Safi sana uishi Maisha marefu Sema baba Sema usiogope tuko na wewe ongea ongea bro pasuwa majipu tobowa majipu
@FredrickSanga23 күн бұрын
Chizi wapo
@FadhiliMakasi-vb9dl23 күн бұрын
Safiii sana Shekhe wangu Wanaokutukana awana Adabu Piga kazi ndugu yetu wewe ni Msemakweli nakufahamu sana Harakati zako mwaka 2003 Ulitusaidia sana Tanga mjini kuwadhibit mathalimu
Wakumbushe zimbabwe Shangalai kaphigw na mgabe Chadem ndiy nini
@elibarikimollel714923 күн бұрын
Atukanaye hana hoja wala maarifa,wala usimtishe ama kumjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake bali jitegemeze katika imani iliyo safi
@FadhiliMakasi-vb9dl23 күн бұрын
Ahsante Shekhe sisi tunapambana Kwenye siasa kuchagua madiwani ila Mama Samia abaki kua Rais wetu. Hakuna sehemu isio kua Nafujo Duniani
@saidymbila5723 күн бұрын
Namchkia sana hyo kitima
@yusufsadic293022 күн бұрын
Kam yeye ni mbwa wewe ninan? Uko sahihi Shkh
@Kzm-c9u23 күн бұрын
Hii ni social media shekh, kama una ugonjwa wa kupanik utapata shida humu😅😅😅
@emmanuelnganya972223 күн бұрын
Umevurugwa 😂😂
@saidymbila5723 күн бұрын
Kaka mwaipopo hyo kitima ni shonga
@saidymbila5723 күн бұрын
Kitima ni chadema hyo
@emmanuelnganya972223 күн бұрын
Huwa mara nyingine unavuta bangi 😂
@abujamalaalghammawiy747022 күн бұрын
jiandae kupelekwa mahakamani ukathibitishe hizo bangi anazovuta sheikh Mwaipopo
@saidymbila5723 күн бұрын
Ndyo kama anauuza dawa ni kazi yake hyo mwacheni mwaipopo kinacho wasumbua ni udini tu
@emmanuelnganya972223 күн бұрын
Huna kazi ya kufanya?uza dawa zako upate maisha.umeshindwa kueneza uislamu umehamia chadema 😂
@fredrickmwakalinga639023 күн бұрын
Mbwa wewe huna lolote mungu gani unamwongelea wewe tapeli
@abujamalaalghammawiy747022 күн бұрын
Jiandae kwenda mahakamani kwa comment hii
@joezeno822 күн бұрын
@@abujamalaalghammawiy7470wee Kenge kaa mimya
@marionoti576023 күн бұрын
Umetoka ukristo ukalaanika, Umevamia uislamu, wenye dini yao wamekushiti, baada ya kugundua kuwa ni tapeli, unaweweseka ovyo, wanakuchora, ipo siku utatoka kwa viboko. Sasa umekurupukia siasa usiyoijua unaropoka ovyo. Udini utakuponza, njaa mbaya, inakupa wendawazimu Mwanafile.
@FadhiliMakasi-vb9dl23 күн бұрын
Acha kumponda Shujaa wetu wewe
@FadhiliMakasi-vb9dl23 күн бұрын
Sisi Waislamu hatumchukii huyu Mwaipopo lamda wewe hapo