CHADEMA Leo mbowe awekwa kati adaiwa kuongwa mabilioni,anatamaa,Wanachama wamtaka Lissu

  Рет қаралды 3,989

Linconmedia

Linconmedia

Күн бұрын

Пікірлер: 22
@Leodimk-n5c
@Leodimk-n5c 8 сағат бұрын
Mbowe haaminiki tena kwanza mpango wake ni kuwarudisha wale wabunge feki wa covid 19 wakati hao ni wasaliti
@davidmpiluka5224
@davidmpiluka5224 8 сағат бұрын
Ukweli wa Mungu ni kwamba, Tundu Lissu ndiye anayetufaa sisi Watanzania hasa tusio na wa kutusemea. FAM kwa asilimia karibu zote anatumika na mfumo. Ndo maana utakuta watu waliopo kwenye mfumo wanatetea sana na kumponda Lissu.
@abrahammwampiki-zy8uu
@abrahammwampiki-zy8uu 15 сағат бұрын
MBOWE ACHIA. TUNAKUHESHIMU NA KUKUPENDA. TUNAITHAMINI SANA KAZI ULIYOFANYA. ILA HUNA JIPYA. MWACNHIE LISU. HUYU ATATUVUSHA
@aliyageorge6794
@aliyageorge6794 15 сағат бұрын
Mbowe badala ya kusimama na wananchi instead anafikiria kuweka rekodi.... Mbowe must go 🚶‍♂️ 😅
@Allyiddsud
@Allyiddsud 14 сағат бұрын
Ata lisu anatamaha ya madaraka, kwanini asirizike na umakamu mwenyeki? Bg mbowe oyeeeee❤❤❤❤❤ mitano ten
@johansenerasto5890
@johansenerasto5890 15 сағат бұрын
Fact ,Lissu ndo habari ya mjin
@anosiata8242
@anosiata8242 10 сағат бұрын
Kwasasa nchi ilipofika tunataka lissu. Mbowe ameongoza miaka 21 inatosha apishe na wengine waongoze chama
@josephmagige874
@josephmagige874 12 сағат бұрын
Mbowe must go
@mangashajunior242
@mangashajunior242 10 сағат бұрын
Mbowe mbowe peana nafasi kwa Tundulissu ni bora...
@SelemanIsmail-c3z
@SelemanIsmail-c3z 13 сағат бұрын
Kwa sasa hakuna mbadala wa CCM! Ngoja kwanza CCM iendelee kutawala mpaka pale wapinzani watakapokomaa! Tofauti ya CCM na vyama vingine kama CDM ni kwamba CCM ni taasisi lakini CDM ni 'mtiu" anayetaka kuwa yeye ikila siku! Eti wengine hapana!! Hatuwezi kuikabidhi nchi kwa 'mtu' badala ya taasisi! Eti tuikabidhi nchi kwa Mbowe!
@juliusmlula1658
@juliusmlula1658 16 сағат бұрын
Mbowe ni mjanjaja tu
@aliyageorge6794
@aliyageorge6794 16 сағат бұрын
Mbowe ni mbinafsi...
@johansenerasto5890
@johansenerasto5890 13 сағат бұрын
Lisu aliweka bayana sababu za kugombea Uenyekiti wa CHADEMA,mbowe alisema kuwa anagombea ili afikishe umri wa mtei 😂😂 kweli mbowe amechoka kilichobaki ni kupumzishwa tu😢😢
@Nangayivuza
@Nangayivuza 14 сағат бұрын
Wew aise Mbowe acha kuchafua chama Bana ondoka
@johansenerasto5890
@johansenerasto5890 13 сағат бұрын
Mbowe hatukutaki usisubri kuja kuondolewa kwa nguvu
@gm003
@gm003 11 сағат бұрын
Chadema imekua sana, LKN SHIDA NI Mbowe ambae anafanya biashara na ccm, ndo maana HARAKATI ZOTE ZA KWELI HAZIFUI DAFU, huyu jamaa analambishwa asali ya WACHAGA, na anatuuza kila siku...MBOWE PUMZIKA WW NA ccm yako.
@hectorgold147
@hectorgold147 14 сағат бұрын
anafaa lisu
@JaneMbilinyi-by6ix
@JaneMbilinyi-by6ix 15 сағат бұрын
Kila mtu anatamaa ya madaraka hakuna asiyetaka madaraka na yote hiyo ni shauri ya pesa.
@ValeriJummane
@ValeriJummane 15 сағат бұрын
Mbowe popote ulipo nakuchukia Sana
@johansenerasto5890
@johansenerasto5890 13 сағат бұрын
Me tokea cku ametangaza nia hta ssimfatilii tena na simwamn kbsa ,hotuba ynyw utadhan aliandaliwa ilijaa kiburi,jeuri,majigambo na masomango yaan hakuwa mbowe naemjua pole sana BB kwa kukubali laana za ccm na kuwasaliti watanzania lkn sku Moja utajibu
@oteleswai192
@oteleswai192 12 сағат бұрын
Wacheni unafiki na vijembe
@noordinabdulkarim4233
@noordinabdulkarim4233 9 сағат бұрын
Wananchi wajinga. Mbowe na waongozi wenzake wanakiburi sana. Sijamsoma Tundu Lisu. Ila palipo na hela na madaraka, tuna na tuta ibiwa tu. Wabongo unawasikia ama unawajua?
小丑女COCO的审判。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:53
超人不会飞
Рет қаралды 16 МЛН
Гениальное изобретение из обычного стаканчика!
00:31
Лютая физика | Олимпиадная физика
Рет қаралды 4,8 МЛН
黑天使被操控了#short #angel #clown
00:40
Super Beauty team
Рет қаралды 61 МЛН
How Strong Is Tape?
00:24
Stokes Twins
Рет қаралды 96 МЛН
USHAURI MZITO WA DUDU BAYA UCHAGUZI CHADEMA/Mbowe apumzike
12:00
BONGO 24 NEWS
Рет қаралды 27 М.
TUJADILI KASORO ZA MKUTANO WA MBOWE NA WAHARIRI
10:11
SK Media Online TV
Рет қаралды 23 М.
小丑女COCO的审判。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:53
超人不会飞
Рет қаралды 16 МЛН