Huyo chalamia hana akili aende yeye atumbuliwe tu hana akili
@GodlistenAndersonMremi4 күн бұрын
Nchi Yetu Inaongozwa Na Watu Walioshiba Na Kulewa Madaraka Kuna Waliosema Tupigwe Tu, Wengine Wakasema Tuende Burundi Kama Hatukubaliani Na Tozo, Wengine Wakasema Wamama Wenye Mimba Wasio Na Garama Za Kujifungua Waende Kupasuliwa Tumbo Na Waume Zao Wawazalishe.😭😭😭😭😭
@mboneamsuya4 күн бұрын
Chalamila ni shetani mkuu,kutoona hili la uzazi kwa mama zetu.yeye ni muuaji.
@ImaculathaMasuka4 күн бұрын
Nyie hamjawh kukosea kuongea. Mfanyakazi wa selikali akikosea mnataka hawajibishwe.