CASSIAN AWAGEUKIA WANA SIASA GWAJIMA NA MSIGWA MAKANISANI EV PASCHAL CASSIAN

  Рет қаралды 4,025

PASCHAL CASSIAN OFFICIAL  YOUTUBE

PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE

Күн бұрын

Edit with InShot: v.inshotapp.ne...

Пікірлер: 55
@mengindegeya2780
@mengindegeya2780 3 ай бұрын
Brother paschal hilo suala ukiliongea hilo makanisa ya sasa wanakuona umechanganyikiwa duuu!!!!! Kanisa la sasa mungu atusaidie.
@malkiarosemuhando3310
@malkiarosemuhando3310 3 ай бұрын
Ni kweli kabisa mtumishi Mimi Mungu alinionya sana kuhusu Hilo unaloongea, yesu tusaidie
@charlesnyanhanga4382
@charlesnyanhanga4382 3 ай бұрын
Aise hii yenyewe kabisa barikiwa mtumishi
@fredgonga
@fredgonga 2 ай бұрын
Mungu akubariki sana, Siku hizi pia kuna washirika wanafanya biashara siku ya ibada maeneo ya kanisa na huku ibada inaendelea.
@jumarata6459
@jumarata6459 3 ай бұрын
Unachokisema ni cha kweli mtumishi wa Mungu! Wachungaji wasiwe wanasiasa!
@kuriaisaac1775
@kuriaisaac1775 3 ай бұрын
Ujumbe umewafikia woote hata wale waliokuwa hawajafunguliwa. Huu uusemao ndio ukweli usiopingika "BIG UP!" MUNGU ATUPE MACHO NA AKILI ZA ROHONI TIMPE YEYE HESJIMA ANAYOSTAHILI MAANA HAFANANISHWI. BAROKIWA MTUMISHI.
@Kabendera-s1w
@Kabendera-s1w Ай бұрын
Mubarikiwe Mutumishi tuna wafata sana Ukweli na usemwe ijapo kuwa utauma
@FilipoJastin
@FilipoJastin 3 ай бұрын
Barikiwe mtumishi Sema kweli
@GodfreyMakala
@GodfreyMakala 2 ай бұрын
Mungu akubarik sana
@jovettedenise2591
@jovettedenise2591 3 ай бұрын
Mungu akuinuwe mala nyingine na akupe nguvu na unacho kihitaj8 ili kazi yake ifikiye wengi🎉🎉🎉
@DicksonMchapo
@DicksonMchapo 3 ай бұрын
Kaka wewe nakuelewa sana nakuelew vibaya mno na MUNGU aendeleh kukupa iyo afya ambayo uko nayo
@martinahlighare6495
@martinahlighare6495 3 ай бұрын
True. Politics is a dirty game, whereby as a preacher, u should avoid performing on the altar of God. Mpanda farasi wawili hupasuka msamba. Mungu atujalie kushikilia wito aliompa kila mmoja pasipo kuchanganya.
@Pendopasilika
@Pendopasilika 3 ай бұрын
Ni kweli wanaombea Kura makanisani aisee ubarikiwe mteule wa BWANA kanisa haliheshimiwi MUNGU atusaidie mtumishi wa BWANA
@KimaroGodliving
@KimaroGodliving 3 ай бұрын
Barikiwa
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 2 ай бұрын
Ni kweli huwezi kutumikia mabwana wawili
@tukuyufm.
@tukuyufm. 3 ай бұрын
weka neno la mungu lipepete wapumbavu wa injili hawa, wanajua dhahiri wanazichezea madhabahu za mungu kwa kujua
@MGALILAYABillionaire
@MGALILAYABillionaire 3 ай бұрын
Ni nani aliye kipofu ila mtumishi wangu? Au aliye kiziwi kama mjumbe wangu nimtumaye? Ni nani aliye kipofu kama yeye aliye na amani? Naam kipofu kama mtumishi wa Bwana? Unaona mambo mengi lakini huyatii moyoni, masikio yake ya wazi lakini haskii... Isaya 42:19-20 Wamesahau kile Mungu aliwaitia kukifanya... wapo madhabauni kwa ajili ya vitumbo vyao tu! Wamepitisha tamaa mbele wamesahau na Kristo. Wanaalika wanasiasa madhabauni, wanaalika wasanii kutafuta hela tu hakuna kiingine. Ndio unaona kanisa la leo hakuna nguvu za Mungu, hakuna uwepo wa Mungu... wanafanya vituko tu madhabauni. Wamesahau Mungu atawahukumu wachungaji kwanza. Kila mmoja ataulizwa kazi aliyoifanya.. Ubarikiwe mtumishi wa Mungu.
@HelbethMlelwa
@HelbethMlelwa 2 ай бұрын
Nakushauri ungefungua kanisa la mfano ili tujifunze kwako na vile utakavyosimamia au kuongoza hilo kanisa.
@christophermwankenja1221
@christophermwankenja1221 3 ай бұрын
Mtumishi wa Mungu akusaidie ingia ndani kuongea na Mungu wako atakujulisha yaliyokweli.Nikutakie siku njema.
@Visionofeagle9689
@Visionofeagle9689 3 ай бұрын
Amen Amen Amen
@mtumishiraymond2001
@mtumishiraymond2001 3 ай бұрын
Amen 🙏🏿
@MategemeoMwema-ip2dd
@MategemeoMwema-ip2dd 3 ай бұрын
Barikiwa sana Mtumishi
@cellinamuro6872
@cellinamuro6872 3 ай бұрын
Nani wewe unahukumu wewe Mungu acha Mungu ahukumu mwenyewe Hilo domo lako lifunge huna jipya kagir mbele juko
@EsterAnyelwisye
@EsterAnyelwisye 3 ай бұрын
Amina sema nasi bwana yalio makusudi yako
@Visionofeagle9689
@Visionofeagle9689 3 ай бұрын
Kweli kabisa,, zama zike inchi ilikuwa naongizwa na Theocracy, walakini le inaongozwa na democracy, yaani ushetani 💯.
@LucyKapinga-fg4dk
@LucyKapinga-fg4dk 3 ай бұрын
Kaka Pascali Mtumishi Samahani, Naomba Kuuliza unapaka Kichwani Super black Au niipicha Aionyrshi Vizur
@vicentraphael899
@vicentraphael899 3 ай бұрын
Waaombee sana sio kuwasema sema hovyo mbona unaomba mchango mchango wenyewe unatoka Kwa wanasiasa usihukumu usije ukahukumiwa mwenyewe kuwa makini kinywa chako umetegwa Kwa maneno ya kinywa chako mwenyewe.
@josephnkwamino6509
@josephnkwamino6509 3 ай бұрын
Sema sema baba halleluyah
@EmanuelBlassy-uz4gm
@EmanuelBlassy-uz4gm 2 ай бұрын
Wanaendekeza matumbo yaooo
@mariaanthoniangowi9376
@mariaanthoniangowi9376 Ай бұрын
Kwa hili nakupongeza mchungaji
@PeterMahona-zd3oz
@PeterMahona-zd3oz 2 ай бұрын
nikweli jamani wachungaji mjitambue
@MaxOx-u8i
@MaxOx-u8i 3 ай бұрын
Nikweri Kabisa Kabisa unasema.Tufaamishe bila kutwambia ukweli na wewe unajua ukweli utaulizwa na Bwana siku ya kiyama. Wanao kusema vibaya Hawajui wanavyosema .Bila kuchangia kazi ya Bwana injili itaendelea je? Ata Kanisani wanatoa mchango kwa kazi ya Bwana. Tunapenda ayo mauburi utachangia kuinua kazi ya Bwana Yesu.
@personalitiesan9806
@personalitiesan9806 3 ай бұрын
Mm nlihama kwa gwajima baada ya kuona siasa ndani ya kanisa. Yani nlmkubali gwajima mnooo lkn alipohama chadema na kwenda CCM nkahis SI salama daaaah
@JamesKanyenda-y9y
@JamesKanyenda-y9y 3 ай бұрын
Wewe ujuwi biblia ndo maana uliama Kwa gwajima.mungu akupe macho ya rohoni ukiwa kimwili gwajima uwezi kumuelewa.ila utaelewa tu kwakuwa macho yako yataona Sku zijazo
@albertinamichael6123
@albertinamichael6123 3 ай бұрын
Hawa ni wachungaji wa shetani.
@juliusjoseph6320
@juliusjoseph6320 Ай бұрын
Madhabau haionekani kwa macho Mchungaji Wala Mungu hakai kanisani kanisa ni mtu Mwanini soma Matendo ya Mitume 17 ¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯ ²⁴ Mungu aliyeufanya ulimwengu na vitu vyote vilivyomo, yeye, kwa kuwa ni Bwana wa mbingu na nchi, hakai katika hekalu zilizojengwa kwa mikono; ²⁵ wala hatumikiwi kwa mikono ya wanadamu kana kwamba anahitaji kitu cho chote; kwa maana ndiye anayewapa wote uzima na pumzi na vitu vyote.
@fatumaaybu8648
@fatumaaybu8648 3 ай бұрын
Kweli kabisa❤
@katarinaJ
@katarinaJ 3 ай бұрын
MUNGU NI MKUU SANA. NA NI MTAKATIFU SANA. NI MKUU kuliko wanasiasa NI MKUU kuliko rais awaye yote NI MKUU kuliko wafalme na masultani. Yeye ni MFALME WA wafalme BWANA wa mabwana. Anastahili sifa na heshima zote. Kujiita 'mchungaji' wakati unacheza 'siasa chafu' ni MACHUKIZO MBELE ZA MUNGU. Yawapasa KUTUBU maana Yesu karibu anarudi.
@Mwinjilist-samson
@Mwinjilist-samson 3 ай бұрын
Paschal casian natamani nikutane na wewe baba waimani
@renatus5687
@renatus5687 2 ай бұрын
Hata ww c ni mwizi tu mbona ulikua ukitoza pesa za kujenga kanisa ukala mpaka Leo halijawai kuonekana jizi tu
@Francomsangawale
@Francomsangawale 3 ай бұрын
Ni ukweli mtupu kweli wachungaji wengine siyo wachungaji nikama wachinjaji.
@SadokizeTz
@SadokizeTz 3 ай бұрын
WE JAMAA HUWEZI KAZI YA MUNGU, ACHA KUONGELEA WENZAKO, NDO MAANA HUPATI MUUMINI HATA MMOJA WEWE
@MGALILAYABillionaire
@MGALILAYABillionaire 3 ай бұрын
Unafikiri waumini ndio watakaopeleka mtumishi mbinguni, potelea mbali ni matendo yake na kazi ya Mungu aliyoifanya. Kuwa na waumini wengi na hauwaambii ukweli kuhusu Kristo jehanamu ipo kwa ajali ya hao.
@SadokizeTz
@SadokizeTz 3 ай бұрын
@@MGALILAYABillionaire SHIDA YA HUYU JAMAA ANAWASEMA WENZAKE, BADALA YA KUHUBIRI INJILI
@MGALILAYABillionaire
@MGALILAYABillionaire 3 ай бұрын
@@SadokizeTz anahubiri ni wewe hauchukui muda kusikiliza anachokisema. Walio wa kweli sio haraka kuwaelewa. Siku zote anaye onya watu umuona kama hana injili... lakini siku inakuja kila mmoja atajuta wanasiasa madhabauni ni dhambi...
@SadokizeTz
@SadokizeTz 3 ай бұрын
@@MGALILAYABillionaire HAKUNA MWANADAMU ANAYEWEZA KUONA MAZAIFU YA MWENZAKE, NYIE MNAJIINA MKO SAHIHI, NDO MTAKUWA WAKWANZA KWA MOTO
@AnethSwila-tw9mv
@AnethSwila-tw9mv 3 ай бұрын
​@Sadokihasemi wenzake anasema neno la MUNGU maana biblia inasema ukiona mtu anapotea na usimwambie ukweli utadaiwa damu yake kwahiyo hakosei hata kidogo anasema kweli Ili kama mtu alikuwa hajui anchofanya anakosea ajue
@SadokizeTz
@SadokizeTz 3 ай бұрын
HIO NAMBA UNAZOZIPITISHA HAPO UNATAKA UCHANGIWE NINI, NENDA KATAFUTE HUKO,
@AnethSwila-tw9mv
@AnethSwila-tw9mv 3 ай бұрын
😢😢😢😢
@OswardSanga-ep5js
@OswardSanga-ep5js 13 күн бұрын
Mjinga mwenyewe usieijua madhabahu madhabahu niwewe acha uzwazwa Mungu yupo popote hekalu Kama jengo yeyote anaingia nasiasa niyawote wanapiga Kura nakuchagua acha
@moseshaule586
@moseshaule586 3 ай бұрын
Wewe usiwaseme baba zako wewe , hicho ni kiburi cha uzima.. hata kama wakikosea wewe waombee Bwana aseme nao. Soma kisa cha Daudi na Sauli..Licha ya Sauli kukataliwa na Mungu lakini Daudi alinyenyekea na alisema usimnyooshee mkono nabii wa Bwana
@pirminmatumizi5464
@pirminmatumizi5464 3 ай бұрын
Hawa nawaita "wajasiriaDini"; huoni namba zinazotembea hapo chini, Je, zinataka nini? Maisha magumu sana aisee!
UKWELI KUHUSU USHOGA ULIPO ANZIA NI KATIKA MAKANISA HAYA EV PASCHAL CASSIAN
1:15:17
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 21 М.
CASSIAN AMGEUKIA MBARIKIWA NI MJINGA SANA HUYU MCHUNGAJI
1:24:45
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 29 М.
ДЕНЬ УЧИТЕЛЯ В ШКОЛЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 3,3 МЛН
Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:20
Leisi Crazy
Рет қаралды 74 МЛН
The Joker wanted to stand at the front, but unexpectedly was beaten up by Officer Rabbit
00:12
Don't look down on anyone#devil  #lilith  #funny  #shorts
00:12
Devil Lilith
Рет қаралды 13 МЛН
CASSIAN  NA NABII MKUU VITA YA PAMBA MOTO MADHABAHUNI EV PASCHAL CASSINA
1:10:46
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 66 М.
MKE WANGU ALINI KIMBIA EV PASCHAL CASSIAN
31:44
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 40 М.
CASSIAN AWAEKA WAZI MACHAFU YA PIDIDI NA DAIMONDO EV PASCHAL CASSIAN
43:07
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 35 М.
NAKUONYA WEWE NA MKEO KWA KUPOTOSHA UKRSTO KUTOA KAFARA EV PASCHAL CASSIAN
1:27:51
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 19 М.
HII NDIO MIKESHA YA  KISHETANI YA MWAMPOSA  EV PASCHAL CASAIAN
35:06
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 2,7 М.
MCHUNGAJI MSIGWA KUHAMIA CCM NI MUNGU KAMUAGIZA AU NI TAMAA YA MADARAKA.
30:26
Придумайте название 🤣🐓❤️
0:29
Dragon Нургелды 🐉
Рет қаралды 4,4 МЛН
ТИПИЧНЫЙ ТАКСИСТ В СОЧИ #юмор #прикол #сочи #ржака
0:59