO INAUMA ILA MUNGU ATENDE JAMBO WATU WANAANGAMIA NA JEHANAMU YA MOTO INASUBILI WATENDA DHAMBI OLE WETU SS NA WATOTO WETU DUNIA IMEFIKA PABAYA MNO
@elishaddaipeter65218 ай бұрын
1 Yohana 3:10 hongera mtumishi wa mungu, uko sawa kabisa katika mahubiri yako
@tatudavid10148 ай бұрын
Mwenyez Mungu aendelee kukutumia, kwa hakika hatuoni tumeshupaza shingon kwa vitu vinavyopita
@Pendopasilika8 ай бұрын
Wewe ni mwana wa MUNGU kweli alikuokoa kutoka kwenye ufalme wa Giza ili umtumikie na ndio maana shetani alitaka kupoteza dah kumbe aliona kitu kikubwa sana ambacho MUNGU alikiweka na ndo hiki tunachokiona MUNGU akubariki sana mtumishi wa MUNGU
@FrediMolell-ql9sg8 ай бұрын
Amina
@Frenk-f9l7 ай бұрын
Kwelikweli
@Musa-vv2mz7 ай бұрын
Ubarkiwe san mtumishi wamungu
@Pendopasilika7 ай бұрын
@@FrediMolell-ql9sgAmina mtumishi wa MUNGU
@Pendopasilika7 ай бұрын
@@Frenk-f9lBarikiwa mwana YESU kwa uelewa
@Neemajolamokataly2 ай бұрын
Amina mchungaji uongo umezindi
@PierreRASHIDI8 ай бұрын
Ubarikiwe mchungaji 🎉🎉mimi ni Evangiliste imani bujumbura
@AnethHaule6 ай бұрын
Mungu atusahidie🙏sanaaa
@savemeallah51807 ай бұрын
Mungu akufanyie wepesi kwakila jambo amina nikweli endelea kusema ukweli maana manambi wauongo wamekua wengi kwaupande wa watoto nimitiani kwakila mzazi
@SiliviaJohn-b6fКүн бұрын
Ubalikiwe mtumishi wa MUNGU Tete injili ya bwana piga kelele usiache hakika utapokea taji ya uzima
@jovettedenise25918 ай бұрын
Amena barikiwa mutumishi wa Mungu🎉🎉🎉
@LeahLuhwavi-pd6cz8 ай бұрын
Ubarikiwe 🙏 Bwana Yesu akutunze🙏
@agnesmbula52618 ай бұрын
Ur ryt...hta mi sikubaliani Na hizo nyundo kabisa...Mungu afungue Hao washirika macho
@user-st5mj6rt3q8 ай бұрын
Barikiwa mtumishi wa mungu
@SuzanJoseph-vk3bb8 ай бұрын
Yani wew mchungaji sijui pasta ubiri watu wampokee Mungu si ukosoe watumishi wa Mungu, unangalia majungu ya watu we ni nani na sioni ata unacho ubiri ayo ni mavazi yanakuhusu nini we unaroho sasa ya Mungu wew mkamilifu acha kudanganya watu
@ministermossesmungure8 ай бұрын
Mungu akusaidie sana uijue Neema na Kweli yake katika namna ya Hekima na Ufahamu wa Yesu ndani yako Ndugu yangu wathamani Sana Paschal 🙏🙏🙌🙌🙇🙇🙏🙏
@ekiliangoliga6447 ай бұрын
Nashukuru Mungu kwakunipa Neema ya kukusikiliza wewe mtumishi wakweli
@emilykavira30788 ай бұрын
Mungu tujaze nguvu katika Safari yakwenda mbinguni
@tatudavid10148 ай бұрын
Amen!! Asanteeee mtumishi 🙏🙏
@SuhailaSintamei8 ай бұрын
Amina mtumishi wa Mungu,, barikiwa sana
@GodfreyJames-zt6ig7 ай бұрын
Uko sawa mtumish wa mungu huyo nabii mkuu htammi sijawai mkubli hta kdgo
@salimajosephine16738 ай бұрын
Ubarikiwe kakangu mtumishi wa Mungu
@Williamjsichalwe8 ай бұрын
Neema ya mungu iwe juu yako kwa kila ulitendalo likafanikiwe
@CHRISTIANO-q4r8 ай бұрын
Mtumishi wa MUNGU akulinde na hakupe nguvu za kuendelea kuhubiri ujuo wa YESU kristo na kufichua udanganyifu wa mitume na manabii
@RamadhaniMusa-jg2cu6 ай бұрын
God bless you 🙏🙏🙏🙏🙏
@Mamantontine7 ай бұрын
Mungu atupe ushindi kabisa
@PeterAdam-o3k8 ай бұрын
Nipo kisogo na mimi namuoba sana mungu awafugue ufahamj maana wametekwa ufahamu
@FurahaKanu7 ай бұрын
MUNGU wa mbinguni azidi kukutumia ubarikiwe sana kwakusema ukweli
@innocentoisso75157 ай бұрын
Mungu akusaidie usidi kusema ukwel huuo
@rechokusilimka57396 ай бұрын
MUNGU FUNDI,,lazima Mungu atamleta hata mmoja kati ya wengi ambaye atasimama nakusema ukweli bila kuogopa
@agnesmbula52618 ай бұрын
Hkika tuko ukingoni Mungu atujalie mwisho mzuri
@godfreymakoi98497 ай бұрын
mtumishi tafuta ujumbe wako, acha kuhubiri watumishi wengi sio habari njema
@YoakimMsuha7 ай бұрын
Kabisa
@AlexPolo-nx7sr8 ай бұрын
Endelea kutuelimisha maana wengi kweli hawailewi Amina ev. Cassian .
@nadiatanzania8 ай бұрын
Ubarikiwe mtumish wa Mungu Mungu akutunze 🙏🙌
@EzronRington6 ай бұрын
Mamb
@nadiatanzania6 ай бұрын
@@EzronRington poa
@NyamhangaJuma-v7l5 ай бұрын
Mtumishi madhabahu Yako yapo wapi moyo unanisukuma nije kusali kwenye madhabahu yako.
@emanuelmkama13258 ай бұрын
Nabii mkuu ni Yesu tuu, huo n ukwel kabsa wengne wanajpa uungu hao nisaw na akna pharao
@moseshaule5868 ай бұрын
Yesu sio nabii, usimshushe hivyo, Nabii ni mtumwa tu.. Yesu ni Mungu tena ni Mungu mkuu na biblia inamtaja kuwa ni Mungu mwenye nguvu. Msibabaishwe na mtu kujiita nabii mkuu hicho cheo ni kidogo sana mbele za Mungu..
@emanuelmkama13258 ай бұрын
@@moseshaule586 hahahahaha Nmtume nani ilsikika Ivo na kweny bible IPO yesu akasema ntume mm ntume baba VP apo sio nabii? Baba akikupendeza kikombe iki kiniepuke alkuw anamuomba Nan? Kama yeye ni Mungu, ndo maana Kuna Mungu baba,mwana na roho elew uyo Devi sio nabii Wala ni nn niwale wafanye biashara tuu na wapo weng snaa Soma Mathew 24
@agnesmbula52618 ай бұрын
Mungu azidi kukuficha Na kukutetea
@elbaricktv16328 ай бұрын
Tunapenda kusikiriza mafundisho yako lakn hizo saut za vyombo vyako vya matangazo haziko sawa kabisa ebu fanyia kazi ilo suala izo saut background haziko sawa kabisa ni ngumu mtu kukuelewa unaongelea kitu gan
@AmaniKasekwa-uw8hp8 ай бұрын
Mungu ndiye ajuwae
@newbornhaule8 ай бұрын
MUNGU AKUSAIDIE NI SAUTI YA MTU ALIYAE NYIKANI
@Blessing_uk8 ай бұрын
Mungu akutie nguvu mtumishi
@MatokeoEmmanuel7 ай бұрын
Amina
@AffectionateGuitarAmp-hp5vk7 ай бұрын
Wapiye hukweli kabisa amen amen
@melanialeonard40318 ай бұрын
Mayowe mengi hizo ni biashara sema mmezidiana mtaji kwahyo msiwe mnasema watu pambaña na yako lakin mungu ndie hakimu wa haki
@Neemajolamokataly2 ай бұрын
Mm nanushukuru nungu kwkumi 9:17 9:17 liki
@Neemajolamokataly2 ай бұрын
Amina mungu mwema anatupenda sana kwkutuinulia mchungaji kama ww
@PeterAdam-o3k8 ай бұрын
Kweri kabisa yani mungu
@ShedrackbwanaafyacomShed-ph9zf7 ай бұрын
Nitafute kwa jina shedrack bwana afya wimbo unaitwa mimi ni yule yule siwezi kuiabudu sanamu
@DominicaUggy-em8vc8 ай бұрын
Mungu akulinde. Mmebaki wachache wa namna Kama yako Tanzania.
@MariamByaese8 ай бұрын
Amena kubwa
@haillenyapesa95038 ай бұрын
Mtumishi punguza mziki unakuwa juu sana
@CHRISTIANO-q4r8 ай бұрын
Sasa huu ndio mwisho wa dunia Enjiri iendelee kuhubiriwa hatari yote yaliyotabiriwa yametimia
@AfwilileNisaidie7 ай бұрын
Hatuhukumu ila nabii mkuu mwamposa zumaridi na wengine je wanamwabudu Mungu ama VP
@HazardHbcomEmmanuelprodduseign8 ай бұрын
N'est juge pas pour que vous n'est serez pas jugé attention prêché se que tu crois en lui Dieu aie bon 🇨🇩.
@johnmagwaza76397 ай бұрын
HUYU CASSIAN NI MGONJWA WA AKILI KABISA , NAOMBA WATUMISHI WA MUNGU MUMSAMEHE
@PillyItuka7 ай бұрын
Ameen mtumishi wa Mungu
@SusanaSimoni8 ай бұрын
Waovu wengi ndo wanawafuTa hao waovu wenzao maa na walianza safari ya kwenda mbinguni ikawashinda Ivo linatengenezwa kundi la washindwa kwenda mbinguni Kwa hiyo hao wote wanamjua mungu huenda ila wameshindwa mashariti ya Yesu kristo maana hata yeye anasema kuwa ndugu zangu na mama yangu ni wale wayatendao mapenzi ya Baba yangu Ivo Sasa hivi Kuna makundi mawili Wana wa kuasi na waenda mbinguni Ivo tu
@zakayomoleliАй бұрын
Huyu ni mtumishi wa shetani live kabisa hata ukiwa mjinga vipi utamjua,hata wote watu wanaoabudu hapo kwake,wanatambua hili kabisa lkn wameridhika kwa ajili ya pesa
@moseshaule5868 ай бұрын
Yesu sio nabii , msimshushe hivyo. Nabii ni cheo kidogo sana Mbele za Mungu. Nabii ni mtumwa tu, hata mtu ajiite nabii mkuu bado halingani na Yesu. Sawa na nyapara kujiita mfungwa mkuu bado hawezi lingana na askari magereza. Geo devi kujiita Nabii mkuu isiwastue na wala isiwasumbue. Hata maaskofu kuna hili neno Archbishop maana yake askofu mkuu. Ni mkuu kwa wale anaowaongoza kwenye kanisa lake. Sasa hapo shida iko wapi? Labda kwa mambo mengine lakini sio kwa jina la Nabii mkuu.
@MussaNkombanira7 ай бұрын
Ubarikiwe
@yasintamsuya5 ай бұрын
Na ww toa zako kijana tena unasema nabii mkuu😅
@CHRISTIANO-q4r8 ай бұрын
MUNGU aendelee kukufunulia mafunuo ya kuwaponya watu roho zao mwenye kusikia atasikia
Sio nyundo tu pameandikwa Pele mazabahuni kwake msemaji mkuu wa serikali ya ufalme wambinguni, nilivutiwa Sana na mafundisho yake redioni, nilipofika tu hapo sikuludi kwake tena, nando nilikua nimetoka uisilam niliteseka sana, chakushangaza Mungu anasemea namimi nenda kaokoke kanisa la mabazi hapo sombetini nikatii, mtumishi unaongea kweli usiogope kusema kufa niwajibu wa kila kitu.
@theodorythobius39658 ай бұрын
@@HAPPYSULEMungu akubariki sana mpendwa, endelea kusimama hivyo hivyo katika kristo, ubarikiwe sana.
@Pendopasilika7 ай бұрын
@@HAPPYSULEMUNGU ni MKUU sana ukimtii na kuusikiliza sauti yake atakufunulia mengi mtafute kwa bidii ataendelea kukuonyesha watumishi wa kweli katika kutenda kazi yake MUNGU akubariki
@duncanchavula12897 ай бұрын
Juwa yakwako hukumu muachie yesu anakuja
@PeterAdam-o3k8 ай бұрын
Mimi ni mtumish kutoka kisogo na haya unayoyaogea ni kweri kabisa maana hawa ni wakuu wa agaa namini kabis kabisa toboa siri na maobi kabis
@DavidKasina-kg5nk8 ай бұрын
We we nakuona mjinga ukusoma yoana 10:35
@MunguMwema-m4l8 ай бұрын
Yan wewe ulivyoandika bila kutumia hekima nimjinga niwewe
@SelinaDorcas7 ай бұрын
Ww hata umefunga macho na haoni mbele .....Kwa kweli ww n mjinga tu soma wagalati 3: 1
@DeogratiusAndrew-zi7zv7 ай бұрын
1 wafalme 18:7 soma
@hellenjonson52107 ай бұрын
Sema ukweli ndicho ulichoitiwa na DAMU ya YESU KRISTO SIMBA kabila la YUDA ikufunike
@christianmwabukusi83667 ай бұрын
Ni kweli
@Ngendakumana_7 ай бұрын
Acha uhuni😂😂😂😂
@LinaSanga-t8i2 ай бұрын
Urinzi wa kimungu uwe pamoja nawe kira uendako
@wilfredlukowo94768 ай бұрын
Kuna mengine ni kweli mengine uwongo
@rosendanshau26748 ай бұрын
Aisee sema wanaopona wapone wanaokubali wakubali ujinga.unamsujudia mtu
@CecileNgendapasi8 ай бұрын
Bwana yesu christo apewe sifa n'a utukufu urudi kwake
@HABIBHASSAN-wf5mr8 ай бұрын
WAKRISTO HUWA NI WA ROMANI CATHOLIC HAYA MADHEHEBU MENGINE YALIZUKA TU...MPAKA MWAKA 1973 NIKIWA SHULE YALIKUWA AYAJAJA ILPOFIKA 1974 NDIO SASA WAKAZUKA HAWA PENTECOST..LEO HII MKOA WA MBEYA YAMESAJILIWA MAKANISA 320 YOTE YA KIROKOLE...NA DUNIA SASA INA MADHEHEBU ZAIDI YA 48,000...
@elbaricktv16328 ай бұрын
Roman Catholic ndo mashetani wenyewe kama ulikua hujui had papa shoga na kiongoz wa freemason
@eliaslaurent-it1id7 ай бұрын
kweli isiyo pongika
@theodorythobius39658 ай бұрын
Ameen
@EnaraMfwango8 ай бұрын
Amen
@GerardManariyo-zg4vj7 ай бұрын
Umesoma none nzuli lakini ABA batu uko unaongelea naona niwivu tu ju ata vidéo Zao hazionyeshe kama Bana muabudu Bira kumuheshimu kama mutumishi wamungu
@brownmwailunda14368 ай бұрын
Nabii Mkuu ni Mtumishi WA MUNGU na Emeanza KAZI ya MUNGU siku nyingi na hawezi kukupa hela kwamba uache kumsema hatakupa wewe piga kelele tu kwani wewe unajuwaje wewe ni Mungu huyo hatakupa hela na hakuogopi Wala hamuogopi Mtu Yeyote ZAIDI ya Mungu ulianza kumtumikia Mungu kwa kumwimbia tukaanza kukufahamu acha kutukana WATUMISHI wa Mungu ili wale wa UONGO wawe wanakupa hela huyo hakupi hata siku moja
@shukranimpomwa74607 ай бұрын
Huyo Jodev hataehajawahi kuokoka
@EsauDola8 ай бұрын
Mtumishi mm najua wew umetumwa kuwaonya watu lakini watu hawatambui kabisa lakini watu juta watu wasipo kusikiloza wew
@jewelmabhenga47428 ай бұрын
Makelele tu toa ujinga wako. Hata jodevi aindikwi hivyo inaandikwa Geordavie. Sijui kwann sheria na serikali isiwe na mijadala ya wazi kati ya huyu na hao watumishi anaowatukana halafu tuamue tofauti na hapo anadharirisha watu kutokana na ujinga wake
@SelinaDorcas7 ай бұрын
Nikuulize ww Kwan hiv unajiona ukosawa ...ss bas matendo yako mwenendo wako na moyo wako ndio kitu muhimu Kwa binadam bt yaonekana ww umekwisha kupumbazwa na vitu vya Dunia
@RobertEliya7 ай бұрын
Paschal acha kuwashambulia hao watumishi, hiyo haisaidii kumhubiri Yesu, ila inakupa tu umaarufu ,Muachie Mungu hiyo kazi atashughulika na watumishi wake
@savinosalamba91748 ай бұрын
Cassian ACHA bangi unalaana za wazazi wako
@MunguMwema-m4l8 ай бұрын
Nawewe uko huko nini kwanini unapinga
@SelinaDorcas7 ай бұрын
Ww umekwisha kurogwa ndio maana
@laninjeje82908 ай бұрын
Cassian paschal ni mbwa anaebweka tu hana madhara, kelele nyingi njaa kubwa😂😂
@MCNgakungaJunior8 ай бұрын
SASA MATENDO YA HURUMA YANACHUKUAJE NAFASI YA KRISTO MTUMISHI? UKIWA HUSAIDII MNASEMA WANAJITARISHA WENYEWE. WAKITOA MSAADA WANACHUKUA NAFASI YA YESU. TUSIMAME WAPI.
@Pendopasilika8 ай бұрын
Si kutoa msaada bali kujiita nabii mkuu huko ndio kuchukua nafasi ya YESU na pia zipimeni hizo roho Kama zinatokana na MUNGU Ila kwa sababu watu hawaombi Wala hawasomi neno hawajampa nafasi MUNGU Basi MUNGU HAWEZI kusema ndani Yao geuka mtumishi wa BWANA MUNGU anakupenda usitekwe na mafundisho potofu