CASSIAN KWAHERI MKE WANGU UMENIACHIA WATOTO AUDIO OFFICIALY

  Рет қаралды 28,875

PASCHAL CASSIAN OFFICIAL  YOUTUBE

PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE

6 ай бұрын

m#0766998994 #call0688199370 #

Пікірлер: 243
@TusaKiblaga-vp9jg
@TusaKiblaga-vp9jg 24 күн бұрын
Mtumishi pole baba mmh kazi ya dunia inaumiza san shetan ana vuruga wapendanao ila Mungu mwema atakupa wa kufanana nae had mwisho
@nashonjoel20
@nashonjoel20 6 ай бұрын
Kizazi hiki Roho ya Zinaa imekuwa ni tatizo kubwa. Kuna kesi nyingi sana za Wanawake kuchepuka wakipata mwanaume aliyeokoka. Lakini DUNIA HADAA, Dunia itamfundisha huyo mwanamke.
@Crabtree1844
@Crabtree1844 6 ай бұрын
Eh, jameni. Pole sana mtumishi. E mwenyezi Mungu, tafadhali uwalishe, uwalinde, uwafundishe watoto wasipotee wala wasife moyo; pia simamie mfanyi kazi aliyebaki na watoto. Kwa jina la Yesu naomba, Amen
@user-ii1qk9xn9z
@user-ii1qk9xn9z 6 ай бұрын
Kwa Mungu kila kusudi lina mpango, mungu uandaa kusudi alafu ndani ya kusudi mambo yanaanza kutokea. Lakini kwa wanadamu kila mpango una kusudi. Mungu anajua kwa nini na kusudi la jambo hilo ni Yeye analijua Mtumishi. Mungu anakuandalia chema 🙏🙏 Maombi yangu. Wimbo unagusa moyo wangu.😢
@frankmtavangu5517
@frankmtavangu5517 14 күн бұрын
Pole sana mtumishi hakika siamini kama hili limekukuta wewe? Duu!!
@peninamziray6302
@peninamziray6302 6 ай бұрын
Mtumishi Bwana Yesu apewe sifa......kama ni nyimbo umeimba kutokana na mapito ya watu sawa Ila kama ni ww yamekukuta kwa vita ulivyonavyo si zani kama ni sahihi kumtangazia adi haya unampa nguvu ya kukupiga vita MUNGU atupe maarifa
@Rashid-vm1fk
@Rashid-vm1fk 6 ай бұрын
Pole sana Mtumishi wa Bwana,jipe moyo Mungu yuko pamoja na wewe japo inauma sana vumilia,licha ya mateso yote mliyopitia wakati wa ajali pole sana.
@michaelwanyanga
@michaelwanyanga 6 ай бұрын
Mambo kama haya kwa watoto wa Mungu waliobeba kusudi maalum hutokea. Mtumishi wa Mungu, Paschal Cassian, usijali wala usiogope, Mungu unayemtumikia ni Mkuu na mwenye rehema kuliko tunavyodhani tulio wengi. Faraja uliyonayo ni kuu kuliko ile tunu iharibikayo. Tunza familia yako utapata thawabu kuu.
@user-mk1bz9dx3q
@user-mk1bz9dx3q 6 ай бұрын
Laaa! Machozi, we baba, we, mtumishi mbona umetuliza sana, Huyu dada ameusikia wimbo huu, simama Kwa Mungu baba
@Pendopasilika
@Pendopasilika 6 ай бұрын
Paschal mbona inahuzunisha sana mtumishi wa MUNGU BWANA YESU akutetee dah inaumiza sana kumbe ule wimbo ilikuwa kweli
@user-md7bq3ew4e
@user-md7bq3ew4e 6 ай бұрын
Pole sana mtumishi Mungu yu pamoja nawe
@agnesmbone231
@agnesmbone231 6 ай бұрын
Pole sana mtumishi ,kila jambo lina mwanzo na mwisho wake ,
@fordraymondjohnson2380
@fordraymondjohnson2380 6 ай бұрын
Wa kwanza ndg zangu tumsapot mwinjilisti pascal
@Rashid-vm1fk
@Rashid-vm1fk 6 ай бұрын
Ee Bwana wetu Yesu Kristo msaidie Mtumishi wako katika kipindi hiki kigumu ambacho amesalitiwa na mwenza wake, wanawake wengine ni waasisi wa delila( derailleur) ukiwa na mwanamke inabidi ujipange kisekolojia kweli kweli maana hawaeleweki kama popo.
@Nyota1-en4oq
@Nyota1-en4oq 6 ай бұрын
watumishi wa Mungu wana pita kwenye Mambo mazito sana pole sana mtumishi wa Mungu
@faustermatiko6960
@faustermatiko6960 6 ай бұрын
Pole sana jipe moyo.........Mungu atakupa aliyesahihi. Cha msingi tunza watoto wako Maana hiyo ni zawadi kuliko vyote.
@jovettedenise2591
@jovettedenise2591 6 ай бұрын
Pole sana mutumishi yote ya Mungu
@super_boy_tz
@super_boy_tz 6 ай бұрын
Naona jamaa ndo anapewa pole sana msiegemee upande mmoja je tukija sikia ya mwanamke je itakuwaje mambo ya ndoa. Yaache kama yalivyo. Wala msi base upande mmoja kikubwa waombee wote yamungu mengi. Hakuna aloe kamilika kwenye hii dunia
@nikodemmwahangila3334
@nikodemmwahangila3334 6 ай бұрын
Pole amekufa au kaenda kuolewa huko
@thevoiceofdestiny8262
@thevoiceofdestiny8262 6 ай бұрын
😅😅😅
@aberydanny9608
@aberydanny9608 6 ай бұрын
Daaah pole sana mtumish wa Mungu utavuka Mungu yuko pamoja nawew usivunjike moyo liko kusudi mbele yako.
@osanamgallah4297
@osanamgallah4297 6 ай бұрын
Duuh polee Mtumishi Funga mkanda songa mbele japo inaumiza sana kibinadamu ..Mungu akuvushe
@user-ph8ws9jb8d
@user-ph8ws9jb8d 6 ай бұрын
Smart kids mtumishi endelea mbele kuna sababu uyapitie haya nakuombea
@hanidamlwale1227
@hanidamlwale1227 6 ай бұрын
Pole sana mtumishi, Mungu akutie nguvu uwalee watoto wako🙏🙏
@frankbeyanga9841
@frankbeyanga9841 6 ай бұрын
Pole sanna pastor mungu atakup mwingne
@user-xe5yp2ky8b
@user-xe5yp2ky8b 6 ай бұрын
Mungu yupo na atamua Hilo japo ssi tutacema mengi ila msemaji wa mwisho yupo kazi namini watoto wataish na watakuwa jipe moyo mkuu maan haikuwa lengo amen
@lilianbenedict8688
@lilianbenedict8688 6 ай бұрын
Kisicho ridhiki hakiliki , mwenyezi mungu akutie nguvu mtumishi wake 🙏🙏🙏
@savinosalamba9174
@savinosalamba9174 6 ай бұрын
Umeshambulia sana,kina mwamposa,geodervie,suguye,n,k MAPIGO HAYO BROTHER ,USIPOACHA MUNGU ATAKUNYOOSHAA
@ruthmwamburi756
@ruthmwamburi756 Ай бұрын
Ni vita kumbuka ulitoa siri za ufalme wa giza ndio maana wanakupiga,shetani anachukia ndoa sana.Simama katika zamu Mungu ako nawe wala usihofu,Shalom!
@nsiamasawe4578
@nsiamasawe4578 6 ай бұрын
Watumishi wawe na muda wa kutoa huduma na muda wa kukaa na familia
@user-qr1ue2ff6d
@user-qr1ue2ff6d 6 ай бұрын
Pole mtumishi wa mungu.
@chakimtaratibu9255
@chakimtaratibu9255 4 ай бұрын
Pole sana mtumishi wa Mungu ! Usife moyo
@RivonaNtanyinya
@RivonaNtanyinya 6 ай бұрын
Endelea kumtumaini Mwokozi wetu aliye hai Yesu Kristo aishiye milele ,utayaweza yote katika yeye akutiaye nguvu.Amina.
@CleverGalaton-tz
@CleverGalaton-tz 6 ай бұрын
King Cassian Mungu Akupitishe katika hili Inaumiza nimevaa haya maumivu kwa sehemu fulani
@user-vt3dp2st5e
@user-vt3dp2st5e 6 ай бұрын
Mungu akutangulie mrudiane na mkeo. Na Mungu akuponye hilo tatizo
@VioletNamz-tq4tg
@VioletNamz-tq4tg 6 ай бұрын
Pole sana mtumishi wa bwana, Mungu akutie nguvu. Majaribu ni mtaji kwa waokovu baba.
@user-ge7jn3sg8z
@user-ge7jn3sg8z 18 күн бұрын
Aisee pole
@user-ei2ur9mq2n
@user-ei2ur9mq2n 6 ай бұрын
pole mtumishi wa mungu hayo ni mapito tu songa mbele
@justuslibese6014
@justuslibese6014 6 ай бұрын
Jipe Moto ndugu kila kitu kina sababu muweke yesu mbele kila kuchao
@frankmasembo
@frankmasembo 6 ай бұрын
Pole sana Mtumishi wa Mungu.
@neemamsanga253
@neemamsanga253 3 ай бұрын
nimeumia sana😭😭😭😭😭 Mungu akutie nguvu,,,,😭😭😭😭
@nyota779
@nyota779 6 ай бұрын
Nilijua amefaliki kama kaondoka kwako siyo mbaya huenda angekuua
@boazrubeni3048
@boazrubeni3048 6 ай бұрын
Pole mtumishi wa MUNGU wew songa mbele bila kukata tamaa na mungu akujalie ushindi zaid na zaid katika changamoto zozote za hapa duniani
@KingfreedomFreedom
@KingfreedomFreedom Ай бұрын
Paschal Cassian Am from Mozambique but I like your songs to much... Mimi Nilipata maharifa juuyako paschal Cassian... Mala ya kwanza nilipo sikiya huuuwimbo nilizama studio kukufaliji muinjilisti... 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Never give up my paster.... Walikujalibu wewe Ila wameshindwa wameona ni vema wakujalibu tena kupitia mwenziwako wala mke wako......🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@user-uk4dl8ug3x
@user-uk4dl8ug3x 6 ай бұрын
Ninyakati tu yakupasa kuvumilia na kusonga mbele na Yesu,kumbuka hata Hosea alipitia haya usiogope.
@pascalinamukui8400
@pascalinamukui8400 6 ай бұрын
Wimbo unatia huruma mungu akupe nguvu na akulinde akuinue
@savinosalamba9174
@savinosalamba9174 6 ай бұрын
Umetukana WATUMISHI sanaaaaaa,
@heritier5119
@heritier5119 6 ай бұрын
Wanawake wa kikristo wanaojua umuhimu wa ndoa ni wachache sana
@drmaryjohnmponda3484
@drmaryjohnmponda3484 6 ай бұрын
Pole sana mtumishi wa Mungu
@remigioushofa2817
@remigioushofa2817 6 ай бұрын
Mtumishi tolea ufafanuzi jambo hili, limetupa taharuki
@catherinesteven1215
@catherinesteven1215 6 ай бұрын
Pole mtumishi mungu atakutunza ww nawatoto wako
@mamanbinwashadrack2257
@mamanbinwashadrack2257 6 ай бұрын
The Father of the Year, Ubarikiwe sana mtumishi
@bettykimetto4291
@bettykimetto4291 6 ай бұрын
Woooiyee so touching song pole God has another way let her go
@luhelusonline682
@luhelusonline682 6 ай бұрын
Aisee inauma sana kwa ambaye hajui hawezi elewa kabisa Mtumishi wa Mungu songa mbele wote yina yapitia
@robertmakuukabwali9488
@robertmakuukabwali9488 6 ай бұрын
Pole sana ,ila amehenda kujifunza dunia na fimbo zake.
@SuzanaFidelis-kt8zh
@SuzanaFidelis-kt8zh 2 ай бұрын
Duuuuh! Inauzunisha sana
@jeannekatembe6396
@jeannekatembe6396 6 ай бұрын
Pole maskini. Mungu awe mgariji wako . Kutunga wimbo ni upendo mkubwa sikilizeni maneno ameimba. Pia Dunia nzima imejuwa kupitiya huo wimbo sijajuwa nimejuwa kupitiya wimbo. Sababu tupo mbali USA. Poleni jamani daa
@isakashega6056
@isakashega6056 6 ай бұрын
Umenigusa sana mtumishi wa mungu
@barakamahenge6602
@barakamahenge6602 6 ай бұрын
Mh!
@EsterbernardoVumo-kn2xv
@EsterbernardoVumo-kn2xv 6 ай бұрын
Mungu Ni Mwema Sana Mungu Atawakuza Watoto.
@tegemeantenga102
@tegemeantenga102 6 ай бұрын
Pole sana kwa kuachwa ila kikubwa amekuachia watoto wako ww pambana walee na wasomeshe ipo sku atakukumbuka tu
@user-mm3gg4oe9b
@user-mm3gg4oe9b 6 ай бұрын
Pole mtumishi wa mungu inauma ila mwache
@anethkabelinde5350
@anethkabelinde5350 6 ай бұрын
Huo mstar wa ntampata ataenifaha mtumishi ufute,kifo ndo kitawatenganisha ivyo kamuombee arud tu huna namna,km hatorud kaa ivyoivyo mpk mwisho wako,barikiwa,hz ndo mpk naogopa ht Kwa kweli
@LucyKapinga-fg4dk
@LucyKapinga-fg4dk 6 ай бұрын
Uenda Hakuwa Sahihi Kwako Mtyumishi MUNGU ATakuonyesha Alie wako
@johnsonmichael945
@johnsonmichael945 6 ай бұрын
Jamani kasian ndugu yangu mbona unatuhuzunisha san MUNGU akutie nguvu
@kennedywabomba1851
@kennedywabomba1851 6 ай бұрын
Kila jambo lina sababu Mungu akulinde
@boazmwakibinga8556
@boazmwakibinga8556 6 ай бұрын
mung hamtupi mja wake kaka amin nalo ni pito tu
@winiemwalongo8779
@winiemwalongo8779 6 ай бұрын
Kwani mmeachana na mkewakooo??😮
@martinahlighare6495
@martinahlighare6495 6 ай бұрын
Kila jambo na majira yake. Mengi yapo ya kuzuia mtu kusonga mbele ila unajiondolea kwa kuyaweka pembeni ili kutimiza kusudi lako. Maandalizi ya kusudi yaja na yatakua mazuri kuliko mwanzo.
@maliammaliamchali4633
@maliammaliamchali4633 6 ай бұрын
Pole sana mtumishi
@DonDesdery
@DonDesdery 6 ай бұрын
Duh, mbona inafikirisha,ilikuaje kwan,alikusalit ama alitangulia mbele ya haki
@fortunatabangili2368
@fortunatabangili2368 6 ай бұрын
Atakuwa ameachana
@emmanuelmachibya2034
@emmanuelmachibya2034 6 ай бұрын
Mbona fumbo mzee😢
@SarahMwakindu
@SarahMwakindu 6 ай бұрын
Kaka pole Sana kilamtu atavuna akipandacho isshi Manisha hayohayo yautakatifu mbingu zitafunguka nataka nikutimoy sisi tulionyenyekea mwamungu tuta 8:39
@hossalemanuel1968
@hossalemanuel1968 6 ай бұрын
Pascal, kwani sio ulituambiya kwa umepata tatizo kwenye sehemu za siri ivyo uwezi fanyakazi tena. Labda ukipata pesa utahenda tena india... Mwandishi wa habiri alikuhuliza kuhusu ilo tatizo na ukajibu kwamba mkewako bado ni kijana itakuwa ngumu kubaki na wewe ikiwa aumpi aki ya chumbani! Na pia hu wimbo ni wikitambo, au auoni kama unamchafu mkeo? Alieku anakuuguza kipindi chote ulipopata ajali na watu wote tulimsifu mkeo kwa moyo wake .
@agnessima5032
@agnessima5032 6 ай бұрын
Una hekima...
@Rogathe-Rogathe
@Rogathe-Rogathe 6 ай бұрын
Una busara
@OmanOman-dd5qk
@OmanOman-dd5qk 6 ай бұрын
Ili iweje kumbuka yanyuma usiangalie mbele tu
@Rashid-vm1fk
@Rashid-vm1fk 6 ай бұрын
Nini maana ya kuishi kwenye shida na raha
@OmanOman-dd5qk
@OmanOman-dd5qk 6 ай бұрын
@@Rashid-vm1fk kuvumiliana
@MargrethMloka
@MargrethMloka Ай бұрын
Jaman jaman
@fordraymondjohnson2380
@fordraymondjohnson2380 6 ай бұрын
Ni wimbo uliolenga wanandoa wengne au na kwako limekukuta kaka yangu?
@amashapatrick211
@amashapatrick211 6 ай бұрын
Ni kweli kwa wimbo huu kamaanisha kuwa mke wake kaondoka
@user-wy4jc1jq2u
@user-wy4jc1jq2u 6 ай бұрын
Na mm sjaelewa
@user-he9ng6nu2z
@user-he9ng6nu2z 6 ай бұрын
Nini tena jaman😢😢
@MaryNdauka-qq9eo
@MaryNdauka-qq9eo 6 ай бұрын
Ata IVo huyo dada kajitahidi kuvumilia mi siwezi😢
@rewardhaindo8249
@rewardhaindo8249 6 ай бұрын
Hii ni kweli imemtokea mtumishi au ni wimbo tu
@judithlejalearnmore2236
@judithlejalearnmore2236 6 ай бұрын
Na aende asikutatize ki kimani Wako mazuri wenye kunijua Mungu atakaye kupenda na wanao
@paulmadundo8084
@paulmadundo8084 6 ай бұрын
mwaka mpya ndio kwanza umeanza huu, hatari sana. Poleni sana na hongereni kwa kufikia muafaka
@ngalukomcharo9841
@ngalukomcharo9841 6 ай бұрын
'Don't judge 'before you know the clues'Don't accuse.God him self will.
@agnessima5032
@agnessima5032 6 ай бұрын
Kweli kabisa. Halafu kumweka mtu hadharani hivi sidhani kama ni hekima...wimbo una madongo pia..😢
@janetkisuke7462
@janetkisuke7462 6 ай бұрын
Labda ni wimbo tu katunga
@heritier5119
@heritier5119 6 ай бұрын
Waumiao ni watoto
@tumainmwambala7526
@tumainmwambala7526 6 ай бұрын
Pole mtumishi
@jessymabula8867
@jessymabula8867 6 ай бұрын
Pole mtumishi japo🙆🤷
@user-yd4vy7le3h
@user-yd4vy7le3h 6 ай бұрын
Pole sana baba
@amashakisoma2596
@amashakisoma2596 6 ай бұрын
Pole sana
@magreciousthomas3527
@magreciousthomas3527 6 ай бұрын
Bora kaondoka sahivi kuliko kipindi kile unaumwa japo inaumiza poleh san
@MariamObotte
@MariamObotte 6 ай бұрын
Mtu anaejiongeza anaweza tangaza mambo yandani?, mwanaume kaba!!!
@PaulinaMlelwa-pv9fw
@PaulinaMlelwa-pv9fw 6 ай бұрын
Pole kaka
@salimajosephine1673
@salimajosephine1673 6 ай бұрын
Polesana njoivo
@eliamtanzaniaog6380
@eliamtanzaniaog6380 6 ай бұрын
Sina neno.inaniuma saana.hilo jaribu ni kubwa saana .ILA MUNGU AKUTIE NGUVU
@YasintaRaphael
@YasintaRaphael 6 ай бұрын
Hii ni namna shetani anajalibu kutikisa huduma.uliyopewa na MUNGU lakini hayo yote yapo kwa mda tu .MUNGU akutie nguvu songa mbele
@SarahMwakindu
@SarahMwakindu 6 ай бұрын
Usil Kaka yangu kwauliyo yapitia nimengi ona kwamba Hilo nidog kila mtu atavuna akipanda wesonga mbele na yesu neema yako ipo mbingu zifunguke kwaajili yako 8:39
@jeremiahcharles6027
@jeremiahcharles6027 6 ай бұрын
Kuachwa kuachwa ,,,,kuachwa ni shughuri pevuuuuuu
@agnessima5032
@agnessima5032 6 ай бұрын
Umefanya 😂😂😂 sana japo sikutegemea.
@AbbahCostaabbahCostaabbah
@AbbahCostaabbahCostaabbah 6 ай бұрын
Kwan kimetokea nn
@Rashid-vm1fk
@Rashid-vm1fk 6 ай бұрын
Ila atambue hata huko alikokibilia anazini pia ajue hata huyo aliyemchukua ni mwanadam lolote linaweza kutokea, jamani wanadamu tukumbuke kunashida na raha,tusipendane wakati wa raha tu. Mi nahisi wengine ni mapepo katika form ya kibinadamu unajua ni mlembo kumbe ni pepo,
@heritier5119
@heritier5119 6 ай бұрын
Mapepo
@waimani5550
@waimani5550 6 ай бұрын
Ungejiuliza kwanza ni kipi kimemkimbiza huyo mke wake kwenye ndoa wakati waliishi pamoja kwenye shida tena tena wakati amepata ajari ya gari, na toka kipindi jamaa alikuwa hajulikani kwanini sasa aondoke?
@majaliwamsigwa6206
@majaliwamsigwa6206 6 ай бұрын
Jamani!!!mwee!!!
@heritier5119
@heritier5119 6 ай бұрын
Mama wachungaji wanachepuka sana siku hizi
@sendemwasende4458
@sendemwasende4458 6 ай бұрын
Mtumishi umekosea, ungekaa kimya ukamuombea badala ya madongo ya mtandaoni. Unamjua shetani na utendaji wake, unajuaje kama ametumika ili uanguke?
@user-bj6bv9xp4f
@user-bj6bv9xp4f 6 ай бұрын
Kwani nilini ilikua hivyo
@mchisraelimbarikiwanassari3588
@mchisraelimbarikiwanassari3588 6 ай бұрын
Yamekukuta mapema ,nabado utapanda unachopanda,umeshinda kuwakejeli watumishi wa Bwana
CASSIAN NA MWANAE ANITA WA UGUWA KILO HUZUNI YA TANDA EV PASCHAL CASSAN
4:33
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 19 М.
MKE WANGU ALIOLEWA NA MWANAUME MWINGINE KISA UMASIKINI WANGU EV PASCHAL CASSIAN
31:44
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 46 М.
WORLD'S SHORTEST WOMAN
00:58
Stokes Twins
Рет қаралды 112 МЛН
54 SONGS NON-STOP-SIFAELI MWABUKA PLAY NOW.SKIZA DIAL *811*29#
4:21:57
SIFAELI MWABUKA OFFICIAL
Рет қаралды 7 МЛН
NEW VIDEO NIPO SINGLE NA SUBIRI MKE KUTOKA KWA BWNA EV PASCHAL CASSIAN
7:37
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 9 М.
Bony Mwaitege - MWALIMU (Official Music Video)
6:34
Bony Mwaitege Official
Рет қаралды 62 М.
Emmanuel Mgogo - WAACHE WAJE (Official Music Video)
8:43
EMMANUEL MGOGO Official Tz
Рет қаралды 1 МЛН
Israel Mbonyi - Malengo ya Mungu
8:17
Israel Mbonyi
Рет қаралды 8 МЛН
Pascal Cassian Chuki Ya Nini Official Video
9:46
Africha Entertainment
Рет қаралды 578 М.
NITASONGA MBELE, ..By ATUSAJIGWE MINGA FT. Emmanuel Mgogo
7:27
EMMANUEL MGOGO Official Tz
Рет қаралды 34 М.
AMBWENE MWASONGWE - ALIKUTA IBADA (OFFICIAL MUSIC VIDEO)
8:07
Ambwene Mwasongwe
Рет қаралды 1,2 МЛН