MCHUNGAJI MSIGWA KUHAMIA CCM NI MUNGU KAMUAGIZA AU NI TAMAA YA MADARAKA.

  Рет қаралды 4,131

huduma ya kristo

huduma ya kristo

5 күн бұрын

Пікірлер: 98
@dennismcharo1631
@dennismcharo1631 2 күн бұрын
Mtumishi upo sahihi kabisa AMEN na imetendeka
@stanleytouwa
@stanleytouwa 2 күн бұрын
Barikiwa sana Mtumishi wa MUNGU.
@SundaySteven-bz4yq
@SundaySteven-bz4yq 3 күн бұрын
Huyu ni tamaa maana hospitali hazina madawa lisu alipigwa risasi majibu hamna,,elimu watoto 80 ndani ya chumba kimoja sukari kg1sh5000 huyo mungu atamutuma Kwa wauwaji,,mafisadi wakoloni,,kufanyako nini?
@AdelinaAloys
@AdelinaAloys 2 күн бұрын
Huyu Msigwa amepungukiwa na akili wapendwa tumuombee
@allyshaban406
@allyshaban406 2 күн бұрын
Mungu aendelee kuku bariki katika utumishi wako
@YoelLufunga
@YoelLufunga 2 күн бұрын
MSIGWA ULITAKA MBOWE AKIACHIE CHAMA KILICHOTUMIA MUDA WAKE MWINGI ILI KIFE KAMA VYAMA VINGINE VILIVYOKUFA? HONGERA SANA MBOWE . JENGA CHADEMA IENDELEE MBELE. Msigwa anatia aibu sana.
@DeoSulle
@DeoSulle 2 күн бұрын
Tamaa
@juliuskitaluka1206
@juliuskitaluka1206 2 күн бұрын
Ukweli mchungu
@anoldishengoma4229
@anoldishengoma4229 2 күн бұрын
We jamaa ni comedian mzuri sana, napenda kukusikiliza😂😂😂
@LucyNgaiza
@LucyNgaiza 2 күн бұрын
Haleluya Mtumishi wa Mungu
@ottomap-u2i
@ottomap-u2i 3 күн бұрын
Hv msigwa ungeshida kwenye uchaguzi wa kanda ya nyasa je ungehamia ccm? mm nashauri hv msigwa awe mwanachama wa kawaida ndani ya miaka mitatu tumwangalie kwanza.
@reginas1832
@reginas1832 Күн бұрын
Alikuwa kwenye payroll ya ccm. Iivyoleak ikabidi asepe mapema
@AdamNgokas
@AdamNgokas 2 күн бұрын
Huyu ni tamaa za maisha kisa mh Joseph mbilinyi kushinda nae kachukia
@janengaga2928
@janengaga2928 2 күн бұрын
Siasa na mpira ni mambo ya kuwa nayo makini.Mungu ni mtakatifu hafurahishwi na michanganyo.
@user-ef2ln1mx3s
@user-ef2ln1mx3s 2 күн бұрын
Usionbe kuwa hovyo uzeeni na msigwa Kawa hovyo uzeeni
@CatherineJohn-uo1tq
@CatherineJohn-uo1tq 3 күн бұрын
nimekuelewa sana mtumishi Mungu akubariki.
@stanleytouwa
@stanleytouwa 2 күн бұрын
HALELUYA MTUMISHI WA MUNGU.
@user-bx3ko9ft5t
@user-bx3ko9ft5t 2 күн бұрын
Mtumishi nimekuelewa sana kwa ulio ongea natamani nijue kanisa lako liko wapi na nita tuma sadaka
@mohamedismail1376
@mohamedismail1376 3 күн бұрын
Mbaya sana huyu sio mchungaji
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 күн бұрын
Muacheni akale kuku Chadema hamna kitu hicho ni kikundi cha Saccoss au Vikoba kila siku Mwentekiti huyo huyo kila siku hata wanachama wake wamemchoka
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 күн бұрын
Mohamed huyo ni Shekhe
@sophiamalinga18
@sophiamalinga18 20 сағат бұрын
Kama mchungaji ameshindwa jaribu kwa hiyo ameanguka amrudie Mungu kwa toba atapotosha waumini kuvumilia majaribu
@isayamwashibanda5819
@isayamwashibanda5819 6 сағат бұрын
Yani msigwa chadema hawezi kuondoka mwoyoni mwetuu tuko vizuli
@MusaJuma-jr7wb
@MusaJuma-jr7wb 10 сағат бұрын
Tamaa za madaraka
@BENISiMBY
@BENISiMBY Күн бұрын
Msigwa si kiongozi mvumilivu kabisa alikuwa wapi siku hajaondolewa uongozi
@reginas1832
@reginas1832 Күн бұрын
Amen
@NorbethJosphath-hm1zb
@NorbethJosphath-hm1zb 2 күн бұрын
Heli angeenda Estii wazalendo sio ccm maana wote wanaenda jehamu kwa kumuone mpina
@user-mo3ik6go6r
@user-mo3ik6go6r 13 сағат бұрын
Njas na tamaa
@isayamwashibanda5819
@isayamwashibanda5819 6 сағат бұрын
Yani msigwa umechoka
@marymaleko5377
@marymaleko5377 3 күн бұрын
Njaa,njaa,mbaya sana
@alexkalloa9817
@alexkalloa9817 3 күн бұрын
Mtumishi huwa nakuelewa sana. Unazo neema na karama za unabii na ualimu, unajua sana kufundisha unabii unaofunuliwa.
@weremakora7838
@weremakora7838 2 күн бұрын
mnaona sasa
@philemonkafyulilo7128
@philemonkafyulilo7128 3 күн бұрын
Jamani hiyo ya kusema mch.hapana huyo ni mwanasiasa anatafuta nafasi na anasema wamekuwa wakidanganya sasa kama ni mch.ilikuwaje akawa mwongo na baada ya kutambua basi angeachana na siasa kabisaaa
@SaidShombe
@SaidShombe 2 күн бұрын
Mhhh mbona msigwa anatowa povu ila hamkuona ya lowasa sumae nyalandu nini hofu yenu napata shida kuwaelewa kabisa kila mtu na ufahamu wake mpeni uhuru wake
@BenedictoMatinya
@BenedictoMatinya 2 күн бұрын
Mimi nafikiria kuwa ccm kama mnaakili muwe makini na Msigwa akikiosa cheo hata huko atahama yaani yeye ameondoka chadema kwasababu amekosa cheo hivyo hata huko amefuata cheo akikiosa anahama
@user-bz5ti6op6z
@user-bz5ti6op6z Күн бұрын
Mwenye tamaa ya madaraka ni Mbowe
@christophermwampashe465
@christophermwampashe465 3 күн бұрын
Bora kuwa mwenyekiti wa milele kwenye chama kuliko kuwa mwanachama wa kuhamahama vyama.
@MusaOgwoko
@MusaOgwoko 2 күн бұрын
Matope
@stevenmarunda4353
@stevenmarunda4353 3 күн бұрын
Njaa nimbaya sana nakamwe siwezi mwamini mwanasiasa
@johnchanzi610
@johnchanzi610 3 күн бұрын
Huyu nitamaa ya madala anajua lalsi atampa uwazili
@user-ef2ln1mx3s
@user-ef2ln1mx3s 2 күн бұрын
Msigwa amenikumbusha msemo wa Kila shetani na mbuyu wake kakaza lakini kaona utajili wa nchi inaisha yeye kabaki na chadema kaona nae apate za bandari na mbuga zetu kia msigwa ni tamaa na mpumbavu
@faustinebahenobi3412
@faustinebahenobi3412 3 күн бұрын
Swali je endapo angeshinda nyasa angeamia ccm?
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 21 сағат бұрын
Westing time continue discuss about msigwA why msigwA going to ccm has going there following money not leadership why even CT wazalendo could give him leadership msigwA blame chadema or freeman mbowe whale him is the one who went ccm looking for money not leadership if could be leadership even nccr mageuzi or CT wazalendo could give msigwA position has got nothing to tell we tanzania msigwA is the hanger of money is looking position of money has got no new thing to tell we tanzania we are wise no longer fullishing we tanzania msigwA was looking position into chadema because of position to get money on this Blame of freeman mbowe it show also was position himself to win leadership getting money into leadership on his position kwahiyo msigwA alikuwa chadema ktk nafasi ili apige pesa sio kutetea wananchi km ni uongozi hata CT wazalendo wangempa uongozi or nccr mageuzi au chama chocolate like kingempa uongozi Sasa huyu msigwA kapoteza mvuto hata akimsimanga freeman mbowe or lisu Hana tena mvuto angelienda upinzani angelitingisha chadema lakini ccm kapoteza mvuto ngoja tumuekexe kwa luga zote freeman mbowe is ok is not on positions you blane him
@user-jl5un4wf3u
@user-jl5un4wf3u 2 күн бұрын
Kipendarohokulanyama mbichi siasa ndivyo ilivyo inaruhusiwa kuhamiachamachochote ili mladi achape kazi ili waliomkataa aje ashindane nao baadae sisitunatakakuvunawanachama ndiyo siasa ilivyo.
@user-iy8mq9ii8t
@user-iy8mq9ii8t 3 күн бұрын
Uongea kila utakalo huko ulikokimbilia ili ukubalike na sio wote watakaokuelewa maana wanajuta kua ulienda huko baada ya kupigwa chini na Mungu akiamua na huko hutapata kitu utadharauliwa
@oam14l
@oam14l 2 күн бұрын
Uchungaji wa Msigwa umekwisha.
@reginas1832
@reginas1832 Күн бұрын
Mchungaji aliyevaa ngozi ya mbwa mwitu
@gidongailo7174
@gidongailo7174 Күн бұрын
Huyu mtu akipata Ukuu wa Mkoa au Wilaya, atakuwa na hasira sana na vyama vya Upinzani hususani CHADEMA. Na anaonekana amedhamiria kukiumiza kabisa chama pindi akipata madaraka fulani
@mussaMbwego-lz9hd
@mussaMbwego-lz9hd 3 күн бұрын
Sina ninacho pata chadema mim ni raia wakawaida kabisa ila msigwa ccm kuweni macho haya ndo majambazi ya nchi
@dennismcharo1631
@dennismcharo1631 2 күн бұрын
Msigwa ni askari yote
@geraldmassawe2663
@geraldmassawe2663 3 күн бұрын
Huyu ni msaliti na usaliti wake utajulikana mwezi november baada ya uchaguzi wa serikali za mitaa. Alidanganywa kama mtu asiyekuwa na malengo.
@marymaleko5377
@marymaleko5377 3 күн бұрын
Nitamaa tu ya maharaja,nasio kutumikia taifa leo.
@erickmsigala138
@erickmsigala138 3 күн бұрын
Mungu atakupiga kwa mapigo makubwa tapeli wa kisiasa wewe Msigwa unaongea kwa kujiamini kwa kuwa umesalit upande wa haki umeungana na Mashetani waliyo tengeneza genge la wanaccm wachache wanagawana lasmali za taifa aluzo tupatia Mungu zitufae wote kwa usawa wewe Msigwa na ulaaniwa kama vile Yuda ambavyo hakuweza kutumia vile vipande 30 na wewe Mungu atakupiga kwa mapigo makubwa hutaamini,
@user-ef2ln1mx3s
@user-ef2ln1mx3s 2 күн бұрын
Sasa msigwa ataungepewa uwenyekiti ungekiuza chama kwa mkopo kama bandari kuanzia Leo wewe sio mchungaji ni shetani
@olipaabongo6307
@olipaabongo6307 2 күн бұрын
Mlafi huyu.
@jameskunogoleka5805
@jameskunogoleka5805 3 күн бұрын
Unanjaaa TU wew hao do hamna kabisa Bora ulikotoka
@bernardmushi4869
@bernardmushi4869 2 күн бұрын
Kama CHADEMA NI SACCOS YA MBOWE basi tumpe MBOWE 🎉 yake maana vyama vingine vilivyoanza na CHADEMA vimekufa,lakini CHADEMA NI CHAMA KIKUU CHA UPINZANI kwa uongozi makini wa FREEMAN AIKAELI MBOWE.Hata URUSI wamemwona PUTIN anaweza na wamemwongezea muda.
@agnessangawe3844
@agnessangawe3844 2 күн бұрын
MCH MSIGWA ANANIKUMBUSHA MH.MAREHEMU NYERERE ALIPOSEMA KUN A VIONGOZI WENGINE NI MALAYA MALAYA WA CHAMA.
@alexkalloa9817
@alexkalloa9817 3 күн бұрын
Mimi kama binadamu, kila chama kina udhaifu, ila chadema ni saccos siyo chama, namuunga mkono mchungaji Msigwa.
@user-bx3ko9ft5t
@user-bx3ko9ft5t 2 күн бұрын
Akili zako nifupi bila upinzani usingejua maovu yanchii hii
@ezekielkiduge8730
@ezekielkiduge8730 2 күн бұрын
Uchawa ni shida sana ni kama ugonjwa wa ukoma
@BavaBava-lz8vf
@BavaBava-lz8vf 3 күн бұрын
Msigwa ni Virus
@oscarwasenga1333
@oscarwasenga1333 3 күн бұрын
Nakuelewaga mchungaji
@dennisungonella205
@dennisungonella205 3 күн бұрын
Kikubwa ni maslahi hakuna jipya, kafuata vyeo tu
@chalokalunde9429
@chalokalunde9429 3 күн бұрын
Mchungaji amekutana na political accident tokea kwenye uchaguzi ameshindwa ku recover .
@mussaMbwego-lz9hd
@mussaMbwego-lz9hd 3 күн бұрын
Wananchi tumefaham msigwa ni Yuda
@jameskunogoleka5805
@jameskunogoleka5805 3 күн бұрын
Anajaaa huyu msigwa hafai
@dennisungonella205
@dennisungonella205 3 күн бұрын
Collaborate na ccm kwa lipi? Haahaa we msigwa, tunaiamini vipi ccm uliokuwa unaipenda?😂
@Leeeeeeee-96
@Leeeeeeee-96 3 күн бұрын
makala anasikiliza kwa umakini 😂😂😂😂
@illomowerner7690
@illomowerner7690 3 күн бұрын
😂😂😂leeeeee
@user-cx1xz2is5d
@user-cx1xz2is5d 3 күн бұрын
Msigwa njaa hana la kuongea
@user-jl5uh1xq9f
@user-jl5uh1xq9f 3 күн бұрын
Msigwa ushindwe Kwa jina la YESU kristo
@salummohamed2689
@salummohamed2689 3 күн бұрын
Njaa imemwagiza Msigwa baada ya kuikosa Nyasa, kumbe alikuwa lamba lamba Kwa cheo chake. Alipochungulia sasa ataishije akaamua kusepa Ili asife njaa. "Chenzea njaa wewe".
@margarethsolomon9823
@margarethsolomon9823 3 күн бұрын
Wee msigwa mbwa na fala KABISA. Huko CCM wasikupe hata ubalozi wa nyumba kumi. Mtu ambaye umekaa chadema miaka yoooote leo baada ya kuukosa uenyekiti wa Kanda imekufanya uhame chama chako. Matako wewe mchungaji msigwa
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 күн бұрын
Kwani kwenda kwake ni kutaka madaraka mbona ccm wengi wamekwenda Chadema hiyo ni Siasa kawaida tu cha ajabu ni nini
@SeverinMagwaya
@SeverinMagwaya 2 күн бұрын
mtaje mkubwa yeyote aliye hamia CCM na amebaki huko!!
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 күн бұрын
@@SeverinMagwaya Wengi tu hii simu janja umeipata jana nini hujui kitu pole waulize waba Chadema wenzio mshamba mkubwa
@user-jl5uh1xq9f
@user-jl5uh1xq9f 3 күн бұрын
Kweli mtumishi msigwa yupo Kwa ajili ya masilahi ya tumbo lake.ila safari hii kashindwa
@mussaMbwego-lz9hd
@mussaMbwego-lz9hd 3 күн бұрын
Mimi nilikuwa nakupenda sana bro kumbe fala wew tumbo lako na maisha ya watu kipi bora fala wew peleka pumbu zako zilizo legea
@mussaMbwego-lz9hd
@mussaMbwego-lz9hd 3 күн бұрын
Msigwa usicho kielewa hata ukiweka jiwe na ccm tutachagua jiwe fala wewe
@AhmedAli-gh1lm
@AhmedAli-gh1lm 2 күн бұрын
Chaguzi za Tanzania ukisimama kwa tiketi ya CCM unapita bila kupingwa kwa sheria za uchaguzi zilivyo sasa. CCM, kwa kushirikiana na Tume ya Uchaguzi ndio wanaoamua nani ashinde na sio wapiga kura. Msigwa akigombea ubunge kwa tiketi ya CCM hata apate asilimia 5 ya kura, anatangazwa mshindi. Subiri utaona.
@leokamil6284
@leokamil6284 3 күн бұрын
Hafai kuaminiwa je wewe nani akuamini ?
@user-jl5uh1xq9f
@user-jl5uh1xq9f 3 күн бұрын
Kwa jina la YESU msigwa anaenda kufutika katika siaya amina
@user-io6yj9fs2h
@user-io6yj9fs2h 3 күн бұрын
Njaa mbaya sana wewe nimnafiki mkubwa wajinga ndo watakuelewa
@juliusjohnii7823
@juliusjohnii7823 2 күн бұрын
Msigwa Hana maana yoyote, hana hoja yoyote,. Anajua Mwenyewe aliyoyafuata ccm. Na kama ni kweli kuna video msukuma Mbunge alimsema kabla haja hama . Ukiiona hio utashangaaaa sana. Ikiwa ni kweli hawa akina msigwa watoke kuitwa Wachungaji Kwa matendo hayo, huo ni uchafuzi wa ukiristo wetu.
@dianamakyara4210
@dianamakyara4210 3 күн бұрын
Msigwa ni muasi kama waasi wengine,mtumishi nakuelewa sana🙌🙌
@karimmveyange280
@karimmveyange280 3 күн бұрын
AFADHALI UMEINGIA CCM,TUNATEGEMEA UTAUMALIZA UFISADI NDANI YA SERIKALI INAYO ONGOZWA NA HICHO CHAMA. NENDA KAKUMBUSHE FEDHA ILIYO PORWA AMBAYO NI YAUMMA ILIYO AINISHWA NA C.A.GIRUDISHWE, MAANA INAFANYA WANANCHI KUISHI MAISHA MAGUMU SANA.HONGERA SANA.
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 3 күн бұрын
Sacos ya mtu mmoja! Wewe ni mchungaji mchochezi kuipa ccm ticket ya kuuimba wimbo huo lakini hamna jipya we bwabwaja tu ila Mbowe ataendelea kuwa Mwkt wa CDM mpaka wanachama waseme basi kwa kura sio kwa shinikizo la huko ulikohamia kwa tamaa zako...
@BernardMwakipesile-nq5ze
@BernardMwakipesile-nq5ze 3 күн бұрын
Hatari ya usaliti wa haki
@iddyiddy7358
@iddyiddy7358 3 күн бұрын
Nyoko wewe
@dianamakyara4210
@dianamakyara4210 3 күн бұрын
Kwa Jina la Yesu,msigwa unaenda kufa kisiasa ,Ameen
@hubman6780
@hubman6780 3 күн бұрын
Neno Moja Msigwa ni political mercenary.Nukta
KIJANA ALIYECHOMA PICHA YA RAISI. MSIMFUNGE ANAJITAFUTA
32:27
huduma ya kristo
Рет қаралды 26 М.
I’m just a kid 🥹🥰 LeoNata family #shorts
00:12
LeoNata Family
Рет қаралды 20 МЛН
THEY WANTED TO TAKE ALL HIS GOODIES 🍫🥤🍟😂
00:17
OKUNJATA
Рет қаралды 14 МЛН
Was ist im Eis versteckt? 🧊 Coole Winter-Gadgets von Amazon
00:37
SMOL German
Рет қаралды 29 МЛН
When You Get Ran Over By A Car...
00:15
Jojo Sim
Рет қаралды 12 МЛН
#LIVE CHADEMA WANAUNGULUMA KUHUSU MUUNGANO NA MPINA KUFUKUZWA BUNGENI
1:46:32
KUANZA KWA MAANDAMANO YENYE VURUGU TZ.
13:03
huduma ya kristo
Рет қаралды 11 М.
Kumekucha MAZITO YAIBULIWA SAKATA LA MSIGWA KUMBE IKO HIVI
22:07
BONGO 24 NEWS
Рет қаралды 13 М.
UNABII WA BALAA KENYA NA TANZANIA WAANZA KUTIMIA
38:02
huduma ya kristo
Рет қаралды 19 М.
WANAINCHI WA TESO SOUTH WANATAKA KUSALIMIA MP WAO KWA KUVOTE YESSS
3:52
TANZANIA WAUNGA MKONO MAANDAMANO YANAYOENDELEA KENYA
7:00
Lasalo Comedian
Рет қаралды 241 М.
THE POLICE TAKES ME! feat @PANDAGIRLOFFICIAL #shorts
0:31
PANDA BOI
Рет қаралды 21 МЛН
One Two Buckle My Shoes ! #spongebobexe #shorts
0:17
ANA Craft
Рет қаралды 5 МЛН
1❤️ #shorts
0:24
Saito
Рет қаралды 27 МЛН
Ещё один способ не забеременеть
0:16
Pavlov_family_
Рет қаралды 10 МЛН