CHADEMA WANAPASWA KUJITAFAKARI| SIJASHANGAZWA PETER MSIGWA KUHAMIA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM)

  Рет қаралды 18,608

Wasafi Media

Wasafi Media

28 күн бұрын

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 86
@samwelkavwanga4491
@samwelkavwanga4491 27 күн бұрын
Mmechanbua vizur sana hongereni sana..👍👍
@josephatkajange8714
@josephatkajange8714 24 күн бұрын
Hongera sana wasafi media, uchambuzi wenu nimeupenda. Mmekomaa, big up sana!
@philemonsnyanda9450
@philemonsnyanda9450 6 күн бұрын
Hawa wako vizuri kuliko kitenge na genge lake
@user-bn4br7qm7r
@user-bn4br7qm7r 27 күн бұрын
Fedha za mama abduli zinafanya kazi
@jumakisailo8496
@jumakisailo8496 2 күн бұрын
Na kweli inawezekana Abdulli alishatia timu kwa Msigwa..🤣🤣🤣...siasa bwana...ni hatari sana, na huu ugumu wa maisha sasahivi. We acha tu.
@yassinkimolo2943
@yassinkimolo2943 21 күн бұрын
Huyo kahama kwasababu kanyimwa kuwa mwekiti wa kanda ya nyasa ameona hataweza kuvujisha tena siri za chadema
@saulopaulokavenga6792
@saulopaulokavenga6792 25 күн бұрын
Sahihi kabisa kaka,
@EliaHiluka
@EliaHiluka 20 күн бұрын
Hatuna lakujifunza kutoka kwa msingwa tunajua ni njaa yake tu
@yassinkimolo2943
@yassinkimolo2943 21 күн бұрын
Hakuna cha kujitafakari hilo lilikua donda ndugu bora katuachia chama chetu tunahitaji watu wenye ukweli wakutafuta mabadiliko
@altonkanjolonga2380
@altonkanjolonga2380 20 күн бұрын
Mko sawa uchambuzi wenu mzuri,hongereni sana
@user-jb8bo2qw6r
@user-jb8bo2qw6r 26 күн бұрын
Je,chadema imekuwa "saccos"ya Mbowe pale tu Msigwa aliposhindwa uchaguzi? Alipokuwa akishinda ,Chadema ilikuwaje?Ilikuwa tamu eeee!
@revocatusmatungwa2310
@revocatusmatungwa2310 26 күн бұрын
Msigwa umefata cheo lakini kumbuka kuna wana ccm walioangaika na ccm miaka na bado awajapata cheo sasa siamini sana kama utapa mapema kabla ya waleee
@HappyKitindi
@HappyKitindi 24 күн бұрын
Hupati cheo kwasababu ya kuhangaika muda mrefu unapewa cheo kutokana na status yako. Ndo maana vijana wadogo wamekuwa wakuu wa shule lakini Kuna wazee hapo ni walimu wa vyeo vya kawaida. Wenye nguvu na wenye maarifa watatawala hii ni principle katika maandiko matakatifu
@foibennjeje7730
@foibennjeje7730 26 күн бұрын
Si Maneno tu ni ushetani unawaingia lazima akili iwatoke msigwa na akili yake kubwa ameshindwa Cha kuongea shetani mkubwa kuliko ccm
@PhilipoMwita-wc1ku
@PhilipoMwita-wc1ku 26 күн бұрын
Ccm ndio wajitafakari kwakuvunja Sheria walizozitunga ...na rushwa ambazo wanazitembeza
@khamisassan9556
@khamisassan9556 26 күн бұрын
Wewe Edo ni mtangazaji kweli kweli
@user-bd1zr4vn1b
@user-bd1zr4vn1b 27 күн бұрын
Nilikuwa najua siku zote mchunguji wauongu huwa nauchu wamadaraka ndio maana awapendagi msaada wakiwa kwenye madhabau yao
@dominicfrancis4073
@dominicfrancis4073 26 күн бұрын
Nadhan apo ujumbe umemfikia mbowe
@dennisungonella205
@dennisungonella205 27 күн бұрын
Haahaa njaa mbaya sana, wanasiasa wanaangalia maslahi yao.Msigwa amefuata vyeo ccm na serikalini
@johnmwasilu7087
@johnmwasilu7087 26 күн бұрын
Atakuwa ameahidiwa cheo kama ukuu wa wilaya lakini CCM kindakindaki hawamkubali
@MussaBundala-yg8nw
@MussaBundala-yg8nw 20 күн бұрын
Safi sana hoja nimeipenda, lakini muda mwingine daah!
@ErastoMaridadi
@ErastoMaridadi 26 күн бұрын
Mmeongea vizuri sana wachambuzi,wanasiasa wa Tanzania njaa kali,hawako kwa maslahi ya taifa
@AshaMwamba
@AshaMwamba 26 күн бұрын
Kweli kabisaaaaaa
@MasumbukoZuhumpa
@MasumbukoZuhumpa 25 күн бұрын
PETER MSIGWA UMEPOTEA NJIA
@SundaySteven-bz4yq
@SundaySteven-bz4yq 27 күн бұрын
Huyu ni tamaa angehamia nccr,,,tungesema chama hakiko vizuri huyu amehongwa na mama abduri
@MsAggie5
@MsAggie5 27 күн бұрын
😂😂
@SurprisedFullMoon-gg9vu
@SurprisedFullMoon-gg9vu 17 күн бұрын
Ni kwel kabsaaaaa
@obinasimbeye1750
@obinasimbeye1750 7 күн бұрын
Atateuriwa tu na ndio atakaa kimya
@clemencemkondya8561
@clemencemkondya8561 27 күн бұрын
Msaliti mkubwa chama aende kwa wajinga wenzake
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 27 күн бұрын
SIASA HAINA ADUI WALA RAFIKI 😢😢😢NEXT VICTIM LISU
@obinasimbeye1750
@obinasimbeye1750 7 күн бұрын
Hakuna Cha kujitafakari hapo ni njaa tu
@iddyissa8110
@iddyissa8110 26 күн бұрын
Kweli kabisa Wana siamamia masilai Yao msingwa tapelitu nashangaa uchungaji kampa nani
@ProsperReuben-fg6uh
@ProsperReuben-fg6uh 27 күн бұрын
Osca no kweli Ameondoka nassar kaondoka kafulila kaondoka zitto lkn wako wap Leo hii wamejifia kisiasa
@mustafakimalio9129
@mustafakimalio9129 26 күн бұрын
Tuambie Wana nafasi za uo gozi au Hawana au ulitarajia kuwaona ktk majukwaa ,,toa list yao yote waliotoka na walipo
@sallyeliya5213
@sallyeliya5213 7 күн бұрын
Oscar umeongea vzr
@user-cx1xz2is5d
@user-cx1xz2is5d 6 күн бұрын
Msigwa njaaaaaaaa ilimkolea sasa huko utapeqa nn ulipata 00000
@charlessolomon5928
@charlessolomon5928 9 күн бұрын
Umezungumza kitu kikubwa imani ndo kitu sahihi
@dayanikitambi2085
@dayanikitambi2085 20 күн бұрын
Ameahidiwa ukuu wa mkoa ananjaa sana msigwa huyo
@FrankMwakatundu-cu6bd
@FrankMwakatundu-cu6bd 20 күн бұрын
HUJASEMA KWELI, SI WOTE JE, MWAL. NYERERE ALIKUWA NI MCHUNGAJI HAKUWA MWANA SIASA?
@zhaozlyoung
@zhaozlyoung 26 күн бұрын
Uchawaaa uchawaaaa
@user-hj3ky9zy6y
@user-hj3ky9zy6y 19 күн бұрын
Mko vz
@user-jb8bo2qw6r
@user-jb8bo2qw6r 26 күн бұрын
Wanaostahili kujitafakari ni ccm tokana na wao kuuza raslimali za Tanganyika tu bila kuzigusa zile za Zanzibar!Kisa ni "halua,bokoboko na tende ".
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz 25 күн бұрын
2lia ww
@msabahaali758
@msabahaali758 27 күн бұрын
kiukweli ms gwa hana hoja za msingi za kuhamia CCM
@HappyKitindi
@HappyKitindi 24 күн бұрын
Wewe sio msigwa, heshimu maamuzi ya mtu mwingine huwezi jua maumivu aliyopitia au maumivu aliyopitia akaamua kuhama
@davidkawesa3594
@davidkawesa3594 6 күн бұрын
​@@HappyKitindimsigwa jinga
@peterbangari4273
@peterbangari4273 25 күн бұрын
yupo lwasa aliludi ccm lakini hakuwa amaneno machafu alisema TU nimeludi nyumbani basi
@lucasmaganya9628
@lucasmaganya9628 22 күн бұрын
Hawa ni wanasiasa wa kushangaza hasa kwa mtu kama msigwa hakuwa tu mwanasiasa bali anajitambulisha kwa mchungaji na mchungaji ni mwakilishi wa MUNGU hatukutegemea
@ErastoMaridadi
@ErastoMaridadi 26 күн бұрын
Jamani mwl nyerere ameongoza tanu,ccm karbu miaka 40,kwa sababu ya kuogopa mamluki ambassador wanaweza kuua chama,mbowe kukaa madarakani muda mrefu ndio uimara wa cdm na wanamuogopa kwa uimara wake kiuchumi na kisiasa.akina mrema walitumiwa wakaua nccr na tlp.cdm msidanganywe kumtoa mbowe
@user-vb3sy6oe2y
@user-vb3sy6oe2y 23 күн бұрын
KAPOTEZA SIFA HATAKAMA ATAPATA CHEO MIMISITAMUAMINIHATAKIDOGO WANAOHAMA WANAPOZUSHA MANE WASHITAKIWE MAANANAOWALIKUWEPO
@saulopaulokavenga6792
@saulopaulokavenga6792 25 күн бұрын
Kaka Oscar hata Lissu hawezi toka Chadema ana msimamo wa kweli wengine nikutafuta ulaji tu, hata huyo Msigwa ni uroho wa Madaraka tu
@giftkalenge418
@giftkalenge418 21 күн бұрын
acheni mambo ya siasa chambueni mpira
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 26 күн бұрын
Kazi ya fisiemu ni kununua watu kutoka chadema miaka 65 leo mmeshindwa kuongoza mmetutia umaskini mmeuza. Kila kitu mmebakiza kuuza figo zetu achaneni na mbowe tunamtaka wenyewe kakojoeni mlale
@johnmshuta5133
@johnmshuta5133 21 күн бұрын
Kwel
@philemonsnyanda9450
@philemonsnyanda9450 25 күн бұрын
Saiv wachambuzi mumeamza kua na akili timamu za kiuchambuzi, musigwa amebugi na ameingia cha kike🤣
@user-jb8bo2qw6r
@user-jb8bo2qw6r 26 күн бұрын
Je,unapofika wakati wa kuchagua mgombea wa kupeperusha bendera ya ccm ktk Uchaguzi Mkuu,kwa nini siku hizi hawaruhusiwi wagombea wengine kushiriki kama ilivyokuwa pale awali?Je,hiyo ni demokrasia ktk ccm?Ndugu Mbowe hushiriki pamoja na wengine ktk kuwania nafasi hiyo.Wengine hawazuiwi kama ilivyo ktk ccm.
@johnmichaellukindo21
@johnmichaellukindo21 25 күн бұрын
Oscar uko sahihi mbowe peke yake hawezi kuondoka chadema!
@brownmashine
@brownmashine 25 күн бұрын
Chadema hawawez kujitafakar coz chadema n taasisi na sio nyumba ya mtu
@abdallahkambangwa7215
@abdallahkambangwa7215 26 күн бұрын
mwanasiasa akikuambia usiku mwema toja nje uangalie jua kama limezama
@user-pn1rd1fs9x
@user-pn1rd1fs9x 26 күн бұрын
Kwanini wanaenda ccm tu
@simonpetershauri2968
@simonpetershauri2968 26 күн бұрын
Kila jambo na wakati na majira yake acheni porojo
@isayamwashibanda5819
@isayamwashibanda5819 27 күн бұрын
Akuna nacho kiamini ninjaa tuuu
@philemonkafyulilo7128
@philemonkafyulilo7128 26 күн бұрын
Unafiki tuuuu
@jakobongwara3038
@jakobongwara3038 26 күн бұрын
Mwandishi uko sahihi hawa wagombea tumegundua wooooooote taperi galama zao wanaludisha kwakutumia nipe kura maana yakula inamaana kuraushibe tumbo bwibwibwi nakuchafua hali yahewa
@mzeekidevu9688
@mzeekidevu9688 26 күн бұрын
Ccm ndooo matatizo kwa kuwaahidi vipande thelathini hoja si za msingi kabisa ni uchafu hata mtoto mdogo hoja za wanaohama vyama hawezi zielewa
@RubenMtuwaMungu-bz8ee
@RubenMtuwaMungu-bz8ee 26 күн бұрын
Tunahitaji chama kipya cha upinzani kitakachoendeshwa na viongozi wasio wabinafsi Ili kuiondoa CCM madarakani. Vyama vya kisultani havitupeleki popote.
@JosephMsuya
@JosephMsuya 26 күн бұрын
Si ndio
@user-bn4br7qm7r
@user-bn4br7qm7r 27 күн бұрын
Ahaaa Oscar ccm inatoa kibunda mzee ,unataka chadema ifanye nini kwenye hilo?
@leahnzali4933
@leahnzali4933 27 күн бұрын
Kina Yuda mpaka sasa wapo.ajidhalilisha mwenyewe
@alisaid9024
@alisaid9024 24 күн бұрын
Chama cha Mbowe na watu wamechoka ,kafanya chama kama chake ni dikteta halafu ataka haki
@erickmsigala138
@erickmsigala138 23 күн бұрын
Baba yako unataka haki?
@gangan4618
@gangan4618 20 күн бұрын
Kenge wa kijani tulia wewe...​@@erickmsigala138
@user-eu7td2hx8o
@user-eu7td2hx8o 26 күн бұрын
Mboe chama ni Mali yake, tofautisha msigwa na mbowe
@erickmsigala138
@erickmsigala138 23 күн бұрын
Umejinyea ccm ni mali ya nani? Watangazaji wanachambua vizuri wewe unaonyesha jinsi gani ulivyo mpumbavu
@rockcitynative9985
@rockcitynative9985 26 күн бұрын
Huyo Muha ni fala eti uongozi ndani ya CHADEMA ukitafakari!? Pumbavu sana wewe. Huko CCM watu wanafuata ajira na wengi wanaohama CHADEMA ni wale walikuwa na ajira ikaisha ua ikatishia kuisha na kule CCM wanahaidiwa ajira kwamba ukija tu tutakupa hiki na ndio maana wanakimbilia CCM. Na yote hii ni kutokana na CCM kuwa wao ndio waamuzi wa kila kitu na hata mgombea wa upinzani kushinda ubunge au udiwani ni CCM ndio inaamua maana isipomtaka hatangazwi kwahiyo kuzifanya siasa za upinzani kuwa ngumu sana na wanaozidiwa na nja ndio hujitungia vijisababu na kukimbilia CCM walikohaidiwa ulaji.
@user-eu7td2hx8o
@user-eu7td2hx8o 26 күн бұрын
Mute waelewa chadema ukiwa tofauti na mbowe huna chako, hao kina sugu mnyika ,wamelaza masikio waambie wachukue form kuchuana na mbowe waone kitakacho wakuta, muulizeni sumai alifikili chadema sawa na ccm kilimkuta nn, namkubali sana lisu sio mbowe , mbowe tagus nimepata ufahamu wa vyama yeye ndio mkuu pale juu,inamana chadema nzima wote vilaza isipokuwa yeye tu?hapo hakuna demokrasia ndani ya chama,wekeni uhuru ndani ya chama mbona asubuhi tu mnachukuwa nchi . Vichwa tunavyo Virginia ill chama ni Mali ya mtu,kinaendeshwa kwa mawazo ya mtu,mfano Dr sraa huyo mzee wa kumletea lowasa kweli?.wizi woooote wa lowasa mlisahau mzee wa watu tupa kule. Tusikiendeshe chama kwa maslahi ya wachache. Nb having mdee anaubavu wa kwenda kuapishwa bila baraka za mkuuu, jiulize x2
@user-bz3kk5te4m
@user-bz3kk5te4m 26 күн бұрын
Mbowe hatoki pale atoke ili iweje
@godfreyfrancis1013
@godfreyfrancis1013 27 күн бұрын
😂 kumbe mchungaji anaweza kuwa mnafki
@MsAggie5
@MsAggie5 27 күн бұрын
Ndo nashangaa njaa hii hata neno la Mungu hulitii
@KharidyYusuph
@KharidyYusuph 21 күн бұрын
Nimewakubali
@clemencemkondya8561
@clemencemkondya8561 27 күн бұрын
Hakuna chakuhonga chadema nichama cha mtu mmoja miaka 24 nimwenyekiti wa mmoja wa taifa .Hiyo ni saccos ya mtu mmoha .
@giztony2009
@giztony2009 26 күн бұрын
Acha akili za kitumwaaa
@richardhosea8827
@richardhosea8827 26 күн бұрын
Lazama aseme ndo uungwana tu
Who has won ?? 😀 #shortvideo #lizzyisaeva
00:24
Lizzy Isaeva
Рет қаралды 65 МЛН
MEDANI ZA SIASA NA MCH.PETER MSIGWA
1:07:42
Star TV Habari
Рет қаралды 14 М.
NI SUGU AU MSIGWA? NANI AMEKUSHAWISHI?
33:48
SK Media Online TV
Рет қаралды 16 М.
And who would you choose?👇
0:20
Kitty Power
Рет қаралды 14 МЛН
I meet Mr.Beast
0:15
ARGEN
Рет қаралды 26 МЛН
Как мама ухаживает за мной VS гостями
0:50
Время горячей озвучки
Рет қаралды 3,1 МЛН
😬 Мам Дай Хлеб 🍞 #shorts
0:38
AOneCool
Рет қаралды 1,5 МЛН
МЫ ПОХОДУ ЧТО-ТО НАПУТАЛИ
0:20
МАКАРОН
Рет қаралды 8 МЛН