PART 2: TUNDU LISSU AMUWASHIA MOTO MAKONDA/ ASHUGHULIKIWE/ WASITUTISHE/ NANI MACHAWA?

  Рет қаралды 253,396

Dar24 Media

Dar24 Media

Күн бұрын

--
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24news
⚫️ Facebook: @dar24
⚫️ Twitter: @Dar24News
#TUNDULISSU #MAKONDA #RAISSAMIA

Пікірлер: 547
@lutenganolukali2122
@lutenganolukali2122 Жыл бұрын
Ukimhoji lissu usiwe na degree moja.
@domicianalphonce8104
@domicianalphonce8104 Жыл бұрын
😅😅😅
@jeremiahmushi2093
@jeremiahmushi2093 Жыл бұрын
Hii sasa ndio maana halisi ya maswali na majibu sio ujanja ujanja kila swali lina jibu lake ✊✊
@grace-neemabuninange-bujik9117
@grace-neemabuninange-bujik9117 Жыл бұрын
Siku uliyopigwa risasi nililia sana. Nidhani hii akili kubwa tumeipoteza. But God is God he is here again
@mustaphamasobe8343
@mustaphamasobe8343 Жыл бұрын
Hata Mimi niliumia sana,maana angepotea huyu jamaa,tungepoteza mengi sana! Nampenda bila hiana!
@innocentmtashobya1257
@innocentmtashobya1257 Жыл бұрын
Nakumbuka nilikuwa nakula nilishindwa kuendelea..niliumia sana tena sana
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 Жыл бұрын
Lissu kiboko. Hajutii yaliyomkuta,wala hapiganii cheo au maslahi binafsi Bali mstakbali mzuri wa maisha ya watoto wake,na watanzania wa kesho, Heri usiogope kufa, kuliko kuogopa kufa alafu ufe! Lumbert naye, acha kabisa!
@merckmdamu2942
@merckmdamu2942 Жыл бұрын
Hiyo ni kampeni akisha shika madaraka. Yotehayo anayaongea hutayaona.
@josephmakutano7067
@josephmakutano7067 Жыл бұрын
@@merckmdamu2942 umejuaje ??? Mbona anaongea kubadilisha mfumo wautawala, unaotoa hakisawa kwakila mtz, Wala huelewi hayayote
@habibakowa
@habibakowa Жыл бұрын
Daaah huyu mwamba ni hatari sana, anashusha nondo za hatari sana💪💪💪
@selemanishabani126
@selemanishabani126 Жыл бұрын
Mwandishi ni Genius sana
@leahmgunda4154
@leahmgunda4154 Жыл бұрын
Hata mjibu maswali ni mwerevu nadhani
@lindambilinyi6253
@lindambilinyi6253 Жыл бұрын
Lissu ni mmoja tu,,,nakupenda sana mzee wang Mungu alikuacha kwa sababu muheshimiwa💪😍😍
@hamzangwele1267
@hamzangwele1267 Жыл бұрын
Uyu muandishi anauliza maswali point na is My no 1 muandishi kwangu
@herikaniugu
@herikaniugu Жыл бұрын
Yuko vizuri
@joycekalembo2225
@joycekalembo2225 Жыл бұрын
Dah nguo za chadema nzuri sana🔥🙏.
@ngwananchambi2403
@ngwananchambi2403 Жыл бұрын
safi sana risasi kutetea nchi yetu kwani cc wanyonge hatutaweza kusomesha elimu ya kisasa!!
@masubukopita7201
@masubukopita7201 8 ай бұрын
Nguo Kali sana
@fadhilirashidi7350
@fadhilirashidi7350 Жыл бұрын
Jamaa hujutii kufatilia interviews zake he’s bright kweli kweli!! Mungu amtunze
@gwalughanomerryrose4913
@gwalughanomerryrose4913 Жыл бұрын
Yaani naweza kumsikiliza Lissu 24/7 yaani 😂😂😂😂 sichoki yaani!!
@Wamoyothenumberone
@Wamoyothenumberone Жыл бұрын
Jamaaaa anajua anajuateeeeena
@jeunajuatv817
@jeunajuatv817 Жыл бұрын
Kwa kweli
@giovannir.restone182
@giovannir.restone182 Жыл бұрын
Tundu Lissu anajielewa..anajitambua Yaani Daah Jamaa Anatisha sana..Long life Mkuu uzidi na kutufungua akili.
@josephkulija293
@josephkulija293 Жыл бұрын
Mwandishi uko vizuri, maswali ni ya msingi na una nidhamu na taaluma yako.
@jovintosssi3287
@jovintosssi3287 Жыл бұрын
Anachofeli ni kidgoo sana kabla hajamaliza kuelezea anataka kuuliza swali lingine
@salomemunishi1695
@salomemunishi1695 Жыл бұрын
Mr. Journalist You've earned my respect BIG UP...
@olaismollel7162
@olaismollel7162 Жыл бұрын
Hapa tu ndo namaliziaga MB zangu pia amepata mtu anaejua kuuliza maswali naamini iposiku fisiem itatupwa mbali
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 Жыл бұрын
Nimefurahishwa na hii interview, Mwandishi yuko vizuri,na Kamanda Lissu yuko vizuri. Watuhumiwa wote waliotenda jinai awamu ya 5, iweje Sabaya peke yake ndio amefikishwa mahakamani?! Awamu hii ya sita inaacha maswali na mshangao juu ya watuhumiwa wengine ambao bado wanafumbiwa macho kana kwamba hawana tuhuma wakati wananchi tumeumizwa!
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 Жыл бұрын
Sebaya alikuwa more expose 😳 kuliko makonda
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express Жыл бұрын
Napenda sana Tundu Lissu anavyojibu maswali. Yaani unakuta anahamu sana ya kujibu maswali, anavyoelezea kama alikuwa kaandaa maswali yeye na majibu mapema. Lakini mtangazaji na yeye kasomea taaluma yake nimempenda sana.
@Wamoyothenumberone
@Wamoyothenumberone Жыл бұрын
Lisu anahakili huyooo
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express Жыл бұрын
@@Wamoyothenumberone hatar sana
@thomaskiponda6079
@thomaskiponda6079 Жыл бұрын
NIMEIPENDA HIYO ETI MIMI NAZEEKEA KWENYE MAPAMBANO😅😅😅😅 SAFI KABISA.
@kenedrocky5964
@kenedrocky5964 Жыл бұрын
Mwandishi wa habari uliye mhoji Mh Lissu, umenikosha Sana mtuwangu kwa maswali hevi, maswali yenye kuonyesha uhodari na uwezo wako wa kumfanyia mtu interview. Kongole Mzee Baba.
@gwalughanomerryrose4913
@gwalughanomerryrose4913 Жыл бұрын
Lambat ameonyesha uwezo sana...
@allygoodboytzsdoneintanzan3970
@allygoodboytzsdoneintanzan3970 Жыл бұрын
Yupo vze sana
@SaidSaid-ef8md
@SaidSaid-ef8md Жыл бұрын
One of the best interview, muuliza maswali katulia akirusha maswali ya akili yenye mabomu ya ukweli, tundulisu anayapooza kidogo na ye anarusha mabomu yake, safi sana I really in joy the best interview,
@johnshirima7069
@johnshirima7069 Жыл бұрын
Huyu anayehoji anaitwa nani....yuko well composed and confident. Atafika mbali professionally
@eliasgoseph1075
@eliasgoseph1075 Жыл бұрын
This guy is Genius.....
@fredypastoryutd4864
@fredypastoryutd4864 Жыл бұрын
Ukimsikiliza huyu mwamba kiukweli unapata elimu kubwa sana ya maisha😂 Nimependa sana mwandishi hajaogopa kauliza yote na anatoa nafasi ya mtu kujibu hata kama halitapendeza watu fulani. Bonge moja la interview....💪
@lemausontz3513
@lemausontz3513 Жыл бұрын
LISSU BIG UP
@jumbeojaso5767
@jumbeojaso5767 Жыл бұрын
Tundu Antipas Lissu ni rais ajaye wa nchi hii tukipata katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.? Na ikitokea akawa RAIS,nchi hii itapata haki na uhuru wa kweli kwa watu wake , Kwani Lissu siku zote toka ujana wake anapigania Haki Haki Haki. Na kwa ajili ya haki hiyo,Mungu alimnusuru na kipigo cha risasi 16.mwiilini mwake. Huku akimbakizia Afya,Hekima na Busara za kupigiwa upatu
@anosiata8242
@anosiata8242 Жыл бұрын
Ndo hapo unajiuliza hadi. Unachoka. Zambia. Burundi uganda rwanda hawana bandari Lakini mafuta yao yako chini. .Sisi tuna bandari lakini mafuta yako. Juu.
@leokamil6284
@leokamil6284 Жыл бұрын
Viongozi wetu hawatujali wanajali wao kuendesha ma vi8 na maisha yao mazuri na familia zao. Hawawazi wananchi wananchi tupo kuwatumikia wao waishi vizuri na wapambe wao
@katunzijasson5410
@katunzijasson5410 Жыл бұрын
Akili nyingi sana T.A.L huyumbi ktk misimamo bado ni mtu yuleyule kwenye hoja hata baada ya mengi kutokea....una misimamo ya msingi kufata hoja husika.....hakika Namshukuru Mungu kwa maisha aliyokupa na akili alizoweka ndani yako....kuna mahali umelisaidia Taifa hili pakubwa mno.......Heshima kwake comrade mbowe the mastermind of the game...
@samweljames8947
@samweljames8947 Жыл бұрын
Nukimsikiliza tundu lisu najiona kama najua sheria.
@mbembelatv
@mbembelatv Жыл бұрын
Jichanganye ss ujipime km nikwel unaijua iyo sheria😂😂
@solomonmwenda2666
@solomonmwenda2666 Жыл бұрын
Sahihi kabisa Tindu Lisu. Viongozo wetu wanaishi Kifalme mno......
@danielalexd2272
@danielalexd2272 Жыл бұрын
Huyu anatakiwa kuwa raisi aisee
@danielalexd2272
@danielalexd2272 Жыл бұрын
Kwa Lissu Huwa sijuti kuweka Bando hata Kama itagharimu Gb 20
@lemausontz3513
@lemausontz3513 Жыл бұрын
Nakubali najua unamkubali kama mm ✌️✌️✌️✌️
@amansalim8518
@amansalim8518 Жыл бұрын
Kweli kabisa jamaa Yuko more focus sana
@mbwanashabani5637
@mbwanashabani5637 Жыл бұрын
Dar 24 Media ina waandishi makini sana, sio michezo hata siasa! Bravo
@husseynzooh1979
@husseynzooh1979 Жыл бұрын
SHKAMOO Mhe Lissu
@obillaezra6205
@obillaezra6205 Жыл бұрын
Waandishi bora wanapowahoji mtu kama Tundu Lissu na Fatma Karume basi hiyo interview itakuwa bora sana” Maana hao wawili wanajua mengi sana kupitiliza”
@andronicomkuyu1862
@andronicomkuyu1862 Жыл бұрын
Hakuna swali halijajibiwa, hoja kwa hoja, asante sana mnyampaa kwakweli Mungu amekubariki kwa hekima tele.
@bigboyben6932
@bigboyben6932 Жыл бұрын
Moja ya watu wakihojiwa na nakuwa na utayari wa kuangalia na kusikiliza mahojiano nao nchini kwangu ni Tundu Lissu
@isaiahelias3010
@isaiahelias3010 Жыл бұрын
Hichi kichwa walitaka wakiendoe,tungekula wapi hizi nondo?
@octavianbarnabas4527
@octavianbarnabas4527 Жыл бұрын
Asee ashukuriwe Mwenyez Mungu yeye nj mkuu utenda maajab
@lindambilinyi6253
@lindambilinyi6253 Жыл бұрын
Yaan Acha tu
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 Жыл бұрын
Lissu sjuw kitu gani hakijuw katika siasa za kidunia dahhh
@1961nungwi
@1961nungwi Жыл бұрын
Anajua sana kwasababu tatu. Moja, utashi wa kuzaliwa wa kusoma na kuoenda kujua mambo. Pili kusoma vizuri shule mpaka vyuo. Tatu kuwa mkweli, kwasababu ukiwa mkweli huhitaji kukumbuka. Unafahamu. Kuna ziada pia. Hii hulka ya kusoma mambo mengi na kuielewa Dunia ilikuwa kubwa sana wakati Ukuta wa Berlin unaangushwa Miaka ya 1989/90. Enzi hizo tukisoma high school, tunasoma mpaka 'The New African' magazine la London la akina Enver Versi na Baffaour Ankomah. Vijana wa Sasa sidhani kama wanasoma Magazines za kimataifa kama hizo.
@husseynzooh1979
@husseynzooh1979 Жыл бұрын
Rais wangu big🧠✌️
@ngwananchambi2403
@ngwananchambi2403 Жыл бұрын
Mwandishi uliza maswali ya maana siyo ya kina sillaa na lowassa
@alexlingwendu6780
@alexlingwendu6780 Жыл бұрын
Kuna mtu alitushughulikia saana!!!Kwa miaka takriban sita.Alituua,tujeruhi,alitufunga,AMETANGULIA.wasititishe??!!!!ASEEE HAPA MH TUNDULISSU umeongea kwa hisia saana.Any way kama kweli Magu Alishiriki wewe upigwe Risasi Hakika alikosea saana
@aigidiusandrea1915
@aigidiusandrea1915 Жыл бұрын
You've earned my respect Mr. Journalist
@morismush4273
@morismush4273 Жыл бұрын
Lisu pigania katiba mpyaa ukumbukwe nawatanzania milelee
@Wamoyothenumberone
@Wamoyothenumberone Жыл бұрын
For sure
@mbenaramadhan3915
@mbenaramadhan3915 Жыл бұрын
Mmemuona mwamba? Yaan uchoki kumsikiliza katu
@albertkamala6843
@albertkamala6843 Жыл бұрын
TL 💪💪 Brilliant!
@johngibson3089
@johngibson3089 Жыл бұрын
Kuwa na mtoto mwenye uraia wa marekani au nchi nyingine sio kukosa uzalendo. Ni mambo ya kawaida sana. Tunawajua watanzania wa kawaida kabisa waliopata fursa ya kuishi marekani, kufanya kazi kule na kuzaa watoto wao kule na wabongo hao hao wamerudi nchini kuendelea na maisha
@jeunajuatv817
@jeunajuatv817 Жыл бұрын
Ndio umekaririshw au
@danielmgomo717
@danielmgomo717 Жыл бұрын
This man Tundu Lisu is superbly intelligent and I have never seen an interview of this kind .It seems as if thia man has been prepared to answer his questions for many years.This is very unique and classic interview which has never occurred !!
@kefajoseph158
@kefajoseph158 Жыл бұрын
Mnajifanyaga mnajuwa kingereza mbwa nyinyi mkaishi basi ulaya mnafanya nini tz nendeni ulaya
@kefajoseph158
@kefajoseph158 Жыл бұрын
Mnajifanyaga mnajuwa kingereza mbwa nyinyi mkaishi basi ulaya mnafanya nini tz nendeni ulaya
@Makala360
@Makala360 Жыл бұрын
@@kefajoseph158 acha ujinga ww kama hujaenda shule kasome mkundu ww
@eng.saalim8646
@eng.saalim8646 Жыл бұрын
@@kefajoseph158hahahahaha. Acha husda. Ww kama hutak kuongea kizungu kaa kmyaa
@danielmgomo717
@danielmgomo717 Жыл бұрын
Ubarikiwe na Bwana kwa matusi matamu
@uhurunyereremusa8592
@uhurunyereremusa8592 Жыл бұрын
Lambert inabidi umtafute mkurugenzi wa uchaguzi Charles Mahera umuulize matokeo ya uchaguzi ya Rais yako wapi? haoni kama anavunja sheria kwa kutomiza takwa la kisheria la kutaka matokeo ya uchaguzi yawekwe hadharani ???
@saidsalum6101
@saidsalum6101 Жыл бұрын
Kweli tundulisu kunawatu watoto wao wamezaliwa humu lakini siyo wazalendo kweli kabisa wewe unauzalendo mpaka wanataka kukutoa uhai wako lakini umo tu
@ayubukivuyo2904
@ayubukivuyo2904 Жыл бұрын
Genius
@burhantvtzonline5417
@burhantvtzonline5417 Жыл бұрын
Good work Journalist 👏
@jofreypinga5885
@jofreypinga5885 Жыл бұрын
Lissu ni mtu makini sanaaaaa
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 Жыл бұрын
BIG BRAIN MR LISSU
@mbembelatv
@mbembelatv Жыл бұрын
Mwandishi: Mliilewaje kauli ya rais kuhusu siasa za staha Lisu: Msiniseme Mwandishi: Kwahy hamtamsema rais Lisu: TUTAMSEMA SANAAAAAA😂😂😂
@mustaphabussinescenter4127
@mustaphabussinescenter4127 Жыл бұрын
Hahahha mtangazaji kayataka haya sasa mawazo ya kitumwa ila ina ukweli flani ivi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@jeunajuatv817
@jeunajuatv817 Жыл бұрын
Kweli kabisa
@alekrugabire153
@alekrugabire153 Жыл бұрын
Huyu jamaa nihatari kabisa anajuwa kuongea . Magufuli alitaka ku muuwa shujaa alafu yeye aka tangulia . Lissu ni mwana siasa bora Africa
@lonyorilaizer8159
@lonyorilaizer8159 Жыл бұрын
Mmekutana kweli,Muuliza Maswali na Anayejibu wote vichwa, Techniques questions and Techniques answers!!
@victorgogadi55
@victorgogadi55 Жыл бұрын
An interview,Best ever !
@yudaseleman8320
@yudaseleman8320 Жыл бұрын
Hahaha kutokana na anasa zao,😅😅😅😅
@davidheche839
@davidheche839 Жыл бұрын
Lissu unaakili sana, tangia umerudi umefanya interview nyingi na zote nikizisikiliza ni darasa huru
@deusmbuge5740
@deusmbuge5740 Жыл бұрын
Kwakua huna AKILI iliyojisimamia
@robertmodestmushema1297
@robertmodestmushema1297 Жыл бұрын
Ushabiki pembeni... Uzi wa Chadema ni mkali sana. Hiyo shati nimeielewa sana. Mwandishi huyu huwa ana akili. Fuatilia interview zake na Kasesela na hata watu wengine. He is clever and composed. THE BEST INTERVIEW WITH LISSU
@albertkamala6843
@albertkamala6843 Жыл бұрын
Anajitahidi lkn weledi bado sana! Viwango vya wanataaluma fani ya hbr bado...hilo liko wazi ktk mahojiano haya..kakutana na mbobezi wa sheria!
@sharifuamuri4638
@sharifuamuri4638 Жыл бұрын
Yupo kama salimu kikeke wa BBC
@octavianbarnabas4527
@octavianbarnabas4527 Жыл бұрын
Jaman tumpe lissu nchi kama kweli tunahtaji future za watoto wetu wenye IQ kubwa mtanielewa mapema sana hata wakuu mpeni nchi kama kweli mnapenda nchi na vizazi vyenu pindi mtapokuwa hampo dunian
@paschalmartin9598
@paschalmartin9598 Жыл бұрын
Kampe nyumba yako
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express Жыл бұрын
Urusi na Ukren nimekuelewa vizuri Tundu Lissu. Ingawa umejibu kwa akili zaidi lakini jawabu leko la moja kwa moja nikuwa Urusi wako sawa kwa wanachokifanya. Kama muda wa kipindi ungekuwa mlefu sana Tundu Lissu angeongea mengi sana. Kwani CHADEMA haina chanel ikaweka interview ndefu zaidi na akafafanua zaidi!?
@geey7893
@geey7893 Жыл бұрын
Nachojua 2020 hakukuwa na uwezekano wa Mbunge wa Chadema kushinda ubunge popote Tanzania. Hata yule mmoja sjui alipataje
@barakahiluka166
@barakahiluka166 Жыл бұрын
Dah mwandishi uko unakosha Santa💯💯💯
@renatusmlugo6357
@renatusmlugo6357 Жыл бұрын
Mwandishi uko vzur mno ila umekutana na fundi
@dostovan5142
@dostovan5142 Жыл бұрын
Hate him or love him, Tanzania needs this man
@johngibson3089
@johngibson3089 Жыл бұрын
Sure. I totally agree with you
@johngibson3089
@johngibson3089 Жыл бұрын
Kwa nchi ilivyo na kwa siasa za rafu za nchi hii zilivyo, MBOWE bado anastahili kuwa mwenyekiti mze
@alfredmarti3131
@alfredmarti3131 Жыл бұрын
@@johngibson3089 Sana. Na ndiyo maana hapendwi. Ni great strategist.
@macknonkibona2401
@macknonkibona2401 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣nishida hiki kifaa
@richardnganya2311
@richardnganya2311 Жыл бұрын
Mostly needed
@omarycheyo5534
@omarycheyo5534 Жыл бұрын
Kusemwa Kama umekosea is good,kwa sisi WAISLAM Kuna usemi unasema ukumbusho unamfaa mwenye kuamini na mtu anaekueleza ukweli jua anakupenda,rais Samia ni MUISLAM na Uislam hauruhusu MWANAMKE KUA KIONGOZI Kama ni Muislam aachie ngazi la anapanda dunia Basi aendelee,Ila namshauri asiape kwa msahafu hiki kitabu NI kwaajiri ya wachamungu.
@Jal210
@Jal210 Жыл бұрын
Hapo ndipo unapoharibu huna sera wewe
@franciscomasungulwa3575
@franciscomasungulwa3575 Жыл бұрын
Wewe ushahidi wako kuwa MAGUFULI hakushinda uko wapi???
@tounymsomoka7896
@tounymsomoka7896 Жыл бұрын
Kila cku huwa namshukulu Mungu Kwa kuniwezesha kumshuhudia huyu kiumbe huw wanatokeaga Mara Moja ndani Miaka milioni Kama Taifa tunapaswa kujivunia na kumshukuru Mungu Mungu ampe Maisha marefu azidi kumlinda
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 Жыл бұрын
Umenifurahisha sana mheshimiwa....
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 Жыл бұрын
Lissu upo vizuri mna watu wasiojua ndo wanapata shida
@bonifacejohanes895
@bonifacejohanes895 11 ай бұрын
CHADEMA hawana mpano wa kushika dola. Kufikiri kuwa wanaweza kuishinda CCM bila kuungana na wote wenye mtazamo unaokinzana na mtazamo wa CCM ni Kujidanganya. Kukosa kuungana na wengine wanaopinga ubinafsishaji wa bandari umedhiirisha ubinafsi wao na mwendelezo wa dhana ya chumia tumbo.
@stevenwimbe3113
@stevenwimbe3113 Жыл бұрын
Tundu wewe nimwambwa kwerikweri
@danielalexd2272
@danielalexd2272 Жыл бұрын
Kaka ukiuliza swali tulia huyo Ni wakili msomi hawezi kujibu juu juu lazima udadavuliwe
@marrymenas
@marrymenas Жыл бұрын
Huyu mzee mdomo wake umejaa Maguful,, haezi ongea bila kumtaja! Laana zinamsumbua... na bado, ipo siku watatajana tu! Niko hapa kwenye banda la nguruwe nimeegemea banda, mtaja niuliza nilijuaje
@ikramalmas7039
@ikramalmas7039 Жыл бұрын
Lisu ameni kumbusha mambo ya history ya A'level ( European history)....
@key.one_tz2767
@key.one_tz2767 Жыл бұрын
Nampenda sana huyu mzee natamani ange kuwa baba angu
@kbmsouth
@kbmsouth Жыл бұрын
Anza kumpenda baba ako kwanza.. 😎
@lovesallu5292
@lovesallu5292 Жыл бұрын
@@kbmsouth 🙌😂
@sanoureyaliwadoakaroyo1696
@sanoureyaliwadoakaroyo1696 Жыл бұрын
@@kbmsouth Umejua kunichekesha Sana 🤣🤣🤣 je Kma Baba Ake Ni Kilaza Kuna makosa hpo Kusema ivyoo 😂😂😂 Ila Ungeuliza kwann Unasema ivyo nadhani Angekupa jibu 😂😂😂
@barakawabuge5285
@barakawabuge5285 Жыл бұрын
@@kbmsouth 🤣🤣🤣🤣
@chegebukoli1914
@chegebukoli1914 Жыл бұрын
Hata hivyo Ni baba yako maana mtu yeyote anaelingana na baba yako Ni baba yako
@malmavoice8989
@malmavoice8989 Жыл бұрын
Kumbe Lissu ndiye aliye mtoa Mbowe GerezAni na sio Samia
@burhantvtzonline5417
@burhantvtzonline5417 Жыл бұрын
ALLAH AKUHIFADHI
@marrymenas
@marrymenas Жыл бұрын
Hata mimi nashangaa Lissue umerudi Bongo na una kesi kibao lakin kwa nn hukamatwi??? Acha kumtaja taja Hayati! Kima ww!!!
@mushumbaeric4916
@mushumbaeric4916 Жыл бұрын
Jaji yeye akimu yeye mwanashelia yeye mwanaarakati yeye mwanasiasa yeye mpinga utawara yeye mshitakiyeye mpelelezi yeye utmbo mtupupu tafuta pakufia
@maimunaabdullabi
@maimunaabdullabi 2 ай бұрын
Mungu mpe maisha marefu Tundulisu hakoseyi hata kitu kimoja kinachofanywa ndani ya nchi hii
@vitumbikomsiska1080
@vitumbikomsiska1080 Жыл бұрын
Aliyekua Raisi wa Malawi, Professor Peter Wamuthalika .Watoto wake ni raia wa Merican,wamezaliwa, wamekulia, wamesona, wanafanya kazi Merican.Watoto wako Siyo wewe naunga mkono fact yakwamba watoto wanachagua wanachotaka
@bigboyben6932
@bigboyben6932 Жыл бұрын
This man is Very smart
@OnetimeShowtime-jj1ek
@OnetimeShowtime-jj1ek Жыл бұрын
Achen hiyo mambo mupaka Tani Sfuli tunalipia Mazao Bajaji inatan ngapy
@victorishengoma4599
@victorishengoma4599 Жыл бұрын
Journalist very impressive
@sethny112
@sethny112 Жыл бұрын
Lissu is a very wise person hasa hasa kwenye swala la uraia pacha.
@othmarluwawilo8308
@othmarluwawilo8308 11 ай бұрын
Mlete Samia wasomi pamoja mwone nane who deserve before Watanzania
@CharlesMisungwi-f8t
@CharlesMisungwi-f8t 11 ай бұрын
Subirikarneijayo ukiwarais uwashitaki haounaowaona walifanya makosa.
@nasserrostom6340
@nasserrostom6340 Жыл бұрын
Msengee wewe siasa na mwanaharakati sawa😆😆😆😆😆 Muongo wewe ukundu tuu kwenda zako na masiasa yenu tumechoka
@josephnjella4919
@josephnjella4919 Жыл бұрын
Hiki kichwa balaa
@alexkalonga5323
@alexkalonga5323 Жыл бұрын
Uyu jamaaa ni kichwa kweli kweli yaani ni kichwa ni mtu na Nusu! Hii Nchi anaimudu Sana!
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 Жыл бұрын
Tuko pamoja kamanda
@rugendorunene545
@rugendorunene545 Жыл бұрын
Wakati Tanzania itakuwa "devolved" itachukuwa wadhifa wa taifa lenye nguvu sana ki-uchumi!!
@yussuphsaleh2165
@yussuphsaleh2165 Жыл бұрын
Mahojiano magumu na muhimu,MH tundu lissu anajibu kwa ustadi mkubwa, ,, CCM tumbo joto ,,mambo waliyoyafanya watajuta
@AmosiMalando
@AmosiMalando 11 ай бұрын
Hili jamaa kutokana akili liliyokuwa bayo majitu kama haya akina mzee Shivji unayaweka chuo kikuu cha Dar. NA chuo hicho kuwa chuo kikuu kiongozi nchini yenye kutoa Mwelekeo wa kiuchumi, kisiasa, kiutamaduni na kielimu. 5:51
@othmarluwawilo8308
@othmarluwawilo8308 11 ай бұрын
Congratulations our intellectual Lisu, liberation is so close.
@talibsaid8096
@talibsaid8096 Жыл бұрын
We lisu wacha porojo wewe unaishi ulaya tuambie kama hawalipi kodi
@bakarinassoro5513
@bakarinassoro5513 Жыл бұрын
Lisu muongo kwenye kula zilikua zinatangazwa kila Jimbo kila mmoja anaskia
@johngibson3089
@johngibson3089 Жыл бұрын
Lissu ni hazina ya nchi. Watanzania wasiokubali hili- wataelewa tu hapo baadae
@samsonhamery3809
@samsonhamery3809 Жыл бұрын
Heko Mtangazaji unajua kufanya mahojiano.Tumefurahi.
@GodfreyMakala
@GodfreyMakala 2 күн бұрын
Hahahahaha!!!😢😢😢😢 Mahojiano ya lissu yanaumhim ya kula bando kwa amani kwa fact
@nafuwswedi2465
@nafuwswedi2465 Жыл бұрын
Chawa ni mdudu mchafu,😁😁😂,maswali konki na majibu konkiiiii🤗💯👍🏾💪🏿👍🏾Tundu Lissu 🙏🏿💪🏿
@hezronsanga5197
@hezronsanga5197 Жыл бұрын
Mungu akupe uzima tuuu we ni kiongoz makin san
Man Mocks Wife's Exercise Routine, Faces Embarrassment at Work #shorts
00:32
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 6 МЛН
Incredible: Teacher builds airplane to teach kids behavior! #shorts
00:32
Fabiosa Stories
Рет қаралды 11 МЛН
Help Me Celebrate! 😍🙏
00:35
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 56 МЛН
💩Поу и Поулина ☠️МОЧАТ 😖Хмурых Тварей?!
00:34
Ной Анимация
Рет қаралды 2 МЛН
Mkasi | S11E07 With Mh. Tundu Lissu - Extended Version
1:17:26
MkasiTV
Рет қаралды 1 МЛН
MO DEWJI AZUNGUMZIA KUHUSU KUTEKWA KWAKE
28:50
BBC News Swahili
Рет қаралды 1,6 МЛН
Tundu Lissu ndani ya #Dakika45.
1:05:06
ITV Tanzania
Рет қаралды 312 М.
Man Mocks Wife's Exercise Routine, Faces Embarrassment at Work #shorts
00:32
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 6 МЛН